Ackim Profile Banner
Ackim Profile
Ackim

@Kimkayndo

12,322
Followers
512
Following
1,557
Media
21,816
Statuses

@wcbwasafi_ HEAD OF DIGITAL DEPARTMENT | DIGITAL MARKETING EXPERT & ANALYST | GRAPHICS DESIGNER

Zanzibar South and Central, Ta
Joined September 2010
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Kimkayndo
Ackim
2 years
Usiku wa kuamkia leo channel za wasanii wetu @diamondplatnumz & @mbossokhan zilikuwa hacked na Bitcoin Scammers Tumefanikiwa kuzirudisha salama na zote zipo sawa kwa sasa. Poleni kwa wote mliokutana na tatizo hili Tunaendelea kuwasiliana na @YouTubeCreators kwa msaada zaidi.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
30
19
267
@Kimkayndo
Ackim
3 years
🤣🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
106
46
1K
@Kimkayndo
Ackim
1 year
Unyama Mwingi Ndio Huu Sasa Hakikisha leo humuachi mpenzi wako nyumbani! @shummymshangama #SimbaDay2023 #ThisisSimba #UnyamaMwingi
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
24
68
1K
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Staa wa Muziki Barani Afrika na CEO wa #WasafiMedia , SIMBA @diamondplatnumz ameamua kuvuta Ndinga ya ndoto yake Rolls Royce Cullinan SUV ya Mwaka 2021 . Gari hiyo yenye thamani zaidi ya Dola Za Kimarekani 650,000 (Tsh . Bilioni 1.5 kabla ya Ushuru )
Tweet media one
137
74
1K
@Kimkayndo
Ackim
3 years
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Narudia tena Muweke Akiba Ya Maneno Tusije Mbele Kupeana Mabloku Buree Tunakuja Kuwakera.....!!
113
45
1K
@Kimkayndo
Ackim
2 years
Daaaah Aibu Naona Mimi 🤦🏻‍♂️🤦🏻‍♂️🤦🏻‍♂️ Sema Kikubwa Points 3
Tweet media one
34
23
973
@Kimkayndo
Ackim
3 years
WACHA MVUA INYESHE, TUONE PANAPOVUJA...!!! SIMBA LION 🦁 @diamondplatnumz Amechaguliwa Kuwania Tuzo @betawards Kipengele BEST INTERNATIONAL ACT #BetAwards #WCB4LIFE @bet_africa @bet_uk @BET_Africa
Tweet media one
67
56
917
@Kimkayndo
Ackim
3 years
HUAWEI 🙌🏻🙌🏻🙌🏻 Kama Hawazingatiwi Hivi Ila Balaa Lao Ni Kuu Mno
Tweet media one
69
40
825
@Kimkayndo
Ackim
1 year
Saaafi Saana! Uzi Matata Kabisa Wa Kuvaa Kesho Kuwatazama Kaizer Chiefs 😁 Sandaland ana maua ya kutosha #ThisisSimba
Tweet media one
11
40
750
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Sweetie @miss_mshangama alisikika " I KNEW THIS IS NOT A FOOD" 🤣🤣🤣 Tujitahidini kuwa spoil wake zetu kwa vitu vidogovidogo kama hivi! Wanapenda😊😊😊
Tweet media one
64
34
709
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Ili Thamani Ya Nyota Ionekane Lazima Giza Liwepo @diamondplatnumz Always Proud Biggie Now Bring That Album 💥 #SwahiliNation
Tweet media one
5
38
664
@Kimkayndo
Ackim
4 years
How it started ⬅️➡️ How it's going
Tweet media one
Tweet media two
20
11
675
@Kimkayndo
Ackim
2 years
Achana Na Jinsi Nlivyomkalisha Wacko Jacko😃 Alhamdulilah leo Ni Birthday Yangu 🎂 Happy Birthday To Me 🎂 Niko Zangu Paleee Nasubiri Zawadi Zenu😅
Tweet media one
60
30
659
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Sema SADALA ana Ufala sana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
68
38
617
@Kimkayndo
Ackim
8 months
Hello 30s Members Club It's My Birthday 😁🎂😀 Alhamdulilah
Tweet media one
47
17
622
@Kimkayndo
Ackim
8 months
Welcome to Wasafi Family @dvoice_ginni #WCB4LIFE
Tweet media one
8
28
610
@Kimkayndo
Ackim
4 years
❤️
Tweet media one
Tweet media two
16
12
530
@Kimkayndo
Ackim
4 years
A very Blessed And Happy Birthday To Me Alhamdullilah 🤗 🎂 🤗 🎂
Tweet media one
Tweet media two
53
10
531
@Kimkayndo
Ackim
4 years
Me Na Mke Wangu @miss_mshangama Tunawatakia Eid Al Fitr Njema Waislam Wote Duniani! Eid Mubarak Alayna Wa Alaykum #EidMubarak #EidAlFitr
Tweet media one
15
24
502
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Happy Birthday To Me 🎂🎂 Alhamdulilah +1
53
11
505
@Kimkayndo
Ackim
4 years
Mwenyezi Mungu Aendelee Kukujaalia Kheri, Afya njema, Akufungulie Milango YaRizkii Na Aendelee Kukuweka BIG!! @diamondplatnumz Jumaa Mubarak & A Very Blessed Happy Birthday To You Genius 🦁 🎂 🎂 🎂
Tweet media one
11
10
493
@Kimkayndo
Ackim
4 years
Hesabu Ni Mbili Tu Duniani JUMLISHA & KUTOA zigine ni mbwembwe😀! Hivyo Katika Maisha Yako JUMLISHA Watu Sahihi watakao kuongoza Kiakili,Matendo, Maendeleo na Kiimani kisha TOA wale wote wasio na ya msingi wanaokupotezea muda!
Tweet media one
17
34
455
@Kimkayndo
Ackim
2 years
Nimefanikiwa kuuona uzi mpya wa Yanga aiseee🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 Ubunifu & Quality 🙌🏻🙌🏻🙌🏻 Na bora zaidi ni namna wanavyotengeneza concept/story katika jezi na sio kuweka rangi na michoro tu! Nasubiri kuona kama kutakuwa na jezi bora msimu huu kuzidi hizi!
34
31
459
@Kimkayndo
Ackim
5 years
😍😍😍😍 Sweetie! U gave me the Whole 🌍 in a box! Nakupenda Sana! Nasisitiza Sio Tuu PS4 Bali Ni PS4 (The Most Advanced Playstation with 4K HDR) Ni Kukeshaaa🤣
@shummymshangama
Shamira Mshangama
5 years
Kwa leo tuamke na hii zawadi ya Taifa. PlayStation 4 Pro. Tangu tumeanza mahusiano nilijua jinsi gani anapenda sana kucheza Game. Nami nilitamani sana siku moja nimletee zawadi, kama sehemu ya kuungana nae kwenye hiki anachokipenda. Pia aendelee kukaa ndani wikendi 😂😂😂😂
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
173
220
2K
27
39
433
@Kimkayndo
Ackim
3 years
🙏🏻🙏🏻🙏🏻 @diamondplatnumz
Tweet media one
20
31
420
@Kimkayndo
Ackim
1 year
Haaya Wacha Niende Zangu Sokoni Nikanunue Trending Yutubuu🤣🤣🤣 Nasikia kuna kikundi cha watu kinasema trending inanunuliwa huko! Daaah shule muhimu sana 😹 #EnjoyKriChallenge
Tweet media one
17
16
429
@Kimkayndo
Ackim
9 months
🤏🏼🤏🏼
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
12
13
412
@Kimkayndo
Ackim
4 years
Challenge Accepted Mr & Mrs
Tweet media one
Tweet media two
@hancymachemba
Hancy Machemba
4 years
Iga challenge hii upotee kabisa😂😂😂😂 Mr & Mrs
Tweet media one
Tweet media two
149
20
868
26
15
387
@Kimkayndo
Ackim
4 years
Kama Ulikuwa Hujui Show Ya Jana ya @diamondplatnumz ya #AfricaDayBenefitConcert @director_kenny Alitumia Simu Aina ya iPhone X Kushoot video nzima na sio Camera
51
39
380
@Kimkayndo
Ackim
1 year
Basi Na Nyie Mjitahidi Mshike hata Tanzania namba 1walau kwa dakika 10 tuu kama Msodoki maana huku ni kutiana aibu sasa! Kila siku mziki wa Bongo tuubebe sisi tuu mpaka tunachoka😄 Na hapa video yake bado🙆🏻 Wazee wa Original Content nawakumbusha Diamond yuko namba 1 🇳🇬 kwa
Tweet media one
Tweet media two
36
28
384
@Kimkayndo
Ackim
3 years
A very good morning on our side😊 #BETAwards2021 #diamondplatnumz #BETAwards
Tweet media one
15
43
380
@Kimkayndo
Ackim
2 years
#FOATHEEP TRACKLIST.....!!! THE EP DROPPING AT MIDNIGHT #FOA #FirstOfAll
Tweet media one
11
23
365
@Kimkayndo
Ackim
1 year
#YAYA @Rayvanny ft @diamondplatnumz & JUX Dropping Out Saa 6 Usiku!
23
23
382
@Kimkayndo
Ackim
4 years
The Last Of Us ❤️
Tweet media one
8
9
372
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Tweet media one
19
9
368
@Kimkayndo
Ackim
9 months
@diamondplatnumz ameibuka mshindi wa Tuzo za MTV EMA - PARIS 2023 kipengele cha Best African Act! (Msanii bora Afrika) Hii ni mara ya pili kushinda tuzo hii na kuwa msanii wa kwanza Afrika kushinda tuzo tatu za Mtv EMA! mara ya kwanza ilikuwa mwaka 2014 na sasa 2023 amefanikiwa
Tweet media one
19
36
376
@Kimkayndo
Ackim
4 years
Najivunia Kuwa Moja Kati Ya Historia Hii ya @diamondplatnumz kuwa msanii wa kwanza Kufikisha Views BILLION 1 ndani ya @youtube Safari hii haijawahi kuwa rahisi na tunapambana usiku na mchana kuendelea kuwa bora zaidi ya jana! Shukrani zaidi Kwa Mashabiki Zetu #DiamondPlatnumz
Tweet media one
29
31
362
@Kimkayndo
Ackim
4 years
Boss Tale 💪🏻💪🏻💪🏻🔥🔥🔥🔥 Tena Na Wasifu Juu Alhamdullilah
Tweet media one
5
10
358
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Kama Hana Ndevu Sio Muaminifu 😊😀
Tweet media one
Tweet media two
51
6
350
@Kimkayndo
Ackim
4 years
Nakupenda Sana Sweetie Wangu Mzuri Mzuri Happy Birthday Sweetie Wife ♥ Alhamdullilah Kwa Neema Nliyopewa Ya Kuwa Mme Wako! Allah Akujaalie Yote Ya Kheri, Akuepushe Na Husda Na Aendelee Kujaalia Muunganiko Wetu! 🎂 🎂 🎂 🎂 🎂
Tweet media one
21
18
352
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Mziki ni safari na tangu alipoanza mziki mwaka 2016 ndoto ya @rayvanny ilikuwa kuandaa Albamu itakayohusisha wasanii wa nchi tofauti tofauti! Imemchukua takribani miaka 4 kuandaa Albamu nasi kama Lebo (label) tunajivunia kuona msanii wetu anakaribia kutimiza ndoto yake!
Tweet media one
19
34
334
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Tunasema Asantenu sana kwa vijana wote mnaotuunga mkono na kujitoa kwa upendo wa dhati kuhamasisha na kutuombea tushinde tuzo hii...! I vote for @diamondplatnumz On @BET_Africa @BET_UK @BETAwards #BETAwards2021 #diamondplatnumz #BETAwards
46
43
349
@Kimkayndo
Ackim
1 year
WE ZOMBIIII NA SIMBA LA MASIMBA DANGOTEEE🤣
22
16
348
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Mengi Yatazungumzwa Lakini Niseme @yangasc1935 ni Mashujaa Wa Soka La Tanzania na siku ya jana wamethiidhirisha kuwa kweli wao ni timu ya Wananchi Wamewathamini Mashabiki zao! Kitendo walichofanya jana ni cha kupongezwa na kupewa nguvu zote! FOOTBALL IS FOR THE FANS!
Tweet media one
Tweet media two
24
50
341
@Kimkayndo
Ackim
10 months
Happy Birthday Boss 🎂 @diamondplatnumz Thank you for all the lives you have touched and blessed.
Tweet media one
2
16
337
@Kimkayndo
Ackim
4 years
Bora Ya Ndoa Ni Kuwa Na Mke Ambaye Mwenye Kukuongoza Mema, Kukukataza Maasi Na Kuwa Sababu Madhubuti Ya Kukupeleka Peponi Nakupenda sana mke wangu @miss_mshangama Alhamdullilah #jumaamubarak #ramadhankareem
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
24
21
332
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Happy Birthday To My Sweetie Wife ❤️❤️❤️ @miss_mshangama Ahsante Kwa Kunipa Utulivu wa Akili Na Moyo! Nakupenda Sana!
Tweet media one
15
13
333
@Kimkayndo
Ackim
1 year
Yule SIMBA LA MASIMBA DANGOTE ndo huyu hapa sasa! Kwevoo Mashineee! 🤣🤣🤣🤣
10
20
332
@Kimkayndo
Ackim
10 months
📍SUMBAWANGA ✈️ #WasafiFestival
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
16
10
334
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Let's Meet At #TOTBonanza Na Sweetie @miss_mshangama
Tweet media one
12
7
313
@Kimkayndo
Ackim
2 years
Kutokana na Channel ya @diamondplatnumz kudukuliwa Jumapili iliyopita na wadukuzi kuingia Live. Leo Imezuiliwa na YouTube kutokana na maudhui yale kuvunja sheria za YouTube! Tumeshafanya mawasiliano ya awali kutatua tatizo hili. Tuendelee kuwa wavumilivu kila kitu kitakuwa sawa.
16
21
317
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Mwenye Mziki Wake Kachafua Hali Ya Hewa Sasa We Chagua Story Ya Kuruka Nayo Diamond Kasign Deal Na Warner Diamond Kalipwa Sh Ngapi? Don Jazzy na wasanii wa Nigeria Wanasema Ni Tajiri Diamond Kanunua Ndege Diamond Kawapa Makavu Forbes Diamond Tajiri Diamond Sio Tajiri 🤣
Tweet media one
44
17
316
@Kimkayndo
Ackim
2 years
Ama Hakika Boli Limetembea Leo Guardiola Mnene 👏🏻👏🏻👏🏻 Superb Coach!!! Maisha Yanabadilika Sana Leo Hii Mtani Anashangilia Sare🤣🤣🤣
Tweet media one
21
12
311
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Sema BET wanaupiga Mwingi Saaana 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Wenye Ile Petition Wanabadilisha Gear Angani Kila Dakika #SwahiliNation #BETAwards2021
Tweet media one
45
16
293
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Diamond Platnumz Anatrend siku ya 3 mfululizo katika kijiji chenu na hamsemi 😃 #DIAMONDPLATNUMZ I vote for @diamondplatnumz on @BET_Africa @BET_UK Awards #betawards2021
14
28
289
@Kimkayndo
Ackim
4 years
C.E.O Wetu @Diamondplatnumz ametokea kwenye ukurasa wa mtandao maarufu wa kupanga chart duniani @Billboard , ametokea kwenye makala inayoelezea namna ya kwenda kimataifa kwa kutumia mtandao wa Youtube #Thread 👇🏻
Tweet media one
17
31
284
@Kimkayndo
Ackim
4 years
ATTENTION ⚠️! SIMBA WA AFRIKA NA BOSS YA MBOKA "MOPAO" , WANASIMAMISHA NCHI NDANI YA THE SWITCH LEO ! 🔥 Ni @diamondplatnumz & @KoffiOlomide_MM LIVE Ndani ya #TheSwitch Kuanzia Saa 8 Kamili Mchana kupitia @wasafifm , @wasafitv na YouTube Channel Yetu JE NI JAMBO GANI HILO 😷
Tweet media one
14
18
293
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Tweet media one
23
42
280
@Kimkayndo
Ackim
4 years
Well Deserved @officialzuchu Hongera Sana On Winning Your First Award As An Artist Tena In Just 8 Months This is very Big in your Career You Really Are Now Hanging Out With The Good People!!! Stay blessed Zuchu @afrimma 2020 BEST NEWCOMER
Tweet media one
14
19
269
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Hapo Vipi Wajuzi Wa Mambo..? Couple Ya Taifa Ndani Ya Uzi Wa Mnyama Haijawahi Kutokea Jezi Kali Kama Hizi Tangu Ligu Kuu Kuanza @SimbaSCTanzania #NguvuMoja Tukutane #SIMBADAY Sema MO29 imekaa poa🤣 @miss_mshangama
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
15
24
280
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Wanaharakati: Sign A Petition To Disqualify Diamond On BET BET: 👨🏻‍🔧👨🏻‍🔧👨🏻‍🔧👨🏻‍🔧
43
24
267
@Kimkayndo
Ackim
4 years
This Was Not Easy Thing To Achieve BILLION Thanks To The Fans BILLION Congratulations To The Boss @diamondplatnumz on achieving 1 BILLION VIEWS on @YouTube #THREAD
Tweet media one
22
17
261
@Kimkayndo
Ackim
4 years
TOP 10 SUB-SAHARAN AFRICA ARTISTS MOST VIEWED ON YOUTUBE 1. Diamond Platnumz(1B) 2. P-Square(811m) 3. Davido(618m) 4. Fally Ipupa(617m) 5. Mr Flavour(617m) 6. Tekno Miles(574m) 7. Burna Boy(508m) 8. Wizkid(480m) 9. Snach(472m) 10. Yemi Alade(434m). #YouTube
Tweet media one
20
38
243
@Kimkayndo
Ackim
4 years
FOR YOUR GRAMMY®️ CONSIDERATION Our New Artist @officialzuchu has been shortlisted to participate on the GRAMMY As BEST NEW ARTIST 🚀🚀🚀🚀 Voting Academy members we kindly Need Your Vote Artist - ZUCHU Genre - BONGO FLAVA Category - BEST NEW ARTIST
Tweet media one
39
28
259
@Kimkayndo
Ackim
3 years
New Music Friday @diamondplatnumz 2021 First Release 🎶 #Kamata @diamondplatnumz Out Now On All Digital Platforms Worldwide Watch It On YouTube 👇🏼 Stream, Download & Share 👇🏼 Enjoy The Vibe #swahilination ⛽🚬🔥 #KamataDp
18
42
250
@Kimkayndo
Ackim
1 year
THE BIGGEST HOUSE PARTY Tonight!... #EnjoyHouseParty at MBEZI BEACH karibu na Upepo Garden! Hosted by @diamondplatnumz & JUX Invitees Only..! Mawasiliano Kufika Cont: 0757 511 524
Tweet media one
8
8
259
@Kimkayndo
Ackim
4 years
Mkurugenzi wa #WasafiMedia , @diamondplatnumz , Leo aliweza kukamilisha Awamu ya Kwanza ya Ahadi yake ya Kuwalipia kodi watu 57 kati ya 500 . . Bado mchakato unaendelea huku akisisitiza kua anahitaji msaada huu uwafikie walengwa wakuu ambao ni walemavu, wajane na wasiojiweza
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
12
21
239
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Juzi baada ya kutoka kununua uzi wetu wa Simba Nkajikuta Nimekutana na Suprise Ya PLAYSTATION 5 Kutoka kwa Sweetie @miss_mshangama 😭😭😭 Ahsante Sana Sweetie kwa zawadi hii Im so blessed and lucky to be your Husband Nakupenda Sana! Hakika Hii imekuwa Suprise kubwa sana kwangu
36
22
246
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Good Morning @miss_mshangama
Tweet media one
5
7
242
@Kimkayndo
Ackim
2 years
الله أكبر الله أكبر الله أكبر لا إله الا الله الله اكبر الله اكبر ولله الحمد ⁦ #EidAlFitr #EidMubarak
Tweet media one
11
7
232
@Kimkayndo
Ackim
10 months
NAFASI ZA KAZI ! WASAFI MEDIA . Kama WEWE unakidhi Nafasi na Sifa tajwa hapo Juu hakikisha unafika Kwenye Ofisi Zetu WASAFI MEDIA MAKAO MAKUU ( Mbezi Beach Kwa Zena ) KESHO SAA 4 ASUBUHI. Au Wasiliana Nasi Kwa Namba : 255 716 124 796 | Email : Info @wasafimediagroup .co.tz
Tweet media one
15
60
239
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Comment of the day! #SwahiliNation #WCB4LIFE
Tweet media one
12
14
223
@Kimkayndo
Ackim
4 years
Hapa Vipi Wadau Me Na Sweetie Wangu @miss_mshangama Hatupati Dili Kweli 🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
20
5
219
@Kimkayndo
Ackim
1 year
Bado Diamond Platnumz Anaendelea Kutoa Funzo La Namna Gani Ya Kuipeleka Bongo Fleva Kimataifa! #Yatapita Number 2 Top Song In Nigeria NO WAHALA #SwahiliNation Link 👇🏼
Tweet media one
12
15
215
@Kimkayndo
Ackim
3 years
All the best 🦁 on your 🇺🇸 Tour #SwahiliNation
Tweet media one
15
25
208
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Daah!! Hakika Haya Ni Mahaba Makubwa Sana Kwetu 🤯🤯 Tunaheshimu Sana Mchango wa kila mtu na Kamwe Hatutaweza Kusahau Kwa Hili 🙏🙏🙏 @betawards @bet_africa @bet_intl @bet #betawards #betawards2021 #bestinternationalact #DIAMONDPLATNUMZ
25
38
211
@Kimkayndo
Ackim
3 years
RASMI LIMEFUNGULIWAAAAAAAAAA @diamondplatnumz ROLLS ROYCE FINALLY HERE
26
22
211
@Kimkayndo
Ackim
4 years
Kikosi Cha Wasafi Katika Team ya @youtube 🤣🤣🤣 Unatokaje Unafikiri @chapo255 1,2,3,4,5,6 Video Zinazotrend zote zinatoka @Wcbwasafi_
Tweet media one
20
8
206
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Tweet media one
16
36
206
@Kimkayndo
Ackim
3 years
For The First Time Ever....!!! @rayvanny Becomes The First African Artist To Perform On #MTVEMA Main Event @Rayvanny anakuwa msanii wa kwanza kutoka Afrika kuperform kwenye stage ya @MTVEMA #SwahiliNation #WCB4LIFE
Tweet media one
11
30
205
@Kimkayndo
Ackim
2 years
Bwana Elon na Bitcoin zake ama kweli katuamulia alijaribu kupitia na page ya @wasafitv Alhamdulilah nimefanikiwa kuirecover na leo wapo busy na Youtube channel ya Wasafi Media 🙆🏻‍♂️
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
27
9
202
@Kimkayndo
Ackim
2 years
🚨BREAKING NEWS🚨 @officialzuchu 👑 Amechaguliwa Kuwania Tuzo Kubwa Duniani za @mtvema Katika Kipengele Cha Msanii Bora Africa Unaweza Mpigia Kura Kupitia👇🏼 #Zuchu #WCB4LIFE
Tweet media one
11
22
208
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Tweet media one
12
6
202
@Kimkayndo
Ackim
2 years
"Kuhusu Tarehe 14/2/2022 ! Kutakua na Show Yangu Kubwaaa sana Siku ya Valentine Day Na Ndio maana Watu wengi wemenipost kunitakia kila la Kheri akiwemo Mama Yangu Mzazi ila kutakuwa na SUPRISE" - @officialzuchu Tupo LIVE on @wasafifm na YouTube | WasafiMedia
Tweet media one
10
12
190
@Kimkayndo
Ackim
1 year
Ni muda wa Dunia kutambua kipaji chako sasa Welcome To The Winning Team New KID In Town 🤴 2.2.23 @Wcbwasafi_ #WCB4LIFE
Tweet media one
Tweet media two
8
10
196
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Chupa Moja Bovuu Saaana!!! #Iyo Music Video Out Now 👇🏼👇🏼👇🏼 #IYOchallenge @diamondplatnumz Ft @FOCALISTIC @mapara_a_jazz & Ntosh Gazi
12
15
183
@Kimkayndo
Ackim
2 years
Wow❤️ Sijawahi ona tangazo kali la utambulisho wa jezi kama hili Africa! Hii kweli Unstoppable! Kuhusu Jezi za Simba asee ni kali sana🙌 Ama Hakika Msimu Huu Mmetuheshimisha mnoo! I personally appreciate all your efforts @bvrbvra @RabbiHume and the rest of team #ThisisSimba
@SimbaSCTanzania
Simba Sports Club
2 years
717
865
4K
3
12
187
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Sema Nini Sweetie @miss_mshangama Hii Picha Kali Saaaana!! THE RETURN OF CHAMPIONS Nyokooooo🤣🤣🤣🤣🤣 Na Msimu Huu Tutawahurumia Tena Sema Msisahau Kupiga Picha Na Akina Aki Na Ukwa Kama Ukumbusho Wenu! 📷 @Nasiry255
Tweet media one
9
5
185
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Kumbe Ni Yenyewe Bhana Haikuwa Box Tupuuu 🤣🤣🤣🤣 Big hugs and thanks Sweetie Wife @miss_mshangama For the PLAYSTATION 5 Kwenye Moyo Nimekupa Seat Wee Ndio Dereva Na kukuacha sidhani, siwezi jaribu... Maana Penzi kwa mzani, limenizidi Mahbibu #NAANZAJE
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
15
10
182
@Kimkayndo
Ackim
2 years
🇮🇳 🇹🇿 We got you covered @diljitdosanjh x @diamondplatnumz #JUGNI Releasing On 07th October 2022 @WarnerMusicIN x @WMAfrica Y'all better be ready for this🌍 #WCB4LIFE
Tweet media one
3
20
182
@Kimkayndo
Ackim
9 months
Mwaisa akili hana 🤣
14
19
186
@Kimkayndo
Ackim
4 years
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Nacheka Lakini Naogopa Sa Itakuwaje..?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
40
7
176
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Naona Mnatumia Nguvu Kubwa Kupost Thamani Ya Gari Ni USD 300,000 Soon Tunawaweka Bango Na Risiti Muendeleze Mjadala Rolls Royce Cullinan 2021 Wraith Black Bedge 0 KILOMETER Custom Edition $640,000 Kabla Ya Ushuru
Tweet media one
38
11
175
@Kimkayndo
Ackim
1 year
Tweet media one
Tweet media two
4
21
187
@Kimkayndo
Ackim
4 years
@diamondplatnumz Anakuwa Msanii wa kwanza (Sub Saharan) Kufikisha Views Milioni 1 Ndani Ya Masaa 8 Tunawashukuru Sana Mashabiki Zetu Kwa Hili Speed Ya #WAAH Sii Ya Mchezo Nkiwa Kama Mkuu Wa Digital Am HAPPY!!!! Wacha Tuendelee Kufanya Kazi #HITSONLY #WCB4LIFE
19
15
177
@Kimkayndo
Ackim
4 years
Naomba Niseme Ahsante Sana Na Nawashukuru Nyote Kwa Kunitakia Kheri, Dua Njema Na Kunionesha Upendo Mkubwa Sana Katika Kumbukumbu Ya Birthday Yangu! Upendo wenu mlinionesha ni Mkubwa mnoooooo🙌🏻 Mwenyezi Mungu Awabariki Sana!
Tweet media one
11
6
178
@Kimkayndo
Ackim
2 years
We Are So Exited To Be Part Of @BarnabaClassic New Album #LSD @diamondplatnumz Featured On Track Number One #HADITHI @mbossokhan Track Number 8 #HUNITAKI EXECUTIVE PRODUCER : @diamondplatnumz Tuambie Ni Ngoma Gani Unaisubiria Kati Ya Hizo .?
Tweet media one
Tweet media two
6
11
175
@Kimkayndo
Ackim
3 years
Pongezi Kwa Vijana wangu kwa kufaulu kidato cha nne! Div 1 and 2 A very proud brother and Uncle!!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
7
179