“ Salute sana kwa WANANGU wote ambao hatuna CONTENT na tunazidi ku SAVAIVU humu Ndani., Salute pia kwa WANANGU wenye CONTENT maana mna Share na ss MADINI ya kwenda SHULE…….””””😎😎
“ Watoto Wakishua hawa wezi elewa Raha ya hii Kitu wao Wanaogeshwa kwenye Mashine., Hapa unacheza Kidogo na MAMA ni Full Shangwe..”😎😎
MAMA ni MAMA TUU…..