Asilimia kubwa ya mapenzi ya kibongo yanakuwepo for sex tu and lies huwezi ona surprises, kwenda date nights wala vacations and people think they cost millions of shillings to do that but not really.
Kwani mpaka leo wanaume hamjui kwamba ukilala na mwanamke unatakiwa ulale mwanzoni na yy ndo ukutani? Sasa mwanaume anagombania kulala mwishoni kabisa 😂 hamjui kama nyie ndo kings, kings don't do that jmn
Ila Telegram jmn mtu ulishafuta namba yake muda unashangaa notification inakuja amejoin Telegram mnataka turudishe mambo nyuma badala ya kusonga mbele 😀
Kitu nilichogundua ni kwamba Mwanaume ni kama mtoto anapenda attention, caring, respect, understand him anataka nn na ukifanye na most all love him. Hapo utakuwa his biggest friend and lover.
Baada ya kuona video ya wachawi wanaotembezwa huko morogoro nimeona bora tu tunavaaga nguo jmn zinatusitili mnoo watu wengine wakiwa uchi wanatishaaa 😂
Wanawake warefu tunapata shida ya kupata wanaume warefu kama sisi au kutuzidi sijui kwann? Halafu wanaume wafupi kiasi ndo wanatupenda na kutusumbua sana😀 yani ndo mambo ya unachokitaka hukipati 🤦🏽♀️