Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ Profile Banner
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ Profile
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰

@Mkunga_Og

66,631
Followers
1,187
Following
1,703
Media
32,730
Statuses

Midwife || A nutritionist || A Counselor || Psychological therapy || Sexual health & Reproductive expert. ๐Ÿง 

Texas, USA
Joined November 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
3 days
Iba Siri Hii na Utaongeza Urijali Wako Mara 100 Zaidi Kuna wanaume wa aina mbili . Wa kwanza ana changamoto zifuatazo . Uume umelegea, akiweka tu uume kwenye uke apo apo anamwaga,uume wake umesinyaa na umekuwa mdogo kama wa mtoto mchanga... . Mpenzi wake hachoki kumdharau,
Tweet media one
47
55
177
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
2 months
@everymovieplug Heroes..โœ…
Tweet media one
142
61
5K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
Asali Mbichi Vijiko 5 + Karanga Mbichi ยผ ๐Ÿ†๐Ÿ‘๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
153
375
4K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
14 days
@ChrisExcel102 Take it seriously broo....๐ŸคŒ
Tweet media one
17
191
3K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
Boost Homoni Yako ya Testosterone Na Natural Foods, Epuka Matumizi Ya Madawa Ya kuongeza Uume Na Nguvu Za Kiume.๐Ÿ†๐Ÿ‘ Uzi๐Ÿงต Retweet ๐Ÿ”„ Like ๐Ÿ‘Mwisho Wa Kuaibika Umefika Sasa.โš–
Tweet media one
98
472
2K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
COMBO: Karanga Mbichi + Ndizi Mbivu + Maziwa Fresh + Vitungu Swaumu + Tui La Nazi + Asali Mbichi + Tangawizi. โš– NB: BLENDING KWA PAMOJA, BLESS WANA.๐Ÿ†๐Ÿ‘
Tweet media one
145
318
2K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
Endapo utaona Bubbles au white spots kwenye nyama ya N'gombe,Mbuzi Nk. USILE IYO NYAMA ni ANIMALS TB na ni HATARI SANA. Retweet ๐Ÿ”„ KUOKOA MAISHA YA MMOJA WETU โš–๐Ÿ’Š๐Ÿค๐Ÿ™๐Ÿ“Œ๐Ÿ”จ
Tweet media one
173
1K
2K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
ZINGATIA AFYA YAKO: Asali Mbichi Vijiko 5 + Vitungu Swaumu ๐Ÿ†โš–
Tweet media one
95
195
2K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
โš ๏ธ WARNING : "Code hii ni kwa wenye Wapenzi tu, Nasio kwa wapiga puchu" Korosho 250g+ Tende 250g + Asali Mbichi Vijiko 12 + Maziwa Fresh 1 litre. ๐Ÿ†๐Ÿ’ฆ๐Ÿ‘
Tweet media one
119
314
2K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
JUICE YA BAMIA: Nunua bamia laini laini katakata vipande vidongo, Weka maji ya moto tumia 1 Glass asubuhi na jioni ๐Ÿ†๐Ÿ‘
Tweet media one
134
143
2K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
10 months
CODE: Hii Ni zaidi ya Viagra Tumia dk 45 kabla ya Game ๐Ÿ†๐Ÿ’ฆ Asali Mbichi + Kitunguu Swaumu + Habbat soda.
Tweet media one
130
245
2K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
WENGI WAMEPATA USHAURI KATIKA SWALA KUTUMIA BAMIA KWA WINGI. Uzi๐Ÿงต Leo zijuwe faida mbali mbali za bamia mwilini. ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
157
420
2K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
ZINGATIA HAYA: SIKU 15 TU UJE NA FEEDBACK. 1. Amka saa 12 Asubuhi. 2. Fanya mazoezi ya KEGEL Lisaa limoja kwa siku. 3. Oga majibaridi. 4. Kunywa lita 3 za maji kila siku. 5. Tenge mda wakupumzika, Soma vitabu. 6. Chakula cha Usiku mwisho saa 4 Kamili. 7. Pata vijiko viwili vya
169
264
2K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
6 months
Usitumie Mate wakati wa tendo, Usitumie KY Gel wakati wa tendo. Mkoroge vibamia vichanga na maji ya vuguvugu kutwa mara 2 kwa siku 15 Tu.๐Ÿ†๐Ÿ’ฆ
Tweet media one
66
115
2K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
Ndizi Mbivu+Maziwa Fresh+Asali Na Tende ๐Ÿ†๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
67
144
2K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
UKWELI NI KWAMBA, Wanawake Nao Wanajichua Au Wanapiga Punyeto Kama Wanaume Na Kitendo Hicho Kina Madhara Kiafya Kwao Kama Ilivyo Kwa Wanaume Hivyo Kukaa Kimya Bila Kulizungumzia Hili Ni Kutowatendea Haki. Uzi๐Ÿงต Retweet ๐Ÿ”„ Kwa wanaume Like ๐Ÿ‘ Kwa Wanawake.
Tweet media one
119
231
2K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
AFYA YA UUME WAKO: Mwanaume Iili Uume Wako Uwe Na Afya Itakupasa Ufanye Yafuatayo. 1. Kula vyakula vyenye zinc kama pweza, Mayai, karanga, korosho, maziwa, mbegu za mboga, vitunguu swaumu, Tende na Tikiti maji. 2. Kunywa maji mengi angalau lita mbili na nusu mpaka tatu na nusu
Tweet media one
163
254
2K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
10 months
GRANOLA: Nzuri uki tengeneza mwenyewe nyumbani Usizoee ya kununu, Nirahisi sana Ingredients zinapatikana katika soko lolote jirani nawe. 1. Ndizi mbivu, 2. Tende zakuiva, 3. Almonds, 4. Karanga Mbichi, 5. Korosho, 6. Nazi, 7. Maziwa Fresh, Nb: Utavisaga kwa pamoja
Tweet media one
86
314
2K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
JAMBO LA MUHIMU KWA WANAUME, KABLA YA KUSHIRIKI TENDO LA NDOA NA MWENZI WAKO. Hakikisha unakunywa maji ya kutosha ili baada ya Tendo la ndoa Uende kukojoa Ili kuondoa mabaki ya Shahawa kwenye njia ya mkojo; Mbegu zinazobaki kwenye njia ya mkojo huganda na kutengeneza acid
Tweet media one
116
175
2K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
9 months
Hakikisha Una Kula Ndizi Mbivu Moja + Tango moja, Kilasiku Nusu Saa Baada Ya Chakula Cha Usiku. Matango Yana Sifika Kuwa Na Antioxidants Kwa Wingi, Ambayo Husaidia Katika Cells Zako Za Mwili Ikiwepo Sperm cells, NB: Kumbuka Ili Uwe Na Uwezo Wakutungisha Mimba Nilazima Uwe Na
Tweet media one
46
225
2K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
5 months
CODE: Hii Ni zaidi ya Viagra Tumia dk 45 kabla ya Game ๐Ÿ†๐Ÿ’ฆ Asali Mbichi + Kitunguu Swaumu + Habbat soda.
Tweet media one
74
164
2K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
CODE: Piga 1 Glass Dak 30 Kabla Ya Game, Husaidia Mzunguko Imara Wa Damu.๐Ÿ†๐Ÿ‘ CHEMSHA: Karafuu + Tangawizi + Asali Mbichi.โš–
Tweet media one
68
178
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
WANAUME EEH..!!! HII YAKWETU SOTE. JE..? Wewe Ni Muhathirika Wa Punyeto, Unawahi Kufika Kileleni, Uume Kusimama Legelege Na Kukosa Kabisa Hamu Ya Tendo La Ndoa. 1. Hakikisha Una Lala masaa yakutosha kila Siku yasiyopungua 7 - 8 Kwa Siku. 2. Kunywa maji ya kutosha kulingana
Tweet media one
113
275
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
Baada Ya Makala Ya Mazoezi Ya. "KEGEL" ๐Ÿ‹โ€โ™‚๏ธ Yupo Kijana Alie Kuwa Serious Bila Kupuuza Sasa Kanufika, Kaja Na Mrejesho.๐Ÿ’ฏ Acha Punyeto Anza Mazoezi, Ondoa Aibu Unayo pitia, "VIDEO KWENYE COMMENT" ๐Ÿ†๐Ÿ‘
Tweet media one
85
161
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
WANAUME MADINI HAYA HAPA ZINGATIA: Moja Ya Sifa Ya Mwanaume Kamili Ni Uwezo Wake Wa Kumkojoza Mwanamke kisawa sawa, Mwanaume Akipoteza Sifa Hiyo Inatosha Kumfanya Adharaulike Na Hata Yeye Mwenyewe Kutokujiamini. Uzi ๐Ÿงต RETWEET ๐Ÿ”„ KUOKOA WALIOWENGI KATIKA AIBU.
Tweet media one
80
212
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
7 months
CODE: Hii Ni zaidi ya Viagra Tumia dk 45 kabla ya Game, Epuka matumizi ya Viagra ishi Katika uhalisia. Asali Mbichi+ Vitunguu Swaumu+ Habat soda.๐Ÿ†๐Ÿ’ฆ
Tweet media one
69
162
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
9 months
FOLENI LA U.T.I ๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰ Umeelewa nini kupitia picha hii.?? Nasoma comments. ๐Ÿ˜„๐Ÿ™Œ
Tweet media one
154
91
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
5 months
Asali ยผ + Karanga Mbichi ยผ ๐Ÿ†๐Ÿ’ฆ, Pata Angalau Mara 3 kwa wiki๐Ÿ‘!
Tweet media one
34
95
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
8 months
Alafu Sasa Mseme Sija Wasanua Hii Code Nyepesi Msimu Huu Wa Mvua...โœ๐Ÿป Chemsha dk 15 Pata Glas Moja Asubuhi Na Usiku Baada Ya Mazoezi Ya Kegel.๐Ÿ†๐Ÿ’ฆ
Tweet media one
92
137
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
FAHAMU AINA YA VYAKULA MUHIMU VYAKU ONGEA HOMONI YA TESTOSTERONE KWA WANAUME. ใ€‹Rudisha heshima ya ndoa yako sasa, kwakula vyakula hivi vyenye madini ya kutosha. Uzi ๐Ÿงต Muhimu sana kwako.โœ Retweet ๐Ÿ™
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
107
404
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
2 months
VYAKULA VYA ASILI VYA KUBOOST HORMONE ZA KIUME & NGUVU ZAKIUME KWA HARAKA ZAIDI. Nikitambo sana sija toa uzi wa Afya, nipe nafasi yako leo ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
35
221
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
9 months
Homa ya Ini Ni Ugonjwa Hatari, Zipo Aina Kuu 5 Za Virusi Vya Ugonjwa Wa Homa Ya Ini, "Hepatitis A, B, C, D, na E" ๐Ÿ‘‡ Leo nitazungumzia aina moja, ambayo ni hatari sana "Hepatitis B" Ni maambukizi ya virusi vijulikanavyo kama hepatitis B virusi (HBV), Virusi vya hepatitis B
Tweet media one
114
262
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
3 months
1. Tumia sanitizer ya mikono au osha mikono yako kabla ya kumgusa mtoto mchanga, hata kama ni mtoto wako mwenyewe. 2. Usimpatie pesa mtoto wachanga, aweza kunyonya vidole vyake baada ya kugusa pesa au hata kuziweka mdomoni. 3. Usimvishe viatu vya kubana watoto, inaweza
Tweet media one
59
287
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
9 months
"Epuka Imani Potofu, Epuka Imani Potofu" Usimkatae mwanao pindi atakapo zaliwa na white stuff, Wengi wanafikiria kwamba hutokana na kamwagiwa ndani katika kipindi cha Ujauzito, Nikutoe hofu, Kitaalamu hujulikana kama "Vernix Caseosa" Ni hali ya kawaida na hutokea kwa wanawake
Tweet media one
68
182
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
4 months
VYAKULA VYA KUONGEZA NGUVU ZAKIUME KWA HARAKA ZAIDI Nikitambo sana sija toa uzi wa Afya, nipe nafasi yako leo ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
30
214
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
6 months
ZINGATIA AFYA YAKO NA NATURAL FOODS ONLY: Asali Mbichi Vijiko 5 + Vitungu Swaumu ๐Ÿ†๐Ÿ’ฆ
Tweet media one
44
97
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
8 months
Tafuna Punje 3 Kabla Ya Kulala, Na Punje 2 Kabla Ya Game, Jumla Zitakuwa Punje 5 Kwa Siku..๐Ÿ†๐Ÿ’ฆ
Tweet media one
62
91
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
24 days
CODE: Hii Ni zaidi ya Viagra Tumia dk 45 kabla ya Game ๐Ÿ†๐Ÿ’ฆ Korosho + Almonds + Tende + Ndizi Mbivu + Maziwa Fresh.
Tweet media one
Tweet media two
44
138
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
Magonjwa Ya Mfumo Wa Upumuaji Nitatizo kubwa Nowadays. "Chronic obstruction pulimonary diseases" Pafu moja la shisha, Ile In Out, nisawa na sigara 12. Usijifariji na flavour za kwenye shisha, We tambua tu unajitafuna mwenyewe. Hospital oxygen 10 Litre sio chini ya 30k ..
Tweet media one
87
148
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
10 months
Kila nikishika Glas ya maziwa, Ili ninywe huwa nakumbuka tips ya Mfalme usinywe maziwa yana pelekea (inflammatory disease). Naile "Usinywe maziwa wewe sio ndama mfame". Aloooh ๐Ÿ˜๐Ÿ™Œ
Tweet media one
145
63
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
10 months
COMBO: Korosho+ Karanga Mbichi+ Ndizi Mbivu+ Parachichi+ Asali Mbichi+ Maziwa Fresh+ Tangawizi. Blending Kwa pamoja, Piga Bakuli 1 Kilasiku Saa 5 Usiku. ๐Ÿ† ๐Ÿ‘ ๐Ÿ’ฆ
Tweet media one
111
182
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
TATIZO LA WANAWAKE WENGI NI UKE MKAVU: Iwapo mwanamke au mke wako anasumbuliwa na tatizo la kukosa ute ute katika uke. TUMIA NJIA HII RAHISI KABISA. Chukua Bamia Zako Uzikatekate Katika Vipande Vidogo Vidogo Kisha Uviloweke Katika Maji Vugu vugu kwa masaa matatu, Tumia kutwa
Tweet media one
80
158
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
ORAL SEX (MAPENZI KWA NJIA YA MDOMO). "Hujulikana kama kuzama chumvini" Uzi๐Ÿงต Wanaume wanaoshiriki mapenzi kwa njia ya mdomo wapo hatarini kiafya zaidi kuliko wanawake. ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
171
197
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
MIFUMO YA MWILI INAYOTAWALA PERFORMANCE YAKO KITANDANI ๐Ÿ†๐Ÿ‘ Uzi๐Ÿงต Retweet ๐Ÿ”„ Kuokoa Ndoa Ya Mmoja Wetuโš–๐Ÿ’‰๐Ÿ’Š Mwili Wa Binadamu Umegawanyika Katika Mifumo Mbalimbali, Ili Mwanaume Uwe Vizuri katika Tendo la ndoa, Nilazima Uwe Na Afya Njema Katika Mifumo Ifuatavyo:
Tweet media one
49
182
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
JE..?? WAFAHAMU: Wapo Wale Walio Na Imani Potofu Kwamba Mtoto Akizaliwa NA White Stuff, Ni Kwamba Alimwagiwa Ndani Wakati Wa ujauzito. Kitaalamu Hujulikana Kwama (Vernix Caseosa) Ni Hali Yakwaida Na Hutokea Kwa Wanawake Wachache.
Tweet media one
50
97
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
10 months
HELLO ๐Ÿ‘‹ UNGA WA MBEGU ZA MABOGA + ASALI MBICHI NI MKONGO PLUS ๐Ÿ†๐Ÿ‘
Tweet media one
57
112
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
BLENDING: Tende Laini + Nazi + Korosho +Maziwa + Ndizi Mbivu. CODE: Piga 1 Glass kilasiku Saa 5 Usiku ๐Ÿ’ช๐Ÿ†๐Ÿ‘
Tweet media one
46
158
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
Mambo ya muhimu "MWANAUME" kuzingatia kila siku. Amka saa 12 Asubuhi. Oga majibaridi. Fanya mazoezi ya KEGEL Lisaa limoja kwa siku. Kunywa lita 3 za maji kila siku. Pata vijiko viwili vya Asali kila siku kabla yaku lala. Lala Angalau masaa 7-8 kilasiku. Lala uchi, Epuka
125
162
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
2 years
MENO KUTOBOKA (DENTAL CAVITY ) Zifahamu Dalili, Sababu, wanao Adhirika zaidi, na Hatua zakufwata kuzuia meno kutoboka. Uzi๐Ÿงต Retweet๐Ÿ”„ LAKE๐Ÿ‘ Torn on notification๐Ÿ””. ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
120
435
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
3 months
VYAKULA VYA ASILI VYA KUBOOST HORMONE ZA KIUME & NGUVU ZAKIUME KWA HARAKA ZAIDI. Nikitambo sana sija toa uzi wa Afya, nipe nafasi yako leo ๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
36
182
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
SELF TESTING (HIV-ST): Vipimo Hivi Vya Kujipima Mwenyewe Havitoi Majibu Ya Uhakika Kwa Walioathirika Bali Huto Majibu Sahihi Kwa Wasioathirika. ใ€‹ Maana yake ni kuwa, ikiwa majibu yatakuwa POSITIVE, hiyo ina maana kuna uwezekano wa kuwepo kwa maambukizi, (KUATHIRIKA), "lakini si
Tweet media one
82
107
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
Eti Nasikia kitovu Kikikatika Nakudongokea Kwenye Sehemu Za Siri Za Mtoto Wa Kiume Hasimamishi Maisha Yake Yote. JE..!? Kuna Ukweli Wowote Juu Yahili Au Ni Imani Potofu Tuu..๐Ÿค”
Tweet media one
260
83
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
JE!!! WEWE UNAJUWA UREFU NA UNENE WA UUME WAKO AU UUME WA MPENZI WAKO..?? Urefu wa wastani wa uume ulio lala ni kati ya inchi 3.4 hadi 3.7 ni sawa na (8.6 cm hadi 9.3 cm) Urefu wa uume ulio simama ni kati ya inchi 5.1 hadi 5.7 ni sawa na (12.9cm hadi 14.5cm) Wastani wa
Tweet media one
Tweet media two
77
150
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
BAO MSHINDO LENYE DAMU: Yawezakuwa usha wahikutana na hali hii au ndiyo unasikia leo, Damu kwenye shahawa, Halihiyo kitaalamu hujilikana kama, "HAEMATOSPERMIA" Uzi๐Ÿงต Retweet ๐Ÿ”„ like ๐Ÿ‘ Kuokoa Familia ya Kijana Mmoja. [1/3]
Tweet media one
49
126
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
2 years
UFAHAMU KWAUNDANI UGONJWA WA TETANUS. UZI ๐Ÿงต RETWEET ๐Ÿ”„ TUOKOE MAISHA YA MMOJA WETU.๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ’Š๐Ÿฉบ Mada yetu ya leo itauchambua ugonjwa huu wa tetanus ili uweze kujua chanzo cha tetanus, dalili zake, tiba au kinga ya tetanus. Bila kupoteza muda, tuanze mara moja.
Tweet media one
106
475
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
9 months
Leo nikupe elimu juu ya vidonda vya tumbo kitaalamu hujulikana kama (Peptic ulcer) Ni ile hali yakua na vidonda kwenye eneo la tumbo au sehemu ya kwanza ya utumbo mdogo, Dalili kuu ni kuhisi kuungua sehemu ya juu ya tumbo maratu baada ya kula, Dalili zingine ni tumbo kujaa gesi
Tweet media one
77
208
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
10 months
Fahamu ukwelii juu ya maumbile ya mwanaume na kumfikisha mwanamke kileleni. JE..?? Umesha wai jiuliza ni stamina au size ya uume humfanya mwanamke afurahie zaidi tendo..?? Uzi๐Ÿงต
Tweet media one
50
112
1K
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
7 months
Zipo njia nyingi za uzazi wa mpango, Njia za asili zisizo na vichocheo. (Non hormonal contraceptive methods) Na zile njia za kisasa za uzazi wa mpango. Tumeona ndoto kibao zawana zimeharibika kwa raha ya sekunde tatu Tu..!!!
Tweet media one
74
66
989
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
9 months
Wengi tumekuwa tukisikia neo "OBESITY" Na tunapuuzia, Ngoja leo nikufungue akili, Hivi Unafahamu kuwa tatizo la Obesity lina sababisha magonjwa mbalimbali katika mwili wako....? Twende pamoja nami..โœ Mafuta yakizidi mwilini hasa maeneo ya tumboni (Obesity), Husababisha mshipa
Tweet media one
68
156
990
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
7 months
Fahamu Kwa Undani Ugonjwa Wa Tetanus (Pepopunda). Mada yetu ya leo itauchambua ugonjwa huu wa tetanus ili uweze kujua chanzo cha tetanus, dalili zake, tiba au kinga ya tetanus. Bila kupoteza muda, tuanze mara moja. ใ€‹Tetanus Ni Nini? Tetanus ni ugonjwa mkali, ambao mara nyingi
Tweet media one
26
217
960
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
9 months
Usijaribu Kushiriki Mapenzi Katika Kipindi Cha Hedhi, Nimepokea Case Nyingi Za Madhara Ya Kushiriki Tendo La Ndoa Kipindi Cha Hedhi. ๐Ÿ‘‡ Kitendo cha kushiriki tendo kipindi cha hedhi kina madhara makubwa kwa wanaume na wanawake, Twende pamoja.โœ Matatizo ya tezi dume "
Tweet media one
146
157
956
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
10 months
UKE KUJAMBA: Ni ile hali ya kutoka kwa gesi iliyo jikusanya kwenye uke, Twende tukaone sababu na Jinsi ya kutatua tatizo hili...โœ Uzi๐Ÿงต
Tweet media one
44
84
955
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
UUME MKUBWA Ni Kisabashi Cha Michubuko Kwenye Mlango Wa Kizazi (CERVIX) Saizi ya kawaida ya uume ni katiya inches 5.1 - 5.5 ni sawa na CM 12.95-13.97, kulingana na maumbile ya mwanamke, Kupenya kwa kina kwa uume wakati wa kujamiiana kunaweza kufikia mlango wa kizazi na ku
Tweet media one
113
88
955
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
6 months
SIRI 12 ZA KULA SUPU YA BAMIA. 1. Kurekebisha mabadiliko ya homoni (Hormones imbalance) 2. Kuzuia vidonda vya tumbo. 3. Kurekebisha kiwango cha sukari kwenye damu. 4. Nzuri kwa wajawazito kwa afya ya mtoto. 5. Nzuri kwa wanawake wenye uke mkavu. 6. Kusaidia kupunguza uzito.
Tweet media one
77
195
960
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
9 months
Amka saa 12 asubuhi, pata glas moja ya maji ya vuguvugu yenye kiasi kidogo cha limao, Fanya mazoezi ya "Kegel" dk 30 tu. Husaidia kupunguza mafuta katika mishipa ya damu na tumbo, kuimarisha afya ya figo na moyo, pamoja na kusaidia kuanzishwa kwa kimetaboliki katika mwili wako,
Tweet media one
53
156
959
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
9 months
Sababu Zinazo Pelekea Shahawa Nyepesi Na Idadi Ndogo Ya Manii "Low perm count". ใ€‹Kwakawaida ili mwanaume awezekumpa mwanamke mimba anatakiwa kutoa kiasi cha mbegu kati ya 15M hadi 300M, Per Milliliter of Semen. ใ€‹Mwanaume akiwa na Shahawa nyepesi ni kiashiria cha mbegu kuwa
Tweet media one
83
144
959
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
3 months
Kumwaga manii nje, au kile kinachojulikana kama "withdrawal method" au "pulling out," ni njia ya uzazi wa mpango ambapo mwanaume anaondoa uume kutoka kwenye uke kabla ya kutoa manii (kufika kileleni). Ingawa njia hii sirahisi kama wengi wanavyo fikiri, haifai sana kwa sababu
Tweet media one
384
110
959
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
MAMBO MUHIMU YAKUZINGATIA WEEKEND HII. ใ€‹Usinywe pombe kupita kiasi, Au nivyema Usinywe kabisa. ใ€‹Epuka ngono zembe, Dumisha afya yako, Jikinge na magonjwa ya zinaa. ใ€‹Fanya Mazoezi ya mwili, Hasa yale ya Kegel ni muhimu kwa afya yako. ใ€‹Pumzisha akili yako, Kwa mihangiko ya
Tweet media one
53
75
956
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
3 months
HUTOAMBIWA VYOTE: Maji lita 1 nususaa kabla ya show... Ukimaliza first round, Urinate kisha osha kichwa na maji baridi, Rudi kwenye game...๐Ÿ’ฆ
46
109
959
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
Watu wa Fitness Ivi hiki Kigari huwa kina maliza kwelii kitambi,, Maana week sasa bila mabadiliko yeyote. MSAADA TAFADHALI ๐Ÿฅบ๐Ÿฅฑ
Tweet media one
158
35
941
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
FAHAMU CHANZO NA DALILI, ZA MAWE KWENYE FIGO (KIDNEY STONES). Uzi๐Ÿงต Retweet ๐Ÿ”„ kuokoa maisha ya mmoja wetu.. โœ
Tweet media one
42
237
936
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
9 months
Tazama picha hii kwa umakini kisha eliezea kwa ufupi ulicho kielewa..???๐Ÿค”
Tweet media one
83
61
938
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
SABABU ZINAZOPELEKEA UKE KUTOA HARUFU MBAYA WAKATI WA KUSEX. Uzi ๐Ÿงต Retweet ๐Ÿ”„ kuokoa Ndoa Ya Mmoja Wetu. ๐Ÿ†๐Ÿ‘ Wanaume wengi wanatoka mchezoni sio kwamba wana tatizo la nguvu za kiume hapana, Kunuka K*M* ni moja ya sababu inayo mpelekea mwanaume kushindwa endelea na tendo,
Tweet media one
52
171
937
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
9 months
Wapo wanaume wengi wanao tumia pesa mingi kununua Booster za kuongeza nguvu zakiume na uume, Pasipo mafanikio yeyote. Huku wengi wakisahau kuwa vyakula vya Asali ni chanzo kizuri cha vitamini na virutubisho muhimu katika mwili, Ngoja nikusanue jambo usilo lifahamu katika mwili
Tweet media one
Tweet media two
46
135
922
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
HATUA NNE ZA KUFUATA IWAPO KONDOMU IMEPASUKA: Uzi ๐Ÿงต Wamuhimu Sana huu,, Wengi Wanachukulia Poa Swala Hili. Retweet ๐Ÿ”„ like ๐Ÿ‘ Twendepamoja kijana wangu ๐Ÿคโš–
Tweet media one
38
141
910
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
JUICE YA LIMAO (LIME): Ina faida kadhaa katika afya, ikiwa ni pamoja na kutoa virutubisho muhimu kama vile vitamini C, folate, na antioxidants. Husaidia kuimarisha mfumo wa kinga za mwili, husaidia katika digestion system, kuboresha afya ya ngozi, Pamoja na kusaidia katika
Tweet media one
29
100
913
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
AFYA BORA YA KINYWA NA MENO: Zifahamu Dalili, Sababu za meno Kutoboka, Na Hatu Zakufwata Kuzuia Meno Kutoboka. Uzi๐Ÿงต
Tweet media one
Tweet media two
29
173
910
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 month
@city_digest Spend two minutes worshiping God for the life and breath he gave birth to.. ๐Ÿ™๐Ÿฉบ
Tweet media one
25
39
913
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
10 months
Baada Yakuona Madhara Ya Punyeto Katika Makala Ya Jana. Twende Tukaone Namna Ya Kuacha Punyeto. Uzii๐Ÿงต Zifuatazo ni njia rahizi zakuweza kuacha punyeto endapo utakuwa mwaminifu, Kufuata kile nitakacho kuelekeza. Maaana Ni Njia Ambazo zimewasaidia Vijana Wengi.
Tweet media one
85
129
883
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
๐—›ORMONE YA ๐—ง๐—˜๐—ฆ๐—ง๐—ข๐—ฆ๐—ง๐—˜๐—ฅ๐—ข๐—ก๐—˜: Kichocheo hiki ndio silaha ya mwanaume kwani ndicho kichocheo ambacho kinakufanya uwe na sifa zote za kiume na ndicho kichocheo ambacho kinakufanya uwe imara katika tendo la ndoa na tezi dume pia. Ni homoni muhimu katika afya ya mwanaume
Tweet media one
56
114
888
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
2 months
GHARAMA ZA MATIBABU YA UUME ULIOVUNJIKA SIO CHINI YA 6M HAPA TZ. Tunapo Sema Kuvunjika Kwa Uume Huwa Tuna Maanisha Hivi. "MWANAUME KUA MAKINI WAKATI WA TENDO LA NDOA" ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
113
91
870
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
9 months
NGOJA NIKUJIZE JAMBO MOJA: Ivi ushajiuliza ni stamina ya mwanaume wakati wa tendo ndiyo inayo pelekea kuridhika kwa mwanamke, au ni saizi ya uume more than 6 inches ndiyo inapelekea kuridhika, Kama jibu ni saizi ya uume, what if uume mkubwa lakini mwanaume hana stamina, Yaan
Tweet media one
67
55
869
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
3 months
UZITO CHALLENGE: Taja Urefu in cm/inch na Uzito wako (Kg), Nikushauri Juu ya hali yako ya lishe. BODY MASS INDEX (BMI)...๐Ÿ‘‡
Tweet media one
662
80
861
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 months
Kuzama Chumvini Ni Sawa Na Kusukutua Kwa Kinywa Kwa Maji Ya Battery, Tafuta Njia Nyingine Ya kumfikisha Kileleni, Nasio Upuuzi huu. Saratani Ya Koo Haitokuacha Salama Kwani, Huathiri sehemu za mdomoni, katika koo la hewa, la sauti (vocal cord) na la chakula (esophagus).
Tweet media one
83
72
867
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
[CODE YA LEO] 1. Maziwa ya mbuzi nusu lita 2. Tende punje 7 3.Asali vijiko 5 vya chakula 4. Mdalasini kijiko 1 cha chai 5. Iliki kijiko 1 cha chai 6.lkasusu kijiko kidogo NA 7.Albat soda ใ€‹Blending kwa pamoja, Piga 1 glass Asubuhi na jioni siku 14 โ™ฃ๏ธUJE NA FEEDBACK DM๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
Tweet media one
Tweet media two
112
193
844
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
MWANAUME: Kuacha Tabia Ya Punyeto Ni Jambo Linalowezekana, Lakini Linahitaji Maamuzi, Jitihada na Kujitolea. Uzi๐Ÿงต Retweet ๐Ÿ”„ kumnasua Mpiga nyeto mmoja๐Ÿ‘๐Ÿ†. JE..!! USHA JIULIZA UFANYE NINI ILIUACHE KABISA NA PUNYETO..?? KILASIKU "HII YA MWISHO" PASIPO MAFANIKIO.
Tweet media one
79
108
843
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
SABABU KUU 5 ZINAZOPELEKEA MBEGU ZA MWANAUME KUSHINDWA KUTUNGISHA MIMBA: 1. Uvutaji Wa Sigara Na Matumizi Ya Pombe Kupita Kiasi. 2. Madhara Ya Saratani Ya Tezi Dume Na Matibabu Yake. (UPASUAJI) 3. Magonjwa Sugu Ya Zinaa (Sexually Transmitted Infections). 4. Matatizo Katika
Tweet media one
80
81
853
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
3 months
HILIJAMBO NIHATARI SANA KWA AFYA YA JAMII HUSIKA.... Tazama kiwanda bandia cha bonite kinavyo fanya kazi kutengeneza soda,, NIHATARI.. VIDEO CHINI..๐ŸŽฌ๐Ÿฅบ๐Ÿ’”๐Ÿ™Œ
Tweet media one
Tweet media two
105
83
852
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 month
@We_Teach_Sex Amen ๐Ÿ™
Tweet media one
15
31
857
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
2 years
FAHAMU DAWA AMBAZO ZINA WEZA KUWA HATARI KWAKO. Uzi ๐Ÿงต Retweet ๐Ÿ”„ ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
55
220
816
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
KUNA UHUSIANO MKUBWA KATI YA MADINI YA ZINC NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME. Uzi๐Ÿงต Tufahamu umuhimu wa madini ya zinc, vyanzo na Faida katika miili yetu. ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
48
187
827
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
MWANAUME: Epuka utumiaji wa madawa ya kuongeza nguvu zakiume Viagra, Mkongo, N.k Ungali bado kijana na huna matatzo yeyote yakiafya. FANYA MAZOEZI HUSUSANI YA "KEGEL" KULA LISHE BORA.๐Ÿ’ช๐Ÿ†
Tweet media one
49
83
827
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
CHANZO AU SABABU 5 KUU ZA KUWAHI KUFIKA KILELENI KWA WANAUME: (PREMATURE EJACULATION) 1. Kupiga Punyeto Au Kujichua, (masturbation). 2. Kukaa Muda Mrefu Bila Kushiriki Tendo La Ndoa. 3. Kuwa Na Wasiwasi Wakati Wa Tendo La Ndoa. 4. Madhara Ya Dawa Zinazofanya Kazi Kwenye
Tweet media one
84
76
815
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
1 year
Mambo Ya Muhimu Kuzingatia Katika Maisha Ya Kila Siku. Uzi๐Ÿงต 1.JIAMINI Mafanikio ya kweli yanaanza na wewe. Hivyo, kujiamini ni msingi mzuri utakaokufanya utambue uwezo wako katika kufanya jambo fulani. AMINI UWEZO WA KUFANYA JAMBO LOLOTE UKO MIKONONI MWAKO..โœ
Tweet media one
70
201
812
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
10 months
JE...!? Usha kumbana na tatizo la shahawa nyepesi, Bila kujua Sababu, Na kipi chakufanya kuimarisha ubora na uwingi wa shahawa.(Low sperm count) Uzii ๐Ÿงต Bookmark, Retweet ๐Ÿ”„ Kuokoa Familia ya Mmoja.
Tweet media one
41
127
806
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
2 months
Kunawatu wanakula Bacteria H- pylori Pasipo kujuwa, Kwakusema ndizi haikai wadudu. Sawa unakula matunda hatukatai JE...? Katika haligani ya kiafya...? HEALTH CHANNING: Ndizi ๐ŸŒIpi ninzuri kwa matumizi...??
Tweet media one
142
60
820
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
5 months
Aina kuu 5 ya vyakula (Natural Foods) vitakavyo booster hormone yako ya kiume (Testosterone). Uzi ๐Ÿงต Repost ๐Ÿ”„ Okoa afya ya uzazi ya kijana mmoja. 1. Pweza na supu yake. Wanayo madini aina ya zinc kwa wingii, huzalisha vichocheo muhimu katika afya ya uzazi, kwa ku booster
Tweet media one
15
148
802
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
9 months
Matumizi ya p2 mara kwa mara hupelekea ugumba p2 au Postinor-2, Dawa hi hutumika kwa dharula tu, Vidoge hivi havitakiwi kutumika mara kwa mara kama njia ya uzazi wa mpango kwa kuzuia mimba kwani ni hatari kwa afya yako, Ukweli ni kwamba p2 ni dawa ambayo inategenezwa na
Tweet media one
28
115
793
@Mkunga_Og
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
10 months
Zifuatazo Ni Dalili Saba (7) Za Upungufu Wa Nguvu Za Kiume. Uzi๐Ÿงต 1. Kutokuwa na uwezo wa kurudia tendo la ndoa zaidi ya mara moja, Mwanaume mwenye changamoto ya upungufu wa nguvu za kiume akishakamilisha bao la kwanza basi anakua hana uwezo tena wa kuendelea na mabao mengine,
Tweet media one
71
85
780