POWER MABULAH Profile Banner
POWER MABULAH Profile
POWER MABULAH

@IamNchaKALIH

205,157
Followers
1,310
Following
6,570
Media
123,795
Statuses

I have NO special TALENTS za kuzaliwa nazo ila I am, bila shaka, PASSIONATELY CURIOUS!!!

ÜT: -6.7911321,39.2655404
Joined June 2009
Don't wanna be here? Send us removal request.
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
CHRIS BROWN is a once in a lifetime talent! The Man is something else!
10
197
907
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
4 years
Uliondoka kwenu ukiwa na umri gani? Uliondoka kwa hiari au ulitimuliwa?
112
17
616
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
Wadogo zangu wa kiume , najua ni muda wenu maana umri unaruhusu, ila Kama kaka yenu nawaomba mpunguze “kuthaminisha” wasichana kwenye TL kanakwamba mnatangaza toleo jipya la simu au sneaker! Japo wanakaa kimya, HAIPENDEZI!!
40
139
542
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
Jina la BOCCO linahitaji kupamba moja ya barabara za hapa jijini Dar es Salaam. WHAT A MAN! WHAT A TEAM! WHAT A GAME!! WHAT A PERFORMANCE!!!!!!
19
49
530
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
2 years
WHOZU #Fiesta2022 KOMANDO WA BURUDANI YA AINA YAKE KIPANDE CHA SWAX
Tweet media one
Tweet media two
7
7
503
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
DEO SPRAY BY @MwanaFA SHOE LINE by @VanessaMdee HAND CREAM by @FlavianaMatata STAND UP SHOW in SA by @IdrisSultan WHAT A WAY TO CLOSE THE YEAR. Mungu Ibariki Tanzania Mungu wabariki watafutaji wa Kitanzania👊🏿
11
79
467
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
Ghafla kuna baadhi ya TOT wanaotaka kuwanyanyasa TOT LADIES ambao walihudhuria TOT BONANZA kwa kuwasema muonekano wao and what not?? PLEASE tusimuangushe KAVISHE!! The man amefanya kitu cha msingi Kweli na sidhani that was one of his goals!! All in all, WHAT A PLATFORM!!👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
13
89
462
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
I have never cried this much.... it have never hurt this much. Rest easy Boss! You guided a lost 26 year old boy to the man I am today!!
22
49
465
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
4 years
Kwa wote ambao mliondoka home mapema...BIG UP! Kwa wote ambao mliondoka home, life likabana, ukarudi home...BIG UP! Kwa wote ambao mliingia kitaa, mkafeli, mkarudi home, mkaweka mambo sawa na mmerudi tena kitaani...BIG UP! Kwa wote ambao bado mko home mnaskilizia..BIG UP! bless!
7
69
422
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
Umetugusa. Umetuongoza. Umetusukuma. Umetupa moyo. Umeturekebisha. Umetuacha tukajitafutie. Umetuachia Dira. UMETIMIZA ULICHO UMBIWA! Tunakulilia, Tunakuombea! Pumzika kwa Amani BOSS RUGE!
7
49
417
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
Wachina bwana duh! Nimeskia Eti Mikopo yao ikitushinda kulipa sie wana EAC, wanaomba watumie ziwa victoria kwa miaka 200na halafu watatufutia mikopo yote?! Mungu Baba sie Waafrika tulikosea wapi aiseee? 😫😰😪😭😱
51
78
402
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
Mambo sio Mengi na wala muda sio mchache....WEWE TU! MAMBO ni yale yale...chagua cha kuzingatia MUDA ni ule ule....chagua jinsi ya kuutumia.
25
66
406
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
3 years
Ukija kwangu na wazo la show au maudhui fulani ya Tv au Redio, USIANZE KUKANDIA VYOMBO VINGINE VYA HABARI!! Wewe uza wazo lako na utofauti wake, BLAH BLAH za MEDIA ZINGINE isiwe sehemu ya PITCH YAKO!
21
20
377
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
Waliofanya mradi wa MABASI YA MWENDO KASI nao walihisi kwamba jamaa wa mazingira ni SPEED GOVERNORS...mwisho wa siku kila msimu wa mvua unapowadia tunajifanya hatujui ni kwa nini Karakana yao inajaa maji 😔🤔🤦🏾‍♂️
11
46
365
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
4 years
👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿
Tweet media one
16
32
359
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 months
EEH MUUMBA, MPOKEE NA MPUMZISHE KWA AMANI NAHODHA WA MUDA WOTE WA MJENGONI, GARDNER WA HABASH!!
Tweet media one
15
31
361
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
“King Zillah King Zillah Zillah ni Balaa! Everybody knows Zillah ni Balaa...Kwenye Game yeye ni BIG CHANGE!!” R.I.P King wa Salasala
6
30
349
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
Dear HOST WA SHOW ZA VIJANA, VIJANA wenzako hawatamani UMBEA kiasi hicho unachofikiria. Watamani mbinu za kujikomoa kutoka umaskini ili wasaidie familia zao. Acha kuwapotezea muda wao maana ni dhambi kubwa sana. Wako katika ujenzi wa Taifa, MZZZZZZZZZZZZEEEEEEEEIYAH 👊🏿
23
104
337
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
3 years
In another TL, another life…….I am WAKAZI!!
11
8
337
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
4 years
YOUNG AFRICANS....
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
11
71
326
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
7 years
Haiwezekani show inaingiza 500M kwa mwezi halafu mshahara wa wote wanaohusika na hicho kipindi haufiki hata 10% ya wanachoingiza 😭😭😭😭😭
38
30
332
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
3 years
Dear MNYAMA @SimbaSCTanzania KAZI MLIOTUTUMA TUMEIKAMILISHA! Asante sana kwa kutuaminia! Wako katika ujenzi wa CHAMA LA MASHABIKI WA MNYAMA, @CloudsMediaLive !! PS: Karibu tena maana najua huu mwaka na mwaka ujao MNA SAFARI NYINGI SANA ZA KIMATAIFA!!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
26
325
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
8 years
"I'm at that point that i've got nothing to prove, the only thing that's left to do is improve!" @MI_Abaga
10
69
303
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
Mpangilio wa vipindi vya tz na radio zetu unahitaji “kuvurugwa” kimtindo ili kuzaa kitu kipya!
26
34
305
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
MBAGALA KAMA VILLA PARK!! @CloudsMediaLive na @dstvtz tumefanya yetu kumleta @Samagoal77_ karibu zaidi na watu wake kutoka aliko anzia mpira hadi kufika @AVFCOfficial 🔥🔥🔥🔥🔥👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿 #2020HatunaDogo
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
29
303
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
2 years
PHINA NA BADDEST 47 again #Fiesta2022 SWAX
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
5
303
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
Technology making governance easier 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿 S/O @jokateM for the pic 😬
Tweet media one
14
48
301
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
3 years
Bye bye OkTOBOA!! Karibu NowVIMBA!! 🙏🙏
Tweet media one
21
15
299
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
Unaweza ukajitahidi na kupanga mambo yako halafu Dunia ikakushangaza ndani ya sekunde 2,3 na kukutoa kwenye reli kabisa! Cha msingi ni kushukuru kwa yote!
5
32
287
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
Mwanangu mmoja wa pande za kwa madiba kaamua kumtoa mwanae mwenye umri wa miaka 7 kwenye mfumo rasmi wa shule na kumfanyia HOME SCHOOLING. Kitendo Cha kwanza alichofanya baadae ni kumuandikisha mwanae katika Darasa la Coding kwa ajili ya kumuandaa for the future.
21
69
285
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
2 years
YANGA WANATOA DARASA HUKO!! A FREE CLASS ON HOW TO CELEBRATE A CHAMPIONSHIP!!
4
20
278
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
2 years
Kuna moja nilipigiwa simu na mtoto ambae nilikuaga namuelewa ila alinitolea nje mara kibao! That day kanialika Maisha Club VIP na mimi nikaibuka! Baada ya chupa kadhaa za Black Ice, kaniomba kutumia my phone…Shortie kampigia Her Man, kaomba msamaha sana and jamaa akaja kumchukua
@MarekaMalili
Lubasha Jr
2 years
Umewahi kupigwa tukio gani kwenye mapenzi na huwezi kusahau mpaka leo? Mie niliporwa mtoto wa Kinyarwanda bwana, chest pains 🤣🤣.
347
213
2K
74
17
286
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
Tumemaliza hili swala la mifuko ya plastiki..... sasa tuhamie kwenye MATUMIZI ya NYANYA CHUNGU kwenye mapishi!!
44
26
268
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
In 2019, kukutana kwetu kuwe na lengo moja tu, KUINUANA KIUCHUMI & KIMAWAZO. . . . Nje ya hapo, issa NO! 👊🏿🤓
11
50
258
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
Tushukuru kwa kuiona siku nyingine. Nakuombea upate mahitaji yako yote. Bless your and yours and have a memorable day!
6
25
257
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
4 years
Vaa barakoa! Nawa mikono kwa sabuni na maji tiririka....Tuwasaidie wenye PRE EXISTING CONDITIONS na WAZEE WETU wasiangamie na CHANGAMOTO YA KUPUMUA 😔
1
42
262
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
7 years
Jux....Rama Dee....Chege Wametoa pini kali sana Zinastahili attention kubwa kuliko zinazopata 🤓
26
28
259
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
4 years
Sababu tosha za KUPAMBANIA KOMBE daily ndani ya hii #JamhuriYaWapambanaji !! #Naiaminia255 ya sasa, ya kesho na ya siku zijazo kwa sababu najua wao wanastahili vizuri zaidi ya nilivyopata mimi!
Tweet media one
8
13
261
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
BARUAN MUHUZA yuko vizuri sana sana sana. Anajua sana jinsi ya kufanya mahojiano!
13
17
251
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
Huyo dogo wa miaka 16 ambae anataka kuchezea timu ya taifa kwa sasa ana MANAGER, KOCHA WA STRENGTH AND CONDITIONING, NUTRITIONIST, BIO MECHANICS SPECIALIST NA COUNSELLOR!! Wote hawa kwa budget ya wazazi wake!
6
7
243
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
3 years
KUMEKUCHA!!! NECHA na CHEGE KAMA ZAMANI!! Tune in @CloudsMediaLive NOW!!
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
9
233
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
4 years
Naskia kama una mpunga reserve huu ndio muda wa kwenda kanda ya ziwa na kununua DHAHABU.......kweli?
19
10
228
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
2 years
CHAGUA MMOJA WA KUMUALIKA KUPIGA SHOW KWENYE HAFLA YAKO!! 😬😬😬
Tweet media one
157
15
235
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
Kuna baadhi ya wasanii "hawajambo" kwenye kulalamikia MEDIA, miaka nenda miaka rudi, media hizo hizo ambazo ziliwapa nafasi ya kujulikana maana wanahisi ni HAKI yao KUSIKIKA na KUPEWA MICHONGO!! GET OVER YOURSELF AISEEE!! NO ONE OWES YOU ANYTHING!!
21
41
223
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
3 years
INSECURE by SAUTI SOL ni moja kati ya ngoma zilizotungwa, kuimbwa na kupangwa kwa ustadi wa hali ya juu!! It is such a CLASSIC JOINT!!
13
15
228
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
4 years
Mtu mwenye uelewa wa historia ya muziki wa kizazi kipya in TZ kamwe hawezi kuongea ovyo kuhusu Bilingual Rappers or Singers! Uwaki na ukosaji wa CONTENT ni tatizo la industry nzima na isitumike kama fimbo ya kuwachapia Bilingual Artists. We can do better aseeee!
17
42
217
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
BRANDING ni muunganiko wa SAYANSI NA SANAA! Sio kitu chepesi chepesi kama watu wanavyokichukulia jamani!
7
32
213
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
9 months
Kwa kumuua kijana mwenzetu vile, hawa Jamaa wamenitoka mazima! Fuck them!!! Fuck them very much!!!
24
26
219
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
Responsibilities make you tweet different!
8
19
211
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
4 years
Wengine wetu tuna MATRAUMA kibao ila bado tunauwezo wa kusambaza upendo.
6
19
212
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
4 months
Its like that! @CloudsMediaLive
Tweet media one
14
10
210
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
Binadamu wengi hatupendi mabadiliko kutokana na hofu ya tunachopoteza badala ya kufurahia mazuri yanayokuja 😔
5
37
203
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
ONE THE INCREDIBLE kwenye jukwaa la WASAFI FESTIVAL!!!! 🔥🔥🔥🔥👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿🔥🔥🔥🔥🔥👊🏿🔥👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿🧠🧠🧠🧠
14
31
202
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
7 years
ASLAY ni kipaji cha aina yake! Kama hizi ngoma zake anaandika na kutunga melody mwenyewe basi ana matumizi mazuri sana ya maneno ya kawaida ya kiswahili! Pini zake zote zilizotoka mwaka huu, ziwe solo au FT, amekamua balaa!
7
16
205
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
7 years
Kaka @Nnauye_Nape nakushukuru kwa kunipa mfano wa kutumia kumfundishia mwanangu zion somo la uzalendo! HISTORY will JUDGE you RIGHT!! 👊👊
1
50
198
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
3 years
Ndugu yangu Wakazi anawatibua kweli aseeee! 😅😅😅😅Yaani hamuwezi kabisa kujizuia kumponda badala ya kujadili mada husika? 🤣🤣🤣🤣
13
12
202
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
Mungu Baba afanye yake...Samatta ndani ya EPL itapendeza sana sana sana 🙏🏿🔥
6
10
197
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
4 years
Barakoa ni kitu kigeni sana kwetu. Na kuna hali fulani ya mfumo wako wa upumuaji kutaka kupingana na hitaji la kuvaa barakoa! Vumilia! Jiambie unaweza kupumua ukiwa umeivaa Barakoa. Kataa hilo wazo linalokuijia kichwani "ivue...inakaba... kwani nani anakuona!" PLEASE JILINDE!!!!
8
20
190
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
Sio UGHAIBUNI....NI HAPA HAPA TZ....TIGO FIESTA 2019 YAIKARIBISHA SIKU YA UHURU!!
Tweet media one
11
20
182
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
4 years
KINGINE CHENYE MANUFA KUTOKA CHUO KIKUU CHA HAYA MAMBO...CMG... coming soon to a TL AND SCREEN NEAR YOU👊🏿👊🏿👊🏿👊🏿
Tweet media one
19
34
186
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
Sie hao hao tunaomaindi viongozi wanaojibu raia hovyo ndio wa kwanza kujibu watu hovyo wakituuliza maswali kuhusu jambo letu au ambalo tuna interest nalo 🤔🙄😔
6
16
182
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
JUVE VS BARC is the UEFA final that everyone wants!
24
5
184
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
3 years
Tune in!
Tweet media one
4
11
178
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
2 years
HONGERA SANA @masoudkipanya KWA KUZINDUA KAYPEE MOTORS, gari la kwanza la Kitz la kubeba mizigo linalotumia UMEME!! I am inspired by you kaka 💪💪💪
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
18
179
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
7 years
Sidhani kuna emcee Ana flow style unique na tamu zaidi ya CLIFF MITINDO👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿 @BDozen that joint is 🔥🔥🔥🔥
16
13
178
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
2 years
Vuta picha: Mwana na Mwana walikula njama kumpoteza mzee kwa kumvuta ndani na kujitengenezea BEEF?
19
5
175
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
Ndio maana muda mwingi natweet kuhusu muziki, Black history, advertising, basketball na fatherhood. Kudeal na chochote kinachonilazimu kuinteract na baadhi ya “Waheshimiwa” huniacha hoi.
9
25
166
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
Nikiwa kwenye mizunguko yangu ya wikendi na watoto wangu, nikasimamishwa na wanajeshi ndani ya magwanda yao, AK 47 mkononi. Kwa kuwa gari ni la kifamilia (Noah) na lina tint kwa nyuma, akaja mmoja wao na kugonga kioo na mtutu wa AK47.
20
21
172
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
Kutumia CONTENT ambayo huna HAKI nayo sio kosa kivile ilimradi UIWEKE WAZI kwamba content husika ni ya MTU/ KITUO/ TAASISI FULANI. Kupiga Kimya na kuserereka na content ya mtu/ kituo/ taasisi fulani ni "uhalifu" LETS DO BETTER. HAPPY WORLD RADIO DAY!!
4
26
175
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
4 years
Ipo siku na wewe utaombolezwa. Tenda yaliyo Mema! Mtangulize Mungu katika kila jambo. Funga na kusali akupe ufahamu wa kusudio lake kwako🤲🏾
2
15
173
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
3 years
HAPPY BIRTHDAY MJENGOWISE @CloudsMediaLive 22 years sio mchezo! Tuendelee kuwafungulia WaTZ dunia….
5
14
175
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
3 years
On this day, 8 years ago, I became a FATHER for the first time! ZION NDEGE has made me the DAD that I am to Ellen and Zhuri! Wishing my King all of the Lords blessing on this his BIRTHDAY
Tweet media one
13
7
175
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
Biashara ya MUZIKI sio sehemu ya kutafuta huruma ili kufanikiwa! Kama hata dogo anaeuza maji mtaani ilibidi atafute MTAJI ili kuanza hiyo biashara, DEAR MSANII acha hizo za kutaka UONEWE HURUMA kwenye GAME!! WEKEZA na kama hauna MPUNGA, acha BIASHARA YA MUZIKI!
14
41
164
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
7 years
Kinacho ingiza hela sio TRANSMITTER WALA STUDIO YA KISASA, ni CONTENT!! kwa hiyo MEDIA OWNERS tumieni hela on the "HUMAN RESOURCE"
12
26
167
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
4 years
Kuna mgombea yoyote amezungumzia Sanaa? Kuilinda? Kuwekeza? Kuikuza?
22
7
170
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
3 years
Tulainishe koo na tupate nishati ya kuimba pini zote zilizopo ndani ya album mpya ya @OfficialAliKiba iitwayo ONLY ONE KING hapa #SerenaHotel
Tweet media one
2
4
172
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
1 year
XXL YA CLOUDS FM NI SUMUUUUUU!!!
3
14
170
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
Kabla hata hatujatulia na kurudi katika hali yetu ya awali, pigo lingine! Eeh Mungu Baba, una sababu kwa kila jambo ila waja wako tunalemewa na uzito wa haya matukio!
5
14
165
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
3 years
NEWS JUST IN: Bookstore owners in Jozi are reporting no damages at all amidst all the chaos 📝📝
14
27
168
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
2 years
Yes au No? 🤣 @masoudkipanya
Tweet media one
13
1
166
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
Uwepo wa matamasha mengi ya muZiki isiwe chanzo cha kujenga uhasama Kati ya Wasanii! TujifunZe kutoka HISTORIA maana tunataka kurudi kule kule. Tusiwe wavivu wa kujaribu mbinu MPYA tofauti na uchonganishi, vijembe na majigambo baina ya waandaaji.
11
32
162
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
RUGE MUTAHABA...Jina ambalo daima litazungumzwa popote pale ambapo waungwana watakaa na kusimulia siasa, michezo na sanaa ya nchi yetu! Pumzika kwa amani kaka!
2
14
162
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
2 years
Msimu mpya wa CLOUDS TV 2022 #HakunaKuleft 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 cc @CloudsMediaLive
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
17
160
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
3 years
Usiombee UHURU tu. Omba pia upewe nguvu ya kuwavumulia na wale ambao wanaona hicho unachokiita UHURU sio UHURU?! BILA HILO NA WEWE UNAKUWA WALE WALE!!
1
16
157
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
1 year
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
6
165
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
Sijui niandike orodha ya EMCEES 50 BORA wa TZ....au tutalumbana tu??🤷🏿‍♂️🤦🏿‍♂️
33
7
153
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
7 years
Mkuu wa MKOA alibugi.... tena KABUGI sana! Na sio MARA YA KWANZA! UBUGINIZATION wake unazidi kadiri siku zinavyopita!
6
53
157
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
3 years
HAPPY MAPINDUZI DAY!!!! Mtu wako @millardayo kahamishwa muda kwa maelekezo yako kupitia SHANGAZI BIGGIE!!! 2022 HERE WE GO!!!
Tweet media one
7
3
157
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
2 years
HAKUNA KULEFT ⁦ @CloudsMediaLive ⁩ ⁦ @masoudkipanya ⁩ ⁦ @babbiekabae ⁩ ⁦ @barbarahassan
Tweet media one
2
8
157
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
7 years
Mimi? Nilikuambia mtu akiharibu namtumbua immediately Bila kudelay? Mimi?
Tweet media one
5
76
157
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
Vee anapiga moves za kibabe sana! Ananipa mzuka sana kwa kufanya yangu maana amefight sana kufika hapa alipo! Her story deserves a mini-doc kwa kweli 👊🏿👊🏿👊🏿
4
13
152
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
3 years
ACQUIRED STUPIDITY....Ujinga wa Kuambukizwa au Ujinga wa Kuazimwa au Ujinga wa Kufikia? Wakali wa Lugha naomba msaada maana nahisi hili nalo linanihusu
16
8
151
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
4 years
Chukua Hatua....No one is coming to save US!!🦠🦠🦠🦠🦠
Tweet media one
3
9
147
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
7 years
Ukipewa nafasi ya kuanzisha kituo chako cha redio ila sharti ni uwe na vipindi viwili tu, utaweka vipindi vipi na watangazaji gani?
38
8
151
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
4 years
Tuamke tusali na kuwaombea wote waliotangulia mbele za haki, tutubu dhambi zetu na kunuomba Muumba atuepushe na majaribu yote ndani ya siku hii mpya!!
2
10
154
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
8 years
DARASA kajaribu sana kutusua. Kuongelewa kidogo tu baada ya hizi ngoma 2, baadhi ya Raia mnacatch feelings! MNAJUA HIS STRUGGLE?
15
57
150
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
5 years
Serikali inatakiwa ipige marufuku kabisa manunuzi ya briefs, boxer au boxer briefs kama zawadi ya bday....can I get an Amen?🤣
17
14
146
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
7 years
Mwenyezi Mungu amsimamie na kumrudisha katika afya njema Mh. Tundu Lissu!!
5
11
149
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
4 years
1. PITA KUSHOTO ft @barcitybaby 2. HUKO VIPI ft Jolie 3. TOFAUTI ft @thisisgosby 4.MAMBO MTIBWA ft @GnakoWarawara & Ncha Kalih 5.TOA SHAVU ft Jay Melody BONUS TRACK 6. Bhajaji ft Muddy Msanii
Tweet media one
11
33
144
@IamNchaKALIH
POWER MABULAH
6 years
Jamani aliehusika na hili la kugandisha huu mzigo kwenye mabega ya huyu raia na tumpeleke kwenye kila wizara ili afanye ufundi huu huu kwenye fedha wizarani na serekalini kiujumla, AMA VIPI?😬
Tweet media one
17
23
143