MASTA Profile Banner
MASTA Profile
MASTA

@AyTanzania

634,292
Followers
660
Following
3,627
Media
76,827
Statuses

Yule Remix Featuring @marioo_tz 👇🏾👇🏾👇🏾

Dar es Salaam, Tanzania
Joined April 2010
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@AyTanzania
MASTA
4 months
Chupa lishatoka YULE Remix Featuring @marioo_tz twenzetu mjini YOUTUBE Tukaenjoy
20
67
331
@AyTanzania
MASTA
3 years
Maisha Haya Dah...Father Christmas Muislamu 🤣🤣🤣🤣
Tweet media one
348
154
5K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Family... ⁦ @JideJaydee ⁩ & ⁦ @EceJay
Tweet media one
101
76
4K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Jitu Mwitu Msitu 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Kazi ndio imeanza sasa..
Tweet media one
121
148
4K
@AyTanzania
MASTA
2 months
Triple OG ni wa kunywa Yoghurt Ijumaa hii kweli? Pole sana Big Brother ⁦ @TheRealJongwe
Tweet media one
75
279
3K
@AyTanzania
MASTA
2 years
Chicago by Night...👽
Tweet media one
79
61
3K
@AyTanzania
MASTA
8 months
Ambwene & Ambwene
Tweet media one
85
141
3K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Sauti inatosha au nipunguze kidogo??
Tweet media one
111
420
3K
@AyTanzania
MASTA
10 months
✊🏿
Tweet media one
88
83
3K
@AyTanzania
MASTA
6 years
Ilikuwa siku njema kupata chakula cha jioni na BABA @RailaOdinga Karibu Tena Tanzania
Tweet media one
69
360
3K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Na ZANGBETO ⁦ @Roma_Mkatoliki
Tweet media one
37
74
3K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Moja ya tabia yangu pendwa ya miaka mingi ni KILA NIKIAMKA NASOMA BIBLIA KABLA SIJATOKA CHUMBANI KWANGU nikiwa kokote kule Duniani..Unaweza kufanya hivyo pia inafanya kupata nguvu ya ndani
85
218
3K
@AyTanzania
MASTA
2 years
Don't let the Palm Trees Fool You,Big Hommie BE SAFE...
Tweet media one
62
45
3K
@AyTanzania
MASTA
3 years
MPISHI KASONGA UGALI NA RULA..
Tweet media one
153
65
3K
@AyTanzania
MASTA
11 months
✊🏿
Tweet media one
28
63
3K
@AyTanzania
MASTA
2 years
Soso take my pain away 🎶🎶 @Omah_Lay 🔊🔊🔊🔊🔥🔥🔥
23
166
2K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Chanjo ni UAMUZI WAKO..Nimefikisha mwezi na siku 5 mpaka sasa niko POA KABISA #johnsonandjohnson
Tweet media one
162
90
2K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Congratulations WATA YU @officialalikiba kwa album KALI umetisha sana mwanangu 🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Tweet media one
28
85
2K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Kaka @Nnauye_Nape tutengeneze cheo cha Naibu Mbunge wa Jimbo la “Mtama” tumpe ADAM MCHOMVU
103
90
2K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Naitwa Jay,Ukiniita Fukara haukosei,na naishi kwa nguvu za macho siku zenyewe hazisogei- @ProfessorJayTz Best Mc wa Miaka Yote 🙌🏿🙌🏿
69
186
2K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Congratulations OG @IamJongwe__ kwa Hotel Desderia hapa Mbeya...Nakuombea ufungue na zingine mikoa mingine watu waone na kufurahia huduma zilivyo bora 🙏🏿🙏🏿🙏🏿MUCH RESPECT OG
25
142
2K
@AyTanzania
MASTA
2 years
Rest In Peace My Brother @AlbinoFulani Mtu Mwema sana Umeondoka 💔💔🕊🕊
Tweet media one
69
48
2K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Hili pozi la kwenye maua miaka ya 90 la Bwana Fareed tulijadili saa ngapi? #Tbt 2006
Tweet media one
150
55
2K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Nakupenda ❤️ @JideJaydee
Tweet media one
71
60
2K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Saturday Night Love... @JideJaydee @ecejay & @MwanaFA
Tweet media one
55
62
2K
@AyTanzania
MASTA
3 years
OLE WAKO USEME RAP UHUNI 🎵 Siku nzuri na Mheshimiwa @mwanafa
Tweet media one
96
66
2K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Mtu Mbili kama Millioni Mbili
Tweet media one
46
49
2K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Nahisi ni wakati muafaka wa kutoa kazi mpya wanangu muenjoy..au mnasemaje?
166
56
2K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Nikiwa na mdogo wangu Ccm Kirumba Mwanza alikuja kuniomba nimpe maujanja ATOKE KWENYE GAME
Tweet media one
107
62
2K
@AyTanzania
MASTA
2 years
Rest in Peace Big Hommie Yvan Buravan ....I Mourn You Till I Join You💔💔💔💔💔💔💔💔🕊🕊🕊🕊 🕊 Pumzika Kwa Amani Lil Bro #YvanBuravan Poleni sana Family na Music Industry ya Rwanda 🇷🇼 🇷🇼🇷🇼
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
35
160
2K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Wazazi wanauza Ng'ombe halafu wanapeleka Ng'ombe Shuleni 😂😂😂
129
84
2K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Liverpool ilichukua Ubingwa mara ya mwisho niko Darasa la Pili Mwembeni Primary School Musoma huko..We ulikuwa wapi na Darasa la Ngapi? Tukumbushane
253
52
2K
@AyTanzania
MASTA
5 years
Kila nikizoom nashindwa kuelewa nilivaa suruali au fuko la turubai 🤣🤣 na ndugu yangu @Sajjo na #Ibra 2001 Mbeya #19YearsAgo
Tweet media one
311
75
2K
@AyTanzania
MASTA
1 year
Watu wa Muda Uliopita,Uliopo na Ujao…. @JohMakini @MwanaFA
Tweet media one
34
73
2K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Ule msemo wa UNANIFOKEA/UNATUFOKEA nao kampuni zitaurukia sasa hivI watumie kwenye matangazo yao.. Baba Levo kama ndio aliouanzisha ni Bora akausajili kabla ya kuja kulalamika baadae..Nafikiria tu
115
55
2K
@AyTanzania
MASTA
5 years
My Son Aviel 😊
Tweet media one
91
36
2K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Aviel a.k.a Biggie Biggie... Happy Birthday my precious son! You are loved, today, tomorrow and always.
Tweet media one
108
37
2K
@AyTanzania
MASTA
5 years
Kifo cha KOBE kimeniuma mno kama kafa @MwanaFA
113
54
2K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Before & After @JohMakini x @FidQ
Tweet media one
Tweet media two
67
76
2K
@AyTanzania
MASTA
5 years
Leo ni siku ngumu sana kwangu☹️☹️☹️☹️...Mama yangu ametimiza miaka 11 sasa tangu atangulie kwenye Haki.. Nakukumbuka sana sana sana na ASANTE kwa kunipa Malezi Mazuri..Mungu Akusamehe dhambi zako Mama Yangu Roho Yako ipumzike kwa Amani 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Tweet media one
143
61
2K
@AyTanzania
MASTA
5 years
Kugombana lazima..Ila unakuwa ugomvi mfupi kama vita ya Zanzibar..Ugomvi mrefu sana dakika 20 🤣🤣🤣🤣🤣
@MwanaFA na @AyTanzania iv mlishawai ata kuzinguana tu au kupishana kauli adi kufikia atu ya kukaushiana ata kwa siku mbili tatu iv kweli? 😀
Tweet media one
Tweet media two
19
8
251
50
56
2K
@AyTanzania
MASTA
1 year
Alwatan Ubwabwa
Tweet media one
28
47
2K
@AyTanzania
MASTA
2 years
Muda wa Kisinia kabla ligi ya ⁦ @Wakazi ⁩ Vs ⁦ @Roma_Mkatoliki ⁩ uanze rasmi leo 😂😂😂😂 cc ⁦ @riqsollozzo @chrisluc5
Tweet media one
52
32
2K
@AyTanzania
MASTA
5 years
Bro @FidQ kwenye wimbo UMBO NAMBA 8 nimeuangalia weee leo sijamuona mwenye hilo umbo...Tatizo lilikuwa wapi??😷
146
45
2K
@AyTanzania
MASTA
1 year
Leo mmepambana sana @yangasc1935 Hatuwadai lolote🙌🏿🙌🏿
Tweet media one
28
72
2K
@AyTanzania
MASTA
6 years
Happy Kid..Anasmile full time
Tweet media one
46
60
2K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Tweet media one
62
35
2K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Nilijoin Twitter April 2010.. Damn Miaka 11 sasa..Baraka tele Twitter Familia 🙏🏿🙏🏿
50
47
2K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Tweet media one
132
62
2K
@AyTanzania
MASTA
2 years
Cheza Mbali na Kasheshe… Kasheshe ndio huyu hapa😂
Tweet media one
30
40
2K
@AyTanzania
MASTA
2 years
Vivian & Complex #17Years 🕊🕊🕊🕊
Tweet media one
75
86
2K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Nani anapanga thamani ya sarafu ya nchi fulani na hayo mamlaka alipewa na NANI?kuwa sarafu hii ndio kubwa na ile ndogo
153
55
2K
@AyTanzania
MASTA
11 months
Top Ten 2004 Club Bilicanas
Tweet media one
89
232
2K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Hivi kuna Rapper kutoka Pemba?nataka kusikia anavyochana😁
134
38
2K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Tweet media one
69
102
1K
@AyTanzania
MASTA
5 years
Tangu @MwanaFA na @Sallam_SK kutujulisha kama wamepatwa na Corona Virus kiukweli Kuna mitazamo ya watu wengine nimeiona online imenifanya nijiulize ...HIKI KIZAZI KINAELEKEA WAPI??MIAKA YA MBELE ITAKUWAJE??maana watu wanadhani KIKI smh..Chukueni Tahadhari Mtakufa Bure Gadamn it!!
164
101
1K
@AyTanzania
MASTA
2 years
Bongo in D to the C
Tweet media one
22
25
2K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Wakuu,Wasanii na Ma Dj's waliokuwa busy na kufanya Amapiano hapa Tanzania...mpaka Leo Nani kashaenda South Africa kuokota hela zao tujifunze biashara?😁😁😁
110
85
1K
@AyTanzania
MASTA
9 months
Bro @MwanaFA Vazi la Taifa si hili hapa,Tuokoe muda
Tweet media one
79
58
2K
@AyTanzania
MASTA
5 years
Mafanikio makubwa kwenye maisha sio kuwa na pesa nyingi..ISHI NA WATU VIZURI..Kuwa BINADAMU sio MTU
89
199
1K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Jiji la Dodoma limekua sana..Especially kwa sisi tuliowahi kuishi 90's na sasa ni vitu tofauti kabisa 🙌🏿🙌🏿Landscape kama Vegas kabisa 🔥🔥🔥Tanzania ni nzuri sana 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
88
62
1K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Yule Mshabiki wa Yanga aliyekuja kwa mbio kutoka Kigoma TFF wamemfikiria kweli?🤣🤣🤣🤣
105
38
1K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Kuna Uhusiano gani kati ya Viduku na Boda Boda
107
30
1K
@AyTanzania
MASTA
6 years
Chuma kimepatikana @FidQ All the Best
Tweet media one
68
115
1K
@AyTanzania
MASTA
5 years
Hivi ni MAHARAGE AU MAHARAGWE??🤔
233
30
1K
@AyTanzania
MASTA
9 months
@FidQ ⁩ hata hii huwezi?😁
Tweet media one
29
40
1K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Jana nilikuwa nasikiliza radio zinapiga nyimbo za maombolezo ila zote ni za zamani..Ina maana New Skool Cats wa Bongo Flava wamefocus kwenye nyimbo zenye Mahudhui ya Mapenzi zaidi na kusahau kuwa baada ya Mapenzi kuna Kifo pia?
119
76
1K
@AyTanzania
MASTA
5 years
Happy 1st Birthday My Son Aviel Yessayah ❤️❤️❤️❤️❤️
Tweet media one
40
46
1K
@AyTanzania
MASTA
3 years
MASTA x JUMA NATURE
Tweet media one
41
35
1K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Hii ni kweli mzee wangu 😁😁😁
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
3 years
Ngoma ya FA na AY - HABARI NDIO HIYO Moja ya location ya video hiyo ni viwanja vya Donbosco na ile gari jamaa aliyekuwa ana drift anaitwa Daudi. Jamaa alikuwa ana miliki magari tangu miaka ya 1997/98 huko. #MzeeWaMatangoPori #TheWalkingMedia
Tweet media one
105
41
755
99
38
1K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Kwenye HABARI NDIO HIYO watu wengi kwenye intro nilisema "COUSIN" sio Manzeeee 🤣🤣🤣
181
48
1K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Nikiwa na Mobutu Sese Seko Koko Ngbendu Wa Za Banga
Tweet media one
70
31
1K
@AyTanzania
MASTA
7 months
Mwamba,Ngosha & Masta @JohMakini @FidQ #2007
Tweet media one
33
55
1K
@AyTanzania
MASTA
5 years
Zamani ilikuwa unaweza kushona pensi kwa kitambaa cha msuli? #PensiLaKisulisuli
Tweet media one
114
50
1K
@AyTanzania
MASTA
5 years
Nimeona story ya Movie ya LION KING.Kweli Wametukosea ILA Tukumbuke Tunatengeneza wanamuziki wengi East Africa but tunafeli kutotengeneza WATU WA KUFANYA KAZI KWENYE MEDIA HOUSES KUBWA zinazopitisha MAAMUZI MAKUBWA..Hiyo Njia tunaisahau sana na tukiendelea hivyo TUTASUBIRI SANA
92
151
1K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Ulichosomea ndio unachofanyia kazi?
245
52
1K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Saturday Night Love... @jidejaydee & ⁦ @EceJay
Tweet media one
33
36
1K
@AyTanzania
MASTA
5 years
Kama maana ya CRDB ni Cooperatives Rural and Development Bank...Kwanini watu na wahusika kwenye matangazo yao wanasema CRDB “BANK”?!
207
45
1K
@AyTanzania
MASTA
2 years
The Dream Concert 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Tweet media one
15
47
1K
@AyTanzania
MASTA
6 months
Happy 102 GrandPa….Mungu azidi kukupa Maisha Marefu na Afya Tele…More Blessings 🙏🏿🙏🏿
Tweet media one
22
37
1K
@AyTanzania
MASTA
5 years
Kwenye radio nimesikia kuna sehemu inaitwa KAGONGWA KAHAMA 🤣🤣🤣🤣🤣
133
27
1K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Ndugu zangu wasanii...Kwa hiyo nyimbo za mapenzi tunaendelea kuimba mfululizo mpaka lini??
122
22
1K
@AyTanzania
MASTA
10 months
2024 inaanza na #PullUp Goma letu la January 🔥🔥🔥🔥🔥 @OfficialAliKiba @JohMakini @TazGoemi Produced by @TazGoemi Twende hapa
Tweet media one
18
78
1K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Kukaa kote Tanzania hujagundua Zanzibar hakuna Mlima?😄😄
45
32
1K
@AyTanzania
MASTA
3 years
🎶🎶These Streets🎶🎶 #NewYorkCity
Tweet media one
51
28
1K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Niko kwa Foleni ya Mbagala tangu kumi na moja na nusu mpaka sasa ndio nakaribia Kwa Aziz Ally..Shikamoo Foleni 🙌🏿🙌🏿
87
31
1K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Mgombea @MwanaFA ishakuingia kichwani au bado 🤣🤣
42
16
1K
@AyTanzania
MASTA
4 years
TMK leo na Wazee wa Kazi JUMA NATURE & DOLO Leo Hatuchomi Muhindi kwa Tochi 😁😁 Big Ting R Gwan
61
69
1K
@AyTanzania
MASTA
7 months
Katikati ya Magwiji..
Tweet media one
49
34
1K
@AyTanzania
MASTA
6 years
Mungu ni Mwema na namshukuru sana kwa kutubariki mimi na My Beautiful Wife #Remy tarehe 12.08.2018 Medical City Healthcare Dallas Texas tumepata mtoto wa kiume AVIEL maana yake GOD IS MY FATHER.... 3.9Kgs & 27 inches...Welcome to the World AVIEL YESSAYAH 🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿🙏🏿
Tweet media one
119
100
1K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Nyiiieee @MwanaFA Jana kama nilikuwa naota kumbe kweli?haya tuonane baadae 🤣🤣
18
11
1K
@AyTanzania
MASTA
2 years
Kwa hiyo Blaza umekuwa Manager wa Mandonga?
Tweet media one
32
14
1K
@AyTanzania
MASTA
5 years
Happy Birthday Cuz...Msemaji wa Kujitolea wa Simba na Man Utd@ @mwanafa Baraka na Mafanikio Tele zizidi kukushukia wewe na Familia Yako maana ukipata wewe ni Mimi nimepata pia 🙏🏿🙏🏿 Tufanye Kazi kwanza Masinema baadae 😀😀😀
Tweet media one
40
37
1K
@AyTanzania
MASTA
6 years
Dudu Baya akitaka kutisha akasajili slogan yake akidelay si mnawajua kampuni zetu za mawasiliano kwa kudandia misemo..PATA OFFER KONKI 🤣🤣🤣🤣 Mfikishieni ujumbe wangu
78
109
1K
@AyTanzania
MASTA
6 years
Hongera sana ndugu yangu @FidQ kwa kufunga ndoa Inshaalah Mwenyezi Mungu Aibariki Ndoa Yenu
Tweet media one
43
83
1K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Rick Ross na 50 Cent wanajua sana kuchagua Beats KALI MNO na kuzitumia Inavyotakiwa 🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
50
33
1K
@AyTanzania
MASTA
2 years
Hongera sana @mwanafa kwa kuaminiwa na Mama Mheshimiwa Rais @SuluhuSamia …Kafanye kazi,Kafanye Makubwa zaidi yenye Mabadiliko Makubwa na Mungu Akutangulie Bro..All the Best🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
Tweet media one
37
55
1K
@AyTanzania
MASTA
4 years
Nampenda sana jinsi alivyo.... (Yule) Nampenda sana jinsi alivyo Simple... (Yule) Nampenda sana jinsi alivyo... Ntafanyaje?? PATAMU HAPO.... #Yule
117
38
1K
@AyTanzania
MASTA
3 years
Kayumba Fc.. Mlio wa saa ngapi ulikuwa mzuri kwako?
Tweet media one
215
36
1K
@AyTanzania
MASTA
1 year
Jana Usiku 🔥🔥🔥🔥 ⁦ @OfficialAliKiba #TazGoemi @JohMakini
Tweet media one
12
33
1K
@AyTanzania
MASTA
5 years
I Miss CAMP MULLA...wako wapiiii?
81
302
1K