Kiswahili kimeenea Ulimwenguni.!
Ndani ya siku 8 Ukurasa wa
@ASRomaSwahili
umeshika nafasi ya 5. Kati ya kurasa kubwa za AS Roma zenye wafuatiliaji wengi. Ukurasa huu una wafuatiliaji 27,000 ukizipita kurasa za Brazil, Indonesia, Pidgin na Uajemi.
Ahsante Sana.😊🙏🏾