Coxstore  Profile Banner
Coxstore  Profile
Coxstore 

@CoxstoreTz

22,641
Followers
455
Following
2,228
Media
10,215
Statuses

👨🏿‍🎓 Comp Engineer |Laboratory scientist|Tech Reviewer | Found by Jesus Christ,

University of Dar es salaam
Joined April 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
Unaijua maana ya VPN ?
12
20
145
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
Kuna Mwanangu mmoja kaiba airpods zangu yuko zake vingunguti huko ana enjoy 😊 muziki safi kabisa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
206
167
2K
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅ACHANA NA BATTERY HEALTH kwenye iphone Leo nakusanua namna nyingine ya kuangalia kama iphone yako imetumika kwa muda gani ama haijatumika kabisa 😅 kupitia Cycle counts sio battery 🪫 health hii unakuta kabisa iko 100% lakini simu imetumika miaka na haikai na charge
Tweet media one
118
794
2K
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅TUMIA MBs THEN MTU AKIPIGA HUPATIKANI hizi Codes Kama unataka utumie internet kwenye simu yako then mtu akikupigia usipatikane ila huduma zote zinazotumia internet uweze kuzitumia kama kawaida mfano WhatsApp,instagram na safari 🧵🧵
Tweet media one
117
737
1K
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
🦅ZIJUE SECRET CODES ZINAZO SAIDIA KUTAMBUA KAMA SIMU NI FAKE AU LAA! USSD codes-uninstructured supplementary service data(ussd) ni code za siri ambazo unaweza kuzitumia kugundua baadhi ya features ambazo zimefichwa kwenye simu,na mara nyingi simu ambazo sio genuine hua
Tweet media one
65
1K
1K
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
🦅CODE ZA KU BLOCK SMS &SIMU ZINAZOINGIA AMA KUTOKA BILA YA MTUMAJI KUJUA. ⚡️⚡️⚡️⚡️ Unaweza ukazuia simu ama sms zinazoingia kwenye simu yako ama zinazotoka kutokea kwenye simu yako 1. *35*0000*11 # Hii code inazuia simu zote zinazoingia ama zinazopigwa kutokea mtandao wowote
Tweet media one
54
729
885
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
🦅HIZI APA CODE ZA SIRI SANA KWENYE SIMU YAKO ZITAKUSAIDIA PIA KUJUA KAMA SIMU YAKO NI FAKE ⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️ 1.* #61 # Baada ya kupiga ile * #67 # inayokuonesha kama simu ama sms zako zimeelekezwa kwenye namba nyingine hii ya 61 yenyewe itakuonesha ni muda gani ambao simu isipopokelewa
Tweet media one
38
557
775
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
🦅TUMIA HIZI CODE KUTOFAUTISHA SIMU OFFICIAL(ORIGINAL ) NA SIMU AMBAYO IKO BOOTED(NON-OFFICIAL) ⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️ 1. *#* #426 #*#* Kama message ukituma hazitoki,huwezi ku download apps kutoka playstore na simu ni nzito kutumia ,weka hii code kwenye simu yako ,code hii itakusaidia
Tweet media one
58
576
775
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
🦅KABLA HUJANUNUA SIMU INGIZA HIZI CODE ITAKUSAIDIA KUFANYA MAAMUZI SAHIHI 📚📚📚 Hizi zinaitwa 🛠Testing codes hua zinasaidia kutambua kama sehemu moja wapo kwenye simu ni haifanyi vizuri ama ni mbovu,kwa fundi simu ni vizuri pia ukizijua zinasaidia kukupa mwanga wa tatizo
Tweet media one
44
554
774
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅 FAHAMU MATUMIZI YA KI LOGO CHA NYUMA YA iphone Apple hua hawaweki tu vitu kama pambo,kila kitu unachokiona kina kazi yake ,ile kwamba hujui namna ya kutumia hakuifanyi apple logo kua tu ni sehemu ya pambo 😃 Fanya ku Retweet afu shuka nayo ! 🧵🧵
Tweet media one
54
227
756
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
Top 5 ya mikoa inayoongoza kua na watumiaji wengi wa Twitter Tanzania 🇹🇿 ! 1.Dar es salaam 2.Mwanza 3.Arusha 4.Dodoma 5.Mbeya Source:
Tweet media one
87
47
752
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅UKIONA HIZI DALILI UJUE UMEKUA HACKED 🤯MAZUNGUMZO YAKO NA SMS KWENYE SIMU! 🧵🧵🧵! Inapotokea mtu ameku hack au anafatilia mazungumzo yako,kila kitu kinachokua kinaingia kwenye simu yako basi lazima na yeye anakua anakiona,ukihisi hivo usipanic 🛀.Retweet afu njoo 👇
Tweet media one
28
388
694
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
🦅NAMNA YA KUJUA KAMA KUNA MTU AME KU HACK MAZUNGUMZO YAKO NA SMS KWENYE SIMU⚡️⚡️⚡️ 📚📚📚📚! Inapotokea mtu ameku hack au anafatilia mazungumzo yako,kila kitu kinachokua kinaingia kwenye simu yako basi lazima na yeye anakua anakiona,ukihisi hivo usipanic 🛀.Retweet afu njoo 👇
Tweet media one
32
503
670
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅SET MMOJA TU AKIPIGA AAMBIWE HUPATIKANI AFU WENGINE WOTE WAKIPIGA UPATIKANE Kuna hizi settings unaweza zifanya kwenye simu yako na uka set mtu fulani tu akipiga aambiwe hupatikani ,wengine wakipiga simu iite kama kawaida 🧵🧵
Tweet media one
28
317
671
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅TUMIA HIZI CODES KABLA HUJANUNUA SIMU USED KU TEST KAMA NI MBOVU ⚡️⚡️⚡️📚📚📚 Kuna ka ugumu flani kwenye kuijua kwa uharaka kama simu unayotaka kuinunua kama ni mbovu au la, sasa leo nakusogezea hizi ussd codes ku test vitu muhimu kwenye simu #Techinswahili
Tweet media one
21
501
664
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
Nimeamua kutengeneza mfumo ambao utawasaidia wakulima kuweza kutambua magonjwa mbali mbali kwenye mimea kwa kutumia AI camera nitakayo iwekea akili bandia,nitakua natoa updates kila nilipofikia, #AgricodesTz
Tweet media one
Tweet media two
66
148
651
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅HII HAPA NAMNA YA KUMPIGIA MTU ALIYE KU BLOCK 👍🤔! ⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️ 📚📚📚📚 Je ameku block ?ukipiga unaambiwa namba unayopiga inatumika kwa sasa kila muda ukipiga au hapatikani na ukimcheki kwa namba nyingine anapatikana hii hapa trick ata kama ameku block simu lazima ita ita tu
Tweet media one
34
382
641
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅MBINU 5 ZA KUPIGA PICHA NZURII KWA KUTUMIA SIMU YAKO!🧵🧵🧵 Hivi unajua kwamba simu yako ina uwezo mkubwa sana wa kupiga picha nzuri endapo ukizingatia haya mambo matano ninayoenda kukueleza hapa chini 😳😳
Tweet media one
22
150
612
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅ZINGATIA HAYA UNAPOKUA UNANUNUA COMPUTER 💻 🖥 ⚡️⚡️⚡️📚📚📚 Kama unataka kununua computer ama unataka kubadili computer huu uzi unakuhusu sana,ili usinunue computer ya bei kubwa yenye vitu ambavyo hutavitumia share na mwenzio kwa ku Retweet afu 👇 #🧵
Tweet media one
35
417
608
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
🦅UMEIBIWA SIMU NA HUKUMBUKI IMEI NUMBER UFANYE NINI: ⚡⚡⚡⚡⚡⚡⚡ inaweza kutokea ukapoteza simu yako na ukawa hukumbuki IMEI number yako ,either risiti au boksi navyo umepoteza,ukiwa na IMEI number itawasaidia polisi kuweza kujua ni laini ipi imewekwa kwenye simu yako uliyo
Tweet media one
45
341
569
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅NAMNA YA KUJUA KAMA KUNA MTU ANAKUFATILIA KUPITIA WhatsApp yako! ⚡️⚡️⚡️ 📚📚📚 Kuna feature ya WhatsApp ambayo inamfanya intruder afatilie chats zako bila ya wewe kujua ,anakua na uwezo wa kusoma text,kujibu text na kufatilia ni nani na nani walio kupigia simu ama video call
Tweet media one
29
215
542
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
Part 1 🦅NAMNA YA KU DOWNLOAD MOVIES 🍿 🧵🧵🧵! Kua na movie library ni biashara nzuri sana hasa ukiifanya kisasa maana kwenye biashara wanakwambia ukija sokoni na kitu chenye ubora ni unaliteka soko haswa wanakwambia “Quality Control Changes Customers “ Sokoni kwa sasa wengi
Tweet media one
14
242
523
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅TUMIA HIZI CODES KUJITOA KAMA KUNA MTU AME HACK CALLS NA NAMNA YA KUJUA PIA 🧵🧵 Ukipiga hii code ya *61*(namba ya simu)# hii ni code inayowekwa kwenye simu ya victim ili waweze kupata simu zote zinazoingia kwenye simu yake kutokana na hali tofauti tofauti walizo weka
Tweet media one
14
248
525
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
Haya hapa Matambala 100 ya kuangalia weekend hii Top 100 military movies of all time. 1. Saving Private Ryan (1998) 2. Apocalypse Now (1979) 3. Full Metal Jacket (1987) 4. Platoon (1986) 5. Black Hawk Down (2001) 6. Das Boot (1981) 7. The Thin Red Line (1998) 8. Paths of
Tweet media one
40
211
482
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅TUMIA HIZI CODES KUJITOA KAMA KUNA MTU AME HACK CALLS NA NAMNA YA KUJUA⚡️⚡️⚡️⚡️📚📚📚📚 Ukipiga hii code ya *61*(namba ya simu)# hii ni code inayowekwa kwenye simu ya victim ili waweze kupata simu zote zinazoingia kwenye simu yake kutokana na hali tofauti tofauti walizo weka
Tweet media one
19
285
477
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅CODE ZA KU BLOCK SMS &SIMU ZINAZOINGIA AMA KUTOKA BILA YA MTUMAJI KUJUA. ⚡️⚡️⚡️⚡️ Unaweza ukazuia simu ama sms zinazoingia kwenye simu yako ama zinazotoka kutokea kwenye simu yako 1. *35*0000*11 # Hii code inazuia simu zote zinazoingia ama zinazopigwa kutokea mtandao wowote
Tweet media one
20
347
466
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅BADILISHA TV YAKO YA ZAMANI KUA SMART ANDROID TV ! 🧵🧵🧵 Je una Tv ya kawaida ambayo sio smart tv kwa maana haina zile smart features kama -ku stream videos online ,youtube -kupata Huduma ya internet kupitia tv yako -ku enjoy videos zenye UHD(4k)  -kucheza Tv games
Tweet media one
26
188
448
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅NAMNA YA KUFICHA CHATS YAKO YA SIRI NA MTU WAKO Whatsapp 🧵🧵🧵 Wahuni wamefikiwa😅😅 hii feature itakusaidia kuficha chats ambazo utakua na uwezo wa kuzisoma peke yako tu hata kama ukimwachia mtu simu yako ,maana ni unakua na uwezo wa kufungua chats zako ulizo zificha kwa
Tweet media one
26
199
437
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅ZIJUE AINA ZA SCREEN PROTECTORS ZA SIMU NA UBORA WAKE. 🧵🧵 Kuna ka uoga flani hua kanakujia baada ya kuiangusha smartphone yako,hii sio tu inaleta uoga lakini inapunguza thamani ya simu pia lakini haya yote unaweza kuepukana nayo kwa kuchagua screen protector yenye ubora wa
Tweet media one
21
133
418
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅iPHONE WANA HII SETTING YA SIRI INAYO UA BATTERY ZA WATU WENGI 😢😢 ! 🧵🧵🪡 Habari za siku wataalamu 👋😎 Baada ya siku nyingi nimerudi kijana wenu wa TECH. Nimerudi na hii zawadi hapa Simu nyingi za iphone especially US versions (LLA) na baadhi ya Chinese versions
Tweet media one
18
93
404
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅KABLA HUJANUNUA SIMU USED TUMIA HIZI CODE KUIHAKIKI ! 🧵🧵🧵 Hizi simu used kabla hujainunua hakikisha unainunua kwa mtu unaye mwamini na hakikisha anakupa na original box halafu tumia hizi code hapa chini kuikagua
Tweet media one
23
262
402
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅ZIJUE MAANA ZA ALAMA TOFAUTI TOFAUTI ZA MITANDAO YA SIMU G, E, 3G, H/H+, 4G, 5G, VoLTE) 🧵🧵🧵 Hizi alama najua umewahi kuziona sana kwenye simu unapokua maeneo tofauti tofauti ya dunia na una uzoefu na speed ya ya internet kutokana na alama husika iliyopo
Tweet media one
7
169
401
@CoxstoreTz
Coxstore 
11 months
Kama unatafutaga maana ya weekend ndo hii hapa 😅😅🔥🔥🔥🔥
19
82
387
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅KUJIA KAMA UMEKUA HACKED KWA KUTUMIA HIZI CODES ! 🧵🧵 Inapotokea mtu ameku hack au anafatilia mazungumzo yako,kila kitu kinachokua kinaingia kwenye simu yako basi lazima na yeye anakua anakiona,ukihisi hivo usipanic 🛀.Retweet afu njoo 👇
Tweet media one
20
246
382
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅KABLA HUJANUNUA AU KUBADILI COMPUTER /PC💻 PITIA HUU UZI 🧵🧵 Kama unataka kununua computer ama unataka kubadili computer huu uzi unakuhusu sana,ili usinunue computer ya bei kubwa yenye vitu ambavyo hutavitumia share na mwenzio kwa ku Retweet afu 👇
Tweet media one
12
210
375
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅KWANINI ISRAEL NA PALESTINA WANAPIGANA KILA KUKICHA 🧵🧵🧵 Kama hujui ki undani vita ya mara kwa mara ya israel na palestina huu uzi nimekuwekea mambo kibao ili upate kuelewa ki undani zaidi Shuka na mimi
Tweet media one
15
87
375
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
UJIO WA Teknolojia YA kutotumia tena laini za simu 💡eSIM 👨🏿‍🎓 Moja kati ya safari fupi sana zilizobaki ni utumiaji wa laini za simu kwa maana ya micro SIM na Nano SIM, Leo nitakupa uzii kwa lugha nyepesi kabisa upate kuwa na ufahamu juu ya eSIM na faida zake pia
Tweet media one
22
118
363
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
ELIMU KUHUSU CODE ZA CALL DIVERSION (KUELEKEZA SIMU)KWENYE NAMBA NYINGINE! ⚡️⚡️⚡️⚡️ Call diversion inakupa fursa ya ku elekeza simu yeyote unayopigiwa kwenye namba nyingine 👇 Chini apa code za kufanya call diversion 1.kwenye simu yako bonyeza *21*namba ya simu unayotaka
Tweet media one
18
246
367
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
🦅HIZI APA CODES ZA IPHONE ZITAKUSAIDIA KUJUA KAMA NI FAKE AU ORIGINAL! ⚡️⚡️⚡️⚡️ 📚📚📚📚 Ussd na MMI codes hua ni shortcut codes za siri ambazo zinakua secretly programmed na mtengenezaji wa simu husika kwaajili ya ku fungua machaguo tofauti tofauti,hizi hapa za iphone 👇
Tweet media one
9
246
361
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅ZIJUE MAANA ZA ALAMA TOFAUTI TOFAUTI ZA MITANDAO YA SIMU 📚📚📚 (G, E, 3G, H/H+, 4G, 5G, VoLTE) Hizi alama najua umewahi kuziona sana kwenye simu unapokua maeneo tofauti tofauti ya dunia na una uzoefu na speed ya ya internet kutokana na alama husika iliyopo
Tweet media one
19
170
355
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅NAMNA YA KUJUA KAMA PC YAKO INATUMIA SSD AU HDD 🧵🧵! Si mnajua kwamba pc yenye SSD (solid state drive) ina kasi zaidi kuliko pc inayotumia HDD(Hard disk drive)😇 Kwaio unapoenda dukani hakikisha unajua namna ya kucheki kama ni ssd au hdd
Tweet media one
14
197
359
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
🦅VITU 6 VYA KUZINGATIA KABLA HUJANUNUA SIMU USED ⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️ Simu used huwavutia watu wengi sana,kutokana na bei zake kua cheap na kuwa na uwezo ule ule kama simu tu mpya! Kabla hujafanya maamuzi ya kununua simu yeyote used zingatia haya 👇👇
Tweet media one
18
109
342
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅ADVANCED TRACKING YA SIMU ILIYOPOTEA KUTUMIA IMEI NO PART:2 🧵🧵🧵! Huu uzi utakupa knowledge behind ya kinachofanyika kwenye advanced tracking ya simu iliyopotea kwa kutumia imei No,uzi uliopita nilielekeza namna ya kutumia primary tracking methods
Tweet media one
18
214
359
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅DARK WEB NA TISHIO LAKE 😢 🧵🧵 Eneo unalo ishi ni mtaa gani ambao una historia ya kukaliwa na wahuni wa kila aina ?basi hata huku kwenye internet kuna mitaa ukipita ,una asilimia chache sana za kubaki salama 😁😁 labda uwe unajua vizuri namna ya kujilinda mtandaoni
Tweet media one
14
139
344
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅SIRI NZITO KWENYE DEEP WEB😳😢 🧵🧵 Pamoja na kusoma kwangu kote Computer Engineering hiki kitu kiliniacha mdomo wazi baada ya kugundua kua kumbe taarifa unazo zipata kupitia Google au Bing ni 4% pekee huku 96% zikiwa zimefichwa kwenye Deep web 😢
Tweet media one
20
130
344
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅HATUA ZA AWALI ZA KU TRACK SIMU ILIYOPOTEA PART 1⚡️⚡️⚡️📚📚📚 hizi hatua za awali za namna ya ku track simu ni muhimu kwa kila mtu kuzipitia maana unaweza poteza simu au unaweza kutana na mtu amepoteza simu ukamsaidia,hizi mara nyingi hufanya kazi kama simu imeibiwa muda mfupi
Tweet media one
13
252
350
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅 KUJUA KAMA KUNA MTU AME KU HACK MAZUNGUMZO YAKO NA SMS KWENYE SIMU KWA KUTUMIA CODES ⚡️⚡️⚡️📚📚📚📚! Inapotokea mtu ameku hack au anafatilia mazungumzo yako,kila kitu kinachokua kinaingia kwenye simu yako basi lazima na yeye anakua anakiona,ukihisi hivo usipanic 😎 👇
Tweet media one
20
236
341
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA KABLA YA KUFANYA MAAMUZI YA KUNUNUA TV(Television )📺 ! Cc @CoxstoreTz 🦅 Kutokana na uzi nilio andika jana kua na maswali mengi sana juu ya vitu kama smart tv,Android tv,UHD,FHD,4k,8k leo nitajubu maswali mengi sana kwenye huu uzi shuka nami 🧵
Tweet media one
22
188
338
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅VITU VYA KUFANYA ILI KUOKOA MATUMIZI YA BANDO KWENYE SIMU! 📚📚📚 Kuisha haraka kwa internet Bundles imekuwa ni malalamiko ya wengi, lakini pia unaweza kufanya settings kadhaa kwenye simu yako kuokoa bundle kuisha haraka Twende pamoja hapa chini 👇 #ElimikaWikiendi
Tweet media one
27
226
325
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
Kama kuna simu unauza iweke kwenye comment hapa chini !
55
30
330
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅NAMNA YA KUZUIA MATANGAZO (Ads) UKIWA UNATAZAMA VIDEO YOUTUBE.⚡️⚡️⚡️📚📚📚 Kuna muda ile unataka kuangalia video YouTube ile tu unaanza tu hivi linatokea tangazo ,au wakati mwingine Upo katikati ghafla linatokea tangazo,kwa youtube isiyo na matangazo 👇
Tweet media one
24
169
318
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
Wengine watasema hizi ni dawa 😁😁😁
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
85
29
316
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
Tunza simu yako isiibiwe Ku track simu sio kazi ndogo wakuu
Tweet media one
29
28
315
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅FANYA HAYA KAMA PC YAKO ITAMWAGIKIWA NA MAJI ! 📚📚📚 Hii imewahi kukukuta ?ile unatumia computer ghafla maji yakamwagikia ama unatembea kwenye mnvua na pc ipo kwenye begi then ghafla mnvua ikalowanisha pc utafanya nini ?🤔 Retweet afu Fuatana na mimi 👊🏿
Tweet media one
21
177
309
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅NAMNA YA KUBADILI TV YAKO YA KAWAIDA KUA ANDROID TV ⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️ 📚📚📚📚📚📚📚 Je una Tv ya kawaida ambayo sio smart tv kwa maana haina zile smart features kama -ku stream videos online ,youtube -kupata Huduma ya internet kupitia tv yako -ku enjoy videos zenye UHD(4k) ♻️👇
Tweet media one
20
186
304
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅HACKERS WANATUMIA HII SIMU KUIBIA MAGARI NI NOKIA 3310(old model)🤔🤔 🧵🧵🧵 Ni kitu ukikisikia kwa mara ya kwanza ni ngumu kuamini ila ndo mbinu mpya ya kuibiwa magari wanatumia hii simu nokia 3310 old model kama funguo ya kuiwashia gari 🤔🤔 How ?shuka na mimi 👇
Tweet media one
51
69
311
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
IJUE TV (Television)📺 UNAYO TUMIA NI AINA GANI!👨🏿‍🎓 Kumekua na Tv nyingi sana mtaani na matumizi ya Tv yana ongezeka sana kila kukicha, hii apa chini ni list ya TV nimezipanga kutokana na ubora wa teknolojia iliyotumika na gharama pia 👇🏿. 1.Quantum light emitting diode-QLED TV
Tweet media one
21
135
310
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
Umetisha bro @Deoxz 🙏 Kwa wale wanataka vi meza vya kupigia code au kujisomea tu muone bro @Deoxz
Tweet media one
13
58
309
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
Hii movie inaitwaje nmecheka sana 😅😅😅😅😅😅
24
53
300
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅DALILI UKIZIONA KWENYE SIMU UJUE KUNA MTU AMEKU HACK! ⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️📚📚 Uwe na simu kubwa uwe na simu ndogo bado hacker anaweza kuku hack kama kawaida hata kama uwe unatumi simu ya mezani bado mtu anaweza akawa anafuatilia unachokifanya kupitia hio simu yako,hizi hapa dalili 👇
Tweet media one
20
148
294
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅TRICK YA KUUZA SIMU YAKO USED KIRAHISI!📚📚📚 Umewahi kusikia ule msemo wa simu used za dubai ?😇😀 au simu used za kwa trump au kwa madiba bondeni 😀,mara nyingi unachukua simu kubwa kwa bei ndogo sana unakuta iphone x mpya 700k lakini used unaipata kwa 400k Retweet afu 👇
Tweet media one
13
57
293
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅FANYA HIVI KAMA UTASAHAU PASSWORD YA KU UNLOCK SIMU YAKO 👍! ⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️ 📚📚📚📚 Kuna muda inatokea unavurugwa mpaka unasahau password ya simu yako au inaweza kutokea umebadili pattern umeweka mpya then mda sio mrefu unaisahau tena kila ukiweka inaandika wrong password ♻️af👇
Tweet media one
17
232
294
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅UMEFUNGA KWA BAHATI MBAYA DOCUMENT BILA KU SAVE KWENYE microsft word ! 🧵🧵🧵 Mfano una type kitu kwenye Microsoft word na kwa bahati mbaya computer ikazima au ukaifunga (close) hio document kwa bahati mbaya na hujuweka autosave ,usipanic relax kwanza afu 👇
Tweet media one
23
202
292
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
🦅MAANA YA STARLINK ILIYO PELEKWA UKRAINE NA TAJIRI WA DUNIA ELON MUSK Cc @EngCostantine ⚡️ miundo mbinu mingi sana imeharibiwa inchini ukraine kutokana na vita inayoendelea na kupelekea kukosekana kwa internet nchi nzima ,bila teknolojia ya starlink Mrusi asingepata kazi ku
Tweet media one
6
51
285
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
Mtoto wako siku akikuuliza umwambie hiki ni nini utamjibu nini ?😀😀
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
66
10
287
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅 FANYA HIVI KAMA UMESAHAU PASSWORD YA SIMU YAKO ! Imewahi kukutokea ukajikuta umesahau kabisa password ya ku unlock simu yako ?au umejaribu mara nyingi mpaka simu inafungwa ama kwa iphone inakua disabled ☹️ hapa watu wengi wanakimbiliaga ku flash 🥹🥹 🧵🧵
Tweet media one
13
155
285
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
Hivi mnaikumbuka ile kauli CEO wa HUAWEI aliwaambiwa marekani kwamba “Tupo mbele ki teknorojia miaka mitano mbele yenu 😅😅
13
13
282
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
NAMNA YA KUJITOA KWENYE SITES TOFAUTI TOFAUTI ILI USIWE UNAPOKEA EMAILS NYINGI KILA MUDA 🧵🧵🧵 Binafsi mimi hii hua inani boa sana kila muda uki washa data unapokea notifications 🔔 nyingi kweli kweli kutoka kwenye sites ambazo ume subscribe mfano sites za ajira
Tweet media one
12
130
264
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅KUJUA KAMA iphone YAKO NI ORIGINAL IPIME KWENYE HIVI VITU VITANO (5) 🧵🧵🧵! Leo nataka nikupe tips muhimu tano tu ,kujua kama simu unayotumia ni genuine na imekua designed kutoka pale Cupertino ,California steve job’s theater 🎭 au ndo imekua assembled China uswahilini 😀😀
Tweet media one
11
111
267
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅APPS 6 MUHIMU KWAAJILI YA KU TRACK LOCATION YA MTU KUTUMIA SIMU ⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️ 📚📚📚📚📚 Hizi apps ni nzuri kutumika hasa kwa watoto ambao unahitaji kuwa monitor mienendo yao pia hata kwa watu wenye matatizo ya akili ambao hupotea mara kwa mara
Tweet media one
8
150
259
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅HIKI NDICHO KITATOKEA KAMA HUA UNACHAJI CHAJI SIMU YAKO MARA KWA MARA KWA SIKU😣 📚📚📚! ⚡️⚡️⚡️ Kuna watu hua wanapenda sana kuchaji chaji simu kwa siku ,unakuta simu imefika 50% anaiweka chaji,au kama ni mtumiaji wa iphone ana turn on power mode 😢 njoo hapa uone madhara 👇
Tweet media one
16
98
247
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
🦅NAMNA YA KUONA DELETED MESSAGES KWENYE WhatsApp ⚡️⚡️⚡️ 📚📚📚 WhatsApp inakuruhusu kufuta message uliyoituma ndani ya masaa 13 dakika 8 na sekunde 16 baada ya kutuma message baada ya muda huo ile option ya kufuta message itakua disabled na ukifuta basi utakua umefuta kwaajili
Tweet media one
10
140
257
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅ZINGATIA HAYA KWENYE UCHAGUAJI WA PRINTER KWAAJILI YA BIASHARA ! 🧵🧵🧵! Orodha ya printers haina mwisho siku hizi. Aina tofauti za printa zipo kwenye soko siku hizi, na kwa hivyo, inakuwa kazi ngumu kwa mnunuzi kuchagua printa kamili kwa biashara. Kuna mambo mengi muhimu
Tweet media one
10
110
252
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅SIMU ZOTE MPYA KUACHA KUTUMIA LAINI ZA SIMU NA BADALA YAKE KUJA NA eSIM 📚📚📚! Baada ya uzinduzi wa iphone 14series siku ya jana kwenye apple event ambapo imeachana na matumizi ya laini za simu za kawaida na badala yake kujikita zaidi kwenye Teknolojia ya eSIM
Tweet media one
Tweet media two
17
45
251
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅TRICK MPYA YA KU HACK WHATSAPP YAKO WANATUMIA CODE TU🥺⚡️⚡️⚡️⚡️📚📚📚! Kumekua na cases kibao juu ya watu ku hackiwa account zao za WhatsApp na wadukuzi kuanza kutuma message kwa watu za utapeli ,mfano wanaanza kutuma matangazo ya kazi kwenye account yako
Tweet media one
14
121
247
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
Day 1️⃣ Nimetengeneza data set yenye picha 1000 za majani ya nyanya ambayo hayo majani yapo katika hali tofauti tofauti yaliyo athiriwa na ambayo hayaja athiriwa,yanayo kua ,yaliyo nyauka,yaliyoliwa na wadudu,yanayoliwa na wadudu #kilimocodes
Tweet media one
22
40
241
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
MATATIZO YA MARA KWA MARA KWENYE ANDROID TVS(Televisions)NA NAMNA YA KUYATATUA. Cc @EngCostantine 🦅 Kama tulivyo elezea kwenye nyuzi nyingi zilizopita ni android tv kua na uwezo wa ku support play-store na wakati huo smart haina uwezo huo , Matatizo ya android tv ni kama
Tweet media one
8
115
249
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅NJIA ZA KUCHAJI SIMU YAKO ILI BATTERY YA SIMU YAKO IDUMU KWA MUDA MREFU! ⚡️⚡️⚡️📚📚📚 Hii mada ya battery imekua misunderstood kwa muda mrefu sana kuna maswali mengi sana juu ya battery za simu, leo nmekuletea maswali na majibu ambayo huulizwa mara kwa mara #uzi 🧵
Tweet media one
19
124
243
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅KILICHO NYUMA YA CAMERA ZA Google pixel 🧵🧵🧵 Kwa sasa tukizungumzia simu zenye budget ndogo na zenye camera yenye ubora wa hali ya juu duniani,basi jina GOOGLE PIXEL huwezi acha kulitaja ,hawa jamaa sijui walitokea wapi maana kipindi sisi tunakua miaka ya 2000s simu zenye
Tweet media one
54
75
243
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅SKILLS 5 ZA TECHNOLOGY HUTAKIWI KUMALIZA CHUO BILA KUZIJUA 🧵🧵! Hivi unajua kwa sasa tulipofikia hakuna umuhimu wa kua na simu yenye storage kubwaaa 😀😀 Tunaishi kwenye dunia ambayo kila kukicha kuna tech skill mpya inakua imezaliwa kwa lengo la kurahisisha maisha
Tweet media one
7
149
234
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅SMART TV AU ANDROID TV ?ipi ununue na tofauti zake je 🙄? ⚡️⚡️⚡️📚📚📚 Kama una mpango wa kununua Tv hivi karibuni basi huu uzi ni wako kabisa na kigezo muhimu kabisa kwa kipindi hiki ni hiki cha android tv au smart tv ili uweze kuendana na mazingira ya teknolojia ya kisasa
Tweet media one
23
85
233
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅FANYA HAYA KUTUNZA BATTERY YA LAPTOP YAKO 📚📚📚 Kikawaida laptop yako inatakiwa kukaa na charge kwa muda usiopungua masaa 6 kwenye matumizi ya kawaida kama kusoma notes,ku type,movies na music isipokua kutumia apps nzito nzito mfano adobe ndo muda kidogo utapungua
Tweet media one
12
89
234
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
MBINU ZA KUTENGENEZA MAMILIONI YA PESA 😳MTANDAONI KWA KUTUMIA 🚨ChatGPT. Maana ya ChatGPT kama ndo mara yako ya kwanza kuisikia ni software ambayo unaweza chat nayo usipojua unaweza fikiri una chat na binadamu mwenzio 🧵🧵🧵
Tweet media one
12
84
241
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅NAMNA YA KUFANYA KAMA UMESAHAU PASSWORD YA gmail YAKO! ⚡️⚡️⚡️⚡️ 📚📚📚 Kama umesahau password yako na pia huna access ya namba ya simu itakayotumiwa code au gmail yeyote ambayo itatumiwa code basi fuatana na miki kwenye huu uzi ntakufundisha na utaweza kuirudisha password yako
Tweet media one
19
127
237
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅KUJUA LOCATION YA MTU KUPITIA PICHA ANAZOKUTUMIA! 📚📚📚📚📚📚📚 Njia mojawapo ya kujua location ya mtu pasipo kumuuliza moja kwa moja alipo ni kumwambia atume picha ya kitu chochote alipo,unaweza kumwambia tu nataka ninunue saa kama yako emu piga picha nione saa yako 😀!♻️ 👇
Tweet media one
12
140
237
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅KAMA SIMU YAKO HUA INA STACK STACK SANA WAKATI WA KUTUMIA PiTIA HAPA!⚡️⚡️⚡️⚡️ 📚📚📚📚! Kuna simu zingine unakuta RAM yake ni kubwa na processor yake ni kubwa kabisa lakini bado ikawa ina stack tu wakati wa kuitumia ,watengenezaji wa simu wanafanya kila aina ya uwezekano
Tweet media one
18
126
227
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅 SIRI YA TEKNOLOJIA YA KUZUIA MAKOMBORA ANGANI INAYOTUMIWA NA ISRAEL 🇮🇱 📚📚📚 Kama unakumbuka vita kati ya israel na palestina ,hii teknolojia ilitumika kwa kiwango kikubwa sana kuzuia makombola yaliyokua yakilengwa kwenye ardhi ya israel
Tweet media one
14
57
232
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅HATUA ZA AWALI ZA KU TRACK SIMU ILIYOPOTEA PART 1 🧵🧵🧵! hizi hatua za awali za namna ya ku track simu ni muhimu kwa kila mtu kuzipitia maana unaweza poteza simu au unaweza kutana na mtu amepoteza simu ukamsaidia,hizi mara nyingi hufanya kazi kama simu imeibiwa
Tweet media one
7
160
234
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅NAMNA AMBAVYO LAINI YAKO INAWEZA KUA HACKED ⚡️⚡️⚡️📚📚📚 Laini yako ya simu inaweza kua hacked na mtu akawa anasikiliza mazungumzo yako yote na kusoma text zako zote na anaweza kuingilia mpaka apps ulizo connect na baadhi ya mitandao ya kijamii 👇 #Techinswahili
Tweet media one
13
132
230
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅FANYA HAYA KUONGEZA SPEED YA INTERNET KAMA IPO SLOW!⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️⚡️ 📚📚📚📚📚📚 Pamoja na kwamba huwezi jiongezea internet speed zaidi ya speed unayotoa mtandao wako unaotumia,kuangalia speed ya mtandao wako nenda google type internet speed then watakuonesha uploading speed na do
Tweet media one
10
102
228
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅UNAJUA FRIDGE LAKO LINATUMIA UMEME KIASI GANI KWA SIKU ? kabla sijakupa namna ya kujua nitaanza na sababu zinazo pelekea jokofu lako kutumia umeme mwingi -Kulifungua mara kwa mara
Tweet media one
14
99
234
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅NAMNA YA KUJUA UMRI WA LAPTOP YAKO KABLA HUJANUNUA 🧵🧵🧵 Hapa chini nmekuwekea mbinu za kutambua laptop 💻 yako imetumika kwa muda gani ,najua saivi wanafunzi wengi wanajiandaa kuingia chuo na kwa namna moja au nyungine kuna courses lazima zinakutaka uwe na computer,lakini
Tweet media one
6
157
230
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅ISSUE YA KU ACTIVATE WINDOWS AU MICROSOFT OFFICE 🧵🧵 Hivi umewahi kujiuliza kwanini kuna muda laptop yako hua inakuletea notifications kama hii ya ku activate na inakela kweli kweli 😀😀 Leo tutawauliza hawa jamaa kwann hua wanatuletea notifications za ku acativate
Tweet media one
15
88
228
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅KINACHOTOKEA WAKATI WA KU BOFYA NA KUSAMBAZA LINK ILI KUPATA ZAWADI📚 Kuna links nyingi sana ambazo hua watu wanaambiwa ku share na watu labda 10 au kwenye baadhi ya ma group ya WhatsApp ili kujishindia zawadi au kupata udhamini wa kusoma nje ya nchi #Elimikawikiendi
Tweet media one
24
114
227
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅VITU MUHIMU VYA KUZINGATIA KABLA YA KUFANYA MAAMUZI YA KUNUNUA TV(Television ) ! 🧵🧵🧵! Inawezekana umejiuliza maswali mengi sana juu ya vitu kama smart tv,Android tv,UHD,FHD,4k,8k ,kampuni gani nzuri Hisense,Boss ama LG basi leo nitajibu maswali mengi sana ambayo umekua
Tweet media one
13
122
226
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅UMEFUNGA KWA BAHATI MBAYA DOCUMENT BILA KU SAVE KWENYE microsft word ! 🧵🧵🧵 Mfano una type kitu kwenye Microsoft word na kwa bahati mbaya computer ikazima au ukaifunga (close) hio document kwa bahati mbaya na hujuweka autosave ,usipanic relax kwanza afu 👇 Andika sehemu ya
Tweet media one
5
125
216
@CoxstoreTz
Coxstore 
1 year
🦅NAMNA YA KUFANYA KAMA UMESAHAU PASSWORD YA gmail YAKO!  🧵🧵🧵 Kama umesahau password yako na pia huna access ya namba ya simu itakayotumiwa code au gmail yeyote ambayo itatumiwa code basi fuatana na mimii kwenye huu uzi ntakufundisha na utaweza kuirudisha
Tweet media one
10
129
221
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
🦅TOP TEN YA NCHI ZENYE TEKNOLOJIA BORA DUNIANI 2022. Cc @Engcostantine 1.Japan 🇯🇵 Japan inakua nchi ya kwanza kutokana na sifa yake ya kua na watafti wa kisayansi walio shinda Nobel prize mara nyingi zaidi duniani huwezi kuiacha nyuma japan unapo zungumzia
Tweet media one
18
76
216
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
🦅NAMNA YA KUANGALIA KAMA SIMU YAKO UNAYOTUMIA ,IMETUMIKA KWA MUDA GANI ?😳😳 60% ya watu duniani wanauziwa simu ambazo ni used ,sio brand new bila ya wao kujua 🥸🥸,simu itakuja sealed kwenye boksi lakini ki uhalisia wake sio mpya 🧵🧵🧵 #ElimikaWikiendi
Tweet media one
9
148
222
@CoxstoreTz
Coxstore 
3 years
⚠️KUA MAKINI UNAPOKUA UNAFANYA DELIVERY 🚚 KWA WATEJA AMBAO NI MARA YAKO YA KWANZA KUFANYA NAO BIASHARA, Story ya kweli ! Siku mbili tatu nlipost macbook pro 2014 kua naiuza kwa 1900000/=Tshs Kuna jamaa akawa amenipigia simu akaniambia ameona tweet yangu kua nauza
Tweet media one
22
36
214
@CoxstoreTz
Coxstore 
2 years
NAMNA ya KUCHEKI KAMA SIMU YAKO INA SUPPORT eSim 🧵🧵🧵 Kwa wale wateja wa airtel sasa ni rasmi kuna huduma ya eSIM(embedded subscriber identity module) au laini ya kidijitali 😀👌 kila ukifika kwenye maduka ya airtel nchi nzima sema sasa simu yako iwe tu na uwezo huo
Tweet media one
23
53
215