Malembo Farm Profile Banner
Malembo Farm Profile
Malembo Farm

@MalemboFarm

20,459
Followers
947
Following
4,813
Media
27,208
Statuses

Prominent Agribusiness firm in East Africa, HQ in 🇹🇿🇰🇪 | Agribusiness consulting | Sustainable Agriculture | Dedicated to Community Development and #UNSDGs

Tanzania l Kenya l East Africa
Joined July 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 months
Are you an investor looking for opportunities in agriculture. @MalemboFarm is your gateway for policy clarifications in Tanzania. Contact us; #KilimoNiAjira
Tweet media one
2
6
14
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Ombea mahala pako pa kazi. Omba Mungu akufanye kuwa baraka mahala pale. Kumbuka,Muda wako mwingi unautumia pale. #KilimoNiAjira
Tweet media one
47
225
2K
@MalemboFarm
Malembo Farm
2 years
Mkulima anatafuta mbolea, anahangaika kule, anafukuzana na nyoka, matope ni yake,wakati wa kuvuna ni yeye, halafu avune umpangie bei. Bei itajipanga yenyewe, wakati wa kuwapangia bei mazao yao umekwisha".JPM, Nov.2019
Tweet media one
51
77
667
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
📍 Kayenze,Magu-Mwanza. Good Morning Africa.
Tweet media one
Tweet media two
39
20
487
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Leo May 12,2021 @MalemboFarm tumetembelewa na ndugu @masoudkipanya kujifunza shughuli mbali mbali zinazofanywa na Malembo Farm ikiwemo shamba darasa la mche,ufugaji wa kuku wa kienyeji namna tunavyotengeneza mabada ya kuku,ufugaji wa sungura na namna tunavyokinga mkojo wa sungura
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
28
39
420
@MalemboFarm
Malembo Farm
2 years
How do they sit inside? #KilimoNiAjira
Tweet media one
26
29
406
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Jasho jingi wakati wa kazi,neema wakati wa mavuno. Jasho kidogo wakati wa kazi, neema kidogo wakati wa mavuno. Enyi vijana, na haya tuyasikie. #KilimoNiAjira
Tweet media one
21
44
404
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Mzee @MarekaMalili Kilimo siyo siasa kilimo ni sayansi. #KilimoNiAjira
Tweet media one
19
19
382
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Nje ya kazi ya utumishi wa umma Mh @ummymwalimu ni Mkulima wa muda mrefu. Mh Ummy mara moja moja waonyeshe watanzania kazi zako za kilimo ambazo @MalemboFarm tumekuwa tukikushauri,hii itasaidia kwa vijana wengi kuiona dhana ya #kilimoNiAjira hata viongozi wa Umma mnashiriki.
Tweet media one
17
30
374
@MalemboFarm
Malembo Farm
2 years
Kwenye kilimo na ufugaji kuna fursa nyingi na changamoto pia, @MalemboFarm tunamradi wa kufuga panya kibiashara Panya mmoja rejareja ni Tsh 10,000/= Jumla 5,000/= Kwa huduma,ushauri wa kilimo biashara,karibu @MalemboFarm inao wataalam mahiri wenye ujuzi na weledi #KilimoNiAjira
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
58
51
339
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Cage Farming #KilimoNiAjira
Tweet media one
Tweet media two
3
31
338
@MalemboFarm
Malembo Farm
2 years
Ukisikia Ng’ombe wa Maziwa ndiyo hawa sasa. #KilimoNiAjira
Tweet media one
13
21
330
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Mwaka 2014 Tanzania iliuza korosho kwenye soko la Duniani tan 189000 na kuliingizia Taifa Tsh 450 Bl,lakini Vietnam waliuza tan 257000 na kuliingizia Taifa lao Tsh 4 Tilioni Ikumbukwe mwaka 1980 walikuja kujifunza kwetu kilimo cha korosho na Mbegu wakachukua. Nini maoni yako?
Tweet media one
29
58
290
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Huyu ndiye @masoudkipanya Kuna kuamua na kuamua kufanya na kunakuamua na kutokumua kutofanya. Maandalizi ya uziduzi wa…. Hapa @daressalaamserena
Tweet media one
4
18
288
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
This office gives me hope for a better tomorrow. Thank you God I made it this far. #KilimoNiAjira
Tweet media one
Tweet media two
13
22
271
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
2 Wakorintho 9:6 "Lakini nasema neno hili, Apandaye haba atavuna haba; apandaye kwa ukarimu atavuna kwa ukarimu." #KilimoNiAjira
Tweet media one
2
21
261
@MalemboFarm
Malembo Farm
2 years
This is the largest date farm in the world It is located in Buraidah, Saudi Arabia It is owned by businessman Saleh Al-Rajhi. It entered the Guinness Book of Records for its largest area. Its area is 54,660 acres It produces 45 types of dates Tens of tons are sent annually
Tweet media one
10
59
253
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Tanzania tunatumia Tsh 16 bilioni kuagiza magunia ya kubebea korosho kutoka nje ya nchi Mkonge ni zao lenye asili ya Mexico liliingizwa nchini mwaka 1892 na kupandwa huko Kikokwe,Pangani Tanga Mwaka ya 1960 Tanganyika iliongoza kwa mauzo ya Mkonge ikifuatiwa na Brazil na Mexico
Tweet media one
10
42
228
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Anatoa lita 40 za Maziwa kwa siku, sawa na Lita 1200 kwa Mwezi. Kutoka shamba la Mdau mwenzetu Mbarara Nchini Uganda,ukihitaji Mbegu,Elimu na Taarifa Mbali Mbali wasiliana nasi 📞 071489662 Whatsap 0747981275 Barua pepe; info @malembofarm .com
Tweet media one
15
58
228
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Uvuvi ni kazi yetu Kipato hutuletea Kitoweo hutufikishia Afya kutuimarishia Uvuvi tutakulinda Vizazi kuvienzi #KilimoNiAjira @UvuviNa
Tweet media one
9
13
218
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Tanzania tuna karibu Mikoa minane inayoweza kuzalisha Alizeti bado uzalishaji wetu upo chini,nchi kama Ukrain mwaka 2020 ilipata zaidi Tsh Trillion 12.5 kwa kuuza mafuta ya Alizeti nje ya nchi yao eneo wanalotumia kulima alizeti ni sawa na nusu ya Mkoa wa Singida. #KilimoNiAjira
Tweet media one
16
37
219
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Tujadili. Package na Branding ya bidhaa zetu. #KilimoNiAjira
Tweet media one
28
26
212
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Leo May 3,2021 @MalemboFarm tumetembelewa na vijana wezetu Mkurungezi na mwanzirishi wa @ElimikaWikiendi ndugu @MasaluPaschal tumefarijika,tukapata wasaa wa kumshukuru Mungu kwa afya na kibali cha kuendelea kuishi.MITHALI 16:3 Mkabidhi Bwana kazi zako na mawazo yako yatathibitika
Tweet media one
3
17
212
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Is Africa's food importation a result of hunger or low productivity? #kilimoNiAjiradaka
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
15
18
204
@MalemboFarm
Malembo Farm
2 years
KATIKA KUITIKIA WITO WA OMBI BORA LA WAZIRI WETU WA KILIMO MH, HUSSEIN BASHE @HusseinBashe LA KUTAKA ASHAURIWE MKAKATI BORA WA KUWA NA USALAMA CHA CHAKULA TANZANIA NA AFRIKA KWA UJUMLA , HUU NI USHAURI WETU SISI @MalemboFarm
Tweet media one
11
54
202
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Agribusiness Stakeholder meeting. Transforming the agriculture and horticulture in Tanzania needs cooperation across sectors. MD- @mkulimamakini & MD- @MalemboFarm info @malembofarm .com @tzagriculture
Tweet media one
3
21
188
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Kumuwekea drip Ng'ombe ni njia ya haraka ya kumpa nguvu,hii ni kwa Ng'ombe aliye kwenye hali mbaya zaidi kiafya,baada ya ng'ombe kupata nguvu ndiyo matibabu zaidi yaendelee kulingana na ugonjwa uliomsibu Kwa huduma,ushauri wa kilimo na ufugaji kibiashara karibu @MalemboFarm
Tweet media one
5
14
192
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Ikawe Jumapili njema kwenu wadau wetu. Tuko tulivyo kwa sababu anaturuhusu na kutufanya tuwe. Kwa Mungu natumaini. #KilimoNiAjira
Tweet media one
5
19
177
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Tanzania ni nchi ya 17 duniani kwa kilimo cha embe. Inakadiriwa kuzalisha tani 300,000 kwa mwaka. Kilimo chetu kwa sehemu kubwa ni cha msimu na tunashindwa kukidhi hata soko la ndani, kwa sasa masoko mengi makubwa hapa nchini tunakula maembe kutoka SOMALIA. @tzagriculture
Tweet media one
5
30
183
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Tanzania is the future of Africa, should not only feed itself but it must contribute to feeding the World. #KilimoNiAjira @tzagriculture
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
6
28
173
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Kuwajibika siyo chaguo, ni suala la lazima kwa kijana mwenye afya njema. Uchaguzi sahishi sasa, ni uchaguzi sahihi wa maisha ya baadae yako. #KilimoNiAjira
Tweet media one
16
25
165
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Shinyaga-Tanzania. Kilimo kinachowalenga vijana kinahitaji mikakati inayozifikia ndoto zao na malengo yao. Eneo la teknolojia limekaa kimkakati miongoni mwa IDEAS za vijana na hivyo lapaswa kupewa kipaumbele ili dhana ya #KilimoNiAjira isionekane imepitwa na wakati.
Tweet media one
6
24
170
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Dear God. I commit this day to you. Thank you for this job, my coworkers and customers. Amen. #KilimoNiAjira
Tweet media one
0
14
172
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Kilimo cha Cocoa Tukuyu-MBEYA-Tanzania. Hii nchi inayo Neema nyingi kwenye Aridhi,Mungu kaibariki hii nchi lakini taswira ya aina ya kilimo cha Nchi hii siyo yenye mafanikio na ushawishi kwa vijana wengi. #KilimoNiAjira
Tweet media one
14
25
164
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Kwa wastani, Tanzania inauza nje ya nchi tani 4000 za nyama kwa mwaka. Lakini tunazalisha wastani wa tani 700,000 kwa mwaka. Kwa nini unafikiri tunauza nje kiwango kidogo sana cha nyama tunayozalisha? #KilimoNiAjira
Tweet media one
52
33
169
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Hakuna MWANAMKE mpumbavu kama yule anaemdharau MWANAUME kutoka na hali yake ya umasikini aliyonayo sasa. Kila mwanaume mwenye bidii ni tajiri aliyeko katika kipindi cha mpito. TBT 2016 Kidomole,Bagamoyo-Pwani. #KilimoNiAjira
Tweet media one
11
19
158
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Tanzania inatumia Tsh 500 Bilioni kuagiza sukari nje ya baraka la Afrika. Kama Kijana wa kitanzania Nini maoni yako? #KilimoNiAjira
Tweet media one
55
17
153
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Fursa ya kuuza chakula Ukrain. #KilimoNiAjira
Tweet media one
19
11
158
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Moja ya melengo ya taasisi ya Malembo Farm ni Kuhakikisha tuna kuwa kipaumbele katika kusimamia usalama wa chakula. Hivyo tumejikita kuhamasisha vijana ambayo ndiyo nguvu kazi kuhakikisha tunaleta tija kwenye kilimo na chakula. #KilimoNiAjira
Tweet media one
6
17
152
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Mkoa wa Dar es salaam unatajwa kuwa na watu takriba 8 milioni na zaidi kwa sasa,kaya 5 milioni na kaya moja inawastan wa watu 2-4,kijana umeahi kuwaza kufanya biashara ndogo ndogo mfano kuuza mchicha kwa Tsh 400 kwa fungu kwa watu 1000 tu kwa siku wanaoishi kwa wa Dsm
Tweet media one
11
22
150
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
For agriculture works and consultants services welcome at MALEMBO FARM. TOTAL AGRIBUSINESS. Whtsap +255 747981275 Call +255714896662 Email; info @malembofarm .com Website ;
Tweet media one
8
24
139
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Growing up is a long journey kuna makosa tunafanya yana gharimu maisha yetu, lakini kujitambua kunakupa njia yakuwa shujaa katikati ya adhabu.hakuna mwenye ratiba ya chochote kinacho kuja mbele yake hakikisha Unamuweka Mungu mbele wakati wote na awe kiongozi. @rollymsouth
Tweet media one
3
16
140
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
KILIMO CHA MCHICHA Mwaka 2017 nililima Ekari moja ya Mchicha,kigamboni-Mwasonga nilitumia Tsh 68,5000/= kukodi shamba, mbegu,mbole n.k Kilimo cha mchicha ukiwa na uhaki wa soko ni kilimo kinachoingiza pesa kila siku Ndani ya siku 21 ekari moja nilipata zaidi ya Mafungu 5000
Tweet media one
15
23
136
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Taarifa kwa Umma. Today ni farm for fun. @MalemboFarm #KilimoNiAjira
Tweet media one
19
14
131
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Usisubiri watu waseme Ndiyo ufanye we anza tu hata kama hakuna anayekuelewa maana NDOTO ni yako si ya kwao,Acha kusubiri mapendekezo ya watu wengine ama familia yako. Katika picha huyo ndio Lucas Malembo ilikuwa Tarehe 6 Julai 2017 shambani Kigamboni Mwasonga.
Tweet media one
0
18
136
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Wakenya wanajua sana kubrand biashara zao kuvutia Soko la huduma na bidhaa mfano utalii,tunachakujifunza. hata kwenye KILIMO Katika ulimwengu wa ushindani nyenzo kubwa ya kukufanya uwe tofauti na uweze kuvuta wateja wengi na kuwa na biashara endelevu ni kuwa brand iliyo bora.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
24
22
132
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Kila siku ya Mungu asubuhi na mapema tayari tunakuwa ofisini kukuhudumia, kukufundisha lakini pia kujifunza kutoka kwako wewe mkulima, lengo letu likiwa ni kuhakikisha dhana ya #kilimoNiAjira inaeleweka miongoni mwa wakulima wengi.karibu Malembo Farm. @tzagriculture
Tweet media one
1
17
135
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Tunawatikia mtihani mwema watahiniwa wote wa kidato cha sita wanaoanza mtihani leo,watakie mthiani mwema wanafunzi wetu kwa KUCOMMENT,LIKE kisha RETWEET na Ndugu rafiki na jamaa. #KilimoNiAjira
Tweet media one
1
19
132
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Najisahaulisha tozo na makato. #KilimoNiAjira
Tweet media one
6
7
130
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
EWE, KIJANA AMKA KUMEKUCHA. Ni asubuhi nyingine tena katika ulimwengu uliojaa fursa nyingi hususani za kilimo biashara. Tunamshukuru Mungu kwa kutupa kibali cha kuiona siku nyingine mpya. Gharama ya kuuishi umasikini ni kubwa sana kuliko gharama ya kuuondoa. Uchaguzi ni wako.
Tweet media one
3
11
132
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Je?wajua unaweza tengeneza utaratibu wa kumwimbia Ng’ombe wako mpaka akatoa maziwa bila kukamuliwa? Fatilia video hii utajifunza. Tunaweza kuwa wafugaji wanaojali saikolojia za wanyama kwani furaha yao ni biashara yetu. #KilimoNiAjira
23
40
129
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Malembo Farm tumeamua kuelekea kwenye ufugaji wa samaki kwa njia hii muhimu ijulikanayo kama *"cage aquaculture"*(kufuga kwa njia ya VIZIMBA kwenye vyanzo vya asili vya maji). Hii ni kwa sababu aina hii ina matokeo makubwa kibiashara. #KilimoNiAjira
Tweet media one
15
24
130
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Sikilizeni vijana wote hakuna mafanikio bila kupambana Kila unapoona jambo fulani ni ngumu ni kwasabau ni zuri zaidi. #KilimoNiAjira
Tweet media one
Tweet media two
15
18
129
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Kula pamoja siyo tu jambo muhimu kwa watoto lakini pia ni muhimu sana kwa watu wazima Kula pamoja chakula kilichopikwa nyumbani mara nyingi kina faida ya wanafamilia kudumisha utamaduni wa familia na jamii,mahusiano mema na kudumisha kile ambacho Waingereza hukiita *family time*
Tweet media one
5
12
126
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Tupo live ITV kipindi cha Meza huru. Karibu tujifunze pamoja kuhusu ufugaji wa wadudu kama panya kibiashara. #KilimoNiAjira
Tweet media one
8
8
129
@MalemboFarm
Malembo Farm
2 years
Kijana Amka kumekucha. Gharama ya kuuishi umasikini ni kubwa sana kuliko gharama ya kuuondoa. Uchaguzi ni wako, amua sasa. #KilimoNiAjira
Tweet media one
4
29
128
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Kilimo ni sayansi , Kilimo ni biashara , Kilimo ni teknolojia, Kilimo ni utajiri, Kilimo siyo uchafu, Kilimo siyo ufukara, Kilimo siyo uzumbukuku. Kilimo ni tasnia ya maisha ya mwanadamu ambayo ni ubinadamu wenyewe. ☎️ +255714896662 Whatsapp +255747981275
Tweet media one
7
25
123
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
From experience,I can testify there is no other sector they can get involved in and make quick clean cash than in farming. Let's call a spade one,I want to reach out to our leaders,let's not offer empty promises to our youths let's empower them through our major natural resource
Tweet media one
3
19
123
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
China inatumia wanasayansi wa Kilimo katika kukuza uchumi wake kupitia kilimo.China inatekeleza dhana ya #KlimoNiAjira kwa vitendo.Wanafunzi wanaofanya masomo ya Kilimo hukaa na wakulima vijijini kuwapa taarifa za kilimo na utaalamu kama sehemu yao ya mafunzo.
Tweet media one
1
19
121
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Sekta ya kilimo Tanzania inachangia 100% ya chakula kinacholiwa nchini,60% ya malighafi za viwandani,27% ya pato la Taifa na 25% ya fedha za kigeni,kwa msingi huu kilimo ndiyo uti wa Mgogo wa uchumi wa Taifa letu. #ElimikaWikiendi
Tweet media one
1
19
120
@MalemboFarm
Malembo Farm
2 years
Baada ya Afisa ugani kupatiwa pikipiki na Vitendea kazi na @tzagriculture @HusseinBashe @AnthonyMavunde
Tweet media one
11
14
122
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Kilimo kinachowalenga vijana kinahitaji mikakati inayozifikia ndoto zao na malengo yao. Eneo la teknolojia limekaa kimkakati miongoni mwa IDEAS za vijana na hivyo lapaswa kupewa kipaumbele ili dhana ya #KilimoNiAjira isionekane imepitwa na wakati. Karibu @MalemboFarm
Tweet media one
3
15
121
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Home garden...hot pepper maarufu kwa jina la pilipili za Mwendokasi (habanero Yellow). Tumepanda kwenye mifuko(Udongo) utusaidia kwa matumizi ya Nyumbani lakini unaweza kulima mboga mboga kwa kutumia mifuko kibishara.karibu MF kwa ushauri wa kilimo biashara.
Tweet media one
1
20
125
@MalemboFarm
Malembo Farm
2 years
Goodmorning wakulima na wafugaji. #KilimoNiAjira
Tweet media one
4
10
119
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Jinsi ya kuchagua mbegu bora ya kuku wa kienyeji 1.SINGIDA Kuku kutoka Singida uwa wanasifika kwa maumbo makubwa na warefu.uwezo mzuri mkubwa wa kuatamia kutokana na maumbo yao.hawana uwezo mkubwa sana wa kutaga mayai mengi hii nikutokana na matetea mengi. Karibu @MalemboFarm
Tweet media one
7
26
116
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Kila siku ya Mungu asubuhi na mapema tayari tunakuwa ofisini kukuhudumia, kukufundisha lakini pia kujifunza kutoka kwako wewe mkulima. lengo letu likiwa ni kuhakikisha dhana ya #kilimoNiAjira inaeleweka miongoni mwa wakulima wengi na vijana karibu Malembo Farm tujadili pamoja.
Tweet media one
0
14
118
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Kuajiriwa kwako sio gereza. Sio kila ajira ipo kuua ndoto zako, kuna kuajiriwa ili kukuza ndoto pia,kuna kuajiriwa kutafuta mtaji,netiwoki n.k @rollymsouth #KilimoNiAjira
Tweet media one
4
10
113
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Mithali 13:11 Mali iliyopatikana kwa haraka itapunguka; Bali yeye achumaye kidogo kidogo atazidishiwa. #KilimoNiAjira
Tweet media one
4
17
120
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Vijana wana hitaji kubwa la kupalilia ndoto zao kwanza kabla ya kupalilia mazao. Young Tanzanians need to cultivate careers,not just crops. #KilimoNiAjira
Tweet media one
1
22
116
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Kuku kukaa kichwani kwako na akatulia,kwenye saikolojia ya wanayama hii tunaiitaje Kwako Mwalimu @jchakutema Hii kitalaamu tunaiitaje. #KilimoNiAjira
Tweet media one
8
14
113
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Elimika na @MalemboFarm kila siku kuhusiana na changamoto,fursa za kilimo,mifugo na biashara ya kilimo Tunapatikana Mwananyamala A kinondoni Dsm junction ya kwenda Mwanyamala Hospital Tupo wazi kuanzia saa 2:30 -11:00 jioni. J’tatu-J’mosi ☎️ 0714896662 Whatsapp 0747981275
Tweet media one
3
19
109
@MalemboFarm
Malembo Farm
4 years
Kilimo ni sayansi , Kilimo ni biashara , Kilimo ni teknolojia, Kilimo ni utajiri. Kilimo siyo uchafu, Kilimo siyo ufukara, Kilimo siyo uzumbukuku. Kilimo ni tasnia ya maisha ya mwanadamu ambayo ni ubinadamu wenyewe. @RahmaMwita @MarekaMalili @kazikwanza @masoudkipanya
Tweet media one
4
15
117
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
EWE, KIJANA AMKA KUMEKUCHA. Ni asubuhi nyingine tena katika ulimwengu uliojaa fursa nyingi hususani za kilimo biashara. Tunamshukuru Mungu kwa kutupa kibali cha kuiona siku nyingine mpya. Gharama ya kuuishi umasikini ni kubwa sana kuliko gharama ya kuuondoa. Uchaguzi ni wako.
Tweet media one
1
21
113
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Bagamoyo-Kidomole Mwaka 2016 Kilimo ili kiwe na maana ya kweli kuwa ni uti wa mgongo kwenye uchumi wetu, ni muhimu na lazima uwekezaji,uendeshaji na matarijio yajiviringishe kwenye TIJA. Nje ya tija, KIlimo kinabaki wimbo unaokera na kukereketa na hasa kwa vijana. #KilimoNiAjira
Tweet media one
21
16
115
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Karibu Malembo Farm tukuongoze kufanya uwekezaji wenye tija kwenye kilimo. Wewe ni muhimu sana kwetu, lakini ni muhimu sana kwa Taifa baada ya kupata ujuzi kutoka kwetu. #KilimoNiAjira
Tweet media one
1
12
112
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Mwl. Julius K.Nyerere na KILIMO. #KilimoNiAjira
Tweet media one
1
15
112
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
KINOLE - MOROGORO. Kilimo cha mdalasini Kilimo cha Vanila Kilimo cha iriki Kilimo cha karafuu Morogoro mkoa unakubali mazao ya aina nyingi sana uwekezaji kwenye kilimo utawakwamua vijana kwenye tope la umaskini na kusimika kilimo katika kilele cha mafanikio #KilimoNiAjira
Tweet media one
Tweet media two
8
20
111
@MalemboFarm
Malembo Farm
2 years
Ewe;kijana Amka kumekucha. #KilimoNiAjira
Tweet media one
3
10
111
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Kila siku ya Mungu asubuhi na mapema tayari tunakuwa ofisini kukuhudumia, kukufundisha lakini pia kujifunza kutoka kwako wewe mkulima, lengo letu likiwa ni kuhakikisha dhana ya #kilimoNiAjira inaeleweka miongoni mwa wakulima wengi.karibu Malembo Farm.
Tweet media one
2
14
112
@MalemboFarm
Malembo Farm
4 years
Unapofikiria kuwekeza katika kilimo TUFIKIRIE SISI tunakufikia sehemu yoyote ulipo nchini. tukaribishe ili tuwezekufanya ziara ya kutembelea shamba kwako,Kutoa huduma ya ushauri wa biashara ya kilimo,Upimaji wa udongo. @masoudkipanya @MarekaMalili @MasaluPaschal @biturojr
Tweet media one
4
6
112
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Malembo Farm tunaamini kuwa kilimo siyo sehemu ya Vijana, lakini kilimo ni vijana. kwa mazingira haya tunafikiri kuwa hatua nzuri zinazochukuliwa na nchi yetu juu ya sekta ya kilimo na vijana ni muhimu na zaidi kuongezewa nguvu ya sekta binafsi kwa mafanikio zaidi @tpsftz
Tweet media one
4
19
108
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
@hancymachemba Nimeufurahia huu utaratibu wa kutenga mchuzi pemben,ukienda kwenye bakuri ya nyama ijulikane kabisa unaenda kuchukua nyama,sio kuweka folen isiyokuwa na sababu,hongereni sana! @MiriamMkanaka 😂😂
Tweet media one
13
10
110
@MalemboFarm
Malembo Farm
2 years
Kijana Amka Kumekucha. Chagua kuyaishi maisha yako halisi wakati huu ukiwa hai na wala usijisumbue na nini kitatokea baada ya wewe kuwa umekufa. Kitakachojalisha sana ni namna ulivyoishi maisha yako, hicho ndicho kitaacha alama hapa duniani. #KilimoNiAjira
Tweet media one
6
26
111
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Moja kati ya marafiki zangu ambao sijutii kukufahamu,u’r the best on u’r own race,hushindani na MTU ila kipawa na uwezo ulionao hakika ni manufaa Kwa kila mmoja wetu. Heri ya siku ya kumbukizi ya siku yako ya kuzaliwa @masoudkipanya Mhubiri 9:11
Tweet media one
1
9
109
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Ni wakati sasa wa kuacha kufikiri Kilimo ni uti wa mgongo wa uchumi wetu na kukiona Kilimo ni Uchumi wetu. MD-Malembo Farm. #KilimoNiAjira
Tweet media one
5
16
107
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Tunatambua kiu yako ya kuwekeza kwenye ufugaji wa kuku. Tunaelewa unataka muongozo kufanya unachokitamani. Zaidi tunaelewa unahitaji muongozo sahihi na wa gharama nafuu wenye ufanisi zaaid Malembo Farm ni sehemu sahihi kufikia ndoto yako. Karibu sana. #KilimoNiAjira @DrCyrilo
Tweet media one
Tweet media two
2
25
107
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Jinsi ya kuchagua mbegu bora kuku wa kienyeji 2.Tabora Kuku kutoka Tabora wanasifika ya maumbo makubwa jogoo hufikia kati ya 3-6kg na mtetea 1.5-3kg,wakitunzwa vizuri wana uwezo mzuri wa kuatamia na kulea vifaranga wao kwa umakini na ushirikiano mkubwaa juu ya wanyama na ndege
Tweet media one
3
21
107
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Tanzania naamini kwenye kilimo Tunaweza kufanya Agrarian revolution kama tukitenga 10% ya GDP na kuwekeza kwenye extension services, irrigation schemes,improved seeds,proper soil mapping,post harvest,split country into Agricultural zones,Agricultural machineries @SuluhuSamia
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
20
109
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Je unafahamu kuwa nchini Rwanda kwenye baa za pombe kubwa kunauzwa maziwa kama moja ya njia ya kuhamasisha unywaji wa maziwa? #KilimoNiAjira @UvuviNa
Tweet media one
7
15
104
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Breakfast ya chicken na Ugali, “Chai ya Asubuhi” nikiripoti kutoka Kayenze-Magu,Mwanza ni Mimi Mkurungezi wa Malembo Farm Ndugu Lucas Malembo. #KilimoNiAjira
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
7
109
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Ripoti iliyowahi kutolewa na shirika la kazi na mwelekeo wa ajira kwa vijana Duniani (Global employment trend for youth)ilionyesha kuwa tatizo la AJIRA kwa vijana nchini Tanzania wenye elimu ya kuanzia sekondari na kuendelea ni kubwa kuliko wale wenye elimu ya kiwango cha chini.
Tweet media one
3
19
105
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Kila siku ya Mungu asubuhi na mapema tayari tunakuwa ofisini kukuhudumia, kukufundisha lakini pia kujifunza kutoka kwako wewe mkulima, lengo letu likiwa ni kuhakikisha dhana ya #kilimoNiAjira inaeleweka miongoni mwa wakulima wengi.karibu Malembo Farm. @tzagriculture
Tweet media one
4
15
109
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Sweet Melon. Kuna vijana wengi wana ndoto za kufanikiwa kwenye yale wanayojishughulisha nayo kila siku,Nawaombea na kumuomba Mungu awaangalie awalinde na kufanikiwa katika kile ambacho kila siku mnakipigania. #KilimoNiAjira
Tweet media one
4
18
104
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
CEOs must be able to analyse situations, recognize issues, and execute successful solutions to keep the company moving in the proper direction. These skills are often needed on a daily bases. #YoungCEOsRoundtable
Tweet media one
1
18
106
@MalemboFarm
Malembo Farm
2 years
Tukifunga mtakula? #KilimoNiAjira
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
25
12
101
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Mwaka 2019 Tanzania tuliuza parachichi kwenye masoko ya Ulaya zaidi ya Tan 190,000 zenye thamani ya $ 8.5 sawa na Tsh Bilioni 19 na milioni 669,Mwaka 2020 Kenya waliuza Tani 58,000 wakapata USD milioni 75. Tujifunze nini?ubora wa bidhaa au hatujui masoko ya kimkakati? @kitilam
Tweet media one
23
25
107
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Kula pamoja siyo tu jambo muhimu kwa watoto lakini ni muhimu sana kwa watu wazima Kwetu Afrika na hapa Tanzania kwa umahususi wake,kukua kwa miji kumekuwa sehemu ya kumomonyoa mienendo ya kijamii ya kitamaduni (Socialization)kuathiri muendelezo huo kati ya kizazi hadi kingine.
Tweet media one
3
11
102
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Tazama Jinsi ilivyovema na Kupendeza ndugu wakae pamoja kwa umoja Maana namna hii ya kipekee Sana,Familia ya wana twitter Malembo Farm tunawatakia jumapili njema. #KilimoNiAjira
Tweet media one
3
9
102
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Are you an investor looking for opportunities in agriculture. Malembo Farm is your gateway for policy clarifications in Tanzania. Contact us via. WhatsApp us at: +255 718387558 Call us at: +255714896662/0714896662 Email us at: info @malembofarm .com
Tweet media one
2
20
103
@MalemboFarm
Malembo Farm
3 years
Ili kufanya mkulima upate kipato cha kila siku,tenga ekari mbili ulime mboga mboga aina 7,mfano spinach, mchicha,hoho,tango,bamia,nyanya chungu,figiri na matembele..hapo utaweza kupata wastani wa Tsh 30000- 50,000 kila siku ukisema kilimo hakilipi anza kujifnza mbinu za kukulipa
Tweet media one
3
26
102