Shamira Mshangama Profile Banner
Shamira Mshangama Profile
Shamira Mshangama

@shummymshangama

22,288
Followers
811
Following
1,080
Media
18,015
Statuses

Founder @mwanamkeuongozi / Vice President DARUSO 2016/17 / Mjumbe wa Baraza kuu UVCCM TAIFA 2022-2027 / Women Empowerment champion

Tanzania
Joined September 2016
Don't wanna be here? Send us removal request.
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
SAD NEWS. Viongozi wa DARUSO wote wametimuliwa isipokuwa Makamu wa Rais. Wameambiwa mwisho saa 6 wasionekane chuoni. Kwahio Hawa viongozi walioamua kusimama kwa niaba ya wenzao, haya ndo malipo yao? #IstandWithDarusoLeaders #IstandWithDarusoLeaders
199
239
2K
@shummymshangama
Shamira Mshangama
3 years
Kapo ya Taifa ndani ya jezi za Mabingwa @SimbaSCTanzania Cc. Sweetie @Kimkayndo
Tweet media one
63
47
2K
@shummymshangama
Shamira Mshangama
3 years
Na shoga angu Superstar @officielsalome 😍😍😍 #TOTBonanza
Tweet media one
74
44
2K
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
Kwa leo tuamke na hii zawadi ya Taifa. PlayStation 4 Pro. Tangu tumeanza mahusiano nilijua jinsi gani anapenda sana kucheza Game. Nami nilitamani sana siku moja nimletee zawadi, kama sehemu ya kuungana nae kwenye hiki anachokipenda. Pia aendelee kukaa ndani wikendi 😂😂😂😂
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
173
219
2K
@shummymshangama
Shamira Mshangama
3 years
Happy Birthday to me ❤️💕
Tweet media one
128
47
1K
@shummymshangama
Shamira Mshangama
7 years
Hatimaye jana nilitunukiwa shahada yangu ya kwanza ya Masomo ya Biashara. (Bachelor of commerce in Banking and Financial services), Chuo kikuu cha Dar es salaam. Asante sana Mungu kwa Baraka zako.
Tweet media one
224
74
1K
@shummymshangama
Shamira Mshangama
4 years
Happy Birthday to me.
Tweet media one
129
13
1K
@shummymshangama
Shamira Mshangama
3 months
Ubaya Ubwela.... Sanda tunaye na tunatamba nae 😆🙌 Na hizi ndio jezi bora za muda wote na kali zaidi kuwahi kutokea Tanzania. Wakitangaza kutafuta couple bora ya kutangaza jezi mtushtue me na Sweetie @Kimkayndo 😆 #ThisisSimba #Nguvumoja @SimbaSCTanzania @ahmed__ally
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
28
81
1K
@shummymshangama
Shamira Mshangama
4 years
Niliamini mimi ninastahili mume mwenye hofu ya Mungu ili pia maisha yangu yawe yenye kumkumbuka Mungu na kumuogopa. Ukibahatika kupata mwenza mwenye hofu ya Mungu hawezi kukusumbua. Atajua mipaka na majukumu yake kwako. I Love You @Kimkayndo . #ramadhankareem #ijumaamubarak
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
100
39
890
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Asante sana Mungu kwa kunipa nafasi ya kupata mwaka mpya katika maisha yangu. Sio kwa nguvu wala juhudi zangu. Haya ni mapenzi yako wewe Mungu wangu. Hakika naona Neema zako katika maisha yangu. HAPPY BIRTHDAY TO ME.
Tweet media one
93
55
877
@shummymshangama
Shamira Mshangama
4 years
“Ewe Muislam mwenzangu hizi siku chache za Ramadhan zilizobaki sio za kulala kabisa, zinaweza kuwa sababu ya kubadili mfumo na mwenendo wa Maisha yako. Najua kuna uchovu pia ule utamu wa usingizi, ila vishinde vyote na uamke kufanya ibada maana Raha ya pepo ni ya milele.
Tweet media one
43
43
837
@shummymshangama
Shamira Mshangama
3 years
Natumai surprise yangu ya Ps 5 umeipenda Sweetie wangu. Finally nimefanikiwa kukupatia PLAYSTATION5,ulikuwa unasubiri bei ishuke ndo ununue. Mie Uvumilivu ulinishinda nkaona wacha nilipize tukio la Anniversary ngoma iwe droo I love You Sweetie @Kimkayndo Vibe la mashemeji 🙌🏻
85
80
731
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
Eid Mubarak 😍😍😍...
Tweet media one
41
22
656
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Hivi ni kweli kula kunapelekea kunenepa ? Au ndo vile mnavyosemaga wadau. Kunenepa ni kuridhika?? #LisheBora
Tweet media one
79
26
620
@shummymshangama
Shamira Mshangama
3 years
Tweet media one
27
20
618
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
Ukiwa unaweka “serious content” mitandaoni ni ngumu kupata followers wengi lakini ni rahisi kupata watakaokuamini na kusimama na wewe Wanaamini katika unachokifanya utawafikia tu na wanaweza wasi-like. Tuzingatie zaidi “reach” na sio “likes” - @miss_mshangama #WomenAtWebTZFGD
Tweet media one
33
89
616
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Hii video ina historia ya kweli. Inaeleza juu ya suala la Ukatili kwa wanawake hasa kuhusu suala la kumiliki Mali na suala la VVU. Tafadhali Itazame kisha sema neno lolote. #SemaInatosha | #ChukuaHatua @OxfamTz @Oxfam
49
133
572
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Kazi imeshaisha. Kama kawaida.. tumeshaenda mbele. Tuombe tubebe Kombe kabisa. Huu ni wakati wetu!!!
Tweet media one
35
38
539
@shummymshangama
Shamira Mshangama
3 years
“Love is a beautiful thing with the right person”. Good morning @Kimkayndo ❤️
Tweet media one
25
12
532
@shummymshangama
Shamira Mshangama
4 years
Ni neema za Mungu zimetufikisha kuona mwaka wa ndoa yetu (14/7). Naomba tuendelee kupendana, kusikilizana na kuheshimiana. Nashukuru kwa kuwa mume bora katika maisha yangu. Nashukuru kwa kunihamasisha kufanya ibada na kufanya kazi kwa bidii. Nakupenda sana mume wangu @Kimkayndo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
34
29
517
@shummymshangama
Shamira Mshangama
4 years
Furaha niliyonayo aisee. Bado Siku Moja tu. Maana kesho #TemboAtaongea
Tweet media one
18
18
499
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Wameshakaa wale wa Matopeni.. Haiwezekani niende uwanjani halafu tufungwee 💪🏻💪🏻💪🏻 . This is Simbaaa
Tweet media one
44
28
480
@shummymshangama
Shamira Mshangama
4 years
Naomba kujua kama Tz huu mzigo wa PS 5 umeshaingia.Anniversary yetu inakaribia, nifanye yangu mie. Maana hapa tangu jana story ni PS 5. Anaitaja mno inabidi tu nimnunulie. Naomba kujua pia Kulipa kwa kuchanja na Tembo Card au nitume kwa Simbanking ya @CRDBBankPlc #PopoteInatiki
Tweet media one
Tweet media two
43
39
481
@shummymshangama
Shamira Mshangama
3 years
Leo 8/6/2021 nimehudhuria Mkutano wa wanawake na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh. @SuluhuSamia . Mkutano uliobeba mada inayosema “Mwanamke na Maendeleo”. TUJITAMBUE, TUJIZATITI, TUTEKELEZE WAJIBU WETU.
Tweet media one
25
17
477
@shummymshangama
Shamira Mshangama
3 years
Jumamosi ya tarehe 25/09/2021 nilialikwa kuwa Mgeni rasmi katika mahafali ya 18 ya kidato cha nne shule ya sekondari St. Mark’s Iliyopo Mbagala Dar es salaam na kupokelewa na wenyeji wangu ambao ni Mkurugenzi pamoja na Mkuu wa shule kisha kuvalishwa shada na wanafunzi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
43
31
480
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Heri ya Mwaka Mpya 2019. Nawaombea Mwaka uwe wa mafanikio na Baraka tele, Mungu atimize haja za mioyo yetu.
Tweet media one
39
30
453
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Utasikia mtu anaweka sifa kibao kwa mke/mume amtakaye. Mara oooh “Nataka mume anayefanya ibada”. “Nataka nioe mke anayeswali swala tano”. My friend!! Mambo sio rahisi hivyo. Kama wewe unataka kupata mke/mume mwenye hofu ya Mungu, anza kujipiga msasa wewe kwanza.
Tweet media one
63
50
448
@shummymshangama
Shamira Mshangama
4 years
Aliyesimama hapa “NI RAIS”. Uwiii💪🏻💪🏻 Kauli ya Mamlaka haswa.
18
14
445
@shummymshangama
Shamira Mshangama
4 years
Hamna jambo linaumiza kama tumbo la period jamani, japo natambua sio kwa wanawake wote. Ila mimi binafsi huwa nakosa amani kabisa. Yani zile tarehe zikifika huwa mambo hayakai. Maana ninaumwa tumbo balaa. Nakuwa mnyonge Kwakweli 😭😭
104
20
443
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
Shukrani sana @GlobalPeace @GPWTanzania @globalpeacetz kwa nafasi hii Muhimu. Hakika nitaiwakilisha vyema @MwanamkeUongozi na nitawawakilisha Vyema Vijana wa Tanzania 🇹🇿 . Niko tayari Washington DC Marekani, kuwawakilisha na sitawaangusha.💪🏽💪🏽💪🏽
Tweet media one
Tweet media two
37
59
435
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
There is always Next Time. Hata hivyo Congo bado tuna nafasi ya Kushinda. Tunaomba tu Viongozi wa Simba watoe utaratibu wa kwenda Congo kushangilia. #thisissimba #HiiSijanuna
Tweet media one
36
22
441
@shummymshangama
Shamira Mshangama
7 years
Ishu si kama watuoni au hatupendi kusapoti juhudi zinazoitwa za maendeleo. Hoja ya msingi ni kwamba, USALAMA, UHAI na UHURU WA RAIA ni muhimu zaidi kuliko SGR, Bombadia, kuongeza vituo vya Afya, Elimu Bure, Vyeti feki, na kwenda kufungua matawi ya mabenki mapya. #ChangeTanzania
33
97
433
@shummymshangama
Shamira Mshangama
2 years
Nachukua nafasi hii kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia kuwa mmoja wa walioteuliwa na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kuwania nafasi ya Mjumbe wa Baraza Kuu UVCCM Taifa (Viti Vitatu - Bara). Pia, naishukuru sana Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwa kuniamini na kuniteua kugombea.
Tweet media one
24
22
417
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
Shukrani sana Rafiki zangu wa Kike. Walioungana nami katika Kitchen Party yangu jana. Nashukuru sana kwa zawadi zenu nzuri. @Lydiacharles_ @victoriacharlz @VwalaViola @BintiSalha @ChristnaHillary @SumaiyyaMahmoud na wote mliojumuika nami. Tukutane 22/9 wote wadada na wakaka
Tweet media one
Tweet media two
51
30
374
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Nilisema wekeni Akiba ya Maneno.. mkongo vyake Vipodozi.. THIS IS SIMBAA 🥵🥵. Haya njooni sasa tuongee
Tweet media one
25
41
363
@shummymshangama
Shamira Mshangama
7 years
Nawatakia pasaka njema.
Tweet media one
26
17
366
@shummymshangama
Shamira Mshangama
3 years
“Ni rahisi sana kuuongelea uhuru kuliko kuuishi uhuru, au kuruhusu wengine waishi kwa uhuru”.
11
37
360
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Haya bado masaa machache. Simba tujuane hapa... leo VITA tunawapiga ngapi??? #simbafc #thisissimba
Tweet media one
33
19
339
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
Kwakweli mnisamehe tu. Hii ndo ilikuwa siku ya harusi yangu. Jeuri ya kupost hizi pics ni kutokana na kutumia #MtandaoSupa wa @VodacomTanzania . Harusi ni siku muhimu wacha nipost, hadi nichoke. Maana mtandao uko spidi balaa halafu kwa bei rahisi tu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
40
32
337
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Jamani Man U naomba Leo wasinichanie Mkeka wangu. Maana hapa ndo namalizia kupangilia kwa Muhindi. Haya wale wa Barca Leo ni leo!!!
Tweet media one
45
12
312
@shummymshangama
Shamira Mshangama
4 years
Jana ilikuwa Birthday ya Sweetie wangu @Kimkayndo . Hakika ilikuwa siku ya furaha kwangu na kwake. Nakuombea kheri Mume wangu katika mwaka wako huu mpya, utimize yote mema yaliyo kwenye matamanio na mipango yako. I love You ❤️
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
20
13
314
@shummymshangama
Shamira Mshangama
3 years
Let's Bring It Home And Make History @diamondplatnumz I am voting for @diamondplatnumz ON #BETAwards2021 as BEST INTERNATIONAL ACT. #diamondplatnumz #BETAwards #swahilination
Tweet media one
19
64
299
@shummymshangama
Shamira Mshangama
4 years
Nashukuru uongozi wa Serikali yawanafunzi wa chuo cha Usimamizi wa Fedha IFM kwa kunialika kuwa mgeni rasmi. Leo katika Matembezi ya amani kupinga dhana potofu kwa wanafunzi wa vyuo. Kundi letu lilikuwa pamoja na washiriki wa mashindano ya urembo Miss IFM #KataaMitazamoHasiVyuoni
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
16
15
294
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
Jana tumeungana na tumejua @TitoMagoti ulipo, Mungu akupe ulinzi na Afya njema. Insha Allah tumuombee na @TheoGiyan naye Allah amtunze na tujue yuko wapi. #BringBackTheo
Tweet media one
5
52
290
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Hakuna kitu kizuri kinacholeta Furaha kama kufanya kazi unayoipenda. Unaweza usipate kipato kikubwa lakini kuishi ndoto na matamanio yako ni zaidi ya kipato. Hata kwenye Mahusiano. Hakuna kitu kizuri kama kuwa na Mpenzi wa ndoto zako. Mahusiano ni Furaha mengine ni matokeo tu!!
Tweet media one
26
53
284
@shummymshangama
Shamira Mshangama
3 years
Me na Sweetie wangu @kimkayndo tulihudhuria kushuhudia uzinduzi wa @WasafiBet #WasafiBet pale Mlimani City
Tweet media one
Tweet media two
11
10
272
@shummymshangama
Shamira Mshangama
3 years
Hakika vita umeipigana vilivyo. Sisi ndugu na mashabiki zako tupo nyuma yako. Haijalishi tutatukanwa na kudhalilishwa kwa kiasi gani, @diamondplatnumz kupitia tuzo hii nimeona ni kiasi gani watanzania tuna umoja, upendo na kuthamini vya kwetu. Tunatambua kazi kubwa uliyofanya.
Tweet media one
20
18
260
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Tweet media one
22
10
270
@shummymshangama
Shamira Mshangama
4 years
Vjosa Osmani Mwanasheria amekuwa Rais wa pili Mwanamke nchini Kosovo baada ya Atifete Jahjaga ambaye amekuwa Rais kuanzia mwaka 2011-2016. Ni Rais mwenye umri mdogo zaidi (38). Mnamo tarehe February 3, 2020, Vjosa Osmani alichaguliwa na kuwa Spika wa Bunge Mwanamke wa kwanza.
Tweet media one
11
39
264
@shummymshangama
Shamira Mshangama
4 years
Joanitha Kabula Mwanamke mwenye umri wa miaka 32, ambaye ni Rubani wa ndege kwenye Shirika la @AirTanzania Dream liner. Kwenye familia yake yeye ni wa tatu. Wakwanza ni baba ake, wapili ni kaka ake mkubwa na yeye. Ameanza akiwa na miaka 23. #Girlpowerconference2020
Tweet media one
10
34
266
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Nimekuwa Mshindi wa Tatu katika shindano @GivingTuesdayTZ stori yangu ni,Nikiwa Makamu wa raisi wa serikali ya wanafunzi UDSM 2016 nilijitolea kuchangisha fedha za ada za wanafunzi 6 wa mwaka wa kwanza waliokuwa wamekosa mkopo na kutaka kurudi nyumbani #UtoajiWanguHazinaYangu
Tweet media one
21
57
259
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
Mamlaka zinajuaje labda Viongozi hawa walitumia njia ya Bandiko kwa lengo la kutuliza maandamano?? Wanafunzi wamekaa miezi miwili bila pesa zao, leo viongozi wanadai wanasimamishwa masomo badala ya kupewa maneno ya kuwafariji na kuwaelekeza walipokosea. #IstandWithDarusoLeaders
14
37
243
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
Baada ya Harusi yangu kuisha sasa ni kupost tu pics. Na zile natumia #MtandaoSupa wa @VodacomTanzania wanazengo naomba tu mnisamehe. Maana hii spidi ya Mtandao pia inachangia hizi vurugu za kupost
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
24
27
238
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Usiogope kukutana na watu wenye chuki na wewe katika safari ya mafanikio yako, hio ni ishara kuwa upo katika nafasi nzuri ya kufikia mafanikio, una uwezo zaidi yao, una maisha mazuri zaidi yao, hawajipendi na wanatamani kuwa kama wewe lakini wameshindwa Sababu wao hawana malengo.
Tweet media one
4
46
229
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
Kuna jamaa mmoja alimpa kazi ndugu yangu hizi za mitandaoni na kagoma kumlipa. Nakaribia kumtaja, maana haiwezekani mitandaoni mnajiweka na high profile kumbe mnafanya dhuluma ground.
11
15
227
@shummymshangama
Shamira Mshangama
7 years
Patriotism means to stand by the country. It does not mean to stand by the president or any other public official. #uzalendo Team Tanzania 💪
Tweet media one
18
40
226
@shummymshangama
Shamira Mshangama
2 years
Asanteni sana WAJUMBE WA BARAZA KUU UVCCM TAIFA kwa kwa kunipa kura za kishindo na kunifanya niwe MJUMBE WA MKUTANO MKUU CCM TAIFA NA BARAZA KUU UVCCM 2022-2027. Lakini niwashukuru wale wote ambao mlinipa support kwa njia mbalimbali kuhakikisha hili linatimia ASANTENI SANA.
Tweet media one
28
17
226
@shummymshangama
Shamira Mshangama
4 years
Binafsi taarifa za msiba wa Shammy zimeniumiza mno. Sikutegemea kupata taarifa ile japo nilifahamu anaumwa kwa muda kidogo. Mimi sijapoteza Rafiki wa Karibu tu kama wengi wanavyofikiri. Mimi nimepoteza Dada, Mlezi, mshauri na mpambanaji mwenzangu. Innalillah wainnaillah raajuin
Tweet media one
Tweet media two
22
14
215
@shummymshangama
Shamira Mshangama
4 years
Naomba Radhi sana Ndugu Zangu. 😂😂😂😂😂😂
Tweet media one
19
12
212
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
Tumetembelea Makao Makuu ya Bank ya Dunia (World Bank) na kujifunza kazi na mambo mbalimbali. Na kikubwa ni kuangalia Miradi na Programu zenye lengo la kuwasaidia vijana pamoja na kupata taarifa za fursa za vijana. #iyla2019 @IYLAinfo @GPWTanzania
Tweet media one
Tweet media two
5
30
203
@shummymshangama
Shamira Mshangama
2 years
Happy Birthday Sweetie @Kimkayndo ❤️❤️ Namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kunikutanisha na wewe. Nashukuru sana kwa sapoti unayonipa siku zote. I Love You Sweetie ❤️
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
11
203
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Nchini Kenya Katika Sherehe za kumaliza Mafunzo ya PYPA (Ni program ya mwaka mzima inayochukua wawakilishi vijana kutoka vyama vya Siasa Nilichaguliwa kuwa Msichana niliyeongoza kwa utanashati (smartest lady). katika kipindi chote cha mwaka wa mafunzo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
16
32
187
@shummymshangama
Shamira Mshangama
4 years
Watu maarufu na waliofanikiwa nadhani wanapaswa kukumbuka jamii. Huyu Dada @FlavianaMatata Kwa kuanzia Lavy Pads wamewapa wanafunzi 100 pads za mwaka mzima kutoka sehemu mbalimbali. #SikuZaoNiSikuZetu
Tweet media one
3
21
197
@shummymshangama
Shamira Mshangama
11 months
Hii Siku ilikuwa siku mbaya sana kwa Sweetie wangu @Kimkayndo , pia Presha na ubize wa kuhakikisha msanii mpya @dvoice_ginni anaenda mjini vilimzonga. Hakulala siku tatu. Basi ilibidi nitumie nguvu na akili kubwa sana kurudisha furaha yake katika siku yake muhimu ya kuzaliwa.
15
11
197
@shummymshangama
Shamira Mshangama
2 years
Shamira ni Mwenye Maono, Dira na Malengo ya kuleta Fursa Sawa kwa Vijana katika Kila Nyanja ya Uzalishaji wenye tija kwa Vijana wote. Ndugu Mjumbe naomba Kura Yako ya ndio nikawe Mbaraza UVCCM TAIFA VITI 3 - BARA. #KURA YAKO HAIJAPOTEA CHAGUA SHAMIRA @shamiramshangama
Tweet media one
22
25
190
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
Yani sasahivi Biashara zimekuwa rahisi. Maana tunapost tu mtandaoni then tunapokea hela kupitia #LipaKwaSimu na bidhaa inatumwa kwa mteja.
6
8
175
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Unawezaje kumkamata mwanamama mwenye mimba na kumuweka mahabusu kwa kosa analotuhumiwa mume wake? Mamlaka husika ziangalie suala hili na hatua za kisheria zifuatwe haraka iwezekanavyo. Kama hatua hazitachukuliwa sasa, tujiandae kuona Polisi wakifanya matukio ya kinyama zaidi.
15
51
169
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
Marekani wamenionesha kwa vitendo Maana ya “Uhuru wa kujieleza”. Hakika huu ni mfano wa kuigwa sana kwa Mataifa yote Duniani hasa kwa nchi za Afrika. Eneo mbele ya White House (ikulu),Free Speech Zone. Hapa ndipo watu mbalimbali wenye lolote la kutoa kumpelekea Raisi @IYLAinfo
Tweet media one
Tweet media two
6
29
172
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Kuna wale watu wanakosea kisha wanakimbilia kusema “Ndo Nilivyo”. Hivi kama watu wote tungeachwa tuishi vile tutakavyo hii dunia ingekuwaje? Ni kweli tunatofautiana tabia, lakini kuna zile standard za kibinadamu tunazopaswa kuziishi wote. Ndio maana kuna Polisi na mahakama.
Tweet media one
8
26
168
@shummymshangama
Shamira Mshangama
3 years
Kuanzia saa 2 usiku wa leo. Karibu pamoja tujifunze na kujadili kuhusu uongozi. Nitakuwepo kutoa madini mbalimbali. Mkaribishe na mwenzako.
Tweet media one
15
15
167
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Utaifa haimaanishi kuwa Mtumwa wa fikra, si kuongea yanayowafurahisha wachache na kuwaumiza wengi, si kusifia tu bila kukemea au kukosoa. Utaifa ni pamoja na kuheshimu, kusimamia na kufuata katiba na taratibu za nchi, kulinda haki za Binadamu na mali zao. #changeTanzania
Tweet media one
2
33
165
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Huu Muswada umeshapita bungeni sasa unapelekwa kwa Rais kuusaini na kuupitisha. Mh. Raisi @MagufuliJP macho ya watanzania yapo kwako. Ni muswada uliokiuka haki za vyama na maendeleo ya demokrasia ya nchi yetu pendwa. Tunaamini utatutendea haki kwenye hili. Asante sana
Tweet media one
36
37
155
@shummymshangama
Shamira Mshangama
3 years
Nipo Lusaka Zambia kuhudhuria mafunzo ya siku nne ya vijana wawakilishi wa nchi za Afrika, mafunzo yanahusu jinsi ya kukusanya data kwa makundi mbalimbali ya kijamii juu vipaumbele vya vijana katika Maendeleo ya nchi. Huu ni muendelezo wa mchakato tuliouanza mwaka 2019
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
13
14
165
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Ujana ndio muda sahihi kujitolea kuhakikisha unagusa na kuinua maisha ya wenye uhitaji. Hii ni Story yangu fupi ya kuchangisha ada kwa wanafunzi wenzangu ambao walikosa ada na kutaka kukatisha masomo yao. #GivingTuesday #givingtuesdaytz @GivingTuesdayTZ
14
38
158
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
Hakika. Hilo sio gumu, ni makubaliano tu😁😁
@MarekaMalili
Lubasha Jr
5 years
Hongereni sana Shamira, pia muda ukifika akataka kuongeza wa pili pia umpe ushirikiano 😀
16
15
242
11
2
162
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Hivi wanazengo nanyi mlikuwa mnajua kuwa “Ukisema Parliament unamaanisha Rais yuko Mlee,waziri mkuu yuko mleee.. na kila mtu yuko mleeee”. Ila hapo mwisho mmesikia kuwa “JAMAA SHUJAA SANA YULE”.. huu mkono unaomlisha huyo jamaa hauogopi sijui ndo upi? Nisaidieni #ChangeTanzania
54
34
159
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Jana nilikuwa Jijini Dodoma katika kikao na taasisi za vijana kuunda timu ya Tanzania itakayosimamia mchakato mzima wa(African charter on Democracy, Election and Government)ACDEG.Ambapo wajumbe wa mkutano walinipa Nafasi ya kuwa mwenyekiti wa timu Tanzania. #ACDEGTZ @ROAAfrica
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
13
35
155
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
Magavana wa kikoloni walikuwa wanalindwa kwa sababu tulikuwa hatuwataki..Lakini leo hii kiongozi umechaguliwa na wananchi na wamekupigia kura kwa kukupenda lakini unakuwa na walinzi wakukulinda,wanakulinda dhidi ya nani..?"- Wakili Sungusia #KatibaMpya #KatibaNiYetu
15
26
158
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Kwa Wasichana / wanawake wenzangu. Mustakabali wa Ndoto zetu ziko kwenye mikono yetu. Kufanikiwa au kutokufanikiwa ni maamuzi yetu. Natambua changamoto bado ni nyingi sana hasa zile za kijamii na kitamaduni lakini hii isiwe sababu ya kukata tamaa na kuamini tumeshindwa
Tweet media one
11
28
156
@shummymshangama
Shamira Mshangama
1 year
Kesho Insha Allah tunatimiza miaka minne ya ndoa yetu yenye furaha na mapenzi. Nakupenda sana Sweetie wangu @kimkayndo Comment Neno lolote la kheri kwetu
Tweet media one
23
5
156
@shummymshangama
Shamira Mshangama
4 years
Usimdharau mtu, maana hakuna ajuae kesho ya yoyote. Unaweza kumdharau leo na kesho Mungu akampandisha. Unamkuta sehemu ambayo yeye ndo tegemeo lako kwa muda huo. 🙏🙏🙏🙏
8
25
158
@shummymshangama
Shamira Mshangama
2 years
Ni furaha iliyoje pale mgombea uliyemuunga mkono na kushiriki kuomba wengine wamuunge mkono anapoibuka na ushindi. Hongera sana my brother January Makamba. @JMakamba
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
20
11
159
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Tumeshafika Seoul Korea kuhudhuria Mkutano wa Amani duniani utafanyika kuanzia kesho 26 Feb kujadili juu ya Sera mbalimbali za Amani, jinsi sheria za uvunjaji amani zinavyopaswa kuboreshwa na mbinu za watu wadumishe amani #KoreanDream #OneKorea #GlobalPeace #코리안드림
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
12
29
150
@shummymshangama
Shamira Mshangama
7 years
Kama una uwezo wa kuongea vizuri mbele ya watu, inaweza kukusaidia kupata kazi, cheo, kutoa elimu kwa marafiki/ wafanyakazi wenzako/ jamii. Na kadiri unavyozidi kuongea mbele ya watu mara kwa mara ndivyo uwezo wako unavyokuwa mkubwa zaidi, na kujiamini kunaongezeka zaidi.
5
26
154
@shummymshangama
Shamira Mshangama
4 years
Nilishazoea kwenda shule na vyuo mbalimbali kuongea na wasichana kuhusiana na suala zima la Uongozi. Ila sasa hakuna shule wala Chuo, watu tunaogopa . Ila Sina hofu sana najua #TemboAtaongea
Tweet media one
2
19
149
@shummymshangama
Shamira Mshangama
7 years
Tulipoenda kumuaga dada Akwilina Akwilini pale NIT chuo kuelekea safaria yake ya milele. R.ip Akwiilina
Tweet media one
10
12
142
@shummymshangama
Shamira Mshangama
7 years
Asante sana Mungu kwa kunipa nafasi ya kuuanza mwaka mpya katika maisha yangu. Sio kwa nguvu wala juhudi zangu. Haya ni mapenzi yako wewe Mungu wangu. Hakika naona Neema zako katika maisha yangu. HAPPY BIRTHDAY TO ME.
Tweet media one
20
14
142
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Mh. Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe @jokateM ametangaza kuwa Harambee kwa ajili ya Kampeni ya Tokomeza Ziro ya Wilaya ya Kisarawe imeahirishwa hadi hapo itakapotangazwa tena. Na kuwashukuru watu wote waliojitokeza kusapoti kampeni hii. #KisaraweMpya #MVNyerere
Tweet media one
7
22
134
@shummymshangama
Shamira Mshangama
7 years
Umakini wa mtu ni pale anapofanya mazungumzo kuwa sehemu ya kujifunza. kwa kuamini kila anayezungumza nae ana jipya la kumfunza. Si lazima kila wakati ubishane au kujibu hoja zile ambazo unaziamini wewe. Pia tukubali kushauriwa japo kwa kusikiliza . Huwezi kujua kila kitu !!
6
35
135
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Tumemaliza utafiti tuliofanya na Taasisi ya @ShahidiWaMaji . Utafiti ulikuwa na lengo la kufahamu changamoto na kero wanazokutana nazo wananchi katika masuala ya Maji, Usafi wa Mazingira na Mafuriko. Kata tulizofanya utafiti ni tatu Dar es Salaam; Chamazi, Vingunguti na Kigogo.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
34
134
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
Mtu wa Make Up hajafika mpaka sasa, na huyo ndo alipaswa kukufunga kichwani. Tulitaka akufunge mitandio inayoleta Rangi za Bendera ya Taifa. Vile huwa sikubali kushindwa nkasema naomba mnipe hio Make Up na Hiyo mitandio nijaribu kufunga mwenyewe.” Matokeo yake!! Vipi nimepatia??
Tweet media one
15
11
134
@shummymshangama
Shamira Mshangama
7 years
Nimebahatika kuwa PYPA( program for young politicians in Africa ). Inayofundisha Uongozi, Demokrasia, Haki za binadamu. Program ya mwaka mzima inayochukua wawakilishi vijana kutoka vyama vya Siasa vyenye wawakilishi Bungeni nchi za Afrika. Hii ni ya nchi tatu za Afrika mashariki
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
15
14
136
@shummymshangama
Shamira Mshangama
2 years
Maono, Dira na Malengo ya kuleta Fursa Sawa kwa Vijana katika Kila Nyanja ya Uzalishaji wenye tija kwa Vijana wote. Ndugu Mjumbe Naomba Kura Yako ya ndio Nikawe Mbaraza UVCCM TAIFA VITI 3 - BARA. #KURA YAKO HAIJAPOTEA CHAGUA SHAMIRA
Tweet media one
9
19
132
@shummymshangama
Shamira Mshangama
7 years
Mungu ni mwema sana. Aendelee kukupigania na kukuponya kabisa.
Tweet media one
0
17
131
@shummymshangama
Shamira Mshangama
7 years
Leo nilikuwa shule ya secondary ya wasichana ya Christina iliyopo mkoani Tanga kufanya uwezeshaji na hamasa kwaajili ya kumsaidia mtoto wa kike kujiamini na kuchukua nafasi za uongozi katika jamii. Mwanamke ni chachu ya maendeleo @MwanamkeUongozi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
20
123
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
Happy Birthday My Wonderful, amazing, unique, incomparable, handsome, strong, incredible Husband @Kimkayndo Allah atupe Umri mrefu pamoja ❤️❤️❤️. I Love You
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
11
122
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
kuna watanzania wenzetu zaidi ya 15,000 kutoka kaya 4025 hawana makaz,wamepoteza kila kitu kutokana na mafuriko. Namba za kuchangia ni 0752820316 Jina Mwanamke na Uongozi. Kwa mahitaji mengine wasilisha katika ofisi za Mwanamke na Uongozi zilizopo Kivulini karibu na Mlimani City
Tweet media one
17
50
128
@shummymshangama
Shamira Mshangama
6 years
Martha @MarthaNghambi amekuwa Mwanamke mchapakazi juu ya masuala ya AMANI. Amekuwa daraja la mafanikio kwa Wasichana wengi sana kufikia malengo yao. Mimi ni mnufaikaji wa hilo. Leo atazungumza hapa Uganda kama moja ya watu walioonesha juhudi katika kudumisha Amani| #GPLCUg2018
Tweet media one
5
17
122
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
“Sio vizuri kuwa na maadui lakini wakati mwingine pia sio vizuri sana na haiwezekani kumfurahisha kila mtu na kumfanya kuwa rafiki”. @BintiSalha @officielsalome ❤️❤️
Tweet media one
13
12
119
@shummymshangama
Shamira Mshangama
4 years
Hongera sana @FlavianaMatata kwa kuwekeza kwenye jamii. Asilimia 10 ya faida ya mauzo ya pedi zake inaenda kusaidia wanafunzi mashuleni kupata pads #SikuZaoNiSikuZetu
1
10
123