Muyumu Profile Banner
Muyumu Profile
Muyumu

@MussaWamusa

3,352
Followers
3,343
Following
17
Media
1,412
Statuses

@muyumu

Joined June 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@MussaWamusa
Muyumu
1 year
@TwevePauLo Huyu jamaa arudi kwenye ulingo wa kuchekesha anaweza sana si wa sasahivi sio wabunifu kwenye kuchekesha, mpaka Sasa Tanzania ni wasanii watatu tu wanaojua kuchekesha ambao Ni Masanja mkandamizaji, Mboto na Tin white.
14
1
33
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@Zittokabwee Msiwe na mawazo mgando mkadhani kila anaevaa Suti ni muheshimiwa, hata jambazi anavaa Suti sasa musituaminishe wengine kuwa tunamjua mbowe si gaidi wakati hatujui Siri zake zote msidhanie watu tofauti tuwaachie vyombo vya Sherie vipeleleze vijiridhishe.
32
0
31
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
0
5
20
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@kapipo123 Kweli kabisa muheshimiwa Spika nami nakuombea msamaha kwa muheshimiwa Rais. Hata Hayati Magufuli alikosewa akaombwa msamaha akawasamehe maisha yakaenda
0
0
14
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@kigogo2014 Watu kama hawa ni wa kukamata na kusweka ndani maana yaonesha wanawaombea Dua mbaya viongozi wa kitaifa
7
0
12
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@HecheJohn Una uhakika gani kama uliporwa Kura hamna vya kupost kila siku kuzunguka humohumo kuilaumu serikali, hakuna hata kimoja Cha kupongeza serikali, siasa gani hizo jamani
10
0
12
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
Hii ndio hali ya waswaliji wengi wa zama hizi, "innaalillahi wainnaa ilayhi raajiuni" huu ni msiba uliotukumba Sisi, tuhudhurie kwenye swala zetu kimwili na kiakili.
Tweet media one
0
2
8
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@millardayo @jmkikwete Inapendeza sana kwani kwenda kwake ameiwakilisha serikali, na wao kuona kuwa kumbe hata serikali inatambua mchango wa wanabondia kwa Nchi
0
0
10
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@fayet_kamami Mtoa post sio Siri umenikera sababu umetudhalilisha wanaume angepost mwanaume nyuchi za wanawake mngepiga kelele kusema ni unyanyasaji wa kijinsia,
0
0
9
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@darmpya_ Ooh pole Yao sana Namuomba Allah awape afya njema wapone kwakweli
0
0
8
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@fatma_karume @kigogo2014 Wote mnaomuandama Mama kuwa mdini et kisa mbowe kakamatwa kwa shutuma za ugaidi mmeishiwa mawazo nawaambieni halafu muna mawazo ya mgando, hamjui gaidi ni nani ndio Maana munawaza et Kila gaidi ni Muislam sio kweli, fuatilieni haki kisheria msikashifu watu.
8
0
7
@MussaWamusa
Muyumu
2 years
@bgi047 Amewekwa ndani anamuhudumia msela usiku na mchana
1
0
7
@MussaWamusa
Muyumu
1 year
Ewe Allah nisamehe Mimi kwa Madhambi niliyoyafanya ya kujiunga na mtandao huu wa Twitter kwakweli unapotosha maadili, kuanzia Leo najitoa nakushukuru wewe Allah kwa kuniojngoza nikajitoa nakuomba uwaongoze na wengine wajitoe.
1
1
1
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@TvDaima @SuluhuSamia @ridhiwankikwete Hayati JPM hakukosea katika kumchagua yeye kuwa makamo wa Rais akijua hata akiondoka yeye ataweza kuing'arisha Tanzania na kweli tunaona juhudi zake "mwenye macho haambiwi tazama"
0
2
6
@MussaWamusa
Muyumu
1 year
@Shann_099 Laleni tu
0
0
6
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@officielsalome Ukifanya masihara na wewe utatembea na bango tuko wachache sisi ukiangalia hujawatoa matahila hujawatoa wagonjwa hujawatoa walioko jela hujawatoa makundi mengine, wenye akili timamu tuko wachache wewe lembalemba.
0
0
6
@MussaWamusa
Muyumu
1 year
@joeselasini Hivi hawa wanamjua Hamonizi lakini, mh ngoja afufuke watajua hawajui
0
0
4
@MussaWamusa
Muyumu
1 year
@Labella_Mafia95 Huna akili na masikini wa Mawazo wewe ndo munaofanya mashoga waongezeke hataki kuolewa jinga sana
1
0
5
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@Nnauye_Nape Kweli mtetezi wetu wa kusini, nakukubali sana natamani niingie mjengoni niwe kama wewe ila daa, mwenyewe mnene mlango wa kuingilia ni mwembamba kwangu ila endelea kutupigania kusini tuna Imani na wewe
0
0
4
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
1
0
5
@MussaWamusa
Muyumu
2 years
Tweet media one
0
2
4
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@swahilitimes @ummymwalimu Najiuliza Kwanini wamemuhamisha huyu waziri kwenye wizara ya Tamisemi wakati amekaa muda mfupi ila amefanya kazi kubwa sana ya kuonekana angeachwa kwenye wizara mama jamani, aa
0
0
5
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@VeezyJR_ Wanaogopa watu kukosea kujaza fomu makusudi waendelee kuangalia TV 😂 wabongo bhana
0
0
5
@MussaWamusa
Muyumu
2 years
@AfyaFactz Mimi sijui nijulishe
0
0
5
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@ikulumawasliano Safi sana Rais wetu amependeza sana
1
0
5
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@kipepe123 Mtoto wa 2000 anaekunyang'anya hadi mshahara du maisha haya😂
0
0
4
@MussaWamusa
Muyumu
1 year
@Mrdj255 Huu Ni msiba, tena Ni balaa, ningekuwa na uwezo wa kuhama hii sayari ningehama
0
0
4
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@kigogo2014 Kazi iendelee nampenda sana muheshimiwa Rais kwa anayoyafanya na naamini atafanya makubwa zaidi kuliko waliomtangulia maana anakwenda na Kasi kubwa sana Allah amsimamie kwakweli
0
0
4
@MussaWamusa
Muyumu
2 years
@Michaell__7 Wewe uliyempost ndo unamfaham
0
0
4
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
Muumin wa kweli ni kioo kwa muumin mwenzake
Tweet media one
0
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@millardayo Muheshimiwa Nape jembe Sana namkubali sana Mwanzo hakutolewa kwasababu eti ilimshinda hapana wote tunajua, tena wizara ilikuwa na mvuto sana na alipendwa na waandisshi wa habari, kipenzi Chao amerudishwa tena, kongole kwa muheshimiwa Nape
0
0
4
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@MsigwaPeter @SuluhuSamia Tatizo lenu nyinyi mkipewa lifti mnataka mpige na honi, mama aliwaruhusu siasa za kistaarabu lakini nyinyi munaleta vurugu sasa bora achukue kufuli awafungieni kama mjeshi aliyepita mtakuwa na adabu, maana munaonyesha viashiria vya uvunjifu wa amani kupitia katiba.
2
2
4
@MussaWamusa
Muyumu
2 years
Ijumaa kariim
Tweet media one
0
0
4
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
Watanzania wanafiki sana wanakusifia ukifa, saizi watu wanamsifia Hayati magu kumbe hao hao wakimtukana akiwa hai. Na Mimi namsihi mama aendelee kupiga kazi bila kujali malalamiko ya mitandaoni watakusifia ukifa ndo walivyo watanzania
1
1
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@ismailzayd21 Uislamu ni dini nzuri sana
1
0
4
@MussaWamusa
Muyumu
2 years
1
0
4
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@eastafricatv @hpolepole @SuluhuSamia Kila la kheri muheshimiwa Polepole kafanye kazi kwa weledi na Kwa Niaba ya watanzania wote.
0
0
4
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@mshambuliaji Kabisa brother maneno kuntu
0
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@heztmazt @Zittokabwee Ukimkimbiza aliyechukua nguo zako wakati unaoga utaonekana chizi zaidi kuliko aliyechukua nguo zako, ninachotaka kusema badilisheni kauli zenu za kusema watanzania wanataka hivi, semeni wapinzani wanataka hivi, unapowajumuisha watanzania wote kuwa wako pamoja na nyingi No, no.
8
0
4
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@ikulumawasliano Namtakia safari njema aende salama arudi salama tunampenda Rais wetu.
0
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@AnthonyKasota @swahilitimes Acha ujinga wewe kupanda kwa vitu bei lineanza kwenye utawala wa mama, halafu je wewe unataka barabara nzuri, maji umeme na kadhalika vyote hivyo vinategemea Kodi sasa yeye akachukue wapi hela, tumia akili acha kulaumu ovyo
9
1
4
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@kigogo2014 Kweli kabisa mama ni Rais wa pekee sana, tumuunge mkono tulio na akili.
0
0
4
@MussaWamusa
Muyumu
2 years
@unique_asmer Nicheki kwa namba hii 0621543831 tuyajenge vizuri kama uko seriously
1
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@Nnauye_Nape Safi nasi kama wazawa wa lugha tunafurahi kuona utamadini wetu unatumia na watu wengine
0
0
4
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
Watu wa humu ndani wanadharau sana hata ukiposti jambo la msingi hawataki kukomenti wanajifanya wako juu kama hawatakufa vile na kusahaulika muda mfupi, badilikeni
1
1
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@mwigulunchemba1 Pole sana kwa Rais wetu na serikali kwa ujumla bila kuwasahau ndugu wa karibu wa marehemu kwa msiba huu mzito, tukumbuke tu "Sisi wote ni wa Mwenyezimungu na kwake tutarejea"
0
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@CloudsMediaLive @ummymwalimu Hongera sana kiongozi wangu tunaitaka serikali kama hii inayomfikia mwananchi popote alipo naamin hata wadzabe watafikiwa.😂 Naipenda sana serikali yangu
0
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
2 years
@Eric_Bernard94 We muongo ee umekiona wapi kiumbe kama hiki na hakipo meno futi 5 kichwa kipoje, aa wee nashindwa kuamini
0
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
8 months
@msouthherbs Maashallah
0
1
3
@MussaWamusa
Muyumu
2 years
Dalili ya kujua wewe ni Kichaa ni kukasirika pale unapodaiwa na mtu ambae alikukopesha pindi ulipokwama
0
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
1 year
@TwevePauLo Jotu ni mchekeshaji ila namuona kama anatumia nguvu na muda mwingi kutaka kukuchekesha, mchekeshaji mzuri ni yule anaetumia muda mchache kukuchekesha
3
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
1 year
0
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@ortamisemitz @ummymwalimu Ukimaliza ziara yako ya Kanda ya ziwa Muheshimiwa waziri tunakuomba ututembelee Kanda ya kusini hususani mkoa wa Mtwara, Kwani ziara yako ina faida sana
0
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
2 years
@PNdalichako @SuluhuSamia Hongera sana muheshimiwa waziri
0
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@SuluhuSamia Kweli kabisa muheshimiwa Rais Allah akuhifadhi na kukulinda
1
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@hpolepole Hongera Muheshimiwa balozi
0
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
2 years
@BintiDiana_ @LauFighter Kuna watu wanamwagia pazuri
0
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@swahilitimes Namuombea safari iwe njema yenye faida kwa watanzania wote, hivyo aende salama arudi salama
0
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@ikulumawasliano Safi sana huo ndio Uungwana
1
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@mshambuliaji Umeongea kweli kabisa, lakini je unasimamisha swala tano? Kumbuka Allah amesema " Enyi mlioamini mbona munasema msiyoyatenda?" Kwa maana akitutaka maneno yetu yaendane na vitendo vyetu. Nakukumbusha tu Allah atuongoze katika kaqqi. 🌍
1
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
2 years
@siadevinci Ana misukule huyu
0
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@ReganTesha_ Siri yangu, mbona unauliza kama una chuma ulete
1
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@pompeowabuza Inapendeza kwakweli hata kesho serikali ikimuagiza tumia kipaji chako na ujasiri wako kwa ajili ya kuitangaza Nchi yako unakuta yuko tayari afie ulingoni sababu ya kuungwa mkono na serikali, hongera muheshimiwa JK, pole sana Mwankinyo.
0
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@Nuratymiss Wanawake wenyewe ndo wajika uweupe wao unawatia kiburi na hawataki uweupe wao umilikiwe na mwanaume mmoja ndio maana mnachezewa, na mtachezewa mpaka mkome na mkifa mkapate adhabu Kali kwa Allah.
0
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
1 year
@Labella_Mafia95 Mnanikera sana nyie watu mnachangia kuihaeibu dunia jinga sana
1
1
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@MgayaMeremo @kipepe123 @poeticTricy @Qailunu @BarakaSaimon3 @ClaraMogul @eudenproje @MiriamMkanaka @abbymchaga Watanzania wanafiki sana wanakusifia ukifa, saizi watu wanamsifia Hayati magu kumbe hao hao wakimtukana akiwa hai. Na Mimi namsihi mama aendelee kupiga kazi bila kujali malalamiko ya mitandaoni watakusifia ukifa ndo walivyo watanzania
0
1
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@ChademaTz @TunduALissu Kuku anapokaribia kufa hurusha rusha miguu akidhani atampiga anayemtoa roho kumbe ndo kuaga Dunia kwenyewe
0
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
2 years
Hivi wakikuambia chagua kimoja Kati ya kuwa mfupi kimwili akili zako ziwe ndefu na kuwa mrefu kimwili akili zako ziwe fupi utachagua Nini?
0
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
2 years
@SnrDirector Kwenye mazao mengine kama mounga mahindi na mazao mengine wameachiwa huru kwanini zao la korosho hajaachiwa mkulima mwenyewe auze? Kazi kupangiwa bei na mabepari mpaka mkulima anakula hasara wanapata faida wao tu, tuache unafki
1
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@kigogo2014 Kelele za chura hazimnyimi tembo kunywa maji.
1
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@EliasSlegray @fatma_karume @kigogo2014 Police sio wajinga wa kukamata watu hovyo kama wameona viashiria vya uvunjifu wa amani wanahaki ya kudhibiti kabla ya maafa kutokea hawajawahi kuingia kwenye nyumba za ibada bila sababu ukiona hivyo chunguza Kwanza usikurupuke ukaanza kuvunja heshima za watu.
0
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
Muabudu wakati wa raha atakujali wakati wa shida
Tweet media one
0
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@ayubu_madenge @tzDiscovery @fazoboya @Mugaka_N @BaloziMtaa @babalao__ @YusuphMbilinyi8 @noel_isidore @ManenoIzaak @FatmaSulley @Wilbright_jr Kwani Purtin hamsii mwenzake anachosema au hataki mazungumzo, anaona Bora kuharibu nchi ya mwenzake. Hivi anadhani atabaki Duniani milele, akina Adolf Hitler wako wapi.
2
0
3
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@mshambuliaji Safi sana hii ni moja mbinu ya kutunza amni yetu.kutouliza swala dini wakati wa sensa ni jambo zuri sana
0
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@msangijeff @kigogo2014 Kwahiyo unataka kutuambia na sisi tukiigawa nchi yetu vipande kama Rwanda tutaendelea
1
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@athanas_pius Tukatalii na kutangaza vivutio vyetu
0
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@mahaasinul Maashallah, Allah awahifadhi
0
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@KiamaAisha @SecondclassCit2 @MustafaPierro @ShabaniHamimu4 @20qnana @Husna_h_ 😂😂😂😂😂 mwe..mwe Pole mfuate unaemuona ana kiherehere cha kujiita shekh akuambie maudhui ya khutuba hiyo
1
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@ummymwalimu Tunaimmani na serikali ya 6 Sababu ina viongozi wasikivu, uolewa na huruma hongera sana.
0
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@OfficialJouma Allah amsamehe makosa yake
0
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
Najivunia kuzaliwa Tanzania, Kwani katika neema alizowajalia watanzania ni kujua thamani ya Amani, Ewe Allah ilinde amani yetu Tanzania
Tweet media one
0
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@rose_mayemba @kilepi_tweve Hatutaki katiba mpyaa, tuache tupige kazi tumechoshwa na kelele zenu
0
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@Husna_h_ Kweli kabisa
0
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
"Tanzania bila korona inawezekana" watanzania wenzangu tujitokeze kupata chanjo pindi zitakapofika maeneo yetu. Naiomba serikali kuisambaza kwa haraka zahanatini ili watu wapate chanjo. Thank you Mam
0
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
2 years
Hakika ya Nafsi siku zote huamrisha maovu ipinge Nafsi yako kwa kutumia silaha ya Dini
@wema_wa_elimu
Wema Wa Elimu
2 years
EWE DADA YANGU JITAMBUE. SASA HAKUNA ATAKAE FUTA HIZO PICHA ZAKO WEWE. UKIFA UTAENDELEA KUJICHUMIA DHAMBI. NAFASI NI HII SASA
Tweet media one
1
0
3
0
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
1
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@SuluhuSamia @Princess_mcute Mama yupo kazini kuwatumikia watanzania, kongole kwako Muheshimiwa Rais
0
1
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@Husna_h_ Exactly
0
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@azamtvtz Kwanini Azam mnapandisha sana bei ya vifurushi vyenu? Au mnataka kusingizia vita ya Urusi na Ukraine? Maana saizi imekuwa kisingizio Cha Kila mtu kupandisha kitu chake bila ukweli wowote, mnatutesa wateja wenu tumekuwa kama Wakimbizi ktk nchi yetu
0
1
2
@MussaWamusa
Muyumu
2 years
@_Jayreally @mirambograndson 😂😂 wahuni sio watu kabisa
1
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@millardayo Innaalillah wainnaa ilayhi raajiun
0
0
1
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@nulphin @ChangeTanzania @kigogo2014 @MariaSTsehai Da, wewe wala si muungwana kabisa kama wamekulindia amani yako mpaka Leo unapata nguvu za kuzungumza hivyo sababu ya amani uliyonayo si msaada tosha kabisa na jeshi letu ndio linalosimamia hilo ifikie mahali waTanzania tuwe na huruma kifo sio kitu Cha mchezo nahisi hujafiwa wewe
2
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
3 years
@AdmireAs Inapendeza sana
0
0
2
@MussaWamusa
Muyumu
1 year
@tanya6inch Laana hii
0
0
1