Acha kuamini kuwa kila mtu wa karibu yako ni rafiki yako ... na kila kila siku moja unayo pata ni nafasi ya kubadili maisha yako.. Tuishi umo..๐
Good morning twitter fam ๐ค
Usirudie kuwa rafiki na mtu alie wahi kuwa rafiki yako na akakuharibia heshima yako iwe kwa matendo au kwa maneno msamehe na mpende akiwa uko uko mbali mbali kabisa
Good Morning December people โ๏ธ
Unapo tafuta maisha jipe muda kufurahia chochote kidogo unacho barikiwa na Mwenyenzi Mungu . Shida huwa haziishi
Easy Sunday Good morning twitter fam โ๏ธ
Pale unapo shindwa na kuamini ndio mwisho kabisa Mungu ndio anapo anzia.. na mipango yake kwako ni mikubwa kuliko mipango unayo jipangia wewe na kuamini ndio mafanikio yako yalipo.
Mmeamkaje watu wa Mungu ...๐
Maisha yana badilika lakini Mwenyenzi Mungu habadiliki ... kama tumeamka salama Tumshukuru Mungu kwa uzima alio tupa ... oneloveโ๏ธ
Good morning twitter fam โ๏ธ