Fair⭐ Profile Banner
Fair⭐ Profile
Fair⭐

@democrasi

4,948
Followers
4,843
Following
861
Media
30,949
Statuses

FAIR DEMOCRACY FOR FAIR LIVING😊😊 sheria ni kitu kinachofanya binadamu tuishi kwa usawa na kuheshimiana. #CHAUMMA .. Wali ndio sera yetu.

Joined December 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@democrasi
Fair⭐
4 months
Masaa matatu na hakuna anaejua jina la mwenzake.. hapa ni Boss..mzee..mwamba.jombaa Ongezea mengine 🤣🤣🤣
Tweet media one
324
145
2K
@democrasi
Fair⭐
5 months
Ukikuwa ndio utagundua hizi pesa sio sawaaa 😂😂
Tweet media one
Tweet media two
80
93
1K
@democrasi
Fair⭐
3 years
Ulikuwa na miaka mingapi ulipojua kazi ya hiyo nafasi kwenye mswaki ni hii?? 😂😂😂
Tweet media one
176
109
980
@democrasi
Fair⭐
3 months
Huyu katuma hadi vyeti vya PHD vya oxford au anataka aje awe CDF wa polisi nini? 😂😂Kata jina mkuu
Tweet media one
59
75
894
@democrasi
Fair⭐
5 months
Kipindi kile cha Magufuli kuna jamaa hakupiga salute hapa.. sasahiv simuonii 😂
Tweet media one
30
29
566
@democrasi
Fair⭐
4 months
Wanafunzi wa SUA hapa hawawezi elewa kitu..
Tweet media one
86
42
534
@democrasi
Fair⭐
5 months
Mzee mabeyo huwaga sio mwongo anaongeaga ukweli hapendi kupindisha maneno. Heshima saana kwa CDF mstaafu.
Tweet media one
3
25
510
@democrasi
Fair⭐
5 months
Ona huyu ana GPA ya 2.1 anaomba awe mkurugenzi wa elimu.
Tweet media one
33
35
483
@democrasi
Fair⭐
3 months
Simu gani ina uwezo huu.? Ukimpigia mtu inakwambia alikuwa wapi na sasahivi yupo wapi na anaelekea wapi? 😂😂😂
Tweet media one
46
38
453
@democrasi
Fair⭐
5 months
Taja jina la lecture wenu maarufu alieyekufundisha. Tukutajie chuo na GPA uliyotoka nayo 🤣
Tweet media one
125
31
349
@democrasi
Fair⭐
5 months
Mlisema sitafika mbali.. semeni hapa ni wapii?? 😂😂
Tweet media one
96
25
312
@democrasi
Fair⭐
3 years
@masoudkipanya Nyoka alieingia n chatu huwa hana sumu ila anahakikisha kakushika vizuri kisha akianza kukukaba ni hadi kifo kijani inajulikana na mama😃😃. Kitanda ni uwanja wa siasa n mdogo saana kwa mpambanaji kuanguka n rahis saana. 😄 katuni ngumuu saana hii😂😂
12
22
245
@democrasi
Fair⭐
4 months
Huyu ndio alisema sisi tuna F nne na D moja.
Tweet media one
15
24
235
@democrasi
Fair⭐
3 months
Watu: kwanini ulifukuzwa kazi? Mimi 👇👇👇
Tweet media one
19
33
228
@democrasi
Fair⭐
4 years
@masoudkipanya Bi harusi n tz iliopambwa kama uchumi wa kati. Bwana harus hawajulikan bt wanajinad wataweza kumrudisha kuwa mrembo.. ila mmoja wa mabwana harus alikuwa EX wa bi harus na yy ndio chanzo cha bi harus kuwa hiv ila bado anadai n process za kumremba ....ni ndoto tuu😊😊😊
17
10
159
@democrasi
Fair⭐
6 months
Nenda shule, tafuta fursa,kaza akili.. Wazazi wanakufaga na ndugu hubadilika..
Tweet media one
9
32
155
@democrasi
Fair⭐
3 months
Huyu kaambatanisha hadi cheti cha ubatizo
Tweet media one
11
17
152
@democrasi
Fair⭐
5 months
Kwa bahati mbaya hakutakuwa na ushahindi wowote kuwa tulipambana kutafuta pesa endapo hatutafanikiwa. Tuongeze juhudi tuu 🤝🔥
Tweet media one
3
27
148
@democrasi
Fair⭐
4 months
@CAFCLCC @Masandawana 😂😂😂thieves
Tweet media one
7
13
149
@democrasi
Fair⭐
4 months
Baada ya mechi ya jana nimegundua yanga tunaenda kucheza fainali Pacome ndani Aucho ndani Yao ndani oyaa mamelodi jina tuu hamna kitu mule.. na tukimpiga hili kombe ni letu 🤣🤣🤣🔥🔥🔥🔥🔥
Tweet media one
7
21
133
@democrasi
Fair⭐
2 months
Maombi hayaendi basi....hata tukague HTML zimekosewa wapi...😂🔥🔥🔥🔥🙌🙌
Tweet media one
18
14
132
@democrasi
Fair⭐
5 months
Kuna siku nilienda kuomba kazi kiwanda kimoja nikafika nikakutana na wadau daah interview ilikuwa nyuma ya semi limejaa top nilikosa kazi ila nilimshukuru Mungu maana hata ningepata kushusha semi nisingeweza. Jamaa wakaanza kazi onsport kushusha. mimi na jamaa angu tukarud hom 🙌
Tweet media one
19
22
128
@democrasi
Fair⭐
2 years
Mwambie broo aamke analalaje hana mtaji....😂😂😂 .astakafililaaaai😂😂
Tweet media one
22
24
126
@democrasi
Fair⭐
3 years
@masoudkipanya Ya kwanza n kijana enz za jiwe hakukuwa na mtu juu.. ya pili...baaada ya jiwe mwanamke ndie elietoka juu wa kwanza japo hana nguvu yoyote then wanaanza kutoka wanaume ambao wanaonekana kuwa na nguvu kabla hawajatoka vizuri kila mtu kwa style yake... #kijani code ngumu saaana😊😊
11
5
126
@democrasi
Fair⭐
5 months
Waliowafanyia hivi ndugu zetu ndio hao leo wanajidai wanazijua haki za binadam na wanatupa misaada..🙌😤
Tweet media one
16
19
126
@democrasi
Fair⭐
5 months
🤣🤣kwani watu humu mnaishi nyumba moja? au mtuambie hapa ni kwa nani sasa tujue..
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
42
18
119
@democrasi
Fair⭐
4 months
Akili tuu mtu wangu. 😂 Nani kaelewa hii code?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
21
28
118
@democrasi
Fair⭐
4 months
@JayleenRickie Sizani hii kama imekaa sawa.. jamaa yupo katika harakati za kujitafutia rizki zake. Cha muhim n kumsupport kama huwez au humuelewi n bora ukanyamaza watu wanateseka saana kufika walipofika..🤝
8
4
118
@democrasi
Fair⭐
4 months
Si mmesema hamtaki kukaa kijijini ngoja nikachemshe sasa huku haya hatununui kabisaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
11
19
114
@democrasi
Fair⭐
4 months
Kikosi kinachoanza leo ni hiki.. maoni yako ni yapi?
Tweet media one
8
18
112
@democrasi
Fair⭐
3 months
Huyu Hadija si alikimbia na kishikwambi cha SENSA sasahivi anaomba kuendesha mitambo ya Biyometriki ya wapiga kura
Tweet media one
7
20
113
@democrasi
Fair⭐
3 years
Kwani aliewaambia wazazi kuwa mtoto akisomea udaktar..uruban..uinjinia ndio kafanikiwa kimaisha ni nan?🙌
20
16
95
@democrasi
Fair⭐
3 years
Shida ni una like una comment na ku Retweet tweet zao ila wao zako wanazipita kama hawazioni😂😂😂 Huu ndio uchawi wa humu....
16
20
94
@democrasi
Fair⭐
5 months
Siwezi kosa vyote gari kali sina ila picha siwezi kosa hata siku moja..😂😂 weka picha ya gari kali yako..
Tweet media one
14
18
102
@democrasi
Fair⭐
3 years
@kigogo2014 Wakuu huku kwetu lita ya mafuta ya alizeti kwa ajili ya kupikia ni elfu saba (7000/=) huko kwenu vp?? Au niache kuingilia uchumi wenu wa kati...😊😊😊
10
3
92
@democrasi
Fair⭐
3 years
Kuanzia miaka 28 ukiwa bado upo nyumbani na huna ramani halafu ni wa kiume tuliza akili waza kwa uwezo wako wote..... ⛅⛅⛅⛅
10
11
86
@democrasi
Fair⭐
4 months
Iran wameanza kazi... wamerusha dron zao 50 kuelekea Israel...🔥🙌🙌
Tweet media one
15
18
93
@democrasi
Fair⭐
4 months
Bora hata braza kabeba zake hadi mchele kwenye begi. Mamelod si walibabe wasituchukulie pw 🤣
Tweet media one
3
11
88
@democrasi
Fair⭐
5 months
Hiki ndio chuo chenye PISI KALI kwa vyuo vyoote vya iringa. Lakini pia ukifeli kwenye hiki chuo basi wewe katafute kazi nyingine maana kusoma sio fani yako. Mnaokijua hiki chuo ni wangapi?
Tweet media one
24
18
88
@democrasi
Fair⭐
5 months
Mechi 9 magoli 43. gonga like.. Repost potea zako 😂😂
Tweet media one
1
21
87
@democrasi
Fair⭐
4 months
Mtangazaji: unazungumziaje ajali? Jibu kama muhanga wa ajali..🤣
Tweet media one
13
9
85
@democrasi
Fair⭐
4 months
Hawa ndio al ahly ndio wenye goli 6 hawaaaaa Na huyu ndio pesi muzi tau Gm 🤣🤣🤣
Tweet media one
14
23
88
@democrasi
Fair⭐
2 months
Hizi namba A za hivi ndio anauza doto magari nini?
Tweet media one
10
10
86
@democrasi
Fair⭐
4 months
Kila nikiangalia hili daraja na nikiwaza wale wadudu wa Arusha.. nikiwaza SAULI na KATARAMA mwisho kabisa gari za magazeti zingekuwa nimejaa kule chini 😂😂😂
Tweet media one
10
18
85
@democrasi
Fair⭐
5 months
Hili ndio Buti langu la kazi hata nikiambiwa leo twende vitani natinga hili.. kazi kwako tupe buti lako unalolitegemea kwa kazi tulione 🤣
Tweet media one
10
11
82
@democrasi
Fair⭐
4 months
Homboi hanaga baya.. kama Mo salah na CHRISTMAS 🤣🤣
Tweet media one
1
7
79
@democrasi
Fair⭐
5 months
Watu wa dar mjiandae kisaikolojia. Kitunguu kimoja huku iringa kimeanza kuitafuta mia tano 500/= tafuten hela afu 10 utapata vitunguu 6 😂😂😂
Tweet media one
12
21
82
@democrasi
Fair⭐
4 months
Mlisema jamaa anashinda kidibwi au?
Tweet media one
2
10
80
@democrasi
Fair⭐
3 years
@YoureFrenchFry @MuyolG Sasa ashawahi ona wapi scania inapiga break bilaaa mliio siiiiiiiiiiiiiiiiiiichaaaaaa baaaaaaam baaam 😂😂😂😂😂😂
12
1
78
@democrasi
Fair⭐
5 months
Kila mtu huku mikoani ana ndugu yake dasilamu shida ukisema tu nakuja dasilam hawa ndugu sio wa kuwaamin hawakawi kuzima simu ukifika kwenye hili jengo tuu 🔥🔥😂
Tweet media one
9
15
76
@democrasi
Fair⭐
3 months
Mpaka sasahiv Uniiita twiter au X
Tweet media one
17
16
80
@democrasi
Fair⭐
4 months
Mbona habari za treni mnaweka treni... hapa mnaweka sahani hii sio sawaa kabisaaa 🤣🤣🤣
Tweet media one
12
15
77
@democrasi
Fair⭐
4 months
Huyu dogo aliebebwa hajui tuu ni namna gani Mungu kaamua kumbariki baraka zooote.🔥🔥🔥🙌
Tweet media one
9
9
77
@democrasi
Fair⭐
4 months
MARA PAAAAH MAMELOD KALA TANO SIJUI MTAKAA WAPI HII NCHI 🤣🤣🤣🤣🤣
10
13
75
@democrasi
Fair⭐
3 years
@rollymsouth Mwendazake alisema pesa za kukamilisha miradi zipo tena cash.. akaongeza nchi ni tajiri bila kusita alisema ni dhambi kuchukua kodi kwa maskin wa nchi hii jee yeye aliongelea pesa zipi?😄😄 shida serikali hawapitii record za viongoz wao waone maneno yao😊😊😊
2
4
76
@democrasi
Fair⭐
4 months
Mashabiki wa simba wanataka wapelekwe misri kwa basi wakati wana wa Israel walienda kwa miguu tuu kivipi? 🤣
Tweet media one
5
11
74
@democrasi
Fair⭐
4 months
Hii picha haihusiani kabisa na mambo ya mpira.. 🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
4
10
75
@democrasi
Fair⭐
4 months
"Siku nikishika mjegeje woooyooo woooyoo cjui nani Buguruni za kichwa ostabei za kichwaaa" Pumzika kwa aman tulifrahi sana enzi zako legend.
Tweet media one
Tweet media two
3
16
76
@democrasi
Fair⭐
3 years
@moodewji Kukimbia na sabun 29 mgongoni sio rahis 😂😂😂
6
6
70
@democrasi
Fair⭐
4 months
Ukisikia nataka kutulia na wewe jua yaliyopita si ndwele 🤣🤣🤣
Tweet media one
7
10
71
@democrasi
Fair⭐
4 months
Swali letu kama waafrika ni mojaa tuuu.. Wote mnalijua 🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
13
10
73
@democrasi
Fair⭐
3 years
@UGmanofficial @democrasi just like i follow u just FB
1
1
58
@democrasi
Fair⭐
5 months
Kuna mda unajikuta mambo yamegoma hupati hadi hela ya kula hadi wewe mwenyewe tuu huamini nini kinaendelea.. nikwambie tuu haupo peke ako 😂
8
24
73
@democrasi
Fair⭐
4 years
@masoudkipanya Mguuni ni kijani kazi yao ni kusonga mbele haijalishi wapi tunakwenda, wapi tulipo na hatar ilio mbele.. wakiambiwa mbele n huku akili na macho yao havipo kuona wapi ni sahihi kwenda vipo vinaangalia maslahi yanayoingia kwenye pochi zao tuu.... hiyo n kijani kibichi😄😊😊😊
1
3
68
@democrasi
Fair⭐
4 months
Kweny hii picha kule nyuma kama namwona Yesu akiwabless au nyie mnaonaje? 🙌🙌
Tweet media one
8
14
70
@democrasi
Fair⭐
3 months
Watu 14 tu wanatosha , mchele kilo 7 nyama kilo 2 misos jumla natumia lak moya.. nmemaliza Jumapili njema kwenu nyote (7-2)
Tweet media one
7
9
71
@democrasi
Fair⭐
2 years
Ukraine need more than prayers now...😊😊😊
7
4
61
@democrasi
Fair⭐
3 years
@masoudkipanya Katiba isiyo na misingi tumeishikilia na imetuacha utupu na tutazama nayoo kunako kina 😊😊😊
0
2
66
@democrasi
Fair⭐
3 months
Sisi tunaita MIGAGI kwenu mnaitaje hii..?
Tweet media one
25
16
70
@democrasi
Fair⭐
4 years
@TunduALissu @TumeUchaguziTZ @ChademaTz @ChademaDiaspora @jjmnyika @robertamsterdam @freemanmbowetz @bavicha_taifa @salummwalimtz Uchaguzi wa kihistoria.. 😊😊acha ss vijana tujifunze .. but wakuu mwisho wa siku hakikishen mnatuachia mazingira ya ss kuja kuomba kura pia...😊😊AMAN UMOJA NA MSHIKAMANO.
0
1
64
@democrasi
Fair⭐
4 years
@masoudkipanya Kijani wameamua kufanya mambo ili waonekane wamefanya...ndio yanahitajika kufanyika kama walivyofanya na kwa vipimo sahihi ila si kwa eneo sahihi wanaweka vitu mahala pasipo sahihi mambo yaleyale tunayaremba yaonekane n mazuri msimu huuu. zebra rough road na no pedestrian way..
1
2
67
@democrasi
Fair⭐
5 months
Ukiangalia hii picha na ukakumbuka kitu.. jua hela zako zinaliwa 😂😂
Tweet media one
7
11
67
@democrasi
Fair⭐
4 months
Mamelod jina tuu kumbe yaan kiungo mkude beki mwamnyeto na wameshindwa kushinda 🤣🤣🤣🤣🤣
3
15
68
@democrasi
Fair⭐
4 months
Wenye hela kesho ni siku ya bata.. kama huna hela wewe ndio bata amka piga maombi kapambane Good morning 🙌🤣🤣🤣
8
25
65
@democrasi
Fair⭐
2 years
Mimi nilijiongelesha kitambo saana... CCM ndio chama kitaongoza hii nchi kwa mda saana hadi tupate akili ya kweli...😂
11
8
61
@democrasi
Fair⭐
4 months
Taja sifa mojaa ukiachana na ya kuwa ni mtu wa ARUSHA...
Tweet media one
8
13
67
@democrasi
Fair⭐
2 months
Hapa ni wapi Ndege inaporuka?
Tweet media one
11
2
65
@democrasi
Fair⭐
5 months
Hizi ngazi zipo iringa na chinaa tuuu hapa duniani IRINGA CHINA
Tweet media one
Tweet media two
8
14
61
@democrasi
Fair⭐
2 years
Unaenda geto la mwana unakuta kuna wheelchair, kumbe mwana akitoka chuo anaingia nayo kariakoo kupiga kazi😂😂😂
1
6
63
@democrasi
Fair⭐
4 months
Just imagine unarudi Hapa ndio nyumbani ...
Tweet media one
11
10
63
@democrasi
Fair⭐
4 months
Wakenya ni kweli huyu mcheji wenu ni mzuri sasa ili atoke kimpira inabidi aje acheze ligi kubwa kama NBC premier league,LALIGA ,UEFA nakadhalika🤣🤣🙌
Tweet media one
4
9
65
@democrasi
Fair⭐
5 months
Fly over yetu huku iringa... nani alisema Iringa hamna glyover?
Tweet media one
11
14
63
@democrasi
Fair⭐
4 months
Si mnasemaga watu wa forex wanachoma account na hii n nini nyie mnafanya???🙌🙌
Tweet media one
2
8
65
@democrasi
Fair⭐
2 years
Ukishindwa kutumia nguvu tumia akili ukishindwa kutumia akili tumia pesa.. Siku njema kwenu nyote.. ..⛅⛅
9
13
57
@democrasi
Fair⭐
4 years
@kigogo2014 Mbona kule ulikuwa mpole😃😃😃😃
1
2
61
@democrasi
Fair⭐
3 years
Nimepima malaria halafu daktari ananiambia niende chumba cha ushauri na saa... kwani ananionaje😂😂😂
15
11
50
@democrasi
Fair⭐
5 months
Wanaume tu ndio wanaelewa kwanini huyu jamaa kakunja nne wakati anamuhoji kungwi 😂😂😂😂😂🔥🔥
Tweet media one
9
12
59
@democrasi
Fair⭐
3 months
Chapa ya mpinga kristo imepigwa hapa niliposomaga CHAPA 6 6 6
Tweet media one
6
4
61
@democrasi
Fair⭐
4 months
milion 8 kifungo miaka 20 ?
Tweet media one
13
9
61
@democrasi
Fair⭐
4 years
@MagufuliJP Bt huyu alipenda democrasia na transparency katika uongozi kauli yake moja "tunahitaji mfumo ambao hata kama ni shetani atakaa juu katika uongozi awe anatii matakwa ya watu" hope utamuenzi kwa matendo mh......😊😊😊
2
2
59