Usiku wa kuamkia leo channel za wasanii wetu
@diamondplatnumz
&
@mbossokhan
zilikuwa hacked na Bitcoin Scammers
Tumefanikiwa kuzirudisha salama na zote zipo sawa kwa sasa.
Poleni kwa wote mliokutana na tatizo hili
Tunaendelea kuwasiliana na
@YouTubeCreators
kwa msaada zaidi.
Staa wa Muziki Barani Afrika na CEO wa
#WasafiMedia
, SIMBA
@diamondplatnumz
ameamua kuvuta Ndinga ya ndoto yake Rolls Royce Cullinan SUV ya Mwaka 2021 .
Gari hiyo yenye thamani zaidi ya Dola Za Kimarekani 650,000 (Tsh . Bilioni 1.5 kabla ya Ushuru )
Mwenyezi Mungu Aendelee Kukujaalia Kheri, Afya njema, Akufungulie Milango YaRizkii Na Aendelee Kukuweka BIG!!
@diamondplatnumz
Jumaa Mubarak & A Very Blessed Happy Birthday To You Genius 🦁
🎂 🎂 🎂
Hesabu Ni Mbili Tu Duniani
JUMLISHA & KUTOA zigine ni mbwembwe😀! Hivyo Katika Maisha Yako JUMLISHA Watu Sahihi watakao kuongoza Kiakili,Matendo, Maendeleo na Kiimani kisha TOA wale wote wasio na ya msingi wanaokupotezea muda!
Nimefanikiwa kuuona uzi mpya wa Yanga aiseee🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Ubunifu & Quality 🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Na bora zaidi ni namna wanavyotengeneza concept/story katika jezi na sio kuweka rangi na michoro tu!
Nasubiri kuona kama kutakuwa na jezi bora msimu huu kuzidi hizi!
😍😍😍😍 Sweetie! U gave me the Whole 🌍 in a box! Nakupenda Sana!
Nasisitiza Sio Tuu PS4 Bali Ni PS4 (The Most Advanced Playstation with 4K HDR) Ni Kukeshaaa🤣
Kwa leo tuamke na hii zawadi ya Taifa.
PlayStation 4 Pro.
Tangu tumeanza mahusiano nilijua jinsi gani anapenda sana kucheza Game. Nami nilitamani sana siku moja nimletee zawadi, kama sehemu ya kuungana nae kwenye hiki anachokipenda.
Pia aendelee kukaa ndani wikendi 😂😂😂😂
Haaya Wacha Niende Zangu Sokoni Nikanunue Trending Yutubuu🤣🤣🤣
Nasikia kuna kikundi cha watu kinasema trending inanunuliwa huko!
Daaah shule muhimu sana 😹
#EnjoyKriChallenge
Basi Na Nyie Mjitahidi Mshike hata Tanzania namba 1walau kwa dakika 10 tuu kama Msodoki maana huku ni kutiana aibu sasa!
Kila siku mziki wa Bongo tuubebe sisi tuu mpaka tunachoka😄
Na hapa video yake bado🙆🏻
Wazee wa Original Content nawakumbusha Diamond yuko namba 1 🇳🇬 kwa
@diamondplatnumz
ameibuka mshindi wa Tuzo za MTV EMA - PARIS 2023 kipengele cha Best African Act! (Msanii bora Afrika)
Hii ni mara ya pili kushinda tuzo hii na kuwa msanii wa kwanza Afrika kushinda tuzo tatu za Mtv EMA!
mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2014 na sasa 2023 amefanikiwa
Najivunia Kuwa Moja Kati Ya Historia Hii ya
@diamondplatnumz
kuwa msanii wa kwanza Kufikisha Views BILLION 1 ndani ya
@youtube
Safari hii haijawahi kuwa rahisi na tunapambana usiku na mchana kuendelea kuwa bora zaidi ya jana!
Shukrani zaidi Kwa Mashabiki Zetu
#DiamondPlatnumz
Nakupenda Sana Sweetie Wangu Mzuri Mzuri
Happy Birthday Sweetie Wife ♥
Alhamdullilah Kwa Neema Nliyopewa Ya Kuwa Mme Wako!
Allah Akujaalie Yote Ya Kheri, Akuepushe Na Husda Na Aendelee Kujaalia Muunganiko Wetu!
🎂 🎂 🎂 🎂 🎂
Mziki ni safari na tangu alipoanza mziki mwaka 2016 ndoto ya
@rayvanny
ilikuwa kuandaa Albamu itakayohusisha wasanii wa nchi tofauti tofauti!
Imemchukua takribani miaka 4 kuandaa Albamu nasi kama Lebo (label) tunajivunia kuona msanii wetu anakaribia kutimiza ndoto yake!
Mengi Yatazungumzwa Lakini Niseme
@yangasc1935
ni Mashujaa Wa Soka La Tanzania na siku ya jana wamethiidhirisha kuwa kweli wao ni timu ya Wananchi
Wamewathamini Mashabiki zao!
Kitendo walichofanya jana ni cha kupongezwa na kupewa nguvu zote!
FOOTBALL IS FOR THE FANS!
Bora Ya Ndoa Ni Kuwa Na Mke Ambaye Mwenye Kukuongoza Mema, Kukukataza Maasi Na Kuwa Sababu Madhubuti Ya Kukupeleka Peponi
Nakupenda sana mke wangu
@miss_mshangama
Alhamdullilah
#jumaamubarak
#ramadhankareem
Kutokana na Channel ya
@diamondplatnumz
kudukuliwa Jumapili iliyopita na wadukuzi kuingia Live.
Leo Imezuiliwa na YouTube kutokana na maudhui yale kuvunja sheria za YouTube!
Tumeshafanya mawasiliano ya awali kutatua tatizo hili. Tuendelee kuwa wavumilivu kila kitu kitakuwa sawa.
Mwenye Mziki Wake Kachafua Hali Ya Hewa
Sasa We Chagua Story Ya Kuruka Nayo
Diamond Kasign Deal Na Warner
Diamond Kalipwa Sh Ngapi?
Don Jazzy na wasanii wa Nigeria Wanasema Ni Tajiri
Diamond Kanunua Ndege
Diamond Kawapa Makavu Forbes
Diamond Tajiri
Diamond Sio Tajiri
🤣
C.E.O Wetu
@Diamondplatnumz
ametokea kwenye ukurasa wa mtandao maarufu wa kupanga chart duniani
@Billboard
, ametokea kwenye makala inayoelezea namna ya kwenda kimataifa kwa kutumia mtandao wa Youtube
#Thread
👇🏻
Well Deserved
@officialzuchu
Hongera Sana On Winning Your First Award As An Artist
Tena In Just 8 Months
This is very Big in your Career
You Really Are Now Hanging Out With The Good People!!!
Stay blessed Zuchu
@afrimma
2020 BEST NEWCOMER
This Was Not Easy Thing To Achieve
BILLION Thanks To The Fans
BILLION Congratulations To The Boss
@diamondplatnumz
on achieving 1 BILLION VIEWS on
@YouTube
#THREAD
FOR YOUR GRAMMY®️ CONSIDERATION
Our New Artist
@officialzuchu
has been shortlisted to participate on the GRAMMY As BEST NEW ARTIST
🚀🚀🚀🚀
Voting Academy members we kindly Need Your Vote
Artist - ZUCHU
Genre - BONGO FLAVA
Category - BEST NEW ARTIST
THE BIGGEST HOUSE PARTY
Tonight!...
#EnjoyHouseParty
at MBEZI BEACH karibu na Upepo Garden!
Hosted by
@diamondplatnumz
& JUX Invitees Only..!
Mawasiliano Kufika Cont: 0757 511 524
Mkurugenzi wa
#WasafiMedia
,
@diamondplatnumz
, Leo aliweza kukamilisha Awamu ya Kwanza ya Ahadi yake ya Kuwalipia kodi watu 57 kati ya 500 .
.
Bado mchakato unaendelea huku akisisitiza kua anahitaji msaada huu uwafikie walengwa wakuu ambao ni walemavu, wajane na wasiojiweza
Juzi baada ya kutoka kununua uzi wetu wa Simba
Nkajikuta Nimekutana na Suprise Ya PLAYSTATION 5 Kutoka kwa Sweetie
@miss_mshangama
😭😭😭
Ahsante Sana Sweetie kwa zawadi hii Im so blessed and lucky to be your Husband
Nakupenda Sana!
Hakika Hii imekuwa Suprise kubwa sana kwangu
NAFASI ZA KAZI ! WASAFI MEDIA .
Kama WEWE unakidhi Nafasi na Sifa tajwa hapo Juu hakikisha unafika Kwenye Ofisi Zetu WASAFI MEDIA MAKAO MAKUU ( Mbezi Beach Kwa Zena ) KESHO SAA 4 ASUBUHI.
Au Wasiliana Nasi Kwa Namba : 255 716 124 796 | Email : Info
@wasafimediagroup
.co.tz
Bado Diamond Platnumz Anaendelea Kutoa Funzo La Namna Gani Ya Kuipeleka Bongo Fleva Kimataifa!
#Yatapita
Number 2 Top Song In Nigeria
NO WAHALA
#SwahiliNation
Link 👇🏼
Bwana Elon na Bitcoin zake ama kweli katuamulia
alijaribu kupitia na page ya
@wasafitv
Alhamdulilah nimefanikiwa kuirecover na leo wapo busy na Youtube channel ya Wasafi Media 🙆🏻♂️
"Kuhusu Tarehe 14/2/2022 ! Kutakua na Show Yangu Kubwaaa sana Siku ya Valentine Day Na Ndio maana Watu wengi wemenipost kunitakia kila la Kheri akiwemo Mama Yangu Mzazi ila kutakuwa na SUPRISE" -
@officialzuchu
Tupo LIVE on
@wasafifm
na YouTube | WasafiMedia
Wow❤️
Sijawahi ona tangazo kali la utambulisho wa jezi kama hili Africa!
Hii kweli Unstoppable!
Kuhusu Jezi za Simba asee ni kali sana🙌
Ama Hakika Msimu Huu Mmetuheshimisha mnoo!
I personally appreciate all your efforts
@bvrbvra
@RabbiHume
and the rest of team
#ThisisSimba
Sema Nini Sweetie
@miss_mshangama
Hii Picha Kali Saaaana!!
THE RETURN OF CHAMPIONS
Nyokooooo🤣🤣🤣🤣🤣
Na Msimu Huu Tutawahurumia Tena
Sema Msisahau Kupiga Picha Na Akina Aki Na Ukwa Kama Ukumbusho Wenu!
📷
@Nasiry255
Kumbe Ni Yenyewe Bhana
Haikuwa Box Tupuuu
🤣🤣🤣🤣
Big hugs and thanks Sweetie Wife
@miss_mshangama
For the PLAYSTATION 5
Kwenye Moyo Nimekupa Seat
Wee Ndio Dereva
Na kukuacha sidhani, siwezi jaribu...
Maana Penzi kwa mzani, limenizidi Mahbibu
#NAANZAJE
Naona Mnatumia Nguvu Kubwa Kupost Thamani Ya Gari Ni USD 300,000
Soon Tunawaweka Bango Na Risiti
Muendeleze Mjadala
Rolls Royce Cullinan 2021 Wraith Black Bedge 0 KILOMETER Custom Edition
$640,000 Kabla Ya Ushuru
@diamondplatnumz
Anakuwa Msanii wa kwanza (Sub Saharan) Kufikisha Views Milioni 1 Ndani Ya Masaa 8
Tunawashukuru Sana Mashabiki Zetu Kwa Hili
Speed Ya
#WAAH
Sii Ya Mchezo
Nkiwa Kama Mkuu Wa Digital Am HAPPY!!!!
Wacha Tuendelee Kufanya Kazi
#HITSONLY
#WCB4LIFE
Naomba Niseme Ahsante Sana Na Nawashukuru Nyote Kwa Kunitakia Kheri, Dua Njema Na Kunionesha Upendo Mkubwa Sana Katika Kumbukumbu Ya Birthday Yangu!
Upendo wenu mlinionesha ni Mkubwa mnoooooo🙌🏻
Mwenyezi Mungu Awabariki Sana!