𝐎𝐔𝐓 𝐎𝐅 𝐓𝐇𝐄 𝐁𝐋𝐔𝐄𝐒:
Unamkumbuka huyu mwamba wa Netherland!..
..Miongoni mwa goal bora sana lililo fungwa kwenye mashindano ya kombe la dunia..
Video kwenye comments 👇
𝐎𝐔𝐓 𝐎𝐅 𝐓𝐇𝐄 𝐁𝐋𝐔𝐄𝐒:
Simba Sports Club 🇹🇿 imekamilisha usajiri wa kiungo wa mpira Debora Fernandez (24) akitokea mutondo stars ya Zambia
Debora Fernandez mwenye uraia Pacha wa Congo Brazzaville na Gaboni, amesajiriwa kwa mkataba wa miaka mitatu (3)..
𝐎𝐔𝐓 𝐎𝐅 𝐓𝐇𝐄 𝐁𝐋𝐔𝐄𝐒:
Hii ni save ambayo itakumbukwa sana katika historia ya mpira wa miguu duniani..
..Ni katika fainali ya kombe la dunia ilio wakutanisha France Vs Argentina.. je, unakumbuka ni mwaka gani?
"भविष्य"
अब तक सिंबा स्पोर्ट्स क्लब टीम ने 25 साल से कम उम्र के खिलाड़ियों को भर्ती किया है
लायंस ने युवाओं को मौका देकर एक टीम बनाने का फैसला किया है
यदि यह परियोजना अच्छी चलती है, तो इन युवाओं से बड़ी चीजों की उम्मीद करें
𝐎𝐔𝐓 𝐎𝐅 𝐓𝐇𝐄 𝐁𝐋𝐔𝐄𝐒:
"THE FUTURE"
Hadi sasa timu ya Simba Sports Club imefanya usajiri wa wachezaji chini ya umri wa miaka 25
Simba wameamua kutengeneza timu kwa kuwapa nafasi vijana
Hii project ikienda vizuri, tegemea makubwa kutoka kwa hawa vijana
Bright future