Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Profile Banner
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Profile
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@chendex255

4,855
Followers
2,364
Following
577
Media
45,149
Statuses

Manchester united & simba fc, #joblessHQ Maisha ni kutafuta na sio kutafutana โ›”๏ธ (โ™•๏ธŽ)

Dodoma, Tanzania
Joined December 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
Pinned Tweet
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Kutana na unju bin unuq.๐Ÿ‘‡๐Ÿพ Unaambiwa huyu jamaa unju bin unuq alikua ni mkazi wa pwani. Huyu unju alikua na nambo ya ajabu, moja ya mambo ya ajabu ya mtu huyu ni urefu wake, inasadikika unju alikua na urefu mkubwa ulioweza kumfanya atembee baharini na miguu yake kugusa chini.
Tweet media one
212
82
542
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Kuna muda mwingine maugomvi yasiyo na kichwa wala miguu huwa hayana maana, kama uyo rasta alivoingia choo cha kike ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚angalia video chini ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Tweet media one
95
46
986
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Jamaa alijukuta mwana mazingaombwe kilichomkuta ๐Ÿ™Œ๐Ÿพ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ™Œ๐Ÿพ angalia video chini ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Tweet media one
173
70
997
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 months
Mzigo ndo umefika magetoni sasa hiviโ€ฆ. Kushinda njaa labda kipindi cha kwaresma๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
63
81
932
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Hii picha ilipigwa mwaka 1973 kipindi bob marey akimfundisha pele kuvuta bangi.
Tweet media one
34
52
508
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
66
85
464
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
โ€œHello fundiโ€ฆ imeandika check engine na tumeangalia engine ipoโ€ ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
24
42
375
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Si muweke handle zenu izo tuwafollow wakuuโ€ฆ.๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Tweet media one
155
58
356
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Weka handle mzee tukufollow mkuuโ€ฆ
Tweet media one
160
53
329
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
โ€œYale ma brich sawa tungevumiliaโ€ฆ Ila yale matattoo kama lil wayne hapana kwa kweliโ€ฆโ€
Tweet media one
17
32
282
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 months
Unaruka na yupi , Wa mbele au wa nyuma ๐Ÿ˜?
Tweet media one
76
26
210
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Kama uko free shusha handle yako tukufollow.
Tweet media one
128
63
200
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 months
Mara yako ya mwisho kupima ukimwi ilikua lini ?
Tweet media one
53
23
193
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Tuongee sasa ule ukweli ngoma ipi ni balaa..๐Ÿ‘‡๐Ÿพ A Or B
Tweet media one
Tweet media two
76
44
192
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Nimekutana na chapati zilizochanganywa na maparachichi huku mbeya, kweli wanyakyusa huwaambii kitu kwenye swala zima la maparachichi aseeh ๐Ÿ˜…
Tweet media one
18
28
178
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 months
Msaada kidogo,,, Ivi ni biashara gan unaweza kuanzisha kwa mtaji mdogo ila faidi yake ni kubwa โ€ฆ.?
Tweet media one
47
33
174
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Kabla hujalala emu shusha handles tukufolo chap chapโ€ฆ.
Tweet media one
85
38
166
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Unaishi na yupi, Kushoto au kulia ๐Ÿ˜
Tweet media one
62
18
168
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Mungu abariki siku yako ya leo na tusirudi mikono mitupu makwetu๐Ÿ™๐Ÿพ Good morning fam ๐Ÿ‘‹๐Ÿพ
Tweet media one
23
43
162
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
โ€œSawa najua kuna mafuriko, ila unakuja au hauji ?โ€ ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
20
41
165
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Mungu abariki hustle zetu.. Good morning fam ๐Ÿ‘‹๐Ÿพ
Tweet media one
26
37
149
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Leo yanga akifungwa tunalewa sisi kama wanasimba, akishinda pia tunalewa sisi kama watanzania ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
14
27
144
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
0
0
127
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Mwenyezi Mungu abless hustle zetu mwanzo huu wa week, tusirud mikono mitupu makwetu ๐Ÿ™๐Ÿพ Good morning twitter family
Tweet media one
15
30
134
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
kuna huyu mtoto ananiitanga uncle kwa mtaani, juzi babake amekuja na nikaalikwa kupata chakula kama kawaida. Nikitaka kutoka kwenda kwangu mtoto akasema "uncle leo hulali na sisi"๐Ÿ’”, ndo nimeamka leo I'm feeling better ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ’”
15
27
131
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Mimi na bebi wangu tushaamka kwaajili ya kuteseka, wewe uko single na bado upo kitandani mpka saiv, unaraha gan? ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… Anyway good morning wapambani wenzangu ๐Ÿ‘‹๐Ÿพ
Tweet media one
17
12
135
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Sema kina dada huwaga na majaribu sana, ungekua wewe ni huyo jamaa ungechukua maamuzi gani๐Ÿ˜? Video kwenye comment apo ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Tweet media one
27
19
119
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Unaambiwa cr7 apo mkononi amevaa si chini ya M60 ya kibongo, huku ikielezwa iyo hela anaingiza ndani ya dakika 60 tuu. Haya ndo mambo ya education is better than money ๐Ÿ˜…
Tweet media one
Tweet media two
18
38
121
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Mwalimu: nimeongeza marks 20 kwa kila mwanafunzi. Mimi na wanangu tukiwa na tumepata 23 ๐Ÿ˜…
Tweet media one
3
19
122
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
โ€œBoss ingia WhatsApp kuna picha nimekutumia โ€ ๐Ÿ˜…
Tweet media one
24
24
122
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Leo yanga anakufa hizo, tena kipindi cha kwanza tuuโ€ฆ..๐Ÿ˜… afu shughuli inakua imeisha apo.
Tweet media one
23
21
119
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
0
2
105
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
0
0
107
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Wakati wa Mungu ndo wakati sahihi. Good morning hustlers and winners.๐Ÿ‘‹๐Ÿพ
Tweet media one
26
40
110
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Good morning taifa la Mungu ๐Ÿ˜
Tweet media one
16
27
113
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Yule mwalimu uliyetakaga kumpiga ukimaliza shule vipi mipango yako iliishaje ishaje๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
6
15
112
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Samahanini kidogo, et ukingโ€™atwa na huyu mdudu unapata madhara gani. Itโ€™s urgent ๐Ÿ™๐Ÿพ
Tweet media one
35
26
108
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Ukishampata kama huyu unataka Mungu akubless na nin tena kingineโ€ฆ?
Tweet media one
34
29
103
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 months
Oya wanangu kumbe hawapendagi kweli bhna kupigwa vibao vya makalio๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
26
27
105
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Mimi nikimuelekeze boda shortcut yenye wahuni baada ya demu kuja geto na kuniambia ananyesha ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
22
36
101
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
8 months
Naomba sifa moja ya wadada wenye mwanyaโ€ฆ
Tweet media one
47
28
101
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Unakula nini mchana huu nisiposhiba nikuigeโ€ฆ๐Ÿ˜…?
Tweet media one
11
11
98
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Kama mtoto wa Mungu, unakutana na hii kibunda nin kinafata โ€ฆ.๐Ÿ˜…๐Ÿ˜?
Tweet media one
33
34
95
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
2
0
84
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
Hakuna mwanamke mwaminifu, siku akiombwa mzigo na msanii anaemkubali unahisi atachomoa bro ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Tweet media one
9
35
93
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Vijana wenzangu tunakumbushana tuu.. Usimtukane wala kumchokoza ย mtu usiyemjua. Kuna watu wamebeba mengi sana kwenye mioyo yao..sasa ili kuepusha matatizo ni bora kujiepusha na ugomvi wa aina yoyote.
12
33
95
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
0
0
87
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
1
1
85
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Kwa tuliotembea Tanzania, hapa ni wap ๐Ÿ˜ ?
Tweet media one
22
35
93
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
Usimuombee mwenzio mabaya, sisi wengine kwetu shida ya laki tunachangishana ukoo mzima. Good morning x fam ๐Ÿ‘‹๐Ÿพ
28
59
89
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
7 months
Asante Mungu kwa kuniongezea mwaka mwingine tena ๐Ÿ™๐Ÿพ
Tweet media one
30
39
93
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
0
0
86
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Unamuacha mpenzi wako wa zamani ili uwe na mpenzi wako mpya nae mpenzi wako mpya anakuacha akawe na mpenzi wake mpya ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Tweet media one
4
25
87
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Ni siku nyingine tena ya kuishi kwa tahadhaliโ€ฆโ€ฆ Good morning familia ya Mungu ๐Ÿ‘‹๐Ÿพ #justiceforsativa
Tweet media one
20
42
88
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Huwa unatembea na silaha gan incase noma ikitokea huweze kujitetea..?
15
38
87
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Hiki ndo chumba cha self contained huko usukumani ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
10
17
85
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
Usiombe mtu msaada kwa kumkumbushia wema wako wa zamani, wema hauna risiti ukitenda sahau. Good morning x fam
28
40
82
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
0
0
76
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
0
0
75
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Ni siku nyingine tena ya kushuhudia ukuu wa Mungu. Good morning my twitter family ๐Ÿ‘‹๐Ÿพ
Tweet media one
18
20
82
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Dalili nyingine ya umasikini ni kuamka jumamosi asubuhi na kutokwenda kwenye jumuiya ๐Ÿ˜…
18
36
83
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
0
0
75
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Marioo bora angekataa kuwa kwenye hii ngoma, imeshusha sana brand yake ๐Ÿ˜๐Ÿ˜…
Tweet media one
9
9
81
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
0
0
79
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Pia alikuwa akitembea kutoka nchi hadi nchi kutokana na urefu wake. Inasimuliwa kuwa mmoja kati ya nyayo zake unapatikana kwenye jiwe alilokanyaga huko Tabora, Tanzania, wayo wa mguu wa kushoto wakati wayo wa mguu wa kulia ulionekana kwenye jiwe alilokanyaga huko Kongo.
Tweet media one
7
2
84
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 months
Uwaonao wema na wabaya ndo hao hao.. Good morning fam ๐Ÿ‘‹๐Ÿพ
25
48
81
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
0
0
74
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Ulisikia nini kuhusu hawa wadada wenye dimpoz โ€ฆ?
Tweet media one
19
28
82
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
Ukitaka kumega vikubwa ujue na kuvitafuna. Good morning my Twitter family ๐Ÿ‘‹๐Ÿฝ
19
27
78
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Msaada wana X ivi ni yesu kristo au ni yesu kristu ๐Ÿค”?
17
33
77
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
0
0
75
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
0
0
75
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Nilichogundua usipokua na kitu cha kukuingizia kipato utadinyiwa demu wako mpka utazoea.
Tweet media one
19
33
81
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Him: bebi weekend uje unishangilie uwanjani na ujionee mambo ya Ronado live kabisa Weekend: ๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
Tweet media one
13
34
81
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Jobless nipate breakfast sasa niende kijiweni nikabishane na mambo ya usajili wa simba ya yanga ๐Ÿ˜…โ€ฆ
Tweet media one
21
42
77
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
10 months
Hii game ni home au away wakuu ๐Ÿ˜?
Tweet media one
34
22
76
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 months
Tujifunze kusamehe na kusahau, kuweka weka vitu moyoni kunaleta umasikini na uzee tu ๐Ÿ˜ Good morning
17
35
79
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Ukipewa nafasi ya kumshauri huyu binti utamshauri nin โ€ฆ๐Ÿ˜?
Tweet media one
28
23
81
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
0
0
70
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
Hatimae tumeumaliz January haikuwa rahisi ila Mungu alikua upande wetu, happy new month X family
17
41
76
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
4 months
Unakuta dada anakusifia sifia shobo za hapa na pale sasa jichanganye umtongoze, anakukataa ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Tweet media one
13
38
76
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 months
Good morning x family ๐Ÿ‘‹๐Ÿพ
34
35
75
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 months
Mwenyezi Mungu akabariki hustle zetu tupate riziki kubwa kubwa na hata ndogo ndogo. Good morning x fam ๐Ÿ‘‹๐Ÿพ
Tweet media one
21
31
77
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
โ€œUnanyoa ndevu kila siku ndo nijue bado hujakomaaโ€ฆNakuambia kesho unahama humu ndaniโ€ ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚
Tweet media one
19
39
74
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Sali sana ๐Ÿ™๐Ÿพ Tafuta pesa ๐Ÿ’ฐ Acha shobo Pendeza Kunywa pombe yako na bangi kidooogo. Good morning taifa la Mungu ๐Ÿ‘‹๐Ÿพ
21
21
75
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 months
Ukikosa bega la kuegemea siku zote kumbuka kuna sakafu la kupiga magotiโ€ฆ Good morning fam๐Ÿ‘‹๐Ÿพ
24
40
74
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Tuambiane ukweli, mara ya mwisho kwenda kanisani ni lini โ€ฆ? ๐Ÿ˜‚
Tweet media one
7
16
73
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
0
0
72
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
3 months
Good morning watu wa Munguโ€ฆ.๐Ÿ‘‹๐Ÿพ
Tweet media one
31
35
74
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
2 years
0
0
70
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
9 months
โ€œ We Glory mbona umepaka mafuta kwenye chupa ya mirandaโ€
Tweet media one
10
29
71
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
11 months
Acha tu nimtext nimegundua kiburi na jeuri havina vajaina ๐Ÿ˜…
Tweet media one
15
17
72
@chendex255
Chendex_TZA ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ
1 year
Good morning familia ๐Ÿ‘‹๐Ÿพ
Tweet media one
30
20
73