Harry. Profile Banner
Harry. Profile
Harry.

@HarryGodfirst

2,848
Followers
979
Following
17,438
Media
89,204
Statuses

A believer✝️an Athlete,A responsible citizen. John17:3 Now this is eternal life:that they know you the only true God,and Jesus Christ,whom you have sent.

🌍
Joined April 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Tungekuwa na vyombo vya habari Timamu wangetafuta nafasi usiku na mchana kuhoji Wabunge/Mawaziri,juu ya jambo kama la kodi.Kwa nini raia wa kawaida ndio anakodi lukuki na sio Mbunge/Waziri mwenye mshahara na posho nyingi.Lakini tizama content za local media ni habari za aibu tu.
Tweet media one
103
286
2K
@HarryGodfirst
Harry.
8 months
Wanu Hafidh Ameir mtoto wa Raisi Samia.
Tweet media one
151
65
1K
@HarryGodfirst
Harry.
9 months
CDF amesema kwamba wapo watu ni wakimbizi na wameteuliwa serikalini kama VIONGOZI ! Eeeeeh
Tweet media one
81
61
1K
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Hakika nchi ilipata TAPELI wakati ule...🚮😤
Tweet media one
264
46
968
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Naamini mliwahi kusikia Tawala au Viongozi wanajitengenezea mirija ya Ulaji hata ikitokea wametoka MADARAKANI au WAMEKUFA basi familia zao zitaendelea kunufaika vizazi na vizazi. Ndio hiki alichokitengeneza SAMIA na DP WORLD.Hata akitoka kina Mwanu Hafidh Ameir wataendelea kula.
Tweet media one
41
73
946
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Nakumbuka maneno ya @freemanmbowetz Alipozungumza na Diaspora alipowatembelea MAREKANI mwaka jana alisema"...ndani ya CCM zimejengwa DYNASTIES(tawala)..." Sasa mnaona kinachofanyika watanzania...!? MKE- SPIKA MUME- MKURUGENZI EWURA
Tweet media one
Tweet media two
91
93
935
@HarryGodfirst
Harry.
9 months
SAIDO NTIBAZONKIZA NITAIBA ULIZOBAKIZA
Tweet media one
Tweet media two
31
90
932
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
IGP Mstaafu alikuwa analipwa Mil.21,600,000 kwa mwezi kutoka kampuni ya ACACIA. Hao ndio mnataka wawatetee makoplo ambao sare za jeshi zimechakaa, maslahi mabovu na wanaishi kota chafu na mbovu. Ukiona RUSHWA kwenye MAKAMPUNI haya ya MADINI fahamu SERIKALI nayo inahusika.
Tweet media one
Tweet media two
61
173
884
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Jenerali Ulimwengu kwenye #MariaSpaces ya wiki iliyopita alisema Aliogopa endapo Mrema angekuwa Raisi mwaka 1995 sababu alikuwa ni mtu mwenye tabia kama za MAGUFULI.Kwa ufupi ni watu waliokuwa na matatizo ya Akili.Tumshukuru Mungu tarehe 17.Machi.2021 Mungu aliingilia kati.
Tweet media one
Tweet media two
64
47
628
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Imagine huyu alikuwa ni Raisi, wakati viongozi wengine wa dunia wanaumiza vichwa kutafuta chanzo na suluhisho la #covid19 yeye aliamua kwenda kupima MAPAPAI,FENESI na OIL CHAFU kama vina #covid19 . Mungu aturehemu tusipate watu watu wa aina hii kwenye Mamlaka.
Tweet media one
255
58
521
@HarryGodfirst
Harry.
7 months
Hongera Wakili Oleshangay @Oleshangay
Tweet media one
10
66
535
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Ila hii picha ya KICHOKOZI 😂😂😂😂. Mmpetita kabisa kwenye jengo lao. Hii route(njia) lazima ameipanga Mchungaji Peter MSIGWA😂😂
Tweet media one
11
28
516
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Hatuna WATAWALA wanaotaka UTAWALA BORA na UTAWALA WA HAKI. Said Hussein Massoro ameteuliwa 03.Januari.2023 aliteuliwa hata MWAKA mmoja hajamaliza. Ofisi nyeti ya USALAMA wa TAIFA kama hii inachezewa kama Ukuu wa Wilaya au katibu mwenezi wa CCM. Mtawala mwenyewe wa hovyo.
Tweet media one
Tweet media two
17
38
509
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Huyu ATHUMANI DIWANI alikuwa mtu wa hovyo sana kama MKURUGENZI WA IDARA YA USALAMA wa TAIFA. Kazi ile inahitaji Weledi wa hali ya juu na sio mambo ya uswahili kama aliyokuwa akifanya.Uliumiza wengi. @SuluhuSamia huyu DIWANI ungempa hata UBALOZI huko middle East au URUSI.
Tweet media one
47
17
480
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
I hope that one day all Activists,Journalist,Opposition leaders, CSOs , students ,Spiritual Leaders all stand and agree on fighting for what is right once and for all Just like these people are doing right now.👏
Tweet media one
19
91
428
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Eric Omondi impersonating President Elect William Ruto.....😂😂😂😂😂
39
78
418
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Mnamkumbuka huyu RAMADHANI KAILIMA alikuwa TUME YA UCHAGUZI ya 2020 na kina. Mahera?Walipofanikiwa kupora Uchaguzi na kuiweka CCM Madarakani yy akapewa Unaibu K/Mkuu Wizara ya Ndani na MAGUFULI.Leo @SuluhuSamia amemrudisha kuwa BOSI Tume ya UCHAGUZI.Naamini Mnajua kinachofuata.
Tweet media one
47
49
411
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
@KTNNewsKE A polite notice: Mandonga is only a boxing fanatic he's not a professional boxer kindly do not hurt or kill him, we need that man back home alive.😂😂😂😂😂
8
19
375
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Je, BALOZI Ali Idi Siwa ameanza kazi mara moja kwa Utekelezaji !? Mnaendesha NCHI kihuni sana aisee @SuluhuSamia . Ndumbaro ndio anasema WATANZANIA 50% hawaijui KATIBA na hasa HAKI za BINADAMU...kwa staili hii mnataka muwaelimishe nini !? WAHUNI ninyi WARUDISHENI.
Tweet media one
9
74
366
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Nimemskiliza Waziri wa Nishati hapa @JMakamba anasema "...ENDAPO mvua zitanyesha wanatarijia Bwawa litajaa na umeme utakuwa wa Uhakika.."😳 *Sasa kuna maana gani kuwekeza Trilioni 6.5 kwenye kauli za ENDAPO...?Miradi ya nishati mbadala ndio ya KUDUMU Jua & Upepo.HUU NI MZAHA.
Tweet media one
46
43
346
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
A murderer in STATE HOUSE
Tweet media one
19
35
329
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
CDF Jacob J.Mkunda anaona yanayoendelea NIGER,BURKINA FASSO,MALI.Anamshauri nn @SuluhuSamia na hasa kwenye SAKATA hili la BANDARI ?Au anaambiwa akae mbali na masuala ya siasa,'anakatiwa FUNGU 💰' pamoja na WAKUBWA wengine wanatulia. Wenzetu wananyolewa sisi tunafuga RASTA.
Tweet media one
Tweet media two
40
43
317
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Padri Kitima anasema Wao kama watumishi suala la #Ngorongoro walilifuatilia na hata wale wakazi wengine ambayo idadi yao ni 2000 walikimbilia Kenya.Kulikiwepo na matumizi ya nguvu na wengine kuumizwa.Iweje @SuluhuSamia @KassimMajaliwa_ @OUtalii mseme zoezi lilikuwa la HIYARI?
Tweet media one
14
74
298
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Ni lini RAISI SAMIA alisafirishwa kimya kimya kama MAGENDO kwenda KENYA na umma haukupewa habari...!? 😳 Maneno ya RAILA ODINGA.
Tweet media one
34
21
295
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
"..Sema haraka Sheikh Mahmoud kuna eneo lingine ile IKULU ya Dar es salaam haina kazi sisi tumehamia DODOMA..."
Tweet media one
25
37
297
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
This is our own Benazir Bhuttor,our own Wangari Muta,Our own Maria Ressa. 'MARIA SARUNGI TSEHAI' The work she does is so Amazing. We want to give people flowers when they are alive 💐💐.👏👏
Tweet media one
19
42
289
@HarryGodfirst
Harry.
3 years
Mh @SuluhuSamia HAKI iko wapi mnayoihubiri. Reform the police force. This things are no longer bearable😢
@Apollo_Boniface
𝐀𝐩𝐨𝐥𝐥𝐨
3 years
Nashon: nitakuwa sahihi nikisema walikupa DEATH THREAT. Shahidi: ni sahihi kwa sababu niliona Moses tulikuwa naye kweli Rau Madukani alafu ajulikani alipo na wala hatupo naye, nikajua wamemuua na watanifanyia kama yeye. nilijisikia Vibaya.
37
222
2K
0
14
277
@HarryGodfirst
Harry.
3 years
Mkoa una MBUNGE,RC,DC RAS,MEYA,MKURUGENZI hawa wote ni viongozi wa mkoa mmoja bado anahitajika kuja waziri @Nnauye_Nape ndio a-emphasis hichi kiti.Kwa hiyo leo @ummymwalimu naye azunguke nchi nzima ahamasishe ujenzi wa vyoo?C'mon people. Cc @MariaSTsehai @IAMartin_ @OleMtetezi
Tweet media one
76
50
277
@HarryGodfirst
Harry.
3 years
Leo Job Ndugai au mwana mpotevu mzee wa 'taka asitake lazima aongezewe muda' 😂😂😂ameonekana jimboni kwake Kongwa katika uzinduzi wa chanjo akiwa na Waziri wa mifugo. Cc @MariaSTsehai @IAMartin_
Tweet media one
26
21
277
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Lakini MUNGU ni nani....?🙌. Alipohoji kuhusu serikali ya @SuluhuSamia kukopa Waziri KIBURI Nape Nnauye wakatengeneza figusu Gerald Hando akaondolewa EFM ,leo yuko WASAFI.
Tweet media one
13
27
274
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Mkurugenzi wa TRC ameona aungane na waimba mapambio ya kuwa #tozo ni muhimu ili aendelea kula na kuendeshwa kwenye magari ya kifahari ambayo yananunuliwa na #tozo na akaamua kumfurusha mtumishi mwenzake wa umma. Hizo nafasi ni za muda akumbuke.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
21
35
268
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Labda na sisi tuulize Je, ni sawa kwa waandishi wa HABARI na vyombo vya HABARI kutumika kuendesha propaganda za chama tawala na kuandika habari zinazoegemea mrengo wa serikali pekee ? @CloudsMediaLive Lakini pia wewe KIJA huku ulikuwa unatafuta nini kama 'MUANDISHI wa HABARI' ?
Tweet media one
Tweet media two
53
62
276
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Mtoto wa Raisi Mstaafu na Mkwe wa Raisi wa sasa wote hao wapo kwenye Wizara hizo kimkakati na wamewekwa kwa makusudi kulinda na kuvuna mali kwa Ajili ya Familia zao. Ridhiwani-Wizara ya Ardhi. Mchengerwa-Maliasili na Utalii
Tweet media one
Tweet media two
34
29
265
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Wanafunzi wengine kutoka Kiteto wakikaa kwenye matofali. Ukanda ambao kuna Utalii na Kilimo cha mazao mengi. Sababu nyingine za CCM kung'ooka madarakani.
Tweet media one
11
53
265
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
NIMEKUMBUKA HIKI KIZAA CHA KINA KINGAI Kibatala:Kazi ya Kingai ilikuwa ni nini? shahidi:ni Mkuu wa Msafara Kibatala:Adamo pale Boma Ng'ombe alikula Chakula gani? shahidi:Woteee Kibatala Sitaki wote jibu,Adamoo shahidi:Alikuwa Nyama Choma na MO ENERGY Kibatala:Nani alilipa?
Tweet media one
20
31
261
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Mbunge wa kutoka chama cha ZANU PF Chinhoyi Chidzomba nchini ZIMBABWE, baada ya kushindwa kutetea kiti chake cha Ubunge amerudi kwenye jimbo lake na kung'oa KISIMA na TENKI alilikuwa amechimba kwa ajili ya kuhudima wakazi wa eneo hilo. Afrika...😂🙌🙌🙌
Tweet media one
Tweet media two
27
35
248
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Tweet media one
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
1 year
We are 1.2 MILLION strong ✊🏽 Asanteni kwa upendo and for the great company! Let’s keep the conversation going, tuendelee na mijadala muhimu na kumbukeni - ni pamoja always 👏🏽 Na wasiotuelewa tuwaache kwa sasa ila #TutaelewanaTu Haya wapenda haki na demokrasia tutambuane F2FB 👇🏾
Tweet media one
180
252
2K
3
18
244
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
LISSU anajua kabisa mazingira sio kwamba yamebadilika ila yamepoa tu,waliojaribu kumuua wapo,sheria kandamizi zipo na watu wakusimamia sheria hizo kandamizi wengi wao wamepandishwa vyeo. @TunduALissu anakuja sababu ndani yake KIU ya kutafuta HAKI inamdai awepo hapa.KARIBU.
Tweet media one
3
47
234
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Bibi Titi hakupewa Heshima yake wakati wa uhai wake ila baada ya kuondoka CCM ndio walianza kutambua mchango wake. Dr. Salim alibaguliwa sana ndani ya Chama cha CCM, leo Mzee wa watu hawezi kutambua chochote ndio CCM wanapiga vigelegele. CCM ni WANAFIKI.
Tweet media one
Tweet media two
20
36
226
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
1.Hizi Plea bargaining zilikuwa zinaingia Akaunti ya nani....na nani alikuwa holder wa akaunti hii? 2. Hizi fedha zipo na kama hazipo nani alikuwa ananufaika na fedha hizi -Mwisho kabisa MAGUFULI alikuwa Mporaji sana...hawa ni baadhi waliokuja wazi,vipi waliokaa kimya?
Tweet media one
Tweet media two
23
30
222
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Ni kama SAMIA anapenda sana kesi za UGAIDI na UHAINI. Mwaka juzi alimpa FREEMAN MBOWE kesi ya UGAIDI, Mwaka huu amewapa kesi za Uhaini kina Mwabukusi na Mdude. Hapo ndio tufahamu kuwa IKULU tumepata MUHUNI.
Tweet media one
15
45
217
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Dkt.Wilbrod Peter Slaa "Tupige Kelele, Katiba inapatikana Kwa Kelele"
Tweet media one
19
23
217
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Mbunge wa sasa Tarime vijijini ni Mwita Waitara ila anayepambania HAKI za raia wale wanaonyanyaswa na BARRICK wakishirikiana na serikali ni Mh. @HecheJohn 👏.Hapa uaona tofauti ya kiongozi wa kweli na mtu aliyewekwa na CCM. Ni wazi Serikali inashirikiana na BARRICK kuumiza raia.
Tweet media one
Tweet media two
12
41
218
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
DEO MWANYIKA (Mb) ni Miongoni mwa maafisa waliokuwamo kwenye TASK FORCE wakila RUSHWA za kampuni ya ACACIA.
Tweet media one
Tweet media two
14
63
204
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
CYPRIAN MUSIBA wakati KIBURI kilikuwa kikimtawala,alitukana sana watu akidhani kinga ni MAGUFULI. Leo ni Majuto.
41
50
197
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
“Mkataba huu ni wa kuuza Taifa kwa ufupi tumeuzwa, Barua anayotuletea Waziri Mbarawa na Msigwa ni Barua ya Mapenzi siyo ya mkataba, ni sawa na karatasi ya chooni” Dkt. Slaa.
Tweet media one
7
41
194
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Hakuna haja yakumtaka raisi @SuluhuSamia atoe tamko yeye ndio mastermind behind the project. Anapaswa aambiwe aache. Akemewe yeye ndiye anayepora Ardhi ya wamasai wa #Ngorongoro na #Loliondo . simple msikwepeshee taarifa.
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
2 years
Viongozi wa dini wa jamii ya kiMaasai watoa tamko Namanga wataka tamko la @SuluhuSamia na zoezi kusitishwa mara moja ili waMaasai wasiendelee kuteseka! Hivi viongozi wetu wa dini wako wapi? 🙄 Thank you for the solidarity! #IStandWithTheMaasai #StopMaasaiLandGrabbing
57
155
483
5
51
186
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
"Kila raia ana uhuru wa kujua kile ambacho tume ( @IEBCKenya ) inafanya " @KennedyWandera_
4
23
185
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
CV ya Katibu wa Ulinzi wa US🇺🇸 imeonyesha uzoefu wake na namna alivyohudumu ktk Jeshi la Marekani zaidi ya miaka 40 na ndio akapata nafasi hiyo. Nape toka shule ya Msingi hadi Ubunge huoni mahali hata amesoma MICROSOFT EXCEL.Leo ni Waziri wa Teknolojia. Tulikukosea wapi Mungu?
Tweet media one
Tweet media two
40
44
186
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
"Nashindwa kutofautisha kati ya CHAMA CHA MAPINDUZI na POLISI" @germaiko
9
35
181
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Wape watumishi wa umma nyongeza ya mishahara Tsh 8,000 lakini tumia mamilioni kwenda UINGEREZA kwenye Mazishi ya Mtawala(Malkia)baada ya hapo ukaona bado Chenchi imebaki ukaona uimalizie pale MSUMBIJI kwa siku 3.Mauaji yametokea Serengeti ww unakazana na nguvu za kiume.WASTEFUL
Tweet media one
14
31
179
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
-Ripoti ya CAG mwaka wa fedha 2020/2021 IDARA ya UHAMIAJI walitengeneza VIZA feki za Tsh.Bil 2.42. -Ripoti ya CAG mwaka wa fedha 2021/2022 Polisi 'wapoteza' Tsh.Bil 4.8 👉🏻JUMLA KUU wa upotevu wa fedha idara zote ni Tsh.Bil 7.22. Sasa haya ni MAJESHI au WEZI kwenye uniform.
Tweet media one
Tweet media two
26
45
183
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
CCM inazalisha MADIKTETA. Hata huyu @TuliaAckson maye ni DIKTETA pia. Yuko pale Bungeni kulinda Maslahi ya a specific person ambaye ni @SuluhuSamia . Mwingine Kheri James kauli hazijawahi kuchukuliwa hatua zaidi kwa sasa ni DC wa UBUNGO.Hizi ni baadhi ya kauli zao za CHUKI. TULIA.
24
40
179
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Alidanganya umma kuwa afya ya MAGUFULI ni nzuri ingali mgonjwa na sasa anashiriki uporaji Ardhi na kufukuza Wamasai #loliondo yeye yuko Huru na bado ni Waziri Mkuu. @Twaha_Mwaipaya ni Mwenezi wa CHADEMA alikua ktk kampeni za #KatibaMpya Morogoro leo haonekani.Hapa ndio Tanzania😔
Tweet media one
Tweet media two
4
35
179
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
MAKOSA wanafanya WATAWALA wa HOVYO wa CCM halafu jumba BOVU tunaangushiwa RAIA. 1. MKATABA mbovu alioingia RAISI SAMIA,MBARAWA pamoja na WAARABU wa DP WORLD tukiukosa tunaambiwa Watanzania tuache UCHOCHEZI. 2. DOLA ya Marekani imeadimika RAIA tunaambiwa tunaficha dola...😤😤
Tweet media one
8
21
174
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Hakuna RAISI wa JMT ambaye hakuhusika kwenye WIZI. -MWINYI-Aliuza loliondo kwa waarabu wa OBC -MKAPA-Ununuzi wa RADA -KIKWETE-ESCROW,RICHMOND -MAGUFULI-Fedha za Plea bargain,Miti ya Stiglers Gorge,Ununuzi wa Ndege,Upotevu wa Tril.1.5 -SSH-Mabehewa ya MTUMBA,Ununuzi wa Ndege,TOZO
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
36
42
168
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Reginald Mengi enzi za uhai wake aliwahi kutaja orodha ya MAFISADI na miongoni mwa watu waliotajwa na ROSTAM AZIZ yupo.
6
73
170
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Mzee kama Sheikh Issa Ponda ndio anapaswa kuwa kwenye jopo la kupitia mfumo mzima wa HAKI JINAI sio kina Feleshi watu waliopora HAKI za watu. Safari ya mabadiliko bado ndefu mno.
Tweet media one
5
35
166
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Profesa TIBAIJUKA piga SPANA 🛠🛠🛠🛠
Tweet media one
7
28
162
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
NALAZIMIKA kuamini kuwa BISWALO ana NGUVU kuliko Raisi @SuluhuSamia . Haiwezekani TUHUMA nzito na za Namna hii na huyu bwana bado yuko OFISINI. HAIWEZEKANI.Tofauti na hapo umma uamini BISWALO & SAMIA ndio wanaufaika zaidi wa fedha hizi za PLEA BARGAIN hivyo SSH anamlinda mwenzake.
Tweet media one
Tweet media two
28
39
162
@HarryGodfirst
Harry.
8 months
Wakili @PMadeleka endelea kuishi nao hao, hata CAG aliwataja 👇
Tweet media one
1
29
159
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Unaambiwa ABDUL NONDO hata akikusalimia tu huo ndio muonekano na msisitizo anaouonyesha kila wakati....😂😂
Tweet media one
Tweet media two
36
5
156
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
SAMIA unasema unatafuta fedha kwa ajili ya Watanzania halafu ukizipata Unanunulia magoli ya SIMBA na YANGA hicho ndio watanzania wanakihitaji ? Hii nchi bado haijapata RAISI bado. What a shame ! @SuluhuSamia
Tweet media one
Tweet media two
23
33
159
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Huyu MZEE wa MSOGA wala hata hafai kusikilizwa kwa sababu MAAMUZI yake mengi ya HOVYO ndio yamechangia TAIFA kufika hapa. FAMILIA ya KIKWETE ni kama ile ya KENYATTA nchini KENYA, hawa wamehodhi maeneo makubwa sana ya ARDHI tena KIBABE. @jmkikwete APUUZWE naye ni MWIZI.
Tweet media one
18
27
159
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Ifike mahala sasa MARAISI wasishike vitabu vya DINI na kulitaja jina la MUNGU wala ALLAH wanapoapa kuingia MADARAKANI.Binafsi naona ni MZAHA na KUFANYA kwa mazoea,sababu unatakaje Mungu akuongeze ktk utawala halafu Raisi ndio unaongoza kwa kuua,Kudanganya,Utapeli.Maana yake nini?
Tweet media one
Tweet media two
10
33
156
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Right after PRESIDENT @SuluhuSamia appointed and sworn in the new ' SPY BOSS' Amb. Ali Idi Siwa,SAMIA has ABDUCTED activists and Lawyer Mwabukusi and Mdude Nyangali. CC @USAmbTanzania @AmnestyEARO @Europarl_EN @POTUS @VP
Tweet media one
3
50
154
@HarryGodfirst
Harry.
3 years
Azim Dewji amesema tuhubiri HAKI ktk jamii lakini pia anasema Raisi atasikia mengi maana maneno yatakuwa mengi asiwasikilize aendelee kuchapa kazi na pia anadai watu wako nje ya nchi wanamaisha mazuri lakini wanamkosoa Raisi.Anasahau @moodewji alipotekwa tulipaza sauti.Amesahau?
Tweet media one
32
13
150
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Ndio kwanza @SuluhuSamia ameweka PAMBA masikioni. Kelele zimezidi ameacha teuzi mezani ameona aende MALAWI kidogo. Raia tunapigia kelele MKATABA wa KIHUNI yeye anaendelea kuwapa ULAJI vibaraka wanaomsifia. Mmeona sasa kuwa UHUNI hauna Jinsia anaweza kufanya mtu yeyote.
Tweet media one
Tweet media two
13
32
154
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Wafuatao walihusika kwenye MKATABA wa BANDARI kati ya TANZANIA na DUBAI 1. SAMIA S. HASSAN- Kutoka ZANZIBAR 2.MAKAME MBARAWA-Kutoka ZANZIBAR Swali: Kule Zanzibar nani atasimamia mikataba ya Zanzibar na DP WORLD ikitokea ?
Tweet media one
Tweet media two
9
33
154
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Mliokuwa mnamsifia kuwa huyo BIBI @SuluhuSamia 'atatuvusha' leo mnaona anavyoendelea kuikanyaga katiba ya JMT. Ameenda mbali zaidi anaalika MADAKTARI kula Pilau huku akiwashikilia KIHUNI kina Dr.Slaa, Mwabukusi na Mdude.Tanzania haiwezi kusonga mbele IKULU ikiongozwa na Mwana-CCM
Tweet media one
10
57
151
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Rundo lote hili la Mawaziri wao ndio wameenda kushauriwa na RAISI.
Tweet media one
20
27
150
@HarryGodfirst
Harry.
3 years
"Sisi tumeumbwa ili tutatue matatizo ila CCM wako hapa kutengeneza matatizo" @HecheJohn #MariaSpaces #KatibaMpya
5
9
148
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Prof. Assad alikuwa mtu mwenye msimamo na hicho ndicho kilimuondoa ofisini.MAGUFULI hakutaka mtu ampigie KELELE wakati akiwa ANAIBA. Baadae akamleta Kichere.Nimponge Kichere licha ya UHUNI wa JPM bado alifanya kazi yake,ila nafahamu yapo maeneo alifokewa asiguse kabisa.
Tweet media one
Tweet media two
11
18
148
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
CDF Mstaafu VENANCE MABEYO ambaye pia ni M/kiti wa Bodi ya NCAA anawatisha Raia wa NGORONGORO kuwa hawawezi kushidana na Serikali na hawatoweza kushinda na wanampango wa kuwaondoa eneo hilo la hifadhi ili watunze eneo hilo. Hii ndio sababu napinga Wanajeshi kuwa ktk nafasi hizi.
Tweet media one
Tweet media two
24
51
146
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Mzee wangu IGP MSTAAFU ERNEST MANGU na Wewe ni Miongoni mwa watu waliokula ile Bil.2 kutoka Kampuni ya ACACIA !? 😳😳 Anyways, MAAFISA wa Wakuu wa SERIKALI ndio huwa ni DILI zao. Rejea DILI walizokuwa anakula MAGUFULI na BISWALO kwenye kesi za PLEA BARGAIN.
Tweet media one
Tweet media two
3
45
150
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Nadhani KATIKA kipindi ambacho Jeshi la Polisi watafanya kazi yao kutokana na PGO ni kipindi hiki kwenye MIKUTANO ya CHADEMA....kazi wanayo😂
@KolnerioO
Kolnerio Frances Odongo
2 years
Usalama umezingatiwa
13
43
245
10
30
147
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
SAMIA yeye akisikia mikikimiki ya Nchi na hasa hili joto la MKATABA wa BANDARI wanamtafutia kasafari aende nje ya Nchi akapumzike. Mwambieni akirudi joto litakuwa limeongezeka zaidi. Amekula ya Mbuzi yatamuota Mapembe.🚮
Tweet media one
9
25
144
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Raisi @SuluhuSamia anaendelea kuweka legacy yake na atakumbukwa kwa yafuatayo; ●Kumbambikia kesi ya UGAIDI @freemanmbowetz . ●Kuibia watanzania fedha ( #tozo ) zao kwa mwamvuli wa kuwaletea Maendeleo. ●Kubariki Mauaji ya watu watatu Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara 22.09.2022.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
13
30
141
@HarryGodfirst
Harry.
11 months
Nape umekamata wanagapi leo ? Unakumbukumbu yako huku ya RUSHWA kupitia kwa @millardayo . Je utampiga mkwara akaiondoe ? @Nnauye_Nape
Tweet media one
3
26
138
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
@HKigwangalla Hii ni propaganda ya CCM.We have serious issues as a country Water & Electricity shortage.Uliwahi kuita vyombo vya Habari kuzungumzia -Uhaba wa Maji na Umeme -Serikali yenu kupora Ardhi #Ngorongoro , #Mbarali Hili la Dkt. Bashiru ndicho walichokutuma wapiga KURA? Shame on you
9
10
136
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Huenda hii ikawa picha yangu bora ya siku kwenye Mkutano wa CHADEMA,Mbozi. See the peoples' Spirit🔥
Tweet media one
5
23
132
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
"Sheria za uchaguzi haziji kama hakuna katiba nzuri.Tuungane wote kwa pamoja tupate katiba mpya,katiba ambayo itatuondolea matatizo yetu yote tuliyonayo sasa na mwisho wa siku ndio tuje na masuala ya uchaguzi" Hashim Rungwe #BarazaKuuCHADEMA #chadema
Tweet media one
0
17
128
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
CHADEMA mmebeba tumaini la watu wengi. Mkumbuke viongozi wa chama walipohusishwa na MAUAJI ya AKWILINA pale KINONDONI,DSM na kufungwa Wananchi walichanga FAINI ya Tshs Mil.350.Sio kwamba RAIA wana fedha bali walidunduliza kilichopo, sababu wanaona TUMAINI ndani yenu.MSIWAANGUSHE
Tweet media one
6
24
128
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Serikali ikiendelea KUUZA bandari za Tanzania kwa DP WORLD,pia inaendelea kuwashughulikia wakosoaji.Taarifa zimeenea kuwa @mdudechadematz amekamatwa na JESHI la POLISI,huenda ni sababu ya kuukosoa MKATABA wa KIHUNI wa Kina SAMIA na MBARAWA. Bado tunafikiri SAMIA sio MAGUFULI ?
Tweet media one
Tweet media two
7
33
128
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
TISS wa Mchongo kwenye Mikutano ya CHADEMA. Hao nao wanajifunza mbinu za Kujaza Mikutano ya CCM labda😂
Tweet media one
Tweet media two
6
16
126
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Mifumo ya tawala za kiafrika ni ya kulindana wala sio kuhudumia raia. @KagutaMuseveni ni Raisi wa Uganda na Mke wake ni Waziri wa Elimu & Michezo.Hapa kwa kazi iendelee @TuliaAckson ni SPIKA na Mume wake ni Mkurugenzi wa EWURA.Huu ni utumishi au maandalizi ya kupora mali za umma?
Tweet media one
Tweet media two
8
22
122
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Wamasai wanahusika kuliingizi fedha taifa letu ktk maeneo mbalimbali ikiwemo pale NGORONGORO.Mnawatumia airport wakija kupokea wageni toka mataifa ya magharibi,mliwatumia Royal tour leo mnaona hawafai mnawau na kuwateka.Ama kweli shukrani ya punda ni mateke. #StopMaasaiEviction
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
51
123
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
A polite remimder!Kushiriki Uchaguzi Mkuu kwa dhana ya kwamba tutawatoa CCM madarakani nadhani hata wao wanatucheka.Kumbuka @SuluhuSamia akiwa M/Raisi alisema hata ukipiga kura kwingine CCM itaunda serikali. Maana yake waliteka mifumo yote na kujiweka MADARAKANI.Tudai #KatibaMpya
Tweet media one
14
20
127
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Aiseee hiki Chama😂😂😂🙌
Tweet media one
85
16
122
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Wewe Ndugai Uliyekuwa unamzalilisha BUNGENI Mh. @godbless_lema , kwenye MAPOKEZI yake kutoka KIA mpaka ARUSHA utasimama paleeee mbele kabisa kwenye MSAFARA utembee kwa mguu mpaka ARUSHA na hakuna kunywa Maji njiani.
Tweet media one
3
10
123
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
KAMBAYA ameenda CHADEMA ndani ya miezi 3 anataka aaminiwe apewe uongozi na nafasi ya kugombea kana kwamba uliowakuta hawahitaji hiyo nafasi?😂😂 Watu wamefungiwa kufanya siasa miaka 6 wewe kirahisi tu uje leo tu na uongozi upate.😂😂
Tweet media one
44
19
123
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Naendelea kusisitiza kwamba ' HAKUNA taifa jepesi kulitawala kama TANZANIA.Yani watu wanatafuna $ 49m halafu Raisi anasema....STUPID!....mtupishe! Sasa unataka upate Uwaziri,Uraisi au Ubunge nchi gani? Uende CHINA wakunyonge..?' Huenda hiyo ndio maana halisi ya kazi iendelee.
Tweet media one
7
30
119
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Tukisema SAMIA is an accidental president watu wanakataa. Hajui anachofanya pale IKULU.🚮
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
2 years
Wasiwasi ndo akili! Acheni niendelee na utimamu wangu! Sipendi kudanganyika - sipendi disappointments! This time nimekwepa hili! Not suprised, nor am I disappointed! Sikutarajia tofauti! Haya twendelee na harakati - aluta continua #katibaMpyaNiSasa #TutaelewanaTu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
57
103
504
8
25
114
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
"Unaweza Ukashinda Uchaguzi bila kutumia State apparatus" @godbless_lema
5
6
118
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Tanzania bado ina utawala wa kijeshi na sio wa demokrasia kama katiba inavyodai kikatiba.Kwa nini tazama maeneo yafuatayo; -Mgogoro wa #Loliondo wanatumia Majeshi. -Chaguzi zote wanatumia Polisi na Jeshi kutisha. -Watu wakiandamana watumia majeshi kutisha.
Tweet media one
Tweet media two
6
23
114
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Mskilize BOBI WINE maneno ya kijasiri sana anazungumza akiwa kizimbani "....hata kama nikifungwa bado nina kazi kubwa ya kufanya hapa Jela.."
4
34
114
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
USHUHUDA YA MTU ALIYEPITIA MADHILA YA POLISI "Nilikamtwa na watu wawili waliojitambulisha kama askari Polisi "-KIKAJA(Wakala wa CHADEMA-BARIADI)
2
22
113
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
Huyo SAMIA JAMBAZI ambaye aliwaumiza WAMASAI wa #Ngorongoro na hakuongea chochote ndio huyo huyo ambaye anapandisha Mabega eti na suala la BANDARI ataendelea kunyamaza. Hatuoni bado tuna RAISI mwenye KIBURI na JEURI ? Huyu ataendelea kuumiza wengi akiendelea kukaa madarakani.
Tweet media one
Tweet media two
8
39
111
@HarryGodfirst
Harry.
2 years
Hatuwezi kusahau kwamba @Twaha_Mwaipaya amenusurika majaribio kadhaa ya kutekwa na pia ameshawahi kuwa jela kwa ajili ya kupigani HAKI.Baadhi ya wanachama wenzake waliteswa na kuuwawa na serikali ya CCM.Mnataka kumfanya nini tena @SuluhuSamia awamu hii? #FreeTwahaMwaipaya Now!
Tweet media one
0
22
114
@HarryGodfirst
Harry.
1 year
SAMIA Acha POROJO na MANENO ya KILAGHAI na KITAPELI. Hao kina MWABUKUSI na MDUDE CHADEMA mmewachukua ndio mmeanza "kufanya nao kazi " ? @SuluhuSamia
Tweet media one
Tweet media two
8
29
112