Lumola Steven Kahumbi Profile Banner
Lumola Steven Kahumbi Profile
Lumola Steven Kahumbi

@Lumola_Steven

5,955
Followers
674
Following
185
Media
6,914
Statuses

ENG/PMP/CMA/SCS/MCS & PBI 🛠️ I'm an Engineer with a passion for project management and Data analysis. Holder of PMP, CMA, SCS MCS & Power BI certifications.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
4 years
HABARI NJEMA @TumeUchaguziTZ wameturejesha wagombea wote watatu tulioenguliwa Jimbo la BUKENE. Niwashukuru wote kwa ushirikiano mlionipa. Siwezi kuwataja wote ila kwa niaba naomba niwataje watu watatu; Dada @MariaSTsehai l, Rafiki yangu Thadei Ole Mushi na Mozes Maganga.
98
126
1K
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
Nipo na mwamba @freemanmbowetz na tayari muda huu tunaanza maandamano kutokea hapa Buguruni Usikae nyumbani Njoo barabarani
Tweet media one
22
200
2K
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
5 years
NIMESOMA SANA TWEETS ZA @kigogo2014 KWA UMAKINI MKUBWA Ninachoweza kuhisi ni kwamba @kigogo2014 ni mtu mwenye wadhifa mkubwa Serikalini na anaheshimika sana na hakuna anayeweza kumuhisi kwamba ni flani Yaani @kigogo2014 usikute ni Dr. Abasi yule Msemaji Mku..........)))
212
59
1K
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
4 years
HAKI HAIOMBWI, HAKI INADAIWA. Nimejitahidi sana kufuata taratibu na kuheshimu sheria lakini tangu tar. 09 mpaka sasa NEC hawajanipa majibu ya Rufaa yangu. Sasa narudi BUKENE Nikifika nitatangaza MAAMUZI MAGUMU SANA. Hakika nipo tayari kwa lolote litakalotokea BUKENE JIANDAENI
54
93
809
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
4 years
Tweet media one
40
58
763
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
4 years
HILI NDILO BANGO LETU, YATATOKA MENGINE MAWILI WIKI IJAYO
Tweet media one
28
61
630
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
4 years
TANGAZO LA MWALIKO Ninawaalika Ndugu, Jamaa na marafiki zangu wote ndani na nje ya Jimbo la BUKENE ktk Uzinduzi wa Kampeni. Nitazindua Kampeni Tar. 21 September nyumbani ITANANA CENTRE Kata ya UDUKA. Tar. 22 KATA YA BUKENE. NB: Jamhuri ya watu wa Twitter karibuni sana BUKENE.
42
95
612
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
2 years
TANZIA Leo alfajiri nimepata Taarifa ya kushtua sana kutoka kwa Shemeji yangu kwamba Kaka yangu Julius Steven Kahumbi amefariki Dunia. INNA LILLAHI WAINNA ILLAIHI RAJIUUN
73
21
599
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
Tayari nimeshafika uwanjani hapa ni Buguruni Sheli ambapo sisi wa Route 2 tutaanzia hapa. 1. Tutapita barabara ya Uhuru watu mliopo Sokoni Ilala, Boma, Karume, China Plaza na Kariakoo 2. Barabara ya Msimbazi tutapita kwenye Kituo vya mwendokasi vya Msimbazi A na B tutakunja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
16
74
538
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
4 years
Ahsante Bro @ProfessorJayTz be blessed Kamanda
@ProfessorJayTz
Joseph L. Haule
4 years
@Lumola_Steven mgombea pekee wa Ubunge aliyerejeshwa kugombea kati ya wagombea wote walioenguliwa Mkoa wa Tabora.Kijana alipambana sana kudai Haki yake na akafanikiwa.Mpaka sasa ameshindwa kuanza Kampeni kwasababu hana pesa. #TumchangieLumola Mpesa:0769-92 92 92 au 0684-92 92 92.
Tweet media one
15
70
422
7
52
450
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
4 years
Vijana wa Mbutu wakisukuma gari kuelekea eneo la Mkutano
Tweet media one
13
44
390
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
Tayari nimewasili Dodoma mbele ya Kamati ya kudumu ya @bunge_tz Utawala, Katiba na Sheria kutoa maoni. Nitashiriki kama Naibu Spika wa Bunge la Wananchi linaloundwa na wabunge wa @ChademaTz
Tweet media one
28
61
399
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
4 years
Jimbo la Bukene ndio linaongoza kwa kuwa na majengo yasiyokamilika; zahanati na Shule sehemu kubwa hazijakamilika. Hakika Bukene kuna kazi kubwa sana ya kufanya, wananchi wanitume nije kufanya kazi.
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
4 years
Bukene msifanye makosa kijana shupavu jasiri asyeyumbishwa na wajinga tumpe kura kama aliweza kuwa kiongozi wa wasomi chuo cha sayansi mbeya na matokeo tukayaona kwanini ashindwe bukene tunatarajia kuona bukene mpya yenye mafanikio chini ya mbunge kijana @Lumola_Steven
Tweet media one
0
12
53
8
42
383
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
26 days
MUDA HUU MAWAKALA WA CHADEMA WAMEKATALIWA KUAPA MBELE YA MTENDAJI KATA YA BUKENE. Picha 2 hapo chini zimepigwa muda huu saa 3:45 asubuhi 16 July 2024 nje ya Ofisi ya Mtendaji Kata ya Bukene hao ni mawakala wa @ChademaTz kwenye Vituo 8 vya Kata ya Bukene waliokwenda kuapa
Tweet media one
Tweet media two
83
123
385
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
3 months
PORI KWA PORI NA KAKA @AdvMatata Mimi ni Kampeni Manager wa Kamanda Matata, Mgombea nafasi ya M/kiti Kanda ya Magharibi MASAA 72 YA KAMPENI Kutoka Dar mpaka Kigoma Kusini, Kasulu, Buyungu, Buhigwe, Muhambwe, Kigoma Kaskazini na leo asubuhi Ujiji na baadae tulifika Ngome ya
Tweet media one
25
45
379
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
NIMEINGIA CHUGA JANA USIKU Hapa nilipo wanapaita kwa mrefu na ndio route ambayo itaongozwa na M/kiti @freemanmbowetz tutakapoanzia maandamano. Leo inabidi ma👉 @ccm_tanzania mpeleke drones zenu mpaka kwenye nyota ya dhuha. Mpaka sasa hivi kuna nyomi hatari.
Tweet media one
Tweet media two
13
59
372
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
13 days
TAZAMA HAPA MOJA YA KIPANDE CHA HOTUBA YANGU Retweet 🔃🔃🔃 Video zingine zinakuja.
21
114
378
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
2 months
KESHO NI ZAMU YA NGORONGORO Mhe. @freemanmbowetz na Mhe. @TunduALissu watafanya Mkutano wa kwanza hapa katika Kata ya Malambo. Hamasa ni kubwa sana. Chopa itatua hapo nyuma kwenye kibendera. Barabara ya kutoka Karatu kupitia MONDULI kuja NGORONGORO ni mbaya sana.
Tweet media one
16
50
357
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
BAADA YA MVUA KUNYESHA ARUSHA Check hapa vibe la Arusha. Video 3👇👇👇👇
13
96
357
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
23 days
MC-GWA 🤣
83
64
350
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
2 years
Mama @SuluhuSamia sikia hii
51
91
338
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
3 years
Muda huu TBC1 namuona kaka yangu Fahami Huyu tulikuwa nae @ChademaTz , baadae akahamia @ACTwazalendo , hakuchukua muda akaunga mkono kilichoitwa Juhudi za Rais @MagufuliJP Yaani Fahami kageuka 100 kwa 100. Yaani yupo kwa Mama full ni kama vile hakuwahi kuunga mkono Juhudi😂 😂😂
25
26
301
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
MBEYA THIS IS TOO MUCH Mbeya itabidi muandike maelezo; 1. Kwanini mmesababisha mafuriko barabarani? Tunaona mwanzo tu hatuoni mwisho 2. Kwanini mnawatesa maCamera Man kunyanyua mikono na wanashindwa kuwachukua wote ili tuwaone na waliopo nyuma?
19
84
297
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
17 days
LEO TUTAANZA KURUSHA MATANGAZO KWENYE REDIO ZA TABORA Nitumie fursa hii kuwaalika katika Ziara ya Mhe. @HecheJohn ambaye ataambatana na M/kiti wa Kanda ya Magharibi Mhe. @AdvMatata katika ziara yake ya siku 4 Mkoani Tabora. Bukene tutafanya Mikutano mitatu jumla; Tarehe 27 July
Tweet media one
22
62
290
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
Hello @X Reporting @MwananchiNews for False Information Regarding CHADEMA Demonstration. I wish to bring to your attention two instances where @MwananchiNews provided inaccurate information about the @ChademaTz demonstration on January 24, 2024. Firstly, despite CHADEMA's
Tweet media one
Tweet media two
36
81
288
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
26 days
MUDA HUU MAWAKALA WA CHADEMA WAMEINGIA NDANI YA OFISI YA MTENDAJI KUDAI HAKI YAO. Hao ni sehemu ya mawakala wetu wameingia ndani kudai haki yao ya kukiwakilisha chama chetu kwenye zoezi la UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA. Nitaendelea kuwa-update Lakini mnaweza
Tweet media one
18
53
280
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
4 years
Kwako Shangazi @MariaSTsehai Mimi nimezaliwa January 02, ambayo ni sawa tu na December 33. Mimi siupendi mwezi January kwahiyo kuanzia leo ninakata Rufaa na ninaomba uniingize rasmi kwenye orodha ya waliozaliwa December I submit 🙏
23
4
273
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
SERIKALI KWA HILI LA THADEI OLE MUSHI HAMPASWI MKAE KIMYA. Mhe Rais, mama @SuluhuSamia Waambie watumishi wa Serikali unayoiongoza @MuhimbiliTaifa au @TaasisiMoyoJKCI au @tanpol kwa hili hawapaswi kukaa kimya watoke hata kama watatudanganya lakini watoke watuambie Thadei alikuwa
Tweet media one
38
47
271
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
2 months
Nimepata heshima ya kualikwa na @KanisaKatoliki BUKENE kama Mgeni Rasmi katika Kongamano la VIWAWA litakalofanyika Bukene Parish ambalo kilele chake ni Tar. 30 Juni 2024. Nitaongoza Harambee kwaajili ya kukuza mfuko wa Vijana. Marafiki zangu wote nitaomba michango yenu pia 🙏
Tweet media one
11
45
261
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
Dada Kiboga @JotiOfficial njoo uone comedian ndio kama hawa. Eric Omond anakuzidi kila kitu; ubunifu, uchekeshaji, exposure na pesa. Lakini ni mtu mwanaJamii kweli kweli anatimiza wajibu wake wa kiraia sawa sawa. Kwanza siku hizi umeshuka hata hauchekeshi kama zamani. Wewe
@ayubu_madenge
Ayubu Madenge
7 months
Eric Omondi anaendelea kuigusa jamii. Jana amempa Tsh Milioni 10 Mama ambaye paa la nyumba yake liling’olewa na mwenye nyumba baada ya kulimbikiza deni la kodi Tsh 92,000. Omondi amemlipia mama huyo kodi ya mwaka mzima kwenye nyumba nyingine na akampa pesa ya kufanyia biashara
Tweet media one
81
87
2K
28
43
259
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
Tayari tumeshaingia Ukumbini kushiriki zoezi la kutoa maoni mbele ya Kamati ya kudumu ya Bunge ya Utawala, Katiba na Sheria. Kushoto kwangu ni Kamanda @Twaha_Mwaipaya , Mhe. Hadija Maula na mama Rose Katibu wa Chama Mkoa wa Pwani Kaskazini.
Tweet media one
9
39
256
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
TAYARI NIPO HATA ST. PETER'S KANISANI 😭😭😭 Nimekuja kujumuika na familia na wadau kushiriki ibada ya mazishi ya kaka Thadei Ole Mushi😭😭😭 Baada ya hapa ni safari kwenda Uru Kitandu Chombo Moshi kumzika ndugu yetu 😭😭😭😭
Tweet media one
Tweet media two
12
26
241
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
UGUMU WA MAISHA TANZANIA NI MPANGO WA @ccm_tanzania SIO MPANGO WA MUNGU #Maandamano #Route2Buguruni
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
72
243
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
Muda huu ndio narudi mkubwa, nimetimiza wajibu wangu wa kiraia alhamdulillah 🙏🤲. I am confident that Madam President Hon. @SuluhuSamia will acknowledge our movement and refrain from presenting three election-related bills to the @bunge_tz . This protest is poised to foster
@HKigwangalla
Dr. Hamisi Kigwangalla
7 months
Ila dogo @Lumola_Steven mnyama sana, ukaona ujiwahi mapemaaa na kamanda mwenzako! 😀🤛🏾🙌🏾. Kweli we mjukuu halisi wa Chief Lumola Machimu! 💪🏾
Tweet media one
107
47
1K
9
26
221
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
Leo Tar. 02 January 2024 ni birthday 🎂 yangu. Nilizaliwa 02 January 1990. Leo nimetimiza miaka 34
Tweet media one
57
23
221
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
BADO MASAA MATATU NA NUSU Mhe. Spika @TuliaAckson Kwa mujibu wa Press release ya Bunge ya Tar. 29 January 2024 mlitutangazia umma kwamba mtaanza vikao vya Mkutano wa kumi na nne ambao utamalizika kesho Tar 16 February 2024. Naibu Waziri wa Nishati aliutangazia Umma kwamba
Tweet media one
Tweet media two
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
BADO MASAA 8 IFIKE TAR. 16 FEBRUARY Kwa kumuangalia usoni Naibu waziri anaonekana hana baya, mtu wa peponi kabisa. Naibu Waziri Judith alisema ifikapo February 16, Bwawa la JNHPP litaanza kuzalisha MG 215 za awali na tatizo la umeme litakwisha. Mwambieni Naibu waziri wa
Tweet media one
Tweet media two
5
8
17
26
58
212
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
Nilipopata fursa ya kufafanua hoja ya kukifuta kifungu cha 22 cha Muswada wa Sheria ya @TumeUchaguziTZ Kifungu cha 22 kinataka Bajeti ya uendeshaji wa shughuli za Tume zitoke katika Bajeti ya Serikali. Mapendekezo yangu fedha zote za Tume zitoke kwenye mfuko Mkuu wa Hazina ya
20
54
210
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
11 months
Happy birthday Kaka @freemanmbowetz
Tweet media one
2
21
206
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
2 years
@ayubu_madenge Ahsante Kaka Ayubu 🙏🏼
15
5
200
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
2 months
@ExMayorUbungo Hawa madada poa wanaweza kuja kuwa chachu ya movement huko mbele ya safari. Wana kitu hawa
20
7
191
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
3 years
Leo tunaleta Shahidi wa 3 kwenye Kesi Ndogo. Ipo hivi 👇🏻 Shahidi wa 1 wa Utetezi alikuwa ni Komando Adamoo Shahidi wa 2 Mohamed Ling’wenya ni Mwalimu wa Adamoo Shahidi wa 3 (......) hatumjui sasa sijui ni Mwalimu wa Ling’wenya? Usipitwe na updates za leo.
Tweet media one
9
18
185
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
5 months
LEO NIMETUKANA MATUSI YOTE MAKUBWA MUNGU ANISAMEHE🙏 Nilikuwa kwenye Mataa ya Sayansi na washkaji ile tunataka kuvuka tu tukasimamishwa tumekaa kwenye foleni kwa zaidi ya nusu saa. Hasira ikawa inazidi kupanda nilipoona sare za CCM nikahisi labda ni msafara wa mwenezi wa CCM
Tweet media one
13
18
186
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
Hapana Hussein ni mzaliwa kabisa kazaliwa Nzega kasoma Kitongo Shule ya Msingi. Nafikiri si sahihi kuweka picha za watu kwasababu ya rangi zao na kuwahusisha na wakimbizi. Japo sikuridhishwa na majibu ya Waziri @HusseinBashe wakati akijibu hoja ya Kaka @IAMartin_ Kesho baada ya
@HarryGodfirst
Harry.
7 months
CDF amesema kwamba wapo watu ni wakimbizi na wameteuliwa serikalini kama VIONGOZI ! Eeeeeh
Tweet media one
81
61
1K
50
29
179
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
4 years
Muda huu nimewasili hapa njia panda ya kwenda Bukoba na Tinde (Kagongwa). Kumpokea Mhe. Salumu Mwalimu, Mgombea wa nafasi ya Makamu wa Rais wa JMT. NITAMPELEKA BUKENE KATI AMBAPO ATAFANYA MKUTANO MKUBWA WA HADHARA. Kata ya Igusule, Mwamala na Itobo jiandaeni kumpokea mgeni wetu
Tweet media one
8
32
179
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
5 months
TANZIA Kufuatia kifo cha Mzee Sabodo kilichotokea leo. M/kiti wa CHADEMA Taifa Mhe. @freemanmbowetz amelazimika kukatisha shughuli zake Tanga ili aje kujumuika na familia katika mazishi. Inna lillahi wainna illayhi rajiuun
3
34
173
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
11 months
Happy Birthday Brother @zittokabwe Nimeipata hii picha mbali sana tulipiga miaka 10 iliyopita katika Viwanja vya Town School Tabora Mjini. Ilikuwa Tar. 27 April 2013 Siku niliyojiunga CHADEMA.
Tweet media one
9
23
175
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
5 months
@IAMartin_ Mimi ni mjumbe wa Mkutano Mkuu wa @ChademaTz Taifa 2024-29. Nafasi ambayo nawakilisha kutoka Jimbo la Bukene. Kila ninaposikia ma👉CCM hayamtaki Mbowe kuwa M/kiti ndio wananihamasisha kuona umuhimu wa Mbowe kuendelea kuwa M/kiti wa Taifa wa chama chetu. Endapo M/kiti
24
23
174
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
Madam President Mama @SuluhuSamia ukipata muda naomba upitie hii video tafadhali 🙏. Ahsante
6
32
166
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
26 days
HATIMAYE MAWAKALA WETU WA CHAMA WALIAPISHWA Tutaendelea kuweka updates zote za mchakato huu. Hongera sana Njile Nkumba na wenzako kwa ujasiri wa kudai Haki yenu. Ni vema sasa hatua stahiki zichukuliwe kwa Mtendaji husika ili tabia kama hizi zisijirudie za kuwabagua
10
46
163
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
THE LAST VIDEO 😔 Wakati jeneza likiingizwa kanisani. R. I. P. Kaka Thadei😭 #BurianiKaka
14
19
158
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
9 months
ITOBO LEO Mikutano ya Shukrani Jimbo la Bukene Kura zilitosha, Tatizo @TumeUchaguziTZ
Tweet media one
2
27
159
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
9 months
Hili ndio Bango la Shukrani Bukene Zoom Picha kuziona Kata 17 za Jimbo la Bukene Leo ilikuwa Zamu ya Kata ya Mwamala Kesho tutakuwepo Kata ya Itobo
Tweet media one
11
33
155
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
Ahsante sana Mwanza Maandamano haya yataishia Furahisha ambapo Viongozi wakuu wa Chama watafanya Mkutano mkubwa wa Hadhara Kama upo Mwanza ukikosa maandamano kwasababu za kazi basi hakikisha haukosi Furahisha kwenye mkutano wa Hadhara Tutawela Link ya mkutano kwa ambao hampo
@ChademaTz
CHADEMA Tanzania
6 months
Msafara wa Buhongwa ukiwa tayari kuanza maandamano ya amani. #VuguvuguLaKudaiHaki
12
57
286
1
34
149
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
TUNAENDELEA KUMUHESABIA SIKU ZAKE Kwa kumuangalia usoni Naibu waziri anaonekana hana baya, mtu wa peponi kabisa. Naibu Waziri Judith kasema ifikapo February 16, Bwawa la JNHPP litaanza kuzalisha MG 215 na tatizo la umeme litakwisha. kila siku nitam-post Bado siku 7
Tweet media one
Tweet media two
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
TUNAENDELEA KUMUHESABIA SIKU ZAKE Kwa kumuangalia usoni Naibu waziri anaonekana hana baya, mtu wa peponi kabisa. Naibu Waziri Judith kasema ifikapo February 16, Bwawa la JNHPP litaanza kuzalisha MG 215 na tatizo la umeme litakwisha. kila siku nitam-post Bado siku 8
Tweet media one
Tweet media two
2
12
71
21
34
141
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
19 days
@IAMartin_ Mimi nilishayashtukia haya MaTeam ya Simba na Yanga kitambo sana. Sijihusishagi kabisa na hizo Team, sizifuatilii na wala sihitaji kutania au kutaniwa na mtu yeyote. Wanajiita watani wa Jadi ni Ujinga tu. CCM wamekuwa wanazitumia hizo Team kuzidi kuwapumbaza watanzania
9
15
135
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
3 years
SERIKALI ya @ccm_tanzania KUWENI WABUNIFU Hii Kesi ya Mbowe ingekuwa inasikilizwa Uwanja wa Taifa halafu kiingilio elfu 5. Serikali ingetengeneza pesa mingi sana. Nimefika saa 1:45 asubuhi nimekuta ndani pameshajaa. Tupo tu hapa nje #Justice4Mbowe #MboweSioGaidi
Tweet media one
3
13
136
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
Madam Speaker @TuliaAckson Cc to Madam President @SuluhuSamia and @IPUparliament I Lumola Steven Kahumbi, a Deputy Speaker of the People's Parliament formed under @ChademaTz I am writing to bring to your attention Madam Speaker a matter of concern regarding my recent appearance
7
36
134
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
NILITOA USHUHUDA MBELE YA KAMATI YA BUNGE. Moja ya wajumbe wa Kamati ni Ndg. Selemani Zedi Mbunge wa @ccm_tanzania ambaye ndiye alikuwa mshindani wangu Jimbo la Bukene 2020. M/kiti wa Kamati akaamua kutuumanisha mimi na mpinzani wangu. Pia nitumie fursa hii kuweka
28
32
129
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
@ayubu_madenge Kambona angekuwa ndiye Baba wa Taifa nchi yetu ingekuwa mbali sana leo. Nyerere aliendekeza uCCM sana akajenga tabaka la watu wachache lenye kuhodhi kila kitu. Shida zote tunazopitia leo msingi wake kaujenga Nyerere. Alifika hatua mpaka akatamka bila ya CCM nchi itayumba
20
20
125
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
2 months
@AbroadTanzania Madam Spika @TuliaAckson Kwa mara kadhaa wewe umekuwa ukiitetea Serikali wazi wazi ndani ya Bunge kana kwamba wewe ni Waziri Mkuu. Hakuna Spika kabla yako alikuwa mnazi kwa CCM na Serikali yake kukufikia wewe. Tangu umekuwa Spika Uwajibikaji wa Serikali umeshuka sana.
19
13
123
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
Kwa kumuangalia usoni Naibu waziri anaonekana hana baya, mtu wa peponi kabisa. Naibu Waziri Judith kasema ifikapo February 16, Bwawa la JNHPP litaanza kuzalisha MG 215 na tatizo la umeme litakwisha. kila siku nitam-post Bado siku 2 kuelekea February 16
Tweet media one
Tweet media two
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
Kwa kumuangalia usoni Naibu waziri anaonekana hana baya, mtu wa peponi kabisa. Naibu Waziri Judith kasema ifikapo February 16, Bwawa la JNHPP litaanza kuzalisha MG 215 na tatizo la umeme litakwisha. kila siku nitam-post Bado siku 3 kuelekea February 16
Tweet media one
Tweet media two
6
18
47
7
28
120
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
4 years
KUHUSU MAJIBU YA RUFAA JIMBO LA BUKENE. Muda huu nimetoka Ofisi za Tume Dar es salaam. Nimekutana na Mkurugenzi wa NEC Zanzibar kasema👇🏻 “Bado Tume wanaendelea na Vikao hivyo nitapata majibu kuanzia kesho”. -NEC DODOMA walisema majibu yapo NEC Dar -NEC Dar wanasema majibu bado
10
13
121
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
Hello Kaka @zittokabwe it seems you've grown weary now days kaka🥲. You're not the same inspirational figure we've known for the past 2 decades, the one who ignited our passion for opposition politics in our country, especially me. You were the driving force behind my transition
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
6 months
Huyu chawa hatari sana ni mtu hatari katika ukuaji wa demokrasia. Miswaada ile ya kilaghai na kitapeli huyu ngongwe anasema ni sheria nzuri na chama chake cha kitapeli kimeridhishwa.
Tweet media one
33
23
144
16
27
122
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
4 years
Wananchi wakiwasindikiza Mawakala #Bukene #Lumola
7
22
118
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
4 years
SHE HAS MADE MY DAY 🤣🙌🏻 Huyu Binti anagombea uenyekiti wa IDARA Chuoni kwake. Actually simjui wala hanijui ila nimecheka sana, imagine bango lake linasema GRACE F. MWAKATUNDU FOR CHAIRMAN 😂 MFUMO DUME UTAISHA KWELI #MashangaziKaziMnayo
Tweet media one
34
7
116
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
MFIKISHIENI HUU UJUMBE CHA-LAMI-LA Uki-taka kitu halafu usikipate ukaki-taka tena na tena unakuwa taka-taka 1. Sisi ni taka-taka hajakosea tuna-taka katiba mpya 2. Tuna-taka minimum reforms kuwezesha kutunga sheria zitazotupa Uchaguzi huru na Haki 3. Tuna-taka Serikali ya
Tweet media one
9
30
115
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
TUNAENDELEA KUMUHESABIA SIKU ZAKE Kwa kumuangalia usoni Naibu waziri anaonekana hana baya, mtu wa peponi kabisa. Naibu Waziri Judith kasema ifikapo February 16, Bwawa la JNHPP litaanza kuzalisha MG 215 na tatizo la umeme litakwisha. kila siku nitam-post Bado siku 4
Tweet media one
Tweet media two
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
TUNAENDELEA KUMUHESABIA SIKU ZAKE Kwa kumuangalia usoni Naibu waziri anaonekana hana baya, mtu wa peponi kabisa. Naibu Waziri Judith kasema ifikapo February 16, Bwawa la JNHPP litaanza kuzalisha MG 215 na tatizo la umeme litakwisha. kila siku nitam-post Bado siku 5
Tweet media one
Tweet media two
6
13
50
17
46
114
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
2 months
Napenda sana vile Makamu @TunduALissu ana-address mambo haya muhimu. Anatupa somo kubwa sana ✌️ Ukicheka na nyani unavuna mabua. Ni lazima tuwe aggressive kweli kweli yaani. Hakuna kuruhusu ujinga wowote katika hatua yoyote ya mchakato.
@ChademaTz
CHADEMA Tanzania
2 months
"Safari hii atakaye enguwa mgombea wetu basi na sisi tusikubali aishi kwenye vijiji vyetu" Tundu Lissu akizungumza na wakazi wa Kata ya Misughaa Jimbo la Singida Mashariki.
27
113
611
4
29
113
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
@MadarakaNyerere Kaka Madaraka Baba yenu alikuwa mtu wa kupigani haki mstari wa mbele kabisa, asiyeogopa. Hakuwahi kunyamazia ujinga lakini nyinyi watoto wake mpo mpo tu. Hakika Mwalimu hakuwa na bahati kwenye uzao wake hana hata mjukuu aliyerithi karama zake hata robo tu.
19
8
115
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
Leo ni siku ya mwisho ya wadau kutoa maoni mbele ya Kamati ya @bunge_tz ya Utawala, Katiba na Sheria ▪︎ Katibu Mkuu Mhe. @jjmnyika amewasili Jijini Dodoma jana na tayari ameshaingia Ukumbini msikae mbali kusikia mchango wa @ChademaTz ▪︎ Kwenye picha mbele ya siti
Tweet media one
6
16
111
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
20 days
MCHUNGAJI MSIGWA KAKIMBIA MJADALA Awali aliahidi kwamba leo saa 2:00 usiku angekuja katika Room ya 'WATANGANYIKA HOUSE' katika mtandao wa Club House 🏡 lakini mpaka sasa ni 3:20 usiku hajatokea nilikuwa nina maswali yangu matatu kwake.
Tweet media one
8
24
104
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
9 months
LEO NDIO LEO BUKENE KATI STAND UP👮🙅‍♀️ Leo Tar. 16 Nov 2023 Nitakuwepo Makao Makuu ya Jimbo la Bukene. ZIARA YA SHUKRANI Ujumbe wa Shukrani unasema 👇👇👇👇 Kura zilitosha, Tatizo @TumeUchaguziTZ Leo tutazungumza report ya CAG na Ufisadi wa Serikali ya @ccm_tanzania
Tweet media one
7
24
103
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
9 months
ITOBO STAND UP Baada ya Mwamala kesho ni zamu ya Itobo. Tutafanya Mkutano pale kwa Mafundi Pikipiki.
Tweet media one
8
21
104
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
JANA ILIKUWA SIKU NZURI SANA NA MR. NICE NIMEIMBA NA KUCHEZA MUDA WOTE. Nitaeleza kidogo... Ukisikia watoto walikuwa wanampenda Mr. NICE basi watoto hao ndio sisi hasa tuliozaliwa miaka ya 90's. Vile nilikuwa nikisikia mdundo wa Fagilia basi hata kama nakula nitaacha kwanza,
6
15
103
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
9 months
LEO NI KATA YA MBUTU Mikutano ya Shukrani Jimbo la Bukene (Kura zilitosha, tatizo @TumeUchaguziTZ ) Hawa Jamaa wa Mbutu walishaga kikataa @ccm_tanzania . Baadae nitawawekea video muone Vibe la Mbutu 2020. Hawa Jamaa ni hatari hawaogopi hata @tanpol I love you Mbutu ✌️
Tweet media one
10
23
102
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
3 years
HAPPY BIRTHDAY TO ME Leo tar. 02 January ni siku yangu ya Birthday Nimeitumia hii siku kwenda kumuona M/kiti wangu Gerezani Ukonga. Baada ya kumuona Makamanda waliniimbia This is @ChademaTz Love✌️ @GisunteNice umejua kum-replace Lucy Shayo
19
13
100
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
11 days
WAPI MAUA YANGU Miaka 11 iliyopita nikiwa napigania Katiba Mpya kwenye Nchi yangu na bado nimesimama imara naendelea kupiga spana 🛠🔧 ma👉ccm hapa X Kipindi hicho sifugi nywele, nanyoa fresh ya unga 🤣 Hoja yangu nilikuwa nataka UKAWA tungekuwa na M/kiti mwenza kwenye Bunge
2
19
95
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
Hawa watu wawili ni hatari sana
@TheRealJongwe
Joseph Mbilinyi
7 months
Idd Amin alipoondolewa madarakani aliondoka na lieutenants wake kina Maliyamungu…Jiwe kaondoka katuachia kina Maliamungu wake bado wanatamba kwenye mfumo… Na hapa wamekutana, ni kama wanakumbushana walivyotesa Watanzania enzi zao… #NeverAgain
Tweet media one
118
123
2K
5
11
97
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
@IAMartin_ CCM wana tafsiri yao ya UZALENDO CCM hudhani kwamba mtu kumtetea Rais au Serikali ni UZALENDO CCM hudhani kwamba kumkosoa Rais au Serikali ni kutokuwa MZALENDO UJINGA na UMASKINI kwao ni mtaji na ni sifa
4
12
96
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
2 months
Hapo ndio Ololosokwan Ndugu zetu wamasai wanasema kutakuwa na mafuriko. Hamasa ni kubwa sana
Tweet media one
5
8
94
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
TUTAANZA KUHESABU MASAA IMEBAKI SIKU MOJA. Kwa kumuangalia usoni Naibu waziri anaonekana hana baya, mtu wa peponi kabisa. Naibu Waziri Judith kasema ifikapo February 16, Bwawa la JNHPP litaanza kuzalisha MG 215 na tatizo la umeme litakwisha. kila siku nitam-post Bado
Tweet media one
Tweet media two
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
Kwa kumuangalia usoni Naibu waziri anaonekana hana baya, mtu wa peponi kabisa. Naibu Waziri Judith kasema ifikapo February 16, Bwawa la JNHPP litaanza kuzalisha MG 215 na tatizo la umeme litakwisha. kila siku nitam-post Bado siku 2 kuelekea February 16
Tweet media one
Tweet media two
7
28
120
8
32
89
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
Spika @TuliaAckson umekuwa ni Spika wa ajabu sana na unatia aibu sana. Unaipongezaje Serikali katika hali kama hii? 👉Nyama, 👉Samaki na 👉Maziwa watu wanatupa wengine wamepoteza zaidi ya robo tatu ya mitaji yao. Serikali imeji-commit mpaka mwezi March wewe Spika unaipa muda
8
31
89
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
9 months
Leo Tar. 15 November 2023 ni zamu ya MAMBALI MIKUTANO YA SHUKRANI Ujumbe wa shukrani unasema 👇👇👇👇 Kura zilitosha tatizo @TumeUchaguziTZ Mkutano utafanyika eneo la Madukani.
Tweet media one
1
15
88
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 years
@zittokabwe CAG usiende mbele ya hiyo Kamati ili tumuone Ndugai atafanya nini
5
2
86
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
2 months
@IAMartin_ Hii nchi bhana ukiiba hela za Serikali sio kosa ole wako ulikosee Bunge utashikishwa adabu mara moja. Kuzungumza na watanzania ni kosa kubwa kuliko kuwaibia watanzania.
2
6
87
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
5 years
@HecheJohn NACHUKIA SANA MISIMAMO YA KINYONGE KAMA HUU WA HECHE. Ujue Meko tumempa kichwa sisi wenyewe. Badala hata tuseme tutakwenda mahakamani kufungua kesi, Heche anasema tutamchangia Lissu. Kesho na wewe ukifutiwa tuseme tena tutakuchangia? Let's challenge them to the court
11
2
83
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
9 months
LEO NITAKUWEPO KATA YA NYUMBANI Kata ya UDUKA ndio nyumbani kwetu alipozaliwa Baba na Babu yangu. Ziara ya Shukrani Awamu ya Kwanza itakamilika Leo Nyumbani Itanana. Kura zilitosha, Tatizo @TumeUchaguziTZ Baadae nitachapisha matokeo ya Tume muone hali ilivyokuwa.
Tweet media one
5
16
86
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
3 years
@jamilamrisho @kigogo2014 Kwa akili zako umeona hiyo ni barua sindio, inabidi tukurudishe darasa la 6. Haya ndio madhara ya watu wa Instagram kuja kurukia mijadala ya Twitter
16
0
83
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
9 months
TABORA @ChademaTz tunaendelea Leo baadhi ya watia Nia kwenye Nafasi ya Mwenyekiti na Katibu wa Baraza la Uongozi Mkoa Kale ka-wimbo ka kina mama wa BAWACHA kamesikika vizuri kwenye hii video wakati wakiwapokea Watia Nia kwenye Zoezi la Kurejesha Fomu. Sikiliza hapa wimbo 👇
2
20
82
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
Ibara ya 10 ya Katiba ya JMT ya mwaka 1977 ilifutwa mwaka 1992. Ibara hiyo ndio ilikuwa inatoa nafasi na mamlaka kwa chama dhidi ya Serikali. Kufutwa kwa ibara hiyo kuliondoa nafasi na mamlaka ya chama dhidi ya Serikali. Baada ya kufutwa ibara ya 10 badala yake ikatungwa Sheria
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
6 months
🙄🙄🙄 #Tanzania kichwa cha mwendawazimu! The head of propaganda of ruling party CCM, Makonda’s convoy has just been involved in a road accident! He is moving with a dozen (minimum) vehicles that include GOVERNMENT cars! He has no position in govt! IMPUNITY! yet 💲poured in from
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
140
139
931
8
28
81
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
6 months
LEO KATIBU MKUU AMENIKOSHA SANA JINSI ALIVYOTIRIRIKA. Bila shaka kuna kitu kizuri kitatokea🙏 Bofya Link hapo chini kufuatilia hotuba ya Katibu Mkuu @ChademaTz Mhe. @jjmnyika . Ni moja ya hotuba bora sana pia nimependa maswali ya wanahabari na majibu ya KM 👇 👇 👇 👇
0
18
81
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
5 months
@AbroadTanzania What I know "CCM ni ile ile" lakini naona sasa hivi baadhi ya watu mnamlinganisha Rais Samia Vs Magufuli na watu wengine wanamsifu Magufuli ambaye kwa hakika shida za sasa kwa asilimia 75 source ni yeye. CCM haijawahi kutupa Uongozi CCM ni ile ile
19
5
79
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
9 months
Uchaguzi wa @ChademaTz Tabora na Hamasa zinazoendelea. 👇👇👇👇 Kuna wimbo wameimba hao kina mama wa BAWACHA kuhusu Tabora naupenda sana. Hao ni kina mama wa @BawachaTaifa wakimpokea Mtia Nia wa Nafasi ya M/kiti wa Mkoa katika Baraza la Vijana @bavicha_taifa akirejesha fomu.
3
16
82
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
2 years
@JotiOfficial @SuluhuSamia Nimekuwa shabiki wako kitambo sn lakini leo umeniDisappoint sana Nina Unsubscribe channel yk YouTube •Character yako ya Kiboga inadhalilisha wanawake •Character ya Andunje baadhi ya contents ni Child Abuse Tutapitia kazi zako zote YouTube & we’re going to report u accordingly
8
12
82
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
5 years
@kigogo2014 @mwigulunchemba1 Rais kugawa hela ni poor management of public finance, pia kuna widespread corruption, and an underdeveloped legal framework that interferes with regulatory efficiency and weakens the rule of law. So nothing to proud #Nchemba usijipendekeze 2020 hapo Iramba Magu anampa Kitila
7
5
80
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
7 months
NAFURAHI HII VIDEO IZIDI KWENDA VIRAL 1. CCM kupitia propaganda hii waliyoitengeneza wanatusaidia kutangaza Katiba Mpya. Naomba re-tweets ziwe nyingi Katiba Mpya ni sasa. 2. Angalie kwa makini hii video kuanzia sekunde ya 3 mpaka ya 5. Huyo Punga wa kiume kavaa T-shirt kwa
18
24
80
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
3 years
Tazama Familia yake aisee
4
10
74
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
10 months
Aisee Nimewasikiliza Dr. Slaa na @mdudechadematz matendo wanayofanyiwa Mwanza hayakubaliki hata kidogo na ni kinyume na Haki za Binadamu. 1. @tanpol wanawafuatilia kila wanapoelekea. 2. Wanazuiliwa kupewa Huduma za Kijamii kila wanapoenda wanaambiwa waondoke.
Tweet media one
2
28
77
@Lumola_Steven
Lumola Steven Kahumbi
5 years
Nilirudisha Fomu, kesho nitahudhuria zoezi la Usaili Nimetia Nia kugombea nafasi ya Mratibu wa Uhamasishaji BAVICHA Taifa 2019-2024
Tweet media one
13
7
72