Esq//Arb~Concepts of justice must have hands and feet to carry out justice in every case in the shortest possible time and the lowest possible cost//🔄🔄
#HeyGuys
Naomba Nisaidie Kurepost 🔴🔴🔴🔴
#HOLYSTERREMOVETATTOO
Wanakuletea huduma ya kufuta tattoo, chale, visunzua sugu, michirizi nk.🥰🥰
📍📍📍 TAREHE 28 MWEZI HUU TUKUTANE DODOMA
🎯🎯🎯DAR ES SALAAM PIA TUNAPATIKANA
📞📞📞Kwa mawasiliano zaidi piga simu namba 0623356355
Kwa kweli nimevumilia nimeshindwa bora niseme tu😁😁, kiukweli huyu👇👇 mwamba nampenda bure kabisa, ako na hekima ya hali ya juu, two times nmemshuhudia akitumia hekima ya hali ya juu ku settle disputes. Big Up💪💪aki unatembea na moyo wangu😌😌
Mwenye macho haambiwi ona✍✍
Kiukweli nimevutuwa sana na urafiki wa hawa ndugu, inapendeza sana, Mungu awalinde na kuwapa maisha marefu🙏🙏
Kuna watu wapo kwenye mahusiano, wengine kwenye ndoa kabisa ila wakitoka asubuhi tukutane jion, hakuna anaejali mwenzie kashindaje💔💔💔
✍✍✍Kuna cha kujifunza hapa.
✍✍✍
@Cyancuty
kwa mara nyingine na ya mwisho, sipendezwi na hii tabia, tafadhali futa hii mara moja kabla sijachukua hatua nyingine.
NB;It's not better kuwachafua watu wengine for your own benefit, find other means ya kupata engagements, right?
Nani anataka followers?? Chapa handle kwa harakatukiwashe, muda ndiyo sasa hakuna kuchelewa💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mshtue na jirani ako mwambie kinawaka sio muda😁😁
2:45✍✍✍
Name: Princes Catie
Age: 19
Nina tatizo la machozi ya karibu yani nikiudhiwa kidogo tu nalia, nikicheka kidogo tu nalia.
Sipendi, nifanyaje ili nipone?😢😢
Mmmm kaka Roma me nimepata hisia tofauti baada ya kuisikiliza hiki kipande.
✍✍✍ Anyway Mungu azidi kuwa nawe katika harakati zako, akujalie maisha marefu, hata kama siku zako zinaishia kwa neema yake akuongezee siku za kuishi because we love you. Amen😔😔🙏🙏
Nani anataka followers?? Chapa handle kwa harakatukiwashe, muda ndiyo sasa hakuna kuchelewa💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mshtue na jirani ako mwambie kinawaka sio muda😁😁
2:45✍✍✍
Chap mkuje hapa hapa tukiwashe, chapa handle kwa haraka, muda ndiyo sasa hakuna kuchelewa💪💪💪🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mshtue na jirani ako mwambie kinawaka sio muda😁😁
2:55✍✍✍
✍✍✍Sometimes tunafanya vitu vibaya si kwa sababu tunapenda ila kwa sababu kunawatu wanatuforce kufanya, tafadhali be careful, usiwe sababu ya wengine kuchukua maamuzi mabaya.