Child of God Profile Banner
Child of God Profile
Child of God

@InexorablesoG

2,488
Followers
959
Following
1,371
Media
21,230
Statuses

Jesus is God

Arusha, Tanzania
Joined June 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@InexorablesoG
Child of God
19 days
Tweet media one
0
4
14
@InexorablesoG
Child of God
4 years
Sister @JideJaydee una moyo wa dhahabu sana yani. God bless you. Asante kwa kutuwakilisha mahakamani.
Tweet media one
120
123
3K
@InexorablesoG
Child of God
2 years
Heche kashusha kipondo kingine kwa maccm. Sina uhakika kama Wasafi watamfuata kwa interview tena 😆😆
64
336
1K
@InexorablesoG
Child of God
4 years
Shemasi @kigogo2014 This guy called Mbowe is smart though.🙌
10
32
912
@InexorablesoG
Child of God
9 months
Hii Leo imesimikwa one of the important pillars kwenye ile nyumba ya ukombozi wa nchi yetu. Hongereni @ChademaTz , hongereni Watanzania kwa kujitokeza. Hongereni wanaharakati wote tukiongozwa na bunge la wananchi # #MariaSpaces
6
111
517
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Waarabu wasaini hiki, Waarabu wasaini kile, Waarabu, Waarabu, @SuluhuSamia mbona mnaturudisha utumwani na hawa Waarabu? Mbona mnaiuza hii nchi?
Tweet media one
59
64
427
@InexorablesoG
Child of God
4 years
Shemasi @kigogo2014 unawatabisha wauza simu huko Kariakoo
Tweet media one
22
11
378
@InexorablesoG
Child of God
4 years
Wafanyakazi wa serikali hawatampa Magufuli kura kwasababu hizi; 1. Hakuna nyongeza za mshahara tangu aingie madarakani( kiufupi aliwasahau kabisa) 2. Hakuna kupamdishwa madaraja. 3. Serikali hii imewadharau sana. Hasa watu ccm wenye vyeo vya kuteuliwa kiwatreat Kama watoto. Mfano
27
38
384
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Huu ndio umoja tunaoutaka sasa....mkimgusa mmoja wetu kinanuka
Tweet media one
5
76
356
@InexorablesoG
Child of God
3 years
We are getting there. Shangazi @MariaSTsehai endelea kukaza but👏💪
Tweet media one
11
54
339
@InexorablesoG
Child of God
2 years
Cheki hawa VIBAKA wa nchi wanavyoifanya rushwa kuwa PUMZI YAO. Eti hichi nacho kinajiita chama cha siasa. Rushwa na WIZI kuanzia juu mpaka chini. Ukiona yeyote anashabikia Maccm au yupo CCM si kwaajili ya siasa ni TUMBO na maslahi binafsi. Cc: @SuluhuSamia
48
112
323
@InexorablesoG
Child of God
2 months
Tanzania mpyaya kutokuonewa na watawala na dola yao kama @tanpol inakuja. It's just a matter of time. Credit to @MwanzoTvPlus
5
76
331
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 Namsubiri hapa ICU 😂😂
Tweet media one
18
7
309
@InexorablesoG
Child of God
4 years
Wamepaniki balaa 😅😅😅, wanatamani wabadilishe sheria yaaani 😅😅
@rollymsouth
Madenge
4 years
hawaungani wanapeana sapoti kama TLP ilivyotoa sapoti kwa sisiemu,ebu tuheshimu uchaguzi basi uishe kwa amani
72
113
1K
4
21
308
@InexorablesoG
Child of God
3 years
Shemasi @kigogo anatoa a way forward kuhusu kesi ya mwenyekiti Mbowe.
18
89
305
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Kwamba @SuluhuSamia ulikuwa unafikiria mbali kumuweka Mzanzibar mwenzako kwenye hii nafasi ili mkiyaongea muelewane. Hata kutuuza Watanganyika iwe rahisi. Hii haikubaliki. Kauzeni bandari ya Zanzibar. Kwani na yenyewe si bandari.
Tweet media one
28
67
297
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 Shemasi pata kwanza msosi. Kisha uendelee na spana. Umefanya kazi sana leo
Tweet media one
6
8
284
@InexorablesoG
Child of God
4 years
Psg wanaenda beba hii ndoo
18
2
270
@InexorablesoG
Child of God
4 years
Walimu kuchapwa, tumeskia juzi tu. Madaktari kuingiliwa na kufokewa na kutishiwa Kama watoto. Kufukuzwa kazi bila kufuata sheria mpaka wengine walipoteza ndugu kwa kufa kwa shinikizo la damu. Sisi wafanyakazi tememkataa MAGUFULI. By Mwkit wa wafanyakazi twitter.
12
29
277
@InexorablesoG
Child of God
3 years
Simba huu mnaufanya ni ujinga. Mnatutia aibu mashabiki wenu. You should boycott this nonsense. Haiwezekani game ipelekwe mbele kwa reasons za kisiasa afu mnakubali kanuni kuvunjwa kijinga hivi. Mtawalipa mashabki ambao watamiss ✈️ zao.?
20
18
270
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Kizazi chetu kikumbe kuwa hawa watu wamehusika kwa asilimia zote kuuza Bandari zetu zote za Tanganyika kwa Waarabu na wakaacha za Zanzibar. Kizazi chetu kikumbe kuwa hawa ni kati wa Maadui wa kubwa wa Urithi wa nchi hii. @SuluhuSamia @TuliaAckson @MbarawaM
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
32
73
273
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 Mungu akubariki Sana. Mwaka huu we 2020 umenifanya mahudhurio yangu twitter kuwa effectively na kufuatilia mambo mengi yanayoikumba nchi yetu. Umefumbua macho ya wengi including me juu ya yanayoendlea kwenye nchi. Naamini ipo siku TZ itapata ukumbozi wa kweli. Thanks
Tweet media one
2
21
249
@InexorablesoG
Child of God
3 years
Hii imepenyaaaaaaaaaa....
31
72
250
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Ndani ya hii video ya dakika 2 tu wakili msomi @Mwabuk2Boniface amecover maeneo makubwa na yenye umuhimu matatu. 1. Ubovu wa mkataba wa bandari 2. Njia za kuusitisha huo mkataba OVU na wa KITAPELI wa bandari 3. Uonevu unaondelea Ngorongoro. I call it the art of articulation
4
69
214
@InexorablesoG
Child of God
2 months
@TanzaniaLeaks Msg yangu kwa Awadhi
Tweet media one
Tweet media two
22
34
216
@InexorablesoG
Child of God
4 years
Baada ya ripoti ya CAG, kuna watu hawakupaswa kulala nyumbani leo. Walitakiwa kulala mahabusu. Sema ndio hivyo tu ccm ni ileile
1
15
197
@InexorablesoG
Child of God
9 months
Ni kwamba machawa wote wa 20K, MATAGA na kunguni wanaofanqna na hao Leo watalala na viatu. Wamepigwa pigo la maana. Shwain kabisa 😃😃😃
Tweet media one
1
48
195
@InexorablesoG
Child of God
3 years
#KatibaMpyaMovement Katiba mpya ndio mpango mzima. Tunataka katiba mpya.
Tweet media one
7
31
187
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 MATAGA walifurahia haya.
14
25
181
@InexorablesoG
Child of God
3 years
Sisi na katiba, katiba na sisi. Mengine yote yakae pembeni, tunahitaji katiba mpya kwanza kwa ustawi na usawa wa nchi yetu. #KatibaMpyaMovement
Tweet media one
4
27
181
@InexorablesoG
Child of God
1 year
1 J. Kikwete apuuzwe tu kama tunavyowapuuza wengine. Viongozi wa CCM na watawala ni mahodari sana wa kupindisha hoja kwa kutumia propaganda za udini na ukabila. Sasa wameibuka na propaganda ya udini baada ya kuona wananchi wanapata uungwaji mkono mkubwa na taasisi za dini juu ya
Tweet media one
18
24
185
@InexorablesoG
Child of God
3 years
"Mimi ni Mkristo siombei mtu mabaya lakini kila siku naomba Mungu ccm ianguke hata kesho" ~ shemeji yetu mtarajiwa
3
14
176
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Huyu hapa kiongozi shupavu @HecheJohn asie na compromise akijibu hoja juu ya elimu yetu mbovu. Full video iko youtube channel ya wasafi. Amezungumzia pia namna Maridhiano yanavyopaswa kuwa kwa vitendo na si upuuzi wa kupigana siasa. #katibampyanisasa #Naspanaziendelee
1
40
174
@InexorablesoG
Child of God
3 years
Wameona wampitishe Rais @SuluhuSamia mlango wa nyuma asikutane na maandamano. All in all hongereni Watanzania wenzetu mliofikisha msg ya "KATIBA MPYA NI SASA" Big up sana @Liberatus80 @RehemaNM2 na wote mnaopigania HAKI.
9
38
171
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 Niliwaambia hawa watarudisha kodi ya kichwa
1
6
166
@InexorablesoG
Child of God
9 months
#KatibaMpya ndio mpango mzima. Na hii ni mwanzo tu
2
40
169
@InexorablesoG
Child of God
4 years
😂😂😂
14
20
160
@InexorablesoG
Child of God
5 years
@HKigwangalla @kigogo2014 Mbona wewe ulikujaga tweeter na agizo lako la kuvunja bodi ya utalii, kisha baadae bodi ikaendelea na kazi? Au haikua tweeter ulipoambiwa huna mamlaka hayo na bado ukajimwambafy mbaya zaidi bodi ikaendelea kupiga mzigo. So usimseme kigogo wakati na wewe ni walewale
13
4
161
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@MariaSTsehai @TunduALissu This one sister, the same Bibi
Tweet media one
3
15
153
@InexorablesoG
Child of God
4 years
Twitter bila @kigogo2014 inaboa. Yani ni bora awe anatweet tweet tu hata kuhusu Man city, Simba au Utopolo Kama vya politics havipo
9
3
157
@InexorablesoG
Child of God
4 months
@MariaSTsehai @udamela @humanrightstz @Sativa255 Maria, mama Helen alipostaafu, ofisi zile zilikaliwa na mbwa mwitu. They learned nothing from her. They have become the puppets of the system. No one respect them anymore. Nilianza kuijua taasisi ya human rights TZ kwasababu ya huyu mama. But now, ni kama haipo.
2
8
151
@InexorablesoG
Child of God
9 months
Maua yake tafadhali
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
9 months
👊🏽 Mashangazi tuko juu 👊🏽 Huyu dada yuko bize Kariakoo anagawa vipeperushi vya maandamano What a brave young woman 👏🏽 gearing up for peaceful demonstrations tomorrow #Tanzania #Maandamano
Tweet media one
44
210
2K
2
22
148
@InexorablesoG
Child of God
2 years
Hii nchi tumenunua ma V8 kuanzia kwa wakurugenzi, wakuu wa wilaya, wakuu wa mikoa, makatibu wakuu na manaibu, mawaziri na manaibu, majaji, wabunge nk, KISHA tunashindwa kununua VIFAA VYA KISASA VYA UOKOZI. Kwakweli tunahitaji KATIBA MPYA, MFUMO MPYA NA AKILI MPYA. Shame on ya CCM
@millardayo
millardayo
2 years
#BREAKING Kinachoendelea kwa sasa hapa Nyamkazi, Bukoba ni kuivuta kwa kamba Ndege ya PRECISION AIR na kuipeleka pembeni mwa ziwa kusiko na kina kirefu ili kurahisisha zoezi la uokoaji kwa Watu ambao inaelezwa bado wako ndani ya Ndege hiyo. #MillardAyoBREAKING
250
228
2K
10
34
139
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 Kigogo muangalie huyo askari alioko mbele alivyo na furaha akuangalia Lisu
14
2
135
@InexorablesoG
Child of God
2 years
Hii inaumiza sana sana😭😭😭. Serikali ya @ccm_tanzania why are you doing this? Hii ni nchi yetu wote. Hawa Watanzania ni wenzetu sio wapangaji. Why are you treating our fellow Tanzanian like this?
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
2 years
Roho inauma 😭 Tutalala vipi kwa amani huku watoto Loliondo wanapambana kwa hofu kuhama na mali na mifugo usiku huu chini ya vitisho vya serikali dhalim ya @SuluhuSamia Roho nyeusi na ya kishetani ya watawala haitawaacha salama #StopMaasaiLandGrabbing #StopMaasaiEviction
Tweet media one
135
233
1K
5
49
129
@InexorablesoG
Child of God
2 years
"Rais anapofanya shughuli ya umma inalipiwa na umma. Wapi umeshaona Rais anakuwa mcheza filamu" ~ @TunduALissu #MariaSpaces #KatibaMpya
17
19
125
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 Umesahau Walifukuzwa kazi bila malipo kwa kisingizio cha vyeti feki.
1
1
125
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Mwamba huyu hapa, anawacheki tu mnavyocheza bilinge bayoyo zenu afu yeye ndio walaa hana habari...anaendelea ku FOCUS na mambo muhimu ya kitaifa. Endeleeni kuimba ngonjera zenu mkichoka mtatukuta mbele tukiendeleza mapambano Keep going, @MariaSTsehai . You are unstoppable
Tweet media one
12
41
128
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Ukimgusa @TunduALissu kinanukaa... @DPWorldUAE tafuteni wa kuwatasfiria😄
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
1 year
Word of advice @DP_World Do y’all know who Tundu Lissu is and his track record in fighting corruption, natural resource exploitation? (Just google him) Magufuli tried to assassinate him and failed - ask him .. oh wait … never mind 😅 Anywaaaay, picking a fight with
Tweet media one
105
308
2K
1
21
125
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 Shemasi, hawa wabunge hawakuchaguliwa, waliteuliwa na Meko. So, ni wabunge wa Meko, si wabunge wa Wawatanzania
1
4
121
@InexorablesoG
Child of God
8 months
My brother @Mwabuk2Boniface akiongelea namna tulivyo na viongozi katili specifically kwenye issue ya Ngorongoro.
4
38
113
@InexorablesoG
Child of God
2 years
Gazeti la Leo la Mwananchi. Wow
Tweet media one
6
24
111
@InexorablesoG
Child of God
3 years
Chifu SHANGAZI
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
3 years
Kama kawa @Big0047 keshanisimika uchifu 😀💪🏽 Nasubiri jina langu la uchifu 😄😄 Usisahau kum-follow kijana wa hivyo Big! 👏🏽👏🏽
Tweet media one
162
162
2K
2
11
107
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Kuna hii taarifa. Nyanda kaitwa kituo cha polisi. Nyanda simu yake kwasasa haipokelewi na RPC anasema Nyanda hakuitwa kituo cha polisi. Hizi ndio dalili zao za kumpoteza mtu. Nyanda amekuwa akiandika maandiko FB kupinga mkataba wa bandari.
Tweet media one
Tweet media two
7
29
108
@InexorablesoG
Child of God
3 years
@kigogo2014 Mimi mshabiki wa Simba but this No. Manara ni kama mwanadamu mwingine anahitaji kuishi, kapata kazi, acha apogee hela. Tulishindwana nae, yaishe. Hata wewe tu hapa umewawakia CDM kwabbu za walivyokutreat vibaya. Hiyo yote inaonyesha tunadiffer kuhandle mambo. Piga hela Hajj.
6
5
105
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Lissu kama ni kama maji tu, either utayanywa, uoge, usukutue nk. Baada ya kelele za kuwaonyesha wanamtenga Rais wa wananchi sasa hivi MACHAWA wote wa mkuu wameagizwa leo kupost clip zake. Mpaka account ya Chama imepst clip baada ya miez. Baba Lissu mpige spana Samia. #KatibaMpya
1
24
104
@InexorablesoG
Child of God
2 years
Hii clip ina maneno ambayo yanaakisi namna CCM na serikali yake kimsingi hawako tayari kwa siasa za ushindani wa kihaki lakini pia ambavyo hawajali hata Watanzania ambao wanajidunduliza kujikwamua kwenye kwa mifugo yao na mashamba yao. Shame on you CCM.
1
28
101
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Uongozi ni kuinfluence, kuskiliza na kuwasemea watu. @TunduALissu anafanya hayo yote na anatuongezea na KUTUFUNDISHA. Huyu mtu ameiva kweli KIUONGOZI. Hana usiri na vitu vya kuficha. Anayoosha rula kuwa hitaji ni #Katibampya . @SuluhuSamia na WANAMARIDHIANO wanamhofia sana Lissu.
Tweet media one
3
17
105
@InexorablesoG
Child of God
1 year
MAAJABU YA "KRISTO" na wanaojiita "WATUMISHI WA KRISTO". Wakati nchi ikiwa kwenye tension ya mjadala mkali wa kuhusu mkataba OVU na wa KIWIZI wa bandari uliodhinishwa na "Bunge la jamhuri ya CCM". Pamoja na tension ya kukamatwa kwa vinara wa upingaji wa mkataba huo na KUBAMBIKI
Tweet media one
29
15
103
@InexorablesoG
Child of God
6 months
P 1. Kuna usalama wa taifa, jeshi la polisi, JWTZ, JKT ila bado kuna watu wanajisifia kuwapoteza watu publicly hivi na bado wanadunda mitaani. Kisa tu kavaa t-shirt ya kijani. Wakati huohuo kuna sintofahamu kibao ya watu waliopotezwa recently na wakati uliopita.
28
54
105
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 Kenya huko SShemasi
Tweet media one
9
6
98
@InexorablesoG
Child of God
3 months
@Sativa255 Haya, elimu hii hapa
1
29
99
@InexorablesoG
Child of God
3 years
"Watanzania ni hodari kususa, tuendelee kususa, tuendelee ku cut down matumizi yote yasiyo ya msingi. Tuache kwenda super market kwasbabu kuna VAT. Twendeni sokoni, hakuna VAT. Lakini pia tunakuwa tunawasapoti wafanyabiashara wadogo" ~ shangazi @fatma_karume #MariaSpaces
2
20
93
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Moja na mbili kutoka kwa wakili msomi @Mwabuk2Boniface .
6
21
93
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Wewe @mshambuliaji na mburura wenzako hapa ni wapi? Unakuja na picha zako za kuokotezaokoteza ili iwe nini? Man up and wise up? Bata wahed
6
27
92
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 Hao watu wako mbali Sana, huwezi linganisha nawa wehu wetu hapa TZ
4
0
86
@InexorablesoG
Child of God
3 years
Woyooooooo! Asante shangazi @MariaSTsehai 🙏. Siku inaisha vizuri hii.
Tweet media one
2
8
80
@InexorablesoG
Child of God
2 years
NI MWENDO WA SPANA TU. Wakigeuka huku spana, wakigeuka kule spana. Mpaka wa #StopMaasaiEviction
4
25
86
@InexorablesoG
Child of God
2 years
"Lita milioni 31 za mafuta zimepotea TZ kwa mujibu wa CAG. Na hayuna hata reserve ya mafuta. Inawezekanaje hiyo amount ya mafuta kupotea ndani ya nchi?" ~ @CatherineRuge #MariaSpaces #KatibaMpya
7
20
83
@InexorablesoG
Child of God
2 years
Hawa mpaka wateme ndoano. Kwani MATAGA wanakuaga na akili basiii?
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
2 years
#TutaelewanaTu 👉🏽 ofisi ya @mbachelet ya OHCHR walitoa tamko na niliwaonya msipuuze 👉🏽 MATAGA mkaleta kidomodomo ila mmeufyata sasa 😂 👉🏽Wameenda kujieleza na kukubali masharti Heshimuni #WenyeNchiWananchi Hizi “kelele” tushasema tutapeleka hadi mbinguni #StopMaasaiEviction
Tweet media one
Tweet media two
37
104
309
2
20
85
@InexorablesoG
Child of God
4 years
Shemasi @kigogo2014 huyu konde boy anajua mpira aiseeee!
2
1
85
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Hawa watu wametuzoea, wakivaa hayo mashati ya kijani wanajikuta ni first class citizens. Kana kwamba wengine ni watumwa...
@lifeofmshaba
Think Different
1 year
CCM sio chama cha siasa wanapiga watu kwenye mikutano yao kisa kuuzwa maswali Yaani kwa Samia ukikosoa wanasema umemvunjia heshima mtaani ukiulizwa unapigwa mitama wahuni hawa wakikukuta UCHOCHORONI itakuwaje? kama mbele za KAMERA ndio wanapiga hivi ?
47
99
272
6
37
85
@InexorablesoG
Child of God
3 months
Woyooooooooooooooooo Glory Glory Glory
6
14
83
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@Wazirichelsea1 @moodewji Waziri, aliokuwa anafanya ni uchokozi usiojenga timu especially kwenye focus ya kwenda kuanza ligi. Anafanya mambo ambayo maadui wa timu wanaweza tumia kama propaganda za kuwaletea sintofahamu washabiki. Hii KO inamfaa sana
1
1
81
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 Mtu mmoja aliwahi kuniambia WAKATI UTAKAPOFUNGUA MDOMO WAKO KUONGEA NDIO UNAWAJULISHA WATU WEWE NI NANI NA UMEBEBA NINI KICHWANI
1
2
80
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 @ChademaTz Chadema kuwa na Mbowe Kama M/kiti, Lisu kuwa msaidizi na Mnyika kuwa katibu imefanya chama kuwa strong kwasababu hao watatu wote ni wapinzani kweli. HAWAHONGEKI. Meko alishajaribu Sana kwa Mnyika mpka kumhonga uwaziri
3
4
82
@InexorablesoG
Child of God
2 years
@lifeofmshaba Nafikiri tuendelee kupigwa haya matukio mpaka akili zetu Watanzania zikae sawa. Mpaka tuamke kwenye huu usingizi mzito. Mpaka ifike wakati waa kujua nchi si ya hawa VIBAKA bali ni yetu sisi wananchi na tunao uwezo wa kuirudisha mikononi mwetu. Acha tuchapwe akili zitukae sawa
6
10
76
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 Acha tuanze mazoezi
Tweet media one
4
0
75
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 Kigogo, Meko anadalili zote za kufuata nyendo za Museven. Hamna mbunge atakayejaribu kunyanyua mdomo. Wote wemeshinda kwa shinikizo lake. TZ imepata rais wa milele. Hataondoka huyu mzee
5
1
77
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Mjumbe @RehemaNM2 akiuliza swali ambalo wengi wangependa kuuliza wakikutana na viongozi wa juu wa CDM. Cha ajabu "chawa " wa CDM hawapendi viongozi wao wakuu wakiulizwa kuhusu maridhiano, bahati nzuri Lissu is so humble na ni kiongozi kwelikweli, yuko tayari kuulizwa chochote.
9
19
77
@InexorablesoG
Child of God
3 years
Space ya Maria iko hewani sasa hivi ikiongozwa na shangazi mwenyewe @MariaSTsehai na akisaidiwa na genius @lifeofmshaba
Tweet media one
6
10
69
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 Shemasi anachomfanyia Bashiru na Meko
7
9
77
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Mungu amlinde @naythetrueboy . Aliyoyasema kwenye haya mashairi ni mazito kwelikweli. Kwa vichaa hawa wanaojiiita viongozi sijui kama masikio yao yatakuwa na uvumilivu wa kuskia
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
1 year
Amkeniiii by @naythetrueboy 👊🏽 Nay wa Mitego doing the Lord’s work 😅 in #Tanzania 🔥“Nchi inaendeshwa kimagendo” ☹️“Mwisho wa wimbo huu mtaniita mchochezi” 😅“Mama analea wezi, ndo anafuga wezi” 💥“Bandari mkamwuzia mwarabu na mkataba ni wa milele”
139
444
2K
2
13
76
@InexorablesoG
Child of God
3 months
Sema nini, leo nimefurahi sana. Daah, si rahisi haki kushinda kwenye hii nchi. All glory to God. Mungu awabariki mawakili wote na campaign team. Mungu awabariki watanzania wote, wapenda haki na wanaharakati. Mungu ambariki spika wa Bunge la wananchi @MariaSTsehai na timu yake.
2
14
77
@InexorablesoG
Child of God
3 years
Kila Mtanazania anadaiwa 1.6 mil kama tukiligawanya deni la taifa kwa sasa (including watoto) @CatherineRuge
5
8
73
@InexorablesoG
Child of God
5 years
@moodewji CHANGIA FAINI YA VIONGOZI WA CHADEMA MPESA KWENDA CRDB 1. BONYEZA *150*00# 2. TUMA PESA 3. KWENDA BENKI 4. CHAGUA CRDB 5. BONYEZA 1, WEKA NAMBA YA AKAUNTI 6. INGIZA NAMBA YA MALIPO 01J1080100600 7. INGIZA NAMBA YA SIRI NB. JINA LA AKAUNTI- CHADEMA M4C AKAUNTI NAMBA 01J1080100600
0
1
72
@InexorablesoG
Child of God
2 years
Mnisaidie tu, nani anatumia akili na nani anatumia kamasi? Yaani kuambiwa ukweli ulipita bila kupingwa na kuwa uko kwenye system ambayo haipaswi kuwa na guts za kupongeza uchaguzi wa Kenya na yenyewe ni shida? 😃 Tupeni katiba mpya. #KatibaMpyaNiSasa
Tweet media one
Tweet media two
18
12
76
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 Huyu jamaa nae alikuwa kitengoni TISS. Kama ndio atakuwa VP tutegemee mabadiliko makubwa Sana TISS
3
0
70
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 Hizi kauli za defensive kuwa Mimi niwanamke, Mimi ni rais lazima zina chanzo, na chanzo chake itakuwa ni mtifuano awali kabla ya kuapaishwa kwake walivyotaka kumsub, lkn pia bado kuna kamtifuano, kuna watu hawaamini kabisa Kama huyu ndio anakwenda kuwa chairman wa chama
3
3
72
@InexorablesoG
Child of God
3 years
"International treat against torture Tanzania hawataki kuisaini. Kwanini nchi yetu haitaki kuabide na International standards against torture? Kwasababu they are practicing torture"~ shangazi @fatma_karume #MariaSpaces #KatibaMpya
0
13
67
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Ukomo wa Mkataba ni pale ambapo shughuli zote za mradi zitapo kuwa zimekamilika...so no matter zitakamilika kwa miezi 12 au miaka 600, ili mradi shughuli ziwe zimekamilika. @SuluhuSamia mnaiuza nchi yetu.
Tweet media one
4
28
70
@InexorablesoG
Child of God
3 years
@kigogo2014 @salim_alkhasas Hi space inakuwa na watu 2000+ na watu hupata nafasi ya kutoa maoni na mawazo yao(uhuru wa maoni). Maoni ya watu sio msimamo au take ya space ingawa yanaheshimiwa. So, kuchukua maoni ya mtu mmoja au wawili na kusema kunakujazana UJINGA hiyo sio fair na sio SAHIHI HATA KIDOGO.
4
2
68
@InexorablesoG
Child of God
2 years
"Actress wetu anasema yeah, pale mwigizaji mwenzake aliposema Magufuli alikufa kwa covid"~ @TunduALissu Ila Lissu 😆😆😆😆😆😆😆😆😁😁😁😁 eti actress wetu.. #MariaSpaces #KatibaMpya
6
10
67
@InexorablesoG
Child of God
3 years
Shangazi @MariaSTsehai unakumbuka niliwahi retweet tweet yako nikasema ninaliona gazeti la Raia mwema likifungiwa kabatini ? 😂😂😂😂. Hii serikali haina misuli ya kuvumilia zile spana
@MsigwaGerson
Gerson Msigwa
3 years
Leseni ya Gazeti la Raia Mwema yasitishwa kwa siku 30.
Tweet media one
Tweet media two
314
72
859
2
10
60
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 Kigogo, Tunisia sio level yetu tena hasa tunapocheza kwao. Kimpira kiuchumi kila kitu wapo juu. The only way kocha anaweza fanya ni kuzuia tusifungwe magoli mengi. Tukifunguka tutapigwa Kama upupu.
8
0
68
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Hongereni MwanzoTv plus. Zinashushwa spana hapa. Afu kumbe kuna mashirika makubwa kabisa ambayo yana misslead the information kuhusu hii issue. Inasikitisha sana.
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
1 year
LIVE: Bunge la Ulaya: Kufukuzwa kwa lazima kwa Wamasai nchini Tanzania via @YouTube Much power kwake Mama wa Kimaasai 👏🏽 anaongea lugha asili na vazi lake! Natumai atampa za usoni huyo balozi (alinikera alivyo mwongo aisee 🤯)
Tweet media one
20
79
308
1
12
66
@InexorablesoG
Child of God
3 years
Huyo dogo Tespi Evansi wa Azam anaujua sana. Na huyu Sakho wa Simba taaratibu anaanza kuadapt, dribbling yake ni hatari sana.
2
2
63
@InexorablesoG
Child of God
1 year
@Millambo_ Kuna makosa mengi sana kwenye haya mahubiri ya huyu jamaa. Mbaya zaidi kuna watu wanamskiliza na kumshangilia. King James sio waandishi wa Bible , walitafsiri tu Bible kwenda kwenye lugha ya kingereza. Bible imeandikwa kwa Ki Hebrew (OT) na Greek (NT) na kidogo Aminian. Also, wa
15
1
64
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Wanaharakati wa kutetea haki za binadamu na utawala bora, @Grounders_ wanalitariifu jeshi la @tanpol Kama matembezi ya @TuliaAckson yanaruhusiwa basi na wao watakapofanya matembezi yao “WASISUMBULIWE” #KatibaMpya #OkoaBandariZetu
Tweet media one
0
18
66
@InexorablesoG
Child of God
4 years
@kigogo2014 Shemasi, hii ni kutoka Kenya
Tweet media one
3
3
64
@InexorablesoG
Child of God
1 year
Tumekuwa na muda mzuri Leo na kamanda huyu bro @TitoMagoti . I really appreciate, bro.
Tweet media one
5
9
65