ZOMBI Profile Banner
ZOMBI Profile
ZOMBI

@jx_tza

4,169
Followers
5,657
Following
677
Media
12,758
Statuses

Affected by Cloudsfm, Futbol, Movies, Music

Bank
Joined October 2023
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@jx_tza
ZOMBI
14 days
Noted Elimu na Mitihani ya Darasani inatufundisha ubinafsi na uchoyo kwamba hata jirani yako akiwa na shida ni kosa kumsaidia😔
4
3
10
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Tuelewane wanangu, Kuna tofauti kuwa na engagement kubwa X na kuwa mchambuzi bora wa bori.... Amri Kiemba ni bora kuliko George Ambangile
Tweet media one
Tweet media two
159
54
1K
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Nilianza na Mtaji wa 300K biashara ya kuuza Jersey saivi namiliki mnunua Jersey mtaji sina🙄
Tweet media one
53
42
1K
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Mpira anaocheza Novatus Dismas na Mohammed Hussein ni tofauti sana na mpira wetu wa kiafrica Mpira una radha ya Kihispaniola
Tweet media one
Tweet media two
13
23
772
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Ndoto ya kila mwanaume mwenye nyege za kisenge
Tweet media one
78
32
731
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Oya wazee apa tunaenda na nani.? Feruz au Kungwi
Tweet media one
Tweet media two
76
18
451
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Kuna msenge atakwambia huyu demu ni mbaya☺️
Tweet media one
125
21
390
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Ivi ni kosa kumla dada ako ambae mnashare mshua lakina sio tumbo moja.?
86
15
355
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Top five ya wachambuzi bora wa vipindi vya michezo.? 1. Shaffii Dauda 2. Amri Kiemba 3. George Ambangile 4. Yahya Njenge 5. Farhan Kihamu
44
23
291
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Shule za Dodoma kuanzia Jumatatu😁
Tweet media one
14
18
280
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Wengi tunaomsagia kunguni huyu manzi ni wale ambao hatuna uwezo wa kumiliki demu mkali kama huyu
Tweet media one
32
13
266
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Ichi kidude cha kifuani wanachovaaga wachezaji ni cha kazi gani.?
Tweet media one
Tweet media two
18
10
237
@jx_tza
ZOMBI
5 months
#Gamond ; Mechi 5 Win 4 Draw 1 Magoli ya kufunga ~ 8 Magoli ya kufungwa~2 #Benchika ; Mechi 5 Win 4 Draw 1 Magoli ya kufunga~ 8 Magoli ya kufungwa ~1 #Swali : Kigezo gani kinatumikaga kuchagua kocha bora wa Mwezi.?
Tweet media one
Tweet media two
29
12
184
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Au Dabiliusibi wamempa Tatu Utamu uadmin
Tweet media one
19
12
159
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Kho watanzania tumekubaliana Mamelodi Sundowns apewe nani.?
Tweet media one
27
11
148
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Katika Ubora wao kwa nyakati tofauti kwenye Ligi yetu nani alikuwa ni mwiba wa kuogopwa na wapinzani.?
Tweet media one
Tweet media two
21
9
143
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Nawakumbusha mnaolilia mademu😔
Tweet media one
7
16
133
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Umepewa kibunda uingie sokoni ufanye usajili unamchukua nani.? Luka.? au Kelvin.?
Tweet media one
Tweet media two
32
4
123
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Who is in Class.? and Who is in Form.? Pacome 7 Goals Chama 6 Goals
Tweet media one
Tweet media two
6
7
121
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Sema yule muuza asali humu anaiuza kimkakati sana wacuba tunaelewa
Tweet media one
6
5
97
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Ivi kuna undugu kati ya Halima Mdee na Vanesa Mdee Au ni majina tuh ya ukoo
Tweet media one
Tweet media two
18
9
97
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Nipeni sifa ya Mademu wenye kizungu kingi
Tweet media one
17
4
87
@jx_tza
ZOMBI
6 months
Nimekunywa Mirinda nmeskia kama harufu ya uchi ivi😔
Tweet media one
23
10
87
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Njia gani unaweza kuitumia kumwambia mpenzi wako kuwa ananuka mdomo
Tweet media one
14
6
86
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Mchezaji gani wa bongo unahisi anastahili kucheza ligi kubwa duniani.?
18
9
85
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Ivi humu kuna mwanamke mzuri kumzidi @RahmaMwita
Tweet media one
23
6
84
@jx_tza
ZOMBI
7 months
Hii mamas inafanana na mdada wa humu TL mtag kama unamjua.?
Tweet media one
23
13
82
@jx_tza
ZOMBI
5 months
"Furaha yetu sio pesa" ni msemo wa kupalilia umaskini tu.! Gm fam
11
24
81
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Je.? Aucho anaweza kuwa sehemu ya kupunguza idadi ya magoli ya kufungwa na Mmelodi.?
Tweet media one
11
8
79
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Kuna mama wa mtu yupo na mtoto wa mtu mda huu wanapeana experienceza utu uzima
Tweet media one
7
6
77
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Ivi ni sahihi kwa Degree holder kufanya kaya ya kulipwa 250K kweli.?
Tweet media one
11
7
74
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Kwanini Black American wengi wakishafanikiwa wanakutwa na makesi mengi.?
9
14
72
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Last three games Mamelodi Vs Supersport (1-1) Mamelodi Vs Chipa (2-0) Mamelodi Vs Mazembe (1-0) Yanga Vs Geita (1-0) Yanga Vs Ihefu (5-0) Yanga Vs Namungo (3-1) Magoli ya Kufungwa kwenye Ligi Yanga 9, Mamelodi 5 #Mamelodi sio wa kutisha kama wanavozungumziwa
Tweet media one
Tweet media two
22
10
68
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Ukiachana na Historia mnaosema ligi ya South Africa kwa sasa ni bora kuliko ya bongo mnatumia kigezo gani.? Tupeni na Data.?
Tweet media one
Tweet media two
7
5
69
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Vimbweta vya YUDIZIMU
Tweet media one
11
8
65
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Nani ni kocha bora wa Muda wote duniani.? #Don Carlo au #Sir Ferg
Tweet media one
Tweet media two
20
2
65
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Raha ya kuishi maeneo ya Riverside wakikosa wateja usiku wanakuja kukugongea mlango unaichapa bure☺️
12
10
64
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Adhabu gani uliwahi pewa ukiwa shule mpaka ukatamani kuacha shule
Tweet media one
13
8
60
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Ukiachana na "Life is Chenjee" ni nyimbk gani nyingne ya Best Naso unaijua.?
Tweet media one
13
9
56
@jx_tza
ZOMBI
7 months
List ya wana TL ambao hawafahamiki kama ni wanaume au ni vibungo.? 1. @nyuki_malkia maarufu kwa jina la Malikia Nyuki, huyu ni icon humu japo kuna mda wana TL wanapata utata kama ni men au mrembo
Tweet media one
12
9
57
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Man of the Match😔
Tweet media one
3
9
58
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Ni mwaka gani.? Alipewa Ballon d'Or ya mchongo
Tweet media one
13
4
56
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Ani demu anakulipia kila kitu afu unakataa kumdinya😁 Ndo maana Jide aliimbaga "Wanaume kama mabinti"
8
9
59
@jx_tza
ZOMBI
4 months
At their prime nani alikuwa ni wamoto sana.? #Ngassa au #Bocco Tumpe nani uchezaji bora wa muda wote kwa Tanzania.?
Tweet media one
Tweet media two
18
6
57
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Usimuulize demu umekula.? Kama huna hela ya kumlisha
13
10
56
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Dada siku nzima hujataftwa unakumbukwa jioni kama futari😁
Tweet media one
7
7
54
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Ukiwa na wa hivi ukitaka asichepuke tunafanyaje.?
Tweet media one
12
5
55
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Sio kwa Ubaya Ila sometime kuwa baba bora sio lazima umpeleke mtoto shule tuh, kumuelekeza njia za kupita na kutoboa unazoamini ni rahisi pia nayo ni malezi Positive on this
Tweet media one
5
5
56
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Ukiingia TL nani huwa lazima usearch ujue ametweet nini.?
13
9
55
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Ukitoa gharama za Matangazo za makampuni, hizi Redio na Tv Station wanapata vipi mapato ya kuwalipa watangazaji mamilioni.?
10
8
55
@jx_tza
ZOMBI
7 months
Ivi kwanini gari za miaka ya 2000'S injini zake zmechoka sana kuliko za 1990'S namaanisha gari kama gari.?
Tweet media one
13
11
50
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Wasimbe mda huu wakiingia TL kuona Farhan alivopigwa TKO
Tweet media one
3
8
52
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Morden Fotbol inahitaji beki wa pembeni mwenye uwezo wa kupandisha timu na kufanya Recoveries on time. Atoula Yao stats zake kwenye CAFCL, ⏩Chance created 9 ⏩Ball Recoveries 38 Khuliso Mudau stats zake kwenye CAFCL ⏩ Chance created 2 ⏩Ball Recoveries 26
Tweet media one
Tweet media two
16
3
51
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Sasa unaingia Kondoa
Tweet media one
12
4
53
@jx_tza
ZOMBI
6 months
Njia gani ya kumuacha mwanamke uliyeishi nae miaka mitano na asiumie.?
14
9
50
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Ivi ngono nje ya mwezi wa Ramdhan sio dhambi.?
Tweet media one
6
6
51
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Kitu gani ukiambiwa mwanamke huwezi amini mzee
12
10
52
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Ivi Caro kwa saivi unaweza kweli kushindana kwenye mbio ushakuwa kibonge sana
Tweet media one
9
5
48
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Kidogo nitoe hela ya ada😔
Tweet media one
9
9
51
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Sizami tena chumvini😔
Tweet media one
9
5
48
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Martin MMM alikuwaga shabiki wa Simba ilikuaje akahamia Yanga
Tweet media one
3
3
48
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Hawa Customer care wa kwenye mabasi siku izi mbona majaribu sana
Tweet media one
9
1
47
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Ni mara chache sana Novatus Dismas Miroshi kumaliza game bila Yellow Card. Kwanini kwake ni rahisi sana kupewa kadi za njano anaopokuwa uwanjani.?
Tweet media one
Tweet media two
1
6
46
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Ivi wanangu nini maana ya akili.?
8
9
44
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Kama huyu ndo Mzize sina haja ya kuharakishia maisha😁
Tweet media one
9
2
46
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Ule msemo wa kusema Music Label inambeba msanii, vipi kuhusu kijana wetu D Voice mbona kama amepotea kabisa
Tweet media one
5
4
42
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Hapa bila D mbili huwezi toboa😚
Tweet media one
4
3
45
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Biashara gani inalipa sana kati ya hizi wakuu.? ~Pafyumu ~Asali ~Dagaa ~Urembo ~Kuuza Jersey
11
7
45
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Vile umejipulizia Pafyumu ya Kalage ukipita mtaani mishangazi sasa👇👇
Tweet media one
5
10
41
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Hawa CAF saivi kwenye page yao wanaubia na Yanga mbona kila siku wanapost mambo ya Yanga tuh😔
Tweet media one
4
5
43
@jx_tza
ZOMBI
7 months
Kama kwenu Life linaeleweka usiondoke om mzee
10
14
40
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Kama machizi😁😁
Tweet media one
7
5
42
@jx_tza
ZOMBI
7 months
UNaikumbuka game gani ukiona hawa Malegend wawili.?
Tweet media one
5
8
38
@jx_tza
ZOMBI
7 months
Wanawake wa Dar matiti zimeshuka kama uchumi wa nchi😊
9
10
40
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Kuna kauli gani ukiskia kwa mwanamke unajua apa anataka kukupiga kizinga..?
6
3
41
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Msinunulie mama zenu smartphone, siku watajiunga TL wageuke mashangazi humu, Mkute wameambiwa Karibu mbezi mpenzi😔
3
5
42
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Wanawake🙌 Nilikuw na manzi angu Advance ile chuo me nkachaguliwa SUA yeye UDSM life likasonga wazee📌 Kuna kipindi manzi akaanza kuwa na kisirani mara ananitumia Assignment zake nimfanyie, kidume nafanya 🗒️📖 kuna mda natuma kibunda💸 Story behind kumbe Manzi aliacha chuo....
12
5
41
@jx_tza
ZOMBI
3 months
UKIMWI upo wanangu msione kama umetulia ivi
7
12
38
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Dodoma - UDOM
Tweet media one
13
2
39
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Bora 2020 tungekulaga wali wa mwanetu tumpe nchi jobless tusingekuwa tunashinda njaa
Tweet media one
4
8
40
@jx_tza
ZOMBI
7 months
Mbeya boys wako na matako sijui kisa maparachichi
21
5
38
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Ivi kutoka na kinyama sehemu ya haja kubwa (Bawasili) inasababishwa na nini.?
5
5
39
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Inakuaje Baba anaitwa Yowel Kaguta Museveni afu mtoto wake aitwe Muhoozi Kainerugaba asiwe na jina hata moja la kufanana na baba.?
Tweet media one
7
4
37
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Kweli Vodacom ni mtandao mkubwa✌
Tweet media one
2
4
37
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Uzuri sisi Man U huwa hatuhitaji makombe ili tufurahi mchezaji mmoja tu anaweza kufanya Dunia yetu ikafurahi na mkateseka hata kama mna matokeo mazuri😁
Tweet media one
4
5
39
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Je, Mamelodi atakikwepa kikombe cha Tano, Tano👋 Yanga 5 vs KMC 0 Yanga 5 vs JKT 0 Yanga 5 vs Ihefu 0 Yanga 5 vs Simba 1 Yanga 4 vs Belouzidad 0 Yanga vs Mamelodi....?
Tweet media one
Tweet media two
4
3
38
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Twitter Engineerz hizi namba barabarani au kwenye madaraja huwa zinamaanisha nini.?
Tweet media one
7
5
37
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Jamaa ameshakata ticket ya kuingilia cello tarehe 30
Tweet media one
5
1
35
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Leteni uyo nyoka wanangu nilale nae nipate maokota huyu mtoto sio wa kumkosa
Tweet media one
12
1
37
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Pale UDSM kuna yule jamaa muuza kiepe alinigongeaga demu wangu yule jamaa sijui anaitwa nani.?
7
6
39
@jx_tza
ZOMBI
7 months
Huyu Fala avunjiwe mkataba katuuza wana Singida😡
Tweet media one
9
6
37
@jx_tza
ZOMBI
7 months
Mademu wa Dar wanagono, mademu wa vijijini wanayutiyai bora wapi.?
10
8
37
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Oya wanangu ukipata demu wa kumtesa kwenye mapenzi mnyooshe kweli kweli
7
7
37
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Ivi wanaposema Deni la Taifa ni stahimilivu wana maanisha nini.?
Tweet media one
9
2
36
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Ntwara😔
Tweet media one
13
2
34
@jx_tza
ZOMBI
5 months
Namna nyingine ya kupalilia, Umaskini ni kujisifia kuwa "Furaha yetu sio pesa"
Tweet media one
1
10
38
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Madrid is United
Tweet media one
Tweet media two
2
4
37
@jx_tza
ZOMBI
4 months
Nchi ambayo Vijana wanalilia uhuru wa jersey za Mamelodi kuliko katiba ya nchi yao, fursa za kukomboa maisha yao God save my country😣
8
7
35
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Ukiwa unamtongoza mwanamke swali gani.? akikuuliza unajua apa ameshakubali.!!
Tweet media one
6
3
35
@jx_tza
ZOMBI
3 months
Ivi kuna wadada wa 98's na bado hawajaolewa.?
9
4
34