Kama uko na demu wako anapata siti kwenye mwendokasi gerezani to kimara,,,,, oa bro narudia oa broo. Uyo anaweza pambania maisha ya watoto wako ata ukifa
Unaambiwa pale mjini alliance arena mashabiki wa bayern baada tu ya haller kuingia uwanjani wakakimbia wakaanza toka uanjani maan walikua wanakiona kifoo🤣🤣🤣
THE MIDNIGHT STUDIO.
Muhtasari:🤗🔥
Ni drama inayousu mpiga picha anaepiga picha watu waliokufa "joo won" , joo won katika familia yao walipewa laana ya kuishi miaka 35tu na kuwindwa na watu waliofaliki wakiwa wanauhitaji na io kamela ya maajabu. 👇👇
Sawa kwaio wanangu ndo mmegoma kushusha izo handle au🤔,,, fanyeni mzishushe nipo na naziitaji apa nizipushi tukue wotee,,,,
Repost,,, iwafikie na wengine
AYA MDA WAKUKUMBUSHIANA UUU LEO UMEDANGANYWA NINI?
ME;nimepigiwa simu na mshikaji kasema atanitumia ela nashangaaa mbaka saizi kimya ndo nikakumbuka kumbe nisikukuu ya wajinga.
Wewe je.👇