Wachezaji wa Taifa Stars walioripoti kambini leo Cairo, Misri wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya mazoezi, kutoka kushoto Tarryn Allarakhia, AbdulMalick Zakaria, Abdi Banda, Mohammed Omar Sagaf, Bakari Mwamnyeto, Novatus Miroshi wengine ni Morice Abraham na Miano Danilo.