Zack chriss Profile Banner
Zack chriss Profile
Zack chriss

@zack_chriss

1,478
Followers
1,378
Following
527
Media
4,803
Statuses

TO,PA Christopher Mtikila Grand Son NJOMBE KABISA .favorite cousin LB wa MUNGU

Ludewa Njombe
Joined January 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
Kama unahitaji mshauri wa biashara mtafute huyu mtalaam CEO wa VUNJABEI
5
80
266
@zack_chriss
Zack chriss
1 month
Baada ya kumkabidhi nyuzi zote tatu bwana @Sativa255 wa katavi akanibless na mimi huu apa🫡
Tweet media one
18
52
1K
@zack_chriss
Zack chriss
3 months
Since Jana @Sativa255 sijampata hewani wakuu mwenye taarifa zake tunaomba atusaidie @DullahTheking2 @TitoMagoti @spana_Konki @TillahBlessed @IAMartin_
Tweet media one
1
181
546
@zack_chriss
Zack chriss
20 days
If money determined loyalty We'd cut you with a Ginsu me bru @Sativa255 Mbeya x Njombe
Tweet media one
Tweet media two
8
19
272
@zack_chriss
Zack chriss
2 years
@ElisariaSaraki1 @Lee_ian_Mosenya 🤣🤣 watu wa Facebook mnafanya nini Twitter sasa huyo unaona ni Masanja
35
1
197
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
But if thy brother be grieved with thy meat, now walkest thou not charitably. Destroy not him with thy meat, for whom Christ died. @PresenterNoah @MiriamMkanaka @Thereal_taivina slide la kwanza na la 3 unaeza lipa maneno ya kiswahili😂
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
9
23
107
@zack_chriss
Zack chriss
2 years
@chapo255 Waganga wa Njombe hao😁😁 mi Kuna mdada alining'ang'ania mpaka kwenye mtihani wa necta form 6 ikabid police waingilie kati ase Njombe🙌🙌
24
3
98
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
A dollar might turn to a million and we all rich, that's just how i feel sis @MiriamMkanaka 📸 @PresenterNoah in the land of @Sativa255
Tweet media one
6
15
98
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
16
9
86
@zack_chriss
Zack chriss
4 months
Nikiwa maenda zangu mihangaikoni nikakutana ma mbarikiwa the vibe was 🫡 @TillahBlessed
Tweet media one
Tweet media two
4
3
73
@zack_chriss
Zack chriss
1 month
Uzi wa Mwananchi upo mjini VUNJABEI @MiriamMkanaka offer yako kesho mapema @PresenterNoah sina mda na wewe😂😂
Tweet media one
4
10
68
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
Nothing feels better than this 🫡❤️
@amprincess9
TricyLove🦁
2 months
Nimefika hospital nilipomuona @Sativa255 nimeomba sana with tears Wapendwa Mungu yupo
Tweet media one
121
269
2K
7
3
66
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@millardayo Nimegundua wanaomzunguka raisi hawamsaidii kabisa 🥹🥹
4
4
65
@zack_chriss
Zack chriss
2 years
@nyuki_malkia Sisi wa Njombe tunajua ni biashara ya Mbao tu
5
2
56
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@Sativa255 Mtu alipotea Jun 23 ayo kapost Jun 27 mimi nilitafuta mastar kibao wali mute big time kwa mwaisa mtu mbad alitisha chapu, media zilipiga chini ukiwatoa EATV walipost mapema,Samisago Waliamua kuniblock kanisa Ig skia watu walikoment sana kwenye post za media mbalimbali
3
1
63
@zack_chriss
Zack chriss
9 days
Da miriam @officielsalome warembo sana
Tweet media one
2
10
174
@zack_chriss
Zack chriss
1 month
@julip202 Frame 50 kko? Hata wakinga wenyewe hawajafika😂😂
6
0
60
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@Roma_Mkatoliki Watu wanasema ulipotekwa hukusema chochote?
1
1
59
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
Jana kijana @PresenterNoah alikua mda wote ananipigia nimuombee msamaha kwa @iamcleopatricia leo kapata msamaha hapokei simu daa fresh
Tweet media one
7
4
57
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@FKihamu Kwa ndugu zake Drake wote
Tweet media one
0
0
57
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
Mkawe na wiki Njema wakuu,Mliopo serikalini msisahau Vijana wengi hawana ajira,Wajuaji mtambue kila mtu amezaliwa mkamilifu hivyo kupangiana nini cha kufanya ni upungufu wa akili. 📸 by @PresenterNoah @Thereal_taivina
Tweet media one
Tweet media two
9
11
55
@zack_chriss
Zack chriss
1 year
ukipata Time kasikilize hii kitu 🍀🙌📌 @NavyKenzo 👊
Tweet media one
2
4
52
@zack_chriss
Zack chriss
2 years
@johnsulleytimes @Bm3gh Samahani kaka ni Uraia sio urai
12
0
50
@zack_chriss
Zack chriss
1 month
Mkuu meneja @Sativa255 kaniruhusu niachie hii nyimbo 🫡 kama kuna show huko mwanasheria wangu yupo @MiriamMkanaka 😁 nyimbo chini ya udhamini wa @PresenterNoah @iamcleopatricia @MissChelsea1221 @IAMartin_ 🫡 link
9
17
51
@zack_chriss
Zack chriss
1 month
Jumatatu ya kuendelea na majukumu yetu ya kila siku…wakuu huko juu mkitulia basi tupeni vijana ajira 🙏🏾
Tweet media one
Tweet media two
3
8
49
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@RahmaMwita Dada mkubwa kwema siku THRDC wamekuja pale hospital wakiwakilishwa na Wakili Kisabo ‘walisema maneno haya nanukuu msiwe na wasiwasi sisi tutagharamia matibabu yote mpaka mgonjwa atakapo pona’’ nadhani kila mtu nishahidi humu nadhani ni brother MMM Alisema haya kwa familia na
6
6
48
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@millardayo Kwanini huwa hupost ishu zinazo gusa jamii na bando unalo?
6
1
49
@zack_chriss
Zack chriss
2 years
@nyuki_malkia Najuta kuingia Twitter before misaa ya kwanza 😀😀😀🤣
4
0
47
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@ComradeKawaida Hapa umekosoa au umetoa maoni?
1
0
46
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@goligani Sio jambo dogo yani mtu asaidiwe wakati huohuo mtu atolewe jela we huogopi😂😂
3
1
46
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
Tukawe na siku njema sana wakuu (Leo nipumzishe wizara inayohusika na ajira tutaendelea jumatatu) @PresenterNoah @Sativa255 @MiriamMkanaka
Tweet media one
4
7
43
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@Sirjeff_D Tupambane wasome angalau wajitambue Tuwa ombee Mungu awape maarifa sana wasiwe kama vijana wa sasa wa kusema hayatuhusu
2
0
42
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@Kidogo_Chetu @Sativa255 @millardayo Mzee sativa alipotea lini na Ayo alipost lini unajua ni kwa kiasi gani tuli jitahidi kumtafuta?
1
1
41
@zack_chriss
Zack chriss
12 days
@Sativa255 Ni kama wote tutazama tu ni swala la Muda
1
1
39
@zack_chriss
Zack chriss
1 month
Full house ya Yanga asilimia 97% wamevaa jezi mpya sijui nataka kusema nini ila @MiriamMkanaka kwenye swala la kupiga picha🫡🫡😁 @PresenterNoah hata jezi hujanuaa au ndo umehamia Tanga
Tweet media one
0
6
37
@zack_chriss
Zack chriss
1 month
Anaitwa Boshoo Ninja amefanya unyama huu Kwenye beat la anabless nakuachia @DullahTheking2 @Sativa255
3
13
38
@zack_chriss
Zack chriss
2 years
@McinikaWaLamar @chapo255 Haki gani mbona mi naona kama madogo ndo inabidi wamlipe Konde🤣🤣
1
0
38
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
Baada ya kupata matatizo ndugu nao wamemuacha peke yake, wana X ndio ndugu zake sasa. MCHANGO WA KULIPA FAINI YA MILIONI 7 YA ENG. MATARRA LIPA NAMBA MITANDAO YOTE: 5554323 MacFoodIz M-PESA: 0769853711 Devota Tweve @TweveDevota
Tweet media one
0
21
37
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
Tweet media one
0
1
37
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
Hakuna mwaisa mshamba
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Sativa hajataka baraka zimpite na yeye kaona ashiriki Get well brother and Come back stronger 🙏
Tweet media one
110
351
2K
2
5
37
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@Thereal_taivina Focus ni Justice for SATIVA
0
0
36
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
Tweet media one
5
0
37
@zack_chriss
Zack chriss
20 days
Kwahiyo wakuu mnataka nchi iwe na vijana wa aina gani?(makondoo) haiwezi kuwa mwachieni kijana mwenzetu huyu kama ana jinai afikishwe kwenye vyombo husika🙏🏾
Tweet media one
4
13
36
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
Dada mwenye Upendo❤️
@MiriamMkanaka
MIRIAM💜
2 months
Familia ya X Appreciation Post❤️Saa 10 asubuhi lakini ilikuwa kama mchana mzidishiwe mlipotoa🙏
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
143
419
3K
2
4
35
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@JiniKinyonga @Sativa255 @zittokabwe Kaka umeandika vyema sana lakini uanataka kupotosha hapo mwishoni umesema hela zimetumika wapi? Umepiga picha na mama Edgar umeshindwa kumuuliza hela zimetumika wapi?MMM anasema kila siku apa hela zilizo changwa na wadau zitumike kwenye mambo ya familia? Hela zote zilizo tolewa
3
4
34
@zack_chriss
Zack chriss
20 days
@MiriamMkanaka Bila kumtag mpiga picha ni utapeli 😂😂
0
0
34
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
Kama kuna Media yeyote tofauti na Azam ishawahi tumia hii picha jiandae nakuja na mwanasheria wangu @MiriamMkanaka @PresenterNoah kama utashiriki hili utaokota😂
Tweet media one
7
2
33
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@FKihamu 😂😂 watakapo fungwa na Pamba yenye thamani ya M 365 mtajua alitoa shingapi😂
4
0
33
@zack_chriss
Zack chriss
1 year
@nyuki_malkia Njombe hatuna mambo mengi
Tweet media one
11
0
31
@zack_chriss
Zack chriss
2 years
@Rungekuta69 Inategemeana na Chuo kama Ni 4.i ya NIT,DIT,SUA unaeza kaa mwaka mmoja tu mtaani ila kama ni ya TIA sijui IFM 🤣🤣🤣 kaka kasome tena
6
0
32
@zack_chriss
Zack chriss
2 years
11
0
32
@zack_chriss
Zack chriss
2 years
@spana_Konki Kama nimefanya makosa niambiwe sasa
10
0
33
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
The sister i have❤️❤️ @MiriamMkanaka
@PatrickMnyama96
Mnyama Patrick
2 months
@MiriamMkanaka TWENDE PAMOJA
Tweet media one
1
5
34
1
4
31
@zack_chriss
Zack chriss
1 month
Wakati huu licha yakuwa na majukumu mengi sana ya kazi nimefika hapa kuwasikiliza watalaam mimi naenda na @Mwabuk2Boniface mgombea wa @Sativa255 🫡
Tweet media one
4
5
30
@zack_chriss
Zack chriss
11 days
@millardayo Roma kafanya album kali ana deserve kua hapo Ngoma bora za HIP-HOP Hii hapa ya weusi bila shaka iliatakiwa iwepo hapo
1
1
29
@zack_chriss
Zack chriss
2 years
@McinikaWaLamar @rollymsouth kuna traffic alinisimamisha Mbez Shule swali lake why nimevaa Singlendi niaksema sheria gani tena ya nguo mwamba akajibu mi ndo nazijua sheria nikamwambia mim mkufunzi wa Udereva chuo cha Taifa cha usafirishaji hiyo mbona sijui akasema leta Id nikampa yachuo kaikagua kacheka tu
0
0
28
@zack_chriss
Zack chriss
30 days
Azam wafanyaje kipindi cha tatu? Ani @PresenterNoah anashabikia wagosi wamefungwa kahamia azam wamefungwa😂 kazi kumsumbua tu @MiriamMkanaka
Tweet media one
2
2
28
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@Eng_Matarra Yuko nje sasa FAMILIA HII KUBWA IMEFANYA TENA KWA UKUBWA @iamcleopatricia akirudi naomba umrambishe kwa niaba ya wana X @TweveDevota umetisha sana
Tweet media one
0
6
28
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@FKihamu Baada ya mechi kuna team itaenda na HATUJI TENA😂😂
3
1
28
@zack_chriss
Zack chriss
2 years
quieren ser nosotros pero son niveles .. They don't believe in Us but God Did.. Logistics and Transport Management. (TO) @KINGLUDA18 @chevi_masta @ze_mandevu @FumboKhan_ @MarekaMalili @babalao__ nipe Code za Kitaa
Tweet media one
6
3
26
@zack_chriss
Zack chriss
2 years
@MarekaMalili Ziwa nyasa Manda Ludewa Njombe jana sija amini asee kama Kuna vitu kama hivi
Tweet media one
9
0
27
@zack_chriss
Zack chriss
5 months
Leo si ndo siku yakutoa maoni according to mh @DullahTheking2 basi huyu binti ndio Rapper bora wa kike kuwahi kutokea Tz yani top 3 ya Best female rapper of all time Tz na East Africa😅
Tweet media one
4
2
27
@zack_chriss
Zack chriss
2 years
Tweet media one
4
0
26
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@ComradeKawaida @Sativa255 I am surprised by your actions, as I expected you to do something greater and more impactful. I believe you have the potential to achieve much more than what you have done, and I hope to see you strive for greater things in the future🙏🏾
8
1
27
@zack_chriss
Zack chriss
6 months
Day at Vunjabei HQ with Mkinga mchawi
Tweet media one
Tweet media two
2
4
27
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@shaffihdauda1 Wa awali?😂😂
0
0
27
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@YoungAfricansSC @Aziz10Ki Mashabiki wa simba wote MATAPELI
0
0
25
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@Roma_Mkatoliki Kuna yule mzenji anauchungu mahisi huwa analia kabisa😂
1
0
26
@zack_chriss
Zack chriss
20 days
Toka asubui mpaka sasa mimi na hawa nguo nyeupe barabarani tumelipana 310k🥶🥶 @PresenterNoah njoo chukua gari yako bongo(airport) traffic🚮 @Sativa255 asante kwa muamala 😂 leo ninge piga mtu
5
4
26
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@IdrisSultan Hakikisha unaacha Kitu mkuu wakilisha nchi
2
0
26
@zack_chriss
Zack chriss
1 month
Nimepokea simu nyingi sana naulizwa kama @PresenterNoah yuko salama kwani kuna nini msemaji wa familia ni @MiriamMkanaka mimi sijui chochote🙏🏾
3
3
25
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@Sirjeff_D Say no more
0
2
24
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@IAMartin_ Maumivu ni makali sana Mungu atupe hekima na maarifa yakutambua haya hayakubaliki pia atujalie Nguvu haya yanaumuza sana
0
0
25
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@ExMayorUbungo Ipo siku vizazi vyao vitakuja kulipia haya
1
1
24
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
Ushauri mwingi kuliko msaada sogea tupite mkuu NK
Tweet media one
2
4
23
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@RahmaMwita Sasa dada angu imewekwa kwenye account Ya hospital au imetolewa kwenye account ya Zito? Em tulieni basi tu Focus na vitu vingine
0
2
23
@zack_chriss
Zack chriss
9 days
Big time mwanangu @Sativa255 pale kwenye andiko lako kuna somo moja kubwa sana we should stop kuwaza watasemaje as long as tunacho fanya tunauwakika kitaleta faida let’s focus on it..NI BORA KUCHAGUA PESA NA LAWAMA NB:Sio lawama za kukandamiza wengine🙏🏾
Tweet media one
2
6
26
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
Wakili msomi @Sativa255 anamaelekezo pale Pinned post fika
Tweet media one
0
8
23
@zack_chriss
Zack chriss
1 year
@yangasc1935 Admin sio Bacca tu Mwite Master takooooling Ibra Canavarro chellin Bacca
2
1
23
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@privaldinho Maarifa ya mpira yanatosha kaka huku acha kabisa mana utaangamia
2
0
23
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
Asante kwa kwa Moyo wa kujitolea kwa ndugu yetu Japheti update ya michango Lipa Namba 1,216,000 Mpesa 915,000 Jumla = 2,131,000 Mungu awabariki A #Justice4Matara CcMiriam
0
8
23
@zack_chriss
Zack chriss
5 months
Mji wenu huu waki waki sana kudadeki🥶🥶
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
4
23
@zack_chriss
Zack chriss
2 years
@babalao__ Malcom x alitua bongo 1964s apo Alikutana na kina Abdulrahman Babu kipindi hiyo Tanganyka ndo makao makuu ya Mapinduzi ya Africa 😁😁
3
0
22
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@kapeto98 Mimi huyu mtalaam
4
2
23
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@MariaSTsehai Hapa ndo tutajua tutaongozww na watu wa aina gani safi sana Kibatala
0
2
22
@zack_chriss
Zack chriss
6 months
Tweet media one
3
2
22
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
Nataka mneso na shabiki yeyote wa simba @KINGLUDA18 😂 @MiriamMkanaka i told you sis mwamba yupo sana
@YoungAfricansSC
Young Africans SC
2 months
𝐊𝐈𝐍𝐆 𝐌𝐀𝐒𝐓𝐄𝐑 𝐊𝐈 @Aziz10Ki bado yupo sana Jangwani Wananchi🔰👑 Taarifa zaidi tembelea Yanga SC APP📲 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko
563
612
3K
4
3
21
@zack_chriss
Zack chriss
2 years
Maradona hajawahi kushinda Copa America, Pele hakuwahi kucheza Ulaya, Ronaldo hajawahi kushinda Champions League, Cristiano hajawahi kushinda World Cup. Halafu kuna kiumbe kinaitwa Messi kimeshinda vyote #priva
Tweet media one
2
2
20
@zack_chriss
Zack chriss
2 months
@Sativa255 unavyo nishangaaga mimi kusafiri na huu mzigo umeona Chama 😂😂
Tweet media one
3
3
21
@zack_chriss
Zack chriss
2 years
@mchachu_ Bring the white man
Tweet media one
1
0
20
@zack_chriss
Zack chriss
4 months
Kwani kuna habari gani Za muungano 😅 mana nipo Kwa mama kizmkazi na sina passport
Tweet media one
4
5
20