Asher Profile Banner
Asher Profile
Asher

@AkiduZacha96428

869
Followers
959
Following
117
Media
2,195
Statuses

Upcoming Tourism guider| Envirnmental conservation Ranger||Wordpress Customazation|Nature Maintainance

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@AkiduZacha96428
Asher
1 month
1. Panga ratiba yako na ulale saa 3:00 usiku ili uamke saa 10:00 alfajiri . 2. Acha visingizio na fanya mazoezi kwa dakika 30 kila siku. 3. Jumuisha matunda mapya katika mlo wako wa kila siku ili kuboresha afya yako.
Tweet media one
1
1
5
@AkiduZacha96428
Asher
2 months
"Nimewahi kuona Mtu aliyetumia nguvu nyingi kutafuta Mali akazipata uzeeni, Kisha akajenga gorofa.Lakini akaishia kulala sebleni, Kwa sababu miguu yake kukosa nguvu ya kupanda ngazi .Hapa nilijifunza wakati wa kutafuta maisha Tusisahau Kuishi.Muda haurudi Nyuma,
1
6
28
@AkiduZacha96428
Asher
1 month
@NyandaAmosi Put effort in looking nice . Be it at work or a social gathering, always try to look presentable . The kind of clothes you wear directly impacts your mood. Moreover, a person with great taste is always looked upto. So come out as a vibrant personality.
2
3
26
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
Usitume muda mwingi kuwaza ulipokosea jana, hakikisha unatumia muda mwingi kufanya vizuri kurekebisha ulipokosea jana ili kesho iwe nzuri na uwe imara zaidi.🫶❤️
1
4
25
@AkiduZacha96428
Asher
4 months
@prossoff Ikawa hivi
Tweet media one
5
1
23
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
@prossoff Sema Washikaji wa 2000's Mnatufelisha Sana: It's a fact, men are stronger than women. Huhitaji kujisifia, kudharau, kukejeli kuonekana uko juu. SASA, Kwanini mnashindana na wanawake hadharani? 1. Mwanaume habishani na mwanamke hasa kuhusu mapenzi.
3
1
22
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
@Millambo_ Mwenyezi Mungu alipoumba dunia na vilivyomo alitumia nini? Alitamka na vikawa. Hiyo ndiyo nguvu ya maneno. Acha kabisa kujikwamisha mwenyewe kwa kutumia maneno dhaifu. Uzito wa maneno huamua uzito wa kitendo. Ukisema utajaribu, unajaribu. Ukisema unafanya, unafanya kweli.
1
2
15
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
Siri ya kujiamini Ni kujifunza kuishi kwa kubeba msalaba wako mwenyewe bila kusumbua watu wengine lakini pia nawe bila kujihangaisha na misalaba ya watu wengine 👌🏾.
1
7
15
@AkiduZacha96428
Asher
1 month
Sio wewe peke yako, kila mtu akiwa kwenye Mwanzo wa maono Yake huwa kuna wachache wa kumsapoti Wengi wanavizia ukishapata Matokeo Makubwa ndio wakukaribie. Usisahau kuwa, wengi hawako tayari kuambatana na wewe kwenye UDOGO au AIBU YAKO. Kubali Kuanza Peke Yako,Watakuja Baadaye.
1
5
14
@AkiduZacha96428
Asher
5 months
Msikitini hujawai kanyaga 🤔. Kanisani hujawai kwenda 🤔. Si matendo mema wala tabia njema huna 🤔. Freemasons pia haupo . Sasa we mwanetu tofauti yako na mnyama pori ni ipi 🤔 .
1
3
12
@AkiduZacha96428
Asher
2 months
Utakapokuja kukaa ukiwa mzee pataonesha wapi ulisimama ukiwa kijana Kula ujana wako vizuri maana kuna shughuri nzito kuumeza uzee. Leo Ukiwa na afya, wewe na afya yako mshirikiane kuzitafuta fedha maana upo wakati utakuja wewe na pesa mtaanza kushirikiana kuitafuta afya..
5
7
13
@AkiduZacha96428
Asher
2 months
@empugie @Mwabuk2Boniface Mipango yao imegonga mwamba juhudi za @Sativa255 @MariaSTsehai @TitoMagoti hazijawahi kugonga mwamba wala kumuacha yeyote salama @Mwabuk2Boniface kushinda sio ombi ni lazima haya TLS wasimame watueleze si mambo tayari hofu ya nini ?
1
4
12
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
Ukweli mchungu hakuna MTU ataishi kwa niaba yako watakuwepo watu kukupa somo, kukuonesha njia, kukusaidia kubeb baadh ya majukumu usiyo na uwezo nayo, as if @Millambo_ lakin hawatabak na wewe milele. Kuna muda watasema inatosha sasa, kuna kitu utakuwa umejifunza, jitegemee nawe
0
5
11
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
Mwitikio wa ubongo kwa matarajio na uhalisia hautofautiani. Hisia unazopata kutokana na matarajio ni sawa na hisia unazopata matarajio hayo yanapokuwa uhalisia. Hofu ya hatari inayotarajiwa ina nguvu sawa na hatari yenyewe. Uzoeshe ubongo kutarajia mema hata kama kweli unaogopa.
0
5
11
@AkiduZacha96428
Asher
4 months
Kuna wakufunzi afu kuna huyu @Millambo_ kaka unastahiki kila sifa Hii si kutafuta umwamba bali nimekuta mwamba ni wewe unaweza kueleza kitu kimoja kwa njia buku Naamini hata kitoto kidogo kupitia hints zako ataelewa wewe ni mtu wa aina gani nikwambie tu post zako hazichoshi
Tweet media one
1
4
11
@AkiduZacha96428
Asher
4 months
Mwanaume hauna chaguo la kujiweka smart nje na mazoezi 💪 Amka Asubuhi Fanya mazoezi angalau dk 20 kisha endelea na mambo mengine. Ukiachana na kuongeza maarifa kwa kusoma vitabu, piga mazoezi kulinda afya yako Good Morning
1
4
11
@AkiduZacha96428
Asher
5 months
Abarikiwe @Millambo_ ananifunza mengi sana
Tweet media one
1
2
11
@AkiduZacha96428
Asher
2 months
NGUMU KUMEZA: Kitu pekee kinachokurudisha nyuma na kushindwa kuishi ndoto yako ni kukosa kujiamini wewe na kile unafanya. #WEWENIMGODI cc @Millambo_
0
3
9
@AkiduZacha96428
Asher
2 months
@mabe93722 @Millambo_ @inframe_tz Muone huyu @Phbhimself na @inframe_tz watakuelekeza bila chenga chenga namna nature inavyooparate ulimwengu Nilijifunza toka kwao
0
4
10
@AkiduZacha96428
Asher
1 month
@Millambo_ ICT 😯 then wahangaika kutafuta ajira sikushauri bro huko kwenye ajira utakuwa limited kwa kila kitu hebu fikiri namna ya kufungua website za online piga pesa kwa kufundisha vijana kuhusu fani na kozi uliyonayo utatoboa soon hii ndio maana halisi ya mfumo wa elimu ya bongo
1
2
10
@AkiduZacha96428
Asher
1 month
Liverpool
Tweet media one
2
2
10
@AkiduZacha96428
Asher
2 months
@Millambo_ @inframe_tz Ni wazi kuwa kuna siri kubwa katika mafanikio na the laws of the universe Wengi hawafahamu kuhusu hilo Ndio sababu wanapoteza hata kwa vile walivyokuwepo navyo awali Akili kumkichwa maarifa ni chachu ya mafanikio
2
1
9
@AkiduZacha96428
Asher
8 months
Sema @Millambo_ upo high level in thinking capacity tuishi humu wanangu
@Millambo_
Millambo®
8 months
USIKUBALI KULIPWA MSHAHARA MAISHA YAKO YOTE… KATAA🧠 “A salary is a drug they give you when they want you to forget about your dreams" ... Kevin O'Leary Vipi unakubali au unakataa? REPOST Wengi Wajifunze 🙏 ...Huu ni ukweli mchungu kuhusu mshahara 👇 ✔️Kama Unalipwa
Tweet media one
17
117
243
3
1
10
@AkiduZacha96428
Asher
5 months
Unasikia bro! Jitengenezee wewe mwenyewe muda wa kufurahia maisha yako, kwasababu muda wa kuteseka na maisha hua unajitengeneza wenyewe bila kukushirikisha. @Sirjeff
0
1
8
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
Usimwambie kila mtu mipango yako, badala yake waonyeshe matokeo yako.
0
3
9
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
Wanakuhita kwenye connection za pombe tu. Ila connection za kazi hawakupi. Badilisha hao marafiki
0
1
9
@AkiduZacha96428
Asher
7 months
Nimenunua diary Kwa ajili ya masomo Yako kaka unanifanya Kuwa katika mood ya kuyafurahia maisha Siachi kukufatiria iwe jua ima mvua wewe ni champion 🏆🏆 keep it up @Millambo_
Tweet media one
@Millambo_
Millambo®
7 months
#SIKU100ZAUHURU DAY 07. Utagundua kwamba ni aidha unaanza kuzoea challenge au inaanza kukuboa. Yote ni matokeo ya kubadili maisha. Jambo la msingi ni kuzishinda hisia na kufanya jambo lililo sahihi. Greatness haiji kwa kufata hisia. #Wagumuhub
Tweet media one
2
6
33
1
2
9
@AkiduZacha96428
Asher
2 months
📌
2
1
9
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
Ukiish na @Millambo_ utayaelewa maisha hata kama umefikia hatua ya kung'atuka duniani Kw hustle na ugum wa mamb Ukikaa na @prossoff utaelew udhaifu wa wanawake wabov na wanaume washenz Ukitak matus @TanzaniaOneJezi Anafit Ukichungulia SIASA na uchambuz hapa amesimam @IAMartin_
1
1
8
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
Online panahitaji mda kutengeneza pesa jipe walau masaa 8.5K ndipo utarajie kipato kizuri ni sawa tu na wanaofanya multi level marketing wengi wanashindwa sababu hawataki kujifunza Kila kitu kinahitaji mda + kujifunza sana, online hakuna kuruka hatua unapo ruka matokeo utayaona
0
2
8
@AkiduZacha96428
Asher
1 month
IJUMAA KAREEM
Tweet media one
2
1
8
@AkiduZacha96428
Asher
3 months
It's Morning trumpets again, tumeamka na tumaini jipya la maisha yetu. Baada ya kufeli kwenye hustle za jana, tumeamka na imani ya kupata leo. Tumevuka mstari wa kuchukizwa na kukosa kwetu, tumeingia kwenye zone ya kusahau yaliyopita. Tumechagua kuganga yajayo kila tunapoanza
1
2
8
@AkiduZacha96428
Asher
7 months
Kwenye harakati zako, hakuna kitu muhimu Kama usalama wako kwanza, take risk lakini angalia usalama wako, nyuma yako kuna watu wanategemea Sana uwepo wako pengine huwajui
0
2
8
@AkiduZacha96428
Asher
2 months
Mungu akipitisha hakuna wa kuzuia anaweza kuoparate pasina kushauriwa anza siku kwa kumshukuru good morning
1
1
7
@AkiduZacha96428
Asher
7 months
Rafiki ni mtu muhimu sana anaeweza kukujenga kuwa mtu bora au kukubomoa na kukuharibu ukawa dhaifu Chunguza vizuri marafiki zako tambua yupi ni sahihi na yupi sio sahihi na uachane nae mapema kabla hajakuumiza.📌📌
1
1
7
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
@prossoff 6. Mwanaume hulinda haiba na heshima yake kwa gharama kubwa. 7. Mwanaume hakimbilii kwa public kutafuta public sympathy. 8. Mwanaume, mapenzi yakiisha na mwanamke unachukua njia yako unasepa kwa amani.
1
0
7
@AkiduZacha96428
Asher
4 months
Katika kila wakati, unapaswa kuwa umekamilisha kila unalokuwa umepanga. Lakini kwa bahati mbaya sana, watu wamekuwa wazuri wa kuahirisha mambo wanayopanga. Matokeo yake ni kila wakati kuwa na mambo ambayo wanapaswa kukamilisha Ila bado hawajafanya hivyo.
3
4
7
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
Laiti Kama tungechagua kusikiliza kwa umakini na kutoa vipaumbele kwa hisia zetu binafsi...basi huenda tusingekunja nyuso zetu kwa huzuni. Uponyaji unaanza ndani kwetu wenyewe.
0
2
6
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
Haupo sehemu unayotaka kuwa kwa sababu hujachukua hatua za kufika hapo unapopataka kuwa.
0
2
7
@AkiduZacha96428
Asher
3 months
@Millambo_ Leo nimeingia kwenye timeline yako kujifunza na kubookmark tu ila baada ya ku search neno “ukweli” kutoka kwenye list ya machapisho yako nimekutana na hii post kwa utulivu Nimeipitia Nimechagua hii ntairudia kila wakati asante sana kaka @millambo
1
1
7
@AkiduZacha96428
Asher
2 months
Usiogope kujaribu kwa hofu ya kupoteza Hofu ndio inakuponza kufikia kwenye hatima yako Yes ni hofu Hofu tu hamna kingine Leo jaribu kwa kiwango kidogo kwa kile unachokipanga siku zote uone matokeo Good morning
1
5
7
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
Kanuni ni ile ile wapende wanaokuchukia waheshimu wanaokudharau, japo utaonekana dhaifu ila tambua siku moja utaheshimiwa ukitoka mavumbini
0
1
6
@AkiduZacha96428
Asher
2 months
Usiwaruhus watu ambao hawajawahi kufika mahali unapokwenda wakutishe kwamba unapokwenda ni mbali sana ,Muda umebeba fursa mpya,watu wapya na mamb Mapy.unaweza kuwang'ang'ania baadh ya watu wakat muda wao wa kukaa na wewe umeisha Jifunze kuwaacha waende kabla hawajakuwa mwiba
3
3
6
@AkiduZacha96428
Asher
15 days
@MariaSTsehai @tanpol @SuluhuSamia kama wazo la mtu mmoja limesimama na kutikisa hivi hadi hatua ya kupita na 2billions vivyo hivyo linaweza kuwa chachu ya kuleta mabadiliko ikiwa Raia watatambua haki yao na kuipigania hebu hapa tujue idadi ya police then idadi ya raia tugawe haki sawa
1
0
6
@AkiduZacha96428
Asher
7 months
Watu wanabadilika. Mapenzi yanaumiza. Marafiki wanaondoka. Mambo yanaenda mrama. Lakini kumbuka tu, maisha lazima yaendelee.
0
1
6
@AkiduZacha96428
Asher
2 months
Mitandao imebeba kila aina ya “ anasa” Karma nayo inakupa uwanda wa kuchagua katika kuongeza maarifa na kuboresha niche yako Vipaumbele vyako vitaamua ipi ni ipi Ukichagua page za udaku utapata unachokitaka zaidi fahamu hatima yako ipo kwenye kujua nini unataka kuwa
2
3
6
@AkiduZacha96428
Asher
3 months
@jniffer_ @MWIJAGEKATABARO Hana desturi ya kufollow back
1
0
6
@AkiduZacha96428
Asher
8 months
Hii nayo iliniongezea kitu
@Millambo_
Millambo®
8 months
KUMBUKA: Hakuna siku utakuja kujisikia kufanya. Binafsi, nilichojifunza. Pamoja na kujenga nidhamu ya kufanya mambo yangu bila kujisikia. Kuna wakati unakuwa huna mzuka na mishe zako lakini bado unakomaa na kufanikisha. - Kuna siku hujisikii kwenda gym, bado naenda. - Kuna
Tweet media one
11
42
121
1
2
6
@AkiduZacha96428
Asher
2 months
Boresha hali yako ya ndani kwa maombi na maarifa Jifunze kila siku Jifunze kupambana umiliki vitu ili hiyo iwe ni kama manifestation ya nguvu yako ya ndani Yes ukithubutu unaweza
3
3
6
@AkiduZacha96428
Asher
2 months
@MariaSTsehai @Mwabuk2Boniface Nitafutie graphic designer anitengenezee kadi ya uwakili Nkamchague @Mwabuk2Boniface Huyu ndiye anayetufaa ameahidi mengi nje ya hayo tunauona uhalisia wake amepikwa ameiva Ni wakati sahihi wa kujiamini na kusimama kidete kumuunga mkono Mwabukus for sure i stand with him
2
3
6
@AkiduZacha96428
Asher
2 months
"Kama thamani yako haionekani wakati hauna pesa. Hata kama ukiwa na pesa bado haitaonekana. Pesa ina tabia ya kutengeneza thamani fake kwenye ndoa au mahusiano. Kama muda wote mnaongelea pesa kwenye ndoa au mahusiano yenu, basi nyie mna shida ya hisia.
1
3
6
@AkiduZacha96428
Asher
1 month
4 pillars 0f life Health • Exercise • Healthy food • Stay hydrated Mind • Read • Travel • Meditation Wealth • Stocks • Business • Real estate Relationships Positive Drama free Trust Thank you for reading this follow @AkiduZacha96428 and repost
1
3
6
@AkiduZacha96428
Asher
4 months
@Millambo_ Niko tayari kwa gharama zozote ni mimi na wewe
1
1
6
@AkiduZacha96428
Asher
1 month
How to build a healthy brain: 1Exercise regularly 2Get quality sleep 3Eat nutrient dense foods 4Keep a healthy BMI 5Keep learning new things 6Quit po*n 7Get outside in nature Use these habits to keep your brain healthy and young.
1
3
6
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
Ukiniona katika mambo ya hovyo just Punch my nose. Nimeelewa umuhimu wa muda kupitia andiko hili kaka asante Sana Kumbe nyeto is unkwepabo doh! Una elimu kubwa Sana boss wangu
@Millambo_
Millambo®
6 months
95% ya vijana wanafanya Mental Masturbation na hawajui. Nyeto ya Akili - hii ni mbaya na hatari zaidi kuliko ile nyingine. #SIKU100ZAUHURU DAY 26. Mental masturbation ni nini? Nini dalili za aina hii ya nyeto? Je, ina madhara? Na nini kifanyike ili kujikomboa? Repost.
Tweet media one
42
118
258
1
2
6
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
Dear God… Asante kwa kutuamsha salama, nikiwa na nguvu na afya njema. Naomba ukaibariki siku hii ikawe ya amani na furaha kwetu. Good morning
1
1
5
@AkiduZacha96428
Asher
1 month
Give your best in whatever you do. Do quality work because when your hard work pays off, you will gain recognition which will bring you immense confidence.
Tweet media one
2
3
6
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
Ongea vizuri na moyo wako kuna kitu inakudanganya kuhusu wewe na kuwaamini watu ..... Ujui yupi anakudanganya yupi anakuambia ukweli.....
0
2
5
@AkiduZacha96428
Asher
4 months
Makovu na vidonda ni sehemu ya maisha ya mwanadamu. Ni kweli maumivu yanatesa na vidonda vinauma, lakini mara zote hali hizo hutukumbusha thamani ya maisha yetu na mapito tunayopitia. Historia ya maisha yetu ni lazima iandikwe kwa matamu na machungu yake. @Fikra_pevu
0
2
4
@AkiduZacha96428
Asher
2 months
Kujitenga na jamii ya kiroho ni kama kujitenga na familia zungumza na mungu na ungana na wengine kwenye ibada Kila jumapili ni fursa ya kujenga nguvu za kiroho hakikisha unaenda kanisani Uwe na juma pili njema
0
1
5
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
Talanta umepewa na Mungu. Kuwa mnyenyekevu. Umaarufu unatokana na mwanadamu. Kushukuru. Majivuno ni kujitoa. Kuwa mwangalifu.
0
2
5
@AkiduZacha96428
Asher
2 months
Unajifunza nini hapa
2
3
5
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
@Millambo_ Nena kwa ujasiri. Ukisema - utajaribu, utajaribu kweli. Ukisema - utafanya, utafanya kweli. Kuna maneno huwa unayatumia kila siku yanakurudisha nyuma. Umewahi kusikia kuwa maneno huumba. Utamsikia mtu: -Nitajaribu - Nahisi - Inawezekana - Labda - Ni 50 / 50
1
3
5
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
Faida unayo itengeneza kwa mwezi mzima kwenye Harakati zako. Unaenda kuimaliza kwa siku moja na mwanamke. Halafu bado unamtafuta tu mchawi wa maisha yako?
0
1
5
@AkiduZacha96428
Asher
7 months
Mwanetu kashasema Nani wa kuongeza
@Millambo_
Millambo®
7 months
KUMBUKA: Usipoteze Muda wako kukimbiza Mapenzi... Ukweli ni kwamba mapenzi yanapoteza muda kwa vijana wengi. Kama una miaka 18-25, na unadate, uwezekano ni kuwa hutamuoa huyo mpenzi wako. Atakuacha na kurukia tawi bora muda wowote ule. Lakini pia, bado una muda wa kuendelea
11
26
93
0
1
5
@AkiduZacha96428
Asher
2 months
Tofauti kati ya Fursa na changamoto ni mtazamo ulionao, Kila Fursa unayoipata Ina Changamoto zake na Kila Changamoto unazopitia Zina Fursa ndani yake"
0
2
5
@AkiduZacha96428
Asher
4 months
😋😂😂😂 kaka jamaaa mbona unagonga sindano ndani ya kidonda Kisichopona kwa panadol wala Uchawi wa kimanzichana Nini hajui kuhusu wewe na mtoto mithili ya Hamisa duh kitaa kigumu ukikwepa Jiwe la manara laja Hili anyway tukaze mwanangu ipo siku
@AziziKasese
Azizi Kasese
4 months
Hamisa 😍
3
2
14
1
0
5
@AkiduZacha96428
Asher
6 months
1Wake up early. 2Do meditation or exercise. 3Try to drink more water and must. 4Maintain hygiene and take care of yourself. 5Take cold showers. 6Be smile and the reason for someone's smile. 7Eat Good and less, be with homemade food.
@Millambo_
Millambo®
6 months
Aliyeleta mchezo wa kula asubuhi baada ya kuamka alitukosea sana. Breakfast ni vunja funga. Sio chakual cha asubuhi. Unapoamka unakuwa na nguvu ya kwenda muda mrefu. Ukila asubuhi: - Unachoka - Unapata usingizi - Unapoteza mzuka Kula asubuhi ni anasa. Hakuna faida.
24
38
281
3
1
5