Paul Bonaventure Profile Banner
Paul Bonaventure Profile
Paul Bonaventure

@Phbhimself

17,645
Followers
2,825
Following
6,545
Media
30,238
Statuses

|| PEACE MAKER ✌🏿 || Author | - Medicines are my tools!💊 | Pharmacist | A human. Being. | Meditation Instructor 🧘‍♀️| HipHop🎶 |

Somewhere in Africa
Joined January 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Phbhimself
Paul Bonaventure
2 years
NAMNA YA KUANDAA WAZO LA BIASHARA: UZI🧵👇🏾 Kwa maneno machache mno, Business plan ni andiko la kibiashara ambalo unaelezea wapi uliko kwa sasa, na wapi unataka kwenda (Future), ukielezea mikakati (strategies) utakayotumia kufika huko kwenye malengo (Goals) uliyojiwekea. 🧵👇🏾
Tweet media one
39
347
664
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
Mfahamu kwa Ufupi LUTENI KOMANDO MASOTA, (Kikosi cha Makomandoo wa JWTZ Ngerengere), Huyu MWAMBA Alipata mafunzo ya Ukomando pale CUBA, Duru zinasema kuwa WALIDAHIRIWA WATU 600 Lakini wakafuzu WATU 16 tu MASOTA akiwemo, . .
Tweet media one
101
146
2K
@Phbhimself
Paul Bonaventure
6 months
VATICAN 🇻🇦 Ukifika pale Italia, kuna sehemu ndogo ya nchi, inaitwa Vatican. Hapo ndipo yalipo makao makuu ya Kanisa la Roman Catholic ambapo mkuu wa kanisani hilo ni Papa. Pale Italia wana pesa yao, ila haitumiki ukiingia Vatican. Kule Vatican wana pesa yao na unaweza.. . .
Tweet media one
85
232
2K
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
KAMA MWANAMKE WAKO AMEWAHI KUTAMKA MOJAWAPO YA MANENO HAYA, JITAFAKARI: "Usifikiri sitongozwi...nakuheshimu tu!" " Usidhani nakuogopa, nakuheshimu... " " Hata mimi naweza kufanya... lakini nimeamua kukuheshimu! " " Nimewakataa wanaume kibao kwajili yako..." . .
Tweet media one
118
334
2K
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
MJUE SHUJAA SHEKILANGO MWENYEWE MWENYE JINA LA BARABARA YA SHEKILANGO, NA NAMNA ALIVYOPOTEZA MAISHA: Jijini Dar es salaam kuna Barabara Mashuhuri kama "Shekilango Road", ikianzia maungio ya Barabara ya Morogoro eneo la Nyumba za NHC mkabala na Kiwanda cha Urafiki,.. . .
Tweet media one
48
274
1K
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
WAZUNGU WAPATA UTATA MKUBWA KWENYE MWILI WA FARAO: Daktari mmoja wa kike huko Uswisi, Mtaalamu wa sumu toxicologist alifanya utafiti kutaka kujua maiti kutoka Misri za Mafarao, zilizokaushwa na kudumu miaka maelfu zilikuwa zinawekwa nini. .
Tweet media one
83
234
1K
@Phbhimself
Paul Bonaventure
2 years
Endelea kuwa mwema duniani utalipwa sehemu ambayo hata hujawahi kuitegemea. . Je, unawajua hawa? 😂
Tweet media one
53
50
1K
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
USILOLIJUA KUHUSU JOHN CENA ni kwamba, hana uwezo wa kuzalisha, licha ya kuwa katika ndoa kwa miaka minne(4) na wanawake tofauti tofauti, hajabahatika mtoto.
Tweet media one
61
28
1K
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
JE NI NANI HUYU ASIYEKUWA NA JINA? Kuna kaburi la siku nyingi sana mitaa ya Clock Tower posta dar es salaam Ni karibu mita 300 hivi kusini mwa mnara wa saa jijini Dar es salam. Ipo bustani ya muda sana na inafikiriwa ipo hapo kama miaka 220 iliopita. . .
Tweet media one
73
123
1K
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
ILIANZIA KWENYE VIDEO YA WIMBO WA "BLACK OR WHITE": Ujumbe wa siri unao patikana kwenye wimbo huo ni kwamba Michael Jackson anawaambia Illuminati wao na yeye sasa ni basi. Katika wimbo huo Michael Jackson anaonekana akitakaswa na maji matakatifu,... . . NB: UZI NI MREFU SANAAA
Tweet media one
137
212
1K
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
MFALME @ommyfitness elezea picha hii kwa maneno yasiyopungua kumi. . .
Tweet media one
90
43
1K
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
HOTUBA YA MWISHO YA MWALIMU NYERERE KUWAAGA WATANZANIA NOVEMBA 5 MWAKA, 1985: Alisema.. ‘"Mimi nimeanza siasa na wazee wa Dar es Salaam na wazee wa Tanzania. Nimeanza nao mapema sana mapema kweli, Nilirudi kutoka masomoni, Uingereza Oktoba 1952 – miaka 33 nyuma. . .
Tweet media one
37
212
1K
@Phbhimself
Paul Bonaventure
10 months
INTERVIEW TATU ZILIZONIFUNZA UMUHIMU WA "BIDII": • Will Smith Kwenye interview na TV Will Smith alisikika akisema "Mimi ni mtu ambaye nimezaliwa na kipaji cha kawaida sana lakini kitu pekee kinachofanya nionekane nina kipaji kikubwa ni BIDII ninayoiwekeza kwenye kipaji.. . .
Tweet media one
38
183
1K
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
MJUE NKURUNZIZA (RIP) ALIKOTOKEA PAMOJA NA RAISI WA SASA WA BURUNDI EVARISTE NDEYISHIMIYE: Baada ya kupata uhuru mwaka 1962 Burundi iliendelea kuwa chini ya utawala wa kifalme kwa miaka minne (1962-1966). Baada ya hapo ilitawaliwa na marais (Watutsi) kwa karibu miaka 30.
Tweet media one
76
166
1K
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
VITA VYA KAGERA NA KISA CHA VITA YENYEWE: Uhusiano wa Tanzania na Uganda ulidorora tangu Januari 25, 1971, Idd Amin Dada alipoipundua serikali halali ya Rais Milton Obote aliyekuwa nchini Singapore kuhudhuria mkutano wa Jumuiya ya Madola, kufatia mapinduzi hayo Obote... . .
Tweet media one
52
163
1K
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
KUNDI BINAFSI LA JESHI LILILO HATARI ZAIDI DUNIANI NA DOUBLE STANDARD YA MAREKANI: Nadhani wengi tunalijua hili kundi hatari duniani linalozidi kushika chat na umaarufu duniani, WAGNER GROUP ni Private Military Company. Yaani kampuni ya jeshi binafsi. . .
Tweet media one
54
142
1K
@Phbhimself
Paul Bonaventure
10 months
MMOJA WA WAAFRIKA MATAJIRI WAKATI WA UKOLONI NCHINI TANGANYIKA: AZIZ ALI alijitengenezea umaarufu Kutokana na kwamba aliweza kumiliki majumba mengi na magari ya biashara pamoja na ya kutembelea na vitu vingine kadhaa, kutokana na kazi yake ya kuwa mtaalamu wa kujenga.. . .
Tweet media one
39
184
1K
@Phbhimself
Paul Bonaventure
2 years
MJUE PRODUCER MWENYE UWEZO MKUBWA WA KUTENGENEZA BEATS KUWAHI KUTOKEA KWENYE HISTORIA YA BONGOFLEVA.🧵👇 . Anaitwa Miikka Aleksanteri Kari a.k.a Mika Mwamba. . Tunapomzungumzia Mika Mwamba hizo ni level nyingine na hata P na MJ walijua, Mikka alikuwa na uwezo binafsi wa juu sana
Tweet media one
142
175
1K
@Phbhimself
Paul Bonaventure
6 months
NGOJA NIZUNGUMZE KITU KIMOJA, MUONE JINSI DUNIA ILIVYO: Hii dunia ina watawala wake ambao kimsingi si wale wanaomuabudu Mungu, kuna mambo mengi wanataka kuyaficha, hawataki wewe uyajue hata kidogo. Yaani kuna taarifa hutakiwi kuwa nazo. . .
Tweet media one
99
195
995
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
VITA VYA KAGERA NA KISA CHA VITA YENYEWE: SEHEMU 02 Baada ya Museveni kujiunga na elimu ya juu katika chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) ndipo alipo jikuta akianzisha mahusiano ya kimapenzi na mtoto wa mzee Banyima aliyeitwa Winnie Byanyima jambo lilopelekea kuingia uadui na..
Tweet media one
24
144
987
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
KUTANA NA MTU ALIYE PANDISHWA CHEO NA KUSTAAFISHWA SIKU HIYOHIYO: Wakati Idd Amin akiongoza Uganda kwa mkono wa chuma viliibuka vikundi vingi vya waasi kupinga serikali yake. Baadhi ya vikundi hivyo viliweka maskani yake nchini Tanzania vikijificha mpakani maeneo ya Ngara,... .
Tweet media one
38
109
984
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
JINA HALISI LA JOSEPH KABILA ANAITWA "HYPOLITE KANAMBE KAZEMBEREMBE" NA NI MTOTO WA KUFIKIA WA LAURENT DESIRE KABILA: Kumekuwepo maswali mengi sana ndani ya Kongo DRC na nchi nyingi Afrika juu ya uhalisia wa Joseph Kabila Kabange (JKK) kuhusishwa na Unyarwanda (Rwandese),.. . .
Tweet media one
33
117
953
@Phbhimself
Paul Bonaventure
9 months
LIANG YAOYI: Mwili kwenye toroli la wagonjwa uliozungukwa na madaktari ni wa mtoto mwenye umri wa miaka 11 aitwae Liang Yaoyi tokea China mwaka 2014. Utaelewa kwanini madaktari wameuzunguka kama wakiusudujia. . .
Tweet media one
45
101
943
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
KABLA HAJAUAWA MIAKA 12 ILIYOPITA SIKU YA ALHAMISI 20/10/2011, GADAFFI: Alisema "Sitaenda kuishi mbali na nchi yangu, Nilizaliwa hapa Libya, na nitafia hapa Libya. Hapo awali Libya ilikuwa ni ardhi yenye jangwa, lakini baadaye niliifanya kuwa msitu ambao kila mmea sasa...
Tweet media one
42
97
888
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
WIMBO ULIOSABABISHA WATU ZAIDI YA 100 KUJIUA: GLOOMY SUNDAY ni wimbo uliotungwa na Rezso Seress, msanii kutoka nchini Hungary mwaka 1933. Reszo alitunga maneno ya wimbo huo na kupiga mwenyewe ala ya huzuni ya wimbo huo, baada ya kuachwa na mpenzi wake.
Tweet media one
70
127
879
@Phbhimself
Paul Bonaventure
2 years
NYUMA YA PAZIA KUHUSU KIFO CHA AKA: . Nelli Tembe alikuwa Mchumba wa AKA, alifariki August 2021. Kabla ya kifo chake alikuwa Hotelini na AKA. . INADAIWA ALIKUFA BAADA YA KUJIRUSHA CHINI KUTOKA GHOROFANI. . PICHA LIKAANZIA HAPA SASA 🧵👇
Tweet media one
70
84
859
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
VITA YA KAGERA: Kuna propaganda nyingi Sana juu ya Iddi Amin zingine Hazina ukweli wowote, zilipenyezwa kuhalalisha uamuzi ule uliochukuliwa na Mwalimu wa Kumpiga. Ikumbukwe Mataifa mengi ya Ulaya na hata umoja wa Mataifa yalilaani kitendo Cha Mwalimu Nyerere kuivamia Uganda.
Tweet media one
96
91
868
@Phbhimself
Paul Bonaventure
11 months
MKIWEZA FUKUENI NA MAKABURI HAYA: Mwaka 2008, aliyekuwa waziri wa miundombinu Andrew Chenge, ambaye alikuwa mwanasheria mkuu wa Tanzania wakati wa sakata la manunuzi ya rada, alijiuzulu kufuatia tuhuma za kumiliki pauni 500,000/=, katika akaunti ya benki huko Jersey, Uingereza.
Tweet media one
31
85
867
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
CAMERA YA KEVIN ILIVYO SABABISHA GUMZO LA DUNIA: Kevin Carter alikuwa mwandishi mpiga picha katika gazeti la The Star Newspaper na mwanachama wa Bang Bang club nchini Afrika kusini. Alizaliwa na kukulia katika familia ya kikatoliki yenye msimamo dhidi ya ubaguzi wa rangi,.. .
Tweet media one
35
124
843
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
MOISE KATUMBI CHAPWE NA MSAMIATI WA "CONGO DRC NDIO ITHIBATI KUWA SI KILA UTAJIRI NI BARAKA": Moise Katumbi Chapwe ni mkogomani mwenye asili tatu, anaasili ya Israeli kwa bibi wa baba yake, Mgiriki kwa Baba na muitaliano kwa babu wa baba yake. Mama yake alikuwa ni mkogomani.. .
Tweet media one
31
82
847
@Phbhimself
Paul Bonaventure
11 months
TUWAPE HESHIMA WALIO LIPA TAIFA HESHIMA. "Kama ningemkamata Iddi Amin, ningemchinjachinja kama mbuzi wa kafara "Gen. Msuguri Nimeona habari kwenye mitandao ya kijamii kuwa aliye kuwa mkuu wa majeshi nchini, (Chief Of TPDF) kuanzia 1980-1988, Gen. David Bugozi Msuguri,.. . .
Tweet media one
60
78
829
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
NDEGE YA PAN AMERICAN 914 ILIYOPOTEA NA KUONEKANA BAADA YA MIAKA 37 ABIRIA WAKE WAKIWA HAI: Tarehe 22 july, 1955 Pan american 914 ilianza safari yake kutoka New york kuelekea Miami ikiwa na wafanyakzi 4 na abilia 57. Lakini chaajabu katikati ya safari ndege hiyo ikapoteza.. .
Tweet media one
114
140
782
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
STEPHEN HAWKING: Ndiye mwenye ile theory ambayo inasema ukienda kwa kasi ya Mwanga unaweza kusimamisha muda. Yaani hapa anamaanisha ukimchukua watoto wawili wa miezi 5 alafu mmoja wao ukamuweka kwenye chombo kinachoweza kukimbia kwa kasi zaidi ya mwanga,... . .
Tweet media one
81
122
779
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
OSCAR KAMBONA MMOJA WA MARAIS BORA KABISA TANZANIA AMBAO HATUKUWAHI KUWA NAO: Tangu nipo shule ya msingi tulikuwa tunaaminishwa kwamba Mwl Nyerere ndio "icon" pekee hapa nchini, tulikuwa tunaimba nyimbo nyingi ni za kumsifu, . . NB: USISOME KWA MUHEMKO
Tweet media one
223
196
742
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
TAMBUA MASHARTI YA NJIWA KABLA YA KUCHUKUA HATUA YA KUWAFUGA. • Kwanza kabisa Njiwa ukiwanunua kwa mtu,sharti wawe wawili pair (dume na jike). • Kama muuzaji aliwafuga kwa banda la juu, hakikisha unakowapeleka uwaandalie banda la juu,ukiwaweka banda la chini wanaondoka. . .
Tweet media one
67
153
725
@Phbhimself
Paul Bonaventure
9 months
Hivi unajua kuwa sehemu ya juu zaidi kulizo zote barani Afrika iko Tanzania na sehemu ya chini pia zaidi kuliko zote iko Tanzania? Sehemu ya juu ni kilele cha mlima Kilimanjaro, mlima wenye futi 19,341 kutoka kwenye usawa wa bahari. . .
Tweet media one
26
72
739
@Phbhimself
Paul Bonaventure
10 months
Ndege ya kimarekani iitwayo UA890 (Boeing 787-900) ndio ndege ilowahi kuruka mwaka 2017 na kutua mwaka 2016. Narudia tena, Ndege hii iliwahi kuruka mwaka 2017 na kutua mwaka 2016. Kivipi!? 👇🏾 . .
Tweet media one
48
72
726
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
MJUE MNYAMA MAMBA KIUNDANI: Mamba ni moja ya mnyama alaye nyama, maisha yake ni majini na nchi kavu tuu, watu wengi hufikiri mamba ni mnyama anayezaa. Lakini sivyo mamba ni mnyama anayetaga na hutaga mayai kwa wastani wa 35 mpaka 50, najua utajiuliza sasa huyu kiumbe.. . .
Tweet media one
35
79
721
@Phbhimself
Paul Bonaventure
4 months
NAKUFUNGULIA MAMBO USIYOYAJUA : Inawezekana zipo sababu za msingi za kuuficha ukweli huu na tunaweza kusema huu ndio ukweli pekee uliofichwa kwenye mafundisho yetu mbalimbali kuhusu mwanzo wa mwanadamu. Inawezekana wengi hatujui ukweli kuhusu mwanadamu wa kwanza au.. . .
Tweet media one
53
105
707
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
JARIBIO LA KUMUUA MAKAMU WA RAIS WA TANGANYIKA, RASHIDI MFAUME KAWAWA, NDANI YA GARI NCHINI MISRI APRILI 4, MWAKA 1963. Kawawa aliondoka Tanganyika Siku ya jumapili April 1, mwaka 1963, kutembelea kwa ziara ya kiofisi Cairo, Misri, na Guinea, alipanga asimame Nairobi, Kenya..
Tweet media one
5
95
708
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
WATU WALIOMDHIHAKI MUNGU NA KUPATWA NA MATATIZO: • THOMAS ANDREWS Baada ya kutengeneza meli ya Titanic, mwanahabari akamuuliza ni kwa kiasi gani ilikuwa salama nae akajibu "Ni salama sana, haiwezi kuzama na hata Mungu hawezi kuizamisha". Nafikiri unajua kilichotokea kuhusu..
Tweet media one
85
126
695
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
UNAJUA KWANINI MATAILI YA NDEGE HAYALIPUKI? Wakati matairi ya vyombo vingine vya moto hujazwa hewa ya kawaida oxygen), matairi ya ndege hujazwa hewa ya Nitrogen . Hewa ya Nitrogen ni ngumu ku expand haraka pia kukamata moto kama ilivyo Oxygen. . .
Tweet media one
47
69
679
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
HUYU NDIYE OSCAR KAMBONA: Marehemu Oscar Kambona alizaliwa mwaka 1925 katika kijiji cha Kwambe kilichopo mwambao mwa ziwa Nyasa, karibu na Mbamba-bay, wilaya ya Mbinga, Mkoa wa Ruvuma. Alikuwa mtoto wa marehemu Rev. David Kambona na Bibi Miriam Kambona. . .
Tweet media one
40
148
678
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
MELI YA TITANIC: Inavyo onekana kwa sasa baada ya kuzama na kuua mamia ya watu miaka 111 iliyo pita. Baada ya kugonga mwamba na kuzama kwenye bahari ya Northern Atlantic kwa kina cha feet 12,500, Tarehe 15/4/1912 .
Tweet media one
28
44
654
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
MJUE ALEXANDER SMITH ALISAFIRI MPAKA MWAKA 2118 NA KURUDI NA USHAHIDI WA FUTURE ITAKAVYOKUWA: Huyu anadaiwa kuwa ni TIME TRAVEL(Msafiri), alie safiri mpaka mwaka 2118, na kutoa ushaidi kuhusu mambo aliyo ya shuhudia kwa kipindi chote alicho safiri na kukaa huko. .
Tweet media one
68
76
656
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI KUNA WODI INAITWA SEWAHAJI: Unajua Sewahaji alikuwa ni nani? Sewa Haji Paroo ndio hasa alianzisha hospitali ya Muhimbili, Ingawa baadhi ya walioathiriwa na elimu ya kikoloni kwa kiwango kikubwa hushikilia kwamba Muhimbili ilianzishwa na Waingereza
Tweet media one
47
154
631
@Phbhimself
Paul Bonaventure
9 months
FAHAMU KUHUSU UKUTA HUU WA CHINA “GREAT WALL OF CHINA”: • Ulianza kujengwa miaka 2000 iliyopita, mpaka sasa una urefu wa kilometa zaidi ya elfu sita (6000 km) • Ndio Ujenzi pekee wa binadamu ulio mrefu zaidi duniani kote. Wachina walijenga kwa ajili ya usalama wao hasa.. . .
Tweet media one
39
78
612
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
HATUA NNE ZA KIJASUSI ZINAZOWEZA KUMFANYA MTU ANUSE HATARI HARAKA: leo na mimi nimeona niwape mbinu kadhaa za kukabiliana na hatari inayoweza kutokea. Katika ujasusi kuna hii mbinu inaitwa important colours(cooper color codes), ambayo utumiwa na majasusi duniani kunusa na.. . .
Tweet media one
36
178
602
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
KWA NINI UNAOGOPA KUFA?: Thanatophobia ni neno la kitaalamu lenye maana 'hofu ya kifo' (fear of death). Ukweli ni kuwa watu wengi kama sio karibu wote wanaogopa kufa. Baadhi wanaogopa ile hali ya kuwa mfu wakati wengine wanaogopa kile kitendo cha kufa (actual act of dying). .
Tweet media one
45
130
591
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
MTU ANAVYOJIHISI KIFO. Mtu huwa hatambui kuwa amekufa pale anapokufa. Yeye hujihisi anaota anakufa, anajihisi analia, anaoshwa, anafungwa na anateremshwa kaburini. Bado anajihisi kuwa anaota anapofunikwa na mchanga, Kisha hulia kwa makelele na hakuna anae msikia.
Tweet media one
197
90
587
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
WATAFITI WA MASWALA YA PARANORMAL ABILITY WANASHAURI KWAMBA: Unapo lala hakikisha kwamba sehemu zote za kona katika chumba chako uwe umeweka kitu chochote, zisiwe patupu. Kwasababu wana amini roho chafu kama wachawi na ghosts wanatumia kona kama njia ya kuingilia ndani.
Tweet media one
98
73
585
@Phbhimself
Paul Bonaventure
8 months
KATIKA HARAKATI ZA UKOMBOZI, NYERERE AKUTANA NA JUMBA LA KIFAHARI ZAIDI KUMILIKIWA NA MUAFRIKA: Kumbukumbu zinaonyesha kwamba Idd Faiz Mafongo alihudhuria mkutano wa uzinduzi wa TANU, Haifahamiki kwa hakika hasa ni lini Idd Faiz alijiunga na TANU kwa sababu kadi yake ya.. . .
Tweet media one
27
92
585
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
GADDAFI ALITAKA AIJENGE LIBYA KISHA AIBOMOE MWENYEWE : Kwa Libya walikosea Sana tena Sana na watajuta vizazi hadi vizazi, lakini kosa la watu wa Libya lilisababishwa na mwenyewe Gaddafi. Huyu aliiongoza Libya kwa miaka mingi mno na aliwatengenezea watu wa Libya.. . .
Tweet media one
156
66
562
@Phbhimself
Paul Bonaventure
6 months
Nguo aliyozikiwa Yesu inaitwa Shroud of Turin, Hii nguo imehifadhiwa huko Vatican. Sifa moja ya kuwa na nguo hii ni kupata nguvu ya uongozi, Yaani hata kama Tanzania tukabahatika kuwa na hii nguo, basi tutakuwa na nguvu ya kuitawala hii dunia. . .
Tweet media one
80
39
536
@Phbhimself
Paul Bonaventure
9 months
KUTANGATANGA KULIVYOMPONZA SHUSHUSHU HUYU HATA KUSABABISHA KUUWAWA: Ukisoma au kusikia balaa lililomwandama Alexander Litvinenko hadi kifo chake, waweza kudhani ni simulizi kutoka kwenye filamu au riwaya flani. Litvinenko aliwa shushushu wa shirika la ushushushu la Russia,.. .
Tweet media one
34
71
529
@Phbhimself
Paul Bonaventure
9 months
ISAAC MALIYAMUNGU BINAMU WA NDULI AMIN: Mzaire kapuku aliyetetea serikali ya awamu ya Pili Uganda iliyokuwa ikiongozwa na Nduli Idd Amin Dadaa kwa jasho na damu. Kutoka kuwa mlinzi wa getini mpaka BRIGEDIA wa jeshi la Uganda. ISAAC alikuwa moyo ama injini ya utawala dhalimu.. .
Tweet media one
24
49
526
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
KUTOKA MAKTABA: Major General Muhiddni Kimario, moja ya mawaziri wawili tu wa mambo ya ndani (internal affairs) katika historia ya Tanzania kuwahi kuhudumu katika nafasi hiyo kwa zaidi ya miaka mitano (5). Major General Muhiddni Kimario alitumwa na Mwl Nyerere kuwaaga.. . .
Tweet media one
9
43
517
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
UMEWAHI KUFIKIRI JUU YA HILI? Biologia inatuelezea kwamba kwenye tendo la ndoa mbegu zinazotoka kwenda kwa mwanamke ni zaidi ya milioni 300 na uanza kukimbia kwenda kukutana kwenye ovum, . . NB: Nifollow kisha TURN ON Notification 🔔
Tweet media one
59
92
524
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
KUTOKA UUZAJI WA MADAWA YA KULEVYA, MADADA POA NA UJAMBAZI MPAKA KUWA SHUJAA NA TUNU YA ULIMWENGU. Malcolm X alizaliwa kama Malcolm Little Mei 19, 1925 huko Omaha, Nebraska. Baba yake, Earl Little alikuwa mchungaji asiyeogopa kusema ukweli, na pia alikuwa msaada mkubwa.. . .
Tweet media one
28
126
515
@Phbhimself
Paul Bonaventure
10 months
ALI HASSAN MWINYI BABA WA HEKIMA: Alipojiuzulu uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi mwaka 83 kama sijakosea nafasi yake aliteuliwa mzee mmoja kutoka zanzibar anaitwa mzee natepe kushika uwaziri wa mambo ya ndani ya nchi. Natepe alipoingia tu ofisini alimtaka waziri.. . .
Tweet media one
24
62
512
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
TUJIKUMBUSHE KIDOGO KUHUSU DONALD TRUMP NA CHUKI YAKE DHIDI YA WATU WEUSI KWENYE HOTUBA YAKE YA MWAKA 2018: Alisema Hatulazimiki hata kwa sekunde moja kuthibitisha kwa yeyote yule kuwa sisi ni wenye nguvu (superior) kuliko wao. Tuna njia zaidi ya 1001 za kuthibitisha hilo kwao.
Tweet media one
192
106
497
@Phbhimself
Paul Bonaventure
8 months
KUTOKA MAKTABA: Picha hii ilipigwa mwaka 1943, wakiwa vitani, India (Vita ya pili ya dunia), hawa ni Moja ya watu muhimu sana katika uanzishwaji wa chama cha TANU. Kushoto ni Ally Sykes (17) ambaye ndiye alikuwa na Kadi No. 2 ya TANU na kulia ni kaka yake Abdulwahid Sykes (19)
Tweet media one
27
74
505
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
CHUMBA CHA AJABU CHENYE MARUFUKU YA HALI JUU KUHUSU KUFUNGULIWA KWAKE HUKO INDIA. Kuna jumba la ibada huko India lijulikanalo kama Padmanabhaswamy ambalo kuta zake za nje zimetengenezwa kwa dhahabu. Jumba hili liko sehemu ijulikanayo kama Thiruvananthapuram katika Mji wa..
Tweet media one
37
91
496
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
MISSION YA RWANDA KUBWA KIJESHI NCHINI KONGO, YENYE HISTORIA INAYOHESHIMIKA NCHINI RWANDA: Mapema usiku wa tarehe 16 March, 1996 viongozi wa Rwanda, Uganda, Sudani kusini na Ethiopia pamoja na kiongozi wa AFDL Laulent kabila walisaini “Makubaliano ya mkataba wa Lemera”
Tweet media one
24
96
490
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
WATAFITI WA MASWALA YA MIZUKA/GHOSTS: Wanasema hizi ni dalili ya kuwa Nyumba yako inauwezekano mkubwa wa kuwa na mizimu, dalili hizo ni. . .
Tweet media one
25
42
495
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
PADRI PEKUPEKU Padre Recardo Maria Huyu ni Mtawa wa shirika la Fransiscani la Ndugu Wadogo, Padre Recardo maarufu kama "pekupeku" alianza safari yake ya Utume huko Jimbo la Iringa Tanzania katika Kijiji cha Izazi Parokia ya Isimani. Baadae akahama na kuweka "Nyumba ya Kitawa"
Tweet media one
35
74
488
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
MWAKA 2013 KULITOKEA KITUKO KIKUBWANCHINI AUSTRALIA: Jamaa mmoja aliamua kutega kamera nyumbani kwake kwa ajili ya kumrekodi shetani lakini badala yake alimkamata mke wake akifanya mapenzi na mtoto wake wa kumzaa . . .
Tweet media one
59
35
478
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
VITA YA SYRIA MSHINDI NI RAIS BASHAR AL ASSAD: Mwezi March mwaka 2011 kulizuka maandamano jijini Deraa nchini Syria dhidi ya Serikali ya Rais Bashar al Assad. Ni maandamano yaliyoitishwa na makundi ya watu waliojiita watetezi wa Demokrasia wakilalamikia kiwango kikubwa cha.. .
Tweet media one
26
84
474
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
KAMUZU BANDA RAIS MWENYE ROHO MBAYA: Kamuzu Banda aliondoka Malawi akiwa mtoto akarudi ni mzee. Hastings Kamuzu Banda aliyezaliwa Februari 15, 1898 alitawala Malawi kwa viboko. Aliamini wamalawi bila viboko hawaendi, Hakuona mtu mwenye akili nchi nzima hivyo akaamua... . .
Tweet media one
35
113
463
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
MUUAJI WA MAHATMA GANDHI. . Mahatma Gandhi mtu anaye heshimiwa sana nchini India aliuwawa na Nathuram Vinayakrao Godse siku ya tarehe 30 Januari 1948, baada tukio hilo Godse alikamatwa na police na kufunguliwa mashataka ya mauaji. .
Tweet media one
13
68
459
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
KWANINI SHIRIKA LA ETHIOPIAN AIRLINES LINA NDEGE 131 LAKINI ZINARUKA 416 KWA SIKU? Kwa kifupi Ndege moja inaweza kuruka zaidi ya mara moja kwa siku "Multiple flights" kutoka sehemu moja au sehemu tofauti Hii inategemea na ratiba zilizopangwa na shirika/kampuni ya usafiri wa.. .
Tweet media one
18
45
459
@Phbhimself
Paul Bonaventure
10 months
UKWELI KUHUSU DUA YA ALBADIRI KATIKA DINI YA UISLAMU: Albadiri ni neno linalotumika kurejea kwa Ahlul-Badr (Waliopigana Vita vya Badr). Badr ni sehemu iliyo karibu na mji wa Madina nchini Saudia Arabia na ndio iliyokuwa sehemu ambayo Waislamu wakiongozwa na Mtume... . .
Tweet media one
38
126
451
@Phbhimself
Paul Bonaventure
2 years
CHANZO CHA BEEF YA HIP HOP KATI YA WEST COAST NA EAST COAST. 🧵🧵👇🏾 . Ni uhasama uliokuwa gumzo kubwa duniani katika miaka ya 1990's baina ya wasanii na mashabiki wa Hip Hop kutoka kambi mbili za East Coast na West Coast nchini marekani. . NB: UZI NI MREFU SANA . . 🧵🧵👇🏾
Tweet media one
41
117
449
@Phbhimself
Paul Bonaventure
2 years
Natoa rai kwa watu wote mchukue tahadhari za haraka maana huyu mtu akishika kalamu anageuka na kuwa kiumbe cha hatari sana.
Tweet media one
35
39
433
@Phbhimself
Paul Bonaventure
7 months
HATUA ZA KUFANYA MEDITATION (TAHAJUDI): Kinachotakiwa wakati unajiandaa Kufanya meditation ni kama ifuatavyo: • Tafuta sehemu iliyotulia, isiyo na makelele, Kaa kwenye kiti au chini, au lala kitandani. Hakikisha huumii mahali popote, Legeza mwili wako pamoja na misuli yote.. .
Tweet media one
46
218
428
@Phbhimself
Paul Bonaventure
10 months
WATU WALIOPOTEA NA KUTOONEKANA TENA DUNIANI: • D.B.Cooper Ni jina linalotumika kumrejelea mwanaume mmoja wa makamo ambaye jioni ya November 24, mwaka 1971 alichukua kiasi cha Dola za Kimarekani 200,000 kama malipo mara baada ya kuiteka ndege huko portland nchini Marekani. . .
Tweet media one
17
68
420
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
THOMAS ISIDORE NOËL SANKARA TAA YA AFRIKA ILIYOZIMIKA GHAFLA: Mnamo August 1983, vijana wawili, makapteni wa jeshi na wanamapinduzi, Kapteni Thomas Sankara na Kapteni Blaise Compaore, waliipindua Serikali ya Rais wa wakati huo katika nchi iliyokuwa ikijulikana kama Upper volta,
Tweet media one
19
90
417
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
JINSI NDEGE INAVYOPAA: Kabla hujasonga mbele fahamu kuna viungo vya msingi vinne vinavyounda ndege "PrimaryComponents". • Kiwiliwili (Fuselage) kubeba abiria au mizigo. • Mbawa (Wings) kupaisha ndege na kubeba mafuta. • Mkia (Tail) kushikilia uelekeo wa ndege. . .
Tweet media one
26
114
413
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
VISIWA VYA COMORO,NI ENEO LA VISIWA VILIVYO TOKANA NA MATUMBAWE: Comoro ni muunganiko wa visiwa vitatu, na ni nchi ya jamuhuri ya muungano wa visiwa vya Comoro. Jina la taifa hilo limetokana na lugha ya Kiarabu inayopatikana kwenye kitabu kitakatifu cha Quran ndani ya .. . .
Tweet media one
27
60
411
@Phbhimself
Paul Bonaventure
4 months
Hiki ni kitabu hatari hana kinaitwa KABBALAH kitabu hiki ni mfano wa Lugha isiyo eleweka ambapo unaweza kumuua mtu huku unamtazama usoni tu, Huku ukitamka Herufi za lugha hiyo. Kama umewahi angala Movie ya Merlin au Legend Of The Seeker, mule Ndani utamuona Merlin na Wachawi.. .
Tweet media one
34
48
409
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
MFAHAMU ALIEN: Ni kiumbe kinacho fanana na binadamu ila wao wanaishi Galaxy nyingine tofauti na hii tunayo ishi sisi yaani ukiachana na jumla ya sayari 8 zinazo zunguka jua ambapo binadamu anapatika kwenye Sayari ya 3 basi kuna Galaxy nyingine wanahishi hawa viumbe.
Tweet media one
89
75
401
@Phbhimself
Paul Bonaventure
2 years
BAADHI YA WATU MASHUGHULI WANAOUSHISHWA KUFANYIWA HUMAN CLONING: . 🧵🧵👇 . Leo nataka tujadili kidogo kuhusu Artificial cloning ambapo kiumbe mpya hutengeneza kwa kuchukua vinasaba kutoka kwa kiumbe mwingine na wote wakafanana. . . NB: USISOME KAMA HUJALA MCHANA HUU.🧵👇
Tweet media one
64
116
387
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
MFALME ALIYEANZA KUUA WATU BAADA YA MAMA YAKE KUFARIKI: Jina lake kamili nnaitwa "Shaka kaSenzangakhona" Alikua maarufu kwa jina la "SHAKA ZULU". Alizaliwa mwaka 1787 huko Kwazulu-Natal Afrika Kusini na kufariki Mwaka 1828 akiwa na miaka 41, alikua Mfalme wa himaya ya Wazulu..
Tweet media one
44
61
392
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
MJUE BLAISE COMPAORÉ ALIYE MUUA KINYAMA RAFIKI YAKE THOMAS SANKARA: Compaoré alizaliwa katika mji wa Ziniaré, uliopo umbali wa kilomita 43 kutoka Jiji la Ouagadougou, ambao ndiyo mji mkuu wa Burkina Faso, alipitia mafunzo ya kijeshi akiwa amefikia cheo cha kapteni.
Tweet media one
11
63
390
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
IFAHAMU IKULU YA CHAMWINO: Ikulu ya Chamwino ni ofisi kuu ya Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania, na ndio ofisi kuu ya ofisi zote Tanzania na ndio makao makuu (Head office) ya nchi ya Tanzania kwa maana ya Tanganyika na Zanzibar. . .
Tweet media one
31
44
376
@Phbhimself
Paul Bonaventure
9 months
BOMU LA ATOMIKI NAGASAKI, HIROSHIMA: BOMU la nyuklia ni silaha inayosababisa mlipuko mkubwa sana na ni silaha hatari na yenye nguvu kuliko silaha yoyote iliyowahi kupatwa kutengenezwa katika historia ya silaha duniani. Mabomu haya ya atomia hutengenezwa kwa kutumia madini.. . .
Tweet media one
31
50
373
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
RAIS WA KWANZA WA MAREKANI MZALENDO NA MTAIFA AMBAYE FALSAFA ZAKE ZILIITENGENEZA MAREKANI KUWA TAIFA IMARA: George Washington alizaliwa tarehe 22 Februari 1732 hadi tarehe 14 Desemba 1799 alipofariki dunia nyumbani kwake huko Mount Vernon Virginia alikuwa mwanasiasa,.. .
Tweet media one
8
43
369
@Phbhimself
Paul Bonaventure
11 months
MANSA MUSA MTU TAJIRI ZAIDI KUWAHI KUTOKEA DUNIANI: Mansa Mussa Alikuwa Mfalme Wa Mali kuanzia mwaka 1312 hadi mwaka 1337. Alizaliwa mwaka 1280 na lipewa jina la "Mansa" likimaanisha mfalme wa wafalme, sababu alitawala ufalme mkubwa Afrika, uliojulikana kama "Malike Empire".. .
Tweet media one
29
64
363
@Phbhimself
Paul Bonaventure
6 months
Kuna mkataba uliingiwa mwaka 1959, huo mkataba ulikuwa wa kuwekwa wanajeshi kulinda kusiwe na binadamu yeyote anayetakiwa kuvuka hayo mabarafu kwenda upande wa pili. . .
Tweet media one
16
22
353
@Phbhimself
Paul Bonaventure
2 years
This song will always be exceptional. Beat ✅ Delivery ✅ Percussion ✅ Lyrics ✅ Flows ✅️ Rhyme construction ✅️ Melody ✅️ Punchlines ✅️ Overall barz ✅️ Metaphors ✅️ Charisma ✅️ I hope everyone has a chance to listen to and enjoy this song.
Tweet media one
20
56
354
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
JAMBAZI ALIEZUA MTAFARUKU KATI YA TANZANIA NA BURUNDI: April 2002 wilaya ya Ngara inapokea viongozi wakubwa wa kitaifa ni Waziri wa Ulinzi, Edgar Maokola Majogo na Jakaya Mrisho Kikwete akiwa Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje. Hii ilikuja baada ya kuwepo na taarifa za kuaminika
Tweet media one
35
86
350
@Phbhimself
Paul Bonaventure
9 months
FAHAMU MAAJABU YA ZIWA NGOSI: Tanzania ni miongoni mwa nchi barani Afrika inayozungukwa na vivutio vingi vya utalii na vingine inawezekana hata havitambuliwi na wenyeji. Ziwa Ngosi yawezekana kuwa ni miongoni mwa vivutio hivyo. . .
Tweet media one
25
53
347
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
Malaysia ndiyo nchi pekee duniani ya kifalme (monarchy state) yenye utawala wa kifalme ambao upo kwenye mfumo wa mzunguko. Ipo Hivi... Nchini Malaysia utawala wa ufalme nchini humo upo kwenye mzunguko ambapo mmoja wa Watawala (masultan) wa Majimbo Tisa ya Malaysia ndio... . .
Tweet media one
9
18
340
@Phbhimself
Paul Bonaventure
5 months
KISIWA CHA MAYOTTE: Ni kiisiwa kilichopo Afrika ya mashariki katika bahari ya Hindi kati ya nchi ya Msumbiji na Comoro. Licha ya kwamba kisiwa hiki kipo Afrika, lakini ni mali kabisa ya Ufaransa. Tarehe 31 March 2011 Mayotte ndio ilitwaliwa rasmi na Ufaransa kama jimbo.. . .
Tweet media one
18
51
335
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
JAMBAZI WA KIUME ALIEISHIA KUBAKWA NA MWANAMKE: Mwaka 2009 kulitokea tukio lisilo la kawaida baada ya jambazi mwenye bastola alipovamia duka moja la urembo kwa malengo ya kuiba pesa lakini mwisho wa siku akajikuta anabakwa na mmiliki wa Duka hilo. . .
Tweet media one
44
40
329
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
PYTHAGORAS: Huyu jamaa alikuwa ni genius watu wa hesabu wana mfahamu vizuri. Jamaa alikuwa na tatizo la Phobias (uwoga wa kitu fulani), alikuwa ana Ogopa maharage, yaani kuyaona maharagwe kwake ilikuwa sawa na wewe kukutana na Simba.
Tweet media one
64
41
325
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
MATUKIO YENYE KUACHA NADHARIA LUKUKI KUWAHI KUTOKEA TANZANIA: • Mwenge wa Huru: Huwa zinatolewa sababu nyingi za uwepo wake na pia hutengewa bilioni za pesa kuukimbiza. • Hati "original" ya Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Hii imekuwa na maswali mengi sana na kuna
Tweet media one
9
51
325
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
WHY IS TANZANIA POOR? Mwanafalsafa mmoja wa ukoloni huko Ulaya, aliwahi kusema "Ukitaka kuangamiza taifa lolote duniani huhitaji kutumia silaha za nyuklia wala mabomu ya atomi. Njia nzuri ya kuangamiza taifa ni kuharibu mfumo wa elimu. Ruhusu "mbumbumbu" .. . .
Tweet media one
36
98
323
@Phbhimself
Paul Bonaventure
7 months
Wengi mliuliza kuhusu CHAKRAS ngoja niwajuze. • Crown Chakra Ipo utosini, Inahusiana na spirits (Majini au malaika). • Third eye chakra Ipo katikati ya nyusi mbili mtenganisho (Inahusiana na nguvu/akili). . .
Tweet media one
15
107
323
@Phbhimself
Paul Bonaventure
1 year
BOB MARLEY NA WATU WASIOJULIKANA: Tarehe 3 December Mwaka 1976 muasisi wa Reggae Bob Marley alishambuliwa kwa risasi nyumbani kwake. Jaribio hilo lililofanywa na "Wasiojulikana"lilifeli na badala yake kumjeruhi kidogo mkononi. . .
Tweet media one
14
56
319