MwanzoTvPlus Profile Banner
MwanzoTvPlus Profile
MwanzoTvPlus

@MwanzoTvPlus

116,058
Followers
245
Following
20,108
Media
27,115
Statuses

Independent Online Media serving East Africa with premier news - Uncensored and Undaunted

Nairobi, Kenya
Joined June 2014
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
9 hours
MWANZO HABARI LIVE: BALAA! BAWACHA WAJUTIA KUMPA TUZO RAIS SAMIA Tazama:
0
0
4
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
13 days
"MIMI NILITEKWA NA MAFWELE, NDIO MAFWELE NAMJUA NINA UHAKIKA!"- Sativa afunguka mazito Sikiliza zaidi:
22
440
2K
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
"Bunge la Ndugai hasa nikifikiria walivyomfanyia Tundu Lissu naogopa sana kuona mafanikio, mara amefutwa na ubunge, mara amenyimwa mshahara na anayezungumza hivyo ni Spika, inaumiza kiasi ambacho inanipofusha kuona mambo mazuri ya bunge" Dkt Hellen Kijo Bisimba. #HATUCHUJI
Tweet media one
112
169
2K
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
5 years
Uwoooooooooh!!!! Mtambo Umewaka🔥🔥🔥 #kwanzahabari #TheForceAwakens
145
174
2K
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
Mkuu wa WHO barani Afrika Matshidiso Moeti amesema Kuchelewa kwa Tanzania kuchukua hatua kali za kukabiliana na kuenea kwa maambukizi ya corona ndio sababu ya kuongezeka kwa wagonjwa. #HATUCHUJI #KwanzaHabari
Tweet media one
132
151
1K
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
Aliyewahi kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu, Dk Mwele Malecela, amemfariji Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii aliyesimamishwa kazi kupisha uchunguzi, Dkt. Moremi, huku akimtabiria kupata mafanikio makubwa siku chache zijazo.
Tweet media one
38
79
1K
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
5 years
"Ni marufuku kuning'iniza picha zangu kwenye Ofisi zote za Umma, u-Rais si umaarufu ama kuwekwa ukutani, badala yake kila mmoja wenu aweke picha za watoto wake awe anazitazama kila anapofanya maamuzi ya nchi hii''- Volodymyr Oleksandrovych Zelensky, Rais mpya wa Ukraine.
Tweet media one
65
229
1K
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
3 months
#TANZANIA : MWABUKUSI APITISHWA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS WA TLS Wakili wa kujitegemea Boniface Mwabukusi, amepitishwa kuwa mgombea Urais wa Chama cha Wanasheria wa Tanganyika(TLS), katika uchaguziunaotarajiwa kufanyika Agosti 2,2024 jijini Dodoma.Mbali na Mwabukusi wengine
Tweet media one
99
159
1K
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
1 month
#TANZANIA : TLS KUJITOSA SAKATA LA WAMAASAI NGORONGORO Rais wa Chama cha  Mawakili wa Tanganyika(TLS), wakili Boniface Mwabukusi amesema TLS itaungana na yeyote kuhakikisha haki za Wamaasai wa Ngorongoro zinapatikana hasa kwenye mchakato wa kupiga kura na kuchagua viongozi wao.
Tweet media one
31
210
1K
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
2 months
#TANZANIA : VIJANA WATANGAZA MAANDAMANO Vijana wakiongozwa na @DEUSDEDITHSOKA , watangaza maandamano nchi nzima, moja ya sababu zao ni watu kutekwa na wenye mamlaka wanatoa kauli za kuudhi badala ya kutoa kauli za kukemea pia sababu nyingine ikiwa ni ugumu wa maisha. Zaidi:
104
314
1K
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
'Mheshimiwa Rais Magufuli, Ikulu ya nchi yetu haiko Chato. Ikulu iko Dar na Dodoma. Toka mafichoni Chato uje Ikulu kuongoza nchi dhidi ya corona. Ndivyo wanavyofanya viongozi wenzako dunia nzima. Usiwaachie Ummy na Majaliwa jukumu hilo. Wewe ndiye Rais, sio wao.'- Tundu Lissu
Tweet media one
Tweet media two
60
83
1K
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
"Kipindi hiki Mhe. Rais kupitia wewe nchi yetu imepata baraka nyingi na leo hata sisi tulio dhaifu na woga tumekuja bila barakoa"-Prof. Palamagamba Kabudi, Waziri wa Mambo ya Nje. #HATUCHUJI #KwanzaHabari
Tweet media one
199
55
981
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
"Ni ujinga uliopitiliza kwa nchi yoyote kufikiria ina uwezo wa kukabiliana na corona kwa utaratibu wake wa ndani, iwe kwa misingi ya kiuchumi, kisayansi, kitabibu, kiutamaduni, kwa imani za kidini na mbaya zaidi hata kwa imani za kishirikina" - Freeman Mbowe @freemanmbowetz .
Tweet media one
28
102
956
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
6 years
"Mbona Lowassa baada ya kujiunga na CCM alikwenda Monduli kwa maandamano na mkutano wa hadhara? Kuna watu wana haki na kuna watu wana haki zaidi” - Maalim seif, mwanachama namba moja wa ACT Wazalendo. #KwanzaHabari
Tweet media one
24
76
939
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
Kiongozi wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima amesema amemuandikia barua Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amruhusu akaombee wagonjwa wa corona na ikiwezekana, amuweke na wagonjwa hao ili watu waone kama atapata maambukizi ya virusi vya corona #HATUCHUJI #KwanzaHabari
Tweet media one
247
43
898
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
6 years
“Huyu Musiba anaweza kuwa hatari sana kwa usalama wa taifa hili ingawa watu wanamchukulia kama mtu aliyechanganyikiwa au anayejipendekeza, ni aibu sana mtu anazusha mambo mazito halafu anaachwa huru wakati wengine wamekamatwa” Mbunge wa Mtama #CCM - Nape Nnauye #KwanzaHabari
Tweet media one
78
145
899
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
Serikali ya Ujerumani inakusudia kufanya mageuzi katika sera yake ya misaada ya maendeleo kwa kupunguza idadi ya nchi zinazopokea misaada hadi nchi 60 tu kutoka nchi 85. Vigezo vya haki za binadamu na utawala bora vitatumika. #HATUCHUJI #KwanzaHabari
Tweet media one
Tweet media two
127
92
894
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
25 days
#TANZANIA : “IMETOSHA MWACHIENI SOKA NA WENZAKE NA MSITEKE TENA NYIE WATEKAJI” - ASKOFU BAGONZA Anaandika Askofu Bagonza wa KKKT - Dayosisi ya Karagwe ALIYEMTEKA SOKA, KAITEKA POLISI ETI!? Kutekwa kwa Deusdedit Soka na wenzake kumepigiwa kelele sana. Hata mabubu waandamizi
Tweet media one
47
299
903
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
5 years
"Karibu asilimia 100 ya wananchi waliokuwa wakitumia mifuko ya plastiki kwa sasa wanatumia mifuko mbadala, ukienda kila pahala, kila soko, kila genge kwa asilimia 99.9 huwezi kukuta mifuko ya plastiki" - @JMakamba Waziri wa Mazingira. #KwanzaHabari
Tweet media one
47
43
842
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
1 year
HABARI ZA HIVI PUNDE Vijana waliotangaza maandamano, leo wameandamana jijini Dar es Salaam #Tanzania kupinga mkataba wa bandari kati ya serikali na Dubai Ports World pamoja na muswada wa marekebisho ya sheria ya Usalama wa Taifa
Tweet media one
35
157
856
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
Tetradenia Riparia ni mmea unaopataikana sana Afrika. Rais wa Madagascar Andry Rajoelina, ameutaja mmea huu kuwa unatibu virusi vya corona. Lakini bado mpaka sasa WHO, haijathibisha dawa hiyo kuwa ni tiba ya virusi vya corona. #HATUCHUJI #KwanzaHabari
Tweet media one
151
122
817
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
5 years
Bernad Membe akizungmza wakati wa kuaga mwili wa Godfrey Dilunga amesema #Uhuru wa Vyombo vya Habari ni sawa na mbolea inayowekwa kwenye mche, bila uhuru wa vyombo vya habari Serikali inakuwa dumavu. Afya ya serikali zote duniani inatoka kwa waandishi wa habari. #KwanzaHabari
Tweet media one
32
92
800
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
"Leo nina miaka karibu 94, sina siku nyingi za kuiacha dunia, sitaki niende huko ninakokwenda na aibu nyuma yangu. Maisha ya mwanadamu ni hadithi tu hapa ulimwenguni. Basi eeh ndugu yangu kuwa hadithi nzuri kwa hao watakaosimuliwa"-Rais wa mstaafu, Ali Hassan Mwinyi #KwanzaHabari
Tweet media one
29
90
808
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
10 days
KILIUMANA! LISSU AKODOLEWA MACHO MAKALI NA POLISI! Tazama kilichojiri:
13
103
876
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
Msanii wa muziki Hamis Mwinjuma maarufu kama 'Mwanafa' amethibitisha kupona ugonjwa wa corona baada ya kujitenga kwa siku 28, anasema amechukua muda mrefu kupona kutokana na tatizo la Asthma alilonalo. #HATUCHUJI #KwanzaHabari .
Tweet media one
48
31
769
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
Viongozi wa upinzani nchini Uganda wakiwemo Kizza Besigye wa chama cha FDC na Robert Kyagulanyi maarufu Bobi Wine, wamezindua rasmi muungano mpya wa upinzani ili kuwa na mgombea mmoja katika Uchaguzi Mkuu ujao wa mwaka 2021 dhidi ya Rais Yoweri Museveni. #HATUCHUJI #KwanzaHabari
Tweet media one
15
44
769
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
"Nimezunguka nchi nzima, nafahamu shida na matumaini ya Watanzania, nafahamu ubunifu na uwezo wa Watanzania uliofunikwa na maisha ya woga na hofu" Tundu Lisu @TunduALissu
Tweet media one
13
65
738
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
5 years
"Watu walitumia mamilioni kwenda kuharibu tusipate fedha halafu leo zimekuja. Hizi fedha mkimpelekea mgawo nitawashangaa mawaziri. Mtuangalie sisi tuliokaa kimya na kuendelea kuomba tuzipate. Hao waliokwenda kuponda achacheni nao wasipate.” Joseph Msukuma #HATUCHUJI #KwanzaHabari
Tweet media one
340
38
744
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
5 years
BREAKING NEWS: Tanzania yathibitisha kutokea kwa kifo kimoja cha mgonjwa wa virusi vya corona . Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, leo ameeleza kuwa mtu huyo ni Mtanzania, mwanaume mwenye umri wa miaka 49, amefariki akiwa katika kituo cha Mloganzila. #HATUCHUJI #KwanzaHabari
Tweet media one
34
74
709
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
6 years
Baada ya Serikali kuiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kumfutia dhamana Tundu Lissu, Mahakama hiyo imegoma huku Hakimu Thomas Simba akisema kufanya hivyo ni kukosa utu na ubinadamu kwani hakuna asiyejua kama Lissu anaumwa na anaendelea na matibabu (Mwanahalisi). #KwanzaHabari
Tweet media one
72
99
709
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
5 years
"Kuvuruga Kilimo na Biashara ya Korosho ni kuhujumu uchumi, aliyevuruga biashara ya zao la Korosho kwa mtazamo wangu kafanya kosa la kuhujumu uchumi kama wahujumu uchumi wengine" - Jenerali Ulimwengu. #KwanzaHabari
Tweet media one
21
85
703
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
11 days
#TANZANIA : @TunduALissu akiwapa Shule nzito wanafunzi wa Sekondari hii Leo Septemba 20, 2024.
17
184
730
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
"Spika jana ametishia kwamba ana faili la mambo yangu mengi, hawezi kunifunga mdomo nisifanye kazi yangu ya kibunge. Kama ni faili hata mimi ninalo lake akimsema vibaya Mkuu, na nikifunguka hata huko kujipendekeza kwake hataaminika tena. Niguse ninuke!" Peter Msigwa @MsigwaPeter
Tweet media one
31
38
699
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
2 years
#KENYA : Mchekeshaji Eric Omondi amekamatwa kando ya Barabara kuu ya Uhuru jijini Nairobi akivuta mkokoteni uliojaa masanduku yenye CV za maelfu ya Wakenya wasio na kazi. Alikuwa akipeleka masanduku hayo Ikulu
78
180
705
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
1 month
#TANZANIA : TEC YATOA TAMKO KALI SAKATA LA NGORONGORO NA UTEKAJI Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) yatoa tamko kali sakata la Maasai Ngorongoro ikiwemo kunyimwa Haki zao za msingi na maswala ya utekaji yanayoendelea nchini Zaidi:
20
275
713
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
2 years
Mhe Tundu Lissu anasimulia kilichomfanya akimbie kwa mara ya pili LIVE:
26
86
693
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
1 month
#TANZANIA : Mapambano makali kati ya raia na polisi huko Lamadi, Busega mkoani Simiyu yanendelea kushuhudiwa huku polisi wakitumia nguvu na vitoa machozi kuwatawanya. Raia hao wanalalamikia kupotea kwa watoto kiholelaholela huku kukiwa hakuna hatua za kisheria ambazo zimeweza
66
214
707
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
1 month
#TANZANIA : SOKA NA WENZAKE WATATOKA KWA MAANDAMANO YA NCHI NZIMA - KISABO Anaandika Wakili @Advocate_Kisabo aliyekuwa anamsimamia @DEUSDEDITHSOKA na wenzake katika kesi ya utekaji iliyotolewa uamuzi hii leo katika Mahakama Kuu ya Dar Es Salaam. "Kuanzia leo mtu yeyote asikamatwe
Tweet media one
24
179
703
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
2 months
#TANZANIA : Shangwe la Mawakili @Mwabuk2Boniface wakati akinadi sera zake kuelekea uchaguzi wa chama cha Mawakili wa Tanganyika ( @TanganyikaLaw ), atwangwa swali zito na kaka wa @TunduALissu kupigwa risasi akisimamia haki, Mwabukusi ajibu. Zaidi:
13
181
699
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
NUKUU: “Halafu watu wengi hawajui. Hivi ni wana Chadema wangapi wanajua akaunti mama zote za chama kuwa mwamba ndiyo anayetia saini ikiwemo akaunti ya fedha za ruzuku,” Peter Lijualikali. #HATUCHUJI #KwanzaHabari
Tweet media one
317
24
666
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
23 days
#TANZANIA RAIS WA TLS ALIVAA JESHI LA POLISI SAKATA LA UTEKAJI, "TAARIFA KWA UMMA AU USUMBUFU" - MWABUKUSI "Taarifa kwa Umma au Usumbufu ? Kila nikijaribu kusoma ni Taarifa isiyo kamili na inayokosa uweledi wa kitaaluma. Kuna haja ya Rais wa JMT kuchukua hatua za haraka dhidi ya
Tweet media one
13
121
675
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
1 month
#TANZANIA : SERIKALI YA AWAMU YA SITA MMEKUJAJE? HATA DK 6 HAMJAMALIZA? YANAYOENDELEA NGORONGORO NI AIBU - ASKOFU MWAMALANGA Askofu William Mwamalanga, Mwenyekiti wa Haki, Amani na Maadili ya Viongozi wa Dini Tanzania aivaa Serikali ya awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia juu
25
221
671
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
"Wanasema tupime wote hapa, hivi hawa wanajua, kupima mtu mmoja ni 120,000, lakini kuwapa wataalam vifaa vya kujifunika ni 240,000 na kina badilishwa, maana yake ni milioni moja kwa siku 1, ndiyo maana tunapima wale wanaoonyesha dalili" - Dkt Godwin Mollel Mbunge wa Siha.
Tweet media one
339
47
648
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
6 years
Mkulima mwenye ulemavu wa mguu mmoja ambaye analima nyanya mkoani Mbeya, Lucas Kayuni (52) ameomba asaidiwe kupata shamba kwa kuwa anapolima sasa amevamia. Bw. Kayuni amesema ameamua kulima ili asiwe omba omba na anaweza kulima heka tatu bila kutumia magongo. #KwanzaHabari
Tweet media one
Tweet media two
24
121
633
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
16 days
#TANZANIA : PADRE KITIMA ASIMULIA NAMNA ALIVYOENDA KUMUANGALIA LISSU WAKATI AMEPIGWA RISASI, "MUNGU YUPO" Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania, Padre Charles Kitima, awasimamisha wanasiasa nguli ( @TunduALissu , @jjmnyika , @nchimbie ) mbele ya Maaskofu, amtania Lissu
24
166
661
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
19 days
#TANZANIA : @TunduALissu awasihi Watanzania kushikamana hasa kipindi hiki ambacho watu wanatekwa na kuuawa, "mambo yakiwa mabaya yanahitaji watu wazungumze mambo mugumu, kwa hiyo ni maamuzi sahihi, .. sasa haiwezekani kuendelea uchafu wa aina hii"
4
122
660
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
6 years
Kanisa Katoliki Jimbo la Songea limepinga na kulaani maagizo ya Serikali kuvitaka vituo vya huduma vya kanisa viwe na leseni za biashara na vilipe kodi. Askofu Mkuu wa Jimbo Mhashamu Damiani Dallu amesema vituo hivyo ni sehemu ya huduma za kanisa na si biashara. #KwanzaHabari
Tweet media one
106
80
619
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
Tangu kuingia kwa ugonjwa virusi vya corona Idadi ya wagonjwa wanaotibiwa katika Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete, imepungua kutoka wagonjwa 300 kwa siku hadi kufikia 50, huku idadi ya wagonjwa wanaolazwa nayo imepungua kutoka 150 kwa siku hadi kufikia 30. #HATUCHUJI #KwanzaHabari
Tweet media one
102
63
616
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
9 days
#TANZANIA : SATIVA ATOA NOTISI KWA IGP NA WENZAKE YA KUDAI FIDIA YA BILIONI TANO Edgar Edson Mwakabela ( @Sativa255 ) kupitia kwa Mawakili wake wametuma taarifa rasmi ya siku 90 kwa Jeshi la Polisi Tanzania, wakitaka fidia ya shilingi bilioni tano kwa mateso makubwa aliyoyapata
Tweet media one
15
148
926
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
"Nimshukuru sana Waziri Ummy Mwalimu amefanya kazi kubwa, yeye na Katibu Mkuu wake, Mganga Mkuu wa Serikali, pamoja na Madaktari wetu wote, kazi mnayoifanya kama msingefanya hivyo tungekuwa kwenye hali mbaya, Watanzania wanajua unachokifanya, Mama unaweza" Kassim Majaliwa
Tweet media one
Tweet media two
38
41
615
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
1 year
“Wabunge wetu ndio wanaolipwa mshahara mdogo kuliko wabunge wote wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Congo, Kenya, Uganda, Rwanda ukicheki mishahara yao iko juu kuliko wabunge wetu wa Tanzania na tukisema tuwaongeze mtasikia kelele zake,”- Makamu Mwenyekiti CCM, Abdulrahman Kinana
Tweet media one
472
39
617
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
"Kama baba wa familia ukiwa na mgonjwa nyumbani kwako alafu ukachukua pesa badala ya kumtibu ukaenda kununua gari, huwezi kueleweka. Muda huu kipaumbele iwe kuokoa maisha ya watu, rasilimali zielekezwe kwenye maisha. Hakuna mradi muhimu kuliko maisha ya Watanzania" John Heche.
Tweet media one
24
66
603
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
6 years
"Kwa sasa ninaandaa kesi dhidi ya Jaji Kiongozi na timu yake kwa kukataa kupokea kesi, yaani namshtaki Jaji Kiongozi na Naibu msajili aliyekataa" @fatma_karume - Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS). #KwanzaHabari
Tweet media one
44
81
581
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
Mkurugenzi wa WHO kanda ya Afrika, Dk Matshidiso Moet, amesema dawa zote lazima ziendane na viwango vya maadili na kisayansi. Ametahadharisha nchi kupitisha bidhaa ambazo hazijafanyiwa majaribio madhubuti ya kiafya ili kuhakikisha usalama na ufanisi dhidi ya corona.
Tweet media one
25
54
582
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
2 years
“Sheria za FIFA zinasema kwamba ukivunja mkataba kinyume na makubaliano unapigwa faini, na unapigwa faini ili kuifidia timu na ili kuwafundisha wachezaji wengine wasifanye hivyo tena”- Fatma Karume, Mwanasheria wa Fei Toto
Tweet media one
75
32
603
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
7 years
Team ya madaktari bingwa na wafanyakazi wa afya waliopigania kuokoa maisha ya Tundu Lissu Dodoma akiwemo Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya
Tweet media one
57
88
596
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
5 years
Mtandao wa Malawi Daily Mail umeweka picha katika tovuti yake zinaonesha askari wa jeshi la ulinzi nchini humo MDF wakimpiga askari polisi aliyekuwa akitimua waandamanaji wa upinzani wanaopinga matokeo ya u-Rais. Imeelezwa pia Jeshi linawaunga mkono waandamaji. #KwanzaHabari
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
76
102
579
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
6 years
Kesho Februari 16, 2019 Nigeria inafanya uchaguzi mkuu, taarifa zinasema staa wa muziki nchini humo, WizKid amekataa ofa ya mamilioni ya Naira kutoka kwa wanasiasa waliomtaka atumbuize kwenye kampeni, WizKid amesema hataki kuwahuju wananchi kwa maslahi yake binafsi. #KwanzaHabari
Tweet media one
52
80
579
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
1 year
#TANZANIA : “Mambo ya kufunga barabara kwa masaa mengi kwa sababu tu mtoto wa masikini anaitwa Philip Mpango anapita hapana.Jana naambiwa mmefunga barabara mpaka masaa manne haiwezekani, kwanini acheni wananchi wapite”Makamu wa Rais Dk. Philip Mpango
Tweet media one
71
41
588
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
6 years
"Viongozi wa upinzani wanathamini sana maisha ya wananchi kuliko watawala, na ndiyo maana leo hatuwapeleki watu wetu kwenye maandamano" @zittokabwe #HojaKwaHoja
Tweet media one
26
35
561
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
"Chama pekee chenye uwezo wa kusema tunakwenda kutafuta serikali ya Jamhuri ya Muungano ni Chadema, wengine wanatafuta wabunge,madiwani. >>>>
Tweet media one
24
38
563
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
Mkurugenzi wa WHO, Tedros Ghebreyesus, amesema ili kukabiliana na tatizo la virusi vya coroa ni lazima kuwa na afya nzuri kwa kula mlo kamili, kuepuka vinywaji vyenye sukari, kunywa pombe kupita kiasi, kuacha kuvuta sigara, kuacha kukaa eneo moja muda mrefu na kufanya mazoezi.
Tweet media one
22
75
556
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
5 years
"Rafiki yetu Rostam anapaswa kuzungumzia masuala ya Kitaifa, hayo anayoyazungumza awaachie watu wa chini" - Bernard Membe.
25
64
549
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
23 days
#TANZANIA : Ndugu wa Marehemu Mzee Ali Kiongozi wa @ChademaTz aliyetekwa na kuuawa afunguka mazito, mzee atazikwa kesho Septemba 09, 2024 mkoani Tanga. Zaidi:
8
95
568
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
2 years
"Nchi hii imekuwa na marais wahalifu kabisa!"- Mhe Tundu Lissu LIVE:
11
84
557
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
"Nimefurahi kwamba hotuba yangu leo(jana) imezuiwa kwa sababu hata Yesu angekuwepo leo akahubiri kama wanavyohubiri watumishi wa sasa Herode asingemhukumu, ukiona unahubiri kuzimu halafu shetani hashituki maana yake mapambio yako hayamtukuzi Mungu" - Godbless Lema.
Tweet media one
9
32
546
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
6 years
Aliyekuwa Makamu Mwenyekiti wa @ccm_tanzania Pius Msekwa, ameshangazwa na kusikitishwa na kitendo cha Katibu Mkuu wa chama Dk. Bashiru Ally kutumia jukwaa kuita wanachama ofisini, kitu ambacho amedai hakina maana kama kuna utaratibu wa kazi ndani ya chama. #KwanzaHabari
Tweet media one
46
96
533
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
1 year
HABARI ZA HIVI PUNDE: Vijana walioandamana jijini Dar es Salaam kupinga mkataba wa Bandari eneo la Mnazi Moja wame kamatwa na jeshi la polisi #Tanzania
120
145
553
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
2 months
#TANZANIA : NAKUJA MBEYA KUUNGANA NANYI NA MIMI WANIZUIE - LISSU "Kwa vijana wote mlioko & mnaoelekea Mbeya: Na Mimi niko njiani kuja Mbeya kuungana nanyi. Kama ni kuzuiliwa au kukamatwa, & mimi wanizuie au kunikamata. Huu sio wakati kukaa kimya, kuogopa au kuuma uma maneno. Ni
Tweet media one
18
138
555
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
7 months
"Niko tayari kufa kwa ajili ya kupigania nchi yangu, siko tayari kufa kwa ajili ya kuwapigia magoti CCM"- Lanyor Embapa Kuya - Kiongozi wa Wamasai
6
153
554
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
6 years
“Nakumbuka mwaka 2005 ilinikuta mahali, unamtambulisha mgombea linatokea zogo kubwa wananchi hawamtaki. Hali inakuwa ngumu kweli kweli lakini tukishajua hivyo, ninamwambia mgombea kwamba hapa sikutambulishi hali isije ikabadilika” Rais mstaafu - Jakaya Kikwete. #KwanzaHabari
Tweet media one
18
34
533
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
5 years
Sophia Kimaro mwenye umri wa miaka 28 mkazi wa Kiborolon - Moshi, amehukumiwa kifungo cha maisha gerezani kwa kosa la kusafirisha kilo 12.5 za mirungi. Hukumu imetolewa na Jaji Amour Khamis baada ya mashahidi 11 wa upande wa mashtaka kuthibitisha shtaka dhidi yake. #KwanzaHabari
Tweet media one
162
120
537
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
3 months
#TANZANIA : MAWAKILI VIJANA WATOA MASAA 48 KAMATI YA RUFAA YA UCHAGUZI IJIUZURU "Sisi kama Jumuiya ya vijana, tunatoa wito kwa mkutano mkuu wa Chama cha Mawakili Tanganyika kuingilia kati na kufanya mambo yafuatayo; (a)Mkutano Mkuu upitishe azimio kwa kutoa tamko kwamba uamuzi wa
Tweet media one
27
116
557
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
1 year
#TANZANIA Wanachama wa CHADEMA wakiongozwa na Zacharia Obadia, Katibu wa Kanda ya Victoria, leo jioni katika kata ya Nyehunge, wilaya ya Buchosa, mkoani Mwanza wamepinga mkataba wa bandari ulioingiwa na serikali na kampuni ya Dubai Ports World
51
192
549
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
Hakuna virusi wanaokufa kwa 'fumigation', kilichofanyika Dar es Salaam cha kupuliza dawa yenye kemikali ni upuuzi. Wanaokufa kwenye '`fumigation` ni mende na si virusi ikiwemo virusi vya corona" Rais Magufuli @MagufuliJP #HATUCHUJI #KwanzaHabari
Tweet media one
75
46
535
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
"Serikali itumie fursa mbalimbali zilizopo kwa Rais kutoka na kauli za kujenga mahusiano bora na Mashirika Makuu ya Fedha duniani IMF na World Bank badala ya mambo haya kufanywa na wasaidizi wake" - Freeman Mbowe. #hATUCHUJI #KwanzaHabari
Tweet media one
12
44
513
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
5 years
Wakili Fatma Karume amelezea msimamo wake baada ya Serikali kuwasilisha nia ya kukata rufaa Mahakama ya Rufani ili kupinga hukumu iliyozuia Wakurugenzi wa Halmashauri wasiwe wasimamizi wa uchaguzi. #KwanzaHabari
19
73
518
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
5 years
Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo leo amepokea madawati 20 yenye thamani ya TZS zaidi ya laki moja kutoka kwa Pierre Liquidi. Madawati hayo ni utekelezaji wa ahadi aliyoitoa Machi 30, 2019 ya kutoa TZS laki moja kwa lengo la kutokomeza Zero Kisarawe. #KwanzaHabari
Tweet media one
Tweet media two
47
43
520
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
2 months
#TANZANIA : RAIS MWABUKUSI AANZA KAZI RASMI TLS Wakili @Mwabuk2Boniface aanza kazi rasmi baada ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika (TLS). Zaidi:
7
104
538
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
8 months
Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya mjini, Joseph Mbilinyi, maarufu kama SUGU, mapema leo asubuhi katika kituo cha pili cha maandamano eneo la Buguruni
4
85
532
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
"Rais Magufuli ameendesha uchumi wetu bila sera au mipango madhubuti ya uchumi, bali kwa kutumia amri za Ikulu na majukwaa ya kisiasa, bila sera inayoeleweka au mipango thabiti ya kiuchumi au biashara sasa serikali yetu imeingia kwenye biashara" - Tundu Lisu @TunduALissu
Tweet media one
15
51
509
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
6 years
Mkuu wa Jeshi la Polisi (IGP) Simon Sirro amesema ndani ya siku tatu atachukua hatua kuhusiana na tukio la kutekwa kwa Mo Dewji, kauli hiyo ni baada ya Rais Magufuli kusema tukio hilo limeacha maswali mengi kwa wananchi yanayohitaji majibu. #KwanzaHabari
Tweet media one
140
48
501
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema leo April 24, 2020 wagonjwa 37 wamethibitishwa kupona corona na wameruhusiwa kwenda nyumbani. #HATUCHUJI #KwanzaHabari
Tweet media one
69
33
506
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
1 month
#TANZANIA : ASKOFU SHOO AKEMEA UTEKAJI UNAOENDELEA NCHINI HUMO NA WIZI WA KURA Askofu wa Kanisa la KKKT, Fredrick Shoo akemea vikali vitendo vya utekaji na mauaji yanayodaiwa kuwa na viashiria ushirikina na matumizi mabaya ya nguvu na mamlaka ambavyo vinatishia usalama wa nchi.
Tweet media one
26
145
521
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
2 months
#TANZANIA : Wakili @Mwabuk2Boniface afunguka mazito baada ya Mahakama kumpa haki ya kugombea Urais wa @TanganyikaLaw leo Julai 26, 2024, amesema yeye ni Simba atakaye ongoza kundi la Simba na Watanzania watafurahia chama cha Mawakili wa Tanganyika (TLS). Zaidi:
49
135
517
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
5 years
"Viongozi wengi vijana wa sasa hawana staha, adabu na heshima. Ukitoa hoja zako, kwa sababu hawana staha, adabu, na heshima watakufuatilia wewe, ndiyo maana siku hizi tunaogopa kuzungumza na vyombo vya habari."- Yusuf Makamba (Mwananchi) #KwanzaHabari
Tweet media one
35
80
500
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira, amekuwa kiongozi wa kwanza kujitokeza hadharani na kufanya vipimo vya homa ya mapafu inayosababishwa na virusi vya corona (COVID-19), lengo likiwa ni kuhamasisha wananchi kupima afya zao. #HATUCHUJI #KwanzaHabari
Tweet media one
39
36
489
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
"Watumishi wa kada ya Afya wapewe maeneo maalum, watumishi wasio na ajira wapewe ajira wasaidie, Rais Magufuli na Dk. Shein wajitokeze mstari wa mbele, nampongeza Waziri Mkuu, Waziri wa afya wa Zanzibar na dada yangu Waziri wa Afya Ummy Mwalimu" - Freeman Mbowe #HATUCHUJI
Tweet media one
24
58
494
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
1 month
#TANZANIA : @godbless_lema awajia juu Wabunge wa jamii ya Maasai juu ya sakata linaloendelea huko #Ngorongoro na ukimya wao badala yake wanaishia kula nyama kujaza matumbo yao na si kupaza sauti kuwatetea ndugu zao. Zaidi:
7
149
515
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
5 years
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Prof. Mussa Asad amesema mwarobaini wa kuondoa rushwa kwenye sekta ya umma na binafsi ni kuweka uwazi katika kila jambo linalofanyika ikiwemo tenda mbalimbali. #KwanzaHabari
Tweet media one
15
62
489
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
6 years
“Mimi niliumizwa mguu na kiunoni, sikupigwa risasi kichwani kwahiyo naweza kuzungumza, nilikwenda BBC nikitokea hospitalini na nikarudi hospitalini mpaka sasa, kwa hiyo asiseme nimepona wakati yeye siyo daktari” Tundu Lissu baada ya kuhesabiwa kama mtoro. (📷BBC) #KwanzaHabari
Tweet media one
14
55
492
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
5 years
Nahodha wa timu ya Taifa ya Tanzania, Mbwana Samatta atakuwa Mtanzania wa kwanza kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao baada ya kuchukua ubingwa wa Ligi Kuu ya Ubelgiji msimu huu. Serikali na TFF wanatarajia kumpa pongezi maalum Samatta. #KwanzaSpoti
Tweet media one
30
38
486
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
5 years
"Kwa sasa siwezi kusema sana, ni kitu ambacho kipo kwenye mchakato nasubiria kitakapokuwa tayari na wakati utakapofika nitaweza kukizungumza. Sijioni tena Genk, namuomba Mwenyezi Mungu litimie lakini ikishindikana bado nina mkataba na Genk" - Mbwana Samatta. #KwanzaSpoti
Tweet media one
13
37
488
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
5 years
Mwanasoka Maarufu Mesut Ozil amefunga pingu za maisha na mpenzi wake wa muda mrefu huku Rais wa Uturuki Recep Tayyip Erdogan akiwa msimamizi wa harusi hiyo, Best Man.Picha zilizozua gumzo mtandaoni zimemuonesha mwana soka huyo akiwa na tabasamu zito huku akisindikizwa na Rais.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
14
48
474
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
"Rais Magufuli amelipa mishahara na posho zote, miradi mikubwa inaendelea vizuri. Suala la kurudisha wanafunzi shule na vyuo kuna gharama. Serikali imelipa Tsh bilioni 67 kama posho za wanafunzi na Tsh bilioni 59 kama ada; na tayari fedha zimeanza kuingia vyuoni."Dk Hassan Abbasi
Tweet media one
104
31
491
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
7 years
REJEA: Tundu Lissu alipotaja aina ya gari, namba za usajili na watu waliokuwa wanamfatilia. Chadema wametaka uchunguzi ugusie na hili.
20
137
485
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
2 months
#TANZANIA : VIJANA NDIO WANAOPITIA MADHILA, RAIS AMEKAA TULII, ANAITA KATBA NI KAKITABU TU -DKT. SLAA "Naungana na tuungane wote kufuatilia Kauli ya Vijana wetu. Tukumbuke vijana wetu, watoto wetu, marafiki zetu wamepitia madhira ya kila aina. Vijana hawa ndio wanaokamatwa na
Tweet media one
18
116
501
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
4 years
Jeshi la polisi mkoa wa Shinyanga linamshikilia Mbunge wa jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga Suleiman Masoud Suleiman maarufu Suleiman Nchambi (CCM) kwa tuhuma za kupatikana na silaha 10, risasi 536 na nyama zinazodhaniwa kuwa ni za wanyamapori kinyume cha sheria. #HATUCHUJI
Tweet media one
72
43
479
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
8 months
#TANZANIA : ZIARA YA MAKONDA NI YA KUIGIZA, HAISAIDII KUBADILISHA HALI YA MAISHA YA WATU - MADELEKA "Nimefuatilia kote ambako Makonda ameshapita so far kuweza kuona ziara hiyo imeweza kuleta tija kiasi gani kwenye maisha ya mwananchi mmoja mmoja, nimejiuliza kote huko hivi umeme
Tweet media one
31
87
497
@MwanzoTvPlus
MwanzoTvPlus
2 years
Lissu anasimulia kilichomfanya akimbie kwa mara ya pili kwenye mkutano wa hadhara LIVE:
8
65
494