Patrick John Assenga Profile Banner
Patrick John Assenga Profile
Patrick John Assenga

@PatrickJAssenga

73,476
Followers
1,704
Following
4,027
Media
10,124
Statuses

Mwenyekiti CHADEMA Jimbo la Segerea | Mgombea Ubunge Rombo 2020 | Diwani Tabata 2015-2020 |

Rombo Tanzania
Joined September 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Hii ilikuwa ni ROMBO 2020, MAGUFULI bila AIBU akapindua MAAMUZI ya WATU wote hawa.....siku sio nyingi tutafanya MIKUTANO ya HADHARA kuyashakuru MAELFU yote haya kwa KURA zao za UAMINIFU 🙏✌️
16
61
249
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
BASHIRU aendelea kuishika PABAYA CCM👇 Hakikisha una-Retweet iwafikie vizuri Lumumba wote.🤣
313
1K
3K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Yaani kutoka 27,000/= hadi 800,000/= kweli MAMA anaupiga mwingi.
Tweet media one
456
206
3K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 month
Muda huu waziri wa mambo ya ndani hapa msibani kaamua kuondoa kabisa Plate number ya gari ya waziri na kuweka number binafsi. Tukiwaambia Umma una nguvu, muwe mnaelewa.
Tweet media one
66
200
3K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Utabiri huu unaenda kutimia Sasa👇👇👇
Tweet media one
259
174
2K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
4 years
Rombo Acheni Sifa.
Tweet media one
49
166
2K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 years
TUMEACHIWA USIKU huu, Tumekaa MAHABUSU wiki nzima. Nitaandika KESHO...ila kwa sasa itoshe tu kusema, huyu MAMA ni HASARA kwa TAIFA.
Tweet media one
188
268
2K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 months
Sasa yanaenda kutimia.
Tweet media one
95
231
2K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 year
IBRAHIM TRAORE amekataa kupokea MSHAHARA mpya wa Urais na badala yake ataendelea kupokea MSHAHARA JESHINI kwa kufata CHEO cha JESHINI alichonacho. #OkoaBandariZetu
Tweet media one
72
162
2K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
4 months
Hapo sasa bado madaktari na waalimu ili CCM akili ziwakae sawa....Mwaka huu WANANCHI wataeshimika tu.!!!
Tweet media one
36
199
2K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
4 years
Hatishiki, Hatikisiki na Hayumbishwi. Mwamba na Mwenyekiti wa @ChademaTz Taifa. Tumpe retweet na likes 1000 kabla ya kesho jioni.
Tweet media one
13
521
2K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 month
Na sababu za kukutana barabarani 23 September zimeongezwa tena na hotuba ya Leo uko Moshi. Tukutane barabarani.
Tweet media one
32
202
2K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Nawaona wanawasili.....wamenona hatari 🤣🤣🤣
Tweet media one
111
66
2K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
4 months
Raia wa Kenya wanajitambua mpaka wamepitiliza.🤣
52
243
2K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 years
Sasa wanaendelea na kazi yao ya VIP Protection. Wape Retweet na like za kutosha mpaka ziwafikie WATESI wao
Tweet media one
27
354
2K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 months
MWENYEZI MUNGU aiweke Roho yake mahali pema peponi AMINA 🙏🙏🙏
Tweet media one
84
183
2K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
4 years
Mbona huyu hasemwi vibaya???
Tweet media one
93
98
2K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Hii ya Leo Sina hakika kama mtakuwa mmemuelewa Masoud KIPANYA 🤣👇
Tweet media one
145
81
2K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
20 days
Mikoa mingi ya NCHI yetu watu wameanza kujitambua kwa kasi ya 5G.
Tweet media one
33
141
2K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 year
MUUNGANO wa kuumizana. 1. Mtanganyika hawezi kuteuliwa kuwa hata DC uko ZANZIBAR, ila wao wanateuliwa kuwa viongozi Tanganyika 2. Sisi hatuwezi kumiliki Ardhi uko ZANZIBAR, ila wao wanamiliki Ardhi hapa kwetu. 3 .Wao wana serekali Yao ya ZANZIBAR, sisi hatuna serekali.
Tweet media one
Tweet media two
230
216
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 months
Kauli ya mwisho ya kamanda Deusdedith Soka kabla hajatekwa .
Tweet media one
18
260
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 months
Majizi ya kura yanaumiza kichwa ni kwa namna gani yanaweza kufanya kuiba kura za huyu Mwamba asishinde🤣🤣🤣
53
261
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Masoud KIPANYA Leo kaja kivingine...aliyemuelewa tafadhali atusaidie 🤣🤣🤣👇
Tweet media one
140
74
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
29 days
Huyu ndo alipaswa kuwa IGP. kaongea kishujaa sana, lakini hao wakubwa kwa akili zao tunazozijua watamvua vyeo vyake.
74
333
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 months
Shughuli imekamilika. Mliouza BANDARI, mjiandae
Tweet media one
Tweet media two
19
161
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Mimi ni Simba damu, na nilipanga kuudhuria uwanjani, lakini kama timu yangu mmeamua huyu ndio awe MGENI Rasmi, basi sitaenda uwanjani tena.
Tweet media one
516
65
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
21 days
Kumbe mikakati ya KISUTU ni maelezo yale ya kirostam kumnyima Dhamana ili uchaguzi wa Kanda ya pwani ufanyike akiwa gerezani. Je.? Serekali ya CCM itafanikiwa katika mpango wake huu.???
Tweet media one
28
128
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 months
Mpaka sasa hatujasikia mzanzibari yeyote aliyetekwa.
Tweet media one
100
187
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 month
Wanaogopa ataenda kukumbushia MAUWAJI waliyoyafanya kwa Mzee Kibao.
Tweet media one
11
97
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 month
IGP angalia hii na uisikilize mpaka mwisho, kisha utafakari kuhusu Utendaji wa jeshi la Polisi unaloliongoza. Fanyeni kazi kwa weledi na acheni hii biashara ya kuteka wapinzani wa serekali. Mnafikiri mnamsaidia Samia, lakini kiukweli mnammaliza kisiasa. Mwisho kabisa Jiuzulu...
30
282
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 month
Police wamevamia makao makuu ya chadema muda huu na wanamkamata Naibu Katibu mkuu Benson Kigaila.
Tweet media one
34
160
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Waziri MKUU unapaswa kuwajibika kwa UZEMBE uliofanywa na waliochini ya OFISI yako kushindwa kuokoa watu kwa wakati... RUBANI kabla ya kuelekeza NDEGE ziwani, alishaomba msaada kwamba hawezi kutua. Na baadae akiwa ziwani, bado aliendelea kuomba msaada bila mafanikio. JIUZULU
Tweet media one
131
138
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
NCHI Ina vijana wa HOVYO sana....kama huyu amenunuliwa simu na power bank kwa shughuli Moja tu ya Kuja kwenye mikutano ya CHADEMA na kupiga picha maeneo ambayo hayana watu,Kisha anapost na kudanganya kwamba mikutano ya CHADEMA haina watu. Leo tumemfumania.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
206
95
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
4 months
Ila CHADEMA inawatoaga watu mbali, ni bahati mbaya shukrani ya Punda ni mateke....alafu anaenda kuunga mkono kikokotoo😜
Tweet media one
142
135
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Shikamoo Madenge @rollymsouth
Tweet media one
15
91
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
4 years
Jana masafara wetu umevamiwa na vijana waliotumwa na Mgombea wa ccm na kurushiwa mawe. Tulifanikiwa kushughulika nao na kuwakamata. Vijana hawa walipelekwa kambini Chala kwa usaidizi wa maDC wa moshi na Rombo na walifunza kufanya vurugu na kutuzuiya tusifanye siasa. Tuko Tayari
67
97
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 months
Shikamoo kigogo 🤣
Tweet media one
69
167
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 year
Huyu MWAMBA apewe MAUA yake kwa kuimba nyimbo halisi za KIMAPINDUZI.....Wale wengine kila siku wanaimba NGONO na SEREKALI ya CCM inafurahia na kuwatumia kwenye kila CHAGUZI. Hakikisha ume-RETWEET ili isambae kila Kona. #OkoaBandariZetu
Tweet media one
43
506
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
4 months
"Nimekukimbilia Wewe, BWANA, Nisiaibike milele".😂😂😂🙌
50
156
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Mtajuta kumjua BASHIRU nawaambia 🤣
Tweet media one
109
113
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 year
Mtoto wa kwanza kushoto, anasomeshwa shule binafsi na baba yake ambae ni waziri wa Fedha wa NCHI hii, kwa GHARAMA ya shilingi milioni tisa kwa mwaka. Na watoto wawili kulia, wanasomeshwa bure kabisa na SEREKALI hii ya CCM Tanzania.( ELIMU BURE).
Tweet media one
Tweet media two
188
165
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
4 months
Wakenya tayari wamebeba simbo ya bunge....hii maana yake ni WANANCHI wamelivunja bunge la nchi hiyo.
Tweet media one
11
75
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 year
CHUMA kimetoka muda huu baada ya kuwafundisha namna bora ya kufanya shughuli za KIPOLISI kwa kufata PGO. Jamaa wamenufaika na darasa hilo kwa masaa mawili. @TunduALissu ni habari nyingine kabisa🤣
Tweet media one
20
130
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Shikamoo Masoud Kipanya..👇
Tweet media one
22
137
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Shikamoo Askofu Mwingira👇
Tweet media one
49
134
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 months
Wananchi wanaendelea kujitambua mpaka Raha...hapa wanasema Samia mwakani apigiwe kura na Tembo maana serekali inaona WANYAMA wana thamani kuliko WATANZANIA.
31
287
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
4 years
Sisi tutimize wajibu wetu wa kuwafukuza kwanza, Kama watakuwa wabunge wa mahakama au wa Ndugai, hilo ni jambo lingine.....hapa dunia nzima itakuwa imetuelewa.
55
61
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 years
Uchu wa WATANZANIA kudai KATIBA Utafikia Hapa Siku Moja. Hii nchi Haitatawalika. Mama @SuluhuSamia Anzisha Machakato Wa Katiba mara moja kabla hatujafikia huku.
Tweet media one
184
120
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 years
Kama unaikubali kazi ya huyu MWAMBA hapa tweeter, basi mpe RETWEET za kutosha huyu kiboko ya ZEZETA na J3 tujipange kumfuatilia vizuri kwenye ule ukurasa wake.
Tweet media one
26
580
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
4 months
Tuongeze sauti au tupunguze..?
Tweet media one
11
156
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Na hapa mikutano ilikuwa imefungiwa kwa miaka 7.... Naendelea kusisitiza kwamba CHADEMA ni mpango wa MUNGU. Tumebakiza kushika tu kuongoza TAIFA hili.
Tweet media one
92
95
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
BASHIRU apewe ULINZI tafadhali.
Tweet media one
82
73
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 month
Baada ya hotuba ngumu ya jana, Muda huu Jeshi la Polisi limemteka Meya wa zamani wa Ubungo Mh Boniface Jackob maeneo ya Sinza na haijulikani wamempeleka wapi. Inadaiwa wamemkamata kihuni mpaka na nguo zake. Hii sasa ni hatari, Tunataka wamuachie bila masharti na akiwa hai.
Tweet media one
30
254
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 month
Hapa nilimwambia Kamanda Muliro, "Akili za kuambiwa" Changanya na za kwako. Usiipige mabomu CHADEMA kwani ni serekali ijayo. Tukutane barabarani tarehe 23 September 2024 tunaendelea kupokea wageni kutoka mikoa mbalimbali ya nchi yetu. #KataaUtekaji #SamiaMustGo
Tweet media one
10
134
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 months
Biashara imeisha....mbaya zaidi JAMAA hanunuliki kama Msigwa🤣
Tweet media one
8
91
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 month
Maombi yenu ndg zangu....Tupo njiani tunaelekea Tanga kuupumzisha mwili wa mpendwa wetu Mzee Kibao aliyeuwawa na serekali katili ya CCM 😭😭😭😭
41
156
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 month
Chadema wilaya ya Kibiti wamethibitisha KUSHIRIKI Maandamano ya tarehe 23 September na wametoa sababu za wao Kuandama. Pia wamesema tarehe 22 watakesha msikitini kumlilia MWENYEZI MUNGU kwa dhulma ya MAUWAJI wanyofanyiwa na watawala wa CCM.
14
220
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Kigogo amerejea....msomeni hapa chini👇👇👇👇
Tweet media one
143
90
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 years
POLICE wamemkamata MWENYEKITI wa baraza la vijana jimbo la Kibamba kamanda MSHEWA JUMA alipokuwa anaingia MAHAKAMANI KISUTU kusikiliza kesi ya FREEMAN MBOWE. Kosa lake ni kuvaa T-SHIRT iliyoandikwq KATIBA MPYA
37
139
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 years
No Retreat No Surrender
Tweet media one
19
76
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
MACCM yanamshangaa mwenzao anavyotoboa Siri zao za UPIGAJI 🤣🤣🤣
90
187
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
BASHIRU ana akili sana 🤣
Tweet media one
96
75
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
9 months
Shikamoo @masoudkipanya 🤣👇
Tweet media one
35
130
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
4 years
Mwenyekiti wa mazishi ya KITAIFA Mh Majaliwa, unamaliza msiba wa KITAIFA, bila kuruhusu viongozi wa UPINZANI kutoa japo salamu??? Hutoshi tena kwenye hiyo nafasi ya Uwaziri MKUU.
88
64
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
4 years
Karibu sana Rombo Mheshimiwa Rais! Karibu Mbeba maono wetu. Bado Siku 9 @TunduALissu atue Rombo-Tarakea
Tweet media one
12
87
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 year
Mmechoka ,au niendelee kuwaletea ..🤣
31
190
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 years
Pichani Mwamba akiwaaga makamanda baada ya kutoka mahakamani jioni hii Ipe Retweet kwa wingi hadi iwafikie wazungu waliodanganywa Jana na chief wetu kwamba tuna SIASA Safi.
Tweet media one
31
483
988
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 month
Vijana wana sababu billion za kuandamana tarehe 23 September
32
225
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Hawa wanafunzi waliizingira gari yangu na kuomba nishuke kwenye gari ili wakunje ngumi kama ishara ya USHINDI. CHADEMA ni Mpango wa MUNGU.✌️✌️✌️✌️
Tweet media one
99
82
985
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Shikamoo Masoud Kipanya🤣
Tweet media one
19
101
983
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 month
Kesho ndio Jumatatu ya kihistoria katika NCHI yetu. Hatuwezi kuwa na serekali inayoteka WAKOSOAJI wake na kuwaua kisha kujificha na kujifanya HAIHUSIKI, na ilhali pia inaogopa Vyombo vya kiuchunguzi vya KIMATAIFA. @SamiaMustGO
Tweet media one
14
196
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 year
Tweet media one
105
89
984
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 year
Tweet media one
36
139
967
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Shikamoo Gerald Hando.👇🙏🙏🙏
Tweet media one
31
63
942
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Mil. 9 kwa mwaka. #KataaTozoo
Tweet media one
123
59
937
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 years
"Madaktari wanatibu, lakini MUNGU anaponya" Tunaendelea kukuombea upone upesi Mh Prof J Mbunge halali wa binadamu na wanyama jimbo la MIKUMI
Tweet media one
15
67
932
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Tumetoka mbali sana.....Muacheni MUNGU, aendelee kuitwa MUNGU.🙏🙏
Tweet media one
128
51
924
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 years
Bahati mbaya kila mnachopanga, kinavuja... Kumbe mlipanga mumfungulie MASHTAKA ya UGAIDI ili akose dhamana mkiamini akiwa NDANI basi mjadala wa KATIBA MPYA na TOZO za MIAMALA vitakuwa vimekufa. Hii mmejidanganya na hii itaendela MBOWE akiwa magereza.ikiwapendeza tulamateni Wote.
19
111
909
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Shikamoo Mwaitenda....Tumpe Retweet za kutosha hadi imfikie huyu waziri wa HOVYOOO.. @mwigulunchemba1
Tweet media one
55
413
920
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 years
Nasikia ipo MIKAKATI mikubwa inasukwa na VIONGOZI wa juu wa CCM kumtaka SPIKA wa ZAMANI (MAKINDA), akanushe TAARIFA yake INAYOSAMBAA kwamba yeye atakuwa MTU wa mwisho kuamini kwamba @Freemanmbowetz ni GAIDI....kwa eneo la VITISHO, CCM na UTAWALA wake vimeboboa sana ENEO hilo.
36
136
906
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Aiseeh.!😳
Tweet media one
116
55
919
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 years
Freeman aachiwa Huru
Tweet media one
13
75
907
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
4 months
Nasikia CCM wote hii imewauma sana.
Tweet media one
25
60
900
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
10 months
CCM ya uko Congo tayari imenyooshwa. Wale mnaomchukulia MAMA Fomu mjiandae kisaikolojia kwani hatuwezi kuendelea kuchagua matatizo kwenye NCHI iliyojaa Neema kama hii ya kwetu. TUMECHOKAA.
Tweet media one
171
112
886
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 year
Wameamua kulinda RASILIMALI za NCHI zao.
Tweet media one
44
91
874
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Aliyemuelewa Masoud KIPANYA Leo atusaidie tafadhali 👇🤣
Tweet media one
79
49
864
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 months
Serekali inayoteka watu wake😭😭😭
Tweet media one
5
82
871
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 months
45+ Namshukuru Mungu kwa zawadi ya maisha na uhai, Namshukuru Mungu kwa mwak mwingine tena, Happy birthday to me.
Tweet media one
57
93
877
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 years
Msikilize vizuri Kikwete, ukimaliza hakikisha ume-Retweet hadi imfikie tena Kikwete na Mzee Warioba ili wazinduke kumkumbusha RAIS SAMIA umuhimu wa kupata KATIBA MPYA ya WANANCHI. #WenyeNchiWananchi
69
569
854
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 month
Sura halisi ya chama cha MAPINDUZI....hapa kilichopoungua ni Tindikali.
Tweet media one
31
174
875
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Hii NCHI jamani 🤣
Tweet media one
67
31
856
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Shikamoo Askofu Mwingira 👇👇
Tweet media one
40
97
840
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
5 days
Pumzika kwa Amani Dr. Wilson KATUNZI. CHADEMA itaukumbuka mchango wako wa mawazo, fedha na utumishi uliotukuka. Mtu Mwema sana.😭😭😭😭
Tweet media one
9
93
1K
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 years
Alafu Kuna mjinga mmoja alipambanaga akitaka kukiua hiki CHAMA.....uliza kilichompata yeye Sasa🤣
Tweet media one
48
69
830
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 years
Hawa ndio waliofiwa na MGANGA 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
71
75
828
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 months
Leo tuishi humu 👇👇👇
Tweet media one
9
110
842
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
2 years
Njooni sasa mumshambulie na Mzee Warioba....Mimi nimekaa pale 👉🤣🤣🤣
61
235
830
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 months
CCM hata sehemu ambazo hazifai kuiba, hua inajaribugi kupambana 🤣🤣🤣 Leo watalala wakiwa wamechoka sana.🤣
27
149
846
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 years
NABII LEMA na familia yake....Mpe RETWEET za kutosha MPAMBANAJI huyu.
Tweet media one
18
299
791
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
3 years
Naungana na SPIKA Mstaafu @MboeSioGaidi !!
Tweet media one
27
150
802
@PatrickJAssenga
Patrick John Assenga
1 year
Ahsante BABA Askofu 🙏🙏🙏
Tweet media one
13
115
807