@polo_kimanii
Hero uyo alikuwa Rongai, kuna wenye hucome wanaishi Kilimani, Mukuchu inaisha, wanasema Africa in mbaya, wanarudi home in tears. Na kuna walami hucome wanaishia ocha, wanablend na locals hadi wanakuwa residents. African Americans have misplaced priorities when they come to Afrika