HB_CBE Profile Banner
HB_CBE Profile
HB_CBE

@Hb_cbe_2020

4,811
Followers
3,545
Following
7,302
Media
74,016
Statuses

LIFE AFTER DEATH?

Tanzania
Joined May 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
MAMA @SuluhuSamia UMEONGEA KWA HISIA SANA “Kuna Ndege ya mpya ya mizigo ilikuwa tulipe dola $37M invoice imekuja $86M, unauliza mkataba ulisemaje? Aliyepokea anakuletea "Serikalini hii ilipe stupid" ulipopokea umechukua hatua gani?” WATIMUEEEE VIBAKA HAO MAZA WANAKUHARIBIA😭
Tweet media one
90
35
396
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
YAH: MAOMBI YA KAZI KWA RAIS @SuluhuSamia ✍️Mimi mzee mtz mwenye uchungu na nchi, naomba kazi ya KUCHULIA HATUA RIPOTI YA CAG, ukinipa kazi unipe Uhuru ili pesa zote zirudi ✍️Kwa hasara hizi, fedha inayoibiwa Ni kubwa kuliko mikopo tunayopata, kwa kuzingatia hakuna hatua TISHIO
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
80
66
363
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
TRA, TRA, TRA. NIMEWAITA MARA TATU🙏🙏 ✍️Kama malalamiko anayotoa @diamondplatnumz Ni ya kweli Basi mjitathmini kabla jogoo hajawika Mara 3. ✍️Kama mna mteja anawapa Siri za mapato yote, mkimuita anakuja on time, WHY MUMVAMIE KAMA JAMBAZI?? 👇
Tweet media one
Tweet media two
69
21
311
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
WAZIRI WANGU BORA @ummymwalimu HAPA NO 👉NHIF imefuta kifurushi cha Toto Afya na kulazimisha mzazi kukata bima ya afya pamoja na Watoto. Sasa gharama zimepanda toka 50,400 mpaka 120,000 kwa mtoto mmoja. 👉Ongea na CABINET mbadili hii, Afya Ni basic needs, pandisha bia lipia afya
Tweet media one
99
53
303
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
Mrema mwenye miaka 77 amefariki Leo SAA 12:15 tarhe 21.8.2022 baada ya kulazwa siku 5 ktk hospitali ya Muhimbili toka tarehe 16.8.2022. Mrema atakumbukwa kuwa mwanasiasa wa kwanza wa upinzani kuvuta hisia za watu na kupata kura nyingi alipogombea na Mkapa RIP MZEE WA KIRARACHA
Tweet media one
28
29
275
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
INGEKUWA VIPI Ingekuwa vipi Rais angekimbilia UBILIGIJI au CANADA Kama @TunduALissu na @godblesslema ajiite mpambanaji huku raia wake wakipigana? HAPA YUKO VITANI👇 @kigogo2014 @Suleima57078925 @Getrude_mollel @ChademaTz @mbeyainfo @Malilo_One @ZongoZungu_ @pompeowabuza
Tweet media one
89
25
260
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
UTAYASIKIA MACHADEMA ✍️"Miaka 60 nchi haijapiga hatua hata 1"(Mdude voice) ✍️ "Miaka 60 hakuna maendeleo yyte" (Heche voice) KUUDAAAADEK... Hapa sio Washington kwa Bill gate, sio Paris kwa Macron Wala sio Dubai kwa CR7, ni Bongo Daresalama😅😅 Miaka 60 nyuma palikuwaje?
Tweet media one
124
13
250
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
8 months
Good morning CHADEMA. Have you seen the next new RC of Kilimanjaro?😅 I know that this picture is gonna give you a lot of pain, but your available remedies is to swallow and accept it.😅😅😅😅😅 MATUSI HAYANA MSAADA
Tweet media one
58
11
221
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
3 years
Umoja wa Ulaya imeisifia Tanzania chini ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna inavyofanya mageuzi ya kiuchumi na kisiasa ikiwemo kuimarisha masuala ya haki za binadamu. Wameamua kusonga mbele na sisi wanachi watanzania na siyo vibaraka. Viva Tanzania, Viva Rais Samia.
Tweet media one
61
26
214
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
Hii itawaumiza Sana NYUMBU, TEC na WAGALATIA😅😅
Tweet media one
78
12
194
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
3 years
😂😂😂. Walivoona sura wakajua simple tu huyu😂😂. Haya bwana Work Nduguyai na timu yako mpo? Mi mwenyewe nautamani u-microphone wa mjengoni😂😂. Nakuombea upate wazo la kujiuzulu😂😂😂.
Tweet media one
17
19
191
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
11 months
SERIKALI CCM VERY ACTIVE ✍️Dogo kafaulu kwa div 1 ya 10, wahuni wameuza nafasi yake, kalamika. Mawaziri 4 wa serikali wote wamerespond na kulivalia njuga. ✍️ Mawaziri @ummymwalimu @mwigulunchemba1 @Dr_DGwajima na Mkenda wote wanashughulika nalo Kupitia taarifa mtandaoni HONGERA
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
76
29
196
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
LISSU KALA KIBANO ITV ✍️Amebanwa mpaka amekiri kuwa walinyofoa kifungu Cha ukomo wa uenyekiti ili Mbowe atawale milele ✍️Manyumbu mnaopinga kuwa hawakunyofoa kifungu njoo mumpinge Sasa😅 ✍️Anasema Mbowe huwa anagombea na moinzani kila wakati wa uchaguzi. LINI NA WAPI😅😅 ITV LIVE
Tweet media one
95
16
182
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
CAG JIUZULU NIKAE MIMI 👉CAG Chale Kich ni heshima kujiuzulu kazi ww pamoja na wafanyakazi wako wote🙏🏼 👉Kama kazi ni kututia hasira wananchi kwa kutaja maB yanayopigwa na hamuwezi chukua hatua nao ni ubadhirifu pia. MNATUMIA SH NGAPI? 👉Tukikaa wahuni hapo watatukoma mbona? 🏋️
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
79
28
169
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
SIJAELEWA NA SITAELEWA, RAIS UNAPIGWA ✍️Yaani hasara ya 24.9B kwa mwaka Sawa na 2.9B kwa mwezi. Sawa na 96.66M kwa siku ✍️Mh Rais @SuluhuSamia waambie wakupe maelezo, 96.6M kwa siku ilitumika kununua bahari au? ✍️Inaumiza pale tunapopewa hesabu za kitoto Sanaa 🤔😭
Tweet media one
29
16
161
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
CDM OMBENI MSAMAHA KWA ZITTO KABWE: 👉Zitto amewazidi thinking capacity na kuangalia mbali 👉Alipopaona Zitto juzi nyi mtapaona keshokutwa 👉Aliwabembeleza kuhusu maridhiano mkampinga kwa KEJELI 👉Alipokutana na Rais mkasema anapiga picha 👉Leo mko ikulu mnakula sakaramenti au?👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
58
27
158
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
MBOWE: SIASA NA DINI UTAPOTEA AU KUTUPOTEZA 💉Hii ni ibada ya shukrani au mkutano wa siasa? 💉Hivi Rais SSH akienda kutoa sadaka ya SHUKRANI msikitini na maelfu ya wanaCCM, dunia itasema nini? 💉Na Zitto AKIFANYA HIVO mtamvumilia? 💉Unapeleka wapi Taifa? "USIPOONGOZA UTAONGOZWA"
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
97
14
153
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
UFIPA NI COMEDY SANA 🗣️Yaani ofisi ya mahakama WILAYA ni nzuri kuliko ofisi ya chama TAIFA? 🗣️Mnapata wapi nguvu ya kusema hakuna maendeleo miaka 60? 🗣️Miaka 30 hata choo cha ofisi ya kupanga mnatumia Cha majirani? 🗣️Mmiliki anashusha tu MIJENGO kwa ruzuku na michango na mnafurah
Tweet media one
Tweet media two
70
14
154
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
BANDARI DAR NI YA WAARABU🙏🏼 ✍️Ili kurahisisha biashara zao, mwaka 1843 waarabu walijenga bandari ya Dar. ✍️Mjerumani aliikuta hakuendeleza, Mwingereza aliikuta hakuendeleza ✍️Miaka 180 imepita aloijenga anataka kuiboresha wahuni wanasema "WATUMWA WAMERUDI" SHENZYTYPE MNAWASHWA?
Tweet media one
148
18
148
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
Tunaendelea tulipoishia. Kazi inaanza upyaaaa... Pale mwanamke wa shoka @halimamdee anapowaburuza chama kizima na wanasheria wao wasomi🤣🤣🤣. Yaani toka 29 July mpaka 26 August? 🤣🤣🤣 Itaisha 2025
Tweet media one
32
9
133
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
3 years
Mkapa = Mbowe JK = Mbowe JPM = Mbowe Samia = Mbowe Makani karithi chama kwa Mtei, Makani kaoa dada wa Mtei(SHEMEJI) Mbowe karithi kwa Makani, Mbowe kaoa mtoto wa Mtei(mkwe) MKUU KAMA UNGESIMAMA KWA HAKI UNGEANZA KUHOJI HAPA. Acha viti MAALUM kina Mukya MADEM na madada wenu😂
@malisa_gj1
Malisa GJ
3 years
Watu Million 60 ila Viongozi ni Familia zile zile zinajirudia tu. Ila mwisho wa yote haya ni #KatibaMpya #KatibaMpya
22
29
108
39
29
118
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
MAFALA CHADEMA PITA MSOME HII ✍️Kila siku mnafurahia mapinduzi ya kijeshi na kutamani yatokee Tz Mkapa = Mbowe JK = Mbowe JPM = Mbowe Samia = Mbowe ✍️Hivi mna akili kwelii? Mbowe ana 20+ na hajawavusha, mnashindwaje kumpindua? MBOWE KAZALISHA MATAKATAKA MENGI SANA
Tweet media one
Tweet media two
112
23
120
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
UFIPA MSIOGOOE KUTOA MAAZIMIO HADHARANI 💉Hata Kama mmekubali kuunga juhudi semeni tu 💉Hata Kama mnaanza na Tume huru semeni tu 💉Hata Kama hamsusii uchaguzi semeni tu 💉Hata Kama mnawasamehe Covid-19 semeni tu TUTAWALEWA TU HAMNA HAJA YA KUZODOANA HUMO MPAKA MNATAKA KUPIGANA
Tweet media one
30
15
119
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
LISSU NA CHADEMA WATUPU SANAAAA ✍️Baada ya hotuba yake ya Jana Temeke, ikabidi nizame chimbo kujua uhusiano wa katiba na Bei ya mchele. ✍️Tz Ni nchi ya 2 Africa kwa Bei ndogo ikitanguliwa na SOUTH ✍️USA na Kenya zenye katiba Bora mchele Ni 8800 na 5300. Hizo katiba zimesaidiaje?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
140
17
113
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
CHADEMA NATAMANI KUONA MKIPANGA TIMU HIVI NICHEKE😂😂😂 🗣️Golini mzee Mbowe beki 5 pale Mdude 🗣️Beki za pembeni Maritin na Hilida😂😂 🗣️Viungo Munyika na Sugu 🗣️Washambukiaji Lyenda na PAMBALU😂😂😂 HIVI MKO SERIOUS KWELI?
Tweet media one
15
13
108
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
CHADEMA WANAVOBURUZWA NA COVID ✍️Wakili anayeongoza kupiga hela bila kushinda kesi yoyote BWANA Kibatara amesababisha kesi ya wabunge 19 kuahirishwa hadi mwezi wa 3, 2023, kwa kushindwa kutokea bila sababu za msingi. ✍️Wale wnasheria wenu wasomi 37 wako wapi kwani na mibegi yao?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
42
7
106
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
3 years
Kila siku WAKOMBOZI wanajisifu Wana akili kubwa, lakini akili zao hazijawahi kuwasaidia kutatua Matatizo yao. Sana Sana wanazitumia kuona wenzao hawana akili. Matokeo yake wanabaki KULIALIA kila siku wanaonewa. HIZO AKILI AU MAKAMASI?
@kigogo2014
Kigogo Media
3 years
Yaani hamna madaraka mna dharaiu watu kiasi hiki.. Sawa nyie mliosoma na wenye ma PhD tafuteni hiyo katiba… Si mnadharau walioishia darasa la saba.. Sasa subirini 2025 tuwanyooshe
Tweet media one
39
9
139
16
3
102
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
👉Inaonekana CHADEMA wamevutiwa na utendaji wa Mama hivyo kumuunga mkono. 👉CHADEMA ya nyuma haikuwahi kuwa laini kwa CCM kama hii 👉Uchaguzi wa 2025 kuna uwezekano CDM watampigia kampeni mama 👉Kama tukifikia huko MAAJABU. Sijaona popote chama pinzani kinaunga mkono chama tawala
Tweet media one
Tweet media two
57
11
106
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
@BabJ0N Rufaa kupinga maamuzi ya mahakama ktk kesi ya Wlliam🙏🙏
Tweet media one
19
10
103
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
LIPUMBA AMLIPUA LISSU ✍️Amwambia kupigwa risasi sio kigezo Cha kuwa Rais wa nchi ✍️Amtaka amwage Sera badala ya kuimba risasi kila siku maana watanzania hawali Wala kulipa ada risasi ✍️Naungana na Prof Lipumba, urais unahitaji maono na karqma toka kwa Mungu NAAMBATANISHA👇
Tweet media one
70
15
102
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
MJUE CDF MPYA YUKOJE ✍️Haya maneno ni kabla hajateuliwa kuwa CDF ✍️Now yeye ndo CDF haters mnasemaje? @kigogo2014 @RashdaZunde @ngaso6 @Mapungo2020 @Getrude_mollel @sheby_yahya @kassimsaadmsuy1
17
13
97
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
CHADEMA LISU OKOENI UFARANSA NA UINGEREZA 👉Kumekuwa na maandamano yanayosababishwa na ugumu wa maisha na Bei kupanda Ufaransa na Uingereza 👉Kwa akili nyingi za Lisu na CHADEMA wanaoamini katiba mpya itashusha Bei ya chakula na vitu, nendeni mkawatengenezee KATIBA MPYA NYAMBAFF
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
68
14
100
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
CHADEMA MNATIA AIBU ✍️Mnaposema mnaongea na waTz na wanahabari muwe sirias ✍️Hivo vi-Mic vyenu 3 ndo mnaongea na watanzania? ✍️Hiyo ni dallili kuwa hata wanahabari wamewachoka kutwa kulialia badala ya content ✍️Mnashindwa na SIMBA, YANGA na CCM? bado mnasema mnapendwa? BADILIKENI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
61
8
96
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
MAWAKILI WA SABAYA WANA AKILI KULIKO WA CHADEMA ✍️Wamepangua kesi zote za Sabaya bila mbeleko ya Dpp wala mashinikizo kama ilivyokuwa kwa kesi ya ugaidi. ✍️ Mawakili Chadema hawajawahi kushinda kesi yoyote, Mbowe alikutwa na kesi ya ugaidi akitetewa na mawakili WASOMI SIFA TUUU
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
50
9
90
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
Ahsante Polisi ahsante Mahakama. Pole UFIPA pole @Twaha_Mwaipaya Mahakama imewapa polisi ruhusa ya kumshikilia Tena kwa wiki nzima. Means atanyea debe mpaka j,3 ijayo. MAWAKILI WASOMI WAMEDUNDA KAMA KAWA YAO. @kigogo2014 @Ngaso6 @sheby_yahya @RashdaZunde RT nyingi iwafikie UFIPA
Tweet media one
62
15
91
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
Tukiacha ujinga tutakubaliana kuhusu adhabu ya Haji Manara 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 @Ngaso6 @sheby_yahya @zachariageosayi @Coach19602642 @kigogo2014 @VidonyiHumphrey @Mapungo2020
14
9
94
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
LISSU KALIPWA NA SAMIA. WHY UFIPA KIMYAA? 👉Serikali ya Mama Samia imemlipa Lissu haki zake za kiinua mgongo wa ubunge. Good 👉Why CHADEMA hamsemi Wala kupongeza kwa mlilolilia siku nyingi? 👉Na why still haiamini serikali kwa kutaka ulinzi? MNYONGE MNYONGEENI HAKI YAKE MPENII👇
Tweet media one
Tweet media two
50
11
94
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
UFIPA MOVIE ZENU ZA KITOTO 👉Wakati mnaionyesha dunia Tz HAKUNA amani, Andre Herrera anaonyesha furaha kuwa ktk amani na furaha Tz Tena na CCM. 👉Kwa upumbavu wenu dunia itamsikiliza Mdude au Herrera? 👉HAMJAWAHI KUWA NA AKILI WALA KUFANIKIWA KTK LOLOTE(in @kigogo2014 voice)
Tweet media one
24
20
90
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
LISU SIO MTETEZI, NJAA SANA ✍️Wapuuzi wanamuita mtetezi wa wanyonge kisa ana mdomo mchafu kwa serikali(UJINGA HUU) ✍️Kujua kuwa hana mapenzi na nchi na wananchi ona hii Mtangazaji:- "serikali ikikulipa hela ya matibabu awarudishie walochanga" Lisu:- "Sirudishi hawakunikopesha"😅
Tweet media one
Tweet media two
60
6
94
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
KWAKO DA @ummymwalimu 👉Zingatia huu ufisadi wa 204.65B ungetibu watoto 400+K kwa Bei ya 50,400 zingatia hata Bei hiyo walojaa ni wanafunzi TU 👉Kupandisha Bei ya TOTO AFYA toka 50,400 mpaka 120(double) ni hatari Sana 👉Mmepandisha kufidia ufisadi huo au mnataka masikini wafe? 🤔
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
51
26
88
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
3 years
Leo Januari 23, Dkt. Salim Ahmed Salim anatimiza umri wa miaka 80. Amekuwa mtumishi wa umma Tanzania na nje ya Tanzania kwa zaidi ya miaka 40. Mwaka 1964 akiwa na umri wa miaka 22 aliteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Misri. Pichani ni mwaka 1959 akiwa na Mwalimu Nyerere.
Tweet media one
5
12
92
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
CHADEMA OMBA MSAMAHA WASUKUMA ✍️Maandalizi mkutano Mwanza umedoda ✍️Mnakodi bodaboda na kuwajazia wese ✍️Sababu ni kuwatukana WASUKUMA kuwa washamba, kuwaita "SUKUMA GANG" ✍️Pia mlifurahia kifo Cha Magu wao, leo wanawaadhibu ✍️Hili litaenda Musoma, Shinyanga na Kagera EVIDENCE👇
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
62
10
88
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
NDOTO ZA JINAMIZIJUU YA UTAWALA WA MBOWE CDM: 👉Ndipo Wangwe aliuwawa 👉Ndipo Zitto na Kitila walifukuzwa 👉Ndipo Slaa alifukuzwa 👉Ndipo Lowasa alinunua Urais, 👉Ndipo Prof Safari alijitoa 👉Ndipo Covid-19 wanafkuzwa 👉Ndipo Lisu analipuliwa MWAMBA ANATUVUSHA AU ANATUZAMISHA?
Tweet media one
58
11
86
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
CHADEMA HAMJIELEWI🙏 ✍️Mlipiga picha kidogo TU ya Mbowe na @HEBobiwine baada ya kutoka Jela mkajisifiaaaaa.. ✍️ Sasa @zittokabwe Yuko na @HEBobiwine na WAZUNGU wakisuluhisha mgogoro wa Russia na Yukireni huko mjini Kiev na bado @ACT hata hawaringi. ✍️Samia anaitwa shangazi wa EAC
Tweet media one
34
17
86
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
Hii habari mbaya sana kwa CHADEMA, mitaa ya UFIPA na kwa mzee Mboe in general😅 Sabaya kaachiwa then ANAKUWA mkuu wa mkoa Kilimanjaro😅😅😅
Tweet media one
74
12
89
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
WARNING FROM YANGASC ✍️From today onwards, mjadala wa @IamFeisalSalum na @yangasc1935 umefungwa. ✍️ With regard that @yangasc1935 Ni kikosi kipana kisichotegemea mchezaji 1 ✍️Kuanzia leo FEISAL atakuwa shabiki wa AZAM na mwanabench wa YANGA Huku akitumikia upumbavu wa SIMBA Polee
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
12
11
83
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
CHADEMA NA ULAGHAI WAO 👉Picha kushoto, Lema na mkewe kabla ya kuwa mwanasiasa wa CHADEMA, maisha yalimpiga Sana😅 👉Picha kulia, Lema baada ya kuingia CHADEMA na kunufaika na michango ya MANYUMBU ya UFIPA 👉Dunia nzima hakuna nchi yenye wakimbizi 2 wa kisiasa nchi nzima Ila Tz
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
100
6
81
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
CHADEMA: RAIS NA PM WAJIUZULU ✍️Ajali za ndege zimekuwa tatizo Sana TZ na kupoteza maisha ya watu ✍️Rais hajachukua hatua zozote kuzuia vifo vya ajali hii ya USA ✍️PM na kitengo Cha maafa wameshindwaje kuokoa watu walokufa ktk ajali hii USA? CHADEMA HAMJAWAHI KUWA NA AKILI HATA
Tweet media one
Tweet media two
29
8
82
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
HII HABARI MBAYA KWA CHADEMA 😭 ✍️Mkiambiwa akili ya @zittokabwe sawa na UFIPA wote na wafuasi wao muelewe ✍️Leo ACT chini ya @zittokabwe wamejenga jengo lao Kama TAASISI na wanazindua next week ✍️ @ChademaTz mmebaki kutetea viongozi wenu walevi TU ✍️Mnashindwa na CUF? SHENZYTYPE
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
43
7
79
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
3 years
SABABU ZA @kigogo2014 KUHAMA UFIPA: 1. Matumizi ya matusi, kashfa na KEJELI badala ya hoja 2. Kashfa za UGAIDI na kutetea watuhumiwa badala ya kuiachia mahakama. 3. Sera ya USHOGA kuwa Sera kuu ya chama na mgombea Urais aliinadi. SASA MZEE @kigogo2014 AKONA KUGONGWA NOOO🏃🏃
@SuphianJuma
Suphian Juma Nkuwi
3 years
Comrade @kigogo2014 kawa Mwanachama RASMI wa CCM, wapanikaji wakuu ni Wapinzani na Wanaharakati, hakika CCM Baba lao, vyama vingine ni vijitoto tu. CCM itaongoza Milele maana ndio Chama chenye sifa ya kuunda Serikali, Wapinzani na Wanaharakati wamekubali hilo. IDUMU CCM.
Tweet media one
35
5
32
27
11
80
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
TAARIFA TOKA YANGA ✍️Jengo la @SimbaSCTanzania limeshindwa kuwekwa ktk jezi za @yangasc1935 sababu ya uchakavu(depression) ✍️Hii inaweza kuathiri anuani za makazi zilizo ktk jezi hizo ✍️Ombi, @SimbaSCTanzania tunaomba mkarabati banda la machinga complex. Ona machinga walivojaa🤣
Tweet media one
18
6
82
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
UFIPA ANDAMANENI SASA ✍️Kinana mgeni rasmi @yangasc1935 day. ✍️Katiba inaruhusu makam m/kiti wa @ccm_tanzania kuwa mgeni rasmi Yanga? ✍️Hii haijajaa kisiasa kweli? F yes, anzeni maandamano. If no, tesekeni kimyakimya🤣🤣
Tweet media one
13
6
79
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
Haya matusi wanatukanwa Mboe, MNYIKA na Heche waloenda na wanaoendelea kukutana na Rais ambae nchi imemshinda. UFIPA amkeni Timu Chiba/Lema wako kazini kuwatuhumu Timu Mbowe kwa kisingizio Cha wengine. Timu FUJO wanaumia Timu Hekima inapokutana na Rais kwa madlah ya Taifa.
Tweet media one
19
10
79
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
3 years
@kigogo2014 Washasahau hata kutoa updates za kesi. Leo wao ndo wamekuwa Kingai wanaomba maji🤣🤣🤣. Boaz atawaua aiseee
5
3
81
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
WAPINZANI TZ HAWAJUI NINI WANATAKA ✍️Upinzani kazi ni kudandia matukio tu, leo TRAT na TRAB, kesho kwanini Rais ameenda Msumbiji etc ✍️Upinzani unaendeshwa na matukio. Kazi ni kuombea baya lijitokee wapate cha kusema, hawajawahi kuwa na agenda ya kudumu. NB: JITAFAKARINI MAPEMA
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
44
9
80
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
KATIBA MPYA SI KILA KITU 👉Dk. Slaa kaelezea vizuri sana mskilize 👉CHADEMA wanataka mambo yote yasimame sababu ya katiba mpya 👉Wanaamini hata ukinyimwa unyumba tatizo katiba 👉Ukichangia chama ukafilisika shida katiba 👉Tumeishi 60yrs kwa katiba hii mambo yanaenda TUPIGE KAZI
42
12
75
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
CHADEMA MNASIMAMIA NINI? 👉Mlihesabu siku za jela Mbowe, now ametoka? 👉Mlichora kuta, Sera imetekelezeka? 👉Mlilala ubalozini, now usingizi umeisha? 👉Mlitamba na Makongamano, mshapata katiba? HIVI MNASIMAMIA NN HASA? @kigogo2014 @Getrude_mollel @Malilo_One @Ngaso6 @ZongoZungu_
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
47
7
75
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
Tumetoka mbali sanaaaa😅 Toka Sabodo, LOWASAA mpaka MARIDHIANO? 😅 Unakumbuka na kuelewa nn? COMENT ZIWE FUPI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
10
9
73
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
MBOWE AMLIPUA LISU LIVE Lissu: "Passport yangu nimepata, mafao yote nimelipwa gharama za matibabu pia nitalipwa, asante Rais" Mbowe: "Mimi nilipokwenda kuonana na Rais Nilikwenda kuongea naye kuhusu maslahi ya Taifa haswa Katiba Mpya sio yangu binafsi Kama mwenzangu". 😅😅😅
Tweet media one
Tweet media two
28
11
78
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
11 months
LIPUMBA ANA AKILI KULIKO LISU MNYIKA NA MBOWE ✍️Kwa kugundua kuwa katiba mpya kabla ya uchaguzi 2025 haipo, Prof Lipumba amependekeza sheria na ibara za uchaguzi zifanyiwe marekebisho zitumike 2025 ✍️Hii ni tofauti na vilaza wa UFIPA ambao wameshupaza shingo kutaka katiba mpya
Tweet media one
Tweet media two
61
13
76
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
RECORD IMEANDIKWA 🙏🏼 ✍️ Issue sio kuongoza ligi ktk kundi, issue ni "kwa Mara ya kwanza tangu Tz iumbwe tumeingiza timu mbili robo" ✍️Hii tutasaidiana kueimulia vizazi vyetu ✍️Hongera @yangasc1935 hongera @SimbaSCTanzania hongera Rais @SuluhuSamia hongera @Tanfootball
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
12
6
72
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
UFIPA MKO WAPI? ✍️Yaani leo @ccm_tanzania ndo wakudai katiba mpya? ✍️Yale maHashtag #KatibaMpya yameenda wapi? ✍️ @John_Pambalu na @Twaha_Mwaipaya pumzi imekata? ✍️Mnapiga mikelele na kuzurula wakubwa wanakula mvinyo. @Kigogo2014 alishawaambia, "HAMJAWAHI KUWA NA AKILI" MUUWENI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
10
10
74
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
CHADEMA ANDAMANENI SASA ✍️Baada ya Jana kukasirika Kinana kuwa Mgeni rasmi Yanga day mkidai tunachanganya siasa na mpira ✍️Leo @SimbaSCTanzania wanahamasisha waTz kuhesabiwa ktk sensa ikiwa Ni agizo la serikali ambalo mnalipinga. ✍️OMBI: ANDAMANENI MWENDE MSIMBAZI NA JANGWANI
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
17
11
70
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
FYATU KARUME AMTUKANA MBOWE ✍️Mwanasheria nguli wa kutetea haki za mashoga bi FYATU KARUME amemuita Mbowe MPUMBAVU kwa kosa la kusema rais ni mzanzibar anaeiuza Tanganyika ✍️CHADEMA andamaneni Sasa bi mdashi kamaliza
Tweet media one
Tweet media two
30
8
72
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
@iam_venga Yes, Ni kosa kutongoza Askari wa kike kwenye uniform. Unakuwa umeitongoza serikali hapo. Na akikuvulia nguo ukamnyandua unakuwa umeinyandua serikali. 😂😂
13
3
74
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
3 years
@kigogo2014 🤣🤣🤣🙌🙌🙌💉💉💉 kama ambavo Lowassa na Sumaye walivorudi walikotoka, the same applies to @kigogo2014 . "Kunyweni maji mengi mioyo ielee"( @Malilo_One ) Ntaanza kuorodhesha 1. ZITTO. 2. Kafulila, 3. Kitila, 4. Slaa, 5. Lowasa, 6. @kigogo2014 , 7........ KUNA NYONYA DAMU HUKO🤣
13
6
72
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
KODI TOZO LAZIMA, WENGI HATULIPI KODI ✍️Traders mitaani wanauza mboga,Chips,nguo hawajasajiriwa wanatumia infrastructures but hawalipi Tax Taxpayers ni workers sekta rasmi wanalipa PAYE na registered business ni rahisi kuipata WaTz waliobaki zaidi ya 30m wanalipa kodi wapi?
Tweet media one
58
11
72
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
NCHI INA WAPUMBAVU SANA ✍️Yaani mnatoa lugha chafu kwa Rais na kupanga kumpindua halafu mnamuomba Rais huyohuyo awasaidie mpelekwe mahakamani? ✍️Si mlisema hamuogopi chochote hata Jela? Mbona siku mbili tu milio kibao? 😅 ✍️Alowadanganya kupayuka atawasaidia kwenda mahakamani
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
65
14
72
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
@kigogo2014 Wanaanza kusema "najitolea" baadae utaskia "CHANGIA MSOMI" 😂😂😂😂😂😂
1
3
70
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
CHADEMA MBOWE/MNYIKA SAKAM ZENU HUKU:😂 👉I used to say Kuna CHADEMA mbili, 1: CDM Mbowe/Mnyika 2: CDM Lissu/Lema 👉Hizi Salam toka kwa CDM Lissu/Lema zimetumwa kwenu Kupitia kwa MMM 👉Hawa wamezoea vurugu hawataki maridhiano 👉Ana watu wanaomtuma so Mbowe/Myika TAKE CARE
Tweet media one
26
12
71
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
3 years
Hata Kibwetere alikuwa mhubiri mzuri Sana wa dini na Bible. But the res is history. May be you was not yet born. DON PROMOTE OR DEMOTE THE KINDNESS OR BADNESS OF SOMEONE. MOYO WA MTU KICHAKA. LETS LAW LEAD THE WAY
@LembrusMchome
Lembrus Mchome
3 years
Mwisho wa ubaya ni aibu, Leo ccm mnachokifanya kwa @freemanmbowetz ni ukatili uliopitiliza, lakin dunia inajua kua sio gaid na naiona aibu yenu mbele
Tweet media one
24
58
579
14
6
68
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
TAFITI: UFIPA WOTE HAMNA AKILI ✍️Hamtambui uchaguzi ulopita, mnafanya maridhiano na Rais wa wapi? ✍️Mnakomaa na kina @halimamdee watoke bungeni, wale 350 wa CCM walipita kwa halali? ✍️KAMA UCHAGUZI NI HARAMU, PINGA RAIS NA WABUNGE WOT HAMNA AKILI KWA KWELI. NJOO MNIUE NIKO HAPA
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
32
12
71
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
"Respect African societies and their values, if don't agree, just keep quiet"🙌🙌🙏🏼🙏🏼 MUSEVEN NDO MWAMBA SASA. ANAWAPA KAVU LIVE @rwabudugu @zachariageosayi @mgangajoh @VidonyiHumphrey @siadevinci @Mapungo2020 @ngaso6_ngaso @ThomasTuniga @ZongoZungu_ @sheby_yahya @mwewe_48
3
27
70
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
CHADEMA INA WENYEWE, CCM YA WATZ WOTE🙏🙏 🗣️M/kit wa 1 CDM Mmachame Hai 🗣️Wa 2 kaoa Hai Mmachame kwa wa kwanza 🗣️Wa 3 Mmachame Hai CCM 🗣️Wa 1 Mzanaki Mara 🗣️Wa 2 Mzanzibar Unguja 🗣️Wa 3 Mmakuwa Mtwara 🗣️Wa 4 Mkwere Pwani 🗣️Wa 5 Msubi Chato 🗣️Wa 6 Mzanzibar CDM INA WENYEWEEEE
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
31
8
69
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
@mdudechadematz UFIPA MNA VILAZA SANAAAAA KAMA MNAWAJUA WAWEKEZAJI NA KAZI ZAO, WHY HAMJAWAITA WAWAJENGEE OFISI? HELA ZA MICHANGO MUONDOE TATIZO LA KUCHANGISHA WANACHAMA KAMA "MICHANGO YA MAWAKILI"?? HIVI MZEE UNA HATA STD 7 KWELII🤣🤣🤣 "USIPOONGOZA UTAONGOZWA"🤣🤣
Tweet media one
14
4
71
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
LEO TUPIGE KURA MMM VS @rollymsouth NANI SMART? 👉Baada ya Vita ya MMM kushindwa na @MwanaFA akahamia kwa @rollymsouth . 👉Sasa tuamue Nani zaidi Kati ya MMM na @rollymsouth ?? In terms of HOJA, FAMOUS na UTU?? @Eric_Bernard94 @fazoboya @rollymsouth @anuskills3
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
30
6
68
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
3 years
Mmekutana pipa na mfuniko. Mtumishi wa Mungu aogope kitisho Cha kifo? Sasa Mungu wake ana faida gani ya kuendelea kumuamini? 🤣🤣🤣. UKIONA UNAOGOPA KUDHURIWA NA MWANADAMU BASI WE NI SHETANI KAMA WAO🙏🙏🙏
@TanzaniaLeaks
Tanzania Leaks
3 years
LEAK: Nabii Josephat Mwingira awe muangalifu anapo kwenda kuhojiwa na polis. Pia, aongeze ulinzi binafsi. #TanzaniaLeaks tumepewa taarifa kuwepo kwa nia ovu dhidi ya uhai wake. Kunampango mbaya sana wa kumpokonya haki yake ya kuishi. Lengo: kujenga hofu watu wengine wasiongee.
Tweet media one
Tweet media two
101
149
1K
19
6
65
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
✍️Dege kuuubwaaa limetua now kwetu SONGEA. Utaq?wasikia UFIPA wanasema limekuja kubeba Twiga na ndo hao hapo chini wanasubiri kupakiwa😅😅😅 SIASA ZA MANYUMBU? 😅😅😅
Tweet media one
32
8
72
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
3 years
Kuna watu wakiona hii picha wanapumua kwa Shida sanaaaa. Wanatamani angekuwa Mzee wa FUTUHI/MIGA/UNGA wamsifie sanaaa🤣🤣💉💉. Sema Mungu fundi sanaaa.. MJIVUNI HUNYIMWA
8
4
69
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
3 years
Namuona mtoto wa Sugu mbele, mjomba wa Lema nyuma, shangazi wa Msigwa katikati na binamu wa Heche anachekelea😂😂😂😂 Kumbe tunasoma wote humo? Nikadhani madarasa ya wanaCCM pekee?? 🤔🤔🤔 "KILA GOTI LITAPIGWA" Daaaadeeeeeeeeek😂😂😂
@kigogo2014
Kigogo Media
3 years
Kuna wale wanaharakati walioko Kenya sijui wanasemaje? Maana walileta nongwa kweli kweli.. wengine wakasema haiwezekani madarasa kujengwa kwa muda mfupi hivyo na blah blah kibao Haya leo mnasemaje? Muwe waangalifu sana Rais huyu anajua anakotaka kuipeleka hii nchi . POLENI SANA
Tweet media one
13
9
65
10
6
66
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
MANYUMBU KUPISHANA ANGANI NI UPUMBAVU ✍️Wakati naibu nyumbu mkuu aliwasili 25/1/23, leo tena akipaa kwenda ubiliji, mkuu wa manyumbu Kanda ya KLM anaingia 1/3/23. ✍️Ikumbukwe manyumbu yamekuwa yakilalamika Rais @SuluhuSamia kusafiri Sana. ✍️Manyumbu yakipata nchi ITAKUWAJE?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
33
10
70
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
3 years
Kwani WAKOMBOZI Wana tusi jipya Basi? Zaidi Wana vijineno vya kishambaaa huku wakipongezana. DIARY ya KIGOGO na leo waitukane Tena sasa. INATOA USHAHIDI
@kigogo2014
Kigogo Media
3 years
@Hb_cbe_2020 Waendelee kutukana sasa
2
1
4
6
7
68
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
3 years
Nakubaliana na wewe @kigogo2014 huu ujinga wa kutukana dini za wengine sababu ya SIASA Ni wa kupigwa vita hata na sisi wakristo. Maana tukiulea kesho tutatukaniwa sisi dini yetu. CDM wkikalia kimya hili bila kumuonya Basi tutaamini Ni Sera ya chama na walimtuma. Naambatanisha👇
Tweet media one
Tweet media two
@kigogo2014
Kigogo Media
3 years
@Hb_cbe_2020 Huo ni msimamo wa chama chao towards dini zingine.. Wala usifikiri wanaongea from no maagizo ya viongozi wai
3
1
10
21
12
67
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
3 years
@jjmnyika @ChademaTz Bora Rais hakusema mapya but tumepata Historia. Hivi hotuba yenu ya Leo itakuwa na mapya zaidi ya kulalamika na KULIALIA? Mtatoa dira ya kueleweka ya chama CHENU zaidi ya MANUNG'UNIKO? NB: ANDAENI MTAALA WA KUELIMISHA WANANCHI WAIJUE KATIBA YA ZAMANI NA KATIBA MPYA, NOW MTAIMBAA
3
5
66
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
UFIPA NJOO MJIFUNZE KWA CCM ✍️CCM dubwana kubwa sanaaaa(in @kigogo2014 voice) ✍️Wakati CCM wanakaa KAMATI KUU kujadili mustakabali wa chama na wa nchi, UFIPA mkikaa KK Basi Ni kufukuzwa watu uanachama au kujadili namna ya kuchangisha pesa. ✍️Kujifunza kwa waliotangulia sio kosa.
Tweet media one
Tweet media two
20
7
68
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
@SimbaSCTanzania ✍️Viongozi wa @SimbaSCTanzania MSITUFANYE mashabiki Kama mafala. Huyu jamaa kwa mwaka 1 kafukuzwa na timu 3. ✍️Mara ya mwisho kafungwa mechi 5 mfululizo ✍️Ktk historia kachukua ngao ya jamii 1, ligi kuu 2 na super cup 1 ✍️Sasa mnatufanya vlaza kwa maslahi gani? NAAMBATANISHA👇👇
Tweet media one
Tweet media two
34
15
65
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
SIASA IMEWASHINDA CHADEMA, AKILI ZIMEGOTA ✍️Mmezuiwa mikutano ya hadhara ya kikatiba, mnasubiri maridhiano ✍️Mmeshindwa kuwaondoa covid-19, mnasubiri maridhiano ✍️Mmekosa Sera, mnadandia PM na VICE kutohudhuria uzinduzi bwawa la umeme ✍️M/kit wenu anasema kila mtu apambane? 😅😅
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
22
4
67
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
@mdudechadematz ACHA UJINGA KILAZA WW CDF wa 1 Sarakikya alipandishwa cheo toka Captain kuwa Brigadier na kuteuliwa kuwa CDF mwaka 1964 CDF wa 2 Twalipo. Kabla ya uteuzi wake alikuwa RC Ziwa Magharibi Sasa hivi Kagera. Twalipo alipandishwa cheo toka Colonel na kuwa Major General @kigogo2014
20
5
68
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
CHADEMA VILAZA WENGI ✍️Kwa kuzingatia wingi wa vilaza walio nao Kama @mdudechadematz , MMM, @Twaha_Mwaipaya @John_Pambalu na HILDA, wameogopa kuingiza timu ktk uchaguzi wa EALA ✍️Wameogopa kutolewa nishai na watu smart Kama @AdoShaibu wa ACT WAZALENDO MLIAMBIWA SOMESHENI VIJANA
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
35
10
65
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
CHADEMA NJOO, ATCL INAUZWAAAA😭😭 ✍️Kwa upumbavu wa CHADEMA kila mkataba wa ushirikiano ni mauzo ✍️Sasa safari hii mauzo hawasimamii wazanzibar, ni chinga boy toka Ruangwa, anauza AIRPORT yetu kwa Putin ✍️Andaeni maandamano na mkutano MWEMBEYANGA sio Buliyaga😅😅😅 MNAWASHWAAAA✍️
Tweet media one
Tweet media two
38
10
66
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
3 years
Tuwaelimishe kidogo, maana Space wanadanganywa sanaaaa
3
4
59
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
CHADEMA WAZURULAJI NA WIVU WA KIKE ✍️Chama kizima mnajazana kotini na kubanana kisa @halimamdee na wenzie wafuliwe ubunge? ✍️Hivi hamna Kazi za kufanya Kujenga chama? ✍️Kuna midume nguvu kazi eti inafatilia kesi ili @halimamdee afuliwe ubunge😅 ✍️Then wakifutiwa mnapata nn😅
Tweet media one
Tweet media two
52
5
63
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
HONGERA SANA CHADEMA ✍️Watu humu ndani MNA Siri Sanaa. Yaani CHADAMA wameshusha Bei ya mafuta kwa kutoa Ruzuku bado mmekaa kimya?? 🤔🤔 ✍️ @ccm_tanzania na @ACTwazalendo jifunzeni uongozi Bora kwa @ChademaTz 🙏🙏 GOOD MORNING TANZANIA
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
31
7
60
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
HIVI WANAUME TZ TUNA NN? 👉Rais mke, anafanya vyema 👉Mpira wanawake wanafanya vyema 👉Wizara za wanawake zinafanya vyema:- Afya, Mambo ya nje nk. Za wanaume dah? Michezo, Nishati, mawasiliano shida 👉Upinzani wote wanaume HOVYOOOOO.... SHIDA IKO WAPI? TUWAACHIE WANAWAKE TU AU?🤣
Tweet media one
Tweet media two
50
9
65
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
3 years
@TanzaniaLeaks DAWA YA UONGO HII👇: MUONGO: Jana Canada kavuliwa samaki mkubwa Sana duniani, urefu toka posta mpaka Mwenge, walimvua watu 100,000 MDANGANYIKA: Leo limetengenezwa sufuria kubwa hakuna duniani, upana posta na Tegeta. MUONGO: La nn? MDANGANYIKA: La kumpikia huyo samaki wako🤣🤣
7
2
67
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
3 years
CHADEMA ni chama pendwa, chama Cha mioyo ya waTz. Pelekeni mtu mmoja akagombee nafasi ya Spika bungeni ili akapambane na mgombea wa CCM. Tumechoka kuona Spika wa kijani kila mwaka Kwa kuwa chama Kiko mioyoni mwa waTz wakiwemo wabunge, Basi naamini Spika atatoka UFIPA. Hasa MDUDE
@kigogo2014
Kigogo Media
3 years
CCM wametoa tangazo kwa wanachama wao na wabunge wao wanaotaka kuwania nafasi ya spika kuchukua fomu.. Vyama vingine hasa kile kikundi cha kulalamika kila kitu tusubiri sasa msimamishe mgombea wenu tuone 🤣🤣
5
6
48
28
7
63
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
UKWELI: CHADEMA IMEPASUKA ✍️Pamoja na kujifanya wamoja nje, lakini ndani CDM imepasuka. ✍️Mbowe anatangaza maridhiano na anayapenda, yameleta mikutano ✍️Lisu anasisitiza hayatambui maridhiano ya wauaji na watekaji ✍️Mbowe na chopa, Lisu na gari? Hauko sawa MNYUMBU PANDE GANI?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
61
14
62
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
✍️Yanga vs Azam leo Kama hutaki hama nchi😅
Tweet media one
9
6
66
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
2 years
CHADEMA LISU POLENI 👉Hii ndo Tz tunayoitaka waTz, anayoitaka Samia, anayoitaka Mbowe/Mnyika, anayoitaka Zitto. 👉Najua kwa hili mmeumia Sanaa. But no way out. Waambieni magarasa yenu Maritini, Hilida na Mudude watafute kazi za kufanya au waende Yukireni wakapambane🙏🙏
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
16
5
64
@Hb_cbe_2020
HB_CBE
1 year
BODABODA ARUSHA WAANDAMANA 👉 Bodaboda wa Arusha hao wakiandamana kutoka Brussels kuelekea Antwerp then Ottawa Canada Kupitia Unga Ltd via USA liver 👉Then wataungana na VIKOBA wa mama ntilie kwenda kumpigia kura Lema kwa kuwadharau na kuwadhihaki baada ya kulewa ULAYAULAYA 😅😅
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
32
10
63