KASUKU ๐Ÿฆœ Profile Banner
KASUKU ๐Ÿฆœ Profile
KASUKU ๐Ÿฆœ

@esterka_su_ku

1,450
Followers
1,222
Following
700
Media
15,167
Statuses

do or die. 21/9/

Sky
Joined March 2024
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
5 months
Hakuna mtu mzuri kwa kila mtu na hakuna mtu mbaya kwa kila mtu. Endelea kuwa mzuri au mbaya kwa wanaojua uhalisia wako.
18
49
124
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@ReganTesha_ Yoshua 1:6 Uwe hodari na moyo wa ushujaa, maana ni wewe utakayewarithisha watu hawa nchi hii niliyowaapia baba zao ya kwamba nitawapa. (Asema Bwana wa majeshi) Yoshua 1:9 Je! Si mimi niliyekuamuru? Uwe hodari na moyo wa ushujaa; usiogope wala usifadhaike; kwa kuwa Bwana, Mungu
1
15
84
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@IdrisSultan Nani anaua apate maisha mazuri mbona hii umeiweka kimkakati sana nyoosha maelezo nigga
3
0
58
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@MwijakuBurton "you can't kill freedom" ila ukiwa tz unaropoka na mdomo wako kama pussy ya prostitute mstaafu. Shame on you
12
0
43
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@MsigwaPeter Haya ulitakiwa uyaibue kabla ya kuhama kwasasa tunaona unachuki kwasababu ulishindwa uchaguzi, Pia polepole alisema wewe ulikuwa chadema kupeleleza halafu sio lazma ukiacha kazi ofisi fulan basi uanze kumsema vibaya mwajiri wako.
5
2
42
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@ze_mandevu Ukishajua nandy kabila lake basi hakna haha ya kubishana
1
0
40
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@Advocatemuga Ni kweli ulipigiwa Kura nane?.
3
0
41
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
Sikuwahi kufikiria kama babangu anaweza kunificha jambo๐Ÿ’”๐Ÿ’”, Kwa lengo lake alihisi watoto wake hatutaweza kulibeba hilo jambo, Ni kweli tusingeweza ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ, Babangu ana cancer๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”๐Ÿ’”, Tangu 2019, Simanzi kwa familia, majonzi, Namuomba Mungu wa mbinguni amponye naamini
19
11
38
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@julip202 Kwahyo ndio unamsema mpenzi wako?. Hizo plans kwann usmpe?. Halafu inategemeana upo na nafasi ipi mpaka aanze kukuambia mipango yake
1
0
36
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
3 months
Ni marufuku mwanaume kumsikiliza mwanamke. Rejea vitabu vya dini utajua kwanini nasema hivo.
3
6
34
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
0
0
35
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@Advocatemuga Kingereza chote hiki unatetea nini mkuu
0
0
32
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@nulphin @freemanmbowetz Naona ni sahihi alichofanya maana angeangushiwa jumba bovu
2
2
32
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@MsomiKhan18 Nimefollow wote
2
1
30
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
Nunua pete mpe huyo mpenzi wako akuvalishe, Katoa hela bank mpe akalipie mahari, Nendeni kanisani mkabarikiwe. Ndoa iheshimiwe na watu wote, Na biblia imethibisha itakuja kutokea wanawake kufanya kila kitu kwa hela zao ili tuu wapate kustriwa, Fanya hivo usingle utausikia..
5
7
27
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
3 months
@julip202 Mwaka wa 5 bado huwezi kumwambia mambo yako aisee.
0
1
28
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
Ajali ya moto imemchukua dada yangu๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”๐Ÿ’”.. Huu mwaka umekuwa mgumu kwenye famlia yangu..
13
10
28
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@millardayo Kupishana na mmefungia watu ndani kuna watu Wana presha hawapendi hekaheka mtawaua
0
3
26
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
Usiingie kwenye uhusiano wa kimapenzi kama hauna cha kumpa mtoto wa mtu... Mapenzi ni biashara.
4
7
26
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
4 months
Leo nazama dm ya mkaka.
16
6
26
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@julip202 Ongea nao kwa hekima sana ingawa ishakuwa tatzo tayari Kuna dhambi za uzinzi halafu Kuna laana ya uzinzi watoto wa kike ndio wa kuwaepusha ndgu zao kwenye janga hili.
1
0
26
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@julip202 Acha kuwaza kazi ya Mungu
3
0
26
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@IAMartin_ @SuluhuSamia Polisi anakukamata hakuoneshi kitambulisho, Hakupi nafasi ya kuwataarifu ndugu zako kwanini, Ukiwa kama mwananchi unatakiwa ufanye nini ukikmbana na hali hii, Hebu tupeni darasa huenda itasaidia watu kukamatwa kiholela.
3
1
25
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
3 months
Leo nimefika followers 100k ni furaha, Simba nao wameniongezea furaha ๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜๐Ÿ˜˜
8
3
23
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
Kupika chapati nacho kitu cha kushindwa?. Nasema na wewe binti wa kichaga.
3
4
23
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@JideJaydee Huwez kujua maumivu mpaka uzaliwe upya halafu ubebe mimba
5
0
23
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
1 month
Kuna account mbili za kuogopa ila cha ajabu mmeziweka karibu๐Ÿ˜‚, Sawa, Moja ya kike ya pili ya kiume๐Ÿ˜‚
4
4
23
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@ExMayorUbungo Kutotokea msibani ni maamuzi na sio tanga kwanza Wangeweza kwenda msibani na mabango na kuvalia mavazi yanayoashria kutokubali kilichotokea hakka wangetisha kinomanoma,
1
1
21
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
Poleni na kazi, Muwe na usiku mwema damu ya Yesu iwafunike nyote๐Ÿ™๐Ÿ™..
4
5
21
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
1 month
Sasa hivi rafiki yako akitaka kukupika anakufungulia account, Anakupika weeee kisha anakupigia anakupa pole, This is twitter ๐Ÿ’ฅ.
4
10
21
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
Namshauri nono afungue kesi.
9
4
21
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
Twitter (X) Ni ngumu sana kutumia kwa kipindi hiki..
5
8
22
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@IAMartin_ Watoto anao lakini kuguswa anaguswa sana ila mfumo haumruhusu kuonesha hisia.
3
0
22
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
Kujiuzulu ni njia nzur sana ya uwajibikaji..
3
6
21
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@julip202 Dk 40 heeee wewe Kaka tafta hela kumwaga ni sec moja๐Ÿ˜‚
1
0
22
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@julip202 Usimpe mlipie yaishe
2
0
20
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@TMnyama4_ Wewe hujielewi kukosa kwako hela kisitese watu buana, Halafu hiyo famlia ni wapole amini tuu Sasa hivi ungekuwa unachatia moi.
1
0
21
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
3
0
21
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
3 months
@julip202 Lakini kwann usingetumia hii anonymous kuomba mchongo na ukasema professional yako kidogo huwezi jua, Ila usikate tamaa.
1
0
21
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
1 month
Babu tale anavyoelezea issue ya kwenda kwa diddy anarembua ni kama anaisikilizia๐Ÿ˜‚.
3
8
20
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@millardayo Kadhaa wajeruhiwa vipi Millard wakati Kuna mtu kafariki?.
3
1
20
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
Hakikisha mwanamke wako hana rafiki wa kiume..
3
4
20
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@MariaSTsehai Watanzania wanakaribia kuamka
3
0
20
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@julip202 Kapime HIV, Pima ultrasound kujua umri wa mimba hako kamchezo unataka kumchezea nani
2
1
20
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@Siasazabongo202 @420Cousin @Aduiwayanga @FatumaCute @__abdulazack @mwanasheriaT Tangu tumetoa taarifa Mwenyekiti @freemanmbowetz atazungumza na umma kuhusu utekaji na kuwataja wahusika, kumekuwa na majaribio mengi ya kupoteza focus ya press. Waandishi wanazuiwa kufika HQ na watekaji wametengeneza vipeperushi vingi vya uongo. Tuwapuuze watekaji. Press IPO.
1
2
18
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@Advocatemuga Ndio uandike kingereza?. Ulifikiri hawataelewa lugha au
1
0
19
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
4 months
Mbunge ajue kusoma na kuandika, Halafu dereva wake awe amemaliza form four, Kuna vitu havielezeki.
0
4
19
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
Kijana wa kitanzania yupo radhi apate ajira ya muda ila sio kumwambia mwajiri wake ampe ajira ya kudumu, Maana mida wowote Elon anaweza kuondoka na account..
1
5
19
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@mohamedkasimu28 @Chahali Actually chadema haina mafanikio lakini chadema inawatu waliofanikiwa.
0
1
19
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
3 months
Usiku mwema damu ya Yesu izidi kuwalinda...
6
6
19
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
4 months
Wanaume wa dar ni wambea kuliko wanaume wambeya.
4
2
19
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
3 months
Endeleeni kushindana na mlipotokea nafikiri mmeona๐Ÿ’”, Kikubwa haki itendeke.
4
3
19
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
3 months
@julip202 Njoo dm au nenda dm kwa julip nitakutumia namba kupona uhakka
1
0
19
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
3 months
@julip202 Jana siulijibiwa?.. Na unaambiwa usikimbie mkopo mfuate yule jamaa akusaidie kulpa.
0
0
19
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
3 months
Kuna mkaka kaniita mwarabu nimeshtuka, Kanipooza eti huoni rangi hiyo?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚, Hapa ndio nikajua wanawake tunapenda kupambwa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
3
2
18
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
Bluetick imeenda mwezi mmoja wa blue ulikuwa mgumu mno, Sasa nianze kujiachia..
4
4
18
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@julip202 Nishakujua pole sana mama, Oga kula vizur msahau.
1
0
19
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
Usiku mwema Mungu akulinde na kila baya liliopangwa juu yako ameen..
3
6
16
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@Sativa255 @tanpol I'm following everyone
0
0
18
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
3 months
Hiyo pussy unanyonya, Unahakika anahela za kukutibu?.
10
3
17
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
1 month
Jitahidi kwenye comment mwanaume upunguze emoji za kicheko wataku Diddy.
4
4
18
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
1 month
Nimelia kwa furaha, Elewa nimelia kwa furaha, Nimelia kwa furaha jamani, My husband is back, Who is my husband, My husband is my phone, Ka infinix kalipotea nimekapata kumbe nilikasahau kwenye daladala ๐Ÿ™๐Ÿ™...
6
8
18
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
Hii tabia ya wanaume kutokupakaa mafuta miili yao, Inawafanya kujiamini.
1
7
18
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
3 months
Nipo hapa taifa najuta kwanini nilikuja....
4
4
18
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
3 months
Yule Pastor wenu wa kawe ana wanawake kama wote na amewajengea na amezaa nao, Na sinza hakauki halafu mnamuandama niffer.
5
0
16
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@julip202 Haliwezi kushika mimba?, Kwanini haliwezi?. Ongea naye akuruhusu utafte mtu uzae naye
1
0
17
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
3 months
Yanga inafungwa magoli 3....
8
4
17
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
1 month
Nahisi baridi kali,natetemeka,kichwa kinagonga kama kina nyundo, Machozi yanatoka yenyewe, Ninatapika,chakula hakipiti kabisa ๐Ÿ’‰๐Ÿ’‰, Nani anayejali zaidi ya babangu naye anaumwa๐Ÿ˜ญ.. Get well soon my self
7
6
17
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@millardayo Huyu aje tz Tz itabaki ukiwa
1
0
17
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
@Ugeniaconso Ugonjwa huu humpata mtu yule anayepush reli za kuumiza wananchi
5
0
16
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
3 months
Hii blue tiki hainipi amani,furaha hainipi upendo, Zaidi imeniongezea hofu kubwa ya kupoteza handle yangu najuta..
5
9
17
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
3 months
Kasuku company limited, Semeni ameen na roho zenu ,a kutu๐Ÿ˜‚..
9
4
17
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
Wadada acheni kuwa marafiki hii itapendeza mno.
4
8
17
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
If you can change your mind, You can change your life.
4
6
17
@esterka_su_ku
KASUKU ๐Ÿฆœ
2 months
Kwanini wapinzani east afica wanateseka?.
3
6
17