Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc Profile Banner
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc Profile
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc

@ridhiwankikwete

294,938
Followers
57
Following
2,960
Media
23,392
Statuses

Minister of State, Prime Minister’s Office (Labour, Youth, Employment and Persons with Disability) | Tanzania Member of Parliament (Chalinze Constituency)

Msoga, Tanzania
Joined March 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Haya mambo ya masihara, wanaweza kushuka daraja mjue!
515
218
5K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
🚶🏼‍♂️
Tweet media one
176
87
4K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Miaka 71 iliyopita siku kama ya Leo , alizaliwa katika Ardhi hii kiongozi na mzazi kwetu @jmkikwete . Ninapofanya kumbukumbu ya Umri wako, ninamshukuru Allah kwa zawadi ya uhai wako, mafunzo na malezi yako. Umenifundisha mengi na leo ninakutakia Afya njema.Happy Birthday Baba 🥰.
Tweet media one
257
269
4K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Creativity iliyotumika kwenye kutengeneza jezi sio ya kawaida. Unaweza itumia kufundishia historia darasani.
390
250
3K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
10 months
Huyu ni mimi
Tweet media one
275
105
3K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
1 year
Tweet media one
243
104
3K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Tweet media one
53
110
3K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Tweet media one
26
62
3K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
1 year
Rafiki wa Kweli…. #PumzikaBaba #BenardMembe
Tweet media one
58
81
2K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Hao jamaa watakufukuza ujue….. shauri yako!
Tweet media one
146
51
2K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Wawili kati ya Wao ni Wazazi wangu. Wameniita nimesikia na ninajiandaa kwenda Shiriki Ibada ya Hijjah. Mwenyezi Mungu nijalie nifike nitimize nguzo muhimu katika Dini yako.
Tweet media one
164
74
2K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
1 year
Twaja tena Msimbazi…Mwaka huu @yangasc1935 #MabingwaTena
Tweet media one
53
84
2K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
1 year
Halafu Wala Haturingi………
Tweet media one
76
83
2K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Smile of Our President @SuluhuSamia .
Tweet media one
139
97
2K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
11 months
Tulipotoka ……Kampeni Chalinze 2000. #ChaguaCCM
Tweet media one
91
73
2K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
7 years
Mungu Baba uliyeahidi kuipenda Tanzania na Watoto wako, timiza Upendo wako. Mjalie Kaka yetu Lissu afya na uzima.amina!
Tweet media one
231
309
2K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Nilikuwa namsikiliza Mh. Rais @SuluhuSamia kwenye Televisheni. Niwaombe Watanzania wenzangu, tumpe Muda. Nia yake njema utashinda katika nyakati hizi.
Tweet media one
389
77
2K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Picha
Tweet media one
172
79
2K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Ninamshukuru Mungu kwa kuniwezesha kufika hatua hii. Kwa hakika sifa nzuri zimuendee. Kwa Mh. Rais @SuluhuSamia namshukuru kwa kuniamini. Jukumu mbele yetu ni kufanya kazi kubadilisha maisha ya Wananchi na kujenga nchi. Tuendelee kushikamani ili kufikia malengo. #SSH #KaziIendelee
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
195
101
2K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
1 year
Mwenyezi Mungu Akujalie Umri Mrefu na Afya Njema Baba Yetu. Ninaendelea kukuombea kheri na Baraka Nyingi. Happy Birthday No. 4 @jmkikwete , Sir
Tweet media one
139
105
2K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Nimeangalia Interview ya Mh. Rais @SuluhuSamia na @bbcswahili . Ni wazi kuwa amejitambulisha ni kiongozi Mkweli , anayeheshimu taratibu, anayetambua mapito ya nchi na anayejua tunachokitaka kwa manufaa ya wengi. #ChapaKazi #KaziIendelee
Tweet media one
724
164
2K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Wale waliopost kuwa #Karim #Mandonga kapigwa mmeamka au tuwaache muendelee kulala?
146
82
2K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Tweet media one
77
53
2K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Kwa yeyote atakayemuona au atakayetoa taarifa ya alipo @MwanaFA nitamshukuru. Maana sina hakika na Mwenendo wa pumzi yake jioni ya leo. #YukoWapiFA ?
112
69
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
7 years
Mungu amekupa Umri na Hekima uendelee kufanya kazi yake duniani. Nakuombea kheri kubwa unaposherehekea umri mpya. Happy Birthday Dad Jaykay
Tweet media one
112
108
2K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 months
Hivi Mwafudenge Hauogopi?
Tweet media one
90
71
2K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 months
Tarehe 8 watakuja kweli?
222
96
2K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
5 years
To rafiki yangu wa kweli, Hakika ya Allah anasadiki katika Malezi bora ya Wazazi nami nashukuru kwa uwepo wako. Namshukuru Allah kwa Uwepo wako katika Maisha yetu. Allah azidi kupa Umri ushuhudie Mafanikio ya Kazi za Mikono yako. NAKUPENDA BABA.Happy Birthday 2 U Daddy.
Tweet media one
Tweet media two
50
76
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
1 year
Shukrani kwa Mwenyezi Mungu, kwa zawadi ya Uhai na Afya ninaposherehekea siku mpya katika uhai wangu. Nakushukuru haswa katika kipindi hiki cha mwezi wa Ramadhani. Nimezaliwa tena. Happy Birthday to me.
Tweet media one
218
70
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Nina watu.....
Tweet media one
68
31
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Nimepokea kwa masikitiko habari za Kuugua kwako, Baba #Lowassa Nakuombea kwa Mwenyezi Mungu akupe afya na kukupa nafuu haraka .Tunakuombea Upone haraka baba. #UguaPole #EdwardLowassa
Tweet media one
118
87
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Tweet media one
28
56
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
1 year
Tunaendelea kujifunza.
Tweet media one
80
32
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Dunia imemtambua kama Mwanamke wa shoka. Tanzania tuna bahati kuwa nawe Rais Wetu. #KaziInaendelea #SSH #TanzaniteYetu
Tweet media one
488
79
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
5 years
Naheshimu sana Maamuzi ya Mtu lakini Brother sina hakika kama kafanya busara katika hili. Hela hazinunui Ushindi, ni haki yao kulipwa kwa kazi wanayoifanya. Please Brother, usifanye hasira. Huu ni Mpira tu na matokeo yako Matatu. Ninaamini utalifikiria tena uliloamua #MoDewji
Tweet media one
152
82
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Tweet media one
17
35
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Kama tulivyosikia….. Ndiyo tunaondoka hapa Uwanja wa Taifa….
Tweet media one
20
39
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
8 months
Zilikuwa Nyakati njema siku zote. Mungu amekupenda zaidi baba. Pumzika kwa amani Baba yetu. Natuma salamu za pole kwa Mama yetu Mama Regina, Mh. Mbunge Fred na wadogo zetu wote kwa msiba huu mkubwa. Mungu awape nguvu na subira katika kipindi hiki kigumu.
Tweet media one
113
55
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
#TanzaniaOlympicCommittee huyu dada anaitwa Malaika Mihambo, Ni mnyamwezi kwa kabila. @OlympicTanzania
Tweet media one
359
47
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
7 months
Tweet media one
38
57
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Tweet media one
27
45
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
6 months
Tweet media one
75
41
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Utu Uzima oyeeeee!!!!! Tuseme Oyee. Allah ninakushukuru tena kwa Mwaka mwengine. Kwa hakika ni majaliwa yako niwe kati ya uliowapendelea katika Dunia hii. Nakushukuru kwa Uamuzi wako ninashereheka mwaka mwengine. Asante Allah kwa Umri Mwengine. #HappyBirthdayToMe
Tweet media one
233
73
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
9 months
I can’t wait…….. @Tanfootball . #walete
Tweet media one
21
28
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
10 months
Hoongera sana Rais wa Marais wote wa Vilabu vya Mpira Afrika. Mungu akulinde katika kutimiza majukumu yako mapya. Bravooo #LetsGo
Tweet media one
27
65
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
6 months
Kweli hii timu ya Mwenyekiti…….. Da!
73
64
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Happening Now.
Tweet media one
69
46
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
5 years
Mungu awahifadhi Wazazi wetu. Tukio hili la mtoto wa Marehemu rafiki yetu Zambi aliyefariki pamoja na Mkewe na watoto watatu limenipa Majonzi na Kuniliza Upya. Mungu alituahidi kuwa atatupa Majaribu kupitia Wanadamu wenzetu . #InnallillahWainnallillahRajuun #PoleSanaAnna
Tweet media one
131
83
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
1 month
Kwa Mara ya Kwanza tangu Kuteuliwa kwangu kuwa Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu -Kazi,Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu nitasimamia Mbele ya Bunge kupeleka Muswada wa Mabadiliko ya Sheria za Mifuko ya Hifadhi za Jamii. Mabadiliko yanayolenga kuondoka changamoto wanazokabiliana nazo
Tweet media one
294
89
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
10 months
Ninapenda kutumia nafasi hii kukushukuru Wewe, rafiki yangu kwa support yako muda wote na ushirikiano. Kwa familia yangu ikianza ile ya Wanakitivo pale Udom, nyumbani kwangu, na wote. Hatua imepigwa na sasa tunaendelea kuchapa kazi. Mengi tumeandika kwenye kitabu. Jioni hii
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
125
54
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
4 months
Tweet media one
64
37
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 months
Tweet media one
67
69
1K
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Tabasamu la Dhahabu. Rais wetu, Nuru Yetu, Dira Yetu @SuluhuSamia @ikulumawasliano #kaziInaendelea #SSH
Tweet media one
206
60
972
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Chief in Chief……Chief Hangaya wa Tanzania. Hongera sana Chief Hangaya kwa shughuli nzuri sana. Shughuli hii ni kielelezo cha Ulezi, Uongozi,Muungano na Utanzania. Mh. Rais @SuluhuSamia hongera kwa kuongoza kwa mfano. #SSH #KaziInaendelea
Tweet media one
125
53
955
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
The 5th. Kila la kheri Cde @WilliamsRuto .
Tweet media one
64
30
963
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Nilivutiwa nacho kwenye Graduation ni maelezo ya Jopo la Wasomi , kuhusu Historia na Mafanikio makubwa aliyoyapata Dr. @SuluhuSamia katika kipindi kifupi Cha Uongozi wake. Kwa hakika mmetuheshimisha sana Watanzania. Kama haujui kusoma nadhani Picha Umeiona. Hongera sana Mh.Rais
Tweet media one
156
54
953
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Unaposherehekea mwaka mwengine katika umri duniani ni muda mzuri wa kuanza upya kwa kutupa raha wananchi wengi. Happy birthday bro. @Caamil8
Tweet media one
25
31
944
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Picha na jirani @BabuTale . Naendelea kujifunza mengi toka kwake na ninaona uongozi toka katika yeye. Anasikiliza, anauliza, anashauri na anafunguka kwa mawazo mapya. Mungu akutunze ndugu yangu.
Tweet media one
117
27
929
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Yule mpigapicha naye .....
Tweet media one
52
29
939
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Sisi tumeamua kumlaumu Kasuku pasi kujua kuwa ANATUONYESHA Timu inayokwenda kushindwa na SIO kushinda.
55
22
922
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
1 year
….. still We Rise @yangasc1935
Tweet media one
10
26
912
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
1 year
Hii picha imepigwa kesho.
Tweet media one
30
24
907
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Nimebahatika kukutana na kijana @SuphianJuma katika mgahawa wa Chai Msolwa akiwa safarini kuelekea Dsm. Tumeongea mengi na kumtia Moyo asiache kujifunza maana mafanikio uja taratibu. Namshukuru kwa maongezi mazuri na kunipa moyo wa kupambana pia. #ChalinzeInaendelea #KaziIendelee
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
227
40
867
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
1 year
Tweet media one
7
27
899
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
9 months
Allah Ibarik Tanzania na Ijumaa Kareem.
Tweet media one
40
48
871
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Uongozi wa @yangasc1935 unatakiwa kumtangaza tena huyu Mwamba toka Magharibi mwa Africa. 📹 @azamtvtz
43
58
859
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Amin
Tweet media one
100
33
819
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Siku ngumu kama unapenda Yanga na Barcelona kama mimi.
71
18
779
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 months
Da! Mpira huu @Tanfootball
Tweet media one
92
45
797
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 months
Huyu ni Mimi na yule ni @mchengerwa_m
Tweet media one
Tweet media two
60
27
784
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
1 year
Makofi kwa magoli mazuri katika mchezo wa Timu ya @SimbaSCTanzania na @AlAhlyEnglish
16
27
780
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Tweet media one
62
20
767
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Nimetoka angalia mechi ya @yangasc1935 na #ViperFc ya Uganda. Matokeo ni mazuri kwa Viper. Kwetu ni kujifunza katika mapungufu na kujipanga upya. Kutereza sio kuanguka. #Yanga #DaimaMbeleNyumaMwiko
105
51
755
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Siku ngumu sana hii 😭😭😭😭😭
Tweet media one
127
45
729
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Nimetembelea Ofisi za Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dar Es Salaam, na kukagua Mfumo wa Unganishi wa Taarifa za Ardhi (ILMIS), katika moja ya ziara zangu za kujifunza mambo mbalimbali ya Wizara. Pia nimetoa wito wananchi kuchukua Hati zao zilizokamilika kwa wakati.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
95
54
723
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
8 months
Mwenye Fulana Nyeusi anaitwa Marehemu Thadei Ole Mushi. Enzi zake akipambania Chama Chake @ccm_tanzania . Pumzika Kwa Aman Comrade. #KaziInaendelea
Tweet media one
79
36
732
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
7 years
Kama jambo haulijui, haujalishiriki bora nyamaza. Kutunga Uongo au kuonekana unajua sana kufikiri dhidi ya uhalisia hakutasaidia upelelezi.
Tweet media one
88
84
719
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
1 month
Kamanda wa Vita!!!! Chapa kazi Mama Tanzania.
Tweet media one
195
61
730
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
1 year
Amewahi sema Mtu mmoja wa Makamu kuwa “………ipo siku watu wote watashabikia @yangasc1935 .” Siamini naona leo hapa . #ClubAboveAll #Mabingwa29
31
75
716
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
6 years
MIAKA YANGU 10 YA NDOA NI LEO Miaka 10 iliyopita Nilimuoa Arafa Mohamed.Mungu Mwema ameleta Baraka Nyingi katika Maisha yetu na Kutupitisha kwenye Mitihani mingi na Kutusimamia. Nakupenda sana kwa kweli , "Unamaanisha Dunia Machoni Mwangu.". NAKUPENDA SANA ARAFA WANGU.
Tweet media one
40
45
692
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 months
Mtani 🦁 tumeweka Msawazo huko chini. #HiviHamuogopi #AuNdiyokondeKwaMoyo
Tweet media one
75
34
700
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Watu wa Bagamoyo hatujasahaulika katika jezi hizi za mabingwa wa Taifa hili @yangasc1935 . Nimeona Ngome kongwe Tunawashukuru timu nzima ya wabunifu mkiongozwa na @SheriaNgowiTZ
27
40
681
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
8 months
Tweet media one
51
33
689
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Nisaidieni jamani…, kuna mtu anasema eti Mpira ulishikwa nje ya Uwanja….mimi namuona anaongopa!
99
18
684
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Kocha wa Real Madrid kafukuzwa Dar es Salaam Mjini. Da! Fei Toto
Tweet media one
104
23
679
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 years
Another day at work. #KaziInaendelea
Tweet media one
55
19
655
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
@rollymsouth Ushauri mzuri tutalifikisha wazo kwa utaratibu
30
19
658
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
2 months
Tweet media one
67
34
674
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Shambani huku jua likizama. Karibuni sana shambani tule madafu. #ShambaniKazi #KiwangwaMoja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
46
34
638
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
1 year
Siku zinakwenda mbio sana. Naendelea kukushukuru Mwenyezi Mungu wetu kwa baraka zako leo na siku zote. Kheri ya sikukuu ya Pasaka na Ijumaa Kareem kwetu sote.
Tweet media one
67
29
651
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
5 years
Happy Birthday to you Mom.Mwenyezi Mungu akujalie kheri katika kazi za Mikono yako.Allah akujalie kheri aiku zote. Nakupenda sana Mama yangu. #HappyBirthdayMom #SalmaKikwete
Tweet media one
35
40
639
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
7 years
#W 'end nyengine imefika. Ninamshukuru Mungu na watu wangu wote niliokutana nao wiki hii asa wewe unayesoma ujumbe huu. Nawapenda bure
Tweet media one
45
25
627
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
1 year
Kufa Kiume Fc
47
37
629
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
7 years
Niliwahi Sema najifunza jambo toka Kenya, Leo inathibitika wakati Mahakama inafungua kurasa Mpya ya Kumbukumbu ya Maamuzi. #KenyaDecides
Tweet media one
77
73
614
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
8 months
Happy Birthday Mh. Rais wetu @SuluhuSamia kwa kutimiza umri mwengine katika siku za uhai wako. Mungu akuzidishie hekima na kukuongezea umri ili Watanzania tufaidi matunda ya Uongozi wako. Kwa hakika wewe ni lulu na zawadi kwetu. Allah akupe nguvu na kuluhifadhi Kiongozi wetu.
Tweet media one
34
41
616
@ridhiwankikwete
Ridhiwani Jakaya Kikwete, Ndc
3 years
Nimemsikiliza na kumuelewa. Tufanye kazi kujenga nchi na Rais wetu. Nasimama na Rais wetu. Rais wa Maendeleo, Rais wa Uwazi na Ukweli @SuluhuSamia #KaziInaendelea #SSH
Tweet media one
99
38
603