Madaraka Nyerere Profile
Madaraka Nyerere

@MadarakaNyerere

12,585
Followers
496
Following
121
Media
1,802
Statuses

Mwitongo, Butiama, Tanzania
Joined November 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
2 years
Leo ni sabukuu ya Mama Maria Nyerere. Kwa mnaofahamu zaidi Kiingereza kuliko Kiswahili, sabukuu (au mazazi) ni "birthday". Anatimiza umri wa miaka 93. Tunamuombea baraka zaidi za Mwenyezi Mungu.
Tweet media one
276
393
5K
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Naweza kuwa siko sahihi lakini nahisi kuwa, ndani ya kada ya uongozi, uwiano wa viongozi wanaojipendekeza ulikuwa mdogo sana baada ya Uhuru kulinganisha na sasa.
175
263
3K
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Mtuhumiwa wa rushwa kutoka Geita ambaye nina hakika ameshawishika kuendeleza rushwa: kapokea rushwa ya Sh.75 milioni halafu kahukumiwa jela miaka mitatu au faini ya sh. milioni moja. Yuko nyumbani na chenji ya milioni 74.
98
168
2K
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
4 years
Rais Magufuli ameshasema mara nyingi, kwa Kiswahili chepesi, hataongeza muda wake madarakani hata kwa sekunde. Kisichoeleweka nini? Au tumuombe arudie kwa Kizanaki, kwamba atang'atuka? #retweet
Tweet media one
199
223
2K
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
6 months
Kuna watu wanatafuta Dola ya Marekani kubadilisha, haipatikani; kuna watu wanatafuta sukari wanunue, pesa haitoshi; kuna watu wanatafuta sura ya Mwl. Nyerere, wanasema hawaioni; halafu kuna maelfu ya watu watalala na njaa leo hii, na kesho wataamka na njaa. Na mjadala utaendelea.
107
189
1K
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
1 year
Huyu jamaa aliyeamka na tuhuma kuwa Mwalimu Nyerere alipiga dili za kifisadi na Mzee Rashidi Kawawa namuomba aendelee kuchunguza hayo mapesa yako wapi ili tugawane.
94
74
1K
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
1 year
@jmujuma
JMM, Esq
1 year
Down the memory lane: Baba wa Taifa mwalimu Nyerere na reli yetu! @tzrailways @MadarakaNyerere
Tweet media one
9
9
92
9
50
1K
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 months
Leo nimepata heshima ya kupata mjukuu wangu wa kwanza. Anaitwa Elvey.
98
40
1K
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
6 months
Mwenye ushahidi kuwa Mwalimu Nyerere alitamka kuna mgombea urais bado kijana sana na asubiri kidogo azeeke ili agombee urais, tuwasiliane nimnunulie bando la mwezi mmoja, mitandao yote, UNLIMITED.
75
121
1K
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
7 months
Naomba serikali itenge pesa za kutosheleza bajeti ya Wizara ya Mambo ya Ndani. Nimeombwa na kulipia gharama za kumsafirisha aliyeniibia kumtoa mahakamani hadi gerezani.
144
181
1K
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
9 months
Nashauri viongozi waache kutangaza porojo za Benki ya Dunia juu ya pato la kila Mtanzania kwa mwaka. Kama pato langu kwa mwaka ni milioni 17.8 na nina wategemezi 6, ni kweli pato letu la wastani ni milioni 2.8. Ki uhalisia ni njozi. Hakuna mbadala wa kutangaza hatua za maendelo?
57
158
998
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
8 months
Enzi za TANU tulijiunga na Young Pioneers, bila kuwepo utaratibu wa sasa wa kututumbukiza kwenye kampeni za uongozi. Kwa maoni yangu watoto waachwe kubaki watoto mpaka watimize umri wa kupiga kura.
48
198
890
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
6 months
Matusi niliyotukanwa yangekuwa mtaji ningeanzisha benki. #sanamu
189
47
683
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
8 months
NIDA, mnaruhusu mwombaji kujaza maombi kwenye mtandao. Akiziwasilisha kwenye ofisi hamzikubali. Huo ni usumbufu. Fungeni maombi ya mtandao turudi kwenye analogu.
24
72
673
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Ikithibitishwa wale polisi waligawana nyama ya mifugo ya mtuhumiwa nina hakika baadhi yao watakuwa Wazanaki.
51
34
610
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
9 months
Fimbo za Mwalimu Nyerere zipo Makumbusho ya Mwalimu J.K. Nyerere Butiama. Fimbo aliyopewa Mhe. Paul Makonda inafanana na mojawapo ya fimbo alizotumia Mwalimu, na huchongwa na wasanii walewale wa kijiji jirani cha Nyamuswa waliochonga fimbo za Mwalimu.
@comanchechiefIV
My64impala๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฑ
9 months
@EGNKALI1 @JonMrema @HecheJohn @CatherineRuge @IAMartin_ @HarryGodfirst @Mugaka_N @HildaNewton21 @MariaSTsehai @jmjombawao @MalisaGJ_ Tumuulize kwanza @MadarakaNyerere kama kweli hiyo ni genuine au fake fimbo? Tuanzie hapo kwanza kwa sababu sitaki kuamini kuwa Makonda kapewa fimbo ya Nyerere. To me it doesn't look genuine. Eti kaka @Emuganda unasemaje?
6
7
34
72
97
581
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Kwa mara ya kwanza, nimetembelea #nyereresquare Dodoma na kukutana na kupokelewa na waendesha baiskeli wenzangu; kilomita 700+ kutoka Butiama hadi Dodoma. #likizo2021 #MazoeziNiAfya
Tweet media one
Tweet media two
29
42
526
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Continuing to celebrate 60 years of Tanzania's independence with Mama Maria Nyerere. / Naendelea kusherehekea miaka 60 ya uhuru wa Tanzania pamoja na Mama Maria Nyerere. #Tanzania60 #Mwalimu @100 #Tanzania #Uhuru
Tweet media one
26
37
446
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
8 months
Ni Makongoro.
@JoelNtile
Joel Ntile
8 months
Kumbe Magomeni yalikuwa mashamba ya minazi na nyumba chache? ๐Ÿ˜‚ Huyu mtoto aliyemletea Mwalimu mkongojo ni wewe mzee wetu @MadarakaNyerere au ni Makongoro? ๐Ÿ˜‚ ๐ŸŽฌ Nyerere Memorial House
18
103
263
21
60
342
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
8 months
Kumbe yalishazungumzwa?
28
81
334
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
2 years
Nathibitisha kuwa ni mwandiko wake.
@jmujuma
JMM, Esq
2 years
#Nyerere baba wa taifa. Memo! Kaka @MadarakaN waweza thibitisha hii memo. Baba wa taifa was one of the few true sons of Africa @msangijeff
Tweet media one
5
20
82
8
64
335
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
11 months
Another earthquake in Butiama this minute. / Tetemeko la ardhi Butiama mida hii.
46
37
319
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
1 year
Kwa maelezo yangu, siwezi kuwa na hoja na wewe pia ukawa na hoja. Mmoja wetu hana hoja.
@ezekiel_kamwaga
Ezekiel โ€˜Top Penโ€™ Kamwaga
1 year
Kaka @MadarakaNyerere naelewa pointi yako na una hoja. Bahati mbaya ya siasa ni kwamba si kila mazungumzo binafsi ya viongozi yako recorded na yana ushahid. Kwa lugha nyingine, kama hakuna rekodi rasmi haimaanishi mazungumzo hayakufanyika au hayafai kuwekwa hadharani. Viongozi
28
6
47
38
64
301
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
1 year
VodaBima: Habari za leo? Napiga kutoka VodaBima, umewahi kusikia huduma zetu? Mimi: Ndiyo, ila umri wangu ni zaidi ya miaka 60. Nakufahamisha ili usiongee sana. VodaBima: Nakutakia jioni njema. Kwaheri.
31
24
298
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
1 year
Nimemsikia mtangazaji wa redio kataja โ€œBwawa la Nyereleโ€. Liko wapi hilo?
39
21
284
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
7 months
I donโ€™t know how to say this without being accused of being mysoginistic: we need to weigh the balls of South Africa for dragging Israel to the ICJ for genocide against Palestinians. In my books South Africa has a World record. All other governments whisper niceties.
19
50
271
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 months
Hivi karibuni nimeandika makala juu ya uwezo hafifu wa wahitimu wetu wa vyuo. Leo nimeambiwa (sijathibitisha) kuwa baadhi ya wahadhiri hupokea kitu kidogo kutoa ufaulu usiostahili.
35
26
264
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
1 year
Ni vyema taarifa za aina hii, za kumsema mtu ambaye hayupo kujibu (kukanusha au kuthibitisha) ziambatane na uthibitisho. Enzi hizi za mitandao kila kinachaondikwa kinaaminika kuwa ukweli.
@ezekiel_kamwaga
Ezekiel โ€˜Top Penโ€™ Kamwaga
1 year
Mandela alivyomponza Lowassa kwa Nyerere. Nelson Mandela kaja Tanzania kabla hajawa Rais. Usiku kwenye dinner aliyoandaliwa kakutana na rafikiye Julius Nyerere. Kwenye mazungumzo, Mandela akamweleza Nyerere kwa furaha kwamba amefurahi kalala kwenye nyumba inayomilikiwa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
113
90
1K
37
45
259
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
1 year
Mwaka jana uliniomba taarifa ili uandike kitabu juu ya Mwalimu Nyerere. Kwa mtindo huu nashauri andika kwanza kitabu cha riwaya. Mchapishaji mahiri atahoji ninayouliza mimi.
@ezekiel_kamwaga
Ezekiel โ€˜Top Penโ€™ Kamwaga
1 year
Kaka @MadarakaNyerere naelewa pointi yako na una hoja. Bahati mbaya ya siasa ni kwamba si kila mazungumzo binafsi ya viongozi yako recorded na yana ushahid. Kwa lugha nyingine, kama hakuna rekodi rasmi haimaanishi mazungumzo hayakufanyika au hayafai kuwekwa hadharani. Viongozi
28
6
47
35
44
239
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
8 months
Manufaa ya uhuru wa kujieleza kwenye mtandao ndiyo haya: hata wewe mwenye "followers" sifuri pia unapata nafasi ya kupaza sauti.
@YussufH61770
Muungwana
8 months
@MadarakaNyerere @MadarakaNyerere Enzi zenu zishapita mzee wacha longo longo, Maoni yako peleka butiama mzee
10
0
2
35
22
229
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
9 months
Hana pacha. Naamini ulikusudia kuandika โ€œpicha.โ€ Na hiyo tarehe sidhani kama ni sahihi.
@jmujuma
JMM, Esq
9 months
Pacha ya Mama Maria Magige Nyerere taken on 24.01.1954 @MadarakaNyerere @msangijeff @MikocheniReport
Tweet media one
1
1
11
14
14
180
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Wanaotuambia #kaziiendelee kwenye Bandari ya Bagamoyo: kwa mkataba upi? Ule ule?
27
15
169
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Limepita tetemeko dogo tena Butiama. / A mild earth tremor just now in Butiama. #earthquake
20
19
159
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
1 year
โ€œWe were detained in Bulawayo, and the British administrationโ€ฆwas threatening to deport us back to South Africa. The Government in Tanganyika sent a message to them that we had been granted asylum in Tanganyika.โ€ โ€“ Thabo Mbeki #juliusnyerere #mwalimunyerere @MkukiNaNyota
Tweet media one
2
46
155
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
7 months
Ni hivi: Naipongeza serikali ya Afrika Kusini kuiburuza Israel mahakama ya kimataifa ikiituhumu kwa kufanya makosa ya kimbari dhidi ya Wapalestina. Kuongea Kiingereza hakuna uhusiano na kwenda shule. Kaza buti
@BabaPatricia81
Mkinga Org ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ.
7 months
@MadarakaNyerere Andikeni kiswahili wengine hatujaenda shule!
1
0
3
14
12
151
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
1 year
"...what Harry Frankfurt has designated as 'bullshit': Bullshit, according to his 1997 book 'On Bullshit', is a type of discourse that literally consists of saying absolutely anything, without worrying whether it's true or false." - Jean-Franรงoise Marmion
Tweet media one
21
46
133
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
11 months
Ihefu itakuwaje na mashabiki Musoma? Makelele ya mamluki balaaโ€ฆ
27
10
131
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
2 years
Jana nimepokea ujumbe wa Scout kutoka Zanzibar. Nimejifunza kwao kuwa Mwalimu Nyerere aliongeza kanuni ya 11 ya Scout: Scout siyo mjinga, na mjinga hawezi kuwa scout. Hiyo kanuni ipo Tanzania tu.
Tweet media one
7
9
120
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
1 year
Naishauri Serikali kabla ya kuanzisha mradi wa daraja jipya itenge fedha kujenga upya daraja la Magu kwenye barabara kuu na muhimu ya Mwanza - Musoma. Nadhani daraja lilijengwa enzi za ukoloni, inabidi gari kusubiri za upande mwingine ili kupita. Gari haziwezi kupishana darajani.
Tweet media one
25
25
117
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
2 years
I am learning from President Museveni how Banyankore "Banyankorised" everything and everybody, including "Abubakar" to "Bumbakare". @KagutaMuseveni #Uganda
Tweet media one
8
15
115
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 months
Wafanyakazi wa TANESCO wanalipwa "overtime" wanaporekebisha hitilafu?
13
10
117
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 months
Siku nyingine nitasita kuulizia taratibu za TANESCO. Umeme umerudi kijijini kote isipokuwa ninapoishi.
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 months
Wafanyakazi wa TANESCO wanalipwa "overtime" wanaporekebisha hitilafu?
13
10
117
20
10
116
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
6 months
Mbili, siyo 4.
@mweupe37288
Farasi Mweupe
6 months
@mwaipungu24 Ndo maana ulipata kura 4 Kijiji CA baba Yako @MadarakaNyerere
2
0
7
38
9
114
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
7 years
@Gastorucci @subinukta @Kiganyi85 @MarekaMalili @LuqmanMaloto @OleMtetezi @Cshilinde Ni kinyume cha sheria ya Founders of the Nation (Honouring Procedures) Act 2004. Iondolewe tu. Atafute picha nyingine.
12
45
106
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
7 years
Tweet media one
5
15
100
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
2 years
Na hata kwa wale wenye kazi maisha si rahisi, hali ni ngumu.
@siadevinci
Sia Da Vinci๐Ÿ’Ž
2 years
Kuna watu huwaambii kitu juu ya marekani wakakuelwa vichwa vmeshajaa Hollywood movies.
134
233
750
13
21
97
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
7 months
Mama Maria: โ€œโ€ฆmiaka zaidi ya 100.โ€ (ya Jenerali David Musuguri) Mimi: โ€œMiaka 104. Ya kwako 94.โ€ Mama Maria: โ€œNafahamu. Juzi wamenipunguzia mwaka mmoja.โ€ #sabukuu #happybirthday
1
10
96
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
2 years
I have always wondered why students, in later years, look older than their teachers.
@MarkMwandosya
Mark J. Mwandosya
2 years
A teacher-student reunion is always a happy occasion. Here I am with Engineer Emil Magige Nyerere (right), who I taught Control Systems,EE441,at the Faculty of Engineering, University of Dar es Salaam, in the early 1980s.We have met at the Mwalimu Nyerere Centenary Celebrations.
Tweet media one
26
57
904
8
8
91
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
6 months
@Lumola_Steven Bro, mbona naona kama umeanzisha mada mpya kwenye mjadala wangu?
11
1
89
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
5 months
Kumbe matusi yanaweza kuanzisha benki....
@Rydx_017
Latto ๐•
5 months
Hii ni Funzo kwa wanaotukana watu Mitandaoni na kwenye Medias.. Video kwa comments๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Tweet media one
161
96
3K
16
7
87
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Kama umelala na njaa hutapoteza muda wako kuhoji iwapo jana tumeadhimisha uhuru wa Tanzania au Tanganyika.
8
7
82
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Nimehudhuria, leo, uzinduzi wa programu ya Maadhimisho ya Miaka 100 ya Mwalimu Nyerere. #MwalimuAT100 #juliusnyerere #mwalimunyerere
Tweet media one
3
6
85
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
1 year
Hiki kirusi cha mapinduzi kitafutiwe dawa. Au chanjo?
56
8
81
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
"Britain's evolution into democracy was not altogether peaceful. It was a little over three hundred years ago they chopped off the head of a king, made their middle-class revolution and installed Cromwell as their dictator." - Kwame Nkrumah, in "Africa Must Unite"
Tweet media one
5
17
77
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
6 months
@Lumola_Steven Mimi natoa ofa ya bando la mwezi, mitandao yote, UNLIMITED. Wewe unasema nipo nipo? Dharau hiyo.
33
4
73
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
1 year
Kesho, Chuo Kikuu cha Dar es Salaam./Tomorrow at the University of Dar es Salaam #documentary
Tweet media one
3
22
71
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
6 months
@Xyzszn1 Uzee, kwa mujibu wa Shirika la Afya la Umoja wa Mataifa ni kuanzia 80 na kuendelea. Bado niko mbali sana.
6
8
69
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
2 years
Dukani nimeomba risiti nikaambiwa nitaje TIN yangu. Ndiyo utaratibu mpya TRA?
10
5
66
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
2 years
4
23
69
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Baadhi ya nchi jirani ni nadra kukuta polisi aliye kwenye zamu kakaa kwenye kiti. Lipo la kujifunza hapo katika kuimarisha usalama #Tanzania .
12
7
64
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
2 years
"The African's capacity for bearing insult is not really limitless." - Julius K. Nyerere [from "Freedom and Unity | Uhuru na Umoja"] #juliusnyerere #mwalimunyerere
Tweet media one
1
18
62
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
8 months
South Africa's legal submission against Israel at the International Court of Justice. South Africa is showing leadership, exposing a morally-depraved cabal of nations that has rushed to protect ships in the Gulf of Aden but cannot protect civilians.
3
27
65
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
2 years
At 04:15, woken by a 5.2 earthquake, 19kms from Butiama. / Nimeamshwa saa 10:15 alfajiri na tetemeko la ardhi lenye kipimo cha 5.2 lililotokea kilomita 19 kutoka Butiama.
10
4
60
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Mwenyekiti wa Yanga Dk. Mshindo Msola aliona picha yangu nikiwa nimevaa sare ya Yanga ya msimu uliopita. Akasema nikija Dar atanikabidhi sare ya msimu huu. Leo kanikabidhi. #yanga #yangasc @mshindomsola_yanga
Tweet media one
5
7
56
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
I could be wrong, but I have a feeling that the proportion of sycophants in leadership at independence was much much lower than we have now.
1
10
54
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
2 years
Essays from a conference held at Queen's University, Canada, in February 2000 entitled "The Legacies of Julius Nyerere: Influences on Development Discourse and Practice in Africa". #MwalimuAt100 #juliusnyerere #mwalimunyerere
Tweet media one
2
15
54
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
1 year
@jmujuma
JMM, Esq
1 year
Rais Ali Hassan Mwinyi akimtunuku Baba wa Taifa, Mwl. Nyerere, tuzo ya Juu kabisa ambayo na Rais ya Mlima Kilimanjaro, katika Sherehe zolizofanyika enzi hizo mjini Dodoma. Hii ilikuwa baada ya Mwalimu kung'atuka madarakani. @MadarakaNyerere
Tweet media one
0
0
10
1
3
56
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Nakaribia kufunga mwaka nikitafakari maana ya urafiki. Mmoja wa marafiki zangu, kiongozi, ni mla rushwa mahiri.
14
7
50
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
10 months
Bado tunabaki na kiu ya kuona matokeo ya kilichoanzishwa na waasisi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki . #miltonobote #juliusnyerere #mwalimunyerere
Tweet media one
0
9
51
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
10 months
Nasikia mlipuko au ufyatuaji risasi Butiama. Nilitaka kutoka. Hiyo itasubiri kesho.
6
6
51
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Celebrating 60 years of Tanzania's independence today. / Tunasherehekea leo miaka 60 ya uhuru wa Tanzania. #Tanzania @60 #Mwalimu @100 #Tanzania #Uhuru
Tweet media one
8
5
44
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Hata mimi nimeamshwa na tetemeko kubwa usiku wa manane.
@Kiganyi_
M A G I R I
3 years
Tetemeko, imebidi niamke kidogo...
36
7
684
3
5
44
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
2 years
Niliwahi kusema kuwa tausi hawa ni zawadi kutoka India, lakini kumbe hawa tausi ni matunda ya Muungano. Walizawadiwa kwa Mwalimu Nyerere na Rais wa Zanzibar (sina hakika kama ni Sheikh Karume, au Aboud Jumbe).
@jmujuma
JMM, Esq
2 years
@JapanAmb_TZ Mheshimiwa balozi hao tausi mali ya umma na wametokea magogoni kitalu namba moja. Ilikuwa ni zawadi maalum kutoka serikali ya India kwa watanzania kupitia baba wa taifa mwalimu Nyerere @MadarakaN
2
0
7
2
4
45
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Earth tremor in Butiama now. #earthquake
5
6
45
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
10 months
Tumefikaje kwenye zama hizi kwamba vita ni fasheni, na jitihada za kutafuta amani ni nguo za mwaka juzi? Mataifa yanayoongzwa na watu wazima yameishia wapi?
4
6
44
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
1 year
Huo mradi wa daraja, mmeongea na @AzamMarine kupata mawazo yao?
10
2
44
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
2 years
Ofisi za umma: kuna sababu ya kutoa namba za simu iwapo hazipokelewi?
9
6
42
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Mama Maria hajaongelea suala hilo. Siyo taarifa ya kweli.
@Twaha_Mwaipaya
Twaha Mwaipaya
3 years
MAMA MARIA NYERERE AMUONYA SAMIA HABARI YA KUBAMBIKIANA KESI NA KUITANA MAGAIDI ! #Aonya Mwalimu angekuwepo asingekubaliana na jambo hilo ambalo linavunja umoja wa Taifa letu. Kwa lugha nyepesi mama Maria anasema : "MBOWE SIO GAIDI" !
Tweet media one
84
246
2K
9
17
39
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
2 years
Nimehesabiwa jana usiku, hotelini, safarini. Maswali yalikuwa machache. Wa nyumbani nimesikia wamejibu maswali 100. #sensa2022
5
4
40
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
1 year
Huo ujambazi haupo Tigo pekee. Umeenea kote.
@MabalaMakengeza
Richard Mabala
1 year
Jamani Tigo, jamani Tigo. Kweli bando ya Tshs 15,000 linaliwa kwa saa 20 tu, wakati wa matumizi ya kawaida kabisa, kisha ukipiga simu wanang'ang'ania umetumia. Hapo inabidi kutoa talaka tatu kwa mpigo @Tigo_TZZ
112
42
359
3
5
40
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
4 years
@CentaEli @Kiganyi_ Nadhani kuna watu wanaamini kuongoza nchi ni starehe. Alisema anabeba lundo la mafaili kitandani [wakati wengine tunachapa usingizi]. Kuna sababu nzuri za kuweka kikomo cha uongozi.
11
2
40
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Unaweza kuisema Tanzania kwa mengi ila jinsi inavyosimamia vyema mchakato wa kikatiba wa kupokezana madaraka.
Tweet media one
3
5
37
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
2 years
@tuipingeCCM Sikuwahi kusikia kuwa Pele ni tabibu wa akili.
7
0
38
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
6 months
Mwenye shida ya kununua Dola za Marekani halali na njaa; anayeamka na njaa hana shida ya Dola. Shida zinatofautiana.
@g_endwasen
Ndeanka
6 months
Kwani ulitaka kusema nini mzee wetu?
0
0
0
3
4
39
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
6 months
Haya maelezo yangu nimeona baadhi hawajayaelewa. Nitayafafanua nikipata muda.
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
6 months
Kuna watu wanatafuta Dola ya Marekani kubadilisha, haipatikani; kuna watu wanatafuta sukari wanunue, pesa haitoshi; kuna watu wanatafuta sura ya Mwl. Nyerere, wanasema hawaioni; halafu kuna maelfu ya watu watalala na njaa leo hii, na kesho wataamka na njaa. Na mjadala utaendelea.
107
189
1K
11
4
37
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
@MithunSaid Kwa kutoa mawazo yangu?
3
3
37
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
7 months
Interesting how some โ€œcaptainsโ€ of the rule of law have declared in advance they will not accept any judgment against Israel at the ICJ.
4
5
36
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
"The most potent weapon in the hands of the oppressor is the mind of the oppressed." - Steve Biko. Marking, today, his 44th death anniversary. @BikoFoundation #SteveBiko
1
17
35
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
7 months
Halafu mko wengi sana. Kila kitu yeye! Hata ukikosa mchumba!
@Raisi____
President of the Republic of X
7 months
@MadarakaNyerere ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„๐Ÿ˜„baba alikose mifumo ndo maana haya yanatokea
3
0
9
12
5
34
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
2 years
Flew in a Boeing 737 Max today, trying to reassure myself that air travel is the safest means of transportation.
Tweet media one
4
2
34
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
8 months
My New Year resolution gave up after 44 hours. The good news is I have 8,740 hours to put things in order. #HappyNewYear2024
1
2
33
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 months
Afisa mkusanya kodi wa TRA analipwa motisha ya pesa kwa kufikia au kuvuja malengo ya makusanyo?
3
1
32
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Tetemeko limetokea saa 10:47 alfajiri jirani na kjiji cha Bisarwi, kilomita 20 kutoka Tarime, na limepimwa kuwa na ukubwa wa 4.7 kwenye kipimo cha Richter.
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
3 years
Hata mimi nimeamshwa na tetemeko kubwa usiku wa manane.
3
5
44
5
4
29
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
1 year
Kwanini wafanyabiashara wanaruhusiwa kuuza nguo zinazofanana na sare za jeshi?
5
5
32
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
10 months
"Jesus is rejected in Judaism as a failed Jewish messiah claimant and a false prophet by most Jewish denominations." And yet, and yet....
4
7
32
@MadarakaNyerere
Madaraka Nyerere
7 years
"I know you are here to kill me. Shoot, coward, you are only going to kill a man." - Che Guevara to his assassin, Mario Terรกn, 50 years ago.
Tweet media one
0
16
30