Britanicca🇹🇿 Profile Banner
Britanicca🇹🇿 Profile
Britanicca🇹🇿

@Britanicca0

3,988
Followers
86
Following
712
Media
5,998
Statuses

whistle-blower living in Vladivostok Russia , CCM Member Since 2002, Defending People.

Vladivostok, Russia
Joined April 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
BREAKING NEWS NIMERUDI RASMI KWA AJILI YA TAARIFA Kuna Upotoshaji unaofanywa mara kwa mara Juu ya Serikali Nitakuwa hapa kutoa taarifa sahihi ! Tunaopenda Maendeleo ya nchi tutatetea inapobidi Maana Upotoshaji ni mwingi sana, follow @Britanicca0 Kwa update za maendeleo
20
12
165
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Mi na Huyu tu Mamdogo wa Taifa Like na Retweet imfikie
Tweet media one
52
147
1K
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Crimes in Nigeria is 100 times petty crimes done in Zanzibar , Zanzibar is safe…we need 1000 RTs
Tweet media one
50
689
1K
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Ni mawazo yangu tu What if Ndugai akasimama Kupitia Upinzani Mwaka 2025 kugombea urais?, hasa kwenye chama Chenye Ushawishi CHADEMA
Tweet media one
362
42
1K
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Ufipa wanadhani Samia tu ndo kapandishwa basi ni maraisi wote wa Ulimwenguni convoy zisingetosha kule, ila Rais wa Marekani tu ndo kaenda na Msafara wake
Tweet media one
108
23
1K
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Huyu si Dada tu Kwa Taifa bali ni Mwalimu nguli wa sheria, Amewafundisha vijana mbali mbali akiwemo Tundu Lissu University of Dar es salaam! Juzi Kafafanua Nguvu ya Rais kulingana na Katiba!
Tweet media one
183
23
846
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
NAMPENDA HUYU @MariaSTsehai basi tu kazi yake anayofanya SI mchezo
Tweet media one
18
17
751
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Nyumbu of CDM use @SuluhuSamia photo with one of leader of Arabs to say it is because of Loliondo and Masai here you can see in 1985 Late Mwalimu Nyerere with Late Sultan Qabous of Oman in State house of Kingdom Palace in Muscataa,meeting an Arab doesn’t mean those Nyumbu says
Tweet media one
55
58
414
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Naona wanabandua za Kenyatta wanaweka za Rutto
Tweet media one
14
9
398
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
1 year
Jamaa T shirt ya TUCTA akaigeuza nje ndani aonekane Kapuku wa kwenye kahawa 😂
Tweet media one
54
11
393
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Napomuangalia @SuluhuSamia naona asilimia za U Nyerere ndani yake katika akili ya kuleta pamoja Taifa (intelligent) naona U Mkapa ndani yake yan Maendeleo ya wananchi kiuchumi umekuwa stable/shilling haichezi tena,naona Ukikwete Yaan kutoonea watu mskivu sana WE LOVE YOU MAMA
Tweet media one
116
31
347
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Mama afika kwa baba wa Taifa
Tweet media one
6
12
330
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
1 year
Mama sikuhizi ananawiri sana kibunda Ana ki control mwenyewe si kipindi kile Mke wa Rais Mpaka aombe hela ya kusuka kwa Mme katili! Mungu Akupe nguvu
Tweet media one
82
12
295
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Kigwangalla tunajua umebakiza mtoto mmoja Chonde chonde usimtoe kafara kudhani utapata uwaziri Mama kashaandaa Mkeka na waliomo wanajulikana haumo 😂
13
8
286
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Nawapata ntawapata sana bado nipo
Tweet media one
17
9
266
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
1 year
Nasikia Kabla report haijasomwa na CAG, Kipara alipiga simu Mara kumi na Moja haikupokelewa Huku kipara kikisweti
Tweet media one
25
19
265
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
TUPO WANA CCM TUNATAKA KATIBA MPYA MSIDHANI HATUONI MBALI NDO MAANA NIKAAMDIKA KWA HERUFI KUBWA
11
14
250
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Kuna watu hapo Nairobi wanakaribia kupasuka
11
25
248
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Samia Mwambie Kagame wafungwa wa Kisiasa mliobadilishana wakati wa Meko wako Gereza la Mukamira waachien Usiku fulani,ndege aina ya CRJ,mali ya nchi moja ya maziwa makuu,kwa kutumia magari meusi,ilibadilishana "wafungwa wa kuteswa"sababu ya kuupinga uongoz wa watawala wa pande 2
14
27
229
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Hii filamu ntainunua na ntasambaza Kwa marafiki zangu wote Duniani
13
38
229
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Urefu wa kamba yako ni mshahara wako na stahiki nyingine kisheria. Msimlishe maneno Rais @SuluhuSamia
46
11
221
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Mwaka 2019 alifuatwa na waandishi wa habari kwamba je unapenda uhamie wapi baada ya EPL? Akasema kwa msisitizo kwamba NIWAAMBIE MARA NGAPI MNIELEWE SINA MPANGO WA KUONDOKA BADO NIPO SANA ! nikajua hapo kuna mtu kubeba ndoo mara 5 mfululizo HahaHaha
Tweet media one
5
10
197
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Samia Kwenda Jeddah ni Tatizo ila Mkapa Na KIKWETE Kwenda Vatikan si Nongwa! Haya mambo haya yanachekesha ni Kwamba Tumeishiwa agenda au ?????
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
22
19
202
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Mdee acha Ubunge nikutaftie kazi Nairobi hahaha wakati naye anautaka ubunge siasa hizi dah
Tweet media one
18
12
199
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
CHADEMA andaeni Vijana wa kuwasemea Mtandaoni kwa weledi siyo hawa Wavuta bangi ! Mbona kuna vijana wengine mnao wana akili ila hamuwapi kipaumbele cha kuongea? Mnaishia kuwapa akina Martin Na Mdude Haha
60
11
191
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
BASHE ni Mtu na Nusu aisee CCM ina Vijana welevu
12
9
190
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi nchini (CDF) Jenerali Venance Mabeyo Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Tweet media one
4
15
192
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Zuhura @venusnyota amekuja na kitu tofauti kabisa , kwamba Press zote ziwe English version na Swahili tuelewane vema
4
6
178
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Karibu Tanzania ambapo Rais anahapa kulindwa na KATIBA badala ya Kuilinda KATIBA
4
19
173
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Tumeelewanaje Kuhusu Primitive
Tweet media one
4
9
164
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Humility and humble is the fundamental of every success and this is the smile of change makers.
Tweet media one
1
14
166
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
1 year
Kipara anajua
Tweet media one
1
8
169
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Tuelewane huyu ni @SuluhuSamia anampa Somo Macron Juu ya Amani na utulivu na kagusia mahusiano na Mali akisema Mtafaruku ukiwapo upe mda kila kitu kitakaa sawa!
Tweet media one
17
1
149
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Kwanini Polepole asirudi chama chake cha asili (CHADEMA) na Bashiru (CUF)? Naona kama CCM kimewakataa kiaina
9
8
150
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Yaan Jeshi lolote unalojua nchini liko chini ya Mama @SuluhuSamia hivyo acheni kujidanganya! Hata akiamua twitter hii anaipig ban Kama Yule mwingine mnaanza VPN hivo msibeze kazi nzuri ya amani Anayofanya bila kuwasumbua na wasiojulikana
Tweet media one
12
13
147
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
MAKALA/UZI:JUMA NATURE NA SINTA UZINDUZI WA "UGALI" TBT, BILA SOCIAL MEDIA NA KIKI LAKIN ILIFANA: WADOGO PITIA HAPA Miaka 15 iliyopita, Juma Kassim Nature kutoka Temeke alikuwa moja kati ya wasanii watatu wenye majina makubwa zaidi kwenye mkondo mkuu wa Bongo Fleva.
Tweet media one
19
29
145
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Mzee unaongea vema na unapaswa kuwafunza Hawa watoto wa juzi wanaojifanya wanayajua mämbo ya Siasa kuliko mliotangulia, wanajazana ujinga Sana Mitandaoni! Wengine Mbowe kuendelea kukaa ndani Ni agenda kisiasa inawapa followers, inawapa la Kusema
26
26
143
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Hivi Yule Professor PLO LUMUMBA YUPO WAPI😎😎😎 alikariri article moja ya Colonization of Africa anazurula nayo kila nchi anapoitwa anawadanganya, sijui Cryptocrasy democratic demanidsth muhuni tu haha
25
12
137
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Nchi ya TANZANIA inaongozwa Kijeshi kwa Mgongo wa SAMIA Hatutakubaliana na hili
3
12
138
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Nisomee Utabiri sasa 😂
Tweet media one
8
7
134
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Chadema sitisheni mchango wa matibabu tayari Serikali inagharamia suala hilo naomba tuelewane
Tweet media one
30
7
133
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Ndugu zangu wa Kanda ya ziwa Rais ni Mama Samia tujue hilo
32
9
130
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Nchi hiii 🙌🏾🙌🏾 Wapinzani waneshaanza kutetea panya Road aiseee
32
1
132
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Twende kazi
Tweet media one
6
9
125
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
KATABIA hakafi …CHADEMA mlimuondoa kwa dhambiya USALITI leo tena kaondolewa uku kwa Dhambi ya USALITI 2025 vile vile , Msimtetee
Tweet media one
6
15
128
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Ka Rutto kamebeba nchi bwana
Tweet media one
6
7
123
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Hii picha ina maana Kubwa Wanaharakati waleee kule alafu Kiongozi anayedai Kitabu Cha Mwongozo Mwamuzi kamtia Kibindoni wengine wanaodai kitabu cha mwongozo wa msitu hao kulee wangekuwa binadamu tungesema wako Ughaibuni mithili ya Ubelgwiji Ughaibuni hawaji kumnasua mwenzao
Tweet media one
7
8
121
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Mwingira Kuna Mengi nyuma yako unayafanya, ila kwakuwa imekuwa siasa ngoja ninyamaze kwa muda ila Mengi tu tunayajua sana !!
Tweet media one
10
2
117
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Hahaha
Tweet media one
14
3
119
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Gaudiolification of EPL 😆😆😆💪💪
Tweet media one
4
6
109
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Mzee wetu Kamanda Apongezwe anafanya kazi nzuri jamani. Hadi night eee
Tweet media one
6
5
112
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Unawacheki chama cha Ukombozi heee ndo wale ??
Tweet media one
2
4
94
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
2025 Ni Rahisi Sana nawaambia
8
1
101
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Mama Samia anajitahidi kuwaambia watu ukweli na uhalisia wa mambo waijue nchi yao na hali halisi ya maisha, Mama Samia hataki hadaa za kisiasa kuwaambia watu uchumi unakua wakati vita ya Ukraine na Russia inaleta Madhara makubwa sana Afrika hasa kwenye bei za mafuta,
22
8
99
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Asanteniii Wali suspend account yangu ya kwanza kisa namsema Magufuli kuhusu wizi wa billion 256 sasa nimetimiza 1000 followers asanteni wadau shukuru kwa kidogo
Tweet media one
5
8
101
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Uwepo wa @TitoMagoti Gerezani kwa Uonevu ulikuwa na maana kwa Dikteta lakin wakasahau ulikuwa na Maana zaidi na faida kwa Watanzania na Wapigania Haki, Tumeyajua mengi sana yanayotendeka gerezani, sisemi Kwamba Tito ni Yesu au Muhamadi ila aliteseka kwa ajili ya wengine kama wao
3
21
99
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Wafuasi wa chadema wa Mbele Ni mbowe. MWAMBA TUVUSHE MWAMBA 😂
Tweet media one
10
11
100
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
1 year
Hallo @Salym ni ndugu kabisa tumefanya kazi nyingi sana Ila hajui jina hili Nakutakia kila la heri uendako na tutakumiss BBC hapo London tutakosa wa kutuongoza tunapotua hapo Mara kwa Mara, pamoja kaka leo naachia code hii unijue 😂
Tweet media one
3
8
101
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Anaitwa Bona Kamoli Mbunge wa Chama cha Mapinduzi @ccm_tanzania ina watu nyie Ona anavyo shainiiii
Tweet media one
14
1
96
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Siasa zinaisha wakati wa uchaguzi.baada ya uchaguzi ni kuacha waliopewa dhamana kuwatunikia wananchi kwa kipindi tukichikubaliana cha miaka mitano kwa mujibu wa katiba.Hata usipompenda lazima utii Mamlaka yake kwa kuwa watanzania walio wengi ndiye wamemoa dhamana kwa wakati huu.
Tweet media one
6
4
95
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
kuna ujumbe wenu huku alaaaa
Tweet media one
4
13
90
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
•magufuli ametumia muda wake mwingi tu kumsukumia kikwete kila jambo baya, •bashiru ametumia muda wake mwingi katika madaraka yake ya chama kumsukumia kikwete kila jambo baya, •kina hapi wametumia muda vizuri tu katika kumsukumia kikwete kila jambo baya,
24
10
93
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Mama yuko Live huko US anabonga na dunia juu ya kukuza uchumi wa nchi. Harris kamala anamuahidi mama mambo Mazito
10
5
97
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
CHADEMA na UHUNI
Tweet media one
14
10
92
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Kuna anayebisha ?
Tweet media one
12
5
94
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Wakati anaingia Madarakani wengi walibeza wakadhani atashindwa ila Mambo Kumi ambayo mpaka sasa kafanya 1. UWAZI nchi imekuwa ya ukweli na Uwazi hakuna kuhadaana Au kudanganyana Kwa data za kupikwa. 2.MASLAHI YA WATUMISHI. Hakuna asiyeona na kujua kwamba watumishi wanafurahia
Tweet media one
23
7
96
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Aisee Kitila Anajua mpaka anaboa
4
3
97
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
NIMEHAMUKA HAPA KUNA NYUMBU YOYOTE IMESHAPOTOSHA UMA TURUKE NAYO?
8
4
95
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Nagombea tena Ubunge
Tweet media one
3
5
92
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Inamaana CHADEMA Wameanzisha michango tena? Hiki Chama hiki ! Ila anyway wanakula hela za Mandezi tu
16
5
93
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Chama ya Mupinduzi (Iddi Amini aiita hivo)
Tweet media one
8
5
92
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Kumbe Kuna Tukio hili Na tuko Kimya?
Tweet media one
4
14
87
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Katiba inasemaje Kama Spika wa Bunge akifariki? Tunachagua upya kutoka kwa wabunge au Naibu anashika kiti?
15
5
89
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
At the invitation of French President as the current Chairman of the #EuropeanUnion , our President, H.E. @SuluhuSamia is participating in #OneOceanSummit in the French city of Brest.Objective is galvanise the political will to conclude a protocol on ocean resources management.
Tweet media one
2
9
89
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
1 year
Mh Guardiola hapa mzee wa Stima hausiki kweli ?
Tweet media one
11
6
89
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
AFE KIPA AFE BEKI KATIBA MPYA MUHIMU SANA Alafu unamsikia CCM anabwabwaja kwamba wananchi wanataka maji na huduma si katiba. Sasa utumaji wa pesa 1,000,000 inabidi ukatwe 31,000 huu si wehu, kwanini mwananchi asitake hiyo katiba mpya ya kumpa mamlaka kumwajibisha @SuluhuSamia ?
4
15
91
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Mzee we Kula Matunda tu ya Kazi ulofanya! Hawa akina Upinzani Uchwara hawatutishi na Taarifa zao zote tunazo kuanzia Urbun View hotel wanayo Kaa Nairobi! Namba za Simu wanazotumia! Magari wanayo tumia anaye wa fund na pesa inakopitia! Account wanazo run Twitter na washirika
Tweet media one
4
10
88
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Naomba Waulize wote waliokuwa wakilalama kuwa Kinana alikuwa Mzee sana kuwa kwenye Uongozi, Au Sirro alikuwa amezeeka sana kuwa Balozi, kama wapo lakini na ikiwa wanaomuunga mkono Mzee Raila leo, Wanisaidie wanaongozwa na Principle gani. CHADEMA BWANA DUH
10
9
84
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Tweet media one
1
4
83
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
VURUGU Kenya mashinani kuna vita ... Lakin nairobi bado kuna amani Kisumu 5 wamejeruhiwa wakati wa kupiga kura jana , Bomet 12 and Kwale watu 320 wameumia kwenye mapigano wakati wa kukataa Ku accept ma MPs
14
1
82
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Mzee @jmkikwete unakubalika sana ukimaliza kajilie FIRIGISI MSOGA , huku Upande wa pili wakiendelea kudanganyana space
9
7
82
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Dadeki Bambucha ….
Tweet media one
5
8
80
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Oyaa wana, mmeona Mpunga huo kwa BRT na TADB. Mother nomaaaa yaaani nyie angalieni uchumi unavyofunguka.👏🏼👏🏼👏🏼 au Hamuelewi Kiingereza tuwarafsirie!
Tweet media one
8
7
80
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
1 year
Report ya CAG inamtaja kipara wazi wazi Ila sasa mh anahonga Bilion akingiwe kifua, ngoja tupige sarakasi
Tweet media one
2
6
80
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Makonda ukimuongezea warioba Kofi nakupunguzia makosa haha
3
3
79
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
1 year
Kadogosa ni TAPELI 😂 May imeisha
Tweet media one
16
3
81
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Karibu kwenye Kongamano la Vijana na Mwal Nyerere litakalo fanyika Ukumbi wa JK Conversion Tarehe 14/10/2021 Siku ya Alhamis, Mgeni rasmi ni Mkurugenzi wa Nyerere Foundation, Mhe. Joseph Butiku,na aliyekua Katibu wa Mwl.Nyerere! #SisiTanzania #TukutaneJK #VijanaNaMwlNyerere
Tweet media one
2
7
78
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Bukoba Government Hospital wana mitungi 14 tu hali ni Mbaya sana na wagonjwa wa Corona ni zaidi ya 43
6
5
74
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
1 year
Huyu kwanza achunguzwe kwa ile account ya MONO BANK 5246874-4237 wasituchezee hizo £7,243,690 ni za nani na zimetoka wapi
Tweet media one
2
7
77
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
1 year
Yaan huyu Jamaa akili hazimtoshi anausaka Urais Kama nini Haha 😂
@kigogo2014
Kigogo Media
1 year
Tunajulishwa kwamba Yusuph Makamba ang’aka kufuatia fununu zenye ukweli za mwanaye January Makamba kutaka kubadili dini kisa anautaka urais wa Tanzania. Chanzo chetu kinatujulisha kuwa mzee huyo aliyewahi kuwa katibu mkuu wa CCM na kulazimika kujiuzulu kufuatia kufanya vibaya
Tweet media one
3
15
326
9
2
76
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Kitakuja Chama kingine pinzani mwaka 2070 ndo kitaongoza Tanzania si Hivi vya wachaga
10
2
76
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
UZI :TUJIFUNZE SOMO NILILOTOA @JamiiForums mwaka 2016 Kuhusu Black box ndege ikianguka Live kutoka MOSCOW hapa Russia ….. Tujifunze ya ndege: Hiki ndicho Kisanduku cheusi (black box) cha mawasiliano kila ndege ipatapo hitilafu au kuanguka huwa kinakitafuta
Tweet media one
8
20
72
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
President Samia Suluhu Hassan On Saturday visited the Entrepreneurship Empowerment Centre, Station F Start Up facility in Paris, France to witness various activities taking place at the center.
Tweet media one
2
2
68
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Huyu jamaa ZILE Damu za wale jamaa wa madini bado zinamtafuna , CHADEMA KWA KUTAFTA KIKI, ninyi si ndo mlishinikiza ashikwe?
Tweet media one
12
4
70
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Kumbe kuna PDF linasubiriwaaaa Mmemkaje Lakin
7
4
66
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
CCM NI DUBWANA KUBWA SANA YAN,
5
3
64
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
“kabla sijaja EPL walisema siiwezi nimekuja wanasema nanunua sana wachezaji wazuri, pale kikosini kwangu nani mzuri, Kwa sasa wanasema achukue UEFA nikichukua watasema nimechelewa kuichukua kiufupi mi najua na siondoki hadi katu EPL” Pep
Tweet media one
3
6
66
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
2 years
Kwahiyo watoto watazaaaje hah
Tweet media one
17
4
65
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
3 years
Wanasema sipatikani Jimboni Na wala sina Kinyongo Na CCM wameishiwa
8
5
65
@Britanicca0
Britanicca🇹🇿
1 year
Akiiona Kipara tumekwisha anajionaga Obama utamkuta naye kaweka Katoto kwenye trolly mliman city 😂 Copy and paste yake si kwa vitabu au mtihani wa galanos tu Bali hata life style 😂
Tweet media one
6
3
68