NDUGU ZANGU EEH PUNGUZENI SPEED HUKU BARABARANI MNAENDA NYUMBANI KWENU MTAFIKA TU MBONA WATU HAWAOGOPI KABISA ,,
ALAFU MNAENDESHA FAMILIA NZIMA EMB TULIZENI MZUKA AISEE MTAFIKA TU
Don’t rush to find out “what you want to be when you grow up”. But when you do find out, give that goal everything you have, everyday. You will be amazed at what you can achieve.
If you've ever met me or like my music and taken a picture with me, if you post it and tag me on any social platform, I'd follow back, & if you add the number in my Bio on whatssap, send the photo, my team will add you to a private chat group we have that I'm in! Super Cool!
Ni kweli kwamba mashabiki wa Liverpool watakuwa upande wa wapinzani wao wa zamani wa Manchester United ambao wanakabiliwa na mechi dhidi ya Manchester City Jumatano hii, Je…
UBISHANI JANA MASKANI KATI YA GNAKO NA WHOZU whozu_ NANI ANA AMSHA NA MASHABIKI WA NANI WANARUKA MAGOMA YA KUJIACHIA NA WANAO JUA KUJIACHIA ZAIDI VIWANJA MZOZO MKUBWA TU 😂😂😂 NIMEONA NIULETE HAPA TUPATE MAJIBU WATU…
SIKU NJEMA AND BE GOOD KWA WENGINE HUKO KAZINI,USIINGIE KAZINI UMENUNAA MAISHA NDIO HAYA HAYA
GOO AND MAKE GOD PROUD TODAY LOVE YALL!!
#showtime
gusa link
Achana na ulinzi wa security na mabunduki ulinzi wa kwanza Kwa Familia yangu ni chandarua Salama chenye dawa cha kuwa Linda na maleria BABA GIANNA NA MAMA GIANNA ❤️❤️
MIMI NAITWA GEORGE SIXTUS MDEMU (GNAKO)(GWARAWARA)
KARIBU SANA KWENYE BIO YANGU HAPO JUU KUNA WIMBO MPYA
#EDDA
#EDDA
🔥🔥🔥. ASLAY X MAVOCO @ Arusha, Tanzania
Sisi kama vijana kwa pamoja tumeamua kuungana na kuja na Umoja huu wa magufuligang Umoja huu Nia yake kubwa ni kuyasemea yale yote mazuri Ambayo Mh. Rais wetu John Pombe Magufuli Ametufanyia sisi Watanzania.…