Rapcha Profile Banner
Rapcha Profile
Rapcha

@rapcha_tz

22,325
Followers
164
Following
977
Media
7,545
Statuses

Artist Signed Under Bongo Records.

Tanzania, East Africa
Joined July 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@rapcha_tz
Rapcha
1 year
โ€œTo The Top Vol.2โ€ Is OUT NOW, Ipo Kwenye Digital Platforms Zote 15 Songs๐Ÿš€ #ToTheTopVol2 #Wanangu99 #BongoRecords
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
12
27
164
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Ndoto yangu ya kukutana na Mama angu @JideJaydee leo imetimia.. najiona kama kijana wa kawaida tu ambaye anazikaribia ndoto zake! siwezi kuielezea hii furaha niliyonayo! Hii ni siku kubwa Sana kwenye Career yangu na maisha yangu! Dreams are Valid! I canโ€™t stop chasing my dreams!
Tweet media one
139
125
4K
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
saturday with mom @JideJaydee itโ€™s a blessing. ๐Ÿ’™
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
160
89
3K
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Ijumaa hii natoa wimbo wangu wakwanza kabisa rasmi nikiwa chini ya label ya Bongo Records! Naombeni mnipokee! Sitowaangusha! Na naomba mnisaidie kufikisha taarifa hii kwa watu wote! ๐Ÿ™๐Ÿพ
151
265
3K
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
Tweet media one
165
90
3K
@rapcha_tz
Rapcha
2 months
๐Ÿ•Š๏ธ
Tweet media one
18
98
3K
@rapcha_tz
Rapcha
3 years
Nikaweka na 5000 ya kutolea lakini wapi!!๐Ÿ˜ฅ
129
52
2K
@rapcha_tz
Rapcha
10 months
Cheers to my girls walio graduate bila AIDS licha ya kuwa wanapata D tokea primary
Tweet media one
29
72
2K
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
#Wanangu99 ๐Ÿ
176
55
2K
@rapcha_tz
Rapcha
1 month
ONLY GOD KNOWS!
Tweet media one
17
34
2K
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Pisi inayosoma mpaka imalize chuo inakua imeshakula chapati Elfu40, Mihogo gunia 60 na kachumbari mabeseni 50 ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
101
65
1K
@rapcha_tz
Rapcha
1 month
Kosa ambalo hutakiwi kufanya wakati kama huu?
Tweet media one
71
38
1K
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
โ€œnyuโ€™clear story freestlyeโ€ bomboclaat
Tweet media one
240
142
1K
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
Tweet media one
86
28
1K
@rapcha_tz
Rapcha
9 months
On another one with birthday boy @Izzo_bizness ๐ŸŽ…๐Ÿพ๐ŸŽ„ Merry Christmas to all 99 Mr X Mass V is out now!
82
229
1K
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
nyu clear story freestyle ๐Ÿ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
123
82
1K
@rapcha_tz
Rapcha
8 months
Israel & Palestine Tears ๐Ÿฅ€โค๏ธโ€๐Ÿ”ฅ Based on true story.
86
130
925
@rapcha_tz
Rapcha
5 years
Twitter Fam naomba Retweet 20 please kwa verse yangu!๐Ÿ™๐Ÿพ Letโ€™s Go!!!!!๐Ÿ”ฅ
89
337
770
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ
Tweet media one
41
29
773
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Nakukaribisha Rasmi Youtube Ukatazame video ya freestyle yangu mpya kabisa #DramaFreestyle Sikiliza halafu Fanya kushare video hii taarifa iwafikie watu wengi zaidi @MwanaFA @AyTanzania @EceJay @JideJaydee @mkandamizaji @JotiOfficial @Samagoal77_
77
110
746
@rapcha_tz
Rapcha
1 year
This song is a time machine.
41
152
763
@rapcha_tz
Rapcha
9 months
Sumbawanga ๐Ÿ‘Š๐Ÿพ UONGO! TO THE TOP VOL.2 ๐Ÿซถ๐Ÿพ
Tweet media one
9
24
672
@rapcha_tz
Rapcha
10 months
Pain imefanya tuonekane wabaya mara nyingi
27
63
652
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Kuna wana ni rafiki zangu kinoma na unakuta karibu kila siku nipo nao ila picha nilizopiga nao hazifiki hata tano!!
29
22
604
@rapcha_tz
Rapcha
1 year
#UONGO ๐ŸŽฅ out now!
44
96
616
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Kuna ka deni flani tu unakua hujiskii kukalipa.. sio kwamba huna hela, basi tu hutaki! ๐Ÿ˜…
39
18
587
@rapcha_tz
Rapcha
10 months
middle finger kwenye stop sign ๐Ÿ›‘ ๐Ÿ‡
Tweet media one
12
17
594
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
This Friday Iโ€™m dropping my first official song in my career! ๐Ÿ™๐Ÿพ
35
30
585
@rapcha_tz
Rapcha
5 months
Tweet media one
15
25
559
@rapcha_tz
Rapcha
10 months
Family ni ule muda wa kuchagua pesa au damu
Tweet media one
9
22
551
@rapcha_tz
Rapcha
10 months
โ€˜Nyumbaniโ€™ verse ya 4
31
72
546
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Familia yangu Twitter! Leo nitakuepo #WasafiFm kwenye #TheSwitch LIVE! Wengi najua ndo mara ya kwanza mtanisikia so Naomba tuwe pamoja! @LilOmmy @McinikaWaLamar @mpambazi_ @mkandamizaji @abdulazackabdul @JideJaydee @Wakazi
Tweet media one
22
37
527
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Yo Twitter Fam, Freestyle yangu mpya hii apa nimewaletea! Naamini mtaenjoy๐Ÿ™๐Ÿพ Her:Huyo ni FA!??๐Ÿ˜ณ Me: khaaaa๐Ÿฅถ kumbe nani ukajua? (In @JotiOfficial โ€˜s voice)๐Ÿ˜… @AyTanzania @MwanaFA @Wakazi @McinikaWaLamar @IamNchaKALIH @EceJay @mkandamizaji @Samagoal77_
76
90
510
@rapcha_tz
Rapcha
10 months
40 MISSED CALLS
Tweet media one
12
18
506
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Halafu Ukitupiga Picha Na Iphone Yako jitahidi Basi Kututumia Kwa Wakati..!!!
16
16
446
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
USIWAOMBEE WABAYA WAKO WAFE MAANA UTAZIKA SANA NDUGU ZAKO.
14
34
440
@rapcha_tz
Rapcha
4 months
Tweet media one
12
12
453
@rapcha_tz
Rapcha
10 months
Another manโ€™s food is another manโ€™s poison
21
70
445
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
Sikiliza EP yangu mpya hapa โ€œTo The Top Vol.1โ€ ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ #Wanangu99 #BongoRecords
Tweet media one
36
35
429
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
โ€œEti kwani mi kumuosha bata wa jirani yangu kwa maji ya moto nimefanya kosa gani!? Wananizushia eti nilitaka kumnyonyoaโ€ ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
20
9
406
@rapcha_tz
Rapcha
3 years
Tweet media one
12
13
389
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Me โ€œYani nikimaliza tu chuo ntafanya Kazi mwaka mmoja au miwili halafu naacha najiajiriโ€ Life; Asante na Karibu tena! ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
18
16
393
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Wapwa karibuni sana tutazame wimbo wetu mpya hapa ๐Ÿ™๐Ÿพ Me ft @JideJaydee - Amen
26
47
398
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Rapcha - Wanene Tv Studio Session @wanenetv OUT NOW ON YOUTUBE Ndugu zangu naomba retweet kisha tazama hii video Youtube na tuje tuijaze Twitter kwa mistari mikali ya humu! ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
37
109
393
@rapcha_tz
Rapcha
6 months
Playing hard to get but you are hard to like
Tweet media one
5
20
406
@rapcha_tz
Rapcha
7 months
LOVIN ON ME FREESTYLE.
40
85
388
@rapcha_tz
Rapcha
1 month
Wimbo wangu mpya ONLY GOD KNOWS tayari upo kwenye streaming platforms Produced by Ammy Waves.
16
61
379
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
6 kwenye ghetto moja na ndo chaka la ku do ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ
Tweet media one
Tweet media two
9
15
368
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
ShyTown whatโ€™s up!!!!! โ€œMICHUโ€ ๐Ÿ
43
19
365
@rapcha_tz
Rapcha
10 months
Mambo yamekua mengi mpaka kuandika To Do List nayo ipo kwenye To Do List
Tweet media one
10
15
362
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Mungu anakupa mkate wa kila siku, We ukishashiba tu unapata nguvu ya kuzini!!๐Ÿค”๐Ÿ˜…
23
10
343
@rapcha_tz
Rapcha
3 years
Wana Twita, Naomba nisaidie kum-tag mtu mmoja humu umpe taarifa nimeweka movie mpya YouTube Akapate burudani kidogo ya dakika 3 Mi naanza na @mkandamizaji @NiiteSonga @chapo255 @mpambazi @McinikaWaLamar @officielsalome @rollymsouth @millardayo @JotiOfficial @Roma_Mkatoliki
Tweet media one
16
48
325
@rapcha_tz
Rapcha
4 months
A MASTERPIECE! REAL LIFE EXPERIENCES! INSPIRATION! MOTIVATION! Congrats @Roma_Mkatoliki โœŠ๐Ÿพ
Tweet media one
6
33
326
@rapcha_tz
Rapcha
11 months
Jasho livujie kazi, ngono ina mikosi
Tweet media one
11
34
332
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
Dream life iko kwenye PAIN, Donโ€™t sleep!!
Tweet media one
6
13
327
@rapcha_tz
Rapcha
1 month
Sitaki kukuona unalia japo ni ishara ya kwamba uko hai
16
49
332
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
My story!๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
26
30
329
@rapcha_tz
Rapcha
3 years
The wait was worth it! #Wanangu99PreAlbum Artwork ๐Ÿ’™โœจ Kindly retweet this fam ๐Ÿ˜‰
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
8
88
315
@rapcha_tz
Rapcha
10 months
Kila Siku - @youngkillermsodokii ft Me Honored to be in his new album TMA Swahili Rap, Wanangu99 add this to your playlist ๐Ÿš€
18
49
314
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
But to you who are listening I say: Love your enemies, do good to those who hate you, bless those who curse you, pray for those who mistreat you. Luke 6:27-28
Tweet media one
22
18
308
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Hivi Ishakutokea Upigwe Njaa Getto Siku Nzima Huku Kwenye Simu Huna Bando Na Umeme Hamna..!!??
22
6
281
@rapcha_tz
Rapcha
1 year
โ€œTO THE TOP VOL.2โ€ Dropping This Friday 14/7, Na Kuanzia sasa I WILL LIVE FOREVER. Artwork ; @byxali #ToTheTopVol2 #Wanangu99 #BongoRecords
Tweet media one
Tweet media two
24
44
297
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
ILE SUTI YANGU YA JANA TUNAIONGELEA SAA NGAPI WAPWA !???
23
3
275
@rapcha_tz
Rapcha
8 months
I have one problem that i like, i canโ€™t say things i canโ€™t prove
Tweet media one
9
16
291
@rapcha_tz
Rapcha
1 year
40 MISSED CALLS Rapcha Ft @VanillahMusic_
23
30
283
@rapcha_tz
Rapcha
8 months
What is dead may never die! Time to Rise!
17
54
279
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Hata ningekua na uwezo wa kusema kwa Lugha za wanadamu na za malaika , Ningekua na Imani Kiasi cha kuweza kuhamisha milima, na hata ningeweza Kutoa mali zangu zote kuwalisha masikini ama kuutoa mwili wangu uungue moto KAMA SINA UPENDO, SI KITU! . . Upendo huvumilia,hufadhili,๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Tweet media one
13
14
256
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
Mwana : sikiliza ngoma yangu hii mwanangu afu uniambie unaiskiaje Last line: i do what i like, fuck your opinion
Tweet media one
14
8
265
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Jana katika mahali niliposimama kabisa ni pale mama @JideJaydee alikua anaimba na zikifika part za kuchana anapita nazo mule mule ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ๐Ÿ‘๐Ÿพ nomaaaaaa
4
16
255
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
#TUNA $HINE @Conboicannabino ๐Ÿ‘Š๐Ÿพ
Tweet media one
Tweet media two
7
11
256
@rapcha_tz
Rapcha
1 year
Tweet media one
14
20
265
@rapcha_tz
Rapcha
1 month
Usiamini kila unachokiona social media
Tweet media one
Tweet media two
13
19
260
@rapcha_tz
Rapcha
1 month
Sitaki kukuona unalia japo ni ishara ya kwamba uko hai
Tweet media one
7
16
263
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
โ€œTUNA$HINEโ€ @Conboicannabino @P_Majani ๐Ÿ
Tweet media one
Tweet media two
14
20
252
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Skia, Kama Una Gari Hakikisha Mziki Wake uko Mwake, Kama una Radio getto Hakikisha Waya umezifix vizuri. Tunza earphone zako na kifaa chochote Cha kuskilizia mziki vizuri.. Afu Tunza buku 2 Tu ya Bundle Siku Hiyo kwa ajili ya kuifanya hii ngoma kuwa No.1 nchini.. #Vunga
Tweet media one
16
10
243
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
โ€œSo Freshโ€ โ€œAll day everydayโ€
Tweet media one
5
7
246
@rapcha_tz
Rapcha
8 months
KILA SIKU ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ9๏ธโƒฃ9๏ธโƒฃ
13
40
252
@rapcha_tz
Rapcha
8 months
Back To Class Freestyle! 2022.
13
42
238
@rapcha_tz
Rapcha
1 year
I appreciate King! Tukiwa kama pipo tunaelewana kwenye hili. ๐Ÿš€
@OfficialAliKiba
Alikiba
1 year
Kichwa โœ”๏ธ ile track 12 Unyama sana ๐Ÿ”ฅ
5
15
336
2
10
237
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
โ€œSTORY NYINGINE FREESTYLEโ€ ipo boomplay ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Tweet media one
20
23
233
@rapcha_tz
Rapcha
3 years
Laki tano na elfu tano na makato ya kutoa kwenye account yake pale pale ikathibitishwa
26
3
228
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Hello Twitter Fam Tazama Hii Freestyle yangu mpya kabisa #Kisanga Youtube kwa kugusa hii link hapa @mpambazi_ @McinikaWaLamar @abdulazackabdul ๐Ÿ”ฅ
29
31
220
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ๐Ÿ
Tweet media one
11
6
226
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
@JideJaydee Mama mi kila nikikumbuka leo tunaonana moyo unanienda kasi mno! Aisee I canโ€™t wait to see you for the first time!๐Ÿ™๐Ÿพ
9
5
222
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
heri ya sikukuu ya krismasi. merry christmas. feliz navidad ๐ŸŽ„๐Ÿ
Tweet media one
5
2
224
@rapcha_tz
Rapcha
2 years
Glory to God!! Utajiri mkubwa ni furaha.
Tweet media one
13
9
221
@rapcha_tz
Rapcha
6 months
Just wait for itโ€ฆ
6
21
223
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Mlioenda enda shule kidogo ebu mtusaidie.. waga likipita linarudi au!??? Nataka nianze kugawa mali zangu hapa!!!
13
3
209
@rapcha_tz
Rapcha
1 year
NEW VIDEO ๐Ÿ“บ๐Ÿ”‚๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Tweet media one
10
12
217
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Mama angu anawachekiiiii!! Leo jioni ana jambo letu, tukae tayari!!! @JideJaydee ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
6
8
216
@rapcha_tz
Rapcha
1 year
Sikiliza leo!!
Tweet media one
4
6
215
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Happy birthday to you dear Mom! โค๏ธ God bless you everyday! โค๏ธ @JideJaydee
Tweet media one
2
8
211
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
With my lovely mom @JideJaydee โค๏ธ๐ŸŽถ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
18
14
208
@rapcha_tz
Rapcha
3 years
Nashindwa Kulala, Kumbukumbu za Lissa Zinanitesa.. ๐Ÿ˜–๐Ÿ˜–
27
5
202
@rapcha_tz
Rapcha
1 year
โ€œFUNGUAโ€ huu ni wimbo namba 11 kwenye TO THE TOP VOL.2 tumia muda wako kuisikiliza!! #ToTheTopVol2 #Fungua
10
28
210
@rapcha_tz
Rapcha
10 months
Story zako mjini naambiwa, Hamna kitu kinaniuma kama habari kwamba mi namegewa 40 Missed Calls
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
7
11
211
@rapcha_tz
Rapcha
1 year
๐Ÿคง๐Ÿคง #Uongo
5
23
207
@rapcha_tz
Rapcha
1 month
Ukipatia jina la huyu mama ake mtoto anapewa jina lako
Tweet media one
20
8
206
@rapcha_tz
Rapcha
4 years
Waite Waite waje wamuone gwiji wajigambe ๐ŸŽถ Bwana bwana yan najiskia Ata kuanzisha ugomvi nipigane kisa nmeonana na gwiji youtube uko ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… @MwanaFA
7
6
199