Rabbi Hume Profile Banner
Rabbi Hume Profile
Rabbi Hume

@RabbiHume

35,673
Followers
323
Following
725
Media
5,671
Statuses

Digital Content Creator || Social Media Coordinator, Photographer, Videographer & Drone Pilot - @simbasctanzania

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
1 million followers on Twitter 👨🏽‍💻
Tweet media one
124
152
5K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Shangwe la kurudi bongo sasa 😂
256
533
4K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Kama ilivyo kwa Diamond Platnumz na kugundua kipaji cha Harmonize au Harmonize na kugundua kipaji cha Ibraah ndivyo ilivyo kwa @bvrbvra kwa kuamini na kugundua uwezo wangu kwenye kazi ambayo naifanya sasa na wengi wenu mnaifurahia. [1]
Tweet media one
79
126
4K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Tuzo ya Goli Bora la CAF la mwaka imefika Misri.
Tweet media one
28
92
4K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Kuna mwenye swali huko kuhusu huu uzi?
Tweet media one
164
91
4K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Mwanafamilia mwingine kwenye chama letu!
Tweet media one
47
80
3K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Ndani ya siku tano zijazo, Simba itakuwa klabu ya tano Afrika kufikisha wafuasi milioni 1 kwenye mtandao wa Twitter. Ndani ya wiki mbili zijazo, Simba itakuwa klabu ya pili Afrika kufikisha wafuasi milioni 4 kwenye mtandao wa Instagram. (1/4)
Tweet media one
102
132
3K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Msimu kama unachelewa kuanza hivi!
Tweet media one
35
98
3K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Kazi inaendelea!
Tweet media one
53
74
3K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Tumefika uwanjani kufurahia Simba yetu [Simba Day] @MickyJnr__
Tweet media one
25
66
3K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Always be yourself and have faith in yourself. @moodewji
Tweet media one
14
53
3K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
My boss @bvrbvra 🔥🔥🔥🔥🔥
Tweet media one
15
75
3K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Hii namba nimesubiri miezi mitatu, E imefika.
Tweet media one
85
61
3K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Simba SC & Raja Club Athletic digital content creators @chaouimouad Get ready 😉
Tweet media one
43
94
3K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Doing the best at this moment puts you in the best place for the next moment.
Tweet media one
Tweet media two
81
73
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Wengine tunawakaribisha kwenye darasa la digital.
Tweet media one
29
116
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
11 months
Rais wa FIFA, Gianni Infantino anawasalimia 😊
Tweet media one
27
85
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Kumekuchaaaaaa 😉
Tweet media one
30
47
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Mtumishi kazini.
Tweet media one
26
47
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Moja ya jambo napenda sana katika upigaji wa picha ni kumfanya mtu ambaye hayupo kwenye tv kuangalia mpira, basi kupitia picha aweze kuona namna goli limefungwa. Yote yanawezekana kwa kuweka umakini kwenye kazi.
Tweet media one
Tweet media two
80
96
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Simba tunaanza wengine wanafata. THIS IS SIMBA
126
100
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Asante MUNGU 🙏🏽
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
55
74
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Wanathimbaaaaaaaaa 😝😂 Nilimiss hii kitu.
Tweet media one
Tweet media two
23
60
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Mwanangu Bernard @Bm3gh pick up my calls we have a lot of things to do. Rafiki wa faida.
Tweet media one
11
29
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
💧💧💧
Tweet media one
25
40
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Vijana wachapakazi, digital team 👨🏽‍💻
Tweet media one
Tweet media two
38
57
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Wapinzani wao tumefurahia ile big surprise kuliko waandaaji wenyewe.
Tweet media one
35
37
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Tweet media one
23
117
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
🔥🔥🔥🔥 hatuna jambo dogo @simbaqueensctz
Tweet media one
15
66
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Happy birthday my friend @MickyJnr__
Tweet media one
6
32
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Mungu yupo upande wetu. Tumesonga mbele hatua ya nusu fainali kwenye Ligi ya Mabingwa Afrika kwa Wanawake @simbaqueensctz
Tweet media one
17
69
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Kazi iliyotuleta Uganda 🇺🇬 tumeimaliza vizuri 🙏🏽
Tweet media one
Tweet media two
26
50
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Kuna watu jana baada ya kuona tunawapelekea sana moto wakatunga stori ili kutupoza 🤣 mambo si mambo wakaona jezi inakimbiza sana ikabidi post ishushwe maana hakuna kitu watafanya kutuliza moto wa jezi ulioletwa na kibegi. IT’S OUR TURN NOW ✊
Tweet media one
47
120
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Anachokupangia Mungu hakuna wa kuzuia. Wengine tumepangiwa pre season kuwa Misri, wengine wamepangiwa bigwa. Maisha ndio haya haya!
Tweet media one
53
49
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Na mpira tumebeba 😅
Tweet media one
20
28
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 months
Mashine ya kibabe hii hapa.
Tweet media one
Tweet media two
22
59
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Wewe ungekuwa admin wa CAF ungefanyaje kuhusu kuipost SIMBA🦁😂
Tweet media one
58
79
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Sabato imeanza vizuri na furaha ya kazi.
Tweet media one
19
54
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Happy birthday to my boss & brother, @moodewji . I wish you all the best in life, today and always. Thank you for everything 🙏🏽
Tweet media one
18
39
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Kabla ya kuanza kusaka ubingwa wa Ligi Kuu 2023/24 tunataka kuanza na ubingwa wa Community Shield. Wanasimba wenzangu tukutane Mkwakwani Stadium kushangilia chama letu.
Tweet media one
34
68
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Sifa na utukufu zimerudi kwa Mwenyezi Mungu. Tushukuru kwa kila jambo 🙏🏽
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
23
76
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Kula kushiba japo nimemiss biryan 😊
Tweet media one
14
39
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
3 months
Our love is a testimony that true love exists❤️ May the Almighty God keep blessing our beautiful love journey forever. Amen 🙏🏽
Tweet media one
75
95
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Kwa sisi tunaoongeza Kifaransa tunasema, Pour la Tanzanie, le bon club pour Inonga est Simba SC uniquement 😉
Tweet media one
20
36
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
7 months
Timu inayoshinda kwa uwezo wa Mungu bila kutegemea majini 😜
Tweet media one
48
88
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Mabadiliko yanakuja. Picha zinajieleza kuhusu mimi na @ClatousCC 😊
Tweet media one
Tweet media two
31
45
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
5 months
Hatimaye Fiston Mayele amekutana na mtumishi hapa Cairo, Misri.
Tweet media one
25
54
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Safari ya kwenda Ndola, Zambia ipo chini ya mikono salama ya Mwenyezi Mungu kupitia kwa mtumishi wake rubani 😅
Tweet media one
18
66
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Mitandaoni kuna furaha, kwani kuna habari gani? 🤪 📸 @Hussein15Mo
Tweet media one
79
50
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
3 years
Nawasalimu kutoka visiwa vya marashi ya karafuu Zanzibar.
Tweet media one
28
62
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
World Photography Day 19 August #WorldPhotographyDay
Tweet media one
22
55
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Nimekutana na rafiki yangu na mchezaji wetu wa zamani, @shiboub_8 nikiwa hapa jijini Khartoum, Sudan. Ameniletea zawadi ya viatu ambavyo hivi karibuni vitapatikana kwenye duka lake la Shiboub Store ambalo litakuwa na bidhaa kutoka kwenye brand yake. ابق مباركا يا صديقي.
Tweet media one
17
36
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa Semaji la CAF, @ahmed__ally Mengi mazuri yazidi kuwa juu yako 🙏🏽
Tweet media one
20
42
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Klabu pekee Afrika Mashariki na Kati ambayo imeruhusiwa na CAF kurusha droo ya leo usiku kwenye app yake. Kaa karibu na Simba App usipitwe na tukio hili.
Tweet media one
27
85
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
5 months
Maisha ni safari ndefu ambayo mwisho wake anaijua Mungu mwenyewe. Pumzika kwa amani my brother Adel Zrane.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
25
66
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Kwa bahati mbaya sana tunaishi kwenye dunia ambayo watu hufanya mambo kwa kupurukuka. Akiandika mmoja na wengine wote wanabeba hiyo habari kama ilivyo bila kutafuta uthibitisho. Very sad.
131
96
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
3 years
Hii furaha ya leo usiombe kukutana na mimi 😂
Tweet media one
31
39
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Mwanangu @ClatousCC kijana wako @FKihamu ndio anakuchelewesha kupata vitu kama hivi 😃
Tweet media one
@ClatousCC
Clatous Chota Chama
1 year
Mwambieni @RabbiHume kwani angenipiga picha nikishikwa mkono na Mama angepungukiwa nini? Ukiachana na Rabbi 😂 na fitina zake, unyama ulikuwa mwingi sana leo 🙏 #simbaday #nguvumoja
Tweet media one
Tweet media two
147
298
7K
26
79
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
THIS IS SIMBA 🦁
Tweet media one
Tweet media two
30
107
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Hiyo furaha ya mama sasa 🔥
Tweet media one
11
56
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Mungu ni mwema sana 🙏🏽🙏🏽 Mnyama tumekula chura. Wachague wao wanazika au wanasafirisha 😝😂
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
20
65
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Twitter leo mashabiki wa Simba na Yanga wote tunafurahia soka safi la Simba Queens 😂😂
28
59
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
لم تتمكن من هزيمتنا هنا ، سنلتقي في منزلنا sisi waarabu weusi tunasema tukutane Tunisia
Tweet media one
42
74
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Imebidi nije hospitali kufanya vipimo vya afya kabla ya kuwatangazia Wanasimba habari njema. Nipo tayari kwa kazi, nipo tayari kwa msimu mpya.
Tweet media one
28
56
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Maandalizi ya mwili kuelekea mwaka mwingine wa mashindano.
Tweet media one
27
35
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Uzi wa Mnyama 🔥
Tweet media one
25
92
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
3 years
Moro Town 📸 @RabbiHume
Tweet media one
29
77
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Familia.
Tweet media one
19
46
2K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Tukutane leo saa 2 usiku.
Tweet media one
24
72
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Huyu ndio MWAMBA WA SOKA, na HII NDIO SIMBA. @ClatousCC @SimbaSCTanzania
24
73
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Asante Mungu tumeanza na ushindi 🙏🏽
Tweet media one
Tweet media two
20
43
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
TAARIFA.
Tweet media one
46
62
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Weeeeeeeeee champions 🏆
Tweet media one
24
65
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Wapambanaji.
Tweet media one
10
23
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Asante Mungu. Tumeshinda.
Tweet media one
16
40
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Tukaujaze uwanja wa Mkapa
Tweet media one
17
65
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Heri ya siku ya kuzaliwa msimamizi wetu wa website & app (IT), @GIVENALITY
Tweet media one
13
31
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Ubalozini na balozi Lut. General Mstaafu Yakubu Hassan Mohamed.
Tweet media one
16
45
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
3 months
Tulianza na Mungu na tutalimaliza na Mungu. Four days to go.
Tweet media one
35
43
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
9 months
Tweet media one
7
35
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Namna 7.2m ilivyokuwa inaenda kumalizwa na furaha ya ushindi. Yote ya yote tumshukuru Mungu kwa ushindi 🙏🏽
Tweet media one
33
39
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Mohammed V Stadium - moja ya kiwanja ambacho nilikuwa natamani kufika Afrika (kimebaki Stade du Sénégal - Abdoulaye Wade). Jambo la kuvutia ilikuwa ni mashabiki namna wanashangilia. Nimefika viwanja kadhaa ambavyo mashabiki wanashangilia kwa umoja lakini jana ilikuwa amazing.
Tweet media one
26
39
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Heri ya siku ya kuzaliwa kwa Mkigoma mwenzangu @zittokabwe
Tweet media one
18
33
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Kama hujazoea mashindano makubwa mambo ya kutoa pennants (kitambaa ambacho kinakuwa na nembo ya klabu na maelezo ya mchezo husika) lazima yakupite kushoto.
Tweet media one
17
60
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Ifikapo leo jioni, mtu mmoja pekee kwenye picha hii ndio atakuwa amebaki kwenye chama kubwa la mabachelor. Unaweza kumtaja jina lake? @ahmed__ally @babchico5
Tweet media one
32
44
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Siku ya ndugu yangu Mwijaku imekuwa ndefu sana. Pesa inatafutwa jamani.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
25
47
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Wakati wa furaha, wakati wa huzuni Mwenyezi Mungu ni mwema sana.
Tweet media one
22
32
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Baada ya miaka kadhaa kupita, tunakwenda tena Singida kuipambania Simba yetu.
Tweet media one
9
35
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
#DearNyerere tangu umetutoka, Uto hawajawahi kuingia makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Jambo la kusikitisha zaidi msimu huu kuna kila dalili kwamba hawatafuzu tena.
Tweet media one
57
65
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Baada ya miaka minne na miezi minne mfululizo nikiwa uwanjani kwenye mechi zetu. Leo hali ya afya imenifanya niangalie mechi kwenye iPad nikiwa kitandani tuli. Tufurahie ball la 🦁
Tweet media one
93
25
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Msimu wa makombe Msimbazi ndio huu sasa.
Tweet media one
Tweet media two
9
64
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Asante MUNGU 🙏🏽
Tweet media one
Tweet media two
7
23
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Siku yetu ya kufurahia mafanikio ya @ousmane10_sakho
Tweet media one
Tweet media two
15
62
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Bango linajieleza.
Tweet media one
25
35
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Tamasha la wakubwa wa nchi.
Tweet media one
18
97
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
11 months
Happy birthday semaji la African Football League @ahmed__ally . Mema yawe juu yako.
Tweet media one
8
40
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
7 months
Ikigoma mulimo?
Tweet media one
20
35
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 month
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
19
45
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
2 years
Usiogope kuwa tofauti, ogopa kuwa sawa na kila mtu. Fanya unachokiamini maana kila mmoja na namna Mwenyezi Mungu alivyombariki. 📸 @elia_bennet
Tweet media one
Tweet media two
22
49
1K
@RabbiHume
Rabbi Hume
1 year
Mungu ibariki Simba. Mungu ibariki Tanzania.
Tweet media one
Tweet media two
34
72
1K