Kanani Jason (Agriculture Specialist) Profile Banner
Kanani Jason (Agriculture Specialist) Profile
Kanani Jason (Agriculture Specialist)

@jason_kanani

7,294
Followers
6,114
Following
2,148
Media
37,305
Statuses

Agricultural Specialist|Agronomist|Agriculture Consultant|Climate Change Activist|Resercher|Trainer|Farmer For Business Call

Tanzania
Joined June 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 months
KILIMO NDIYO MAISHA YETU🇹🇿 Karibu tujifunze pamoja, Karibu tukuhudumie🙏 @CarolNdosi @DorothNengai @iAmLyimo
Tweet media one
9
26
77
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
6 months
Dear Mama, nakuombea miaka mingi Mungu akutunze, umetutoa mbali hadi leo hii tulipofika, ni kwa neema na rehema za Mungu.
Tweet media one
18
26
394
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
1 year
Kilimo tips: Zao la Pilipili Mwendokasi Mbegu nzuri: Habanero F1 (Kijani, Nyekundu) Kampuni ya Ayegro, Agrinature, n.k; Loleza F1 (Rijk zwaan) Kupandikiza miche: wiki 5-6 Kupanda: siku 120-150 Kuvuna tu: siku 120-150 Wadudu; Utitili (Thrips), vipepeo Miche: 6000-8000 kwa ekali
Tweet media one
Tweet media two
19
59
259
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 months
Angalia Bajeti ya 3Milion bustani 1 acre Water Pump generator 400K Fuel 300K Mpira wa kumwagilia 3" 100m 200K Kukodi shamba na kulima 200K Mbegu; Kitunguu/nyanya/Pilipili 300K Trays+ udongo kuotesha miche 250K Mbolea mifuko 5×70K 350K Vibarua500K Viuatilifu 300K Consultancy 200K
Tweet media one
17
50
225
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 months
#KilimoTips 🇹🇿 Kukodi Trekta na kulima Ekali 1 huko ulipo unalipa kiasi gani cha fedha ? In your area, how much money are charged for Tractor rent to cultivate 1 Acre of your farm? KARIBU🙏
Tweet media one
48
28
201
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 months
Happy Women Day 🇹🇿 WANAWAKE bora, Jamii Bora na Taifa Bora. 📸 @YourFrenchFry & @rollymsouth
Tweet media one
8
5
186
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 years
0
0
137
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 months
Unaelewa nini kuhusu Chuo Kikuu cha Sokoine cha Kilimo #SUA @SokoineU KARUBU.
Tweet media one
27
13
159
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 months
Pilipili mwendokasi zinalipa. Kama unajitaji kulima zao hilo tuwasiliane.
Tweet media one
@MalemboLE
Lucas E. Malembo
5 months
Ni wakati wake ubaoni gunia la Debe saba ni Tsh 210000/= #KilimoNiAjira @AcademyFarms
Tweet media one
11
28
156
12
18
149
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 years
0
0
118
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
8 months
Happy Day Dear Farmers, Be Successful in Farming. Agronomist From #Tanzania
Tweet media one
3
20
137
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 years
Namshukuru Mungu na wote mliojitoa kwajili yangu hadi mimi kuvuka hatua hii. Naomba ushirikiano wenu kwa chochote katika maisha halisi yanayofuata ya mtaani. #NaombaLifeConnection
Tweet media one
23
12
128
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 months
Jamii tunatambua na kuona maendeleo ya mradi wa BBT nchini 🇹🇿 Huku mtaani kuna vijana wangi wa BBT zisizorasmi waliowekeza kwenye miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo kilimo na Mifugo. Tuwaunge mikono hasa kifedha watimize malengo yao. Naomba kuwasiliana @HusseinBashe
Tweet media one
Tweet media two
13
26
127
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 months
Mahindi yakiwa katika hali hiyo tunamsaidiaje mkulima ili aweze kuokoa jahazi mimea irudi katika ubora wake ili aweze kupata tani 3 (Gunia 30 za kilo 100) kwa Ekali 1? How can we help farmer to rescue this maize farm into normal growth and increase yield to get 3 tones per acre?
Tweet media one
25
34
122
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 months
Vijana tupige kazi, maendeleo hayaji kwa uchawa na kusagiana kunguni. Kataa roho ya kwanini inaua kizazi. Hiki anachokifanya "Boni Yai" @ExMayorUbungo tukitumie kama chachu, hamasa na uthubutu kwamba inawezekana kufanya uwekezaji wenye tija katika biashara. THINK.
Tweet media one
9
28
115
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 months
Ijuka Omuka (Tusitelekeze Chimbuko Letu) Kagera, Tanzania🇹🇿
Tweet media one
16
20
113
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
16 days
KILIMO NA MASOKO. Dear wakulima, ule msimu ambao bei za mazao zikiwa zimedolola na soko siyo zuri, ndiyo muda mzuri wa kujiandaa kulima msimu unaofuata soko la mazao linakuwa zuri+bei nzuri. Ukiwa na kamtaji kako usiache kuwekeza, hakuna bonde lisilo na mwinuko. Unajua Kwanini?
Tweet media one
10
18
110
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
6 months
Farming in Africa, from Zimbabwe 🇿🇼 Women has great contributions in Agriculture sector for world development @WendyMadzura @agribusiness110 @FAO @USDA
Tweet media one
3
24
106
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
1 month
Ni sisi vijana taifa la leo na kesho, jamii na taifa vinatutegemea. TUWAJIBIKE. Youth involvement in Agribusiness for development. #KilimoNiAjira
Tweet media one
8
21
106
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
9 months
Dear wakulima, zile stori za kupata magunia 30+ ya Mahindi/Mpunga kwa ekali, kuvuna Nyanya crets 1000+ kwa ekali,kupata mamilioni kwenye Tikiti,vanila n.k huwa za kweli ikiwa Mkulima utazingatia kanuni zote za kulima na soko liwe zuri Nje na Hapo huku ktk uhalisia mambo ni tofaut
Tweet media one
13
18
105
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
2 years
MAMBO YA KUZINGATIA UNAPOANZA KILIMO CHA NYANYA. Nyanya ni moja ya mazao ya Horticulture linalohitaji uangalizi wa karibu sana. Kwa Wakulima Nyanya tunaiita Red Gold (Dhahabu Nyekundu) kulingana na faida kubwa ya zao hilo kuwa bora ka chakula na kwa biashara. #TujifunzenaStadi
Tweet media one
11
30
102
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
1 year
Huku mtaani kuna maelfu ya Building Better Tomorrow (BBT) za vijana ambazo siyo official lakini wana mchango mkubwa kwa taifa kupitia uwekezaji Kilimo, n.k Naendelea kuiomba Serikali ya JMT, Wadau, Asasi, na Sekta binafsi kuendelea kupanua wigo, kuwawezesha vijana kukua kiuchumi.
Tweet media one
Tweet media two
8
26
102
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
2 months
Leo nimebahatika kukutana na Mkulima wa Mpunga na Mfanyabiashara wa Mazao ya nafaka, dada @Joy_Mbura pale @MalemboFarm . Tulipata wasaa mzuri kujadili mambo mbalimbali yanayolenga vijana na fursa za kiuchumi kupitia Kilimo-biashara. ASANTE KWA KUJA🙏 Karibu. Visit @AcademyFarms 🇹🇿
Tweet media one
Tweet media two
6
25
102
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
6 months
Dear Youth, What's your suggestions if we can establish Youth Agriculture Forum in Africa (YAFA), brings youth together by collaboration in addressing the challenges and opportunities in Agriculture Sector for Youth Development? Your thought/comment is highly recognized & valued
Tweet media one
28
26
101
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 months
Naitwa @jason_kanani , ni Mkulima wa mazao ya Bustani, na Mtaalamu wa Kilimo Natoa mafunzo ya Kilimo bora chenye tija kwa wakulima watanzania na Afrika Mashariki Changamoto kubwa inayotukumba ktk kazi zetu ni kukosa Mtaji (Pesa)+ Masoko ya mazao Serikali Mtuwezeshe tufikie malengo
Tweet media one
@HusseinBashe
Hussein M Bashe
4 months
Salaam Ndugu Zangu Wewe ni Mkulima? Au uko kwenye mnyororo wa thamani? Tufahamiane, unalima nini na unapatikana wapi? #Agenda1030
749
247
2K
2
28
102
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
1 year
I had a best moment to give Horticulture training for Trainees at College of Agriculture and Natural Resources, Dares salaam We are sharpening youths to adopt Sustainable Agriculture, as amongst the goals of Tanzania government supporting youths Building Better Tomorrow (BBT-YIA)
Tweet media one
4
17
100
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
1 year
What challenges are you facing with during production, management, storage and marketing of Onions? Ni changamoto gani unakabiliananazo kwenye Kilimo cha Vitunguu maji? #YouthAgri 🇹🇿
Tweet media one
10
16
95
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
2 years
Good Morning Africa, Good morning all Farmers, From Tanzania, Farming is our life.
Tweet media one
4
10
97
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 months
Mh @HusseinBashe , licha ya juhudi za Serikali kununua Mahindi kupitia Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula NFRA 2023, bado baadhi ya wakulima wanamahindi mengi hivyo kukosa soko la kuuza, kwasasa bei hairidhishi & mengine yanakaribia kuvunwa. @WizaraKilimo saidieni kupata suluhu
Tweet media one
Tweet media two
25
28
99
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
17 days
Kibiashara, ukitaka kuongeza+ faida katika kilimo cha maharage,basi lima kuanzia angalau ekari 5 na kuendelea, na ulime angalau misimu 3 mfululizo, gharama za kuendesha shamba hupungua If you want profit in Commonbean farmng, cultivate atleast 5 Acres for 3 seasons consecutively
Tweet media one
8
22
101
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 years
0
0
78
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 months
Mashine Petrol Water Pump kwa umwagiliaji shamba, huko ulipo zinauzwa bei gani?
Tweet media one
13
12
95
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
2 years
Motivation speakers and Influencers won't tell this. Sometimes in farming projects, we meet with those challenges and take immediate solution to them.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
9
26
95
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
1 year
Ukiwa na mikono mizito hii kazi ya kupanda mpunga unaweza kuikimbia hasa siku ya kwanza, the more you practices unakuwa mwepesi chapu na mwisho wa siku wali unaenda mezani. Dear youth and women, the future of Agriculture is within our hands. #Paddy 🇹🇿
Tweet media one
9
11
93
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 months
Napata baadhi ya text na calls naulizwa kama niko kwenye Mradi wa Serikali wa vijana kilimo (BBT-YIA) nawajibu; Hapana siko huko. Wanaenda mbali na kusema, kijana kama mimi ingefaa niwe kwenye mradi huo. Nini maoni yako?
Tweet media one
Tweet media two
16
9
93
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
1 year
The best options to eliminate poverty, is to invest in improved agriculture production. Drips Irrigation system in Tanzania Mafunzo bora , taarifa sahihi, teknolojia na kilimo cha kisasa na chenye tija ndiyo njia pekee za kuondokana na janga la umasikini. #LimaNasi2023
Tweet media one
4
18
93
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 months
Una maoni gani kuhusu bei ya Mahindi sokoni kwasasa nchini Tanzania 🇹🇿 @WizaraKilimo @HusseinBashe
Tweet media one
17
13
91
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
3 months
Kama unahitaji Mbegu ya Pilipili mbuzi (mwendokasi) nyekundu tuwasiliane.
Tweet media one
Tweet media two
5
19
92
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
3 months
Let's cultivate better future in Agriculture with @MalemboGlobal Services we offer; Agribusiness consultancy, Farm visit, Drip Irrigation and Green house installation, Farmers training and coaching, Internship agriculture programmes Visit @AcademyFarm Ni hapahapa @MalemboFarm 🇹🇿
Tweet media one
5
20
92
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
9 months
Twitter Kilimo Family, Nakusogezea huduma Karibu tuinuane Kilimo Tips&Training @MalemboLE Hoho+Pilipili @AllyHapi @DorothNengai @Bram_Mshana @mike_lyeme Mahindi @MpondaSabinus @omarysaalim @Nuru_G Mpunga @Njole__ @itc__reyna Viazi @NemenceS Mkulima chipukiz+Digital @CarolNdosi
Tweet media one
5
24
90
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
2 years
Nioneshe ofisi yako ya kazi, nami nitakuonesha yangu. Show me your work office, I will show you of mine. #KilimoNiFursa
Tweet media one
Tweet media two
14
10
90
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
2 years
Kata simu niko site. #KilimoNiFursa
Tweet media one
4
6
88
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 months
#KilimoTips 🇹🇿 Inashuriwa uandaapo matuta (single line) yainuke angalau 30cm (rula 1), faida zake; Huwezesha mizizi kupenya chini kwaurahisi kutafuta virutubisho+maji by xylem vessels Husaidia kipindi cha mvua nyingi maji yasituame na kuathiri mimea hasa Damping off @jason_kanani
Tweet media one
10
22
88
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
2 years
Mambo ya kufanya ukiaandaa kitalu cha chini. Tifua udongo Tengeneza tuta Sawazisha tuta Changanya samadi na udongo wa tuta Mwagilia maji tuta lilowane. Changaya dawa (Mancozeb 64% eg. RidomilGold) ya kutibu fangasi kwenye udongo na piga sumu kuua wadudu walao Mbegu kwenye kitalu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
23
83
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 months
#KilimoTips 🇹🇿 Inatajwa kuwa kilimo ni full time job. wazoefu wa kilimo huenda mbali na kushauri usiingie kulima kwa mtazamo wa part-time job. Kuna mitazamo tofauti juu ya ushauri huo. Nini maoni yako? KARIBU🤝🙏
Tweet media one
12
13
87
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
6 months
#KilimoTips 🇹🇿 Pamoja na uwepo kwa Maafisa ughani nchini, bado mahitaji ya huduma za kilimo ni makubwa, hivyo wakulima wanahitaji sapoti yetu watalaamu wa Kilimo ili kufikia malengo. Tuwashike mikono, wafanye kilimo biashara na chenye tija ili kwenda na kasi ya mahitaji ya dunia.
Tweet media one
3
24
85
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
1 year
Introduction of Agriculture Training Programs at schools in Tanzania might be amongst the solutions of promoting food security, healthy nutrition, quality education, and energizing youths to participate in agricultural opportunities after leaving at school. #AGRICONNECT 🇪🇺🇹🇿
Tweet media one
Tweet media two
10
14
86
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 months
KilimoTips🇹🇿 Huko ulipo kukodi shamba Ekali 1 (4,000sqm) ni hela ngapi? How much price for renting 1 Acre for farming in your area?
Tweet media one
Tweet media two
14
9
85
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
6 months
Dear Bosses wa Kilimo wenye mashamba ya mbali,mnapoenda mashambani kuona maendeleo huwa mnawataarifu kwanza Wasimamizi wa mashamba yenu kwamba mnaenda shamba au mnapiga kimyakimya ziara za kushitukiza? Nawe msimamizi w shamba Boss wako hukutarifu kabla ya kuna shamba @CarolNdosi
Tweet media one
18
18
84
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 months
Bila kujali gharama za uwekezaji, ni mazao gani unamshauri mtu anayeanza kilimo ayalime yatampa faida na kupata uzoefu mzuri wa kuwekeza zaidi? What crops can you advise the fresher farmer to invest first with good returns and can gain experience to expand the investment? KARIBU
Tweet media one
10
13
82
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
2 years
#EASIseeds peppers in Tanzania. The Seedling The Yield
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
7
15
77
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
6 months
#LifeTips 🇹🇿 Nilishawahi kufanya kazi sehemu mbalimbali ndani na nje ya Tanzania nikihudumu kama Msimamizi wa mashamba (Farm Manager and Consultant Agronomist). Ukiachana na kupata uzoefu, maisha hayo pia yalinijengea uwezo wa Kujiamini na bado naendelea kujifunza. @jason_kanani
Tweet media one
4
14
83
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
3 months
Gunia la Viazi mviringo (Irish Potato) huko ulipo vinauza bei gani? #KilimoNiAjira 📸 @VPopitolo
Tweet media one
10
11
84
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
1 year
Share with us, your experiences, the challenges and success met with in production, Management and Marketing of Hot pepper (Chilies) Shiriki nasi uzoefu wako, changamoto na mafanikio unavyopata kwenye Kilimo cha Pilipili. #YouthsAgri 🇹🇿
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
5
16
83
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
3 months
Leo nimebahatika kushiriki kula #UgaliElimu wa @MalemboFarm 🇹🇿 Pamoja na kula #UgaliElimu , tumepata wasaa mzuri wa kujadili mambo mbalimbali ya maendeleo ya sekta ya kilimo hususani, ikiwemo mchango wa vijana, fursa za maendeleo chini Tanzania na barani Afrika Karibu @AcademyFarms
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
13
15
84
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
3 months
Kula #UgaliElimu wa @MalemboFarm wenye virutubisho vya asili. Ni kila Jumamosi, 📍Dar🇹🇿 Fanya booking yako mapema.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
16
10
84
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
3 months
Quote this with photo of your Mom. My Mama, Live Longer🇹🇿
Tweet media one
3
7
84
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
1 year
Pilipili Mwendokasi, #YellowHabanero Tanzania
Tweet media one
@GoliZuri
GOLI ZURI SANA.
1 year
Tweet media one
1
6
27
11
10
82
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
6 months
Tomato farming, crop with a lot of challenges but it is the most profitable crop Kilimo cha Nyanya kinahitaji utayari wa kuwekeza na kuwa tayari kuyapokea matokeo utakayopata shambani likiwemo soko. Kilimo cha Nyanya kuna kupata au kukosa.
Tweet media one
8
18
80
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
2 months
Tweet media one
4
14
82
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
6 months
Unafahamu nini kuhusu kilimo cha Tumbaku? @giftmeku2022
Tweet media one
15
17
82
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 months
#KilimoTips 🇹🇿 Ukitaka Kilimo cha Parachichi Chekiana na @EdwinFweni na @officialDrHerry kwa mwongozo sahihi.
Tweet media one
Tweet media two
1
25
80
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
6 months
Mungu azibariki kazi za mikono yetu. Tupate kufanikiwa.
@KevinJo09500786
Kevin Johnson
6 months
Vijana mali ipo shamban
Tweet media one
20
32
211
5
13
80
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
2 years
Professor Issa Shivji akichangia mada ITV, Ili kupunguza changamoto ya ukosefu wa ajira nchini hasa kwa vijana, njia mojawapo ni kuwekeza kwenye sekta ya Kilimo na kuongeza matumizi ya ardhi yenye tija. Sekta ya Kilimo inabeba 61% ya uchumi wa taifa letu. Tuwekeze kwenye Kilimo.
Tweet media one
4
10
77
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
1 month
Zipo fursa nyingi kwenye mnyororo wa kilimo ambazo hatujazitumia ipasavyo kupata faida; Uzalishaji Pembejeo; Mbolea Viatilifu Umwagiliaji Uchakataji Tafiti Masoko Kutoa uuduma za Kilimo; Elimu Ukipata eneo la kuingiza kipato katika kilimo, wewe zama huko huko, kilimo kipana
Tweet media one
6
25
79
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
8 months
MAGUGU YENYE FAIDA SHAMBANI. Mkulima ukikuta shamba lina aina hii ya magugu Wandering jew, linunue haraka kwani ni ishara kuwa ardhi hiyo inarutuba Ni magugu gani mengine ukiyaona shambani unaelewa hii inarutuba na inafaa kwa kilimo? Weed can be good indicator of soil fertility
Tweet media one
14
11
79
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 years
@MariaSTsehai @Roma_Mkatoliki Roma ni hazina kubwa na mtu mhimu kwa taifa letu, anaiwakilisha vema Hip hop Tanzania na nje katk viwango vya hali ya juu. #AnaitwaRoma , Ngoma ina madini mwanzo mwisho.
2
7
77
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 months
Mbegu hizi na zikamee zizae matunda na Maokoto. Amen. Let's sow seed, grow, to get yield and money. Amen.
Tweet media one
Tweet media two
3
17
78
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
2 years
Happy Farmers Day 8/8.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
12
72
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
2 months
Hata sasa BWANA anatenda, Thank you Lord🙏.
Tweet media one
3
11
78
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
2 years
Kilimo kinahitaji pesa kukiendesha. Imagine 1Kg ya Mbegu ya kitunguu mfano Red coach F1 Hybrid ni 400K+.
Tweet media one
9
8
74
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
2 months
Fuga Kuku-kibiashara na @MalemboFarm Tanzania🇹🇿 Visit @AcademyFarms Kula #UgaliElimu kila Jumamosi
Tweet media one
2
9
76
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 months
Fertilizer applicator inarahisisha kazi. KARIBU tukuhudumie.
Tweet media one
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa 🇹🇿
4 months
Habari ndugu wakulima,leo nawaletea FERTILIZER APPLICATOR bag, kifaa maalum cha kuekea mbolea shambani, chenye kuruhusu utoajo wa mbolea wa gram 5 hadi gram 100 hivyo hupunguza hatari ya kuunguza miche kwa kuzidisha kipimo Faida za hiki kifaa ni kwamba LIKE and REPOST Uzi👇
Tweet media one
Tweet media two
9
47
122
11
14
77
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
2 years
Farming Needs Serious Attentions and Passionate to Attain Goals. #KilimoNiFursa
Tweet media one
4
8
73
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 months
#KilimoTips 🇹🇿 Kilimo ni cha watu wenye kipato. Mahitaji yote ya kilimo (Agri-inputs) mkulima analipa cash (hakuna malikauli/mkopo) Heshimu sana mwekezaji anayekodi shamba kwa cash, Anunue mbegu, apande,mbolea, maji, viuatilifu, vibarua,kuvuna kusafirisha mavuno vyote hulipa cash.
Tweet media one
4
18
76
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
7 months
Hawa @MalemboLE wakikutana sasa patachimbika, watazichapa hapatatosha. Wakati tunapoendelea kujitafuta, tumwombe Mungu azifanikishe ndoto zetu. Na kuifikia ndoto humo katikati kuna misukosuko mingi, kukatishwa tamaa, n.k lakini yule anayejua hatima yetu ndiyo mwamuzi wa yote.
Tweet media one
Tweet media two
7
14
74
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 months
Farming in Africa, from Tanzania🇹🇿 Pilipili ni zao la biashara linalolipa. Miche bora, ukuaji bora, mavuno bora. Health seedlings promote plant vigour growth and higher yield. Pepper is the most profitable crop. @jason_kanani
Tweet media one
8
17
73
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
1 year
TBT #SUA
Tweet media one
9
2
74
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
2 years
Once @MalemboFarm said.... "Gharama ya kuuishi umasikini ni kubwa sana kuliko gharama ya kuuondoa. Uchaguzi ni wako, amua sasa." #KilimoNiAjira
Tweet media one
4
12
68
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
6 months
Udongo na Maji ni Chanzo cha Uhai. Soil and Water a Source of Life. @FAO
Tweet media one
4
7
73
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
3 months
Mimi na wewe ni miongoni mwa watu ambao BWANA ametuchagua kuiona siku ya leo tukiwa wazima wa afya. TUMSHUKURU kwa yote🙏.
Tweet media one
1
0
72
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 months
INTACT FARM Ni shamba lenye mimea yote mzima, hakuna gaps au iliyokufa. Wakulima unaweza kuwa na Ekali 1 ya miche 7,500 lakini kunamiche 500 iliyokufa, kuna gaps. Hilo shamba siyo intact. Ndiyo maana tunashauri mkulima weka akiba ya miche+ mwendelezo wa kuotesha miche kurudishia
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
14
70
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 months
#KilimoTips 🇹🇿 Inatajwa kuwa pamoja na fursa zilizopo kwenye uzalishaji kilimo, eneo la mnyororo wa kuongeza thamani katika mazao yetu una fursa nyingi zaidi. Karibu Tuangazie eneo hilo. @DorothNengai @CarolNdosi @WizaraKilimo
Tweet media one
2
22
70
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
2 months
Je, unahitaji mwongozo na mafunzo kufanya kilimobiashara? Unahitaji ushauri na huduma za shamba? Karibu huduma ya Consultancy. Kwa mahitaji ya Udongo (Peatmoss) na seedling trays za kuoteshea miche, Pia Ninauza Mbegu za pilipili mbuzi/ Mwendokasi njano na nyekundu, tuwasiliane
Tweet media one
4
25
71
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
1 year
Improve your body healthy. Eat according to your body nutrients' requirements and make physical body exercises. Garlic+Ginger+Honey Boresha Afya yako. Kula kulingana na mahitaji ya viinilishe vya mwili wako. Fanya mazoezi ya mwili. Tangawizi+Vitunguu saumu+Asali Cc: @ommyfitness
Tweet media one
9
11
70
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
3 months
#KilimoTips 🇹🇿 Kilimo cha Tango (Cucumber), ni moja ya mazao ya biashara na chakula yenye faida ya haraka, hukomaa kwa muda mfupi siku 40-45 unaanza kuvuna. Chagua Mbegu bora kwa mavuno bora na ya uhakika. 📍 Msalato-Dodoma Follow @jason_kanani Cc: @GeraldLudovick
Tweet media one
Tweet media two
7
15
70
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
3 months
KILIMO PDF Tango 1 kuzaa matunda 10-15. Ekari 1 huingia miche 11,111 ya tango. Tusema kila mche uzae Matango 10 Sawa na matango 111,110 Tusema umeuza kwa bei ya hasara 200TZS kwa tango sawa na 22,222,000TZS.Toa gharama za Mtaji 2,222,000TZS.Faida 2,000,000TZS. NJOO FIELD UJIONEE
Tweet media one
12
13
67
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
3 months
#KilimoTips 🇹🇿 Kuna watu wanachukulia poa Kilimo-biashara cha Viazi vitamu (Ipomea batata). Usichukulie poa, changamkia fursa. Shea nasi uzoefu wako. KARIBU🙏
Tweet media one
4
13
71
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
1 month
Mkulima ukiniuliza @jason_kanani nataka kuwekeza Kilimo, Nifanyeje? MAJIBU; Andaa Mtaji Litambue zao la kulima &mwenendo wa masoko yake Zingatia Huduma za shamba Lima kibiashara mazao ya bustani hasa ya michumo endelevu Kuwa tayari kujifunza kila hatua Wekeza maarifa na taarifa.
Tweet media one
0
18
70
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
5 years
Tweet media one
0
0
67
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
3 months
Hoho (Sweet peppers) ni moja ya mazao ya bustani yenye tija na mwokozi kwa wakulima wengi. Hoho zipo aina za rangi ya Kijani, Njano na Nyekundu. Katika kilimo, chagua mbegu sahihi inayopendwa na soko lako. 📍 Msalato-Dodoma Cc: @GeraldLudovick Follow @jason_kanani @DorothNengai
Tweet media one
Tweet media two
5
12
69
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 months
Dear Youth, the future of Agriculture is within our hands. Let's work for sustainable development. Tupige kazi, kilimo ndiyo maisha yetu🇹🇿.
Tweet media one
Tweet media two
4
19
68
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 months
Happy birthday to you @KibongeTriceB Live longer.
Tweet media one
4
9
69
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
3 months
Kama unafikiria kilimo ndilo chaguo lako la mwisho (last option) katika miradi yako ya uwekezaji kibiashara, basi usipoteze muda, bora ufanye mambo mengine. Ukiuliza kwanini? Majibu ya maswali yote tunayapata kwenye mchakato mzima huku field kwenye kilimo.
Tweet media one
2
17
68
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
2 months
Habari, unapambana na kazi zako ukiwa wapi? Nikutakie siku njema yenye baraka na mafanikio tele.
Tweet media one
4
12
69
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
1 year
Fertilizer Application Machine. You can apply fertilizers for about 3-5 Acres per day for crops such as Maize, Sunflowers,Tomato, others Less costiful, save time ad Money Ukiwa na Mashine hii unaweza kuweka mbolea hadi ekali 3-5 kwa siku mazao ya Mahindi,Alizeti,Nyanya Ni nafuu
Tweet media one
Tweet media two
9
21
64
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 years
Hapa naishi nimefanya kautafiti kadogo na kubain angalau kila kaya 10 mtaani, kuna kaya 1yenye mtoto wa kike aliyezaa akiwa bado kwa wazaz wake na baba wa mtoto hafahamik Hii inaathari kubwa kwa hapo badae, kwan kuna hatari ya kukuza kizaz kisicho na baba @DevothaE , @MarekaMalili
14
6
66
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 months
#KilimoTips 🇹🇿 Hot pepper #Habanero , Pilipili mwendokasi. Kama unahitaji kuwekeza kwenye zao hilo tuwasiliane upate taarifa na maarifa sahihi Ili ufikie malengo yako. If you are interested in Farming, Like, Comment and Repost. Follow @jason_kanani KARIBU🙏
Tweet media one
Tweet media two
5
20
67
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 years
0
0
66
@jason_kanani
Kanani Jason (Agriculture Specialist)
4 months
KILIMO NI MAJI🇹🇿 Huduma zetu; 1. Tunafanya Survey ya Maji Morogoro Sh350,000/= Dodoma Sh400,000/= Tanga Sh350,000/= Dar Sh260,000/= 2. Tunasafisha Visima 3. Tunachimba Visima Virefu na Vifupi 4. Tunatoa Pump zilizonasa kisimani 5. Tunafunga Pump za Sola KARIBU TUKUHUDUMIE🙏
8
18
68