Kipimo cha Amani Duniani, Global Peace Index (GPI) kimetaja nchi 10 zenye amani zaidi mwaka 2022, Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Nchi hizo ni;
1. Senegal, alama 70
2. Namibia, alama 68
3. Malawi, alama 65
4. Guinea ya Ikweta, alama 59
5. Zambia, alama 56