SAID HOZZA Profile Banner
SAID HOZZA Profile
SAID HOZZA

@Said_Hozza

747
Followers
564
Following
641
Media
4,426
Statuses

Co-Founding @taifatek | STEM Education Expert | Empowering future generations |Trained 10K+ students in STEM across Tanzania | Member @TOTTechs

Tanzania
Joined October 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Said_Hozza
SAID HOZZA
9 months
Mavumbi kwenye buti zangu, Nuru ya shauku machoni mwao: Safari ya STEM katika kijiji cha Vigwaza Nikiwa kama TME Edu Tutor, Niliacha Bata zote za jiji na kuingia kwenye njia za vumbi ili kuwaletea watoto wa shule ya kijijini huko Vigwaza, Tanzania, maajabu ya Teknolojia
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
9
17
@Said_Hozza
SAID HOZZA
9 months
She said YES💍💕 NB: Baada ya uchumba wa Miaka 6😁
Tweet media one
90
35
730
@Said_Hozza
SAID HOZZA
8 months
Wakuu naombeni mkanisaidie kuRT pinned post yangu nishinde hiyo $100 kama zawadi ya kupokea michango yangu ya harusi kwa kutumia @NALAmoney 😀
Tweet media one
24
251
471
@Said_Hozza
SAID HOZZA
8 months
Harusi Vibes with @NALAmoney 💍 My heart is brimming with joy as I received a heartwarming wedding gift from my dear friend, @MsokaEmmanuel , all the way from the US! Not only did he send their blessings, he also used the amazing @NALAmoney to make the process seamless. 🤩
Tweet media one
6
375
295
@Said_Hozza
SAID HOZZA
3 years
Niwapi naweza nikasoma shortcourse ya PLC? halafu wakatoa na certificate, Tafadhali!
Tweet media one
16
19
205
@Said_Hozza
SAID HOZZA
3 years
💨 unaambiwa mpaka akafanya project ya kutengeneza simu yake mwenyewe kuonyesha ni namna gani ameiva kwenye masomo yake ya Uhandisi wa Mawasilaiano (Elctronics and Telecommunication Engineering) Bwn. @JemsiMunisi Amehitimu masomo yake rasmii hapo Chuo Cha Ufundi Arusha #ATC 😊
Tweet media one
6
9
136
@Said_Hozza
SAID HOZZA
8 months
Hakika Nimejifunza kitu tangu 2019❤️ Ahsante Brother @Benji_Fernandes for your wishes and gift for my wedding. Huna Baya Tajiri😁
Tweet media one
4
5
113
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Tungecheka wote sema si mligoma kusoma Transistor 😂🤣
Tweet media one
19
7
99
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
What an honor to share my knowledge with young women! Seeing these girls connecting STEM and robotics with different senses, I believe accessibility is the key.
Tweet media one
Tweet media two
6
9
66
@Said_Hozza
SAID HOZZA
3 years
How we make our Tanga of 2030 in 2021😍 .....Our future is exciting 🙌 During this midterm break for secondary schools, I decided to teach more 15 students of Tanga city Basic Arduino Programming & DesignThinking as a way of giving back to my region #Arduino #3Dprinting #Robots
Tweet media one
Tweet media two
5
15
67
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Do you live in Iringa? Looking for a STEM project to work on? Let's connect, I'm looking forward to open The first STEM Maker Space in Iringa. NB: If i will get more money in 2023😂
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
10
60
@Said_Hozza
SAID HOZZA
10 months
Si mnajua last two weeks nlikuwa India eeh?😁 Leo niwaletea uzi wa yaliyonipeleka kule na experience nliyopata. Kufika tu India, nilikuwa na msisimko mkubwa. Kwa maana nilijua niko pale kwa sababu muhimu: kusaidia kufanikisha ndoto yangu ya teknolojia kwa start-up yangu.
Tweet media one
11
9
63
@Said_Hozza
SAID HOZZA
3 years
@millardayo Sijawahi kusomea Economics lakini hapa nina uhakika mzee wetu @mwigulunchemba1 kwa Hii strategy umechemka😊 Kama kweli una nia ya kuunga mkono dira ya mama, mlishindwa kukata hata posho za wabunge mpka uje utung'ang'ng'e sisi? 😀
4
2
59
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Do you know the difference between "Microcontroller Vs Microprocessor??"
Tweet media one
7
5
59
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
TUNAITOA CHATGPT kwa #GPTZero Naam, unakumbuka mwanzoni mwa mwaka huu kulitokea OpenAI (ChatGPT) kibokoo mnoo na ikatrend kwa kasi saaana😀 Sasaa imekuja kiboko yake😂 wanangu wa chuo mliokuwa mnatumia vibaya kwa dhumuni la assigmnet sasa kazi mnayooo!
Tweet media one
7
13
51
@Said_Hozza
SAID HOZZA
8 months
Mentor @GibsonKawago and Mentee @Said_Hozza on vacation😎 👕By @beeyoumedia_tz
Tweet media one
2
3
53
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Najivunia kushare ujuzi wangu kwa vijana wengine. Kupitia asasi @tatechhub na @createch_tz nilifanikiwa kuandaa warsha ya siku 4 katika Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) - College of ICT. Warsha hii ililenga kuwajenge uwezo wanafunzi juu ya maswala ya Electronics na Robotics.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
11
50
@Said_Hozza
SAID HOZZA
1 year
Our own @GibsonKawago is on the stage now! This is @wagatanzania on #AfricanPrize
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
3
47
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Finalist..!!! Hii apa ya kwenu😀 Raspberry Pi 3 Model B Vi. 2 for sell🥲 Haina Adapter wala memory card, Nataka 150k tu. 📞
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
5
44
@Said_Hozza
SAID HOZZA
1 year
At least tunajaribu! Kikubwa wenye mamlaka wanapaswa kupush hizi ajenda ziwe officially kwenye syllabus.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
@Rahim_Meghji
بو سالم 🇹🇿
1 year
Hii ni Kenya Ni lini elimu ya kibongo itafikia level hizi
101
373
1K
3
4
46
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
@NjiwaFLow
James Munisi
2 years
💨 Mwenye 580K ya chapu kuna Samsung A52 hapa iliyonyooka 8GB + 128GB. 📞 0745100757
Tweet media one
Tweet media two
12
27
151
0
5
42
@Said_Hozza
SAID HOZZA
3 years
Hivi haiwezekani akatokea mtu/taasisi ikaja na mradi wa kuweka hizi LED banners pale taifa? Je, @Tanfootball au wizara husika imeshindwa kutoa tender hata japo kwa DIT wafanye hii kitu? Hatakama ni gharama ila ninaimani few years later watakuwa wamerudisha hela na faida.
Tweet media one
4
6
35
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
#TwitterTech naombeni mteja mmoja tu, tafadhali 🙏 Nauza Raspberry Pi (model 3) ambayo unaweza kutumia kama Desktop PC, Robot controller ama webserver. Tizama specifications kwenye frame 02. Price 200,000/= fixed. Nicheki :
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
9
36
@Said_Hozza
SAID HOZZA
6 months
Nijiandae zangu na Interview ya Uhamiaji sasa🥹 InshaAllah soon naitwa Afande Hozza! Niachane na ujobless..!!!
6
5
35
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
#TwitterTech kwa wakazi wa Dsm (Mbezi Beach na viunga vyake.) Vipindi vya STEM (Science, Tech, Engineering & Mathematics) kwa Watoto aged 7-18. Watoto watafundishwa;- 01. Robotics 02. Majaribio ya kisayansi 03. Kompyuta Programming nk. For enquire:
Tweet media one
4
13
33
@Said_Hozza
SAID HOZZA
1 year
1/9 Introduction of Arduino R4🚀 Habari njema kwa wadau wa Tech wale wanangu wa Hardware😁 Ushawahi kufikiria Arduino UNO itakuja kutumia type C, iwe embedded na Wifi humo humo yaani ni kama Node MCU ndani ya Arduino UNO. Naam hiyo ndio #ArduinoR4 iliyoachiwa jana!! A thread
Tweet media one
3
10
34
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Bringing Coding To High School Students in Tanzania ...!!! Early morning today i successfully to submit @codejika project's proposal to Iringa Municipal Education Officers with the aim of supporting Teens and Teachers in Iringa to learn ICT skills and getting and opportunities.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
4
14
33
@Said_Hozza
SAID HOZZA
10 months
Frame ya kwanza ni mwaka 2020 nikiwa nimeattend moja ya sessions za @tme_eu kama mwanafunzi. Frame ya pili ni mwaka 2023 nikiwa kwenye moja ya sessions za @tme_eu kama Tutor.
Tweet media one
Tweet media two
5
4
33
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Yesterday, I held another STEM session but this one was with visually impaired students and it was a success! I am committed to make my sessions inclusive and empowering all students to learn and grow. Next stop, Arusha!" #STEMeducation #inclusiveeducation
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
4
32
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Yesterday I had a constructive meeting with Dr. Nkundwe Mwasaga @nkundwemwasaga Director General of ICT Commision @ict_commission . We discussed about ICT Clubs in Schools which will be introduced with @codejika and @Code4ChangeSA and see how @ict_commission will help us on this.
Tweet media one
3
7
34
@Said_Hozza
SAID HOZZA
1 year
I'm not sure who had more fun, me or the students at @mbeyauniversity but what I know, Last week I facilitated Arduino & Electronics workshop powered by #TheTechSafari Org ! Within 5days ; Nilianza kufundisha Basic Electronics tukaja Arduino programming then Design Thinking.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
2
30
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Hizi mambo zakuwekwa kabisa kwenye syllabus 😀
Tweet media one
6
0
29
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Nilijiona niko busy saaana October hii mpaka nilipokuja kuona Calendar ya @Positivenga1 ndo nikajua kumbe hamna kitu nilikuwa nafanya😀
Tweet media one
Tweet media two
3
1
26
@Said_Hozza
SAID HOZZA
6 months
Enzi hizo Sasahivi😁
Tweet media one
Tweet media two
9
1
26
@Said_Hozza
SAID HOZZA
7 months
UJIO WA VOCATIONAL PROGRAMMES KWENYE SHULE ZA SEKONDARI. Mwaka 2024 umeanza na matumaini makubwa kwa wanafunzi wa Tanzania. Hatimaye, @wizara_elimuTz imechukua hatua muhimu ya kuboresha mfumo wa elimu kwa kuanzisha Elimu Amali katika shule za sekondari. UZI, SHUKA NAO👇⬇️
Tweet media one
3
9
26
@Said_Hozza
SAID HOZZA
1 year
This is me. This is what I do
Tweet media one
Tweet media two
1
2
26
@Said_Hozza
SAID HOZZA
8 months
Ahsanteni saana kwa Wote mlionisupport kwenye RTs. @Benji_Fernandes ameishatimiza ahadi yake na soon napokea. Naombeni support isiishie hapo kama mnavyojua jambo letu ni FEB. Tunaweza hata tukaweka buku buku humu 0684736765 watu 100 halafu tukaja kusherehekea kwa pamoja Dsm🥹
Tweet media one
@Benji_Fernandes
Benjamin Fernandes 🇹🇿
8 months
Tayari, sent $100 🩵✅ Congrats on your wedding @Said_Hozza 🎉 Hongera Sana 🙌🏽🥳
Tweet media one
4
6
59
3
5
25
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Je, wajua? Kampuni ya @arduino inayohusika na utengenezaji wa Microcontroller boards tofauti tofauti kama Arduino UNO, Nano, Lilypad nk. Juzi wamezindua Kit yao ambayo inakupa uwezo wa kuassemble Microcontroller yako kuanzia mwanzo mpaka mwisho kisha kuingia kwenye coding.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
6
26
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Another successful STEM workshop in the books! As the STEM Training Coordinator at @tatechhub and @createch_tz , I was thrilled to lead a workshop in Dodoma with the help of @tz_CNA and see students come up with innovative ideas, like a home light automation system to save energy
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
12
25
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
@ayubu_madenge Naipongeza serikali, Lakini hapa kwenye elimu Bure mpaka form Six, naomba kuwasihi vijana kwamba baada ya miaka kadhaa wasomi watakuwa ni wengi mno na ajira zitakuwa chache hivyo vijana wajitahidi kuangalia na social skills.
4
0
25
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
August fun facts 😍 01. "NASA’s internet speed is 91 GB per second." 02. "On average, there is only one reply per 12 million spam emails sent." 03. "On average, people read 10% slower from a screen than from paper." 04. "The Firefox logo isn’t a fox… it’s a red panda!"
Tweet media one
Tweet media two
0
3
23
@Said_Hozza
SAID HOZZA
1 year
The journey from @tatechhub to leading the groundbreaking @Hubiquitous2021 IoT Talent Bootcamp at SIDO Arusha has been nothing short of extraordinary! 🌟 It all started with my unwavering dedication and hard work at @tatechhub , where I honed my skills and in IoT and STEM.💼🌐
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
6
22
@Said_Hozza
SAID HOZZA
3 years
#DigitalInnovation in Tanga😍 Humbled once again, as a continuation of our program today’s session we managed to design some of 3D works and printing!! Youths in Tanga have a special talent🙌😀 give us a time, our future is exciting #Arduino #3Dprinting #DigitalTransformation
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
7
22
@Said_Hozza
SAID HOZZA
10 months
Learn X Relearn X Unlearn = EARN! #Hardware @arduino @tinkercad
Tweet media one
2
4
21
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Halafu kuna mtu atasema heartbreak inauma😂 unajua haya maumivu wewe? #Makisatu2022
Tweet media one
5
1
21
@Said_Hozza
SAID HOZZA
1 year
You deserve brother! Hongera.
@GibsonKawago
Gibson Kawago
1 year
I am incredibly grateful and honored to be recognized on the 2023 Most Influential People of African Descent (MIPAD), Under 40, Global 100 List. 🙏🎉 This achievement is a testament to the collective efforts of the 17 global young leaders for Sustainable Development Goals
Tweet media one
12
30
186
1
1
20
@Said_Hozza
SAID HOZZA
9 months
Hapa bado hela tu😩🤣
Tweet media one
4
3
20
@Said_Hozza
SAID HOZZA
8 months
Done and Dusted✅ 📸by @beeyoumedia_tz
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
@Said_Hozza
SAID HOZZA
9 months
FREE OF CHARGE 3D TRAINING. Location: Summit Center Block - B, 5TH Floor (near shoppers supermarket). Registration Link: Remember to bring a personal computer (laptop) Benefits: - Certificates - Fusion 360 knowledge to start your own training courses
Tweet media one
4
6
15
2
6
20
@Said_Hozza
SAID HOZZA
3 years
Engineers like to solve problems. If there are no problems handily available, they will create their own problems😍 ...This is how we teach them to discover their future. #InnovationForEveryone #careertips
Tweet media one
0
3
21
@Said_Hozza
SAID HOZZA
3 years
Happened today. Celebrating #ArduinoD21 Arduno Day 2021 by #TMEEducation Tanzania. with TME Education Ambassador in Tanzania @ndembo255 ... Remind you guys, Lunch & Breakfast was prepared by @FatmahShokat 👌😂😂
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
5
21
@Said_Hozza
SAID HOZZA
3 years
as a founders of @createch_tz we aim to bring education that meets the needs of present without compromising the ability of future generations to meet their own needs by organizing school outreach program program supported by @mitzkits @RobotechLabsTZ @Swahiliestz
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
6
21
@Said_Hozza
SAID HOZZA
1 year
From Idea to Impact: Empowering Learners at Taifa Technovation Hub via @YouTube
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
3
21
@Said_Hozza
SAID HOZZA
1 year
Just wrapped up an amazing IoT session at #SIDOArusha ! Proud to be part of the @Hubiquitous2021 project as IoT Trainer. Check out to learn more. Excited to see the students continue their prototyping journey after this training! #IoT #Education
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
5
19
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
I was honoured to participate in 3rd TZSCN held in Kasulu, It was such kind of event that brought together different members working with Community Network Cooperatives and those advocating for Community-based Telecommunication networks in Tanzania and beyond.
Tweet media one
Tweet media two
4
3
20
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
12th April 1961 was the date of the first human space flight, carried out by Yuri Gagarin, a Soviet citizen. 12th of April was my born day... Happy Birthday to me! #InternationalDayofHumanSpaceFlight #happybirthdaytome
Tweet media one
5
4
20
@Said_Hozza
SAID HOZZA
1 year
In Tanzania "This Holiday nitaenda Vacation" 😎
3
1
18
@Said_Hozza
SAID HOZZA
4 years
@gudume_ @chapo255 Mwenyewe anajiona kama FBI vileee😂😂
0
0
20
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Je, wajua? Kampuni ya @PARCinc ilianzishwa mwaka 1969 na baada ya miaka minne tu tangu kanzishwa kwake yaani 1973 wakaja na ugunduzi wa Ethernet 😀. @createch_tz tumeianzisha 2019, tunasubiri miaka ninne tu yaani 2023 mwakani tuwashangaze😂
Tweet media one
0
4
21
@Said_Hozza
SAID HOZZA
9 months
Cheki wadada kwenye background wanavyotabasamu😁 Aaargh Seleeeee weeee😂
Tweet media one
2
0
19
@Said_Hozza
SAID HOZZA
10 months
Broke and Happy ☺️
Tweet media one
1
3
19
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Mambo ya @s_chemchem
Tweet media one
5
1
19
@Said_Hozza
SAID HOZZA
3 years
I’m humble for getting this chance of participating in #TanzaniaYouthDigitalSummit Tanga edition organized by @DOTTanzania , We as a Youth:- Let’s live in digital world Let’s work with 21st century skills Tanzania Youth Digital Summit 2021 #DigitalTransformation #innovations
Tweet media one
0
7
18
@Said_Hozza
SAID HOZZA
6 months
Done and Dusted 🚮
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
@Said_Hozza
SAID HOZZA
8 months
Choosing your wedding suit is an exciting part of the wedding planning process🙌 Good morning☺️
0
1
4
6
3
18
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Dear God, I receive 🙏😫
Tweet media one
Tweet media two
0
0
17
@Said_Hozza
SAID HOZZA
9 months
Nisogee kijiweni sasa nikadiscuss nani wa kupiga goti wakati wa proposing😁
9
0
17
@Said_Hozza
SAID HOZZA
7 months
Calling @stjosephuniv innovators! IET @stjosephuniv chapter in collaboration with the amazing #TMEEducation , We thrilled to announce Arduino training workshop designed to unleash your inner inventor! Whether you're a complete beginner or a seasoned tinkerer, Register Now!👇
Tweet media one
Tweet media two
2
8
18
@Said_Hozza
SAID HOZZA
10 months
I am glad to be one of the three @TanzaniaSA members selected to attend the Tanzania-India Forum in Delhi as part of the Presidential delegation, thanks to the sponsorship of @magilatech This is a testament to TSA's commitment to helping startups reach their full potential.
@TanzaniaSA
Tanzania Startup Association
10 months
Greetings from New Delhi 🇮🇳 We're delighted to introduce Ms. Flora Njelekela @christandusF from Anuflo Industries, Mr. @Said_Hozza from @tatechhub and Ms. Irene Ivambi from @MremboNaturals who are the three TSA members who had been selected as the beneficiaries of the
Tweet media one
0
18
62
1
4
18
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
@FumboKhan2019 Hii imeongozana na siku ya #ThanksgivingDay ambapo watu wanaonyesha ukarimu na kurudisha fadhila kwa jamii. Ijumaa ya week ya ThanksgivingDay inaitwa Black Friday maana wanarudisha fadhila/shukrani whatever kwa waafrica na kupunguza bei za vitu. Source : Trust me😎
1
1
17
@Said_Hozza
SAID HOZZA
1 year
Tweet media one
1
0
17
@Said_Hozza
SAID HOZZA
8 months
Nimeanza mambo ya Dezemba sasaaaa😃 Mnao nidai subirini January😎
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
0
17
@Said_Hozza
SAID HOZZA
9 months
Al-ḥamdu lillāh alladhī waffaqanā li-hādhā al-fawz🙏 2 - 0
Tweet media one
1
1
17
@Said_Hozza
SAID HOZZA
1 year
nikiwa busy kusoma terms and conditions za #Sportspesa baada ya kurefund watu na match haijachezwa😂😂
Tweet media one
3
0
17
@Said_Hozza
SAID HOZZA
1 year
We are here @wagatanzania ..!! We are Accelerating the Transition to Clean and Affordable Energy in Tanzania.
Tweet media one
1
2
16
@Said_Hozza
SAID HOZZA
9 months
FREE OF CHARGE 3D TRAINING. Location: Summit Center Block - B, 5TH Floor (near shoppers supermarket). Registration Link: Remember to bring a personal computer (laptop) Benefits: - Certificates - Fusion 360 knowledge to start your own training courses
Tweet media one
4
6
15
@Said_Hozza
SAID HOZZA
3 years
Aiseee @TBoundBuses uliyoyaongea Leo ndio najionea😃 ukweli ni kwamba #NacharoBus wajengewe sanamu lao Tanga. ....I feel like nimepanda ndege ya chini kwa Tsh 16,000/= from Tanga to DSM🙌
2
1
16
@Said_Hozza
SAID HOZZA
3 years
@millardayo kwahiyo amekula hasara ya 9.5M😁
4
0
14
@Said_Hozza
SAID HOZZA
7 months
Wakuu, Kama kuna tweep alioko around Bagamoyo Hospitali ya Wilaya mwenye Blood Group O (-ve), na atakuwa willing kumsaidia mtu, Tafadhali naomba msaada🥲
0
15
16
@Said_Hozza
SAID HOZZA
1 year
Arusha residents! Learn IoT with AI and Big Data, Design Thinking, Product Development, Pitching, and Business Development with the @Hubiquitous2021 Talent Program. Get hands-on training at #SIDOArusha . Register now:
Tweet media one
1
2
15
@Said_Hozza
SAID HOZZA
3 years
Je, wajua? Switch nyingi kama sio zote katika devices huwa zinakaa upande wa kulia? sio kwenye simu, tv, wala pikipiki😂😂 Hii inatokana na #HumanCentredDesign ukibisha njoo uniue niko Tanga😁 #designthinking #designtwitter
Tweet media one
3
5
16
@Said_Hozza
SAID HOZZA
3 years
Happy birthday Bro @ndembo255 🎉 Sema nini binadamu wa kwanza kunifundisha Arduino ulikuwa wewe😃 Ishi saaana mwanangu
Tweet media one
1
3
16
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Sina wala situmii ushirikina wowote ila trust me, 2nd HALF mpira watakopiga Ufaransa nyote mtaelewa kwanini Somo lao linakuwa gumu NECTA..!!
4
1
15
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
@GibsonKawago
Gibson Kawago
2 years
📺Sasa unaweza kutazama Mpira wa Miguu Umeme utakapokatika kwa kutumia WAGA POWER PACK 1 @wagatanzania ! Hii imetengenezwa kwa betri za laptop 🔋zilizotupwa majalalani. In uweza wa kuwasha Televisheni hii kwa masaa Sita mfululizo! #BATTERYPACK #TESLA #LithiumIonBattery
Tweet media one
28
94
408
2
1
15
@Said_Hozza
SAID HOZZA
3 years
Tweet media one
1
2
15
@Said_Hozza
SAID HOZZA
1 year
Great experience being part of @Hubiquitous2021 😎
Tweet media one
0
1
15
@Said_Hozza
SAID HOZZA
8 months
Wakuuu mumeniinua saaana🥹🙌 Ahsanteni mnoo wannangu. cc: @Benji_Fernandes , zimefika kakaa😃
2
1
14
@Said_Hozza
SAID HOZZA
1 year
@chapo255 Nauza Kuku ndugu zangu. Delivery ni kuanzia kuku watano na kuendelea. BEI Kuku mbichi TZS 7,800 Kuku Choma TZS 8,500 Kuku Kaanga TZS 9,000
Tweet media one
3
8
15
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Tweet media one
1
2
15
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
📌
@SwahiliBible
Mwemezi Rwiza, PhD
2 years
#DearKijana , TAMANI kazi wanazofanya watu kabla ya kutamani mafanikio yao. Tamani mahangaiko, msoto na kukosa usingizi wanavyopitia watu kabla utamani achievements zao. Hiyo 'best couple' unayoitamani haikushuka kutoka mbinguni. May God bless our struggles. 🙏
11
70
189
0
3
15
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
Knowledge is like underwear 😊 It's useful to have it, but it's not necessary to show it.
4
3
14
@Said_Hozza
SAID HOZZA
1 year
Hivi ni wapi naeza kupata sehemu wanafundisha Kijerumani vizuri kwa Dsm ama Arusha?
Tweet media one
5
1
12
@Said_Hozza
SAID HOZZA
10 months
Ukiapata muda wacheki na uwasalimie wale wanao waliokuwa wanapata Zero na ‘F’ za Math shule. Wanahela saaana😁
3
3
13
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
The introduction of STEM Education in the existing curriculum would provide students a platform to do Hands-on activities with Real life applications and learn the Traditional Education as well Hands-on or Experiential learning which ensures the development of Critical thinking.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
4
14
@Said_Hozza
SAID HOZZA
9 months
Na wateja mkitaka testimonial tafadhali msisite kuniuliza mimi nilio ona miujiza hii ya ubadilishwaji hizi Screen😃
@ITexpertTz
MvuviTech🔌
9 months
Tunafix Screen Za Laptop Kwa Bei Poaaa 🔌 Before 👇 After 👇
Tweet media one
Tweet media two
6
7
22
2
4
14
@Said_Hozza
SAID HOZZA
3 years
@ayubu_madenge @Kamigakikumbise @UONGOZI @MkukiNaNyota @MariaSTsehai @Mugaka_N @noel_isidore @WemaKako @AnethStanley @noor_abdul @BaloziMtaa Sitaki kusema kama kakosea, Ila ingekuwa vyema kama angezipeleka hata kutengeneza madawati na maabara kwa shule za kata tofauti na kuzitenga kwa ajili ya Viongozi wengine kuandaa Vitabu vyao. Maoni yangu tu, msininukuu vibaya😒
1
1
14
@Said_Hozza
SAID HOZZA
3 years
This is how we flag technical issues with our local organizers in PEACE+FREEDOM CHALLENGE 2021.. Having 24hrs Competition of developing different Environment & Health Solutions! #pfchallenge2021 #DesignForPlanet #HealthyClimate
Tweet media one
Tweet media two
0
2
13
@Said_Hozza
SAID HOZZA
2 years
This is so true uncle..!! I will use my time in this weekend to call all of them🥹
@thisuncle
U N C L E
2 years
e.100
Tweet media one
0
11
46
2
0
14
@Said_Hozza
SAID HOZZA
1 year
My Personal View kwenye Muhtasari Mpya wa Elimu ya Msingi wa Tanzania - SOMO LA SAYANSI. Leo nimepitia Muhtasari wa Elimu yetu. Nikiwa kama mdau wa Sayansi na Teknolojia kwa vitendo, ninapongeza juhudi za Serikali katika kuboresha elimu yetu. Muhtasari mpya ukipita itakuwa🔥
Tweet media one
4
3
14
@Said_Hozza
SAID HOZZA
3 years
Here we go...!!🔥 After completion of 1week program with Tanga city secondary students, this young boy from Macechu Secondary came up with innovative idea of Smart Glass as a solution to Blind people 🥰 #Arduino #Electronics #designthinking #InnovationForEveryone
0
3
13