GIFT WILLIAM🇹🇿 Profile Banner
GIFT WILLIAM🇹🇿 Profile
GIFT WILLIAM🇹🇿

@Giftwilliam_

10,307
Followers
8,538
Following
1,145
Media
3,909
Statuses

Son of Africa/ Proudly Tanzanian🇹🇿 / Educationist #BeatitudoEstOmnia

Joined May 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Leo Rais @SuluhuSamia Anazindua ikulu mpya iliyojengwa dodoma. Utofauti wa eneo la Ikulu ya Dar es salaam na Dodoma Dar es Salaam: Ekari 41 Dodoma: Ekari 8,473 Eneo la Ikulu ya Dodoma ni zaidi ya mara 200 ya eneo la Ikulu ya Dar es Salaam. Mama anachapa kazi #KaziIendelee
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
21
44
215
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Huyu mbona ni kama amejimilikisha kombe. Kila muda kashika yeye.😡
Tweet media one
106
40
932
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Tuachane swala la bandari kidogo. Sikuhizi umeme haukatiki hovyo na sioni watu wakipongeza hili au mazuri huwa hayaonwi.
Tweet media one
176
24
239
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Kwanza tafuta Nafasi, ukipata nafasi onesha uwezo, ukionesha uwezo utajenga jina na kuaminika, ukiaminika utaanza kupata hela…… na katika kupitia hatua hizi lazima ukubali kupitia maumivu ya mchakato wa lazima “~Ruge Mutahaba. #RipLegend #RUGE
Tweet media one
4
42
175
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Kesho tarehe 30 Julai Filamu ya #Tanzania Royal Tour itaoneshwa katika Televisheni nchini #China kwa mara ya kwanza kupitia Kituo cha Hainan #TV .Filamu hiyo ilishaoneshwa kwa njia ya mtandao wa Bilibili mapema mwezi huu.Watazamani milioni 7.5 wanatarajiwa kutizama filamu hiyo.
Tweet media one
9
21
149
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
7 months
Tayari kulitumikia taifa langu🇹🇿.
Tweet media one
15
11
132
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Waziri mkuu wa Tanzania @KassimMajaliwa_ akiwa katika picha ya pamoja na Rais wa shirikisho la Urusi #Russia katika kilele cha mkutano wa #RussiaAfricaSummit uliofanyika jijini #SaintPetersburg Urusi. #Africa #Tanzania
Tweet media one
6
15
109
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Kuanzia sasa wafanyabiashara wa Tanzania na India hawatalazimika kutumia dola za Marekani kuuza au kuingiza bidhaa. Biashara hizo zitatumia fedha za ndani za Tanzania yaani Shilingi na Rupia ya India, ili kupunguza gharama za ubadilishaji wa fedha na tozo.
Tweet media one
19
13
87
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
"Kuna mkuu wa wilaya moja ya Morogoro, alipoulizwa kwanini wilayani kwako kuna watu wengi wanakufa kutokana na mapigano ya wakulima na wafugaji, akajibu ng'ombe wengi wanaoingia ni wa wakubwa nami siwezi kuwagusa, sasa nasema hakuna mkubwa mbele ya sheria" Rais @SuluhuSamial
Tweet media one
5
13
85
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Tweet media one
5
5
83
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Stendi ya Mabasi na Maegesho ya Malori katika eneo la Nyamhongolo Manispaa ya Ilemela Mkoani Mwanza iliyozinduliwa jana na Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango. #kaziiendelee #mamayukokazini #sisitumekubali
Tweet media one
1
6
77
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Ndugu wajumbe Ndg Dkt Hussein Mwinyi anastahili kula zote za ndio. Tukampigie.
Tweet media one
10
11
77
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
RAIS SAMIA ASHUSHA BEI ZA MAFUTA Serikali ya Mhe. Rais Samia Suluhu imeshusha bei ya mafuta ya Diseli, petroli na Mafuta ya Taa kuanzia tarehe 7 Septemba 2022. Bei za mafuta katika soko la ndani zimepungua kati ya shilingi 430/lita kwa mafuta ya taa,
Tweet media one
42
13
77
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
3 months
@EduTalkTz Nchi kama Urusi yenye AI iliyoendelea duniani lakini pale Red square makomandoo huwa wanafanya maonesho ya kijeshi kama haya pia. Tuache kujidharau @EduTalkTz
10
5
72
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
RAIS SAMIA SULUHU UGANDA 👉Kuhuisha usafirishaji wa abiria na mizigo kupitia L. Victoria. 👉Kuondoa ushuru kwenye magari ya mizigo yatokayo Dar - Kampala, magari yatachukua siku 4 badala ya 6 kufika UG. 👉Ujenzi wa kiwanda cha dawa za mifugo cha pamoja. #mamayukokazini
Tweet media one
4
14
70
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Siasa anazofanya Mh @godbless_lema zimejaa dharau kwa watu wa daraja la chini. Kitendo cha kudharau mchango wa vikoba kwa mama zetu na kutamka kuwa kazi ya bodaboda ni ya laana ni kauli za kupingwa kwasababu sekta hii imeajiri maelfu ya vijana wanaosomesha na kulea familia zao.
Tweet media one
55
8
67
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Kwa mapokezi haya makubwa kwa Mh Rais @SuluhuSamia huko mkoani Geita inaonesha ni namna gani Rais Samia anaushawishi mkubwa sana kwa watanzania. Hii ni kutokana na juhudi zake za kutuletea maendeleo zinazoonekana. #SSH #Kaziiendelee #Mamayukokazini
Tweet media one
Tweet media two
9
11
62
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Hongera @yangasc1935 mmetuheshimisha.
Tweet media one
1
4
66
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
7 months
Hongera Mh Rais Dkt @SuluhuSamia kwa kutunukiwa shahada ya heshima ya uzamivu ya usimamizi wa utalii na masoko, yaani "Doctor of Philosophy in Tourism Management and Marketing (Honoris Causa).
Tweet media one
12
16
61
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
3 months
Mvua haijawa kikwazo kwa Mh Rais Dkt @SuluhuSamia kukagua gwaride la maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano.
Tweet media one
Tweet media two
3
8
59
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Nahodha wa Taifa stars @Samagoal_77 amerudi ligi kuu Ubelgiji katika timu yake ya kwanza nchini humo ya @KRCGenkofficial
Tweet media one
3
3
56
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
"Napenda kuwakumbusha kuwa Njia ya Maendeleo Imejaa jasho na Vumbi tuzingatie Utamaduni wa kufanya Kazi kwa Bidii, Maarifa na Kujituma Lawama ni tamu ikitoka mdomoni ila pekee haitapeleka Mkono kinywani na Katika Kujituma, kila mfanyakazi akumbuke kuwa lamuhimu sio Muda anaotumia
Tweet media one
3
15
55
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
4 months
Pumzika salama Hayati Rais Magufuli. Asante kwa kutuachia zawadi ya Rais Dkt @SuluhuSamia anayeendelea vizuri na kazi ulizoziacha.
10
16
55
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
📌 KENYA IS OPEN FOR BUSINESS "When I met President Samia, we agreed that we were going to eliminate all mistrust, barriers, and roadblocks between our countries. Take my message to Samia: Kenya is open for business."- President Ruto #Tanzania #Kenya
Tweet media one
1
9
53
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
LISSU AWEKA WAZI KUTIMKIA CCM Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, TUNDU LISSU ameweka wazi nia yake ya Kujiunga na Chama Cha Mapinduzi iwapo FREEMAN MBOWE atasalia kuwa Mwenyekiti wa Chama chake cha sasa baada ya uchaguzi wa ndani ya Chama 2023.
Tweet media one
16
9
53
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Huyu mzee jana ameshangilia utadhani ameshinda world cup 😁⚽️.
Tweet media one
9
4
54
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Muonekano wa jengo la Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi ambalo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa alikagua ujenzi wake na kuweka jiwe la msingi akiwa katika ziara ya kikazi ya mkoa hou. #MAMAYUKOKAZINI #MamaAnafanikisha
Tweet media one
8
5
53
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Leo tarehe 17.3.2023 ni kumbukumbu ya kifo cha Hayati Rais Dkt John Pombe Magufuli. Tutaendelea kumuenzi kwa kazi kubwa ya kuijenga nchi yetu. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan anayaendeleza mema uliyotuachia, hakuna kilichosimama, kila sekta ni neema na #kaziinaendelea kwa kasi.
Tweet media one
8
14
52
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
8 months
@MarkMwandosya Kuna namna Mungu kapendelea Walimu hawazeeki haraka, pengine ni kutokana na majukumu yao. Miaka mingi kwake.
4
2
53
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
3 months
The first day of another 365-day journey.  Happy birthday to me🎉...
Tweet media one
22
12
50
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akiwa na Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika na Wajumbe wa Baraza Kuu la chama hicho wakiwasili katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Ikulu jijini Dar es salaam kushiriki kikao baina ya viongozi wa vyama hivyo na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan
Tweet media one
2
8
46
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Today is difficult. Tomorrow is much more difficult. But day after tomorrow is beautiful. Most people die tomorrow evening. Jack Ma
Tweet media one
1
5
48
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Tupo huku: Rais wa Zanzibar,Dk.Hussein Mwinyi,Makamu wa Rais Dk.Philip Mpango na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na katibu Mkuu Kiongozi Katanga wakiwa katika JNICC katika uzinduzi wa #royaltourtanzania #KaziIendelee #MamaYukoKazini
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
4
45
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
"Ukipatwa na situation inachanganya usitoe kauli tulia kwanza, observe, assess the situation alafu angalia possible options ambazo zipo ukijiridhisha zungumza sasa". Balozi Humphrey Polepole.
Tweet media one
0
4
46
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
4 months
Ni kama Al Ahly Wanajitetea hivi.
Tweet media one
3
2
44
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
3 months
Mhe. Rais Dkt @SuluhuSamia akisalimiana na Wafanyabiashara mbalimbali pamoja na abiria alioambatana nao safarini wakati akielekea Jijini #Ankara kwa ajili ya kuanza ziara Rasmi nchini Uturuki ( #Turkiye )tarehe 17 Aprili, 2024.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
6
9
43
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Mmeona huko Huko Lindi mwenezi @hamdu_shaka anavyoupiga mwingii. 2025 mbona inachelewa @Getrude_mollel @__abdulazack @kigogo2014 @SubyCutee
Tweet media one
7
5
41
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
HAPPY 1ST 2023 JUMMAH MUBARAK TO ALL MY MUSLIM FRIENDS.
Tweet media one
1
5
41
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
4 months
Wakawa wa kwanza hadi wa watatu...
Tweet media one
2
4
39
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Hongera Mh. Hamis Mwinjuma tuaamini utafanya makubwa katika wizara ya #Utamaduni #Sanaa na #Michezo hasa uzoefu wako kwenye sanaa utasaidia kukuza sanaa na wasanii. @MwanaFA
Tweet media one
4
2
39
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
5 months
Leo naelekea BUTIAMA kijijini MWITONGO kwa BABA WA TAIFA hivyo naomba muweke maswali yenu hapo kwenye comments hasa kuhusu Baba wa taifa ili nimfikishie Mzee wetu Ndg @MadarakaNyerere atupatie majibu.
Tweet media one
6
7
38
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Kitabu nilichosoma sana kwa mwaka 2022.
Tweet media one
8
6
39
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
"Serikali ipo katika hatua za mwisho za kuanzisha ufadhili wa masomo ya Sayansi (SAMIA SCHOLARSHIP) kwa wanafunzi wenye ufaulu mzuri kwakuwa Rais tayari ametoa fedha nyingi zinazoweka msukumo wa masomo ya sayansi kwa wanafunzi Tanzania".-Waziri Adolf Mkenda.
Tweet media one
16
9
37
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Happy 63 madam president @SuluhuSamia Mungu akupe furaha na mafanikio zaidi katika majukumu yako.
Tweet media one
2
10
38
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
6 months
Watanzania tusikubali kuingiza nchi yetu katika machafuko, kuna mifano ya nchi nyingi zilizopoteza amani kwasababu ya wachache wasiotakia mema mataifa yao. Kongo, Somalia, Sudan, Yemen ni mifano michache tu walichezea amani na sasa wanajuta. Maridhiano ni bora kuliko maandamano
Tweet media one
55
9
37
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Athari za vita ya Urusi na ukraine imegusa kila nchi na Tanzania sio kisiwa hata isikumbwe na athari za hii vita. @kigogo2014
Tweet media one
7
9
35
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Tanzania na Zambia (Tanzam) zinatarajia kusaini mkataba wa barabara ya njia nne kwa lengo la kupunguza ajali na msongamano wa magari kutoka Igawa Songwe hadi Mbeya vijijini yenye urefu wa kilometa 34. #MamaYukoKazini #Tanzania #Zambia
Tweet media one
4
3
35
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Huu ni upendo wa ajabu ambao chama cha mapinduzi @ccm_tanzania kinastahili kupata kutokana na kazi kubwa ya kuijenga nchi hii na upendo huohuo unakifanya chama na serikali kukumbuka kuwa wananchi wanaimani na chama na serikali hivyo pia inakumbusha serikali kuendele kufanya kazi.
Tweet media one
10
5
35
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Pongezi kwa Mh Rais Dkt @SuluhuSamia kwa kuona umuhimu wa kuongeza #Boom kwa wanafunzi wa vyuo vikuu. Hii inaenda kupunguza ugumu wa maisha ya wanafunzi vyuoni na kuongeza hari ya kusoma. Kongole kwako Mh Rais. @TahlisoOfficial @frank_nkinda #kaziiendelee
Tweet media one
5
9
35
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
HALI ILIVYO KATIKA SOKO LA MAFUTA Takwimu toka Mtandao wa Global Petrol prices zinaonyesha bei ya Pipa Moja la Mafuta Katika Soko la Dunia kwa sasa ni zaidi ya $90 Kutoka $68.17 (TShs158,440) kwa Mwaka 2021 Ambalo ni ongezeko kubwa ndani ya mwaka Mmoja.
Tweet media one
Tweet media two
1
6
34
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Wananchi wa Mkoa wa Iringa alipowasili katika Uwanja wa CCM Samora kwa ajili ya kuhutubia Mkutano wa Hadhara tarehe 12 Agosti, 2022. #MamaYukoKazini #kaziiendelee
Tweet media one
0
5
35
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Ipe neno. Mimi "kwahiyo mnasema mmetengeneza jezi sita tu...?!"
Tweet media one
7
1
35
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary Majaliwa wakiongozana na Balozi wa Tanzania nchini Urusi Fredrick Kibuta (kushoto) baada ya kupokelewa kwenye uwanja wa Ndege wa Pulkovo, St. Petersburg, Urusi Julai 25, 2023.
Tweet media one
1
7
35
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Hongera kwa @uvccm_tz kwa kupata viongozi wapya. Uchaguzi umeisha hivyo tumalize tofauti zetu na sasa turudi kwa umoja na mshikamano ili kuendelea kujenga na kukuza ushawishi wa chama chetu @ccm_tanzania kwa ustawi wa nchi yetu.
Tweet media one
6
7
33
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi afungua Skuli ya Ghorofa ya Msingi Mwambe iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa fedha za Uviko-19 Kupitia Shirika la fedha Duniani (IMF). Leo Jumapili, 01 Januari 2023.
Tweet media one
Tweet media two
2
3
33
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Kwa ushawishi mkubwa wakisiasa alionao Ndg Victoria Mwanziva @victoriacharlz uliotokana na uchapakazi wake hakika atafaa sana kutuongoza kupitia uvccm @uvccm_tz taifa.
Tweet media one
4
10
32
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Tarehe kama ya leo miaka 46 iliyopita Chama Cha Mapinduzi kiliasisiwa kutoka vyama vya TANU na ASP. Leo tunasema Heri ya Miaka 46 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM). @ccm_tanzania
Tweet media one
7
10
33
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Chama kinaungana zaidi na kutengeneza umoja imara sana. Hongera CDE @BenMembe karibu tena
Tweet media one
2
2
30
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Mtwara mbengo zemefongokaaaaa.....!
Tweet media one
3
6
33
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
3 months
Ukiachana na hili goli walilonyimwa Yanga., hii ni zaidi ya Fainali. Watani wana timu na wametumwa kazi.
Tweet media one
Tweet media two
4
1
33
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
CHAMWINO-KUMENOGA Mwonekano wa IKULU Mpya Tanzania iliyojengwa Chamwino Dodoma, Ujenzi huu umekamilika 100%,ikiwa ni Miaka 2 tangu ulipoanza.Jengo limejengwa na Vikosi Kazi vya Majeshi yetu ya Ulinzi na Usalama. #kaziiendelee #sisitumekubali
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
6
30
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Tweet media one
3
5
33
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
7 months
I celebrate the graduate within me, ready to conquer new heights.
Tweet media one
9
0
32
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakati wakisikiliza maelezo ya mradi wa kufua umeme wa Kikagati – Murongo, Mbarara nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023. (Tunachukua summary za JNHPP).
Tweet media one
1
1
28
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) Mtukufu Sheikh Shakhboot Bin Nahyan aliyeambatana na ujumbe wake mara baada ya mazungumzo Ikulu Tunguu Zanzibar tarehe 21, Februari, 2023.
Tweet media one
1
2
30
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Kheri ya Siku ya kuzaliwa Mzee wetu Ali Hassan Mwinyi, Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwenyezi Mungu aendelee kukupa maisha marefu na afya njema. Tunakuombea uendelee kutupa hekima, busara na uzoefu katika utumishi wa umma. #Mwinyi
Tweet media one
1
5
28
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Picha mbalimbali za muonekano wa daraja la JPM lenye urefu wa kilomita 4.6 linalojengwa katika eneo la Kigongo - Busisi, jijini Mwanza. Leo Rais @SuluhuSamia anatarajia kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo linalogharimu Sh bilioni 716, ambapo ujenzi wake umefikia 75%.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
9
30
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Being Tanzanian it's a blessing. Being under H.E @SuluhuSamia it's more than a blessing. Keep making us pround mama we love you. #mamayukokazini #kaziiendelee #sisitumekubali
Tweet media one
4
12
30
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Natamani sana uzeeni niwe na maisha kama ya mzee Mwinyi. Ni mzee aliejawa na tabasamu muda wote na kufurahia matunda aliyoyatengeneza enzi za ujana wake. Mungu mpe miaka mingi zaidi.
Tweet media one
2
4
29
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
📍Kwa nchi yoyote kama tunataka watoto wetu wasome, ku-improve sekta za afya ni lazima tulipe kodi, haina maana kwamba kodi iwazidi watu wote lakini kuwa ethical pale unapotakiwa kulipa kodi lipa,"- Dkt. Abdallah Possi, Balozi wa Tanzania nchini Ujerumani
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
8
29
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Hongera sana Ndugu Emmanuel hakika umejaliwa kipaji cha uchoraji. @emmanuelmussa_ @SuluhuSamia
Tweet media one
1
2
27
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Anaitwa Aminata Tourè Waziri wa kwanza Mwenye asili ya Afrika nchini ujerumani.
Tweet media one
1
6
28
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Moja kati ya mafanikio makubwa ambayo Rais Samia Suluhu ataacha ni kumuaminisha mtoto wa kike kwamba inawezekana. Amewapa watoto wa kike ndoto kwamba kuwa mwanamke haimaanishi kuna sehemu huwezi kufika, bali kujituma, nidhamu ndio silaha. #mamayukokazini #kaziiendelee
Tweet media one
2
8
27
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
MKUU WA MAJESHI MPYA Rais @SuluhuSamia amempandisha cheo Meja Jenerali Jacob John Mkunda kuwa Jenerali Pia amemteua kuwa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF). Kabla ya uteuzi huo alikuwa Mkuu wa Tawi la Operesheni na Mafunzo katika Makao Makuu ya Jeshi. ✍️Tumuombee #Kaziiendelee
Tweet media one
3
7
28
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 month
Mama Maria Nyerere akiwa pamoja na Rais wa Uganda @KagutaMuseveni .
Tweet media one
2
1
28
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
5 months
Muonekano wa sasa wa Mradi wa bwawa la kufua umeme wa Julius Nyerere -JNHPP ambao ujenzi wake ulianza Disemba 12, 2018 huku ujenzi wake mpaka sasa umefikia 95.83% na utakamilika Juni 2024 ambapo kiasi cha Tsh. Trilioni 5.85 (89.24%) zimelipwa kwa Mkandarasi mpaka sasa.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
12
12
28
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Singida Chagua @SuphianJuma kuwa mjumbe halmashauri kuu mkoa wa Singida.
Tweet media one
6
3
28
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 months
Uwe mwaminifu hata kufa..
Tweet media one
5
1
26
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
@Big0047 🗨🗨
0
0
24
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Tweet media one
1
1
26
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
8 months
Siku kama ya leo yaani Tarehe 12.11.1938 alizaliwa aliyekua Rais wa awamu ya tatu Hayati Benjamin William Mkapa. Leo angetimiza miaka 85. Mungu amlaze mahali pema peponi.
Tweet media one
3
3
25
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Mh Rais mstaafu J. Kikwete alisema ".. akili za kuambiwa changanya na zako.." Siasa sio uadui bali ni kutofautiana tu kwa hoja. Wakati mwingine ukiwa hapa twitter watu wanatumia maneno makali, matusi, kudhalilishana wakati wanaowaongoza wanakutana na kunywa na kula pamoja.
Tweet media one
4
4
24
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Always in our minds. R.I.P Late William Mkapa.
Tweet media one
3
3
25
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Rais Dkt @SuluhuSamia ameruhusu kuikosoa serikali lakini tukumbuke kukosoa kwa staha bila kutumia lugha chafu, matusi na uongo wa kupikwa. Tunapaswa kujua namna bora ya kukosoa ili kujenga taifa huru.
Tweet media one
2
6
21
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
8 months
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Mhe. Samia Suluhu Hassan, Mapema leo akitunuku Kamisheni kwa Maafisa wanafunzi Kundi la 04/20-shahada ya Sayansi ya Kijeshi. Chuo cha kijeshi Monduli. #MguuKwaMguu2025
Tweet media one
Tweet media two
3
6
25
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
📌KAZI ZINAENDELEA ''Nataka muone na mmeona, kwa maelezo na kwa picha, kwamba hakuna kilichosimama, kila mradi, kila eneo, kila pahali, kazi za maendeleo zinaendelea.'' Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan @SuluhuSamia
Tweet media one
3
9
22
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Rais Samia Suluhu ametoa msamaha kwa wafungwa 1,631 kwa vigezo mbalimbali wakiwemo akina mama wanaonyonyesha na wajawazito ikiwa ni sehemu ya kuadhimisha miaka 61 ya uhuru. #mamayukokazini #sisitumekubali
Tweet media one
1
7
25
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
3 months
Namsikiliza Mhe Rais Dkt @SuluhuSamia kupitia TBC @TBConlineTZ muda huu. Naendelea kujivunia kuwa Mtanzania. Tuulinde muungano wetu ulio wa kipekee duniani.
Tweet media one
Tweet media two
1
8
24
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Siku kama ya leo tarehe 8.5 alizaliwa miongoni mwa watu walio na mchango mkubwa sana kwenye soka la Tanzania. Happy birthday @moodewji Heri ya siku ya kuzaliwa kwa mwekezaji na rais wa heshima @SimbaSCTanzania #WenyeNchi #NguvuMoja
Tweet media one
1
1
25
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
8 months
Idumu @jumuiya yetu.
Tweet media one
3
9
24
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
8 months
HAPPY BIRTHDAY COMRADE @__abdulazack
Tweet media one
2
3
25
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 months
RAIS MWINYI MGENI RASMI SHEREHE ZA MEI MOSI, PEMBA RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi @DrHmwinyi amewasili katika uwanja wa Gombani kwaajili ya Maadhimisho ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) leo tarehe 01 Mei, 2024. 📅 01 Mei 2024 📍Gombani, Chakechake Pemba
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
9
25
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Askari 700 wa Jeshi la Magereza wamehitimu mafunzo ya awali Kozi Na. 29/2022 kutoka Chuo cha Magereza Kiwira, Tukuyu mkoani Mbeya. Mhe. Rais Samia Suluhu anaendelea kutoa ajira lakini wakati huo huo akiimarisha ulinzi na usalama wa raia na mali zao. #MamaYukoKazini
Tweet media one
3
7
23
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
4 months
Hizi mbili zitakua zaidi ya Robo fainali. Kule @realmadrid vs @ManCity Huku @YoungAfricansSC vs @Masandawana
Tweet media one
Tweet media two
1
1
24
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Alipo Mama.... #KaziIendelee
Tweet media one
3
1
23
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi afungua Skuli ya Kisasa ya Msingi Salim Turky iliopo kwa Binti hamrani iliyogharamiwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar chini ya Ufadhili wa mkopo nafuu wa Uviko-19 kupitia Shirika la fedha IMF.
Tweet media one
Tweet media two
3
4
24
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
1 year
Ndege inayowasili Nchini kesho aina ya B767-300F ina uwezo wa kubeba tani 54 za mizigo na kuruka kwa masaa 10 angani bila kutua. Ndege hii inatumia mafuta kidogo ukilinganisha na Ndege nyingine za aina hiyo. Kuwasili kwa Ndege kutaifanya @AirTanzania kuwa na Ndege 12.
Tweet media one
Tweet media two
2
5
24
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
2 years
Wananchi wa kata ya Mpuguso wilayani Rungwe, Mbeya wameipongeza Serikali kwa kukamilika kwa barabara za Masebe-Bugoba-Lutete ( KM 7.2 ) na Barabara ya Masabe DSP-Mpuguso TTC-Bugoba Kibaoni ( KM 5.0 ), zilizojengwa kwa kiwango cha lami. #MamaYukoKazini #Kaziiendelee
Tweet media one
1
6
24
@Giftwilliam_
GIFT WILLIAM🇹🇿
11 months
Daima katika nyoyo zetu. @MagufuliJP
Tweet media one
2
4
21