Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Profile Banner
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Profile
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@msakufarm

11,078
Followers
1,919
Following
1,466
Media
37,588
Statuses

New Generation Farmer and Agronomist, feel free to inbox us if you have any questions on farming. WhatsApp

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Imekuwa wakati mzuri tena kuonana na waziri wa kilimo Mhe. @HusseinBashe kuzungumza mawili matatu kuhusu mafanikio na changamoto za shambani hadi sokoni. @msakufarm
Tweet media one
20
49
274
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
28 days
Dalali anakwambia leta mzigoo Gari hakuna kabisaa ,unachuma nyanya,unapakia kwenye gari unafika sokoni unakuta mnyororo wa Gari kama zote zimeleta nyanya ๐Ÿ˜ฅ
Tweet media one
102
96
2K
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Kama unapenda kilimo LIKE na REPOST Follow @msakufarm
Tweet media one
19
235
1K
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
USHAWAI JIULIZA KWANINI MINAZI INAGONGWA VIPISI VYA NONDO KWENYE SHINA?
Tweet media one
116
63
1K
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Taja jina la huyu ndege
Tweet media one
530
37
974
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Niwape faida za kilimo cha nyoka au niwaache kidogo
Tweet media one
126
63
917
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
28 days
#Vijanawalileshamba wameuza gunia la NGOGWE (Nyanya chungu) kwa bei ya shamba 15,000Tsh.๐Ÿ˜ฅ ๐Ÿ“ Morogoro -Kilosa
Tweet media one
64
65
784
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Post za kuandaaga mashamba hazinaga likes nyingi kama post za kuvuna. ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Tweet media one
24
39
749
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
Njia ya kupata gunia 40-45 kwa ekari moja Vipimo pima centimeter 30 shimo hadi shimo Tuta hadi tuta/mstari pima centimeter 70-75 Panda mbegu moja Kwa shimo Hakikisha umetumia kilo 10-11/pakit 5/ยฝ kwenye ekari moja Rt iwezekanavyo ili nishushe UZI @msakufarm #Bwanashambawa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tweet media one
45
246
687
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 months
Niwapatie faida za kilimo cha nyoka kibiashara au niwaache kidogo? #Bwanashambawataifa
Tweet media one
99
44
608
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 month
Ukija kununua nyanya kachumbari tunakupa bure๐Ÿ˜„
Tweet media one
29
42
616
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
Hatimae Leo tumechuma mchumo wa kwanza baada ya safari ndefu. Nyanya: Mkombozi F1 Ukubwa wa shamba: Ekari moja Mfumo wa umwagiliaji:Drip Irrigation Eneo:Chalinze Hali ya hewa:kiangazi Mbolea:Otesha,winner, nitrabor,kresta k Bei ya kret:35,000Tsh Follow @msakufarm
Tweet media one
Tweet media two
59
111
509
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 months
Kama unapenda ufugaji wa nguruwe hakikisha una LIKE na REPOST follow @msakufarm
Tweet media one
Tweet media two
18
95
499
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 months
Kama unapenda ufugaji wa kuku LIKE na REPOST ๐Ÿ“Bunju Follow @msakufarm
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
27
155
472
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 months
Tujifunze kidogo biashara ya MAZIWA Kama upo dar es salaam na huna mchongo njoo tutete kidogo,,, hayo ni maziwa ya mtindi ,,, ni biashara nzuri na nyepesi ambayo inaweza ikakuingizia rizki na wewe ukajidai UZI shuka nao๐Ÿ‘‡
Tweet media one
15
75
455
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
22 days
Dalali:kama hutaki Baki na nyanya zako. ๐Ÿ˜ฅ
Tweet media one
50
43
448
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Kilimo hakitaki ubahiri
Tweet media one
26
54
419
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 months
Kama unapenda kilimo like na repost. Follow @msakufarm
Tweet media one
8
84
352
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
If you interested in onions farming LIKE and REPOST Follow @msakufarm
Tweet media one
2
83
351
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Hawa ndio Nguruwe wa kisasa
Tweet media one
25
26
339
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Kabla hujaanza mradi wa nyanya tuwasiliane @msakufarm
Tweet media one
10
49
340
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Waziri wa kilimo ร— Bwanashamba wa taifa
Tweet media one
11
27
312
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
23 days
Je wajua? Kipindi hiki cha baridi Chinese hufanya vizuri zaidi kuliko kipindi cha joto.
Tweet media one
18
32
320
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
Wakishua wanaweza kuhisi ni maandamano๐Ÿ˜ Hapo mnaingia kwenye mashamba yaliyovunwa mahindi kusalala,kwa siku unaweza kupata hata debe Moja๐Ÿ˜ Mnaikumbuka hii wakuu?
Tweet media one
81
45
315
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 months
If you are interested in sunflower ๐ŸŒป farming LIKE and REPOST โœ”๏ธ
Tweet media one
12
60
312
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Kama umeelewa lengo la mfugaji huyu LIKE na REPOST ๐Ÿ˜‚ Follow @msakufarm
Tweet media one
23
46
303
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Dodoma-kibaigwa kulima na tractor per acre ni 35,000Tsh,huko kwenu ni kiasi gani? Follow @msakufarm
Tweet media one
65
35
278
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Niwapatie faida za kilimo cha nyoka kibiashara au niwaache kidogo? Follow @msakufarm
Tweet media one
43
27
279
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
Mshauri huyu mkulima nini afanye? @msakufarm
Tweet media one
81
27
273
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
13 days
Mfugaji wa kuku kaibiwa kuku wote bandani wamebomoa kijisehemu wakaingia๐Ÿ˜ฅ
Tweet media one
39
22
277
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Ukiangalia post za kilimo unaweza kusema kilimo kirahisi mno. Ila hakuna pesa inayopatikana rahisi
Tweet media one
19
29
271
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Ukiona hawakuelewi Fanya wewe kwanza. @msakufarm
Tweet media one
17
30
268
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 months
Kama umewekeza kwenye udongo LIKE na REPOST Follow @msakufarm
Tweet media one
5
44
271
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Goodmorning wafugaji wa kuku
Tweet media one
7
29
256
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 years
Good morning Farmers
Tweet media one
9
24
260
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
If you're interested in Maize farming please LIKE and REPOST Follow @msakufarm
Tweet media one
8
47
255
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
23 days
Safari ya kwenda Morogoro-Mlimba imeivaa, nikakiwashe kidogo ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
Tweet media two
30
24
257
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
If you interested in onions farming LIKE and REPOST Follow @msakufarm
Tweet media one
2
54
255
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
22 days
Soko la nyanya ๐Ÿ“DUMILA NYANYA iliyonyooka 10,000Tsh kwa cret NYANYA ya kawaida 8,000Tsh kwa cret Nyanya ninyanyue Nyanya ninyanyue
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
28
41
253
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 months
Wape habari wala visahani mjini sasa KIBESENI kipo shamba. Mbolea ya kwanza shambani kwako ni mguu wako kuwa shamba kila wakati. Follow @msakufarm
Tweet media one
Tweet media two
21
27
248
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 months
Baraka za mwenendo huu na zikalijaze banda la mifugo yako, uzao wa familia yako, mazao ya shamba lako Like and REPOST Follow @msakufarm
Tweet media one
8
38
246
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Kama unapenda kilimo LIKE na REPOST Follow @msakufarm
Tweet media one
3
47
243
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Kiwango chako cha juu kwenye kilimo cha mahindi ulishawai pata gunia ngapi kwa ekari? Kuna jamaa sehemu flani katoa gunia 50 kwa ekari. @msakufarm
Tweet media one
46
34
245
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 months
Tunafunga mifumo wa umwagiliaji wa matone (DRIP IRRIGATION SYSTEM) kwa Gharama nafuu inayoendana ha Hali ya mkulima. #kilimomaishayetu
Tweet media one
12
38
244
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 months
Unatumia water pump aina gani shambani kwako?
Tweet media one
26
22
244
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 years
Good morning wakulima wote wa mbogamboga
Tweet media one
18
29
236
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 months
REPOST Kama kuna mkulima analima nyanya maeneo ya Morogoro na anaweza kutoa kuanzia cret 150 ndani ya wiki ,tuwasiliane Call 0767337029
Tweet media one
9
69
233
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Alizeti ni moja ya zao langu pendwa sana, Ni zao la kupata pesa chap chap. Nivune nikakamulishe niwaletee mafuta? Au niweke store kwanza? ๐Ÿ˜„
Tweet media one
25
28
229
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
If you interested in paddy farming LIKE and REPOST Follow @msakufarm
Tweet media one
4
47
229
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
Tunalima humu humu, Tunavuna humu humu, Follow @msakufarm
Tweet media one
20
38
223
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Onesha picha ya ofisini kwako. @msakufarm
Tweet media one
37
24
219
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
23 days
Wakulima tunalima wenyewe kwaiyo kwenye chakula huwa hatujibani kama huko town. Hapa gunia la mahindi tunalikata kwa siku 7 tu. Chura haruki.
Tweet media one
30
26
222
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 months
Tutafute siku tufungue SPACE tuchape maswali ya changamoto za shambani na solution zake kwa Kila mkulima ,au hamtokuja?๐Ÿฅฒ
Tweet media one
26
38
217
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Kabla hujala nanasi hebu, liunguze kwa moto kwa kubanika. Kisha ule Utakuja kunishukuru baadae ๐Ÿ˜‹ Follow @msakufarm
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
27
37
209
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Alizeti huko kwenu bei imesimamaje? Huku Gunia 70,000Tsh @msakufarm
Tweet media one
27
29
210
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Goodmorning famers
Tweet media one
3
26
205
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
HAPPY BIRTHDAY TO ME ๐ŸŽ‰
Tweet media one
36
16
208
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
Kuna HELA zako zitaanza Kuflow hata Miaka 2 Badae ila Msingi wake Unaanza Kuujenga Sasa Hivi Usichukulie Poa kabisa kila Hatua au Jitihada Unayo ifanya Leo Lakini Bado hazijakupa Matokeo Makubwa Ambayo Ulizani Utayapata papo kwa hapo Endelea Kufanya, The Future is Promising.
Tweet media one
Tweet media two
14
46
203
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 months
Mtandaoni jitahidi kujifunza wanavyofanya watu na sio wanavyosema Cc @Millambo_ #kilimomaishayetu
Tweet media one
19
25
203
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Kulima na tractor (harrow) ni bei gani kwa ekari?,kwa eneo uliopo
Tweet media one
50
21
202
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
Pindi tunajitafuta tusisahau kusali. Follow @msakufarm
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
8
40
201
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 months
Kwenye kilimo ni muhimu kucheza miguu yote. โœ”๏ธMsimu wa Mvua unacheza na mazao ya nafaka. โœ”๏ธUkishavuna Nafaka unarudi kwenye mbogamboga.Mwaka mzima upo busy Bila hivyo unaweza ukawa unatoa milio kila msimu.
Tweet media one
17
29
202
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
NYANYA NINYANYUE NYANYA NINYANYASE
Tweet media one
21
32
201
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Aiseee!!
Tweet media one
38
16
197
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 months
Kuna baadhi ya maeneo gunia la kitunguu ni 40,000Tsh
Tweet media one
Tweet media two
21
15
200
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
KUFUNGA GUNZI ni watu wameaminishwa ila unaweza kufunga chochote kile hata ukipigilia misumari ili mradi mmea upate shuruba"stress" hapo mmea utahisi kuwa upo kweny mazingira magumu mmea utabadil jinsia na utazaa matunda haraka kabla haujafa ili uache kizaz chake #Bwanashambawa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tweet media one
22
31
201
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 months
If you are interested in Tomato farming LIKE and REPOST โœ”๏ธ Good morning fam
Tweet media one
4
45
198
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Goodmorning farmers
Tweet media one
6
15
180
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
5 months
Jana nilitangaza nafasi za kazi za kuvuna mahindina hamkutokea ,mmefanya kazi inachelewa sana kuisha aiseee๐Ÿ˜… #kilimomaishayetu
Tweet media one
18
19
190
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
Nini kifanyike kukomesha Rumbesa? Follow @msakufarm
Tweet media one
Tweet media two
51
19
189
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 month
Uhuni kwenye biashara ya nafaka. Jamaa kanunua Dengu kapasua gunia kakuta jiwe ndani ya gunia. Baada ya kupima uzito wa jiwe limekutwa na 5Kg Note:Ukinunua mzigo hakikisha kwenye upimaji lazima uwepo๐Ÿ“Œ Follow @msakufarm
Tweet media one
Tweet media two
32
36
192
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Vipi wakuu hapa hatoa gunia 50 kwa acre? Follow @msakufarm
Tweet media one
18
26
190
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Kilimo kinahitaji vitu kadhaa 1.Mtaji 2.Ardhi 3.Muda 4.Maarifa na taarifa kilimo biashara 5.Utayari 6.Soko Usiingie shamba bila kuvizingatia hivyo vitu #Bwanashambawataifa
Tweet media one
16
66
191
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 months
Kwaiyo msimu ujao tumekubaliana tunapanda mbegu gani ya mahindi?
Tweet media one
43
24
191
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
18 days
Siri ni nini ya hawa wanyama kwenye Bus?
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
27
8
186
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 months
Ukilima zao flani,basi Kila muda ungaangalia bei ilivyo sokoni,ikishuka bei basi tunajipa matumaini hii bei mwezi flani lazima ipande palee..๐Ÿ˜„ Follow @msakufarm
Tweet media one
12
33
184
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
If you interested in BEANS farming LIKE and REPOST Follow @msakufarm
Tweet media one
6
35
189
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
Unaweza ukawa unaangaika na na kulima MAHINDI kumbe pesa zapo kwenye BAMIA. Follow @msakufarm
Tweet media one
12
33
189
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 months
Kuna mchongo nauskilizia...!!
Tweet media one
13
24
183
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
Ipi inabidi iingie kwenye Cret/Tenga? A B
Tweet media one
Tweet media two
27
20
186
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 months
We used to call them groundnuts because they were coming from the ground, now what about these ones that are on top? ๐ŸคฃโœŠ๏ธ Follow @msakufarm
Tweet media one
Tweet media two
66
34
187
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
Ukimuona mtu analima nyanya kisasa ekari moja tu,huyo ni MWAMBA mpe salute ๐Ÿซก Follow @msakufarm
Tweet media one
4
25
183
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
Kuna mbegu ya kitunguu 1kg inauzwa 535,000Tsh na kwa ekari zinaingia 2kg.
19
14
183
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Wachache ndio wataelewa shughuri ya kukusanya hivi virundo.
Tweet media one
19
15
182
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Kuna jamaa kusimamisha nyanya alitumia mirunda kwa gharama ya 2.5million kwa ekari moja ya nyanya. Wewe ulitumia kiasi gani kwenye miti? @msakufarm
Tweet media one
16
36
180
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
We kweli si mkulima? Haya tuambie hii ni nini? Na inatumikaje? ๐Ÿ˜„ @msakufarm
Tweet media one
57
18
172
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Bwanashamba wa Taifa. ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
Tweet media one
7
14
179
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
FARM VISIT ๐Ÿ“ Kisarawe Mbegu: Malkia F1 HATUA ZA UKUAJI WA PAPAI -Kitalu ~wiki 1-6 -Hatua ya ukuaji wa haraka baada ya kuhamisha miche ~wiki 7-16 -Maua na kuweka matunda ~wiki 17-21 -Kukaa na matunda ~wiki 22-26 -Mavuno ya kwanza ~wiki ya 37 na kuendelea Follow @msakufarm
Tweet media one
Tweet media two
8
38
182
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
27 days
Ni wakati wa UFALME WA ALIZETI Kwa sasa bei ya gunia la debe 7 ni 85,000Tsh๐Ÿ˜Š โœ…Ambalo lina wastani wa uzito wa kilo 65 โœ…Kama utakamulisha litapa -mashudu kilo 48 -mafuta lita 22-25 Tukumbuke leo ni Mwezi SEPTEMBER hapo NOVEMBER au DECEMBER alizeti itakua ni ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
Tweet media two
25
36
178
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
Hatimaye leo tunavuna mchumo wa 2 baada ya siku saba toka tuchume mchumo wa kwanza. Tunaendelea kuzingatia -Afya mmea na maua na matunda -Program ya mbolea -Unyunyiziaji wa viwatilifu -Umwagiliaji ๐Ÿ“ŒTunaendelea kuitunza miche ya nyanya baada ya kuvuna. Follow @msakufarm
Tweet media one
Tweet media two
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
Hatimae Leo tumechuma mchumo wa kwanza baada ya safari ndefu. Nyanya: Mkombozi F1 Ukubwa wa shamba: Ekari moja Mfumo wa umwagiliaji:Drip Irrigation Eneo:Chalinze Hali ya hewa:kiangazi Mbolea:Otesha,winner, nitrabor,kresta k Bei ya kret:35,000Tsh Follow @msakufarm
Tweet media one
Tweet media two
59
111
509
22
41
180
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Kabla hujaanza kilimo cha alizeti jitahidi tuwasiliane tupige story mbili tatu +255 767337029
Tweet media one
14
32
180
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
12 days
Za kichwaa Nani kaona?
Tweet media one
65
30
180
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
Kwenu mnayaitaje haya?๐Ÿ˜ @msakufarm
Tweet media one
87
12
172
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
Mahindi ya Dodoma ndio mahindi yenye UBORA na Uzito kuliko mikoani mwingine yote. Follow @msakufarm
Tweet media one
Tweet media two
23
39
177
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Kilimo cha alizeti hakihitaji mambo mengi wazeee.
Tweet media one
13
20
173
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Hii mboga kwa kilugha chenu mnaiitaje? @msakufarm
Tweet media one
92
12
171
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Bwanashamba wa taifa.๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Wakati wa mavuno ya kitunguu bei gunia moja shambani limeuzwa kwa 240,000Tsh Location:Kilosa
Tweet media one
11
27
170
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Goodmorning farmers.! Cc @iAmLyimo @themkulima
Tweet media one
5
20
163
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
6 months
Fursa Nyingi Zipo Kwenye Kazi ZINAZOBOA! Watu Wengi wanapenda Sehemu zenye Burudani Wanakwepa Sehemu zinazoboa Cc @NyandaAmosi
Tweet media one
18
24
169
@msakufarm
Bwanashamba wa taifa ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
13 days
If you interested in Papaya farming LIKE and REPOST Follow @msakufarm
Tweet media one
6
39
173