Jokate Mwegelo Profile Banner
Jokate Mwegelo Profile
Jokate Mwegelo

@jokateM

1,199,086
Followers
1,396
Following
4,097
Media
45,423
Statuses

Visionary | Leader | Former District Commissioner - UR Tanzania, Presidentโ€™s Office | Secretary General Youth Wing @ccm_tanzania member of @clubdemadrid

Tanzania
Joined October 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@jokateM
Jokate Mwegelo
2 years
Mama Totoo ๐Ÿฅฐ Glory to God ๐Ÿ™Œ๐Ÿฝ
Tweet media one
2K
1K
26K
@jokateM
Jokate Mwegelo
3 years
Happy Birthday Jokate Urban Mwegelo ๐Ÿ’•
Tweet media one
730
249
7K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
๐Ÿ’›๐Ÿ’š
Tweet media one
307
269
7K
@jokateM
Jokate Mwegelo
10 months
Another one. Glory to God. JUM ๐Ÿฅณ
Tweet media one
322
286
6K
@jokateM
Jokate Mwegelo
3 years
#TemekeTukutaneSokoni ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tweet media one
406
185
6K
@jokateM
Jokate Mwegelo
3 years
Kidumu Chama ๐Ÿ’š๐Ÿ’š๐Ÿ’š
Tweet media one
600
167
6K
@jokateM
Jokate Mwegelo
3 years
Kwa unyenyekevu mkubwa namshukuru sana Mwenyezi Mungu kwa kuendelea kutupatia sote zawadi ya uhai. Namshukuru Mhe Rais @SuluhuSamia kwa kuendelea kuniamini na kunipa dhamana ya uongozi. Kisarawe nawashukuru sana mmenilea, mmenijenga. Mtabaki moyoni mwangu! HODI HODI Temeke ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tweet media one
833
379
6K
@jokateM
Jokate Mwegelo
3 years
๐Ÿ˜๐Ÿคœ๐Ÿฝ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Nimetumiwa sana hii bajaji. Mwenye hii bajaji namtafuta, aje ofisini tufahamiane!!!! Ana zawadi yake ๐Ÿ˜€
Tweet media one
454
267
6K
@jokateM
Jokate Mwegelo
4 years
Nilipoteuliwa wapo walibeza na wengine kujaribu kunivua utu wangu. Niliwaelewa lakini. Pwani wanasema Aso Mtu Ana Mungu. Namshukuru Mungu wangu kwa kunitetea. Mhe Waziri Jafo kamuelekeza DED kuisajili hii shule ya kihistoria Kisarawe na iitwe Jokate Mwegelo Girls Secondary School
1K
492
6K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
ForoForo. Korogwe.
Tweet media one
283
239
6K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Ijumaa Kareem.
Tweet media one
461
121
5K
@jokateM
Jokate Mwegelo
3 years
20.03 โค๏ธ๐Ÿค
Tweet media one
482
142
5K
@jokateM
Jokate Mwegelo
3 years
Ndio kwanza kumekucha ๐ŸŒž
Tweet media one
482
122
5K
@jokateM
Jokate Mwegelo
2 years
Niediiiiiii Kooogwe Muendeeaa Zeze? Niitamiwe Sana Kuiza Aha Leo.... Kangi Hata Inyi Muitamilwe Eeehh? โ˜บ๏ธ Asante Mheshimiwa Rais Dkt @SuluhuSamia Kazi Iendelee Korogwe ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tweet media one
332
179
5K
@jokateM
Jokate Mwegelo
2 years
TMK.
Tweet media one
315
156
5K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
๐Ÿ’ฏ
Tweet media one
155
128
5K
@jokateM
Jokate Mwegelo
2 years
Eid Mubarak ๐Ÿค๐Ÿค๐Ÿค
Tweet media one
388
145
5K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Wakati mwingine baiskeli inafaa kwenda ofisini kama sehemu ya kuchagamsha mwili.
Tweet media one
566
198
5K
@jokateM
Jokate Mwegelo
3 years
Last night, Tanzania Music Awards 2021 ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tweet media one
314
100
4K
@jokateM
Jokate Mwegelo
3 years
Friday mood ๐Ÿ˜„
Tweet media one
348
116
4K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
JUM ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tweet media one
195
183
4K
@jokateM
Jokate Mwegelo
2 years
โ„ข๏ธ
Tweet media one
231
122
4K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
Ikawe wiki ya baraka tele kwenu โ™ฅ๏ธ
Tweet media one
211
200
4K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
God is with me!!! Psalm 124
Tweet media one
179
144
4K
@jokateM
Jokate Mwegelo
4 years
Moja kati ya majengo 15 ya shule tuliyoyajenga kati ya mwezi wa kumi na moja mwaka jana na sasa. Pamoja na changamoto kubwa ya mvua. Tumefanikiwa. Majengo yote yana marumaru/tiles na madirisha ya aluminium na ubora umezingatiwa. Tumeweka na vimbweta ๐Ÿ˜Š #TokomezaZeroKisarawe
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
687
314
4K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
God-made NOT Self-made ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Tweet media one
222
213
4K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
Bungu ๐Ÿ…
Tweet media one
129
90
4K
@jokateM
Jokate Mwegelo
3 years
๐Ÿ’š
Tweet media one
319
120
4K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
Asante kwa kunipokea na hongera kwa kutumia michango vyema. Hujakimbia na michango ๐Ÿ˜…. Hakika ulistahili kupata support ndani ya muda mfupi tumeona matokea chanya. Hongera mno.
@kalage_jr
John kalage ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Nimepata bahati ya kutembelewa ofisini kwangu na Mheshimiwa @jokateM Tumezungumza machache zaidi nashukuru Sana kwa ukarimu wako umenihamasisha kujituma zaidi. Mungu akubariki Sana kwa kujali, Kuthamini na kutumia wakati wako kwajili yangu. Karibu Tena Mhe hapa ni kwako ๐Ÿ˜…๐Ÿ™
Tweet media one
715
1K
7K
132
348
4K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
Opportunities don't happen, you create them โค๏ธ
Tweet media one
204
147
4K
@jokateM
Jokate Mwegelo
2 years
Nimefurahi sana kupata surprise ya kutembelewa na masista kutoka Sisters of Mary Secondary School (Girls Town) Makurunge na kupokea zawadi zilizoandaliwa na wanafunzi wa kike wa shule hiyo.
Tweet media one
148
63
4K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Hata kizibo ni mfuniko lakini hauwezi kufunika sufuria.
Tweet media one
349
126
4K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
Nitumie nafasi hii kuishukuru Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM chini ya Mwenyekiti wake na Rais wetu Mpendwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuniteua kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania ngazi ya Taifa. Ni heshima kubwa kuona Chama changu kikiendelea
Tweet media one
374
313
4K
@jokateM
Jokate Mwegelo
6 years
20.03 โค๏ธ๐Ÿ‘ธ๐Ÿฝโค๏ธ Namshukuru Mungu Kwa Kuweza Kuona Mwaka Mwingine Kwenye Maisha Yangu. Lakini Zaidi Namshukuru Kwa Kunipatia Watu Wanaonipenda na Kuniombea Kila Siku Na Kunisaidia Kufikia Ndoto Zangu. Happy Birthday Jokate Urban Mwegelo ๐Ÿฅฐ
Tweet media one
603
178
4K
@jokateM
Jokate Mwegelo
6 years
Unyenyekevu, busara na hekima nijalie eh Mungu Wangu. ๐Ÿ™๐Ÿฝ
559
332
4K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Inaweza ukawa una nguvu ya kufanya jambo fulani lakini haimaanisha utumie nguvu uliyonao kulifanya. Ndio maana tuombe Mungu tutanguliwe zaidi na busara na hekima katika maamuzi kukwepa kuumiza watu bila sababu za msingi. Ijumaa Kareem!!
493
432
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Kihindi Kideke!!!
Tweet media one
303
76
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 months
Jum.
Tweet media one
265
145
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
2 years
Tayari nimehesabiwa. Nawewe kama umehesabiwa tujuane ๐Ÿ˜
Tweet media one
456
112
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
JUM
Tweet media one
158
110
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
4 years
#TBT F4 nilipata B-Physics A-Biology A-Chemisrty na kupelekea kuchaguliwa F5 Msalato kusoma mchepuo wa PCB. Nilibadili maamuzi na kusoma Arts- L.H.S. Ilikuwa Big Deal kwangu mtihani wa Mock/Mkoa kushika nafasi ya Pili Kimkoa kwenye Kiingereza na kutokea kwenye Gazeti la shule ๐Ÿ˜†
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
421
160
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
6 years
Ujumbe wangu kwa Piere kwenye ukurasa wangu wa Instagram. Nashukuru wote. Kwangu wote waliochangia na kuhamasisha ni wa thamani. #TokomezaZeroKisarawe
Tweet media one
427
373
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Happy New Year ๐Ÿ’– #2020 ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ’ฅโ˜„๏ธ๐ŸŒช๐Ÿ’ซ
Tweet media one
232
91
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
JUM.
Tweet media one
120
141
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
9 months
Mama Fionna ๐Ÿ’• Wandugu tumekubaliana vipi #Kidoti kiko kulia au kushoto?
Tweet media one
350
162
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
No retreat. No surrender!!!
Tweet media one
227
91
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Unapoinuka, inua na wenzako kiroho safi ili ukiteleza wawepo wa kukushika. Maisha ni mtihani na dunia mzunguko leo kwangu, kesho kwako.
341
440
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
3 years
Kheri Ya Mwaka Mpya Ndugu Zangu. Naendelea kuwaombea Mwenyezi Mungu Awabariki Mpaka Mshangae. Jitamkie Baraka Za Kutosha 2022!!! Siunajua maneno huumba ๐Ÿ˜Š Zaburi 128:5 ๐Ÿฆ‹
Tweet media one
320
133
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
Zombie sikutaji humu
194
129
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
2 years
Rose Mhando ๐Ÿ˜
Tweet media one
Tweet media two
116
70
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
โค๏ธโค๏ธโค๏ธ @officielsalome
Tweet media one
48
90
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
3 years
Will you be crippled by adversity or will you emerge?!
Tweet media one
237
89
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
2 years
Kamwe usidharau mkono ukakipa hadhi kijiko. Mkono ni mkono tu, vijiko vinauzwa!! Kheri ya 8/8 ๐Ÿ˜
Tweet media one
206
164
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
3 years
Jana, Chamazi- Mbagala ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tweet media one
230
65
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
I would love to be remembered as a leader who led from the heart and not only from the head. Guided by values. Placing the needs of others before my own. Going beyond my call of duty, listening to the people I lead, connecting with them, making them feel special. Uplifting them.
Tweet media one
273
208
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Shukrani Wasusi wa Kisarawe. Nywele za Uzi.
Tweet media one
265
77
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Linda moyo wako kuliko yote uyalindayo maana ndiko zitokako chemchemi za uzima. Mithali 4:23
Tweet media one
236
151
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
Wakina Mama Na Akina Dada wa Korogwe nisingeweza kuwaaga hivi hivi. Baada Ya kukabidhi ofisi kwa DC mpya wa Korogwe Kaka yangu Mwakilema asubuhi ya leo, pamoja na wenzangu wa Coca-Cola tutagawa vifaa vya kuwawezesha mama lishe wetu wa hapa Korogwe wafanye shughuli zao kwenye
Tweet media one
Tweet media two
256
296
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
6 years
Katika vitu ambavyo napenda siku hizi nikipata nafasi ni pamoja na kutembea kutoka nyumbani ninakokaa Kisarawe kwenda ofisini. ๐Ÿ˜Š
Tweet media one
312
150
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Wasalaam.
Tweet media one
243
100
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
Soko la Jumamosi Kwashemshi. In Tanzania as in many other parts of Africa, we eat fresh.
Tweet media one
118
96
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Binadamu Utawatambua kwa Matendo Yao!! Mti mzuri huzaa matunda mazuri.
Tweet media one
272
118
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
Bado Tupo Kwashemshi
Tweet media one
90
71
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
10 months
Mungu witu twaboha
Tweet media one
172
96
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
JUM
Tweet media one
131
114
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
Jitihada haiwezi kushinda kudra za Mungu. Tumshukuru Mungu kwa kila jambo.
Tweet media one
156
82
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Nawatakia wiki yenye furaha tele. Amina!!!
Tweet media one
246
100
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
10 months
JUM
Tweet media one
119
111
3K
@jokateM
Jokate Mwegelo
2 years
JUM ๐Ÿ’• Mungu hutenda kwa wakati wake.
Tweet media one
347
120
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Wa Ukae โœŠ๐Ÿฝ
Tweet media one
150
63
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
4 years
Sunsets at Ubungo Interchange. Beautiful Tanzania.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
144
250
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
Asante Mufti Mkuu tunakmilisha 30, tukutane kesho kazini. InshaAllah
Tweet media one
112
38
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
6 years
Katika kuadhimisha Siku ya Mwanamke Duniani naungana na Wanawake wenzangu duniani kote kuadhimisha Siku hii Adhimu kwa Mwanamke. Kitaifa kauli mbiu ya mwaka huu ni โ€˜Badili Fikra Kufikia Usawa wa Kijinsia kwa Maendeleo Endelevuโ€™.
Tweet media one
302
185
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
2 years
Siku yako leo mkali wa hizi kazi, kijana mdogo wa Kitanzania akili nyingi- FFN. Hongera Vunja Bei Sports- VS uzi umetulia sana ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ‘๐Ÿฝ๐Ÿ‘๐Ÿฝ๐Ÿ‘๐Ÿฝ๐Ÿ‘๐Ÿฝ @fredvunjabei @bvrbvra
Tweet media one
178
113
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
4 years
Kwa waliosoma Minaki mtafurahi kujua serikali yenu ya Awamu ya Tano imefanya ukarabati mkubwa na huu ndio muonekano mpya. Nampongeza mkuu wa shule Bw. Chungu kusimamia viwango, tiles na madirisha ya aluminium na kuweka shower sets bafuni. Tayari tumefikisha maji ya DAWASA shuleni
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
256
153
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Kijiji cha Kisanga.
Tweet media one
128
37
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
4 years
Hii ndio nyumba ya Mwalimu Mkuu. M/Mkuu atakuwa mwana-mama, na tayari jana Mhe Jafo kamteua mwalimu kutoka Kibuta kuja kusimamia hii shule, ni Dada hodari kwelikweli. Nyumba ni self-contained, vyumba vitatu na master bedroom ina choo/bafu la kujitegemea, na jiko lina ka-balcony.
Tweet media one
241
116
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Usinune/Kususa ukishushwa cheo-kufukuzwa. Na usijikweze ukipewa Nafasi. Cheo/Uongozi ni dhamana hivyo huwezi kuona wewe ni bora sana au unastahili zaidi kuliko mwingine ni nafasi tu zinatoka na kuondoka kwa kudra na majaaliwa yake Mwenyezi Mungu mwenye kujua hesabu zetu duniani
259
187
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
6 years
Nawatakia wiki njema yenye baraka tele. ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Tweet media one
214
57
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
UWT ๐Ÿค—
Tweet media one
76
85
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Mwenyezi Mungu anachukia dhambi. Mwenyezi Mungu hamchukii mwenye dhambi. ๐Ÿ™‚
200
168
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Tuendelee kumshukuru Mungu kwa kila jambo ndugu zangu ๐Ÿ™๐Ÿฝ
Tweet media one
194
77
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Dj Ikulu huu wimbo kwenye background hauwezi kushindana wa Goodluck Gosbert. Issa Tune!!!!
141
100
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 months
Na kaka zangu kwenye safari ya uongozi.
Tweet media one
62
56
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
Weeh zombiee
205
104
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
#OPSamiaKorogwe ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tweet media one
Tweet media two
99
80
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
11 months
UWT chini ya Mwenyekiti wetu Mary Pius Chatanda tumeona muelekeo wa hii kesi haujawa na haki hivyo kama tulivyojipambanua kuwa kimbilio la wanawake wote nchini na wasimamizi wakuu wa agenda za wanawake nchini tumedhamiria kuona haki inatendeka kwa Maria kupata wasimamizi sahihi
Tweet media one
468
178
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
8 months
Tunamshukuru Mungu TUMESHINDA HII KESI. Kuanzia leo Mama Maria yuko huru!!!
@jokateM
Jokate Mwegelo
11 months
UWT chini ya Mwenyekiti wetu Mary Pius Chatanda tumeona muelekeo wa hii kesi haujawa na haki hivyo kama tulivyojipambanua kuwa kimbilio la wanawake wote nchini na wasimamizi wakuu wa agenda za wanawake nchini tumedhamiria kuona haki inatendeka kwa Maria kupata wasimamizi sahihi
Tweet media one
468
178
2K
471
230
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
1 year
Nimemaliza leo ahadi yangu yote kwa ndugu yetu Kalage. Kwa dhati ya moyo wangu nakutakia mafanikio makubwa. Sikujui ila naaamini ni Mungu ametugusa kukuunga mkono. Wanasema kutoa ni moyo na sio utajiri. Wengi wanauliza kwanini nimesaidia. Jibu ni rahisi; ni kwasababu namimi
@kalage_jr
John kalage ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Napenda kutoa shukran zangu za dhati kwa Mh @jokateM kwa kuzingatia ombi langu ameniahidi anatanguliza Moja leo nyingine inafuata. Ahsante Sana Mh Jokate kwa kujali, we are going to take Kalage Perfumes to the next level. โค๏ธ
Tweet media one
402
484
3K
319
339
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Hashtag God Over Everything!!
Tweet media one
108
61
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
4 years
Ni faraja kubwa kuona namna sisi Viongozi tunavyoshirikiana na Jamii kufanya mageuzi makubwa na kujiletea Maendeleo endelevu. Jamii yenye furaha inajenga Taifa stahimilivu na lenye nguvu. Also; #GirlsJustWantToHaveFun ๐Ÿ™‚
Tweet media one
128
82
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Leo nimepokea madawati 20 yenye viwango vya juu kutoka kwa Pierre Liquidi chini ya kampuni ya Afro Furnishers and Hardware. Kwenye Harambee yetu ya tarehe 30/03/2019 aliahidi kutoa laki moja lakini leo amekuja na madawati 20 yenye thamani ya zaidi ya tsh laki moja.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
182
209
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Mandhari ya shule yetu ya Msingi Marui Mipera tuliyoizundua wiki iliyopita madarasa Mapya Mawili na ukarabati wa Madarasa Matatu. Kisarawe Kunogile.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
183
94
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
2 years
Helasita Secondary, Mtoni Kijichi.
Tweet media one
139
54
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Leo jioni nimefika kijiji cha Chole kiko kilometa 89 kutoka Kisarawe mjini na hawa vijana waendesha bodaboda wakaomba niongee nao. Walichonifurahisha wamekubali wako tayari kufanya pia shughuli za kilimo na wanahitaji mafunzo wapate taarifa sahihi ili wafanye kilimo cha kisasa.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
180
96
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Naomba Mungu aendelee kututumia sisi viongozi na watumishi wake kuweza kugusa na kubadilisha maisha ya watu wengi zaidi. Tujitoe zaidi kuliko kufikiria maslahi yetu binafsi. Hatimaye ahadi tuliyotoa kwa mama wa mapacha waliotenganishwa Muhimbili imetimia.
Tweet media one
232
117
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
3 years
Siku ya Leo nimekuwa sehemu ya Watanzania waliopata Chanjo ya kupambana na UVIKO-19. Mhe. Rais @SuluhuSamia ametuongoza. Chanjo ni jambo la Hiari. UVIKO-19 ni tishio kwetu na kwa Maendeleo ya nchi kwa ujumla. Tuendelee kupokea kila lililo jema kwa Maendeleo ya Taifa letu. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tweet media one
339
149
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Hearing old school bongo flava makes me happy ๐Ÿ”ฅ
91
68
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
What blue Monday? Wishing you all a blessed week!!!
Tweet media one
115
62
2K
@jokateM
Jokate Mwegelo
5 years
Muonekano Mpya Wa Shule Ya Msingi Masanganya.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
177
122
2K