kalimwabu Profile
kalimwabu

@kalimwabu

1,046
Followers
1,597
Following
11
Media
192
Statuses

Joined July 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@Sativa255 Kaka tunamshukuru Mungu kwa uponyaji wako sisi tulifanya kwa upande wetu. ila Mungu alikuwa na kusudi lake dhidi yako. tumeona miujiza yake kwako tunamshukuru sana🙏🙏🙏 mungu kwa kusimama nawewe mwanetu na karibu tena Katavi. master✍✍🤜🤜🤜🤳
3
6
55
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
Kura kwa wakili msomi
2
2
33
@kalimwabu
kalimwabu
2 years
Maelfu wajitokeza barabarani kumsikiliza Tundu Lisu akiwa njiani kuelekea ikungi Kesho atahutubia maelfu ya watu wa singida
0
1
18
@kalimwabu
kalimwabu
4 years
@JOZEEOFFICIALL Kutam mwaka huu
0
0
10
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@Greyibra10 Soon ntakucheki mkuu naweza kuwa na harakati ya ujenz wewe ni familia lazima tusapotiane.
1
0
8
@kalimwabu
kalimwabu
2 years
Just posted a photo @ Happy New Years 2023
0
0
6
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@Twaha_Mwaipaya Ndiyo maaana mimi na mpira ya Tanzania 🇹🇿 wala simo tena kwa sasa team za yanga na simu vimegeuka kuwa matawi ya ccm na serikali
0
1
5
@kalimwabu
kalimwabu
19 days
@Advocate_Kisabo Wekeni na jina la hiyo namba mataper ni weng tupige tafu ya usafiri chapu
0
0
5
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@fatma_karume Shangazi kasema wewe ni nan? Uponge piga kura kwa mwambukusi kuwa Rais wa TLS
0
0
5
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@zittokabwe Broo mbona unaongea kwa upole sana zito wa magufuli sio zito wa Samia unashida gani wewe 😂😂😂
0
0
4
@kalimwabu
kalimwabu
4 years
@fatma_karume Acha waendelee kimpaisha tyu bira kujua kama wanampaisha time will Tell
0
0
4
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@Sativa255 Hii dabi irudiwe kabla ya uchaguzi
0
0
4
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@SuphianJuma Baada ya mwamba mwambukusi kuwa Rais wa TLS? Ndo kwanza kumepambazuka acha dawa iingie
Tweet media one
0
0
3
@kalimwabu
kalimwabu
2 years
Happy birthday kiongozi wangu @salummwalimtz kwa kuongeza umri @ Happy・Birthday
0
0
3
@kalimwabu
kalimwabu
4 years
@ZoziKhalfan @darmpya_ @TuliaAckson Hahahahaha jiwe gizani kwa @TuliaAckson kiogofya watoto 😂😂😂
0
0
3
@kalimwabu
kalimwabu
21 days
@Greyibra10 Kaka masha hayataki kukata tamaa. ndani ya siku hizi 2 naweza kuja kuwasaport hapo jobu
1
0
3
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@Sativa255 Sasa naona mnanichokoza mimi jana nilikesha kwa BUMUNDA nikiwa na mfaliji alikuwa anataka kunywa sumu nikiwa na mfaliji halafu na nyie mnanihusisha na vitu nisivyo vijua sasa ngoja Murad unaenda kufa ngoja tutaonyeshana makali 😂😂🤣🤣
Tweet media one
0
0
2
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@ExMayorUbungo Savimbi BONIFASI
0
0
2
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@Ntobi_ Chadema sio chaka la mataper wa rasilimali za taifa ntobi hapa hapa
0
0
2
@kalimwabu
kalimwabu
6 years
Brother uelewa wako utakuwa ni mfinyo kwamba alichukuwa panga kabra ya kushambuliwa alichukuwa panga Kama sehem ya kujihami baada ya kushambuliwa na kung'atwa vidole au hujaona video nakama umeona iwaje usehe hvyo aiseeeee tanzania bado tunawajinga weng
@Hancy_Mach
Mr. Unoka1975🇳🇬.
6 years
@ChademaMdude @tanpol Tusiangalie matokeo tujiulize na chazo cha tatizo, je dereva ana mamlaka ya kupigana na askar? Je dereva amapata wapi mamlaka ya kutaka kushambulia askar kwa silaha?! Hapo askar sion kama anatatizo alikuwa katika kujiokoa, maana dereva tayar alikuwa kashika panga
9
0
5
1
0
2
@kalimwabu
kalimwabu
19 days
@Sativa255 Master mwenyewe mwana familia wa X katika ubora wake
Tweet media one
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
2 years
Tumepigwa pabaya na vibaya sana ngoja tuendelee kula mtoli yawezekana nyuma zipo chini kabisa 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kwenu studio @prophet_chirwa__mtakatifu
0
0
2
@kalimwabu
kalimwabu
2 years
@PatrickJAssenga Kaka mkubwa na kiongozi wangu Assenga bonge tungekuwa ata na robo ya uwezo wa Kenya CCM ingekwisha tandika ndaruga muda mrefu sana
1
0
2
@kalimwabu
kalimwabu
2 years
@PatrickJAssenga Naona kama kesho ni mbali natamani nipate spana za kesho maana Nusrat hanje kesho lazima aombe kwenda toilet 😂😂😂
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
2 months
@stephanoMambol1 @ExMayorUbungo Anaeswmekana ni kitu gani?
1
0
2
@kalimwabu
kalimwabu
3 years
0
0
2
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@Sativa255 Hatuko salama 😭😭😭😭 pole sana mwanangu @Sativa255
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@kajembe_jr Kabsa alaniwe yeye na kizazi chake chote
0
0
2
@kalimwabu
kalimwabu
3 years
Basi, jiwekeni chini ya Mungu; mpingeni Ibilisi naye atawakimbieni. Mkaribieni Mungu, naye atakuja karibu nanyi. Osheni mikono yenu enyi wakosefu! Safisheni mioyo yenu enyi wanafiki!" Yakobo 4:7-8
0
0
2
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@Pdizaina05 @Sativa255 Haina shida kamanda nimepokea 🙏🙏🙏
1
0
0
@kalimwabu
kalimwabu
6 years
@ChademaMdude Ww nikimboko ya madkiteta
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
1 year
@Salaliicon @ExMayorUbungo @JoelHamisMsuya Ni mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo chadema kanda ya magharibi
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@AdvMatata Hongereni mlifanya kazi kubwa sana taifa lili kuwa linawatazama nyinyi tu ila kwa uwezo wa mungu mmevuka salama good 👍
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
3 years
Just posted a photo @ Mawazo Huru
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
1 year
@Gigy_moneyOg @mshambuliaji Utakuwa wewe ni msenge sio bure
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
1 year
@JamboBlog_ @halimamdee @wasafifm Viti maalum wa chama gani huwezi kuita viti maalum halafu bila kutaja chama chake kiufupi ni mbunge asie na chama kwa maana nyingine ni mbunge wa serikali ulisema hivyo utaeleweka zaidi
1
1
1
@kalimwabu
kalimwabu
3 years
@ZoziKhalfan Happy birthday binti yangu mrembo
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
3 years
@kigogo2014 Tuliza makalio yako ww
Tweet media one
0
1
1
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@FumboJunior Naona sasa mambo yameanza kuparaganyika mapema 😂😂😂
Tweet media one
1
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@M2202Jh @Sativa255 Ahsante sana mbeya ni nyumbani ntakuja
0
1
1
@kalimwabu
kalimwabu
6 years
@darmpya_ Kama nimwana sheria si aende mahakamani kumzuwia
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@Greyibra10 @Sativa255 Nakubari sana Kaka
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
2 years
Zoezi la usajili wa wajumbe wa Baraza Kuu kutoka kanda ya magharibi likiendelea muda huu Mlimani City Dar es salaam leo Mei 10, 2022. @khalfanzozi
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
3 years
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
4 years
@officialzuchu Kapigiwe na maccm yako
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
19 days
@IAMartin_ Master mmm mtikila mbwekaji mkuu
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@FumboJunior Umekuja mchochez 🤣🤣
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
1 year
@Getrude_mollel Mbona hujiulizi viongozi wadani wakifadhiliwa nanan? Acha ujinga wa kuuish uchawa tunataka taifa la kizazi cha kuhoji Tanzania sio nchi ya vibaka wachache
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
6 years
@fatma_karume naakome c kihelehele 😀😀😀😀
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
28 days
@chiefodemba Yericko yuko Sawa kabisa
1
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
3 years
ISAYA 54:17 @ Law School of Tanzania
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
6 years
@mushi_mzee @ChademaMdude Kwamba Kama kusoma ujui ata picha unashindwa kuitambua sasa ulitaka MSD wasemaje ukishaona mtu analalamiki kuhusu pesa jua kunatatzo
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
2 years
Tupo live CLOUDS TV muda huu munaweza kufuatilia kupitia CLOUDS TV mkutano mkuu wa baraza kuu Chadema mlimani city conference centre BY @kalimwabu mjumbe mkutano Mkuu taifa aluta continue @ Mlimani City Mall
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@YupoMungu @Sativa255 🤣🤣🤣🤣🤣 tunalindwa na mungu Kaka
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
2 months
@PMadeleka @Mwabuk2Boniface Safi sana mh wakili msomi
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
4 years
@officiaIzuchu Kasapotiwe na maccm wenzako sasa usitufokee
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@Buddy_Wailer @Sativa255 Pamoja mwana familia
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
2 months
@FumboJunior 🤣🤣🤣🤣
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
3 years
@TunduALissu Tuko pamoja mheshimiwa lissu
1
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
2 months
@FumboJunior Unataka kusema nn?
1
1
1
@kalimwabu
kalimwabu
2 months
1
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
20 days
@Greyibra10 @Sativa255 Mwanangu kabisa wewe @Greyibra10 ulifanya ugwana sana siku tuna mpambania mwanetu @Sativa255 (CHOTARA WA KATAVI)
1
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
12 days
@Sativa255 Duuu master 🙌 😭😭😭😭😭
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@PMadeleka Hongera sana wakili msomi. unafanya kazi kubwa sana ya kutete haki zawatu. kwa asilimia 80 unashinda barabarani ukienda kutatua changamoto za walio na shida.
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
29 days
@eastafricatv Kumbe leo ni siku ya wazee mpaka wanatoa tamko?
0
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
@LwingaJ @John_Pambalu @MsigwaPeter Salama ndugu na broo wangu wa nguvu
1
0
1
@kalimwabu
kalimwabu
1 month
1
0
1