J.4 Profile Banner
J.4 Profile
J.4

@MatumlaAJ

1,064
Followers
724
Following
178
Media
8,341
Statuses

Doctor of Pharmacy | Drug Development Expert 🧬 | Regulatory Medical Writer | Football | Mzaramo Mjanja

Paris, France
Joined December 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@MatumlaAJ
J.4
4 years
Doing clinical meetings and rounds without a Clinical Pharmacist is a lifeless practice and injustice to patients. Doctors and Nurses mpaze sauti.
16
24
100
@MatumlaAJ
J.4
6 months
Habari makamanda! Mimi ni Mfamasia. Nina degree ya kwanza ya: Doctor of Pharmacy (PharmD). Degree ya 2 (MSc) kutoka chuo cha 15 kwenye ranking duniani (Shanghai), kipo France. Mnazo 15M nije kuwa meneja wa Wafamasia? Gari nitanunua mwenyewe, nyie ni kulipa tu hiyo salary.
@tanpol
Police Force TZ
6 months
#AjiraPolisi Fani Zinazotakiwa kwa kila Ngazi ya Elimu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
142
281
2K
51
23
245
@MatumlaAJ
J.4
2 years
@YourFrenchFry Ndio maana wazee flani wanasema dont wait till you are ‘too old’ (maybe 35+) to get married because the ´bad side’ is so chronic at this stage that you won’t be able to easily control it. When you are young, adjustment and flexibility is not too difficult.
3
26
209
@MatumlaAJ
J.4
29 days
Kingine nimesahau, HUWEZI KUPATA FURSA NJE KAMA HAUNA AKILI. 😂😂Wakushindwe kwenu, wakakuweze UK au USA? #MzaramoInMe
29
23
204
@MatumlaAJ
J.4
4 months
He was my intern at MNH, then joined me in Paris for MSc; He will soon be a PhD candidate to develop a NEW drug for Cancer, sponsored by EU! Serikali wekeni bajeti mezani vijana wasipotee! Fund our UNIs! R&D may give us a novel antibiotic, new weapon against resistant bugs!
Tweet media one
10
18
127
@MatumlaAJ
J.4
17 days
We regret to inform you but atleast hata wameni’address properly! NB: Game ya kutafuta kazi huwa ni ngumu dunia nzima. In Europe nadhani it takes more than 50 very well prepared applications to get 1 job interview. Courage to all jobseekers, msikate tamaa.
Tweet media one
28
18
114
@MatumlaAJ
J.4
29 days
JINSI YA KUPATA FURSA: 1. Tumia search engine mf. google au zilizopo X etc. 2. Tumia neno unalotaka ku’filter information mf: scholarship, study , climate activist, international jobs, Pata IDEA kidogo 3. Tafuta wanaofanya hizo ishu, tuma DM kuomba akuoneshe njia ya kupita.
7
30
111
@MatumlaAJ
J.4
6 months
Hawa watoto wetu sometimes ni bora wasome shule za ‘kayumba za kati’ kama Olympio au private za chini ya laki 5 kwa mwaka halafu hiyo 2M+ tunazolipia kwenye English medium uchwara unaenda ku invest kwenye professional skills kama football/kuogelea/riadha/French/Chinese/Computer.
7
15
71
@MatumlaAJ
J.4
2 years
@joshuamoshi__ @DullahTheking2 @iampopkiddy @samuelmway @Daudi216 Kwa hii hela hata kusimama tu pembeni ya mti bila kufanya chochote siku nzima sikubali😂😂😂😂
16
1
69
@MatumlaAJ
J.4
1 year
Pharmacists wenzangu, we have Clinical Research/Trials as an area to practice pia. With GCP and CRA certificate you’ll start as a Clinical Research Associate (Monitoring). You become a Clinical Project Manager after 2 to 3 years of experience. Diversity is key. #Pharmdiversity
2
13
60
@MatumlaAJ
J.4
3 months
Choices kwa FORM 6 wa PCB 1. MD : • Wenye upendo na passion ya kutibu • Career mostly in hospital 2. PHARMACY: • flexible: Hospital, Industry, Regulatory (TMDA, Distributors), Kujiajiri • Abroad : Easier to get Industry jobs than MD 3. NURSING • Boys acheni hii kitu😂
9
14
57
@MatumlaAJ
J.4
5 months
STUDYING IN EUROPE: Faida mojawapo ya kusoma Europe ni uhuru wa kuingia nchi nyingi kwa VISA yako moja! One of my best experience ilikua hapa Stuttgart, Ujerumani😂, nilimtembelea mshkaji wangu wa A’level aisee tulipiga baiskeli kama 40km hivi. Stuttgart stadium kwa mbaali.
Tweet media one
8
7
54
@MatumlaAJ
J.4
29 days
No engagement, no likes, no RT : Ila utasikia hizo fursa walitangaza wapi? Msijali vijana, hizi wata print na kuja kubandika kwenye mlango wa kila nyumba.
@TechWomenTZ
Women and Technology Tanzania
1 month
The Bridge USA Ambassador Scholarship Fund is now open for applications! This is your chance to experience the United States, work in seasonal, entry-level roles, and expand your global network! Apply 👉🏼 #GlobalOpportunities #TechWomenTZ #SheTechTZ
Tweet media one
4
47
67
18
18
53
@MatumlaAJ
J.4
5 months
Kabla hujarudi shule for Masters’ degree etc: Zingatia: 1. Una plans gani after shule? 2. Masters ipi itakutimizia hizo plans? 3. Nchi gani ina elimu bora, ada nafuu/scholarship na social life, 4. Lastly, be persistent + resilient like my tracksuit hiyo niliyo’buy in 2015.
Tweet media one
1
2
53
@MatumlaAJ
J.4
6 months
Doctors/Pharmacists/DDS/Lab/Nurses working in the hospital; You have been called for an INTERVIEW by a certain NGO/MDH/MSD/TMDA/NIMR etc and they ask you: “Why do you want to change your career from hospital to research/project management/ Industry”? How do you answer?
6
18
49
@MatumlaAJ
J.4
4 months
@HKigwangalla Huwezi safirisha kuku kwenye treni aisee! Hii ni common sense tu.
10
1
47
@MatumlaAJ
J.4
3 months
I regret to inform you….. Email hii inauma kuliko mapenzi hasa ukiipokea kwenye last stage ya unachopigania!😂😂
7
2
49
@MatumlaAJ
J.4
4 months
Mtu mwenye degree moja halafu kasomea AFRIKA anaku’influence vipi? Yaani mtu anaenda class chuo hakina Internet, email yake ya chuo haina access na prestigious journals na bado anaku’influence kwenye vitu vinavyohitaji elimu? ToT bwana!🤣🤣
13
6
47
@MatumlaAJ
J.4
3 months
Ukiwa na opinion tofauti na wanaharakati wanakuita CCM, na ukiwa na opinion tofauti na CCM wanakuita MPINZANI. Siasa za Tanzania zinaenda sawa na IQ zetu.😂😂😂
8
7
44
@MatumlaAJ
J.4
6 months
Kitu nilikua napenda kama Pharmacist ni kusoma clinical history ya mgonjwa ilivyoandaliwa na Drs vs treatment plan! CHANGAMOTO niliyoiona ni ONE-SIZE -FITS-ALL prescribing pattern. Wagonjwa wengi wanapewa dawa na dozi zinazofanana! Kipi kinazuia individualization ya TIBA?
10
7
44
@MatumlaAJ
J.4
8 years
@English_AS @GuillemBalague Yeah Caballero,Kompany,Clichy,Nolito,Kolarov,Aguero,Sterling,Navas,Fernando are all from under 21 side.
0
13
38
@MatumlaAJ
J.4
3 years
@Empress_Mkunde Story tamu sana, na mpaka now sielewi kwanini watu wazima chuoni wanakua na mentality za kushindana badala ya kushirikiana?😃
1
0
41
@MatumlaAJ
J.4
1 year
Jobs at Shifa Pan African Hospital, Dar es salaam. - Pharmacists - Nurses - MDs - Technologists etc..
Tweet media one
5
15
41
@MatumlaAJ
J.4
5 months
@Barongo01 Mie siwezi kuondoka Tanzania kwa hela yoyote kaka, huko nje kwanza hakuna vijiwe vya mihogo kama Coco beach.
4
0
40
@MatumlaAJ
J.4
2 years
@HildaNewton21 Wazanzibar wote wana uncles Oman na Birmingham.
9
1
37
@MatumlaAJ
J.4
1 year
Vijana wa Biotechnology and Molecular Biology wanalalamika hawaoni application yake? Mkae na wadau mbalimbali wenye exposure wawafungue jinsi gani DUNIA IPO HUKO KWA SASA! From chain nzima ya R&D in innovative medicines mpaka Regulatory Affairs inawahitaji sana!Itafuteni dunia!
2
5
38
@MatumlaAJ
J.4
4 months
@FMusilimu GPA ni muhimu sana kwa Afrika maana kwenye shorlisting na kwenye interview tunakutana na watu wasio na exposure ya dunia! Dunia ya 1 hata vyeti vya shule watu hawaulizii, wanataka kufahamu UMEWAHI KUFANYA na unajua KUFANYA NINI! Exception ni if unataka PhD na huna references.
5
2
36
@MatumlaAJ
J.4
2 months
@ZizzouSule Nina mwanangu ni mbeba chuma kitaa, n fundi tiles. Na yeye siku moja job kwao kkoo kazi ya tiles iliahirishwa akaambiwa anaweza beba zege for that day tu! Jioni ilivyofika aliumwa kama kapitiwa na SGR sita, tokea siku hiyo anapata uchungu sana akiona watu hawaweki juhudi shule.
4
0
35
@MatumlaAJ
J.4
3 years
@George_Ambangil Leo sijaona hata dakika moja watu wamesimama na mpira bila kujua waupeleke wapi, options zilikuwa nyingi kwenye pasi. Pogba akijiongeza atacheza kwa McTominay pale ili pass za chap za nyuma ya mabeki ziwe na ufanisi.
1
0
33
@MatumlaAJ
J.4
4 years
@salimosaid @geoffiejeff "Vile Stars in first half vilikuwa vraiment bien, I was shocked"....hahaaa Berahino🤣🤣
2
0
31
@MatumlaAJ
J.4
9 months
@kalegamyeh Hii ni angle moja tu na nakubaliana nayo! Angle nyingine ni watu waoe mapema, waanzishe familia mapema bila uoga na fursa zikija waziendee bila woga! Hawa mabebez sometimes ndio wanatu’push tutoke kwenda kujitafuta zaidi. Watu wapime angle zao vizuri
5
1
33
@MatumlaAJ
J.4
3 months
Wafamasia, hii nimeikuta LinkedIn huko! Master of Pharmacy in Oncology Pharmacy.
Tweet media one
6
5
33
@MatumlaAJ
J.4
1 year
Hello Pharms, everything is going digital now, right? Online Pharmacies, Supply Chain etc? Go digital too with your Pharm background😃. Check: MSc Digital Solutions for Pharma Sciences in France, ukirudi utasaidia QA ya mifumo yetu au uwe consultant.
3
8
32
@MatumlaAJ
J.4
1 year
Graduating with sneakers ki’Azaboy! One last dance in Paris ~> MSc
Tweet media one
8
2
33
@MatumlaAJ
J.4
7 months
@jaliluzaid Maoni yangu: Mzazi aangalie alijikwaa wapi. Tunaweza kumlaumu mtoto lakini unakuta shule aliyomsomesha na mtaa aliokulia vimemuandaa zaidi kuigiza kuliko kuwa vile mzazi angependa. Tunavyotafuta pesa, tusiache majukumu ya kulea mtoto kwa jamii pekee, tutenge muda wa kuwaongoza.
6
0
32
@MatumlaAJ
J.4
3 years
@sabi_blessed 😂😂😂😂hawa ndo wale waliogelea kutoka Feri mpaka Suez Canal kwenda kusogeza ile meli iliyoziba njia pale.
1
0
31
@MatumlaAJ
J.4
2 years
I just made the first test transaction for NALA from France to Tanzania 🎉 The money arrived instantly and it's the best FX rates. @NALAmoney @Benji_Fernandes My diaspora buddies, we go from here? @sumaMaumba
2
4
32
@MatumlaAJ
J.4
6 months
Hello Pharmacists! It’s the right moment to think about doing these Masters degree - hot cakes 🙌🏾: - Regulatory Affairs specialised in Medical Devices - Regulatory Affairs CMC
8
10
31
@MatumlaAJ
J.4
4 months
CAREER: Kwa graduates wa BSc Biology, Biotechnology, Pharmacy, Lab: Kuna hii alternative career path: Master’s (MSc) in Biobank and Complex Data Management in France. Binafsi kabla sijaamua kusoma Drug Development, nilikuwa naelekea kusoma hii MSc.
Tweet media one
Tweet media two
3
8
30
@MatumlaAJ
J.4
10 months
Happy New Year 2024 kutoka kwa kinda la U17 la Oympique de Marseille. Hapo nikichechemea baada ya test ya umri ya kukimbia round 69 za uwanja kunishinda!😂😂 Lengo letu Pharmacists wote 2024 ni kuacha kuuza dawa na kuwa influensas!🫶🏼
Tweet media one
3
5
29
@MatumlaAJ
J.4
5 months
Wafamasia tutafikiwa one day, tutarudi na ujuzi na tutainufaisha nchi kupitia: 1. Utafiti wa dawa na chanjo zetu wenyewe hasa kupitia mimea ya asili, 2. Uboreshaji wa viwanda vya dawa vya ndani. Hii inaweza ondoa tatizo la dawa fake kwenye mnyororo zitokanazo na IMPORTATION.
@millardayo
millardayo
5 months
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema mara nyingi anapokwenda nje ya Nchi huwa anafuatana na jopo la Wafanyabiashara lakini kwa sasa anataka kugeuka kidogo na atakuwa anasafiri pia na Wasanii ili kuwapa nafasi ya kujifunza zaidi kutoka nje ya Nchi na kutanua wigo wa
260
59
905
4
5
29
@MatumlaAJ
J.4
1 year
As a Pharmacist, you might be wondering about the career prospect away from the hospital setting, right? R&D is one area with so many job opportunities! Where do you see yourself? Medical Writing?Regulatory?Clinical Research?Data Management? Safety? #researchpharmacist
Tweet media one
2
9
28
@MatumlaAJ
J.4
5 months
@SharonMontana20 Atafute vijana wanaomaliza MD, Pharmacy na Engineering! Wengi hawana muda wa mapenzi, wakipata mtu wa ku settle hivi ni chap tu!
11
1
27
@MatumlaAJ
J.4
7 months
Wachezaji wa Simba waache mpira waje tuuze chaja za simu kwa watalii…😂😂
Tweet media one
2
1
27
@MatumlaAJ
J.4
3 months
@fatma_karume Wana njaa sana hawa ndugu zetu madaktari! Salary yao inasemekana ni laki 4 na 70
11
1
26
@MatumlaAJ
J.4
3 years
@chapo255 Na hii ndo inakuwaga shida yao, simu ni refurb, ipo kwenye generic boksi lakini bado hawasemi, wanalazimisha kusema ni mpya na wana UNBOX kabisa😂. Ukifika nayo home betri inaisha after 1hr😂. Ndo hapo waTz tunaanza kusema iPhone sio simu bora Infinix😂😂
2
1
24
@MatumlaAJ
J.4
2 years
@FestoNgadaya Nilipita usaili wa written huko MSF-Kigoma, siku ya usaili wa oral kwa Skype HR akaamua ku’mute nikawa siwasikii. Nilikata nikatest kuongea na washkaji wawili Europe kitu fresh, nikiunga na HR haongei kaji’mute😂…nikajisemea this country is not for me!!
2
3
26
@MatumlaAJ
J.4
3 months
@meetmelch Tupo live tunampa sapoti usijali, media hazina waandishi huku.
1
4
25
@MatumlaAJ
J.4
8 months
Kuna haja ya kuangaliwa upya hili suala la hospitali kufanya biashara ya dawa (Pharmacy)! Mimi bado naona haya maeneo yashughulike na dawa kwa wagonjwa waliolazwa tu, waliobaki wapewe vyeti kwenda Pharmacy za mtaani! Tutatatua changamoto nyingi sana kutokea hapa!
Tweet media one
6
3
25
@MatumlaAJ
J.4
3 years
@ExMayorUbungo @ProfessorJayTz @MuhimbiliTaifa Huna akili braza! Sorry to say that ila akili hauna.
8
0
21
@MatumlaAJ
J.4
2 months
Jamani kama hamna vyeti vya academic vyenye umri wenu + kama hamjatengeneza passport, hakikisheni mnafoji UMRI. Punguzeni 4 to 6 yrs. Hasa vijana mliomaliza form 6 + kama mna mawazo ya kwenda nje ya nchi! PUNGUZA UMRI huo.😂
4
2
24
@MatumlaAJ
J.4
8 months
@Wakazi Au kwa kifupi, HAKI. Ni HAKI tu hata kama imesemwa na wachache! Batili ni batili tu hata kama inafuatwa na wengi!
1
3
24
@MatumlaAJ
J.4
2 years
@DocFaustine According to a friend mwenye Zahanati, waTz wanaenda hospital na UTI yao. If negative, wanatangaza mtaa mzima kwamba Dr yule hajui kitu so it paints a bad image to them. Na wataenda maabara uchwara ambapo wanawajulia na kuwapa + na antibiotics juu. Elimu kwa wananchi iongezeke.
2
1
23
@MatumlaAJ
J.4
3 years
@George_Ambangil White bishoo sana😂. Oya kulikuwa na babu flani anauza juice kwenye kibaiskeli nje kwa Mbuga pale, ana matusi balaa, utasikia, usiwe kama gorofa wewe kusimama hadi utiwe nondo!😂😂😂
4
0
21
@MatumlaAJ
J.4
2 years
@YourFrenchFry Masikini tunaacha kuishi, tunakimbizana na kokoto na cement kuandaa mgogoro wa ukoo.
2
1
23
@MatumlaAJ
J.4
2 years
@TheChanzo Hapo Dar wamechukua hela za Bakhresa, Mo na GSM wakagawanya kwa watu milioni 5 wa Dar, ndo tukaingia kwenye hicho kipato. Wakiwatoa hao watatu tunabaki na pato la aftatu kwa kichwa kwa mwaka. Or madeni😂😂😂😂 @fc_nvn160
2
2
21
@MatumlaAJ
J.4
11 months
Nakubaliana na wizara! Kozi ya Pharmacy ni ya kuifuta kabisa. Madaktari ndio wawekwe Pharmacy maana kwenye afya, nani kama Dokta? MD + Nurses wanatosha sana!!
@wizara_afyatz
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿
11 months
ONYO KWA WAFAMASIA WANAOUZA DAWA BILA CHETI CHA DAKTARI Na. WAF - Arusha Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu ametoa onyo kali kwa wafamasi na wamiliki wa maduka ya dawa waotoa dawa bila kuangalia cheti cha daktari kwa kuwa kufanya hivyo ni kuendeleza tatizo la usugu wa vimelea
Tweet media one
42
26
84
14
2
23
@MatumlaAJ
J.4
5 months
Kwahiyo mliomba scholarship au mambo ya kuja France hayawashawishi? One day I will write kuhusu life in France for international students na jobs baada ya shule. Kwa wanaosoma MSc na PhD Tanzania kuna option ya kufanya research kwenye Lab za France kwa 6 months kwa mfano:
Tweet media one
3
3
22
@MatumlaAJ
J.4
11 months
Solution: 1. Bima ya afya kwa wote 2. Hospitali zisitoe dawa kwa wagonjwa wasiolazwa (OP) na wanaoruhusiwa baada ya kulazwa 3. Wagonjwa wapewe vyeti wakahudumiwe Famasi mtaani kwa bima (Rejea 1) 4. Fedha zinunue dawa kwa waliolazwa, vifaa tiba, na reagents za maabara. 5. …….
@wizara_afyatz
Wizara ya Afya Tanzania 🇹🇿
11 months
Waziri wa Afya Mhe. @ummymwalimu ametoa onyo kali kwa wafamasi na wamiliki wa maduka ya dawa waotoa dawa bila kuangalia cheti cha daktari kwa kuwa kufanya hivyo ni kuendeleza tatizo la usugu wa vimelea vya magonjwa dhidi ya dawa na kuhatarisha afya za watu. Waziri Ummy amesema
60
23
78
6
6
22
@MatumlaAJ
J.4
3 months
@Adventure_36 It is how it is supposed to be done! Hakuna haja ya kuweka stand kubwa ila bus liwe na ratiba ya kupaki kwa muda mfupi ku’wait hizo transit. Ikiwezekana TRC na ma’bus waweke option ya tiketi ya kuunga safari mf: Dar-Mwanza via Dom (TRAIN + Bus - single connected journey)
2
1
21
@MatumlaAJ
J.4
4 years
@MariaSTsehai @shilinde_cc Ni moja ya dalili kubwa ambayo inajitokeza Tz ikihusishwa na covid-19, jambo zuri ni kwamba haihitaji dawa kurudisha uwezo wa kunusa na kuhisi ladha mdomoni, itarudi yenyewe. Tuendelee kujilinda.
3
4
22
@MatumlaAJ
J.4
1 year
Reminder! Go out, meet people, talk to people. Sell your skills and your title. Make sure when the opportunity arises, people will remember your credentials and mention your name. When you meet me, lets talk about Clinical Research and Innovative Drugs R&D #ResearchPharmacist
0
8
22
@MatumlaAJ
J.4
27 days
@chapo255 GPA ni muhimu kama unataka Excellence scholarship za vyuo tu, otherwise work experience, motivation na clear plans + recommendation letters zinakupa chuo bila zengwe, popote duniani!
2
1
21
@MatumlaAJ
J.4
3 years
@FrankensteinJM Kosa lake lilikuwa kuhisi atakuwepo milele kusimamia. Change the f**kin system ili hadi wajukuu wafurahie hata kama haupo!! Alizingua
1
1
22
@MatumlaAJ
J.4
2 years
@reddevil_147 @ManUnitedZone_ @goal They want him to pass here😂😂
Tweet media one
1
0
19
@MatumlaAJ
J.4
5 months
Sema watanzania🙌🏾, nimeona mtu anaitwa CPA. Kollins Mngumbo 😂…(sio halisi), nikaanza kujiuliza hizi title za Eng, Dr, CPA, QS etc, kabla ya jina, huwa zinasaidia nini? Au tuna kaushamba flani na elimu zetu? Kama ni muhimu na mimi nitatumia one day.😂
9
2
21
@MatumlaAJ
J.4
4 months
@Makaveli_255 Mwaka 2013 flani pale dukani kwake Komakoma, niliipenda raba halafu akanambia bei laki 4! I was like fake for 200€ is a bit too much you know!😂 Halafu hakuna kubembelezana, anakuacha usepe.😂
2
0
19
@MatumlaAJ
J.4
3 years
@OleMtetezi Alipigwa tukio mwanangu then mwaka uliofuata same post yakanikuta😂. Hiyo HR ni lazima amuweke mwanae na akanizimia hadi mic ya skype ili nionekane nazingua mbele ya wazungu😂😂
5
0
19
@MatumlaAJ
J.4
1 year
Better chance of landing a job through connections and at professional networking and/or social events than through job applications. Most Pharmaceutical conferences are not free to attend, but hizi ni investments za kufanya, zitatulipa. Tutoke vitabuni, twende mtaani.
3
5
20
@MatumlaAJ
J.4
4 months
Malengo bado yapo 37% , yakifika 75% tunaanza ku’cook.
Tweet media one
4
1
20
@MatumlaAJ
J.4
5 years
@casarikie @MariaSTsehai Nipo tofauti, watanzania tupo nyuma sana kwenye kutafuta information, watu kama hawa ni vizuri wafungue hata youtube channels maalum kwa ajili ya kutoa habari zao ili vijana wafunguke bongo zao. Kina @GIVENALITY wanajitahidi sana pia katika hili, we need infos.
0
1
20
@MatumlaAJ
J.4
5 years
@NormanJonasMD Kuipata 2.5M Marekani yaweza kuwa sawa na upatikanaji wa 150k kwa Tz kwa majority ya watu. Just thinking
1
1
19
@MatumlaAJ
J.4
2 years
@Nnauye_Nape Ndugu Nape, kwetu France, maana nishajipachika uTaifa ugenini, kwa euro 10 = tsh 23,000/= napata zangu kuanzia GB 30 hadi GB 100 per month. Hapa tunavyoongea nateseka tu Dar es salaam maana mobile internet ni gharama sana.
3
1
19
@MatumlaAJ
J.4
3 years
@OleMtetezi MSF Kigoma😃
4
0
18
@MatumlaAJ
J.4
1 year
@GIVENALITY Highly recommended! Zamani wazee walikua wanatumia family history ya magonjwa ya kurithi kukataa kuozeshana vijana wao. Technology imesaidia mchakato now.
0
1
17
@MatumlaAJ
J.4
3 years
@TOTTechs @bohny_chengula @chapo255 @JemsiMunisi @ITexpertTz @HabariTech @AbilMdone @RamaTech255 @Sativa255 @TzPhones Sema jamaa wa Makumbusho wengi wazushi, wanakuuzia refurb bovu bovu kwa kukudanganya ni brand new...unakuta goma hata wifi haliwezi share😂😂. Betri imewekwa ya kichina, masaa mawili kwisha😂
1
0
18
@MatumlaAJ
J.4
4 years
@MabalaMakengeza Hili kila siku nasema lipo wazi, mie ukinipa nikupe ujuzi nilionao kichwani kwa Kiswahili nakuwa kama Eistein, ukinihamishia kwa Kiingereza, nakuwa kama msanii wa bongo fleva tu, utopolo mtupu.😄
1
3
16
@MatumlaAJ
J.4
6 months
Let’s gooooooo weekend the Parisians! Hakuna cha regulation (EU) 2017/745 wala submission of Module 3!
Tweet media one
1
0
18
@MatumlaAJ
J.4
1 month
@Lukengelo_ Kuna mwanangu kwenye oral ya Assistant Lect. Marine Engineering alikua alone na bado akafeli, utumishi ni kisanga😂😂😂.
4
0
18
@MatumlaAJ
J.4
3 years
@OleMtetezi Halafu anakazia, nilikwambia ukae sehemu yenye internet connection nzuri! Hapo nikikata na kuwa’skype wanangu wa abroad na wa mikoani tunabonga fresh, ukimrudia yeye humsikii😂, kajimute😂
0
0
17
@MatumlaAJ
J.4
10 months
@Nkololotz Nafikiri wamefuta kiaina, hutopata mshtuko ukiona wanafunzi wa Feza Primary 70% wakichaguliwa Kawe Ukwamani Secondary School!
2
0
17
@MatumlaAJ
J.4
4 years
1.UKIMWI- Acquired Immunodeficiency Syndrome ni specific to HIV only. 2.Kushuka/kupanda kwa kinga za mwili (Immunodeficiency Disorders) ndio general ila jina lake silijui kwa Kiswahili (ila sio UKIMWI) ndo huwa na visababishi lukuki from drugs, infection, autoimmunity etc.
@BongeLaAfya
Bonge La Afya
4 years
UKIMWI ni upungufu wa kinga mwilini, Ina maanisha mtu yeyote mwenye upungufu wa kinga ana UKIMWI. Swali kwa #TOTMedics : Je inawezekana mtu kupata UKIMWI kutokana na matatizo mengine tofauti na VVU?
5
1
25
1
3
18
@MatumlaAJ
J.4
2 years
@KennedyMmari WaTz wenyewe nyie mnaoenda hospitali baada ya Mganga wa kienyeji kushindwa? Too late😃😃
2
0
18
@MatumlaAJ
J.4
3 months
Mtu ana degree na hata GOOGLE DRIVE hajawahi kuisikia, email kuandika ni tabu etc..labda huko nje akapepee watasha na yenyewe lugha si hadi ipande? Sad, sadder, saddest! Bad, worse, worst!
@swahilitimes
Swahili Times
3 months
Kwanini Watanzania wengi hawakimbilii fursa za ajira nje ya nchi tofauti na mataifa mengine ya Afrika?
131
14
237
7
0
18
@MatumlaAJ
J.4
4 months
@MrDepalitto7 Anakwambia , “Je n’ai même pas fini avec les filles, c’est les garçons maintenant qui me TONGOZA”😃..Kwamba sijamalizana na mademu, nafatwa na masela😂.
3
1
17
@MatumlaAJ
J.4
2 months
@manta_michael Unamaanisha manesi na madokta sio!? Wafamasia hatuhusiki sisi.
8
2
17
@MatumlaAJ
J.4
3 months
1. Ya wenzenu midomoni - Isha 2. Nilijua mtasema - Jahazi 3. Mjini chuo kikuu - Malkia Kopa 4. Hayanifiki - Isha 5. Mama Nipe Radhi - Isha 6. VIP - Mzee 7. Mkuki kwa Nguruwe - Jahazi 8. Wa Mungu Uwazi - Madam Swabaha 9. Hamchoki kusema - Jahazi 10. Nitadumu nae - Jahazi
@Doriegrateful
Zegekidari😇
3 months
Nipen your favorite taarabu💃💃
28
2
30
11
2
17
@MatumlaAJ
J.4
6 months
French Embassy Scholarship in Tanzania zipo OPEN. Nadhani ni one of the LEAST complicated ways to study in Europe. Try your chances!
Tweet media one
4
5
17
@MatumlaAJ
J.4
10 months
Pharmacists tumejaa, bora training ianze niwe mpiga picha.
Tweet media one
3
1
17
@MatumlaAJ
J.4
7 months
@BongeLaAfya Tokea ndugu wa mgonjwa aniambie nina vyeti feki hadi leo sija recover na hilo tusi!😂😂😂
8
0
15
@MatumlaAJ
J.4
4 years
@GIVENALITY Kwa "SPESHO" za govt kila unaemgusa ktk hizi shule, huko alipotoka kama hajaongoza kata basi ni wilaya au mkoa. Halafu kila mmoja anataka kuwa juu ya mwenzake so you just push yourself to the limit, it's rewarding. Ukipata 82 japo ni A ila kuna hatihati ukawa wa mwisho😃
1
1
16
@MatumlaAJ
J.4
6 months
@Yenga37282300 @TMnyama4_ Security ni utumwa na ushamba! Experience ya NGO moja inaweza kumfikisha mpaka kupata kazi mataifa ya nje!😃
3
0
16
@MatumlaAJ
J.4
4 years
Watanzania sisi ambao graduates tu hata kuweka attachement kwenye email ni tatizo😭, writing skills ya kupambania fundings tutaipata wapi? Halafu hatupendi kupambana.
@DrArabiFrank
Dr. Frank E. Arabi
4 years
Almost kwa kila funding opportunities, nchi zinazo ongoza kwa applicants (kutoka Africa) huwa ni Kenya na Nigeria. What could be the reason?
18
4
66
5
1
16
@MatumlaAJ
J.4
4 months
Hapo atafute njia ya kwenda ABROAD apige MSc ya Pharmaceutical Science halafu aangalie uwezekano wa kuingia kwenye Regulatory Affairs za Chemical Industries au Regulatory CMC ya Pharma Industry! Atarudi miaka ya baadae kupiga story na TBS.
@TMnyama4_
T
4 months
Tweet media one
89
13
443
2
1
15
@MatumlaAJ
J.4
4 years
Imagine, hospitali kuuubwa halafu haina CLINICAL Pharmacist, si ifungwe tu!!! Mfumo wa Afya unatuangusha. @wizara_afyatz
3
2
16
@MatumlaAJ
J.4
3 months
@lindiweyuston07 Yeah na body count isiwe kama transfer fee ya Enzo Fernandez.
7
0
15
@MatumlaAJ
J.4
6 months
Hii ni link ya kutafuta courses zinazotolewa in English hapa France. Muhimu ni ku’filter by field ukiwa una search kupitia alama ya + pale juu kulia.
Tweet media one
@MatumlaAJ
J.4
6 months
French Embassy Scholarship in Tanzania zipo OPEN. Nadhani ni one of the LEAST complicated ways to study in Europe. Try your chances!
Tweet media one
4
5
17
1
3
15
@MatumlaAJ
J.4
10 months
@KennedyMmari Kote nilivumilia ila alivyoanza kupaka mafuta mwili mzima nikasema bobu watamuwowa!😂
9
1
15
@MatumlaAJ
J.4
4 years
@Kudu_ze_Kudu @Bm_sniper2 Katika vi interview vyangu vya hapa na pale sikumbuki kama nilishawahi kuulizwa umesoma chuo gani😃, wajomba wapo interested na unachokijua tu, iwe umekipata MUST, MUHAS, HKMU, KIU, CUBA au USA😃, kwa ground hakuna hizi mambo.
1
0
12
@MatumlaAJ
J.4
4 months
@Advocate_Jebra Umeidharau sana fani yao! Kila mtu ni muhimu na anahitaji equal treatment! Wacha wapate hizo exposure.
6
0
15