Ushindi muhimu ugenini tutajiandaa vyema kwa mechi zetu zijazo ili tufikie malengo,ahsanteni washabiki wetu kwa dua zenu na wale mliotoka TZ to Malawi sapport yenu ilikuwa kubwa sana mungu awabariki🙏🏾🦁
#Nguvumoja
Time to Relax, Nashukuru Mungu nimemaliza msimu salama, Thanks kwa fans and supporters hamkutuangusha🙏🏾, Mimi na Familia yangu tunakwenda kupumzika Dubai mpaka msimu mpya utakapoanza
@k4ssecurity
@kids_fashion__empire
@airtel_tanzania
Alhamdullilah🙏🏾 Ahsanteni sana wapambanaji wenzangu tumeonesha thaman ya kuvaa jersey ya
@simbasctanzania
,tumeonesha ukubwa wa Simba,Haikuwa rahisi ila tumepambana mpaka tone la mwisho Ahsanteni mashabiki zetu nyie ni watu muhimu kwetu🙏🏾 Inshaallah Next time tutakuwa bora zaidi
Ukimuombea kheri mwenzio Basi Mungu ataanza na ww na ukimuombea Shari mwenzio Mungu Pia ataanza na ww,Tuombeane Kheri ili shari itupitie mbali,Jumaa kareem🙏🏾🤲🏾
Leo nawapa Story fupi ya Maisha yangu! Epd1
Wakat naishi Mabibo nilikuwa nacheza mpira wa karatas Kwajina jingin Chandim🧶 Nilipew jina la Makamba ambaye Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa DAR kipind hicho Sabab kubwa ya kupewa jin hilo Nilikuwa nikicheza mpira huku Nimevaa koti la suit😀
Hatujawa na wakati mzuri kwa siku za karibuni lakini lazima tukubali kwamba yameshatokea, tumejifunza na kuchukua hatua kwenda mbele ambako safari bado ni ndefu. Umoja wetu kama ilivyo
#NguvuMoja
ni muhimu kwetu wote tukianza na leo kwa kuja uwanjani kutushangilia.
Ilikuwa mechi ngumu na kitu pekee tulichokihitaji ni ushindi ili malengo yetu yawe hai katika champions league,ahsanten kwa wote mliotuombea na wale washabiki wetu mliotoka Tanzania kuja kutusapoti mungu awabariki🙏🏾🦁
#Nguvumoja
💪🏽
Tuliweka nia na tukajiandaa kwa kila namna kuhakikisha tunashinda mchezo huu na kufuzu robo fainali. Tumeweza kwa pamoja kama familia ya Simba. Pongezi kwa kila Mwanasimba 💪
📸
@rabbihume