๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ Profile Banner
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ Profile
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ

@Makaveli_255

20,261
Followers
800
Following
6,035
Media
147,323
Statuses

All I need is a life worth living| I sell phones|New and used 0652795468-0769199760

Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2013
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
1 year
โ€œBy the time you realize that your father was right, you will have a son who thinks that youโ€™re wrongโ€
13
68
303
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Siku mkimjua aliyeko nyuma ya Vunjabei itakuaje?๐Ÿ˜‚
122
29
2K
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
1 year
Kuna watu wana dhambi dah๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
179
667
2K
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
#Karume plug wetu wa viatu huyu๐Ÿ’”. Asee
Tweet media one
99
81
2K
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Apartments zipo tupu aloo
Tweet media one
110
41
1K
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Ukiwa masikini shida zinakufata zenyewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
116
504
1K
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Siku account yangu ya bank imefikisha 1M nilikua napita asubuhi na mchana kuhakikisha kama bank ipo๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
65
43
1K
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Mtoto wa kiume unakuaje mtu wa Tanga?
159
41
1K
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Twitter ni kama familia, licha kuwa na followers wachache ila nashukuru ninapata wateja wengi sana kutoka kwenye hii platform. I canโ€™t thank you enough. ASANTENI SANA KWA KUNIAMINI!
24
36
1K
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Oya mama anamuita Gwajima, Gwajiboy? Aaah so aliona?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
45
20
1K
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Vijana tuwe na heshima tunapoona mtu kampost mke/mume au hata mtoto wake, swala la hana tako, miguu membamba au kibonge sio sahihi, kama post hujaipenda we ipite kuliko kudhihaki watu wasio na hatia.
93
105
1K
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Hapo umeme umeisha afu ukute ni zamu ya Wakazi kununua. Mnaeza bishana hadi TANESCO waamue kuwapa token za bure
75
26
1K
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 months
Msanii yeyote wa Tanzania akiugua akaomba kuchangiwa jibu letu kwa pamoja liwe โ€œkaombe Kenyaโ€
59
163
1K
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
72
83
1K
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Kitu gani umeshindwa kabisa kula? Mimi maini๐Ÿ˜ถโ€๐ŸŒซ๏ธ
239
11
890
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Huyu ndo mchezaji alinifanya niipende Liverpool. Seen him 2008 kwenye Euro finals. Happy birthday Fernando Torres-el ninรฒ
Tweet media one
52
30
917
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Mtu unavaa mikanda ya mr Bright pale Sinza Mugabe afu unataka Forbes wakuzingatie? Acha utani faza
67
19
905
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Mentality ya โ€œkujuanaโ€ inafanya mtu hata akiona tangazo la kazi mahali analipuuzia maana anajua hata aki apply chance ya kupata ni close to impossible. Corrupt system imefanya watu wakose imani na system ya ajira hapa nyumbani.
58
121
910
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Punguza motivation, we know life is not easy. Wewe sema unatoa wapi pesa tuendelee๐Ÿ˜‚
39
78
897
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Bongo hakuna system ya kuchukua kitu mfano pale LG ya Mlimani afu wakawa wanakata hela kwenye kadi kila mwezi? Kutoa 3M cash kwa TV tu inauma.
55
18
895
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Wakati tunafanya starehe tukumbuke na tunapokaa jamani, unaspend big nguo zako zinakaa kwenye shangazi kaja๐Ÿ˜€
92
41
897
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
1 year
Hizi ni dharau
74
301
914
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 months
Wewe unakua waziri miaka mitatu hakuna initiative yeyote uliyoanzisha kusaidia vijana kujiajiri mitandaoni, watu wamekosa kazi kisa PayPal haifanyi kazi bongo unatuhadaa na picha za juu ya minara ka kunguru. Muhuni tu
67
134
893
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Money didnโ€™t change them, you didnโ€™t call or text when they were broke. Remember that also!
11
108
851
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
8 months
Badala academy ikajengwe Morogoro mmeenda kuijenga Tanga, yani umvue mtanga shanga umvishe njumu?
145
89
871
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Shoutout kwa ndugu zetu wa mkoani wanaotuagiza vitu Kariakoo afu, 1. Hawatumi hela na gharama za kutoa 2. Hawatumi nauli 3. Wanakulazimisha uende na daladala 4. Ukiwaambia uko busy wanakulaani TUNAWAPENDA SANA
97
79
861
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Wabongo hatujali sana kuhusu brand, utakuta nyumba ina jiko la Bruhm, fridge hisense, sound bar LG, A/C Von yani brand zote ndani ya nyumba moja๐Ÿ˜‚
119
20
843
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Hivi kuna msanii Africa mwenye hit song nyingi zaidi ya Davido?
64
48
815
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Punguzeni filter, tunataka kuoa!
55
48
823
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
4 years
Idriss kwa kuanzisha projects na kuziachia njiani hajambo.
47
18
812
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Kumbe lack of capital ilikua point strong hivi?
50
23
796
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Ukitaka upate engagements na wewe engage kwenye tweets za wenzako ndo formulae hiyo.
32
48
823
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
4 years
Harmonize anapotea kwenye game mdogo mdogo kuna watu hawakuumbwa kuwa maboss at all.
57
6
814
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Maharage from 2500-3500 halafu mh waziri anasema ni ongezeko dogo? sh.900 kwenye kilo ni ongezeko dogo?๐Ÿ˜‚
Tweet media one
147
59
814
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Married man anamwambia dem โ€œyani nakupenda kuliko hata mke wangu, kwanza nahisi aliniloga yuleโ€ watu watachomwa vibaya nyie๐Ÿ˜‚
63
36
809
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Mtu unakaa Tabata unatamani ukutane na Rotimi? Yupi? Hebu jibu msg za Jalilu anti๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
36
21
807
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Make sure you have a supporting partner. Hata kama hana hela awepo tu emotionally!
24
61
806
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Jezi imeenda photoshoot beach kama bikini
Tweet media one
69
36
805
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Arusha raha sana. Imagine mbavu nzima ya mbuzi ni 5k tu๐Ÿ˜‚
69
11
789
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Kingai kapanda vyeo viwili ndani ya week. Ridhki ni fumbo
17
14
800
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Mtu analipwa 12ml kwa mwezi afu bado anajengewa nyumba? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
40
30
769
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Wahaya wananunua tshit moja ya Pollo wanavaa hadi farasi anakufa.
63
32
776
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
18 days
Kelele tulizopiga leo si mnaona wameshtuka? Kura nazo tupige kwa wingi namna hii hatutatoka kapa, nasema haya kwasababu nimewahi kusimamia zoezi la upigaji kura najua joto lake pale ambapo mgombea habebeki, so please tusiache kupiga kura ndugu zangu.
29
174
821
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Mimi ni muumini wa kuenjoy every moment. Kama ni birthday, kitchen party, graduation au hata ka achievement kadogo just celebrate to the fullest, tunatafuta kwa jasho sana wakati mwingine kwa masimango sasa unapofanikiwa kwanini usifurahie matunda!
35
69
784
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
4 years
Sijawahi kuongea na mzee wangu dakika tano, ikizidi sana ni dakika moja๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
81
20
762
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Israel ndo linaitwaga taifa la Mungu? Why are they killing innocent Palestines?
74
31
761
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Wanawake mna raha, unaharibu simu unajinunisha tunanunua nyingine.
50
22
752
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Denge: mmmh tutafika kweli? Coco: kama nakuendesha wewe mtu mzima na O yako ndo nishindwe Raum?
Tweet media one
27
14
767
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Binafsi naona Mwaisa anachekesha fresh tu au nyie lazima comedian awe anauza biryani?
32
17
751
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Ngoma ya Harmonize haipo Apple music hadi saivi. Acha Mondi akimbize tu.
36
17
752
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Huu uzi unaenda nao ukweni kabisa.
Tweet media one
45
29
758
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 months
Nchi haiishi vituko hii๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
132
176
789
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Nimepiga mchemsho wa kuku wa kienyeji hapa na nimetulia ingekua mwingine angetangaza๐Ÿ˜Ž
51
28
745
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Nimepishana na Hancy Machemba kashikilia steering ya gari kama anataka kuungโ€™oa
37
24
755
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
11 months
Hii nchi kama ina rais kweli tutaona siku ya uzinduzi, haiwezekani mtu achukue nusu ya jengo zima na kuacha machinga waliokua hapa mwanzo hawana frame.
Tweet media one
80
57
765
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Mwanaume kumsalimia mwanaume mwenzake โ€œmamboโ€ ni weird kiaina๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
74
20
727
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Yani Rayvany aimbe bila kutaja chakula? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
54
14
730
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
China walipoongeza kodi walisema specifically inaenda kufanya nini. Mwigulu ye anasema ni kuichangia serikali, wote tunaona viongozi wanavoishi maisha ya anasa, magari mazuri, watoto wao wapo private schools. Uzalendo wametuachia wananchi wakati wao wanatumbua mali za umma tu
35
110
740
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Tanga, 1. Anaeomba anatuma mtu amuombee 2. Umeme unakatika club 3. Roundabout nyingi kuliko magari 4. Nauli ya boda haizidi buku 5. M-pesa mwisho kutoa 40,000 ukizidisha unasign kwenye kitabu
Tweet media one
95
30
757
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Baby wako anaweza kukubusu mkiwa public? Au ndo atakubusu kwa uoga kama anabusu pasi!
49
40
734
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
While waiting for the right person, have fun with the wrong one๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
36
59
735
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Tafuta pesa wewe sio mwembamba ni njaa tu,
46
21
728
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
5 months
Wazazi wa huyu binti wana faida sana.
43
166
769
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
4 years
Vijana wanakufa sana. Whatโ€™s wrong?
75
11
709
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Kuna mtu kasema kaburi lipigwe pingu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
57
20
710
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
1 year
Unalipa kodi bandarini, unalipa kodi dukani, unalipa kodi store,unalipa kodi ya bango, unatakiwa uwe na delivery note. ukifanya transfer unakatwa kodi za kielekroniki, nyumbani unalea mtoto sio wako, ndugu anakuja kukusalimia anahamia kabisa. Ukifikisha miaka 50 niite mbwa
105
118
722
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Okaay nimelala giza since Jumamosi fundi kuja anakuta ulitrip tu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ nimejiona useless sana.
41
8
695
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Unapata kazi kisela unaanza bwekea maboss๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
19
12
696
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Harmonize anaweza cost career yake kisa his mediocracy!
46
7
696
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Ila ule mkwara wa yule mwana nikajua hii vita itakua ndefu sana na yakusisimua, kumbe mavi matupu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
30
13
688
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Tabata unaagiza chakula online dereva analeta na baiskeli akifika inabidi ule nae ili apate nguvu ya kurudi.
61
23
692
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
I live for moments like this #Makman
Tweet media one
45
31
684
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Show ya Mondi kwenye GRAMMYโ€™s jana ni kali. Man ni entertainer
26
27
677
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Afu madem dark skinned wakipaka red lipstick hukaa kama indicator ya battery low๐Ÿ˜’
47
22
674
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Utaratibu ni uleule screenshot kwanza ndo usome. Haya Etoo na wapopo wapi na wapi? Bado Roger Milla๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
116
34
662
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Hakuna cha fake friends, itโ€™s either hulipi madeni za watu, hupendi kuambiwa ukweli, unasengenya wenzako ama unapenda vitu vya bure
27
56
682
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Mtu mnaheshimiana vizuri tu kumbe anakaa Tabata๐Ÿ˜Ž
51
17
663
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Mange ni mshamba
49
10
660
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Nahisi feeling nzuri ni kuwa na familia afu ukaweza kuihudumia vizuri.
23
28
664
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
5 months
Biashara nyingi duniani hufa kwa kukosa wateja ila kwenye DART ni tofauti, kampuni inakufa kwasababu ya kuzidiwa na wateja.
29
69
682
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Do you say hi to your aunties ama unasaidia wazazi kubeba chuki?๐Ÿ˜ƒ
30
27
657
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
1 year
Hili ni Calvert linalotegemewa kupunguza madhara ya mvua kubwa. Na lipo mjini kabisa๐Ÿ˜‚
Tweet media one
125
33
672
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Huyu fundi nilimwambia mimi mkorofi akawa anacheka, haya ngoja akae lupango kidogo hadi weekend ndo atoke.
38
13
657
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Twitter ni nzuri sana kama ukipata watu wa ku-interact na wewe!
28
25
652
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Kwa sisi vijana ambao tumewaacha wazazi wetu mikoani tumekuja kupambana hapa mjini mtaji wetu mkubwa ni nidhamu.
18
64
656
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Harmonize anatufundisha mambo mengi. Mie nimejifunza unapotaka kusaidia mtu msaidie kwa kiasi. Mpe tochi njia atafute mwenyewe.
33
23
654
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Binafsi sioni haja ya kumbadilisha mwanamke dini kama dini atakayoenda atakua hana uelewa nayo, kwangu mimi ni bora niishi na mkristo aliekamilika kuliko na Muslim asie na elimu ya dini kabisa, Ili tukipata changamoto aweze kuiombea ndoa kwa dini anayoelewa.
53
47
651
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
4 years
Coco anasema harusi yake mtapimwa size ya mguu..ukipitisha number 7 unarudi nyumbani. Huwezi kuja kukanyaga wageni wakidance๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
36
7
632
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
4 years
Unmy anasema we can not manage corona at all huku akicheka. Hazina haina kitu? Hakuna pesa ya emergency? Serikali yetu ni irresponsible kinoma asee!
50
22
654
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Ila kweli sijawahi kuona trekta sheli๐Ÿ˜‚
60
38
655
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Still hakuna album kali zaidi ya Harmonize.
66
15
628
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Kibatala: unafahamu wewe ni police? Shahidi: Sifahamu
Tweet media one
41
34
651
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Na watu wa Chelsea mtafute madem si kila saa mnakaa kusifu wanaume!
37
19
643
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Nimeona video Mess akimfundisha Mbappe kupiga free kick, dogo kasaliti amri kaamua aachane na huo mchongo๐Ÿ˜‚
8
8
633
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Mondi anatuheshimisha kinamna yake jamani. Ukweli usemwe!
19
25
626
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
6 months
Hii siku alikua na mood nzuri sana๐Ÿ˜‚
20
105
660
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
4 years
Respect your boyfriend, other girls want him but he chose you with your small ass.
49
24
630
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
3 years
Wanawake bana mkiachana anaanza โ€œooh hutapata mwanamke kama mimiโ€ sasa alokwambia anataka mtu kama wewe nani.
37
35
623
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
22 days
Miaka zaidi ya 10 clouds bado unatembelea noah kama wasiojulikana
@KibwanaEdgar
edgar kibwana
22 days
Basi popote ulipo embu taja wachezaji raia wa ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฒCameroon ambao wamefanikiwa katika Ligi yetu..๐Ÿ˜Š๐Ÿ˜Š #KupangaNiKuchagua #bampa2bampa
Tweet media one
225
18
1K
168
39
652
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Simba na Waydad tarehe 08 afu ngao ya hisani 13. Mkila tano msije lalamikia uchovu
21
11
621
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
2 years
Mtu akikuambia โ€œhuna helaโ€ na kweli ukawa hauna hua inauma sana.
32
27
621