Ikulu | Zanzibar Profile Banner
Ikulu | Zanzibar Profile
Ikulu | Zanzibar

@ikuluzanzibar

53,049
Followers
3
Following
680
Media
696
Statuses

Official tweets from the Office of the President and Chairman of the Revolutionary Council of #Zanzibar .

Zanzibar
Joined July 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Tweet media one
12
39
390
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
4 years
Dk. Shein kuhusu virusi vya corona" Si maradhi yanayotaka mzaha, si maradhi yanayotaka watu wawe wakaidi, si maradhi watu waone kweli kuna tatizo maradhi haya ni ya watu wote".
20
72
282
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Tweet media one
21
38
223
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amefanya uteuzi wa Viongozi kama ifuatavyo:
Tweet media one
19
34
220
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Rais wa Zanzibar na MBLM Dk. Hussein Ali Mwinyi amemtakia kila la heri Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika siku yake ya kuzaliwa leo. Dk. Mwinyi amemuombea Mama Samia maisha marefu na afya njema. Happy Birthday Mama Samia
Tweet media one
5
20
217
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
Tweet media one
3
19
201
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
Tweet media one
7
28
197
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
Ramadhan Kareem.
Tweet media one
10
24
178
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
13
24
177
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na watoto wa Mtaa wa Kwaboko mara baada ya kutoka msikitini kwa ajili ya Ibada ya sala ya Ijumaa katika Msikiti Kubba uliopo Kwaboko,Mkoa wa Mjini Magharibi.
Tweet media one
11
21
169
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
19
37
164
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
30
153
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
24
144
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Tumia App ya Sema na Rais kufikisha changamoto zako kwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi.
14
42
136
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
7
23
132
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
1
17
134
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Tweet media one
5
12
129
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
8
23
129
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi amempongeza mwekezaji mzalendo Mohamed Abdallah Mohamed, Mkurugenzi Mtendaji wa Zanzibar Cable TV kwa kujitolea kujenga jengo la kuhifadhia maiti katika hospitali ya Mnazi Mmoja.
Tweet media one
4
19
128
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
10
20
123
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Tweet media one
6
24
117
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameondoka nchini leo kuelekea Umoja wa Nchi za Falme za Kiarabu (U.A.E) kwa ziara ya siku tatu.
Tweet media one
8
22
122
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Team Explorers kutoka Oman Ikulu Jijini Zanzibar.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
15
120
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
12
25
119
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
7
16
110
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
23
111
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
4
29
108
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
7
14
108
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:
Tweet media one
5
16
111
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
Tweet media one
5
12
104
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:
Tweet media one
5
15
106
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Nicholas Reynolds (Bongo Zozo) Ikulu Zanzibar.
10
20
101
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
13
21
101
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
9
21
103
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
4
25
102
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
18
97
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Nataka kuengeza idadi ya watalii ili kukuza pato la Serikali "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi" katika ziara yake Abudhabi
6
18
100
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI:
Tweet media one
4
10
100
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi  amewasili kisiwani Pemba leo kwa ziara ya kikazi ikiwa ni miongoni mwa shamrashamra za miaka 58 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.
Tweet media one
4
9
94
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
33
94
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewasili Abu dhabi kwa ziara ya Kiserikali.
3
23
94
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
6
13
90
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
19
91
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
3
20
90
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
15
91
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
6
18
90
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi anatarajiwa kuzungumza na Waandishi wa Habari.
3
23
90
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
1
20
87
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
3
13
84
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Tweet media one
4
13
81
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
16
85
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
4
26
81
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Tweet media one
1
18
87
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
Tweet media one
1
12
80
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
Tweet media one
3
8
88
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Tweet media one
5
15
86
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
2
16
88
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
3
16
87
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesisitiza haja ya kupewa kipaumbele suala zima la usafi wa Mji wa Zanzibar kwani bado hajaridhika na hali ya usafi ilivyo hivi sasa.
Tweet media one
2
16
85
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Uteuzi:
Tweet media one
2
14
88
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
6
17
82
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
4
20
83
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
1
17
85
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi atazungumza na Wandishi wa Habari ifikapo saa 4:30 za asubuhi, Ikulu Zanzibar,. Matangazo hayo yatarushwa moja kwa moja kupitia ZBC TV.
3
6
83
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
14
82
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
3
16
80
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Tweet media one
Tweet media two
2
22
83
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
3
14
82
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
8 years
#BajetiZanzibar Kima cha chini cha mshahara kutoka TZS 150,000 hadi TZS300,000.
Tweet media one
1
12
68
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Rais wa Zanzibar na MBLM Mhe.. Dkt. Hussein Ali Mwinyi amemtakia kila heri Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim kwa kuadhimisha siku yake ya kuzaliwa leo kwa kutimiza miaka 80. Mhe Dk. Hussein Mwinyi anamtakia Mwenyezi Mungu ampe afya njema mwanamapinduzi huyu wa Afrika.
Tweet media one
5
12
80
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amepongeza ushirikiano uliopo kati ya Jeshi la  Kujenga Taifa na Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar (JKU) na kusisitiza haja ya kuimarishwa ili mafanikio zaidi yaweze kupatikana.
Tweet media one
1
8
75
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
18
79
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Tweet media one
11
13
79
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Nchi ya Falme za Kiarabu (UAE) wameiomba Serikali ya Mapinduzi Zanzibar kupatiwa kiwanja kwa ajili ya kujenga Ubalozi mdogo ombi ambalo tumelikubali na kiwanja kipo tayari kwa ajili yao. "Rais wa Zanzibar Dk. Hussein Ali Mwinyi" katika mazungumzo yake na Vyombo vya habari.
4
17
78
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
10
76
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amerejea Nchini kutoka Abudhabi kwa ziara yake ya siku tatu.
4
16
79
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
14
76
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi leo ametoa sadaka ya futari Mkoa wa Mjini Magharibi katika mwendelezo wa sadaka kwa Watu wenye mahitaji maalum katika Viwanja vya Mapinduzi Square Michenzani Jijini Zanzibar.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
12
78
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
17
76
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Tweet media one
4
7
77
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi, leo ametoa salamu za pongezi kwa njia ya simu kwa Mama Mariam Mwinyi pamoja na wale wote waliomuunga mkono katika uzinduzi wa Taasisi yake ya Zanzibar Maisha Bora Foundation.
Tweet media one
2
11
75
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi  amewanasihi wafanyabiashara wenye tamaa kutoutumia mgogoro wa Urusi na Ukraine kuwa ni kisingizio cha kupandisha bei za bidhaa katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Tweet media one
8
11
77
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
"Kuna mradi unakuja wa kuhakikisha Barabara za ndani ya Mji hapa Mjini tunaziwekea Lami" Dk Hussein Ali Mwinyi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
6
18
75
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
Tweet media one
6
13
72
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
1
19
70
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amesema kuwa ujio wa Rais wa Shirikisho la mchezo wa kuogelea duniani (FINA) hapa Zanzibar utasaidia kwa kiasi kikubwa kuitangaza Zanzibar kiutalii hasa katika utalii wa michezo.
Tweet media one
2
11
73
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
9
70
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
17
70
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
19
14
71
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
12
73
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
1
11
71
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
2
9
71
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
1
7
73
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
Rais wa Zanzibar na MBLM Dk. Hussein Ali Mwinyi amempongeza Waziri Mkuu Mstaafu wa Uingereza Tony Balir kwa kutekekeleza kwa vitendo ahadi zake za kuendelea kuiunga mkono Zanzibar hasa katika mipango na mikakati ya upangaji wa vipaumbele kwa watendaji wa Serikali.
Tweet media one
4
11
65
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi .Hussein Ali Mwinyi amesema hatua ya ujenzi wa hospitali 11 kwa kila Wilaya ni sehemu ya Mapinduzi makubwa ya sekta ya afya Zanzibar.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
9
68
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ametoa salamu za rambirambi kwa familia za marehemu waliofariki kufuatia ajali ya basi lililogongana na lori  huko katika eneo la Melea, Kibaoni, Mkoani Morogoro.
Tweet media one
0
8
70
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza azma ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ya kuzijenga barabara zote za Mji wa Zanzibar na kuziwekea taa, kuzipanda miti maalum pamoja na njia za wanaotembea kwa miguu.
Tweet media one
0
9
65
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
2 years
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
21
72
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi atazungumza na Wandishi wa Habari na Wahariri wa vyombo mbali mbali Siku ya Jumatatu saa 4 za asubuhi ya tarehe 28/2/2022, Ikulu Zanzibar.
1
17
64
@ikuluzanzibar
Ikulu | Zanzibar
3 years
"Katika hatua tunazozipiga za kutafuta wawekezaji katika maeneo mbali mbali wenzetu wa Oman wameweka mkataba mwengine utakaopelekea wa kuwa na mji mpya wa Malindi" Rais wa Zanzibar na MBLM Dk. Hussein Ali Mwinyi alishuhudia kufungwa kwa mkataba huo, Ikulu jijini Zanzibar.
3
16
65