Lady JayDee Profile Banner
Lady JayDee Profile
Lady JayDee

@JideJaydee

859,009
Followers
77
Following
2,160
Media
29,504
Statuses

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2009
Don't wanna be here? Send us removal request.
@JideJaydee
Lady JayDee
2 years
43
Tweet media one
728
304
8K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Brown Skin Girl just turned 41
Tweet media one
1K
299
8K
@JideJaydee
Lady JayDee
6 months
Tangu Mwanzo
Tweet media one
399
192
6K
@JideJaydee
Lady JayDee
5 years
Kila mtu ana sababu kwanini anafanya kitu fulani. Nikiwa mdogo naenda kuomba 🎤 Club Billicanas walau nionekane , ni mtu ambae ameni inspire kuwa mjasiriamali . Nafsi itanisuta sana nisipo sema kitu . Mimi nimechanga wewe je ? Sina chama , sipendi siasa 🙏🏾
Tweet media one
553
697
6K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Corona si kitu cha aibu mtu akipata ifichwe, sio ugonjwa wa zinaa useme alieupata alizini kwahiyo iwe siri kumsitiri . Hii ni ya wote , kuweka wazi kunaweza hata kusaidia watu kuchukulia serious na kujilinda zaidi. Mtazamo tu si lazima niwe sahihi. #staysafe
511
557
5K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Ila mimi naimba jamani , Daah!! Yani najisikiliza hapa hata siamini kama huyu ni mimi na hii ni sauti yangu 😂😂😂😂😂😂. Basi watu mtanuna 🙄. Mlitakaje kwani ? Yes i said it 😐
781
183
5K
@JideJaydee
Lady JayDee
3 years
Ukifuatilia maisha ya watu Instagram na ukayatamani unaweza kuiba kumbe hakuna lolote. Sio kila anae post chakula kizuri au mitoko sehemu za maana huwa kalipia yeye mwenyewe. Inawezekana kidogo chako kina amani kuliko maigizo ya watu
402
501
5K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Dear son , God loves you 💕
Tweet media one
135
196
5K
@JideJaydee
Lady JayDee
5 years
Bibi mzaa Mama aliniita ~ Mogondo Bibi mzaa Baba akaniita ~ Wambura Baba na Mama wakasema ~ Judith @ProfessorJayTz akaniita ~Dada Mkuu Fans, Dunia na Matukio vikanipa majina kama Komando, Anaconda, Wallet. n.k Na leo ni siku yangu . 🙏🏾
Tweet media one
602
199
5K
@JideJaydee
Lady JayDee
2 years
Vyawa wangu #LoveSentence
Tweet media one
139
87
5K
@JideJaydee
Lady JayDee
1 month
Hii dhambi ya kuua watu hovyo inachochea chuki sana baina ya watu na watu. Hadi siku atakapouwawa ndugu au mtu wako wa karibu ndio utaujua uchungu wake. RIP kwa wote waliouwawa bila hatia. Hakuna anaestahili kufa kifo cha kinyama. 💔
178
988
5K
@JideJaydee
Lady JayDee
2 years
💙
Tweet media one
176
106
5K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Uki post uko beach na umevaa nguo za kuogelea watu wanahamaki. Hivi beach tunatakiwa tuvaeje ? Leo nita post. Potelea mbali na shauri zenu 😏😏. Nawaandaa kisaikolojia
714
105
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
5 years
Naomba kesho iwe afadhali ya leo. Maisha ni magumu sana asikwambie mtu. Na kitu nilishindwa ni kuwa puppet 😏😏😏. I’d rather die poor
337
387
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Huyu Uchebe nae ashikwe apigwe vizuri tu anyooke. Shenzi sana 😏
632
119
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Kuna mtu mmoja lazma nimsome Tweet zake ndio nilale. Ngoja niingie nimsomeeee kisha nilale. Usiku mwema, nawapenda wanaonipenda. Wasionipenda mtavuna mlichopanda. ❤️
472
106
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
7 months
🖤🤍
Tweet media one
217
109
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Yani mtu ufiwe na unyamaze usiseme?
403
247
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Nimeacha pombe 😐
704
91
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Kwani hii Ngao ya Uso si ime match na suruali , mbona kama mnataka kuanza kunicheka hivi? 😀😀
Tweet media one
334
102
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Nilipost hii TB Instagram watu walicheka sana, naamini walifurahi tu haikuwa kwa nia mbaya, mimi mwenyewe nilicheka. Tunapotoka, tunapokwenda, mabadiliko, na mafanikio zote ni hatua za maisha . #1998MsasaniBeachDarEsSalaam
Tweet media one
703
170
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Hivi bangi 🌿sio dawa kweli ? Nauliza tu , maana wanasema inatibu cancer pia . 🤔
778
131
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Mpaka wafike wangapi? Nauliza tu
679
219
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
2 years
Ilikua ni wakati mzuri kusherehekea Bday ya Rais Samia Suluhu Na ilikua ni heshima kubwa sana kwangu kula nae chakula cha jioni, kukata na kulishwa Cake nae, Na zaidi kukaa meza moja na kuzungumza nae. #Suluhu #AmaniNaUpendo #KaziIendelee #MamaYukoKazini
Tweet media one
140
113
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Ikumbukwe hata jambazi ana ndugu zake. Acheni kukashifu watu kisa wamempost fulani. Unaweza kunyamaza au kuendelea na biashara zako bila kuzuia wengine wasisikitikie wapendwa wao ambao ni ndugu , jamaa, marafiki au watu wao wa karibu . Je! Sauti inatosha? ,💞
347
204
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Tuwaheshimu wafanyakazi wa ndani ya nyumba sana . Leo nimesafisha na kupika nahisi mgongo unataka kuchomoka. Usirudi tu huko ukakuta chumvi imezidi ukaanza kugombeza watu hovyo. Kuwa na utu kazi ni ngumu 😐
277
215
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Watu wanaonea wivu hadi matatizo . Yani mtu ana wivu hadi anaona wivu kwanini tatizo linalokupata lisimpate yeye 😂😂.
236
130
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
1 year
💙
Tweet media one
77
96
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Poleni sana wasanii wa kike kwa yote mnayopitia, mnayoweza na msoweza kuyaongelea. Nasema tena poleni sana. Sio rahisi kama inavyodhaniwa au kuonekana, mngekuwa wawazi labda ingewasaidia, Mimi huwa naropoka tu liwalo na liwe. Love toka kwa Dada Mkuu ❤️✌🏾
189
167
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
#NewProfilePic Nisikie mtu anasema flat screen 🙄 mtanijua vizuri ☹️
Tweet media one
591
84
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Nina umbea mzito kifua kimejaa Ila saa 7 usiku huu nani ataona. Nijikaze kukuche 🙆🏻‍♀️🙆🏻‍♀️. Mdomo mdomo Jide
299
67
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
It shall be well son In the name of the Lord 🙏🏾💕 Goodnight 🌙 everyone. Peace ✌🏾 be upon you .
Tweet media one
136
148
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Ukiridhika na sh.100 yako , Laki ya mtu haiwezi kukuweka roho juu kamwe.
124
242
4K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Nenda tu YouTube type Wife kagoma katakuja . Enjoy mwaya
Tweet media one
125
94
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
5 years
Ukifunika moto moshi utakuumbua. Jioni njema
301
212
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Finally i'm home . Basi hapo mtanihesabia dhambi ila zenu hamtaziona. Mkimaliza kuhesabu dhambi zangu mniambie. Kumbukeni hata wachungaji wenu wanatumia kwa kujificha bora mimi. Cheers for my son @IdrisSultan welcome back. 💞
Tweet media one
238
117
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Sema Nkurunzinza nae alikua handsome ☺️.
431
66
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Ila haka ka picha ni karembo jamani 👌🏾. Uongo? #HomaYaDadaMkuu
Tweet media one
267
99
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Kuna watu huwa wako fasta kwenye nyimbo za matukio Ila kipindi hiki sijawaskia. Au nyimbo za chama zimekula nguvu yote 🤭. #MdomoKoma
232
114
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Ngoja kwanza nibadili profile pic tuonane vizuri. Raha ya vita uso kwa uso 😀
197
68
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
3 years
Tweet media one
127
118
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
3 years
Tweet media one
179
82
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Tweet media one
117
153
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Ni kitu gani ambacho hata upigwe huwezi kufanya?
961
72
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
3 years
Nimefurahia uteuzi wa Amos Makalla huwa ni mtu mwema sana kwa ninavyomfahamu. Hana roho ya kwanini.
114
122
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Nyie watu wa joined May 2020 leo ni siku ya Sabato naomba msinikwaze. Leo sitaki ku block mtu . Nawatakia Sabato njema na kama hupendi mambo yangu tafadhali usini follow . Sio vizuri kujikera nafsi makusudi bila sababu ya msingi. Peace ✌🏾 & Love 💕
304
78
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Sipendi watu ambao wanajifanya wanataka kupigana halafu hawasogeleani wanasubiri hadi watu wajae waingilie kati wawasukume sukume kuamulia. Mnatunyima uhondo, shikaneni kabla waamuzi hawajaja bana. Show gani hiyo ya kunyoosheana vidole na mikwara ? 😂😂😂😂
309
115
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Nataka ku follow mtu 1 wafike 50 kwa leo. Sijui nani ?
748
112
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Zamani mgeni akija nyumbani alikua anapewa album ya picha aangalie huku akisubiri soda iletwe kutoka dukani siku hizi wanapewa nini??
698
106
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Asanteni kwa comments nzuri kuhusiana na show ya jana Mlimani City. Tukutane tena palepale August sio Alsina #Miaka20YaLadyJayDee 🔥🔥🔥🔥🔥
116
87
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Mchana mwema wacha niendelee na mishe zangu . Hapa uki tweet chochote kuhusu hofu wanaibuka wasiojulikana kukushambulia. Basi ongeeni nyie mnaoruhusiwa 😏😏😏
259
121
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Nimemaliza kutengeneza wimbo wa blues nikabaki najiuliza hivi hata nani ataelewa kipindi hiki ? Nikabakia nacheka tu. Basi nita enjoy mwenyewe sio issue.
149
71
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Hii nazi mliovunja hapa kwangu mngekuna mkaleta tui kwenye plastic container ingenisaidia kuunga maharage. Ila hiki mlichofanya ni uharibifu wa chakula, sijapenda😏. Kaeni mkijua watu wana njaa na uhitaji. Next time muilete nzima niwafundishe matumizi yake.
290
163
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Watu msichukulie baadhi ya kazi ni za heshima na kuona mahangaiko ya wengine sio heshima. Kiheshimiwe kinachompa mtu mkate wa kila siku ilimradi sio kuvunja sheria.
175
239
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
5 years
Aliewahi kuniuliza kwa dharau ati , what’s your legacy ? Leo nimeishuhudia legacy yake kwa rangi tofauti kabisa 😂😂😂. Nilale kabla sijaharibu. Mdomo JayDee mdomo komaaaaa 🤐
229
90
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Tweet media one
161
62
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
2 years
Watu mnaonifahamu msiwe mnanipigia simu usiku mkiwa mmeshalewa baada ya kusikia nyimbo zangu huko mlipo ili watu waone mna ukaribu na mimi wakati you don’t even support my businesses wala shows hamji. Kuweni outsiders tu siwa appreciate wala nini #FakeAss 😏
343
196
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Katika kumbukumbu zangu sijawahi kumsaliti mtu . Mimi ni mtu loyal sana , nikiwa rafiki yako jivunie 😀. Good morning ☀️
333
89
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
We are fuc**d 🙆🏻‍♀️. Goodnight 💤🌙😴
410
133
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
3 years
Mzee Mpili sasa hivi utamkuta kwenye video ya msanii wa bongo flava 🙊🙊
184
100
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
5 years
Nimefarijika na comments nyingi nzuri juu ya performance yangu ya jana kwenye uzinduzi wa album ya Afro East ya kijana wetu @harmonize_tz . Nimefurahi pia kusikia mmeupenda wimbo wetu . Hongera nyingi kwa Harmonize, Muwe na jumapili njema 🙏🏾
125
108
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Hivi mwanamuziki huwezi kufanikiwa bila kutokea familia ya kimasikini? 🤔
437
68
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Today is jides' day, Tweet your celebration reaction With hashtags #Jideday #SikukuuYaDadaMkuu #JideAmplified #Miaka20YaLadyJaydee & tag @JideJaydee & @CloudsMediaLive
Tweet media one
199
234
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
2 years
Simply the best 👌🏾 @rapcha_tz Happy Sunday son 💙
Tweet media one
67
70
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Unani follow halafu unaniandikia "Huna maajabu" 😳 Nani alikwambia mimi ni mganga wa kienyeji au mwana mazingaombwe hadi niwe na maajabu? 🤷🏽‍♀️ Ila watu mnastaajabisha sana 😂😂😂😂
243
80
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Unatukana mamba unavuka mto , unamaliza kuvuka mto tu unakutana na Simba anakutafuna unakufa.
116
91
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Kabla ya kulala tumuombee kijana wetu mema. Na tumpe pole kwa yote “🎶 🎼 Idris ukujeeee online, tumeboeka Idris ukuje online tumeboeeka, ukuje tu chatiiii tumeboeka 🎶🎼 “ hako ka wimbo tulikua tunaimba maskini 😢 Gnite people, take care be safe 💕💕
Tweet media one
99
165
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
1 month
Ukiongea mnafiki, Ukikaa kimya mnafiki. Movement hazina nguvu sababu wanaodhani wamezianzisha wana haki zaidi. Kuna ubinafsi hadi kwenye matatizo? Mtu anataka akianza kuongea wengine wanyamaze? Hapa ndio tunapofeli. #Ubinafsi . Tukaneni mkipenda 😏😏
432
318
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
5 years
Kuna watu bado wanakutana bar kulewa wakidai maisha lazma yaendelee 🤦🏽‍♀️🤦🏽‍♀️ . Hivi ukinunua chupa zako ukanywea nyumbani hutolewa? Au bar napo ni kazini usipoenda hutokula? Mwenye masikio na asikie 👂🏽. Shauri zenu
373
198
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Sasa hivi nina hamu ya kuimba na Maunda Zorro 🤔. Naitamani ile sauti yake adimu.
193
81
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Boyfriend/Girlfriend wako wa kwanza unajua alipo? Je ! Mna mawasiliano?
590
91
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Za jioni walimwengu wenzangu?
267
45
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Salaam kutoka Pangani ❤️
Tweet media one
235
46
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
2020 nisikie mtu ananiita Binti Machozi ☹️. Bakoraaaaaa
389
63
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
2 years
Tweet media one
152
92
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Nichukue nafasi hii kuwashukuru wote mlionitumia salaam za siku ya kuzaliwa na kunitakia kheri. Nami natuma salaam za upendo kwenu nyote. Nilifurahi sana. Sitatoa wimbo mpya karibuni ila mtapata kuniona kwenye nyimbo nyingi za kushirikishwa hivi punde #News
107
64
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Nimeambiwa nianze ku tweet kizungu ili niwe international. Leo naanza ila nikikwama nitakua nampigia @Wakazi 🙈🙈
135
63
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Leoooooooo nataka nitoke na mpenzi wangu Seaaaaaaaaa. Ujue Sea nakupendaga sana aaaah 😀😀
243
57
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Wimbo wa Elton John nani mwingine alikua anasikia neno Sacrifice tuuu bila kuelewa mengine ? Sijui nini nini sakrifaaa sakrifaa sakrifaaa eeh oooh 😀😀.
306
87
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Halafu soon nitafanya kitu kingine cha kuwaudhi zaidi ili nikamilishe vizuri maudhi yenu . Mtukane hadi muogelee kisha muone kama kuna litakalobadilika 🙄. Kaeni tayari
181
93
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Sijui nianzishe kanisa ? 🤔
401
66
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
2 years
Happy birthday brother @freemanmbowetz , more life, more strength, more happiness. Sending you lots of love today.
Tweet media one
42
233
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Shikamooooooni wote mnaoamka kila siku asubuhi kwenda makazini. ✊🏾
185
65
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Thank you for watching the show. ❤️
139
74
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
5 years
3 Kubwa
Tweet media one
161
115
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
5 years
Yatapita
Tweet media one
78
117
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Hivi mnahisi baridi kama mimi au naumwa ?
406
45
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Nilichagua kuwa sitaki maisha ya picha bali maisha ya uhalisia kama Dagaa Dagaa kama Kuku Kuku. Kama sina sina , ila sielewi kwanini nikiishi maisha yangu watu mnaniuliza , hata wewe ? Kwani mi nani kwa mawazo yenu? Msinibadili tafadhali . I am who i am 🙏🏾
117
121
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
2 years
💪🏾
Tweet media one
93
103
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Nimekuja porini kujihifadhi kwa muda 😀
Tweet media one
311
63
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
3 years
❤️
Tweet media one
66
328
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
5 years
Tweet media one
281
66
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Leo nimeogopa ku post dinner kwasababu watu wanachukua sahani yangu wanaweka kwao, hivyo nimeamua tulale wote njaa 😂😂😂😂Wazee wa copy & paste leo tunatingisha 🤪
259
63
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Hadi hapo @OKumwembe atakaponunua simu yake. Kwasasa bado huwa anaazima ya kwangu kupigia picha. Ila mimi nina roho nzuri basi tu huwa hawanielewi 😀
Tweet media one
144
55
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Watu wa Kimara msiniangushe katika kufanya maamuzi sahihi Kwa upendo na amani 28 October 2020. Tukapige kura 🙏🏾🇹🇿.
144
242
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Nijaalieni hali zenu asubuhi hii , je! Mmesalimika?
262
57
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Kuna lolote ? Au nilale zangu tu ? 😊
440
48
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Shetani anapoondoka neema ya Mungu hutawala. Kiuweli nimeiona neema ya Mungu kwa kipindi kifupi sana na sina budi kutoa ushuhuda. Nitatengeneza documentary kushuhudia ukuu wake.
132
105
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Hatuwezi kuacha kula kwaajili ya mambo madogo madogo
Tweet media one
254
84
3K
@JideJaydee
Lady JayDee
4 years
Nimepokea ujumbe ulioandikwa " I am LADY to die for you" naombeni tafasiri nimekwama
274
46
3K