Center-Right. MP Candidate 2020 for CHADEMA. Human Rights Activist. Retweets are not endorsements. Values: Ujasiri (Courage), Uhuru (Freedom), Umoja (Unity).
Mh.
@JMakamba
na Rais
@SuluhuSamia
, naomba mfikirie watoto ambao wanazaliwa na Watanzania nje ya nchi. Wakifika miaka 18 wanalazimishwa wachague family, either familia yao ya Tanzania au ughaibuni. Tough choice. Tuachane na sheria ambazo zinatenganisha familia.
#BirthRight
is God
Lijualikali alimuona Mbowe akiwa “amelewa,” akateleza na kuanguka kwenye ngazi. Lijualikali ameshuhudia Mbowe anavyo anguka usiku wa manane kwenye ngazi. Sijui alikua anamfatilia usiku wote huo na akaona namna Mbowe alivyo “lewa na kuanguka kwenye ngazi!”. Upelelezi uanzie hapo.
Brother Zitto anampigania Mpango kwa sababu anatoka Kigoma na mi Muha. Huu ni ukanda na ukabila. Anasema wazi “Sisi” watu wa Kigoma hatuta kubali. Hii ishu ni ya Kigoma au ya Dr. Mpango? Yaani Mpango angekua anatoka Tunduma angekufa kivyake. Huu ni ukabila na ukanda.
Kwa kifupi, Tafsiri isiyo rasmi:
Tigo Tanzania ilivujisha data za simu za Lissu kwa serikali ya Tanzania kabla hajapihwa risasi September 7, 2017. Mahakama ya Uingereza imeanza kusikiliza kesi.
Michael Clifford alikuwa mfanyakazi wa Tigo Tanzania ameiambia mahakama huko
Inawezekana vipi nchi nzima hakuna mbunge wala Diwani wa CCM aliyekosea kujaza fomu? Madiwani wa upinzani zaidi ya elfu 1000 wamekosea. Wabunge upinzani zaidi ya 20 wamekosea. Au CCM ni majiniasi? Unapo fanya uhuni tumia common sense kidogo. Common sense is not common.
Mmebana Uhuru wa habari. Habari ya JPM kuugua hakuna media iliyo report. Sio gazeti, radio wala TV. Ndio maana
@kigogo2014
kawa mbadala wa media.🙏
Ushauri: kumdhibiti Kigogo achieni uhuru wa vyombo vya habari. Kigogo kwa sasa ana followers 400K plus. Atafika million mwaka huu.
Akiwahutubia Watanzania leo Washington DC, Rais Samia amewaambia: “Nimewaona wanangu nje wakiwa wamevaa t- shirt na wameshika mabango. Nimewasalimia”. Huu ni uongo. Rais Samia amepitishwa mlango wa nyuma kuingia na kutoka ubalozini na hotel. Ukumbini kaulizwa maswali mawili tu.
Mama yake Erick Kabendera alikuombea mwanae msamaha: “Namuombea msamaha mtoto wangu maana yeye ndio ananinulilia dawa”.
Erick hakusamehewa na mama yake alikufa akiwa ndani. Erick hakumzika mama yake.
Aliyetoa wazo la CHADEMA kuongoza maandamano kwenye mikoa kumi na majimbo 25 tofauti, ni genius. Wanachama wa CHADEMA jipangeni maeno yenu. Polis wote wamepelekwa Dar.
Mh. Tundu Lissu atakuwepo jimbo la Mbarali siku ya Jumanne, September 15, 2020 kwenye viwanja vya Barafu, Rujewa.
Sambaza ujumbe. Karibuni wote.
@TunduALissu
ZIFAHAMU SHERIA ZA MSINGI UWAPO MIKONONI MWA POLISI
IMEANDALIWA NA MAWAKILI
1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako.
2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama kama anasema ametumwa na mahakama kukumata, ni haki yako.
Nchi ina wenyeviti wa mitaa, vijiji na vitongoji wote wa CCM. Ina wabunge wote wa CCM. Madiwani zaidi ya 95% wa CCM. Rais wa CCM. Tunategemea kuona maendeleo manake wapinzani tulikua wapinga maendeleo.
Jana wamekaa kikao wilayani na kutoa maagizo: akishinda mgombea was CCM atangazwe. Akishinda wa upinzani, wasimamizi wawasiliane na mkurugenzi kwa maelekezo. Madiwani wangu, mbunge na Rais tukishinda tutatangazwa kituoni hapo hapo. Nothing less. Nothing more.
Mama, najua ni mapema:
👉 Rudisha utawala wa sheria
👉 Kutana na familia za watanzania walio tekwa na kuuwawa na watu wasiojulikana
👉Katiba ya Warioba
👉 Kutana na viongozi wa dini na asasi mbalimbali
👉Mtafute
@TunduALissu
. Alipwe stahiki zake. Walio mpiga risasi wawajibike
Polis wamezuia mkutano wa ndani wa BAVICHA. Chongolo na Shaka wanazunguka nchi nzima. Huu nimuendelezo wa Sera za kidicteta za Magufuli. Rais
@SuluhuSamia
anaendeleza umagufuli. BAVICHA wataendelea na mkutano.
@tanpol
, njooni na mabomu na risasi za moto kututawanya. Mtawajibika.
Miaka sita iliyopita katiba imevunjwa kibabe, left and right. Matokeo yake ndio haya. Wengine wanaona ni msiba wa wote, wengine wanaendelea na shughuri zao. Taifa linahitaji muafaka na kuletwa pamoja.
DAS Mbarali, Hatutaruhusu wizi wa kura mwaka huu. Kikao chako cha 10/10/20 saa 9 mchana ofisi za CCM wilaya na Katibu wa CCM wilaya, Walimu wa secondary na shule za msingi etc. ukiwaahidi nafasi kubwa kama watasaidia kuiba kura ni wazo la kishetani.
Tuna taarifa zaidi ya vituo 40 vya kupigia kura Mbarali, CCM wamekubali tunaenda kuwashinda vibaya sana. Wamekata tamaa kwenye vituo hivi. Wanapanga mpango wa kuiba. Naongea na “campaign command center” ili kutaja vituo hivi. Hatutaibiwa. Stay tunes...
Ben Saanane mwezi moja kabla ya kutekwa na watu wasiojulikana (Ben- left). Alikuja kwenye msiba wa mama.
Ben, Aqulina, Azory, Mawazo, Lissu, Mo, Roma, nk. Hawa walivyo umizwa MATAGA walishangilia. Mungu ni wa haki.
@HildaNewton21
Rais ameanza kuumwa March 6, 2021. Watu wamekamatwa kwa kusema rais anaumwa baada ya March 9th. Waziri Mkuu alidanganya Rais anaendelea na majukumu yake wakati anaumwa. Ms. President, Samia Suluhu, watoe vijana wote waliokamatwa.
Six of our CHADEMA members including our ward chairman have been arrested in Igawa, Lugelele. Denied bond. President
@MagufuliJP
is scheduled to stop by Igawa tomorrow. CHADEMA posters have been ripped apart and vandalized by Green Guard.
Pic: Igawa four days ago after rally.
Kuna ujinga sana. MATAGA wanasema Mbowe alipeleka majina. Yaani Mbowe anaweza kupeleka jina la Nustrat ambaye alikua jela na kumsafirisha usiku kesho yake aapishwe? Mbowe must be very powerful.
Wanachama wa CHADEMA kutoka Kapunga Mbarali, Suleiman Mwakanyamale na Gerevas Sihama wamekamatwa jana. Wanatuhumiwa kushangilia kifo cha Magufuli. Wote wanatoka kijiji cha Kapunga kata ya Itamboleo, Mbarali. Polis waachieni vijana hawa haraka bila masharti yoyote.
“Msaliti kwenye taifa lolote huwa ha-survive. Wanajeshi wanajua cha kufanya kama kuna msaliti”
Masaa mawili baada ya agizo hili
@TunduALissu
alipigwa risasi 16.
Tumetoka Mahakamani Mbeya. Kesi ya Mdude imeahirishwa hadi Nov. 30th. Waendeasha mashtaka walitaka isogezwe mbele hadi Dec 14th kwa sababu mashahidi hakuwepo. Mdude akaomba iwe Dec 3rd or 4th. Hakimu kaamua Kesi iwe Nov 30th.
“Mh. Aiekiel Mbowe ni professor wa science ya Siasa” Naibu waziri wa Afya, Molleli.
@freemanmbowetz
Nani anainishia kauli hii ya Naibu Waziri wa Afya, Mh. Molleli?
Polis Chimala, Mbarali wanakamata kamata vijana wa
#CHADEMA
. Hadi sasa wamekamata vijana wetu zaidi ya 15. Mchana huu wamemkamata M’kiti wa vijana Wilaya ya Mbarali, Victor. Wamewakamata Wanawake 6 pia: Mbumi, Jennifer, Joyce, Anifa and mama Kandida.
TANZANIA DIASPORA KUANDAMANA
Diaspora Tutaandamana Ijumaa Kupinga Mkataba wa Bandari na kushinikiza Dr. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude waachiwe huru
Siku: Ijumaa, August 18, 2023
Muda: 11:00AM
Eneo: Ubalozi wa Tanzania Washington DC na London, UK.
Sweden watafanya
“ACT na CHADEMA hatuyakubali matokeo ya uchaguzi yote ya 2020. Tunadai kuitishwa upya uchaguzi mkuu. Tunahitaji MEC na ZEC zivunjwe na kuundwa upya huru” Mbowe kwa niaba ya ACT na CHADEMA.
Tukiwa na ujumbe kwa Rais
@SuluhuSamia
nje ya ubalozi. Rais wamempitisha kwakifichonkwenye mlango wa nyuma. Waziri Mwigulu na Balozi Elsie Kanza wamepita mbele ya ubalozi. Huu ni ujumbe tulio wapa.
Jaji Mkuu anawaagiza mahakimu na Majaji wahakikishe hukumu zao hazina madhara kwa serikali. Watanzania tupo kama mazombie tunaamini Mwenyekiti Mbowe atatoka kwa haki kutokana na ushahidi wa michongo.
#Tujiongeze
So, ni zaidi ya masaa 24 hakuna tweet ya masikitiko na pole kutoka kwa mzee wa Msoga, January, Ridhiwani na Bashe. Nape kasema pumzika salama. Naendelea kujifunza.
Rostam Azizi analalamika kutokua na balance ya kibiashara kati ya Kenya na Tanzania.
Swali la msingi: Tulipata Uhuru kabla ya Kenya. Je, ni nani ametufanya tuwe nyuma ya Kenya kiasi hiki?
#TatizoNiCCM
CCM, CCM, CCM; Watanzania wa leo sio wa miaka ya 70’s. Uhuni mnao ufanya hadi wananchi wa chini wanauona. Mnatengeneza time bomb. I’m so impressed with this guy articulating his rights and disapproving of CCM malicious acts.
So, hili dude limetua KIA halafu msemaji wa serikali anasema limeleta cargo! Cargo gani hiyo? Hili dude ni kama nyangumi, linameza Toyota Land Cruisers zaidi ya 20! Halina hata madirisha!
@MsigwaGerson
, ni Cargo gani hiyo imeletwa?
Dr. Slaa anajua madhara ya kujadiliwa/ kuhukumiwa kwenye Bunge la EU. Kabudi alisema wale wabunge wa EU ni wahuni wachache tu. Yule balozi naye alisema ni Kamati tena walioongea wabunge watano tu. Dr. Slaa kuna vitu anavijua ila MATAGA Doesn’t get it.
Mbarali- Youth Wing chairperson, (Victor Baleke), and 15
#CHADEMA
members are in the Police Custody for three days. No bail. No charge has been filed as far as we know.
Bashiru wakati akiwa katibu wa CCM alijipa hadi mamlaka ya kuwahoji mawaziri na kukagua miradi ya serikali. Wakati kazi hiyo ni ya CAG, Bunge na Rais. Madaraka ni dhamana tu. “Wakati Ukuta” Tundu Lissi
TANZANIA DIASPORA KUANDAMANA
Diaspora Tutaandamana Ijumaa Kupinga Mkataba wa Bandari na kushinikiza Dr. Slaa, Wakili Mwabukusi na Mdude waachiwe huru
Siku: Ijumaa, August 18, 2023
Muda: 11:00AM
Eneo: Ubalozi wa Tanzania Washington DC na London, UK.
Sweden watafanya
“Nitachukua maamuzi magumu ambayo hamta amini dhidi ya Bernad Membe, January Makamba na Zitto Kabwe na group lao lote. Mtakuja kujiona mna “shedo” mdomoni na makalio makubwa matakoni.” Cyprian Musiba
This guy is psycho and wacko.
Wakituombea,wakituunga mkono, wakituita kwenye shughuri zao hakuna mtu anasema viongozi wa dini wanachanganya dini na siasa. Lakini Wakitukosoa na kutoa maoni tofauti na CCM au Serikali ndipo kelele zinaanza za kusema wanachanganya siasa na dini.
Tukubali ukosoaji wa Viongozi wa
Tumepata taarifa Mkurugenzi na wasimamizi wakuu wamewapa maelekezo wasimamizi wa vituo kutokutoa forms za matokeo; 21A, 21B na 21C. Hatutakubali uhuni huu. Msitulazimishe kudai haki yetu kwa maarifa mengine. Mawakala wetu LAZIMA watoke na forms 21A, 21B, 21C. LAZIMA. No gimmicks.
Jay Dee! You are bold! I commend you for that. Acknowledging and appreciating
@freemanmbowetz
contribution to your career at these difficult times isn’t only shows your audacity and courage, but also shows that you care and considerate.
Kila mtu ana sababu kwanini anafanya kitu fulani. Nikiwa mdogo naenda kuomba 🎤 Club Billicanas walau nionekane , ni mtu ambae ameni inspire kuwa mjasiriamali . Nafsi itanisuta sana nisipo sema kitu . Mimi nimechanga wewe je ? Sina chama , sipendi siasa 🙏🏾
M’kiti wa UVCCM ameomba radhi baada ya kufanya kufanya na kuongoza umafya kipindi cha Magu. Naamini ipo siku
@moodewji
,
@Roma_Mkatoliki
, Erick Kabendera nk watalieleza Taifa ukweli juu ya kutekwa kwao. Siku zinakaribia watazungumza.
Naona walewale waliomsifia Shujaa na Task Force ya kukusanya kodi wanamsifia Mama sasa. Chawa sio watu, yaani wameshamsahau shujaa hata mwezi haujaisha. Chawa Kama wajumbe tu 😂😂😂😂
Nimetaarifiwa Bwana Jonas Afumwisye, aliye fukuzwa kazi TRC kwa kupinga tozo na kuwakosoa Speaker na Rais amekamatwa na polis. Anapelekwa Central sasa. Rais
@SuluhuSamia
, STOP this madness.
#FreeJonasNow
Dr. Slaa kaachiwa. Uhaini hauna dhamana. Kwa nini Dr. Slaa na wahaini wenzake wameachiwa? Tunataka kesi zote hizi zifutwe na zisitumike ku-blackmail kina Dr. Slaa. Tunaenda ubalozi kuandamana kama tulivyo panga.
#NoToDPWorld
Msihangaike kutoa "gift fat" kumkamata "Kigogo2014". Msitumie kodi zetu kutafuta 'anonymous'. Mkitaka "Kigogo2014" afutike na kupotea ni rahisi. Acheni vyombo vya habari viwe huru, msichuje maudhui na habari zao. Wengi wanakwenda kwa "Kigogo2014" kama 'alternative'. Jiongezeni.
December 28, 2018 kwenye mapokezi ya Airbus, Msemaji wa Serikali aliandika “Tangu ndege zetu zianze kufanya kazi zimeingiza faida ya Tsh 28B”
March 28, 2021, CAG “Tumebaini ATCL imetengeneza hasara ya 60B”
#AbbasMustResign
Polisi anaiba simu kutoka kwa moja ya watu ambao wapo kwenye msafara wa Lissu.
1. Inaonyesha Polisi yupo mikono mitupu. Hana simu
2. Polis ananyang’anya simu kwa nguvu
3. Polis ameshaiba simu anaelekea kwenye gari
4. Polis ameshika simu aliyo iiba
VIDEO KWENYE COMMENT
JPM anasema barakoa kutoka nje zinaleta virus vya corona. CDC wanasema kirusi cha corona kinakaa kwenye nguo hadi siku mbili. Kwenye palstic na chuma hadi siku saba. Kusafirisha kontena kutoka nje inachukua kama siku 21. Virus anakuaje hai siku 21 kwenye kontena?
Kwenye Kanda yetu ya Nyassa ukimuondoa Mzee Mwandosya; Kwa sasa the most influential person na anasemwa vizuri sana ni Raisi wa TLS, Boniface Mwabukusi.
Mwabukusi amefanikiwa sana kukonga nyoyo za Gen-Z, wanasheria, wazee na wapenda haki. Misimamo yake imempa imani na heshima
“People are losing friends over political ideologies. Just remember that whatever you are in need and want support you will always need friends and not government” Baraka Obama.
Kijiji cha Chimala ameingia mtu kumpigia kura mtu ambaye yupo nyumbani akidai anaumwa. Alipewa karatasi zote. Akielekea kupiga kura nikahoji anaye mpigia yupo wapi. Akasema yupo nyumbani anaumwa. Nikamzuia na kumwambia msimamizi. Hajapiga kura. Msimamzi ame-VOID kura zote.
Kuna clip ya dk 3 JPM kamtaja Mungu zaidi ya mara 15. Halafu Askofu moja Tanga kaongelea watu wajikinge na
#COVID19
, wavae mask na kawalaumu waliokwenda Kanisani bila mask. Yaani serikali inafanya kazi ya IMANI na kanisa linafanya kazi ya SAYANSI. Dunia inaenda kasi sana.